Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba ya Mwaka 2023
This section gives the short title of the by-law.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba ya Mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the by-law. This provision says the by-law applies throughout the whole area of Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba. This section defines key terms used in the bylaw, including fees, permits, the council, markets, stations, levies, officers, and agents. Halmashauri inatoza ada na ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake kwa viwango vya Jedwali la Kwanza, na malipo hulipwa kabla au wakati wa kupokea huduma. A person who is required to pay fees or tax under this by-law must pay them at the rates set in the by-law.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba ya Mwaka 2023
Showing 38 of 38
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the by-law.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba ya Mwaka 2023. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This provision says the by-law applies throughout the whole area of Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the bylaw, including fees, permits, the council, markets, stations, levies, officers, and agents.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “afisa mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmshauri ya Wilaya ya lengo Mlimba; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea) “mhudumu” maana yake ni mtu anayehudumia wateja katika baa, hoteli, mgahawa, mama lishe au baba lishe; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “soko” maana yake ni eneo au soko lililotengwa na linalomikiwa na Halmashauri kama soko; “stendi” maana yake ni eneo maalum lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo hii itajumuisha pia kituo cha kupaki malori na vituo vingine vidogo vidogo vya kupakia na kushusha abiria vya Halmashauri; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; na “wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ada na ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza ada na ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake kwa viwango vya Jedwali la Kwanza, na malipo hulipwa kabla au wakati wa kupokea huduma.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (2) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Utozaji wa ada na ushuru Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: A person who is required to pay fees or tax under this by-law must pay them at the rates set in the by-law.
5. Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea) Muda wa kukusanya ada na ushuru Utoaji wa stakabadhi za malipo Ukusanyaji wa madeni - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Ada na ushuru unaweza kukusanywa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni, na ukusanyaji nje ya muda huo unaruhusiwa kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri au wakala kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. - 7 Verify source ↗
(1) Ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa
AI-assisted research summary: Watu wanaolipa ada au ushuru lazima walipe kwa Halmashauri au Wakala, waombe na wakague stakabadhi ya malipo, na hawawezi kutumia hoja ya kutopata stakabadhi kama utetezi.
7.-(1) Ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, utalipwa kwa Halmashauri au kwa Wakala ambaye atatoa stakabadhi ya kielektroniki kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (2) Utakuwa ni wajibu wa kila mlipa ada au ushuru kudai na kuhakiki stakabadhi ya malipo kulingana na kiasi cha fedha alicholipa. (3)Utakuwa sio utetezi chini ya Sheria Ndogo hii mtu kudai kuwa amelipa ada au ushuru lakini hakupewa stakabadhi ya kielektroniki. - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutumia mahakama, kukamata mali, na kuuza mali za mdaiwa ili kukusanya ushuru usiolipwa; kabla ya kuuza, inapaswa kutoa taarifa ya siku saba.
8.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za wadaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Halmashauri baada ya kupata idhini ya Mahakama itakuwa na mamlaka ya kuuza mali za mdaiwa kwa njia ya mnada baada ya siku thelathini kupita tangu 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea) kukamatwa kwa mali za mdaiwa. (4) Halmashauri baada ya kupata kibali cha Mahakama itakuwa na uwezo wa kuuza mali zilizokamatwa ambazo kabla kuharibika hazijaharibika zinaweza haraka kwa Ushuru wa nyumba za kulala wageni Uteuzi wa wakala (5) Bila kuathiri masharti ya aya hii, kabla ya kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Halmashauri itatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote ile itakayotokea ama wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri au wakala - 9 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki wa nyumba ya kulala wageni
AI-assisted research summary: Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni lazima alipe asilimia 10 ya mapato ya mgeni aliyesajiliwa na awasilishe ushuru wa nyumba ya kulala wageni kwa Halmashauri kila mwezi ndani ya siku 7 baada ya mwezi wa malipo kuisha.
9.-(1) Kila mmiliki wa nyumba ya kulala wageni anapaswa kulipa asilimia kumi ya mapato yaliyolipwa na mgeni aliyesajiliwa. (2) Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni atawajibika kuwasilisha ushuru wa nyumba ya kulala wageni kila mwezi kwa Halmashauri ndani ya siku saba tangu kumalizika kwa mwezi wa malipo. - 10 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala wa kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake.
10. -(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa aya ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. Mamlaka ya - 11 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii, afisa
AI-assisted research summary: Afisa mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo au chombo cha usafiri wakati wa mchana kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali chini ya Sheria Ndogo hii.
11. Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii, afisa 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea) afisa mwidhiniwa Ulipaji wa gharama za kuhifadhi mzigo au chombo kilichokamat wa Fidia ya gharama za uendeshaji wa zoezi. Makosa na adhabu jengo au mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii - 12 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza kiasi cha asilimia tano
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutoza asilimia 5 ya thamani ya chombo kilichobeba mzigo kwa kila siku ikiwa mzigo unakamatwa ukisafirishwa bila kulipa ada au ushuru.
12.-(1) Halmashauri itatoza kiasi cha asilimia tano ya thamani ya chombo kilichobeba mzigo kwa kila siku kwa mzigo kukamatwa ukisafirishwa bila ya kulipa ada au ushuru. ulioshikiliwa baada ya (2) Chombo au mzigo husika usipokuwa umelipiwa kwa muda wa siku saba Halmashauri itauza mzigo au chombo hicho kwa njia ya mnada ili kufidia gharama zake. - 13 Verify source ↗
Endapo anayetakiwa kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: Ikiwa mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru atakwepa kulipa, atalazimika kulipa gharama za Halmashauri zilizotumika wakati wa kumkamata.
13. Endapo anayetakiwa kulipa ada au ushuru atakwepa kulipa, gharama zitakuwa zimetumika na Halmashauri wakati wa kumkamata, mkosaji atawajibika kuzilipa. ambazo zote - 14 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Anyone who does the listed acts under section 14 commits an offence and, if convicted, may face a fine, imprisonment, or both.
14.-(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi au afisa mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ushuru na zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri; au (e) atashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu, au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri; 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea) (f) atashindwa, atadharau, atakaidi au kukataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii; (g) atatengeneza, ataidhinisha atatayarisha, kutengeneza au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; au (h) atatumia chombo chochote kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada. (2) Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti yoyote katika Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. Kufifilisha kosa - 15 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mhalifu kiasi kisichozidi shilingi laki mbili, akikiri kosa, kujaza fomu maalum, na kulipa ada au ushuru anaodaiwa.
15. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. _____________ JEDWALI LA KWANZA _____________ (Limetengezwa chini ya aya ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA: USHURU WA MADINI YA UJENZI Namba. Aina ya Huduma Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KWANZA: USHURU WA MADINI YA UJENZI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Kifusi kinatajwa kuwa na ada ya 2,500/= kwa mita moja ya ujazo chini ya kibali cha kuchimba madini ya ujenzi.
3. Mchanga au kokoto za mawe Kibali cha kuchimba madini ya ujenzi Kifusi 2,500/= kwa mita moja ya ujazo Hakuna Hakuna 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea) - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: A permit for making clay bricks or burning a kiln costs Sh 5,000 when production reaches 10,000 bricks per year.
4. Kibali cha kufyatua tofali za udongo au kuchoma tanuru 5,000/= kuanzia matofali 10,000 kwa mwaka. SEHEMU YA PILI: ADA YA KUKODI MALI ZA HALMASHAURI NA VIFAA VYA HALMASHAURI Namba Aina ya kifaa Kiwango cha ada au ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA PILI: ADA YA KUKODI MALI ZA HALMASHAURI NA VIFAA VYA
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists council facility charges and inspection fees, including daily rates for halls, chairs, tables, stalls, and other council properties.
7. (i) Kumbi za Halmashauri. (a)Ukumbi mkubwa (b)Ukumbi mdogo (ii) Viti vidogo (iii) Viti vya chuma Meza ndogo Meza kubwa Vibanda vya Halmashauri kuzunguka stendi kuu Vibanda vya biashara sokoni Majengo mengine ya Halmashauri (a)500,000/= kwa siku moja (b) 200,000/= kwa siku moja 200/=kwa kimoja kwa siku 300/= kwa kimoja kwa siku 300/= kwa kimoja kwa siku moja 500/= kwa kimoja kwa siku moja Kwa mujibu wa mkataba Kwa mujibu wa mkataba Kwa mujibu wa mkataba SEHEMU YA TATU: USHURU WA UKAGUZI WA NYAMA Namba. Aina ya mfugo Kiwango cha ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA TATU: USHURU WA UKAGUZI WA NYAMA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This fragment lists market usage tax amounts for livestock, shown as daily shilling charges.
3. Ng’ombe Mbuzi au kondoo Nguruwe 3000/= kwa siku 1000/= kwa siku 2000/= kwa siku SEHEMU YA NNE:USHURU YA UTUMIAJI WA SOKO Namba Aina ya bidhaa Kiwango cha ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA NNE:USHURU YA UTUMIAJI WA SOKO
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: There is a daily charge of 300/= for a table (“meza”) in the section on auction/market taxes for people without small entrepreneur IDs.
1. meza 300/=kwa siku SEHEMU YA TANO: USHURU WA MINADA AU MAGULIO KWA WASIO NA VITAMBULISHO VYA WAJASILIAMALI WADOGO Namba. Aina ya Bidhaa
Part
SEHEMU YA TANO: USHURU WA MINADA AU MAGULIO KWA WASIO NA
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: The provision lists ushuru amounts per item for cattle, sheep, goats, other animals, and industrial/workshop-made goods.
5. Ng’ombe Kondoo Mbuzi Wanyama aina nyingine Bidhaa zinazotengenezwa viwandani au karakana 7 Kiwango cha ushuru (Shilingi) 4,000/= kwa kila mmoja 1000/= kwa kila mmoja 1000/= kwa kila mmoja 1,000/= kwa kila mmoja 1000/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea) - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: The text lists fees for certain sellers, equipment hire charges, and a heading for construction permits.
5. 6 7 Wauza mitumba Wauza pombe za kisasa na vinywaji baridi Wauza nafaka Mifugo jamii ya ndege Pombe za asili Wauza dawa za asili Wauza vipuri vya baiskeli au pikipiki au magari Wauza dagaa Wauza samaki Wauza chumvi,nyama na mboga za majani Wauza vyungu Wauza vyombo vya nyumbani Wauza viatu Wauza nguo mpya Mafundi baiskeli Bidhaa nyingine ambazo hazijatajwa Mafundi baiskeli Bidhaa nyingine ambazo hazijatajwa 1000/= 1,000/= 1000/= kwa kila gunia 1000/= kwa tenga 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= SEHEMU YA SITA: ADA YA UKODISHAJI MITAMBO Aina ya kifaa Gari aina ya Isuzu Tipper lenye uwezo wa tani 10 Gari aina ya Isuzu Tipper lenye uwezo wa tani 7 Kiwango cha Ada kwa siku (Shilingi) 2500/= kwa kila kilometa Isiyopungua 150,000/= Isiyopungua 120,000/= Lori la mizigo tani 3.5 na kreni Mashine ya kuchanganyia saruji 80,000/= 50,000/= Mashine ya kutoa hewa kwenye sakafu Mfumo wa nafasi Kimataifa (GPS) Vifaa vya kufyatulia tofari Kwa mujibu wa mkataba Kwa mujibu wa mkataba SEHEMU YA SABA: VIBALI VYA UJENZI Namba.
Part
SEHEMU YA SABA: VIBALI VYA UJENZI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Hii ni jedwali la ada za ujenzi na vibali mbalimbali kulingana na aina ya jengo au shughuli.
1. Aina ya ujenzi Kiwango cha Ada (Shilingi) Kiwanja cha makazi 30,000/=kwa ujenzi wa nyumba moja na 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea) Makazi na Biashara Taasisi zisizo za serikali kwa nyumba ambazo sio ghorofa Kiwanda kikubwa Kiwanda cha uzalishaji Kiwanda kidogo Kituo cha mafuta Ukarabati Uzio (a)Taasisi (b)Binafsi Hifadhi ndogo,uwanja wa michezo,hoteli ya utalii ambayo sio ghorofa Ghorofa Ghorofa 1-3 Ghorofa 4-6 Ghorofa 6 na kuendelea inayoongezeka italipiwa 20,000/= 50,000/= 150,000/= 300,000/= 150,000/= 150,000/= 330,000/= 15,000/= 1000/= kwa mita moja ya mzunguko. 1000/=kwa mita moja ya mzunguko. 200,000/= 150,000/= 200,000/= 75,000/= kwa kila ghorofa inayoongezeka 75,000/= 1,000,000/= Kuhuisha kibali cha ujenzi wa ghorofa Kusimika minara ya mawasiliano Kuhuisha kibali cha ujenzi usio ghorofa Malipo yatakuwa sawa na Mnara uliosimikwa eneo la mtu binafsi Ghala au bohari Kubadili matumizi ya Ardhi Sehemu ya kuoshea magari Eneo la mapumziko yaliyolipwa 150,000/. 150,000/= 200,000/= 30,000/= kwa mwaka 100,000/= kwa mwaka
Part
Sehemu ya kuoshea magari
- 20 Verify source ↗
Section 20
AI-assisted research summary: This section is about parking tax for parking areas owned by the council.
20. SEHEMU YA NANE: USHURU WA MAEGESHO YANAYOMILIKIWA NA HALMASHAURI Namba
Part
SEHEMU YA NANE: USHURU WA MAEGESHO YANAYOMILIKIWA NA
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Hii ni jedwali la ushuru wa siku kwa aina mbalimbali za magari.
5. Aina ya gari Gari lenye uwezo wa kubeba uzito wa tani 10 Lori lenye uwezo wa kubeba zaidi ya tani 10 Gari dogo Pikipiki ya magurudumu mawili Pikipiki ya magurudumu matatu 9 Kiwango cha ushuru (Shilingi) 2500/= kwa siku 3000/= kwa siku 1000/= kwa siku 500/= kwa siku 500/= kwa siku Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea) - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This provision lists daily stand/storage charges for different vehicle types.
9. Gari dogo ya mizigo Ushuru wa kutunza gari lililokamatwa au kuzuiliwa Ushuru wa kutunza pikipiki iliyokamatwa au kuzuiliwa Guta 1500/= kwa siku 20,000/= kwa siku 10,000/= kwa siku 500/= kwa siku SEHEMU YA TISA: USHURU WA STENDI Aina ya chombo cha usafiri Kiwango cha ushuru (Shilingi) Basi kubwa Basi la kati Gari dogo la abiria Gari dogo Gari la mizigo: lenye uwezo wa kubeba tani 1 hadi 3 lenye uwezo wa kubeba tani 4 hadi 10 lenye uwezo wa kubeba tani 11 na zaidi Pikipiki ya magurudumu matatu 3000/= kwa siku 2000/= kwa siku 500/= kwa siku 500/= kwa siku 1000/= kwa siku 2000/= kwa siku 2000/= kwa siku 300/= kwa siku Pikipiki ya magurudumu mawili 200/= kwa siku Namba .
Part
SEHEMU YA TISA: USHURU WA STENDI
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This provision is titled as a market tax section for produce or goods from the market.
7. SEHEMU YA KUMI: USHURU WA SOKO KWA MAZAO AU BIDHAA ZITOKAZO SOKONI Namba.
Part
SEHEMU YA KUMI: USHURU WA SOKO KWA MAZAO AU BIDHAA ZITOKAZO
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The section sets charges for listed crops and dagaa, including bag-based fees for loads over one ton and a 3% charge for dagaa based on the day’s price.
6. Aina ya Mazao au Bidhaa Mahindi Maharage Muhogo Mtama Mpunga Dagaa kiwango cha ushuru (Shilingi) 1000/= kwa kila gunia kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja 1500/= kwa kila gunia kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja 500/= kwa kila gunia kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja 1500/= kwa kila gunia kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja 1000/= kwa kila gunia kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja. 3% ya bei ya dagaa ya siku husika 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea) - 21 Verify source ↗
Section 21
AI-assisted research summary: The provision lists fees or charges for the listed goods and services, including some amounts by bag, basket, tonne, or a 3% charge based on the day’s fish price.
21. Samaki na Mazao ya Samaki Vitunguu Alizeti Kabeji au machungwa au miwa, nanasi au ndizi au parachichi Viazi Hoho Karanga Njegere za maganda Pumba za mahindi Pumba za Mpunga Mashudu ya Alizeti Nyanya Mchele Unga Bidhaa nyingine ambazo hazijatajwa 3% ya bei ya samaki ya siku husika. 1500/= kwa kila gunia kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja 1000/= kwa kila gunia kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja 7000/= kwa tani moja 1500/= kwa kila gunia kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja 500/= kwa tenga kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja 2500/= kwa kila gunia kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja 1000/= kwa kila gunia kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja 500/= kwa kila gunia 500/= kwa kila gunia 1000/= kwa kila gunia 500/= kwa kila tenga kwa mzigo wenye zaidi ya tani ya moja 2000/= kwa kila gunia kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja 500/= kwa kila gunia kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja 3,000/= kwa kila gunia kwa mzigo wenye zaidi ya tani moja SEHEMU YA KUMI NA MOJA: ADA AU USHURU WA SHUGHULI ZA BURUDANI, UTAMADUNI, SANAA NA MATANGAZO (Ada zote katika kipengele (1) - (7) zitalipwa kwa pamoja na mwenye sherehe) Namba. Aina ya Huduma Kiwango cha Ada au Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI NA MOJA: ADA AU USHURU WA SHUGHULI ZA
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The section lists fees for event-related services and hall use, with amounts that vary by service and hall capacity.
4. Mshereheshaji 20,000/= kwa tukio Mpambaji wa kumbi za burudani Mmiliki wa kumbi Matangazo ya barabarani ya sherehe 20,000/= kwa tukio -ukumbi unaochukua watu 100 hadi 200 30,000/=kwa siku -ukumbi unaochukua watu 300 hadi 500 50,000/= kwa siku 40,000/= kwa tukio moja kwa siku 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea) - 17 Verify source ↗
Section 17
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada mbalimbali za vibali, matangazo, na shughuli za burudani au biashara kwa siku, tukio, mwezi, au mwaka.
17. Mpishi wa chakula 15,000/= kwa tukio moja kwa siku Picha jongevu na mnato 5,000/= kwa tukio moja kwa siku. Matangazo ya kuuza bidhaa zinazopungua bei Maombi ya kibali cha kufanya Tiba za Jadi Tamasha 30,000/= kwa tangazo 30,000/= kwa siku 100,000/= kwa tukio Fete na bahati nasibu 20,000/= kwa siku Mnada (a) mali isiyohamishika (b)mali nyinginezo Kupiga mkubwa Kupiga muziki ukumbi mdogo muziki ukumbi Matangazo ya biashara kwa kutumia vipaza sauti au vipeperushi au vitambaa na au fani za sanaa ambazo hazijatajwa hapo juu. Kumbi za picha mjongeo na mpira 1% ya kuuzia 40,000/= 30,000/= kwa siku 30,000/= kwa siku 30,000/= kwa siku. -Ukumbi Mkubwa 30,000/= kwa mwezi -Ukumbi wa Kati 20,000/= kwa mwezi -Ukumbi Mdogo Mjini 15,000/= kwa mwezi -Ukumbi Mdogo Vijijini 10,000/= kwa mwezi 300,000/= kwa Mwaka - 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha mada ya ushuru wa kulaza vyombo vya usafiri katika maeneo yanayomilikiwa na halmashauri.
18. Mashine ya bahati nasibu SEHEMU YA KUMI NA MBILI: USHURU WA KULAZA VYOMBO VYA USAFIRI MAENEO YANAYOMILIKIWA NA HALMASHAURI Namba.
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI: USHURU WA KULAZA VYOMBO VYA USAFIRI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section lists daily transport tax rates for different vehicle types and introduces a registration-fee section for vehicles.
4. Aina ya chombo cha usafiri Kiwango cha ushuru (Shilingi) Basi kubwa Basi dogo Gari ndogo Gari dogo la mizigo 3000/= kwa siku 2000/= kwa siku 1000/= kwa siku 1500/= kwa siku SEHEMU YA KUMI NA TATU: ADA YA USAJILI WA VYOMBO VYA USAFIRI Namba aina ya gari Kiwango cha Ada (Shilingi) 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea)
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU: ADA YA USAJILI WA VYOMBO VYA USAFIRI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The text lists annual amounts of 50,000/= and 30,000/= for Teksi/Bajaji and then introduces a section on agricultural produce tax.
2. Teksi Bajaji 50,000/= kwa Mwaka 30,000/= kwa Mwaka SEHEMU YA KUMI NA NNE: USHURU WA MAZAO YA KILIMO Namba.
Part
SEHEMU YA KUMI NA NNE: USHURU WA MAZAO YA KILIMO
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka ushuru kwa mazao ya misitu kwa viwango tofauti, ikiwemo asilimia ya bei ya kununulia na ada za kiasi maalum kwa bidhaa fulani.
2. Aina ya Mazao Mazao ya biashara Mazao ya chakula Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Asilimia tatu (3%) ya bei ya kununulia Asilimia tatu (3%) ya bei ya kununulia. SEHEMU YA KUMI NA TANO: USHURU WA MAZAO YA MISITU Aina ya Mazao Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Asilimia tano (5%) ya bei ya Aina zote za mazao ya Misitu kununulia isipokuwa mitiki. Mbao laini (saiplas au misindano) 150/=kwa kila ubao Mbao laini (mwembe,mnazi, Sederela) 400/=kwa kila ubao Mkaa gunia Mbao za miti ya asili Kusafirisha mabanzi ya mitiki 1000/=kwa kila gunia 1,000/=kwa kila ubao (a)chini ya tani moja 10,000/= (b)Tani 1hadi3--30,000/= (c)Tani 4 hadi 7--40,000/= (d) Zaidi ya Tani 7--45,000/= Asilimia 20 ya Tozo 5,000/=kwa mita moja ya ujazo 5,000/=kwa tera 200/=kwa kila lita 200/=kwa kilo 50/=kwa Mwanzi Kusajili au kuchakata au kusafirisha biashara ya mazao ya Misitu Miti ya mitiki Kusafirisha kuni Asali Nta Mianzi Namba.
Part
SEHEMU YA KUMI NA TANO: USHURU WA MAZAO YA MISITU
- 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: This section is titled “Section 12” and refers to a toilet and bathroom service levy.
12. SEHEMU YA KUMI NA SITA: USHURU WA HUDUMA YA CHOO NA BAFU Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA SITA: USHURU WA HUDUMA YA CHOO NA BAFU
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The text lists ushuru (tax/fee) amounts for certain services, including 200/= and 300/= per service.
2. Choo Bafu Aina ya huduma Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 200/= kwa huduma 300/= kwa huduma SEHEMU YA KUMI NA SABA: USHURU WA NYUMBA YA KULALA WAGENI Namba Aina ya huduma
Part
SEHEMU YA KUMI NA SABA: USHURU WA NYUMBA YA KULALA WAGENI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Wageni wanaolipia nyumba ya kulala wanatozwa ushuru wa asilimia 10 ya gharama wanayolipa.
1. Ushuru wa Nyumba ya Kulala Kiwango cha ushuru (Shilingi) Asilimia 10 ya gharama anayolipa 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea) Wageni mgeni ___________ JEDWALI LA PILI ___________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 15) HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi ........................................................................nakiri KWA HIARI YANGU MIMI MWENYEWE mbele ya........................................................... ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba kwamba Tarehe ..........ya Mwezi .................. Mwaka................ nilitenda kosa kwa kukiuka masharti ya aya ya ……..ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba ya Mwaka 2023. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri niko tayari kulipa kiasi cha shilingi………………………………………………………………………. badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo Tarehe ......................ya Mwezi ................................Mwaka …… Jina: ..................................................... Saini: .................................................... MBELE YA: Jina……............................................... Wadhifa: .................................................. Saini: .................................................. Tarehe: ............................................... 14 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba Tangazo La Serikali Na. 905 (linaendelea) Lakiri la Halmashauri ya Mlimba imegongwa kwenye sheria Ndogo hii kufutia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba uliofanyika Tarehe 27 Mwezi Oktoba Mwaka 2021 na Kushudiwa na Lakiri hiyo ikigongwa mbele ya :- ENG. STEPHANO B. KALIWA Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba INNOCENT SIMON MWANGASA Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARI MCHENGERWA (MB) 31 Oktoba, 2023 Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais, (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 15
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Mlimba ya Mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in