Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga ya Mwaka 2023
This provision gives the by-law’s name: the Mkinga District Council Fees and Charges By-Law, 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga ya Mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the by-law’s name: the Mkinga District Council Fees and Charges By-Law, 2023. This section says the by-law applies throughout the Mkinga District Council area. Sehemu hii inafafanua maneno muhimu yanayotumika katika Sheria Ndogo hii. The council charges fees and levies for permits, licences, and other services at the rates in the First Schedule. A person liable to pay a fee or tax under this by-law must pay it at the rates set out in the by-law.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga ya Mwaka 2023
Showing 39 of 39
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This provision gives the by-law’s name: the Mkinga District Council Fees and Charges By-Law, 2023.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga ya Mwaka 2023. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This section says the by-law applies throughout the Mkinga District Council area.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: Sehemu hii inafafanua maneno muhimu yanayotumika katika Sheria Ndogo hii.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “afisa mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha abiria na mzigo kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine isipokuwa baiskeli, mkokoteni au Wanyama wanaotumika kusafirisha watu au mizigo; “Halmashauri” maana yake ni Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 902 (Linaendelea) kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “soko” maana yake ni eneo au soko lililotengwa na linalomikiwa na Halmashauri kama soko; “stendi” maana yake ni eneo maalum lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ada na ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. SEHEMU YA PILI NAMNA YA KUKUSANYA ADA NA USHURU
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya
AI-assisted research summary: The council charges fees and levies for permits, licences, and other services at the rates in the First Schedule.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (2) Ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Utozaji wa ada na ushuru Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu
AI-assisted research summary: A person liable to pay a fee or tax under this by-law must pay it at the rates set out in the by-law.
5. Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 902 (Linaendelea) Muda wa kukusanya ada na ushuru Ukusanyaji wa madeni - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni
AI-assisted research summary: Fees and taxes may be collected only from 6:00 a.m. to 6:00 p.m., unless a special permit from the Director allows collection later.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri au wakala kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kupitia Mahakama, kukamata au kushikilia mali za mdaiwa, na kuuza mali zilizokamatwa chini ya masharti fulani.
7.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kupata idhini ya Mahakama, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya- (a) kuuza mali za mdaiwa kwa njia ya mnada baada ya siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa; au (b) kuuza mali zilizokamatwa ambazo zinaweza kuharibika kwa haraka kabla hazijaharibika. (4) Bila kuathiri masharti ya aya hii, kabla ya kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Halmashauri itatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (5) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 902 (Linaendelea) itakayotokea ama wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri au wakala. Uteuzi wa wakala - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala wa kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake.
8.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa aya ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. Mamlaka ya afisa mwidhiniw a - 9 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti mengine ya Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia eneo, jengo au chombo cha usafiri wakati wa asubuhi hadi jioni kwa ajili ya kukusanya ada/ushuru au kufanya tathmini zinazohusu ada, ushuru, leseni au kibali.
9. Bila kuathiri masharti mengine ya Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Makosa - 10 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Anyone commits an offence if they avoid paying fees or levies, obstruct collection or enforcement officials, give false information, fail to keep required records, disobey a Council order about payment, or use false documents to gain benefits from fee or levy collection.
10.-(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo- (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi au afisa mwidhiniwa au wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ada 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 902 (Linaendelea) au ushuru; (e) atashindwa kuweka vitabu, hesabu, au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri; kumbukumbu, (f) atashindwa, atadharau, atakaidi au kukataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii; au (g) atatengeneza, ataidhinisha atatayarisha, kutengeneza au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri. Adhabu Kufifilisha kosa Kufutwa kwa TS Na. 238 la 2008 - 11 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Sheria
AI-assisted research summary: Anyone who violates the bylaw’s requirements commits an offence and may be fined, imprisoned, or both if convicted.
11. Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hii atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. - 12 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: The Director may compound an offence by charging up to TZS 200,000, if the offender admits the offence, is willing to complete the prescribed form, and pays any owed fee or tax.
12. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. - 13 Verify source ↗
Sheria ndogo hii inafuta Sheria Ndogo ya (Ada na
AI-assisted research summary: This section repeals the Mkinga District Council by-laws on fees and levies from 2008.
13. Sheria ndogo hii inafuta Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga ya Mwaka 2008. 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 902 (Linaendelea) _____________ JEDWALI LA KWANZA ____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA: USHURU WA MIFUGO (MNADANI) Namba Aina ya Mfugo Kiwango cha ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KWANZA: USHURU WA MIFUGO (MNADANI)
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The text lists charges per animal: cattle, goats or sheep, pigs, and chickens/guinea fowl/ducks.
4. Ngo’mbe 5,000/= kwa kila mmoja Mbuzi au kondoo Nguruwe Kuku au kanga au bata 2,000/= kwa kila mmoja 3,000/= kwa kila mmoja 500/= kwa kuku au bata au kanga kila mmoja SEHEMU YA PILI: USHURU WA MAZAO YA MAJINI Namba
Part
SEHEMU YA PILI: USHURU WA MAZAO YA MAJINI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Ushuru wa samaki, dagaa, bondo na mazao mengine ya majini ni asilimia 3 ya bei ya soko kwa kilo moja.
4. Aina ya Mfugo Ushuru wa samaki Ushuru wa dagaa Ushuru wa bondo Ushuru wa mazao mengine ya majini Ushuru kulingana na bei ya soko Asilimia tatu (3) ya bei ya soko kwa kilo moja Asilimia tatu (3) ya bei ya soko kwa kilo moja Asilimia tatu (3) ya bei ya soko kwa kilo moja Asilimia tatu (3) ya bei ya soko kwa kilo moja SEHEMU YA TATU: USHURU WA KUSAFIRISHA MIFUGO NJE YA WILAYA Namba Aina ya Mfugo Kiwango cha ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA TATU: USHURU WA KUSAFIRISHA MIFUGO NJE YA WILAYA
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section lists fees for different livestock and poultry types, including per-animal amounts and a poultry-group amount starting at 20 chickens.
4. Ng’ombe Mbuzi au kondoo Nguruwe Kuku au kanga au bata 2,000/= kwa kila mmoja. 1,000/= kwa kila mmoja. 500/= kwa kila mmoja. 5,000/= kuanzia kundi la kuku ishirini. SEHEMU YA NNE: ADA AU USHURU WA MACHINJIO NA UKAGUZI WA NYAMA Namba Aina ya mfugo Ng’ombe
Part
SEHEMU YA NNE: ADA AU USHURU WA MACHINJIO NA UKAGUZI WA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section lists slaughterhouse and meat inspection fees in shillings.
2. Kiwango cha ushuru wa machinjio (Shilingi) 5000/= kwa kila mmoja Ada ya ukaguzi wa nyama (Shilingi) 2500/= mmoja 1500/= kwa kila kwa kila Mbuzi au kondoo 2500/= kwa kila mmoja 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 902 (Linaendelea) - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonekana kuweka ada kwa watoa huduma ya tiba asilia na wauzaji wa dawa za jadi, ikitaja kiasi cha 3000/= na 2000/=.
3. Nguruwe 3000/= kwa kila mmoja mmoja 2000/= mmoja kwa kila SEHEMU YA TANO: ADA KWA WATOAJI HUDUMA YA TIBA ASILIA NA WAUZAJI WA DAWA ZA JADI Namba
Part
SEHEMU YA TANO: ADA KWA WATOAJI HUDUMA YA TIBA ASILIA NA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists annual permit fee amounts for traditional healers, any institution, and traditional medicine shops.
3. Kibali kwa Mtoa Huduma Kiwango cha ada kwa mwaka (Shilingi) Waganga wa jadi Taasisi yoyote Maduka ya madawa ya asili 50,000/= 100,000/= 80,000/= SEHEMU YA SITA: ADA YA KIBALI CHA BURUDANI Namba Burudani
Part
SEHEMU YA SITA: ADA YA KIBALI CHA BURUDANI
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha ada za shughuli za muziki, maonyesho, ngumi, mazingaombwe na sherehe za kifamilia kama harusi na siku ya kuzaliwa.
7. Muziki, Sanaa za maonyesho, ngumi, mazingaombwe n.k Sherehe za kifamilia kama vile harusi, siku ya kuzaliwa na zifananazo na hizo Sherehe za kifamilia kama vile siku ya kuzaliwa na harusi, zifananazo na hizo Mpiga muziki Mshereheshaji Bonanza Tamasha Kiwango cha ada (Shilingi) 25,000/= kwa tukio la 20,000/= kwa zisizozidi mbili (2) tukio kwa siku 50,000/= kwa tukio siku zaidi ya mbili (2) 10,000/= kwa tukio 10,000/= kwa tukio - 100 Verify source ↗
000/= kwa tukio
AI-assisted research summary: The provision lists parking and transport service fees, including amounts of 100,000/= and 150,000/= per occurrence.
100.000/= kwa tukio 150,000/= kwa tukio SEHEMUYA SABA: ADA AU USHURU WA MAEGESHO NA HUDUMA ZA USAFIRISHAJI Namba Aina ya chombo cha Usafiri Kiwango cha ada au ushuru (Shilingi) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada za kila siku au kila gari linapotoka stendi kwa aina tofauti za magari na vyombo vya usafiri.
7. 3000/= kwa siku Gari au basi kubwa lenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 20 Gari dogo la abiria Teksi Pikipiki Bajaji Gari binafsi lisilo la biashara Gari dogo lenye uwezo wa kubeba mizigo 2000/= kwa siku 1000/= kwa siku 1000/=kwa siku 500/= kwa siku 1000/= kwa siku 500/= kila linapotoka stendi 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 902 (Linaendelea) - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Gari kubwa lenye uwezo wa kubeba zaidi ya tani 7 linaonekana kutozwa ushuru wa kulaza kwenye maegesho.
9. chini ya tani saba Gari kubwa lenye uwezo wa kubeba mzigo zaidi ya tani saba Ushuru wa kulaza gari kwenye Maegesho 2500/= kila linapotoka stendi 1000/= kwa usiku mmoja SEHEMU YA NANE: ADA YA HUDUMA YA VIWANJA VILIVYOPIMWA Namba
Part
SEHEMU YA NANE: ADA YA HUDUMA YA VIWANJA VILIVYOPIMWA
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The provision lists service application types and their fees, including fixed amounts and one fee set at 10% of surveying costs.
4. Aina ya huduma Maombi ya kuoneshwa mipaka ya kiwanja cha makazi Maombi ya kuoneshwa mipaka ya kiwanja cha makazi na biashara Maombi ya kuoneshwa mipaka ya kiwanja cha huduma za jamii Kupimiwa eneo kutokana na maombi binafsi Kiwango cha ada (Shilingi) 30,000/= 40,000/= 100,000/= Asilimia 10 ya gharama ya upimaji. SEHEMU YA TISA: USHURU KATIKA MASOKO, MITELA NA MAGULIO Namba Aina ya biashara Kiwango cha ushuru kwa siku (Shilingi)
Part
SEHEMU YA TISA: USHURU KATIKA MASOKO, MITELA NA MAGULIO
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section lists market charges for various goods and activities, with different amounts shown for each item.
9. 10 11 12 13 14 Nguo au viatu Vileo Kuuza nyama choma Michezo mbalimbali katika soko Bidhaa za urembo Vyombo vya ndani Samani mbalimbali Biashara nyinginezo Meza za nafaka na samaki wabichi Wauza kuku kwenye tenga Mama lishe au baba lishe Nafaka au matunda au miwa kuingiza gari sokoni au mnadani Kupakia au kushusha mizigo 1000/= 2000/= 2000/= 2000/= 1000/= 1000/= 1000/= 2000/= 1000/= 500/= 1000/= 1000/= 10,000/= 10,000/= SEHEMU YA KUMI: USHURU WA MAZAO YA MISITU Namba Aina
Part
SEHEMU YA KUMI: USHURU WA MAZAO YA MISITU
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section sets charges for charcoal, hardwood, natural wood, and firewood.
3. Mkaa i. Mbao ngumu ii. Mbao za asili Kuni Kiwango kwa asilimia (Shilingi) 5% ya bei ya mauzo 350/= kwa ubao mmoja 200/= kwa ubao mmoja 1,500/= kwa mita moja ya mraba 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 902 (Linaendelea) - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: The section lists several fees/charges, including amounts in shillings and 3% rates for certain sales or purchase values.
8. Nguzo au milunda Gogo Fito zisizo milunda Asali Nta 200/= kwa nguzo moja 2,000/= kwa gogo moja 2,000/= kwa mita moja ya mraba 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo SEHEMU YA KUMI NA MOJA: USHURU WA MAZAO YA BIASHARA NA CHAKULA Namba 1 2 Aina ya Mazao Mazao ya chakula (nafaka) Mazao ya matunda 3 4 Mazao ya biashara (dengu, pamba na mazao mengine) Mazao mengine ya chakula au biashara Kiwango cha ushuru kwa asilimia (Shilingi) 3% ya bei ya ununuzi kwa gunia la kilo 100 3% ya bei ya ununuzi kwa tunda moja au kipimo kinachojulikana 3% ya bei ya manunuzi kwa gunia la kilo mia moja 3% ya bei ya kununulia kwa gunia la kilo 100 au kipimo kinachotumika SEHEMU YA KUMI NA MBILI: ADA AU USHURU WA MADINI YA UJENZI Aina ya huduma Nam ba
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI: ADA AU USHURU WA MADINI YA UJENZI
- 1 Verify source ↗
Maombi ya kibali cha kumiliki eneo la
AI-assisted research summary: A permit application for an area to mine construction minerals has an annual fee or levy that depends on the area size.
1. Maombi ya kibali cha kumiliki eneo la kuchimba madini ya ujenzi kwa ajili ya uchimbaji Kiwango cha ada au ushuru kwa mwaka (Shilingi) 50,000/= kwa kila kwa eneo chini ya Mita za Mraba 2,000 100,000/= kwa kila kibali kwa eneo zaidi ya Mita za Mraba 2,000 - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Inaweka ushuru wa madini kwa safari moja kwa gari lenye uzito wa chini ya tani saba.
2. Ushuru wa madini kwa safari moja kwa gari yenye uzito wa chini ya tani saba a. b c. d. e. mawe moramu kokoto mchanga/udongo mchanga wa ziwani 6000/= 5000/= 6000/= 5000/= 50,000/= - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text lists mineral levy amounts for a trip by a vehicle weighing over seven tons and begins a new section on parking fees for commercial passenger boats.
3. Ushuru wa madini kwa safari moja ya gari lenye uzito wa zaidi ya tani saba a. b. c. d. e. mawe moramu kokoto mchanga/udongo mchanga wa ziwani 10,000/= 8000/= 10,000/= 8000/= 100,000/= SEHEMU YA KUMI NA TATU: USHURU WA MAEGESHO YA BOTI ZA BIASHARA ZA ABIRIA Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU: USHURU WA MAEGESHO YA BOTI ZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Boti au mtumbwi unaobeba watu 3–10 unaonekana kutozwa ushuru wa Shilingi 1,000 kwa siku.
1. Aina Boti au Mtumbwi wenye uwezo wa kubeba watu 3-10 Kiwango cha ushuru (Shilingi) 1,000/= kwa siku 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 902 (Linaendelea) - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section sets fees for boat/canoe use and for building permits for different types of buildings.
3. Boti au Mtumbwi wenye uwezo wa kubeba watu 11-20 Boti au Mtumbwi wenye uwezo wa kubeba watu 21 na kuendelea 2,000/= kwa siku 3,000/= kwa siku SEHEMU YA KUMI NA NNE: ADA YA KIBALI CHA UJENZI Namba Aina ya kibali Kiwango cha ada (Shilingi) (a) Ada ya kibali cha ujenzi kwa maeneo yaliyopimwa Ghorofa mbili na zaidi Ghorofa moja Nyumba ya biashara (Nyumba ya 100,000/= 50,000/= 100,000/= kulala wageni, Hoteli) Kituo cha mafuta Nyumba ya makazi na biashara Nyumba ya makazi Ofisi binafsi, shule binafsi 500,000/= pampu moja 1,000,000/=pampu mbili na zaidi (i) (ii) 80,000/= 50,000/= 200,000/= na Hospitali/ Zahanati binafsi Ghala na bohari Jengo ya viwanda Jengo ya Taasisi za fedha Mnara 300,000/= 2,000,000/= 200,000/=
Part
SEHEMU YA KUMI NA NNE: ADA YA KIBALI CHA UJENZI
- 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Section 11 mentions radio, communications, and television, and lists amounts of 500,000/= and 1,000,000/=, but the isolated text does not state the rule.
11. Simu (a) (b) Redio au mawasiliano au 500,000/= 1,000,000/= televisheni - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: Ada ya kuhuisha kibali ni 200,000/=, na pia kuna rejeo la nusu ya ada ya kibali kwa kibali cha ujenzi katika maeneo yasiyopimwa.
13. Uzio Ada ya kuhuisha kibali 200,000/= Nusu ya ada ya kibali (b) Ada ya Kibali cha Ujenzi kwa maeneo yasiyopimwa - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This section lists fee amounts for different building and facility types, including apartments, fuel stations, business houses, homes, offices, private institutions, warehouses, towers, phones, radio/communications, and televisions.
8. Ghorofa mbili na zaidi Ghorofa moja Kituo cha mafuta Nyumba ya biashara Nyumba za makazi Ofisi au Taasisi binafsi Ghala au Bohari Mnara: 100,000/= 80,000/= 1,000,000/= 20,000/= 15,000/= 100,000/= 150,000/= (a) Simu (b) Redio au Mawasiliano au 500,000/= 1,000,000/= Televisheni - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: The text lists a fee of 200,000/= for other buildings not mentioned above and refers to a charge for changing the use of a house, building, or plot.
9. Majengo mengine ambayo hayajatajwa 200,000/= hapo juu 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 902 (Linaendelea) (c) Ada ya kubadili matumizi ya Nyumba au Jengo au Kiwanja. - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The provision lists different land- and property-related categories with corresponding amounts.
6. Nyumba ya makazi Ghorofa Kiwanda, bohari, ghala n.k Kituo cha Mafuta Kugawa ardhi Kubadili matumizi ya kiwanja 50,000/= 100,000/= 100,000/= 100,000/= 100,000/= 50,000/= SEHEMU YA KUMI NA TANO: USHURU WA VIROBA AU MAGARI YANAYOBEBA UDONGO AU MAWE YENYE MADINI YA DHAHABU Namba Aina ya chombo
Part
SEHEMU YA KUMI NA TANO: USHURU WA VIROBA AU MAGARI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists tax/charge amounts for clay or mineral stone loads and for trucks carrying clay or mineral stone under or over seven tons.
3. Kiroba cha udongo au mawe yenye madini Lori la udongo au mawe yenye madini chini ya tani saba Lori la udongo au mawe yenye madini zaidi ya tani saba Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 1,000/= kwa kiroba 10,000/= kwa safari moja 20,000/= kwa safari SEHEMU YA KUMI NA SITA: USHURU WA KARASHA NA MARUDIO Namba Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA KUMI NA SITA: USHURU WA KARASHA NA MARUDIO
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha viwango vya ushuru na fomu ya kukiri kosa, ikieleza pia kuwa mtu anaweza kulipa kiasi fulani badala ya kushtakiwa mahakamani kwa mamlaka ya Mkurugenzi.
5. Karasha Mialo Planti Kiroba Shimo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 150,000/= kwa mwaka 150,000/= kwa mwaka 150,000= kwa mwaka. 1,000/= kwa kiroba 20,000/= kwa mwezi __________ JEDWALI LA PILI ___________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 12) HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi ........................................................................nakiri KWA HIARI YANGU MIMI MWENYEWE mbele ya........................................................... ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba kwamba Tarehe ..........ya Mwezi .................. Mwaka................ nilitenda kosa kwa kukiuka masharti ya aya ya …….. ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga ya Mwaka 2023. 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 902 (Linaendelea) Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri niko tayari kulipa kiasi cha shilingi………………………………………………………………………. badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo Tarehe ......................ya Mwezi ................................Mwaka …… Jina: ..................................................... Saini: .................................................... MBELE YA: Jina……................................................ Wadhifa: .................................................. Saini: ....................................................... Tarehe: .................................................... 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 902 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Mkinga imegongwa kwenye sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga uliofanyika Tarehe 29 Mwezi 11 Mwaka. 2022 na Kushudiwa na Lakiri hiyo ikigongwa mbele ya :- ZAHARA A. MSANGI Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga AMANI J. KASINYA Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARI MCHENGERWA (MB) 31 Oktoba, 2023 Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais,( Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa 13
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mkinga ya Mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in