Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ya Mwaka 2023
This provision says the by-law is called the Musoma District Council Service Levy By-Law, 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ya Mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision says the by-law is called the Musoma District Council Service Levy By-Law, 2023. This section says the by-law applies throughout the entire area of the Musoma District Council authority. Sehemu hii inafafanua maneno mbalimbali yanayotumika katika Sheria Ndogo hii, ikiwemo Halmashauri, Mkurugenzi, mlipa ushuru wa huduma, mwaka wa mapato, na ushuru wa huduma. Halmashauri lazima itoeza na kukusanya ushuru wa huduma kwa 0.3% ya mauzo kwa baadhi ya wenye leseni za biashara, na kwa kiwango cha Jedwali la Kwanza kwa wale wasiowasilisha hesabu za mauzo kwa TRA. Mlipa ushuru wa huduma lazima alipe ushuru, awasilishe taarifa na hesabu sahihi, atunze na aonyeshe kumbukumbu, na afuate muda uliowekwa wa malipo na uwasilishaji.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ya Mwaka 2023
Showing 15 of 15
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This provision says the by-law is called the Musoma District Council Service Levy By-Law, 2023.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ya Mwaka 2023. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This section says the by-law applies throughout the entire area of the Musoma District Council authority.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: Sehemu hii inafafanua maneno mbalimbali yanayotumika katika Sheria Ndogo hii, ikiwemo Halmashauri, Mkurugenzi, mlipa ushuru wa huduma, mwaka wa mapato, na ushuru wa huduma.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo: “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Musoma; “hesabu” maana yake ni jumla ya mauzo au manunuzi ikiwa ni pamoja na kodi na ada, katika mwaka wa mapato; “hesabu za mwisho” maana yake ni hesabu za mwisho zinazowasilishwa na taasisi yoyote ya kibiashara baada ya kipindi cha hesabu pamoja na nyaraka au maelezo yatakayotakiwa kutolewa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; “jumuisho” maana yake ni taarifa, nyaraka au hesabu au 1 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Serikali Na. 896 (Linaendelea) maelezo yoyote yahusuyo kiasi na thamani ya kifedha ya bidhaa au huduma zilizozalishwa, au kuuzwa zilizosambazwa, kibiashara na ikiwa ni pamoja na jumuisho la awali au la mwisho; zilizotolewa na, Sura ya 212 “kampuni” maana yake ni kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria ya Kampuni; “kipindi maalum cha hesabu” maana yake ni muda ambao mfanyabiashara anatakiwa kuwasilisha hesabu za biashara kwa Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi chini ya Sheria Ndogo hii; “mlipa ushuru wa huduma” maana yake ni kampuni, tawi la leseni la au mfanyabiashara mwenye zake shughuli katika eneo kampuni anayefanya Halmashauri; “mwaka wa mapato” maana yake ni kipindi cha miezi kumi na mbili ya kalenda ya mwaka; “taasisi ya kibiashara” maana yake ni taasisi iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria ya Kampuni inayojihusisha na shughuli za kiuchumi za uzalishaji wa bidhaa au mazao ya kilimo, usambazaji wa bidhaa au utoaji wa huduma au biashara ikiwemo uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi; la kampuni” maana yake ni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria ya Kampuni; la kampuni tawi Sura ya 212 “tawi “ushuru wa huduma” maana yake ni ushuru unaotozwa na kukusanywa na Halmashauri kutoka kwa kampuni, tawi la kampuni au mfanyabiashara yeyote mwenye leseni ya biashara ambaye mauzo yake kwa mwaka ni zaidi ya shilingi milioni nne kutokana na huduma anazopata na kutumia miundombinu ya umma inayomuwezesha kufanya biashara katika eneo la Halmashauri; 2 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Serikali Na. 896 (Linaendelea) “wakala” maana yake ni mtu binafsi au kikundi cha watu, kampuni limeteuliwa na Halmashauri kufanya kazi yoyote chini ya Sheria Ndogo hii kwa niaba ya Halmashauri husika. ambalo shirika au Ushuru wa huduma - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoeza na kukusanya ushuru wa huduma kwa 0.3% ya mauzo kwa baadhi ya wenye leseni za biashara, na kwa kiwango cha Jedwali la Kwanza kwa wale wasiowasilisha hesabu za mauzo kwa TRA.
4.-(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa kiwango cha asilimia sifuri nukta tatu (0.3) ya mauzo baada ya kutoa Kodi ya Ongezeko la Thamani na ushuru wa bidhaa kutoka kwa mtu yeyote mwenye leseni ya biashara anayewasilisha hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa kiwango kilichoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii kutoka kwa wafanyabiashara wenye leseni za biashara ambao hawawasilishi hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania. Wajibu wa mlipa ushuru wa huduma - 5 Verify source ↗
(1) Kila mlipa ushuru wa huduma atakuwa na
AI-assisted research summary: Mlipa ushuru wa huduma lazima alipe ushuru, awasilishe taarifa na hesabu sahihi, atunze na aonyeshe kumbukumbu, na afuate muda uliowekwa wa malipo na uwasilishaji.
5.-(1) Kila mlipa ushuru wa huduma atakuwa na wajibu wa- (a) kulipa ushuru wa huduma kwa kiwango kilichoainishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) kuwasilisha taarifa sahihi za mauzo ya kila mwezi endapo anawasilisha taarifa za hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania; (c) kuwasilisha hesabu sahihi na za kweli; (d) kuwasilisha nyaraka au inayotakiwa kuwasilishwa kwa Halmashauri katika muda ulioainishwa; taarifa (e) kutunza kumbukumbu za kitabu cha hesabu; na (f) kuonesha kumbukumbu yoyote au nyaraka kwa ajili ya uchunguzi. (2) Kila mlipa ushuru wa huduma atatakiwa kulipa ushuru wa huduma si zaidi ya siku kumi na nne tangu tarehe ya kuwasilisha taarifa za mauzo ya kila mwezi. 3 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Serikali Na. 896 (Linaendelea) (3) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (2), Halmashauri inaweza kukubaliana na mlipa ushuru wa huduma utaratibu wa kulipa ushuru huo. (4) Kila mlipa ushuru atatakiwa kuwasilisha Halmashauri hesabu za mwisho katika kipindi cha miezi mitatu tangu kumalizika kwa kipindi cha hesabu. (5) Endapo mlipa ushuru hajawasilisha hesabu za mwisho kwa mwaka wa fedha husika na ametakiwa kufanya hivyo kwa notisi ya siku thelathini, Mkurugenzi anaweza kwa kadri atakavyoona inafaa, kuamua kiwango cha hesabu za mlipa ushuru huyo kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (6) Ushuru uliothaminiwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii utalipwa katika kipindi cha siku thelathini tangu tarehe ya kufanya tathmini. (7) Endapo mlipa ushuru hajawasilisha majumuisho ya hesabu zake kwa mwaka wowote wa mapato, na endapo Mkurugenzi au Afisa Mwidhiniwa anafikiri kwamba mlipa ushuru huyo ana wajibu wa kulipa ushuru kwa mwaka huo, anaweza kwa kadri atakavyoona, kuamua kiwango cha hesabu za mlipa ushuru huyo, isipokuwa tathmini hiyo haitaathiri wajibu wowote wa mlipa ushuru anaostahili kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kwa kushindwa kwake kuwasilisha hesabu hizo. - 6 Verify source ↗
(1) Endapo mlipa ushuru wa huduma anayetakiwa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kuwataka walipaji wa ushuru wa huduma kutoa taarifa za mauzo, hesabu, kumbukumbu na vitabu vya hesabu, na anaweza pia kuruhusu ukaguzi wa eneo na uteuzi wa afisa kwa ajili ya tathmini na ukusanyaji wa ushuru.
6.-(1) Endapo mlipa ushuru wa huduma anayetakiwa kuwasilisha taarifa ya mauzo chini ya Sheria Ndogo hii atashindwa kuwasilisha taarifa sahihi za mauzo kwa wakati, Mkurugenzi anaweza kutoa notisi ya kumtaka mlipa ushuru wa huduma kuwasilisha taarifa hiyo ndani ya siku thelathini kuanzia tarehe ya kutolewa kwa notisi. (2) Mkurugenzi anaweza kumtaka kwa maandishi taarifa kuhusu mfanyabiashara mtu yeyote mwenye anayepaswa kulipa ushuru wa huduma kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kuwasilisha kwake taarifa ambazo zitatumika kama taarifa sahihi. (3) Mkurugenzi anaweza kumwagiza kwa maandishi 4 Mamlaka ya Mkurugenz i Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Serikali Na. 896 (Linaendelea) Afisa Mwidhiniwa kuingia kwenye jengo au eneo la mlipa ushuru wa huduma kwa nia ya kufanya uchunguzi na tathmini ya kumbukumbu za biashara, vitabu vya hesabu na taarifa kwa ajili ya kupata na kujua kiwango sahihi cha ushuru anachotakiwa kulipa. (4) Mkurugenzi anaweza kumteua kamishna wa kodi ya forodha au kodi ya mapato kwa ajili ya kutathmini na kukusanya ushuru wa huduma na kuwasilisha kwa Halmashauri kwa lengo la kupata ushuru wa huduma pamoja na madeni yake. (5) Mkurugenzi kwa taarifa ya maandishi anaweza kumtaka mlipa ushuru yeyote kuwasilisha hesabu zenye taarifa kamili za shughuli za kibiashara zikionesha thamani ya kiasi na thamani ya kifedha ya bidhaa au huduma zilizozalishwa, kutolewa kusambazwa au kuuzwa kibiashara na taarifa ya fedha katika kipindi maalum kisichozidi siku thelathini tangu tarehe ya taarifa hiyo. (6) Mkurugenzi anaweza, baada ya kutoa taarifa ya siku saba kwa maandishi, kumtaka mlipa ushuru kuwasilisha kumbukumbu za kibiashara na vitabu vya hesabu kwa nia ya kupata taarifa kwa ajili ya kufanyiwa tathmini au kukusanya ushuru wa huduma. Uwezo wa kuingia kwenye jengo - 7 Verify source ↗
Mkurugenzi au Afisa Mwidhiniwa anaweza,
AI-assisted research summary: Mkurugenzi au Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika jengo au eneo la biashara au la mlipa ushuru wakati wa kazi ili kuchunguza kumbukumbu za biashara na vitabu vya hesabu.
7. Mkurugenzi au Afisa Mwidhiniwa anaweza, ndani ya muda wa kazi, kuingia kwenye jengo au eneo la taasisi ya kibiashara au la mlipa ushuru yeyote kwa nia ya kufanya uchunguzi na tathmini ya kumbukumbu za biashara, vitabu vya hesabu na taarifa nyinginezo kama atakavyoona inafaa kufanyiwa uchunguzi kwa ajili ya kupata na kujua kiwango sahihi cha ushuru anachotakiwa kulipa mlipa ushuru au mkusanya ushuru huyo. Uteuzi wa Wakala - 8 Verify source ↗
(1) Bila kuathiri masharti mengine ya Sheria
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kuteua wakala wa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri, na wakala huyo lazima akusanye na kupokea ushuru katika eneo lake na kwa viwango vilivyoidhinishwa.
8.-(1) Bila kuathiri masharti mengine ya Sheria Ndogo hii, Mkurugenzi anaweza kuteua wakala wa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa aya ndogo ya 5 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Serikali Na. 896 (Linaendelea) (1) atakuwa na wajibu wa- Uwezo wa Afisa Mwidhiniw a Ukokotoaji wa Ushuru wa Huduma Makosa (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. - 10 Verify source ↗
Afisa Mwidhiniwa anaweza
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kupokea, kukubali, na kufanya tathmini ya hesabu za mlipa ushuru, na pia kukataa hesabu za mwisho ikiwa ana sababu za msingi za kuamini kuwa si sahihi.
10. Afisa Mwidhiniwa anaweza- (a) kupokea na kukubali hesabu za mlipa ushuru na kuzifanyia tathmini; kuhusu kiwango cha hesabu cha mlipa ushuru endapo hesabu hizo zitakuwa si sahihi; au (b) kukataa hesabu za mwisho iwapo atakuwa na sababu za msingi za kuamini kuwa hesabu hizo si sahihi. - 11 Verify source ↗
Halmashauri itakokotoa ushuru wa huduma wa
AI-assisted research summary: Halmashauri must calculate the service levy for a taxpayer who submits sales information to the Tanzania Revenue Authority, using the information submitted for the relevant accounting period.
11. Halmashauri itakokotoa ushuru wa huduma wa mlipa ushuru anaewasilisha taarifa za mauzo Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kuzingatia taarifa zinazowasilishwa na mlipa ushuru wa huduma katika kipindi maalumu cha hesabu. - 12 Verify source ↗
Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Anyone who submits false sales information, fails to pay the service levy on time, obstructs council officials, or keeps false or missing records commits an offence.
12. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo- (a) atashindwa kuwasilisha Halmashauri taarifa sahihi za mauzo katika muda ulioainishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) atawasilisha kwa Halmashauri taarifa zisizo sahihi; (c) atashindwa kulipa ushuru wa huduma katika muda ulioainishwa katika Sheria Ndogo hii; (d) atamshawishi mlipa ushuru wa huduma kukataa au kukwepa kulipa ushuru; au (e) atamzuia Afisa Mwidhiniwa au wakala wa 6 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Serikali Na. 896 (Linaendelea) Halmashauri kutekeleza majukumu yake chini ya Sheria Ndogo hii; (f) atatoa taarifa isiyokuwa sahihi kuhusu jambo lolote linaloweza kuathiri jukumu lake au la mtu mwingine la kulipa ushuru; (g) atashindwa kutunza kumbukumbu, vitabu au hesabu; na (h) atatoa hesabu za uongo kwa kupunguza au kutoa hesabu zisizokuwa sahihi. Adhabu - 13 Verify source ↗
Mtu yeyote ambaye atapatikana na hatia kwa
AI-assisted research summary: A person convicted of an offence under this by-law is liable to a fine, imprisonment, or both.
13. Mtu yeyote ambaye atapatikana na hatia kwa kutenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii atatozwa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. Kufifilisha kosa - 14 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa na kumtoza mkosaji hadi shilingi 200,000 ikiwa mkosaji anakiri kwa hiari, anakubali kujaza fomu maalumu ya Jedwali la Pili, na kulipa ushuru unaodaiwa.
14. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ushuru anaodaiwa. ____________ JEDWALI LA KWANZA ____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(2)) USHURU WA HUDUMA Namba Aina ya malipo Leseni ya biashara Kiasi cha malipo ya Ushuru wa Huduma kwa Mwaka (Shilingi)
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text appears to list a charge of 5,000/= for the 0 to 15,000/= range, but the wording is fragmentary.
1. 0 hadi 15,000/= 5000/= 7 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Serikali Na. 896 (Linaendelea) - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This section shows fee amounts in a table and a form for voluntarily admitting an offence and agreeing to pay the owed fee or tax plus a fine instead of being prosecuted in court.
8. 20,000/= hadi 35,000/= 40,000/= hadi 45,000/= 50,000/= hadi 60,000/= 65,000/= hadi 100,000/= 105,000/= hadi 150,000/= 155,000/= hadi 200,000/= Malipo ya leseni za vilabu vya pombe za asili 10,000/= 15,000/= 30,000/= 40,000/= 50,000/= 100,000/= 12,000/= kwa miezi sita(6) _____________ JEDWALI LA PILI ______________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 12) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. Mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya …… ya Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ya Mwaka 2023. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. Jina……………………………….. ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Saini ……………………… MBELE YANGU: Jina: ……………………………………..…………… Saini………………………….………………………….. Wadhifa: ………………………………………………… Tarehe…………………………………………………… 8 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Serikali Na. 896 (Linaendelea) Lakari ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufutilia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya Musoma uliofanyika mnamo tarehe 16/03/2022 mbele ya :- MSONGELA N. PALELA Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma MH. CHARLES M. NYAMBITA Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya Musoma NAKUBALI Dodoma MOHAMED OMARI MCHENGELWA (MB) 31 Oktoba, 2023 Waaziri wa Nchi – Ofisi ya Rais, Tawala za Mikao Na Serikali za Mitaa 9
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ya Mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in