Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ya Mwaka 2023
This by-law is titled the Musoma District Council Fees and Charges By-Law of 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ya Mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This by-law is titled the Musoma District Council Fees and Charges By-Law of 2023. This bylaw applies throughout the entire area of the Musoma District Council. This section defines key terms used in the bylaw, including fees, revenue, the council, an authorized officer, the director, markets, bus/lorry stands, building minerals, and an agent. Halmashauri inaweza kutoza ada au ushuru kwa vibali, leseni, na huduma zake mbalimbali. Any person required to pay a fee or tax under this bylaw must pay it at the rates set out in the bylaw.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ya Mwaka 2023
Showing 48 of 48
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This by-law is titled the Musoma District Council Fees and Charges By-Law of 2023.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ya Mwaka 2023. - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the entire area of the Musoma District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the bylaw, including fees, revenue, the council, an authorized officer, the director, markets, bus/lorry stands, building minerals, and an agent.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii ; “Halmashauri”maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Musoma; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Seikali Na. 903 (Linaendelea) ya Wilaya ya Musoma au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “soko” maana yake ni eneo lililotengwa na linalomilikiwa na Halmashauri kwa matumizi ya soko; “stendi” maana yake ni eneo maalum lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutoza ada au ushuru kwa vibali, leseni, na huduma zake mbalimbali.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama la Kwanza la Sheria Ndogo hii. ilivyoainishwa katika Jedwali (2) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo ya (1), ada na ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Utozaji wa ada na ushuru Wajibu wa kulipa ada au ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: Any person required to pay a fee or tax under this bylaw must pay it at the rates set out in the bylaw.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Muda wa kukusanya ada au ushuru - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Fees or charges may be collected only during the stated hours, unless special permission is given by the Director.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1) na kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi, ada au 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Seikali Na. 903 (Linaendelea) Ukusanyaji wa madeni ushuru unaweza kukusanywa baada ya muda ulioainishwa. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yoyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au wakala na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: The council may recover unpaid fees or taxes through court, seize or hold the debtor’s movable property, and sell seized property with court approval after notice and waiting periods.
7.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda ulioainishwa. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini (30) kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya Mahakama. (4) Endapo mali zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama. zilizokamatwa (5) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (3) na (4), kabla ya Halmashauri kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma kuhusu kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea ama wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri au wakala. 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Seikali Na. 903 (Linaendelea) Uteuzi wa wakala - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala wa kukusanya ada au ushuru. Wakala huyo lazima akusanye na kupokea ada au ushuru katika eneo alilopangiwa, kwa viwango vilivyoainishwa, kwa kutumia mfumo wa kielektroniki, na kuwasilisha makusanyo yote kwa mujibu wa mkataba wa uwakala.
8.-(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya kuteua wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa aya ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa Makosa (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. - 9 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii, Afisa
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa madhumuni ya ada, ushuru, tathmini, leseni au kibali, ndani ya saa za kazi zilizoainishwa.
9. Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. - 10 Verify source ↗
Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anaweza kukosa ikiwa hatalipa ada au ushuru au akifanya vitendo vingine vilivyoorodheshwa dhidi ya ukusanyaji na utekelezaji wa ada au ushuru.
10. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au wakala kutekeleza majukumu yake chini ya Sheria Ndogo hii; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ada au ushuru; (e) atashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu au maelezo yoyote yatakayohitajika na 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Seikali Na. 903 (Linaendelea) Halmashauri; (f) atashindwa, atadharau, atakaidi au kukataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii; au ataidhinisha atatayarisha, kutengeneza au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri. (g) atatengeneza, Adhabu Kufifilisha kosa - 11 Verify source ↗
Mtu atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote chini
AI-assisted research summary: A person convicted of any offence under this by-law must pay a fine, serve imprisonment, or both.
11. Mtu atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote chini ya Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. - 12 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kutoza mtu aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii shilingi 200,000, ikiwa mkosaji anakiri kosa, anakubali kujaza fomu ya Jedwali la Pili, na kulipa ada au ushuru anaodaiwa.
12. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Kufutwa kwa Sheria Ndogo TS Na. 238 la 2019 - 13 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii inafuta Sheria Ndogo ya Ada
AI-assisted research summary: This section repeals the 2019 Musoma District Council fees and levies bylaw.
13. Sheria Ndogo hii inafuta Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ya Mwaka 2019. _____________ 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Seikali Na. 903 (Linaendelea) JEDWALI LA KWANZA ____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA: USHURU WA MIFUGO (MNADANI) Na.
Part
SEHEMU YA KWANZA: USHURU WA MIFUGO (MNADANI)
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha viwango vya ushuru kwa aina mbalimbali za mifugo na ndege.
4. Aina ya Mfugo Ngo’mbe Mbuzi au kondoo Nguruwe Mifugo jamii ya ndege Kiwango cha ushuru (Shilingi) 5,000/= kwa kila mmoja 2,000/= kwa kila mmoja 3,000/= kwa kila mmoja 500/= kwa kuku au bata au kanga kila mmoja SEHEMU YA PILI: USHURU WA MAZAO YA MAJINI Na. Aina ya Mfugo
Part
SEHEMU YA PILI: USHURU WA MAZAO YA MAJINI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ushuru wa asilimia 3 ya bei ya soko kwa kilo moja kwa bidhaa za samaki na mazao mengine ya majini.
4. Ushuru wa samaki Ushuru wa dagaa Ushuru wa bondo Ushuru wa mazao mengine ya majini Ushuru kwa kilo moja (kulingana na bei ya soko) Asilimia tatu (3) ya bei ya soko kwa kilo moja Asilimia tatu (3) ya bei ya soko kwa kilo moja Asilimia tatu (3) ya bei ya soko kwa kilo moja Asilimia tatu (3) ya bei ya soko kwa kilo moja SEHEMU YA TATU: USHURU WA KUSAFIRISHA MIFUGO NJE YA WILAYA Na. Aina ya Mfugo Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA TATU: USHURU WA KUSAFIRISHA MIFUGO NJE YA WILAYA
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section lists slaughter/meat inspection charges for different animals and sets a special chicken rate starting from a flock of 20.
4. Ng’ombe Mbuzi au kondoo Nguruwe Kuku au kanga au bata 2,000/= kwa kila mmoja. 1,000/= kwa kila mmoja. 500/= kwa kila mmoja. 5,000/= kuanzia kundi la kuku 20. 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Seikali Na. 903 (Linaendelea) SEHEMU YA NNE: ADA AU USHURU WA MACHINJIO NA UKAGUZI WA NYAMA Na. Aina ya Mfugo Kiwango cha Ushuru wa machinjio (Shilingi)
Part
SEHEMU YA NNE: ADA AU USHURU WA MACHINJIO NA UKAGUZI WA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada za mifugo na ada ya ukaguzi wa nyama kwa viwango tofauti kwa kila mnyama.
3. Ng’ombe 5,000/= kwa kila mmoja Mbuzi au kondoo 2,500/= kwa kila mmoja Nguruwe 3,000/= kwa kila mmoja Ada ya Ukaguzi wa Nyama (Shilingi) 2,500/= kwa kila mmoja 1,500/= kwa kila mmoja 2,000/= kwa kila mmoja SEHEMU YA TANO: ADA KWA WATOAJI HUDUMA YA TIBA ASILIA NA WAUZAJI WA DAWA ZA JADI Kibali kwa Mtoa Huduma Na.
Part
SEHEMU YA TANO: ADA KWA WATOAJI HUDUMA YA TIBA ASILIA NA
- 3 Verify source ↗
Maduka ya madawa ya asili
AI-assisted research summary: The text lists annual fee amounts for traditional medicine shops and begins a separate section on entertainment permit fees.
3. Maduka ya madawa ya asili Taasisi yoyote Kiwango cha ada kwa Mwaka (Shilingi) 50,000/= 100,000/= 80,000/= SEHEMU YA SITA: ADA YA KIBALI CHA BURUDANI Na. Burudani Kiwango cha Ada (Shilingi)
Part
SEHEMU YA SITA: ADA YA KIBALI CHA BURUDANI
- 1 Verify source ↗
Muziki, Sanaa za maonyesho, ngumi,
AI-assisted research summary: The text lists music, performing arts, and boxing with a charge of 25,000/= per event.
1. Muziki, Sanaa za maonyesho, ngumi, 25,000/= kwa tukio la - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Family ceremonies such as weddings and similar events are charged 20,000/= per event if they last up to two days, and 50,000/= per event if they last more than two days.
3. siku mazingaombwe Sherehe za kifamilia kama vile harusi, na ya zifananazo na hizo Sherehe za kifamilia kama vile na ya harusi, zifananazo na hizo kuzaliwa kuzaliwa siku 20,000/= kwa tukio kwa siku zisizozidi mbili (2) 50,000/= kwa tukio siku zaidi ya mbili (2) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section states an amount of 10,000/= per occurrence.
7. 10,000/= kwa tukio 10,000/= kwa tukio - 100 Verify source ↗
000/= kwa tukio
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada/ushuru wa maegesho na huduma za usafirishaji, pamoja na kiasi cha 100,000/= na 150,000/= kwa tukio.
100.000/= kwa tukio 150,000/= kwa tukio 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Seikali Na. 903 (Linaendelea) SEHEMUYA SABA: ADA AU USHURU WA MAEGESHO NA HUDUMA ZA USAFIRISHAJI Na. - 1 Verify source ↗
Gari au basi kubwa lenye uwezo wa
AI-assisted research summary: Vehicles or large buses that can carry more than 20 passengers are linked to a daily fee or tax of 3,000 shillings.
1. Gari au basi kubwa lenye uwezo wa Aina ya chombo cha Usafiri kubeba abiria zaidi ya 20 Kiwango cha ada au ushuru (Shilingi) 3,000/= kwa siku Teksi Pikipiki Bajaji - 7 Verify source ↗
Gari dogo lenye uwezo wa kubeba
AI-assisted research summary: Vipande hivi vinaonyesha viwango vya malipo ya kila siku na rejea ya mizigo chini ya tani saba.
7. Gari dogo lenye uwezo wa kubeba 1,000/= kwa siku 1,000/=kwa siku 500/= kwa siku 1,000/= kwa siku 500/= kila linapotoka stendi 2,000/= kwa siku mizigo chini ya tani saba - 8 Verify source ↗
Gari kubwa lenye uwezo wa kubeba
AI-assisted research summary: Gari kubwa linalobeba zaidi ya tani saba hulipa 2,500/=" kila linapotoka stendi.
8. Gari kubwa lenye uwezo wa kubeba 2,500/= kila linapotoka stendi mzigo zaidi ya tani saba - 9 Verify source ↗
Ushuru wa kulaza gari kwenye
AI-assisted research summary: The parking charge for a car is 1,000/= for one night.
9. Ushuru wa kulaza gari kwenye 1,000/= kwa usiku mmoja Maegesho SEHEMU YA NANE: ADA YA HUDUMA YA VIWANJA VILIVYOPIMWA Na.
Part
SEHEMU YA NANE: ADA YA HUDUMA YA VIWANJA VILIVYOPIMWA
- 1 Verify source ↗
Maombi ya kuoneshwa mipaka ya kiwanja cha
AI-assisted research summary: The listed service fee is Sh 30,000 for makazi (residential).
1. Maombi ya kuoneshwa mipaka ya kiwanja cha Aina ya huduma Kiwango cha ada (Shilingi) 30,000/= makazi - 2 Verify source ↗
Maombi ya kuoneshwa mipaka ya kiwanja cha
AI-assisted research summary: Application to have the boundaries of a plot shown, with a fee of 40,000/= for residential and business use.
2. Maombi ya kuoneshwa mipaka ya kiwanja cha 40,000/= makazi na biashara - 3 Verify source ↗
Maombi ya kuoneshwa mipaka ya kiwanja cha
AI-assisted research summary: The section refers to an application about showing the boundaries of a plot, and mentions 100,000/=.
3. Maombi ya kuoneshwa mipaka ya kiwanja cha 100,000/= huduma za jamii - 4 Verify source ↗
Kupimiwa eneo kutokana na maombi binafsi
AI-assisted research summary: Section 4 mentions a charge of 10% of survey costs.
4. Kupimiwa eneo kutokana na maombi binafsi Asilimia 10 ya gharama ya upimaji. SEHEMU YA TISA: USHURU KATIKA MASOKO, MITELA NA MAGULIO Na. Aina ya Biashara Kiwango cha Ushuru kwa siku (Shilingi)
Part
SEHEMU YA TISA: USHURU KATIKA MASOKO, MITELA NA MAGULIO
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists fees or charges for several market goods and activities, with amounts such as 1,000/= and 2,000/=.
7. Nguo au viatu Vileo Kuuza nyama choma Michezo mbalimbali katika soko Bidhaa za urembo Vyombo vya ndani Samani mbalimbali 1,000/= 2,000/= 2,000/= 2,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Seikali Na. 903 (Linaendelea) Biashara nyinginezo Meza za nafaka na samaki wabichi - 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: The provision appears to list charges or fees for activities such as mama lishe/baba lishe, produce like grains, fruits, and sugarcane, bringing goods to market, and loading or unloading cargo.
14. Mama lishe au baba lishe Nafaka au matunda au miwa kuingiza gari sokoni au mnadani Kupakia au kushusha mizigo 2,000/= 1,000/= 500/= 1,000/= 1,000/= 10,000/= 10,000/= SEHEMU YA KUMI: USHURU WA MAZAO YA MISITU Na. Aina
Part
SEHEMU YA KUMI: USHURU WA MAZAO YA MISITU
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Section 8 lists tax rates and charges for several product types, including percentage rates and fixed amounts in shillings.
8. Mbao ngumu Mbao za asili Mkaa (i) (ii) Kuni Nguzo au milunda Gogo Fito zisizo milunda Asali Nta Kiwango kwa asilimia (Shilingi) 5% ya bei ya mauzo 350/= kwa ubao mmoja 200/= kwa ubao mmoja 1,500/= kwa mita moja ya mraba 200/= kwa nguzo moja 2,000/= kwa gogo moja 2,000/= kwa mita moja ya mraba 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo SEHEMU YA KUMI NA MOJA: USHURU WA MAZAO YA BIASHARA NA CHAKULA Na. Aina ya Mazao
Part
SEHEMU YA KUMI NA MOJA: USHURU WA MAZAO YA BIASHARA NA
- 3 Verify source ↗
Mazao ya biashara (dengu, pamba
AI-assisted research summary: Section title on business crops, including lentils, cotton, and other crops.
3. Mazao ya biashara (dengu, pamba na mazao mengine) - 4 Verify source ↗
Mazao mengine ya chakula au
AI-assisted research summary: Mazao mengine ya chakula au biashara yanatozwa ushuru wa 3% ya bei ya ununuzi.
4. Mazao mengine ya chakula au biashara Kiwango cha Ushuru kwa asilimia (Shilingi) 3% ya bei ya ununuzi kwa gunia la kilo 100 3% ya bei ya ununuzi kwa tunda moja au kipimo kinachojulikana 3% ya bei ya manunuzi kwa gunia la kilo mia moja 3% ya bei ya kununulia kwa gunia la kilo 100 au kipimo kinachotumika 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Seikali Na. 903 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI NA MBILI: ADA AU USHURU WA MADINI YA UJENZI Aina ya huduma N a.
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI: ADA AU USHURU WA MADINI YA UJENZI
- 1 Verify source ↗
Maombi ya kibali cha kumiliki eneo la
AI-assisted research summary: Ada au ushuru wa mwaka wa kibali cha kuchimba madini ya ujenzi hutegemea ukubwa wa eneo.
1. Maombi ya kibali cha kumiliki eneo la kuchimba madini ya ujenzi kwa ajili ya uchimbaji Kiwango cha Ada au Ushuru kwa mwaka (Shilingi) 50,000/= kwa kila eneo chini ya Mita za Mraba 2,000 100,000/= kwa kila kibali kwa eneo zaidi ya Mita za Mraba 2,000 - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Mining tax applies for a single trip by a vehicle under seven tons, with different charges for different materials.
2. Ushuru wa madini kwa safari moja kwa gari yenye uzito wa chini ya tani saba a. b c. d. e. mawe moramu kokoto mchanga/udongo mchanga wa ziwani 6,000/= 5,000/= 6,000/= 5,000/= 50,000/= - 3 Verify source ↗
Ushuru wa madini kwa safari moja ya gari lenye uzito wa zaidi ya tani saba
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaweka ushuru wa madini kwa safari moja ya gari lenye uzito wa zaidi ya tani saba, kwa viwango tofauti kulingana na aina ya mzigo.
3. Ushuru wa madini kwa safari moja ya gari lenye uzito wa zaidi ya tani saba a. b. c. d. e. Mawe Moramu Kokoto Mchanga au udongo Mchanga wa ziwani 10,000/= 8,000/= 10,000/= 8,000/= 100,000/= SEHEMU YA KUMI NA TATU: USHURU WA MAEGESHO YA BOTI ZA BIASHARA ZA ABIRIA Na. Aina Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU: USHURU WA MAEGESHO YA BOTI ZA
- 1 Verify source ↗
Boti au Mtumbwi wenye uwezo
AI-assisted research summary: Boti au mtumbwi wenye uwezo wa kubeba watu 3 hadi 10 unaonyesha kiwango cha 1,000/= kwa siku.
1. Boti au Mtumbwi wenye uwezo 1,000/= kwa siku wa kubeba watu 3 hadi 10 - 2 Verify source ↗
Boti au Mtumbwi wenye uwezo
AI-assisted research summary: This provision refers to boats or canoes that can carry 11 to 20 people.
2. Boti au Mtumbwi wenye uwezo wa kubeba watu 11 hadi 20 - 3 Verify source ↗
Boti au Mtumbwi wenye uwezo
AI-assisted research summary: This text fragment lists a daily fee for boats or canoes carrying 21 or more people, and begins a new section on construction permit fees.
3. Boti au Mtumbwi wenye uwezo wa kubeba watu 21 na kuendelea 2,000/= kwa siku 3,000/= kwa siku SEHEMU YA KUMI NA NNE: ADA YA KIBALI CHA UJENZI Na. Aina ya kibali Kiwango cha Ada (Shilingi) A: Ada ya kibali cha ujenzi kwa maeneo yaliyopimwa
Part
SEHEMU YA KUMI NA NNE: ADA YA KIBALI CHA UJENZI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This provision lists fee amounts for different building types, including buildings with two or more floors, single-floor buildings, and business premises such as guest houses or hotels.
3. 100,000/= Ghorofa mbili na zaidi Ghorofa moja 50,000/= Nyumba ya biashara (Nyumba ya 100,000/= 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Seikali Na. 903 (Linaendelea) kulala wageni, Hoteli) - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha makundi mbalimbali ya majengo au vifaa pamoja na kiasi cha fedha kinachohusiana nayo.
11. (i) pampu moja (ii) pampu mbili na zaidi Nyumba ya makazi na biashara Nyumba ya makazi Ofisi binafsi, shule binafsi na hospitali 500,000/= 1,000,000/= 80,000/= 50,000/= 200,000/= au zahanati binafsi Ghala na bohari Jengo la viwanda Jengo kwa ajili ya taasisi ya fedha Mnara 300,000/= 2,000,000/= 200,000/= (a) Simu (b) Redio au mawasiliano au 500,000/= 1,000,000/= televisheni - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: Ada ya kuhuisha kibali ni 200,000/=.
13. Uzio Ada ya kuhuisha kibali 200,000/= Nusu ya ada ya kibali B: Ada ya Kibali cha Ujenzi kwa maeneo yasiyopimwa - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada za aina mbalimbali za majengo na ada za kubadili matumizi ya nyumba, jengo au kiwanja.
6. Ghorofa mbili na zaidi Ghorofa moja Kituo cha mafuta Nyumba ya biashara Nyumba za makazi Ofisi au Taasisi binafsi Ghala au Bohari Mnara: 100,000/= 80,000/= 1,000,000/= 20,000/= 15,000/= 100,000/= 150,000/= (i) Simu (ii) Redio au Mawasiliano au 500,000/= 1,000,000/= Televisheni Majengo mengine ambayo hayajatajwa hapo juu 200,000/= C: Ada ya kubadili matumizi ya Nyumba au Jengo au Kiwanja Nyumba ya makazi Ghorofa Kiwanda, bohari au ghala Kituo cha Mafuta Kugawa ardhi Kubadili matumizi ya kiwanja 50,000/= 100,000/= 100,000/= 100,000/ 100,000/ 50,000/= 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Seikali Na. 903 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI NA TANO: USHURU WA VIROBA AU MAGARI YANAYOBEBA UDONGO AU MAWE YENYE MADINI YA DHAHABU Na.
Part
SEHEMU YA KUMI NA TANO: USHURU WA VIROBA AU MAGARI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha viwango vya ushuru kwa kiroba cha udongo au mawe yenye madini na kwa lori kulingana na uzito.
3. Aina ya chombo Kiroba cha udongo au mawe yenye madini Lori la udongo au mawe yenye madini chini ya tani saba Lori la udongo au mawe yenye madini zaidi ya tani saba Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 1,000/= kwa kiroba 10,000/= kwa safari moja 20,000/= kwa safari SEHEMU YA KUMI NA SITA: USHURU WA KARASHA NA MARUDIO Na. Aina ya Huduma Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI NA SITA: USHURU WA KARASHA NA MARUDIO
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: The text lists several fees/amounts, including 150,000/= per year, 1,000/= per kiroba, and 20,000/= per month, but the surrounding rule is not clear from this fragment.
5. Karasha Mialo Planti Kiroba Shimo 150,000/= kwa mwaka 150,000/= kwa mwaka 150,000= kwa mwaka 1,000/= kwa kiroba 20,000/= kwa mwezi SEHEMU YA KUMI NA SABA: ADA YA LESENI YA VYOMBO VYA USAFIRI Na.
Part
SEHEMU YA KUMI NA SABA: ADA YA LESENI YA VYOMBO VYA USAFIRI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka fomu ya kukiri kosa na kufifilisha kosa, ikijumuisha kukubali kulipa ada/ushuru unaodaiwa pamoja na faini.
2. Chombo cha Usafiri Ada ya leseni ya pikipiki ya kubeba abiria au mizigo ya magurudumu mawili au matatu Ada ya Leseni ya Teksi au Gari ndogo ya abiria Ada ya Usajili Bei elekezi ya LATRA Bei elekezi ya LATRA _______________ 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Seikali Na. 903 (Linaendelea) JEDWALI LA PILI _______________ (Limetungwa chini ya aya ya 12) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi …………………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, kwamba mnamo tarehe ………… ya mwezi………….. Mwaka ……… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya ……………ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ya Mwaka, 2023. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri, niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe …………………..ya Mwezi …………… Mwaka ………………… Jina: …………………………………………. Saini: ……………………………. MBELE YA: Jina: …………………………………… Wadhifa: ……………………………………. Saini: ……………………………….. Tarehe: ……………………………… 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo La Seikali Na. 903 (Linaendelea) Lakari ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya Musoma uliofanyika mnamo tarehe 16/03/2022 mbele ya :- MSONGELA N. PALELA Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma MH. CHARLES M. NYAMBITA Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya Musoma NAKUBALI Dodoma MOHAMED OMARI MCHENGELWA (MB) 31 Oktoba, 2023 Waaziri wa Nchi – Ofisi ya Rais, Tawala za Mikao Na Serikali za Mitaa 14
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ya Mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in