Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya ya Mwaka 2023
This section says the bylaw is called the Rorya District Council Environmental Sanitation Bylaw, 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya ya Mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section says the bylaw is called the Rorya District Council Environmental Sanitation Bylaw, 2023. This provision says the by-law applies throughout the entire area of Rorya District Council. This section defines key terms used in the by-law, including officers, waste, residents, the Council, the Director, and waste bins. Kila mkazi au mmiliki wa nyumba, kiwanja au biashara lazima aweke eneo lake safi, ashughulikie taka, ajenge na atumie choo imara, aondoe mazalia ya wadudu, na ahakikishe maji ya kunywa ni salama. Owners of houses, factories, or business premises must have a wastewater pit, empty it whenever it fills, and must not discharge wastewater into roads, alleys, rivers, water sources, open areas, storm drains, or other unauthorised places.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya ya Mwaka 2023
Showing 19 of 19
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section says the bylaw is called the Rorya District Council Environmental Sanitation Bylaw, 2023.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya ya Mwaka 2023. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This provision says the by-law applies throughout the entire area of Rorya District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Rorya. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including officers, waste, residents, the Council, the Director, and waste bins.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote atakayeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chakula” maana yake ni kitu chochote kinacholiwa au kunywewa na binadamu isipokuwa madawa; “chanzo cha maji” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa chini ya Sheria ya Usimamizi wa Vyanzo vya Maji; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Rorya; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya au Afisa yeyote atakayeteuliwa ya Mkurugenzi; kutekeleza majukumu “kizimba cha taka” maana yake ni kizimba cha taka au 1 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Tangazo La Serikali Na. 912 (Linaendelea) chombo maalum kilichowekwa na Halmashauri kwa ajili ya jamii kuhifadhia taka ngumu kabla ya kuzisafirishwa kuu lililoidhinishwa na Halmashauri; kwenye jalala hadi “mkazi” maana yake ni mtu yeyote ambaye kwa kawaida anaishi kwenye eneo lililoko ndani ya Halmashauri na ambaye ana kaya au anaishi katika kaya au taasisi iliyopo katika eneo la Halmashauri; “maji taka” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; Sura ya 191 “taka” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; “taka ngumu” Maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira. Wajibu wa kufanya usafi wa mazingira - 4 Verify source ↗
(1) Itakuwa ni wajibu wa kila mkazi anayeishi
AI-assisted research summary: Kila mkazi au mmiliki wa nyumba, kiwanja au biashara lazima aweke eneo lake safi, ashughulikie taka, ajenge na atumie choo imara, aondoe mazalia ya wadudu, na ahakikishe maji ya kunywa ni salama.
4.-(1) Itakuwa ni wajibu wa kila mkazi anayeishi au anayemiliki eneo la nyumba, kiwanja au biashara kuhakikisha kwamba: (a) mazingira yanayozunguka eneo lake yanakuwa safi wakati wote; (b) taka zote zinakusanywa na kufukiwa au itakayoelekezwa na kuondolewa kwa njia Halmashauri; (c) anachimba shimo la kutupia taka litakalokuwa na urefu usiopungua kimo cha futi tatu na upana usiopungua futi mbili; (d) anajenga choo imara cha kudumu kwa matofali na kuezeka kwa bati, tembe, majani, vigae chenye mlango unaofunga na kufunguka na kuhakikisha kwamba choo kinatumika wakati wote na kuwe na chombo cha maji tiririka na sabuni ya kunawa mikono; (e) eneo lake halina mazalia ya mbu, panya na wadudu wengine hatarishi; (f) maji yote yanayotumika kwa kunywa ni safi na salama bila kujali yametoka kwenye chanzo 2 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Tangazo La Serikali Na. 912 (Linaendelea) Uhifadhi wa maji taka gani cha maji. (2) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya aya ngodo ya (1) atakuwa ametenda kosa. - 5 Verify source ↗
(1)Kila mmiliki wa nyumba, kiwanda au eneo la
AI-assisted research summary: Owners of houses, factories, or business premises must have a wastewater pit, empty it whenever it fills, and must not discharge wastewater into roads, alleys, rivers, water sources, open areas, storm drains, or other unauthorised places.
5.-(1)Kila mmiliki wa nyumba, kiwanda au eneo la biashara anatakiwa: kuhakikisha kuwa ana karo la kuhifadhia maji taka; kunyonya maji taka kila wakati karo linapojaa; na kutotiririsha au kutoelekeza maji kutoka vyooni, bafuni, karoni au viwandani kwenda barabarani, uchochoroni, mtoni, kwenye vyanzo vya maji, maeneo ya wazi, kwenye mfereji wa maji ya mvua au sehemu yoyote ambayo haijatenmgwa kwa ajili ya kuhifadhia maji taka. (2) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya aya ndogo ya (1) atakuwa ametenda kosa. Utengenezaji na uuzaji wa vyakula - 6 Verify source ↗
Mtu yeyote anayetengeneza, kuchoma, kupika,
AI-assisted research summary: Anyone who makes, burns, cooks, boils, or sells food in the council area must follow health rules and have a permit from the council health officer.
6. Mtu yeyote anayetengeneza, kuchoma, kupika, kuchemsha au kuuza chakula cha aina yoyote katika eneo la Halmashauri atatakiwa: (a) kutimiza masharti na kanuni za afya; na (b) kuwa na kibali kutoka kwa Afisa Afya wa Halmashauri. Upimaji wa afya - 7 Verify source ↗
(1) Itakuwa ni wajibu wa kila mhudumu wa
AI-assisted research summary: Wafanyakazi fulani wa chakula lazima wapime afya kila baada ya miezi sita; mmiliki wa biashara ya chakula anayemruhusu mhudumu kufanya kazi bila kipimo anaweza kutozwa faini isiyozidi elfu hamsini.
7.-(1) Itakuwa ni wajibu wa kila mhudumu wa hoteli, mgahawa, baa, nyumba ya kulala wageni, bucha, muoka mikate au mtu anayeshughulika na kuuza vyakula vilivyopikwa kuhakikisha kwamba anapima afya yake kila baada ya miezi sita. (2) Mmiliki yeyote wa biashara ya chakula atakayeruhusu mhudumu wake kufanya kazi bila kupimwa afya yake atawajibika kulipa faini isiyozidi elfu hamsini. Uwezo wa Afisa Mwidhiniwa - 8 Verify source ↗
(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa ana uwezo wa kuingia eneo lolote ndani ya Halmashauri katika saa maalum, kutoa ushauri au maagizo kuhusu makazi hatarishi, kusimamisha shughuli na kukamata vifaa wakati wa mlipuko wa ugonjwa, na kufunga au kuagiza kufungwa kwa biashara au jengo lisilokaguliwa au linalokiuka masharti ya afya.
8.-(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kuingia katika eneo lolote ndani ya Halmashauri wakati wa kuanzia saa moja na nusu asubuhi hadi saa tisa na nusu 3 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Tangazo La Serikali Na. 912 (Linaendelea) alasiri kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. (2) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kushauri au kuelekeza watu au mtu kutokuishi katika jengo ambalo linahatarisha afya au maisha ya watu na viumbe hai. (3) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kuzuia shughuli mbalimbali wakati wa mlipuko wa ugonjwa ikiwa pamoja na kukamata vyombo au vifaa vingine vinavyotumika na ambavyo vinaweza kuleta madhara kwa wakazi wa Halmashari. (4) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kufunga au kuagiza kufungwa kwa biashara yoyote au jengo ambalo halijakaguliwa au lililokaguliwa na kukutwa limekiuka kanuni na masharti ya afya. - 9 Verify source ↗
(1) Kila mmliki wa jengo la makazi au mpangaji
AI-assisted research summary: Wamiliki, wapangaji, na wafanyabiashara ndani ya Halmashauri lazima wawe na chombo cha taka chenye mfuniko na wakusanye taka kwenye maeneo yaliyoainishwa; pia, kwa nyumba zilizo katika ukanda wa kijani kwenye maeneo ambayo hayajapimwa, mmiliki au mpangaji lazima awe na shimo kubwa la taka ngumu.
9.-(1) Kila mmliki wa jengo la makazi au mpangaji wa jengo la makazi au mtu yeyote anayefanyia biashara katika eneo lolote ndani ya Halmashauri atatakiwa kuwa na chombo cha kuhifadhia takataka chenye mfuniko na atawajibika kukusanya takataka hizo kwenye vizimba vya kuzolea takataka katika maeneo yaliyoainishwa. (2) Kila mmiliki wa jengo au mpangaji wa nyumba iliyoko katika ukanda wa kijani, katika maeneo ambayo hayajapimwa atalazimika kuwa na shimo kubwa la kukusanyia taka ngumu katika eneo lake. Vifaa vya kuhifadhia taka ngumu Ada ya uzoaji taka - 10 Verify source ↗
Halmashauri itawajibika kukusanya taka ngumu
AI-assisted research summary: Halmashauri must collect solid waste from the designated waste bins in each ward, and waste producers must pay the collection fee or levy set out in the bylaw’s First Schedule.
10. Halmashauri itawajibika kukusanya taka ngumu kutoka katika vizimba vya takataka vilivyoainishwa katika kila kata, na wazalishaji takataka watalipia ada au ushuru wa ukusanyaji wa takataka kama ilivyooneshwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. Ukusanyaji taka ngumu - 11 Verify source ↗
(1) Hairuhusiwi kuweka uchafu wenye asili ya
AI-assisted research summary: Hairuhusiwi kuweka uchafu wa majimaji kwenye pipa la taka ngumu, na hairuhusiwi kuchoma au kufukia taka ngumu bila kibali cha Halmashauri.
11.-(1) Hairuhusiwi kuweka uchafu wenye asili ya maji maji kwenye pipa au chombo chochote cha taka ngumu au kitu chochote kinachoweza kulipuka na 4 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Tangazo La Serikali Na. 912 (Linaendelea) kusababisha madhara. (2) Taka ngumu zote zitakazokusanywa kwenye pipa au chombo cha taka zitabaki kuwa mali ya mkazi au mmliki wa eneo lile mpaka zitakapokuwa zimefikishwa kwenye kizimba cha taka au zitakapokuwa zimetolewa na Wakala kutoka katika eneo lake. (3) Hairuhusiwi mtu yeyote kuchoma au kufukia taka ngumu bila kibali cha Halmashauri. Eneo la kutupa Takataka - 12 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Halmashauri must set aside a rubbish dumping area, place special waste containers in its areas, and provide waste collection services for a fee to waste producers up to the dump.
12. Halmashauri itakuwa na wajibu wa: (a) kutenga eneo maalum kwa ajili ya kutupia takataka; (b) kuweka vyombo maalum vya kutunzia takataka katika maeneo ya Halmashauri; na (c) kutoa huduma ya uzoaji takataka kwa malipo kutoka kwa wazalishaji wa takataka hadi kwenye dampo. - 13 Verify source ↗
Itakuwa ni wajibu wa kila mmiliki wa duka la
AI-assisted research summary: Kila mmiliki wa duka la kuuza nyama lazima ahakikishe duka lina masharti ya usafi na vifaa vilivyotajwa.
13. Itakuwa ni wajibu wa kila mmiliki wa duka la kuuzia nyama kuhakikisha kwamba: la kudumu jengo (a) ana lililosakafiwa na kuwekwa marumaru nyeupe kwenye sakafu na kuta kwa urefu wa futi sita kutoka usawa wa sakafu; Wajibu wa Mmiliki wa duka la kuuza nyama (b) jengo lina maji safi, gogo na misumeno ya kukatia nyama; (c) kuna pipa la kuhifadhia takataka; (d) mhudumu ana koti jeupe pamoja na viatu vyeupe aina ya buti; (e) mhudumu anapima afya kila baada ya miezi sita. Siku ya usafi - 14 Verify source ↗
(1) Kila jumamosi ya wiki ya pili na jumamosi
AI-assisted research summary: Residents in the village and hamlet must take part in scheduled environmental cleaning, and everyone must keep their home, business, nearby open land, and office surroundings clean.
14.-(1) Kila jumamosi ya wiki ya pili na jumamosi ya wiki ya mwisho wa mwezi itakuwa ni siku maalamu ya kufanya usafi wa mazingira katika maeneo yote ya 5 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Tangazo La Serikali Na. 912 (Linaendelea) Vikundi vya usafi Marufuku Halmashauri. (2) Itakuwa ni wajibu na lazima kwa kila mkazi katika Kijiji na Kitongoji kushiriki usafi wa mazingira kwa siku iliyopangwa na Halmashauri katika maeneo yao na maeneo ya umma. (3) Kila mtu atahakikisha eneo lake la makazi na linalomzunguka, eneo analofanyia biashara, eneo la wazi lililo karibu naye kwa umbali wa mita kumi na eneo la mazingira ya ofisi ni safi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. - 15 Verify source ↗
Halmashauri itahamasisha uundaji wa vikundi
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ihimize na itambue uundaji wa vikundi jamii ili viweze kufanya usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu katika vijiji na vitongoji baada ya kuingia mkataba na Halmashauri.
15. Halmashauri itahamasisha uundaji wa vikundi jamii na kuvitambua ili kuviwezesha kufanya shughuli za udhibiti wa taka ngumu pamoja na usafi wa mazingira katika Vijiji na Vitongoji baada ya kuingia mkataba na Halmashauri. - 16 Verify source ↗
Ni marufuku
AI-assisted research summary: Sehemu hii inapiga marufuku vitendo kadhaa vya uchafuzi, matumizi yasiyoidhinishwa ya maeneo, kuzuia maji, na shughuli za biashara bila vibali au leseni zinazohitajika.
16. Ni marufuku: (a) mtu yeyote kuendesha biashara ya upulizaji dawa au biashara ya kuua wadudu au wanyama waharibifu katika nyumba yoyote au mahali popote taaluma cheti kinachotambuliwa na Serikali na leseni kutoka Halmashauri; bila cha (b) mfanyabiashara yeyote kupanga bidhaa nje ya jengo lake la biashara, barabarani, vichochoroni au katika eneo lolote ambalo halikuidhinishwa kwa ajili ya shughuli hiyo; (c) mfugaji kuruhusu mfugo au mifugo kuzurura ovyo mitaani au barabarani; (d) mtu yeyote kutupa takataka za aina yoyote barabarani au eneo lolote la wazi, kwenye vichochoro au kwenye chanzo chochote cha maji au katika eneo lolote ambalo halijatengwa kwa ajili ya shughuli hiyo; (e) mtu yeyote aliye ndani ya gari kudondosha taka 6 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Tangazo La Serikali Na. 912 (Linaendelea) ngumu nje ya gari likiwa ndani au nje ya kituo cha magari na sehemu yoyote ambapo gari hilo linapita; (f) mtu yeyote kuanzisha shughuli za kiwanda au mradi wowote unaoweza kuathiri mazingira bila kufanya tathmini ya athari kwa mazingira kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; (g) mtu yeyote kuzuia maji kupitia njia yake ya asili kwa kujenga, kulima au kuweka kitu chochote kwenye njia ya maji kitakachoingilia mtiririko wa asili wa maji katika chanzo cha maji; (h) mtu yeyote kuweka kitu chochote kwenye maji taka ambacho kinaweza kuathiri mtu yeyote au kuharibu mfumo wa tiba ya maji taka au kusababisha kuzuia mtiririko wa maji taka; (i) mtu yeyote kulima kilimo cha matuta yanayosababisha maji kutuama ndani ya eneo la katikati ya mji; (j) mtu yeyote kufanya matengenezo ya magari, pikipiki na mitambo kwenye maeneo ya Halmashauri bila kibali; (k) mtu yeyote kuegesha gari bovu kwenye njia ya miguu, mtaa, uchochoro, mtaro, maeneo ya wazi, barabarani na kusababidha adha kwa wakazi au watumiaji wa njia hiyo; (l) mtu yeyote kuchinja au kuuza nyama ya aina yoyote katika eneo lisilokuwa machinjio au nyama au katika eneo duka lisiloruhusiwa na Halmashauri. la kuuza Makosa - 17 Verify source ↗
(1) Itakuwa ni kosa chini ya Sheria Ndogo hii
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anatenda kosa akifanya mojawapo ya vitendo vya usafi wa mazingira vilivyokatazwa katika kifungu hiki.
17.-(1) Itakuwa ni kosa chini ya Sheria Ndogo hii kwa mtu yeyote: (a) kujenga choo umbali usiozidi mita sitini kutoka kisimani, bwawani, mtoni au chanzo cha maji 7 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Tangazo La Serikali Na. 912 (Linaendelea) yanayotumika kwa matumizi ya binadamu; (b) kutoa kinyesi au kusababisha kinyesi, mkojo, taka maji yenye kinyesi kutoka kwenye choo chake au bafu lake au karo la kuoshea vyombo au nguo au kutoka kwenye bomba lolote linalochukua taka maji na kuyatitirisha kwenye barabara, mtaa, mfereji wa maji ya mvua au mfereji wowote uliowazi; (c) kutupa taka au kusababisha mtu mwingine atupe taka mahali popote pasiporuhusiwa na Halmashauri; (d) kuuza chakula katika eneo ambalo halijatengwa au kusajiliwa kwa ajili ya shughuli hiyo; (e) kuzika maiti ambalo katika halikuainishwa kwa shughuli hiyo bila taarifa maalum kwa Afisa Mwidhiniwa; eneo (f) kutolipa ada ya takataka; (g) kutembeza chakula mtaani bila kibali cha Halmashauri; (h) kuchezesha michezo au kuonesha michezo au burudani katika maeneo yasiyoruhusiwa na Halmashauri; (i) kuegesha gari bovu na kuliacha kando ya barabara au kichochoroni au eneo la wazi ambalo halijaidhinishwa kwa shughuli za gereji na kuliacha zaidi ya siku moja; (j) kulima kandokando au ndani ya mita sitini kutoka kwenye chanzo cha maji; (k) kutokuwa na pipa au chombo cha takataka chenye mfuniko katika eneo la biashara; (l) kutokuwa na choo au kukutwa na choo kibovu au kilichojaa; (m) kukutwa na shimo la taka maji lililojaa au ambalo halina mfuniko; (n) kuziba kichochoro; au (o) kutokuwa na chombo maalum cha kukusanyia 8 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Tangazo La Serikali Na. 912 (Linaendelea) takataka ndani ya gari la abiria. Adhabu Kufifilisha kosa yeyote - 18 Verify source ↗
Mtu
AI-assisted research summary: Mtu anayevunja masharti ya Sheria Ndogo hii anatenda kosa na, akitiwa hatiani, anaweza kutozwa faini, kifungo, au vyote kwa pamoja.
18. Mtu atakayevunja masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyopungua Shilingi elfu hamsini na isiyozidi Shilingi laki tatu au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili jela au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. - 19 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu aliyekosa chini ya Sheria Ndogo hii Shilingi 50,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari kwa kutumia fomu maalum ya Jedwali la Pili.
19. Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi cha Shilingi elfu hamsini iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari yake fomu maalum iliyoambatishwa kwenye Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. kujaza tayari kuwa na _______________ JEDWALI LA KWANZA ________________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 10) ADA YA KUZOA TAKA Na. Eneo 1 2 3 4 Nyumba za kuisha au makazi kwa kaya, wauzaji wa mitumba, mbogamboga na nafaka Maduka ya Rejareja, Baa, Grosari, Wachoma chips, Kuku, Nyamachoma, saluni, Mamalishe, Sonara, mafundi nguo, wachoraji, studio, waosha magari, maduka ya kuuza dawa za binadamu, maduka ya kuuza dawa za mifugo na kilimo, klabu ya muziki wa usiku, vibanda vya wakala au ofisi za mabasi, masoko kwa chumba au meza, wauza bidhaa katika magari Mgahawa Nyumba za kulala wageni, Hoteli za Kitalii wauza mbao au karakana za kuranda mbao, gereji, duka la jumla, vituo vya mafuta Kiasi cha Ada kwa Shilingi 24,000/= kwa Mwaka 96,000/= kwa Mwaka 120,000/= kwa Mwaka 144,000/= kwa Mwaka 9 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Tangazo La Serikali Na. 912 (Linaendelea) _____________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 19) FOMU YA KUFIFILISHA KOSA Mimi; ………………………………………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya; ………………………………………..……. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya RORYA, kwamba mnamo tarehe;…… ya Mwezi;….…. Mwaka; …….… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya: ….… cha Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya ya Mwaka 2023. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninachodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU: Leo tarehe:…....... ya mwezi:………… mwaka:………….. Jina:…………………………………..……………………. Saini:…………………………..…………………………… MBELE YANGU : Jin;…………………………….………..…………………… Cheo; …………………………………………………..……. Saini; ………………………………………………………… Tarehe; ………………………………………………………. 10 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Tangazo La Serikali Na. 912 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya Rorya imegongwa kwenye Kanuni hizi za Kudumu kufutia azimio lililotolewa kwenye kikao cha Baraza la Halmashauri kilichofanyika mnamo Tarehe 5 mwezi Agosti, Mwaka 2022 ABDUL O. MTAKA Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Rorya GERALD S. NG’ONG’A Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Rorya NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARI MCHENGERWA (MB) 31 Oktoba, 2023 Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais, (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 11
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya ya Mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in