Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe ya Mwaka 2023
This section states the short title of the by-law.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe ya Mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the short title of the by-law. This bylaw applies throughout the whole area of Karagwe District Council. This section defines key terms used in the by-law, including fees, permits, revenue calculations, service levy, markets, bus stations, and agents. The Council may charge fees and levies for permits, licenses, and services, and those charges must be paid before or when the service is received. Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe ya Mwaka 2023
Showing 35 of 35
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section states the short title of the by-law.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe ya Mwaka 2023. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the whole area of Karagwe District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including fees, permits, revenue calculations, service levy, markets, bus stations, and agents.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “afisa mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha abiria na mzigo kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine isipokuwa baiskeli, mkokoteni au Wanyama wanaotumika kusafirisha watu au mizigo; lengo “Halmashauri” maana yake ni Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe; 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) “hesabu” maana yake ni jumla ya mauzo ya bidhaa, kazi au huduma katika mwaka wa mapato; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “kipindi maalumu cha hesabu” maana yake ni muda ambao mfanyabiashara anatakiwa kuwasilisha hesabu za biashara kwa Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “soko” maana yake ni eneo au soko lililotengwa na linalomikiwa na Halmashauri kama soko; Sura ya 167 “hifadhi ya barabara” maana yake ni kama iliyoainishwa katika Sheria ya Barabara; “kituo cha mabasi” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “Ushuru wa Huduma” maana yake ni ushuru unaotozwa au unaokusanywa na Halmashauri kutoka kwa Kampuni, tawi la Kampuni, taasisi ya biashara au mfanyabiashara kwa huduma anazopata kutokana na umma miundombinu inayomuwezesha kufanya biashara katika eneo la Halmashauri; kutumia ya “ukokotoaji” maana yake ni namna ya kuandaa kiasi cha Ushuru wa huduma kitakacholipwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; na “wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ada na ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) SEHEMU YA PILI NAMNA YA KUKUSANYA ADA NA USHURU Ada na ushuru
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: The Council may charge fees and levies for permits, licenses, and services, and those charges must be paid before or when the service is received.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama la Kwanza. ilivyoainishwa katika Jedwali (2) Ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi utalipwa kwa Halmashauri au wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi. Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
5. Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii Muda wa kukusanya ada na ushuru - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Ada na ushuru hukusanywa kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni, isipokuwa Halmashauri au wakala anaweza kukusanya baada ya muda huo akiwa na kibali maalumu cha Mkurugenzi.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri au wakala kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) Ushuru wa huduma Ukusanyaji wa madeni - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa
AI-assisted research summary: Halmashauri hutoza ushuru wa huduma kwa 0.3% ya mauzo kwa baadhi ya walipa kodi wanaowasilisha hesabu za mauzo, na walipa ushuru wa huduma lazima wawasilishe taarifa za hesabu za mwaka na kulipa ndani ya siku 14 baada ya kuwasilisha taarifa za mauzo ya kila mwezi.
7.-(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa kiwango cha asilimia sifuri nukta tatu (0.3%) ya mauzo baada ya kutoa Kodi ya Ongezeko la Thamani na ushuru wa bidhaa kutoka kwa kampuni, tawi la kampuni au mfanyabiashara yeyote mwenye leseni ya biashara anayewasilisha hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa kiwango kilichoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii kutoka kwa wafanyabiashara wenye leseni za biashara ambao hawawasilishi hesabu za mauzo Mamlaka ya Mapato Tanzania. (3) Kila mfanyabiashara mwenye leseni ya biashara ambaye anawajibika kulipa ushuru wa huduma atalazimika kuwasilisha kwa Mkurugenzi taarifa za hesabu za mwaka kwa ajili ya kukokotoa kiwango cha ushuru wa huduma. (4) Halmashauri itakokotoa ushuru wa huduma kwa walipa ushuru wa huduma wanaowasilisha taarifa za mauzo Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kuzingatia taarifa zinazowasilishwa na walipa ushuru wa huduma katika kipindi maalumu cha hesabu. (5) Mlipa ushuru wa huduma atatakiwa kulipa ushuru wa huduma si zaidi ya siku kumi na nne tangu tarehe ya kuwasilisha taarifa za mauzo ya kila mwezi. - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutumia mahakama na kukamata au kushikilia mali za wadaiwa ili kukusanya ada au ushuru ambao haujalipwa kwa wakati.
8.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika aya ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za wadaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) (3) Halmashauri baada ya kupata idhini ya Mahakama itakuwa na mamlaka ya kuuza mali za mdaiwa kwa njia ya mnada baada ya siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa. (4) Halmashauri baada ya kupata kibali cha Mahakama kuuza mali zilizokamatwa ambazo zinaweza kuharibika kwa haraka kabla hazijaharibika uwezo wa itakuwa na (5) Bila kuathiri masharti yaliyoainishwa katika aya hii, Halmashauri kabla ya kuuza mali yoyote iliyokamatwa, itatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote ile itakayotokea ama wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri au Wakala Uteuzi wakala wa - 9 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua Wakala wa kukusanya ada au ushuru, na Wakala huyo lazima akusanye, apokee, na awasilishe makusanyo kwa masharti yaliyowekwa.
9.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua Wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa aya ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. Mamlaka ya afisa mwidhiniwa - 10 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: An authorized officer may enter a place, building, or vehicle during daytime to collect fees or taxes, assess them, or handle matters related to fees, taxes, licenses, or permits.
10. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii Makosa - 11 Verify source ↗
Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaweka kosa kwa mtu yeyote anayekataa, anayeepuka, anayedharau, au anayechelewesha kulipa ada au ushuru, au anayesababisha au kuzuia utekelezaji wa majukumu ya Halmashauri na maafisa wake.
11. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo- (a) atashindwa au atadharau au atakwepa au atakataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi au Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatumia nyaraka za kughushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa Ada au Ushuru ndani ya Halmashauri; (e) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ushuru na zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri; au (f) atatumia chombo chochote kile kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada. Adhabu - 12 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayekiuka masharti yoyote ya
AI-assisted research summary: Anyone who breaches the by-law commits an offence and may face a fine, imprisonment, or both. The Director also has power to compound the offence for a set amount if the offender admits the offence and completes the required form and payment.
12. Mtu yeyote atakayekiuka masharti yoyote ya Sheria Ndogo hii atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. Kufifilisha kosa 13 Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha Shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) iliyoainishwa katika Jedwali la Pili na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Kufutwa kwa TS Na. 301 la Mwaka 2008 - 14 Verify source ↗
Sheria ndogo hii inafuta Sheria Ndogo ya Ada
AI-assisted research summary: This section repeals the Karagwe District Council Fees and Levies By-laws of 2008.
14. Sheria ndogo hii inafuta Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe ya Mwaka 2008. 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) _________________ JEDWALI LA KWANZA _________________ (Limetengezwa chini ya aya ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA: USHURU WA MAZAO Namba. Aina ya mazao
Part
SEHEMU YA KWANZA: USHURU WA MAZAO
- 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: This section sets a 3% levy based on the purchase price for listed crops and a yearly Shilingi 50,000 permit for buying produce.
13. Viazi Kabichi Karoti Matunda Vitunguu maji Nyanya Mchele Mahindi/alizeti/mtama/mpunga Pamba Zao jingine lolote linalolimwa au kuuzwa katika Halmashaur Pumba mashudu Kibali cha kununua mazao Kiwango kwa Ushuru (Shilingi) 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 3% ya bei ya kununulia. 50,000/= kwa Mwaka SEHEMU YA PILI: USHURU WA STENDI NA MAEGESHO KWA MAENEO YALIYOTENGWA KWA AJILI YA VYOMBO VYA USAFIRI AU BIASHARA Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Aina ya chombo cha usafiri Namba.
Part
SEHEMU YA PILI: USHURU WA STENDI NA MAEGESHO KWA MAENEO
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section lists daily station/stand charges for different vehicle types and other users.
6. Pikipiki iliyosajiliwa kwa biashara Teksi Lori lenye uzito chini ya tani 7 Lori lenye uzito zaidi ya tani 7 Magari mengine yasiyo ya biashara Ushuru wa kituo cha mabasi au stendi: a) Basi kubwa la abiria zaidi ya 30 b) Basi kubwa la abiria 20-30 c) Basi dogo d) Teksi e) Pikipiki f) Bajaji g) Gari nyingine h) Mtu 8 500/= kwa siku 1000/= kwa siku 1,500/= kwa siku 2,500/= kwa siku. 500/= kwa siku. 3,000/= kwa siku 2,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku 1000/= kwa siku 500/= kwa Siku 500/= kwa siku 500/= kwa siku 200/= kwa mpito Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Daily parking tax applies to water vessels listed in the provision.
7. Ushuru wa maegesho ya vyombo vya majini kwa siku a) Jahazi au ngama b) Mtumbwi wa injini c) Boti ya kawaida d) Meli au feri - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ushuru/ada za vituo vya kuoshea magari na viwango vinavyotofautiana kwa magari yenye uwezo wa kubeba chini ya tani 7 na zaidi ya tani 7.
10. Ushuru wa vituo vya kuoshea magari Kupakia na kushusha mizigo kwenye gari lenye uwezo wa kubeba chini ya tani 7 kupakia na kushusha mizigo kwenye gari lenye uwezo wa kubeba zaidi ya tani 7 3,000/= 2,000/= 2,000/= 5,000/= 10,000/= 5,000/= 10,000/= SEHEMU YA TATU: ADA AU USHURU WA KUENDESHA SHUGHULI ZA UTAMADUNI AU MICHEZO AU BURUDANI Namba. Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA TATU: ADA AU USHURU WA KUENDESHA SHUGHULI ZA
- 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: This section lists fees and levies for permits and activities in Karagwe District Council.
18. Kibali cha ngoma za jadi Kibali cha kuchezesha disko au maonesho ya bendi au sanaa za maonesho Kibali cha kuchezesha michezo ya bahati nasibu Play Station Mechi Halmashauri au binafsi pool table ya mpira kiwanja katika cha Kibali cha mechi ya mpira Kiwango cha Ada au Ushuru (Shilingi) 20,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 25,000/= kwa mwezi 80,000/= kwa Mwaka 20,000/= kwa siku 80,000/= kwa Mwaka 5,000/= kwa kila mechi Mashine ya bonanza au Spot betting (slot machine) 80,000/= kwa mwezi kwa kila mashine Bonanza Kibali cha uganga wa jadi Burudani za Taasisi au Kampuni Matangazo 40,000/= kwa siku 40,000/= kwa Mwaka 20,000/= kwa tukio 40,000/= kwa siku Sherehe Biashara ya muziki wa kompyuta Kumbi ya video au kibanda umiza Ushuru wa upambaji kumbi za sherehe na mikutano Kibali cha muziki Baa 20,000/= kwa siku 20,000/= kwa Mwaka 40,000/= kwa Mwaka 10,000/= - 20,000/= kwa siku/tukio 80,000/= kwa Mwaka Kuendesha ligi 50,000/= kwa ligi 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) - 22 Verify source ↗
Section 22
AI-assisted research summary: This section lists ushuru amounts for several services or activities, including an art-work shop, marathon, MC/DJ/video shooter, and a fitness center.
22. Duka la kazi za sanaa Marathoni Ushuru wa MC au DJ au Video Shooter Kituo cha mazoezi ya viungo 20,000/= kwa Mwaka 50,000/= kwa tukio 10,000/= Kwa siku 50,000/= kwa Mwaka SEHEMU YA NNE: USHURU WA HUDUMA YA MACHINJIO, UKAGUZI WA NYAMA NA MABUCHA Namba. Aina ya Huduma Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA NNE: USHURU WA HUDUMA YA MACHINJIO, UKAGUZI WA
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section lists fees for meat inspection, slaughter, and animal lodging at slaughterhouses.
9. ukaguzi wa nyama kwa kila ng’ombe atakayechinjwa kuchinja mnyama kwa atakayechinjwa Kuchinja na kukaguzi nyama kwa kila kondoo au mbuzi atakayechinjwa Kuchunja mnyama kwa kila nguruwe. Ushuru wa kulaza ng’ombe machinjioni kila ng’ombe kulaza mbuzi machinjioni kulaza kondoo machinjioni Bucha ya Ng’ombe au Mbuzi au Nguruwe au Kondoo kuchanja mifugo 5,000 5,000 3,000/= 5,000/= 3,000/= kwa siku kwa kila mmoja 1000/= kwa siku kwa kila mmoja 500/= kwa siku kwa kila mmoja 50,000/= kwa Mwaka Kama itakavyopangwa na Serikali 10 - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Mnunuzi analipa ushuru wa minada ya mifugo na mazao ya mifugo kwa viwango vilivyoorodheshwa.
12. Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) SEHEMU YA TANO: USHURU WA MINADA YA MIFUGO NA MAZAO YA MIFUGO (Ulipwe na mnunuzi) Namba. Aina ya Mfugo au zao Ng’ombe Mbuzi au Kondoo, Kuku au kanga au bata Kuku au kanga au bata Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 5000/= kwa kila mmoja 1,500/= kwa kila mmoja 3,000/= kwa kila tenga lenye kubeba 10-20 4,000/= kwa kila tenga lenye 21-30 Punda Mikokoteni ya wanyama kazi Ngozi za ng’ombe (1 hadi 50) kwa ajili ya biashara Ngozi za ng’ombe (51 hadi 100) Ngozi za ng’ombe ( 101 na zaidi) Ngozi za mbuzi au kondoo (1 hadi 50) Ngozi za mbuzi au kondoo (51 hadi 100) Ngozi za mbuzi au kondoo (101 na zaidi) Kusajili mkokoteni wa biashara 3,000/= 20,000 kwa Mwaka 5,000/= 10,000/= 15,000/= 2,500/= 5,000/= 7,500/= 30,000/= kwa Mwaka SEHEMU YA SITA: USHURU WA SAMAKI AU DAGAA MAZAO YAKE Namba. Aina ya Samaki au Dagaa au Zao
Part
SEHEMU YA SITA: USHURU WA SAMAKI AU DAGAA MAZAO YAKE
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The fragment lists tax/charge amounts for fish items, including 100 shillings per kilo, 2,000 shillings per bag, and 2% of market price, then begins a new section on council property rental fees.
4. Samaki Dagaa Mabondo Furu Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 100/= kwa kilo 2,000 kwa gunia 2% ya bei ya soko 2,000 kwa gunia SEHEMU YA SABA: ADA YA KUKODI MALI ZA HALMASHAURI Namba. Aina ya huduma
Part
SEHEMU YA SABA: ADA YA KUKODI MALI ZA HALMASHAURI
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section lists council fees for renting the council hall, chairs, equipment, microphones, use of a sports ground for business, and access to public council documents.
6. Kukodi ukumbi wa Halmashauri kwa ajili ya vikao, mikutano na sherehe Kukodi viti vya Halmashauri Mitambo (Grader, scavator, roller, trekta, lori,vifaa vya upimaji, n.k) Kukodi vipaza sauti na matarumbeta Kutumia uwanja wa michezo kwa shughuli za biashara Kusoma nyaraka za wazi za Halmashauri 11 Kiwango kwa Ada (Shilingi) 100,000/= hadi 1,000,000/= kwa siku 500/= kwa kiti kimoja kwa siku 50,000/= hadi 2,000,000 kwa siku 100,000/= kwa siku 20,000/=kwa siku 500/= kwa siku Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The text states a fee of 500/= per day for using the council library, and it begins a section on rent fees for council business stalls, houses, or offices.
7. Kutumia maktaba ya Halmashauri 500/= kwa siku SEHEMU YA NANE: ADA YA PANGO LA VIBANDA VYA BIASHARA AU NYUMBA AU OFISI ZA HALMASHAURI Namba.
Part
SEHEMU YA NANE: ADA YA PANGO LA VIBANDA VYA BIASHARA AU
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Lists service stalls that move around a stand, market, or other places.
1. Aina Huduma Vibanda vinavyozunguka stendi au soko na sehemu nyingine
Part
sehemu nyingine
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The provision sets fee amounts in shillings for Grade A, B, and C, and says they are to be arranged according to market price.
3. Nyumba za Halmashauri Ofisi za Halmashauri Kiwango cha Ada (Shilingi) Zitapangwa kutokana na bei ya Soko. a) Grade A 150,000/= b) Grade B 80,000/= c) Grade C 20,000/= Zitapangwa kutokana na bei ya Soko. SEHEMU YA TISA: USHURU WA SHUGHULI ZA MADINI Namba. Aina ya Shughuli
Part
SEHEMU YA TISA: USHURU WA SHUGHULI ZA MADINI
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Sehemu hii inataja mchanga au mawe ya madini kwenye kiroba cha kilo 50 yanayosafirishwa nje ya eneo la uchimbaji au leseni.
9. Mchanga au mawe ya madini kwenye kiroba chenye ujazo wa kilo 50 unaosafirishwa nje ya eneo la Uchimbaji/leseni kila karasha kila mwalo mfuko wa mchanga au mawe ya madini kwenye kiroba chenye uzito wa kilo 50 kutoka katika eneo la uchimbaji au eneo leseni kwenda nje ya Halmashauri Muuzaji wa marudio Makapi ya marudio Mpangishaji wa PML na mashamba la VAT leaching Plant Elution Plant - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Wenye leseni za madini wanapaswa kuwajibika kwa jamii (CSR), na maandishi yanaonyesha viwango kadhaa vya ushuru/ada.
10. Wenye leseni za madini wanapaswa kuwajibika kwa jamii (CSR) Kiwango cha Ushuru (Shilingi) kwa kila 1,000/= mfuko 10,000/= kwa mwezi 10,000/= kila mwezi 2,000/= mfuko kwa kila ya ya bei 5% ya bei ya kuuzia 5% ya bei ya kuuzia 5% kupangishia 50,000/= kwa mwezi 60,000/=kila (tenki lenye Carbon) Kiasi kisichopungua 1% ya mapato yake kwa Mwaka column - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: This section lists charges for transporting mineral sand by weight category.
11. Usafirishaji wa mchanga wenye madini (marudio) a) Uzito wa tani 1 – 9 b) Uzito wa tani 10 – 15 21,000/= 30,000/= SEHEMU YA KUMI: USHURU WA MAGARI YANAYOINGIA KATIKA GULIO AU SOKO AU MNADA 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) Namba. Aina ya gari
Part
SEHEMU YA KUMI: USHURU WA MAGARI YANAYOINGIA KATIKA GULIO
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The provision sets fees for transporting scrap metal or plastic and for building plan inspection, based on vehicle size or plot size.
4. Gari la mizigo lisilozidi M3 3 Gari la mizigo linalozidi M3 3 Magari mengine Kibali cha kununua na kusafirisha vyuma chakavu au plastiki Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 1,000/= kwa siku 2,000/= kwa siku 500/= kwa kila moja kwa siku 10,000 kwa mwezi Namba. SEHEMU YA KUMI NA MOJA: ADA YA UKAGUZI WA RAMANI YA UJENZI Kiwango cha Ada (Shilingi) Ukubwa wa eneo 1 2 3 4 5 6 0 hadi 50m2 51 hadi 100m2 101 hadi 150m2 151 hadi 200m2 201 hadi 250m2 251 m2 na zaidi 10,000/= 20,000/= 40,000/= 50,000/= 75,000/= 200,000/= SEHEMU YA KUMI NA MBILI: ADA YA VIBALI VYA UJENZI NA URASIMISHAJI WA VIWANJA Namba. Aina ya Jengo au Kiwanja
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI: ADA YA VIBALI VYA UJENZI NA
- 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: This section lists permit/application fees for different types of land, buildings, inspections, and construction activities.
15. Kiwanja cha Makazi Kiwanja cha biashara Gorofa 1 Kiwanda au bohari au ghala kukagua kiwanjachenye ujazo mdogo Kiwanja cha Biashara na makazi kukagua kiwanja chenye ujazo wa kati kukagua kiwanja chenye ujazo mkubwa kukagua kiwanja kikubwa zaidi kubadili matumizi ya jengo Kuzungusha mabati wakati wa kujenga Maombi ya kiwanja Ujenzi wa mnara wa simu Mnara wa simu wenye booster Mnara wa simu usio na booster Ujenzi wa ukumbi wa sinema au mpira au starehe 13 Kiwango cha Ada kwa kibali (Shilingi) 25,000/= 50,000/= 200,000/= 200,000/= 10,000/= 70,000/= 20,000/= 50,000/= 70,000/= Inategemea aina ya jengo 500/= kwa mita moja 20,000/= kwa fomu 300,000/= 2,500,000/= Mwaka 2,000,000/= Mwaka 150,000/= kwa kwa Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) - 37 Verify source ↗
Section 37
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada/ushuru mbalimbali unaohusiana na ujenzi na matumizi ya ardhi, pamoja na viwango vya malipo kwa baadhi ya kazi na jengo la aina tofauti.
37. Ujenzi wa uzio Ujenzi wa taasisi mbalimbali ambazo sio ghorofa Ujenzi wa kiwanda kikubwa Ujenzi wa Kiwanda cha kati au kidogo Ujenzi wa skimu ya uchenjuaji Ujenzi wa ghala au bohari Ujenzi wa marekebisho ya ujenzi Nukuu ya bei kwa kila fomu Ujenzi wa mwalo Kusimika karasha Ghala la kuhifadhia nafaka jengo ambalo halijatajwa pamoja na Ukaguzi wa mazingira ya ujenzi wa skimu ya uchenjuaji, Ilussion na CIP Kufanya ukaguzi wa mazingira ya eneo la ujenzi wa mwalo au karasha Kila ghorofa inayoongezeka kutoka ghorofa ya 1 Kubadilisha matumizi ya ardhi kutoka makazi kwenda biashara Kubadilisha matumizi ya ardhi ya Makazi kwenda viwanda Kubadilisha matumizi ya ardhi ya biashara kwenda makazi Kubadilisha matumizi ya ardhi ya Makazi au biashara au viwanda kwenda matumizi mengine Urasimishaji Kuzingira eneo au Jukwaa Kodi ya jengo la kawaida Kodi ya ghorofa 30,000/= 150,000/= 500,000/= 100,000/= 100,000/= 100,000/= Inategemeana na aina ya jengo kwa 5,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= Mwaka 200,000/= 50,000/= 100,000/= 50,000/= 100,000/= 40,000/= 100,000/= 100,000/= kwa kila kiwanja isizidi 150,000/= 1,000/=kwa mita 10,000/= kwa kila jengo kwa Mwaka 20,000/= kwa kila sakafu kwa Mwaka SEHEMU YA KUMI NA TATU: USHURU WA MAZAO YA MISITU YA HALMASHAURI Namba. Aina ya zao
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU: USHURU WA MAZAO YA MISITU YA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha kiwango cha ushuru cha 5% ya bei, na inataja gunia la mkaa pamoja na 500/= kwa kila gunia.
2. Gunia la mkaa Nguzo za miti 14 Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 5% ya bei kwa kila gunia 500/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This provision lists amounts for several items and then starts a new section on annual advertising or signboard tax.
9. Lita 20 ya Asali Nta Kilo 1 Gogo Fito M3 1 mbao moja Banzi Kuni ujazo wa M3 1 Kitanda cha mti wa kupandwa Meza Kiti Flemu au topu za milango 2,000/= 100/= 2,000/= 6,500/= 350/= 200/= 6,500/= 10,000/= 5,000/= 2,000/- 10,000/= SEHEMU YA KUMI NA NNE: USHURU YA MATANGAZO AU MABANGO KWA MWAKA Namba .
Part
SEHEMU YA KUMI NA NNE: USHURU YA MATANGAZO AU MABANGO KWA
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka viwango vya ushuru kwa aina mbalimbali za matangazo na mabango, na inaonyesha aina moja ya tangazo isiyotozwa ushuru.
7. Aina ya Matangazo au Mabango Bango lisilo na mwanga Bango lenye mwanga Bango kwenye kuta Bango la kielektroniki Gari la matangazo Matangazo kwenye kituo cha mauzo: i. ii. Bango lisilo na mwanga Bango lenye mwanga Tangazo la bango linaloelekeza sehemu ya huduma ya kijamii inayopatikana katika Shule au Zahanati au Hospitali au sehemu nyingine Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 15,000/= kwa futi ya mraba 18,000/= kwa futi ya mraba 10,000/= kwa futi ya mraba 20,000/= kwa futi ya mraba 10,000/= kwa futi moja ya mraba 10,000/= kwa futi moja ya mraba 20,000/= kwa futi moja ya mraba Hakuna Ushuru _______________ 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) JEDWALI LA PILI ________________ HATI YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA (Limetengenezwa chini ya aya ya 13) Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Karagwe, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya …… ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya mwaka, 2023. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, niko tayari kulipa kiasi cha Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU : Jina:……………………………………..…………………… Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………… 16 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe Tangazo La Serikali Na. 899 (Linaendelea) Lakari ya Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufutilia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Karagwe uliofanyika mnamo tarehe 24 mwezi Februry mwaka 2023 na kushuhudiwa lakari hiyo ikigongwa mbele ya:- MICHAEL F. NZYUNGU Mkurugenzi wa Halmashauri Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe WALLACE M. MASHANDA Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya karagwe NAKUBALI Dodoma MOHAMED OMARI MCHENGELWA (MB) 31 Oktoba, 2023 Waaziri wa Nchi – Ofisi ya Rais, Tawala za Mikao Na Serikali za Mitaa 17
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Karagwe ya Mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in