Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe ya Mwaka 2023
This section states the bylaw’s short title: it may be cited as the Korogwe District Council Fees and Charges Bylaw, 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe ya Mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the bylaw’s short title: it may be cited as the Korogwe District Council Fees and Charges Bylaw, 2023. This bylaw applies throughout the entire area of the Korogwe District Council authority. This section defines key terms used in the by-law, including fees, permits, the council, officers, markets, terminals, and collection agents. Halmashauri must charge fees or charges for permits, licenses, and other services it provides, using the rates in the First Schedule. Anyone required to pay a fee or tax under these bylaws must pay it at the rates set out in the bylaws.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe ya Mwaka 2023
Showing 54 of 54
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya
AI-assisted research summary: This section states the bylaw’s short title: it may be cited as the Korogwe District Council Fees and Charges Bylaw, 2023.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe ya Mwaka 2023. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the entire area of the Korogwe District Council authority.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including fees, permits, the council, officers, markets, terminals, and collection agents.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “ada ya ardhi” maana yake ni ada itakayotozwa kutokana na huduma za matumizi ya uendelezaji wa ardhi na upimaji; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo cha moto au chombo chochote kinachotumika kusafirishia bidhaa, abiria au mizigo; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) Korogwe; “hifadhi ya barabara” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Barabara; “kibali” maana yake ni idhini ya maandishi inayotolewa na Halmashauri kwa mujibu Sheria Ndogo hii; “kibali cha burudani” maana yake ni kibali cha maandishi kinachotolewa na Halmashauri kwa ajili ya kufanya shughuli za burudani ambayo inakutanisha watu katika ukumbi, uwanja wa michezo au sehemu yoyote ya wazi au mitaani; “kibanda” maana yake ni jengo au chumba cha biashara; “kupiga debe” maana yake ni kushawishi abiria kusafiri kwa kutumia chombo fulani cha usafiri kwa kumshika au kumsongasonga au kushika mzigo wa abiria; “machinjio” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “mazao ya majini” maana yake ni samaki, dagaa, magamba ya samaki, na vitu vyote vyenye asili ya samaki; “meza au kizimba” maana yake ni kitu au kifaa bidhaa kwa ajili ya kinachotumika kuweka kuuza sokoni au gulioni; “mhudumu” maana yake ni mtu yeyote anayehudumia wateja katika eneo la biashara; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mnada” maana yake soko la wazi ambalo mali au vitu mbalimbali vinauzwa kwa ushindani wa bei kwa kauli na kwa kibali maalumu cha Halmashauri; “mnara wa mawasiliano” maana yake ni mnara uliowekwa kwa ajili ya kuwezesha mawasilino ya simu, redio au televisheni ndani ya eneo la Halmashauri; 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) Sura 167 ya Utozaji wa ada au ushuru “soko” maana yake ni eneo au soko liliotengwa na linalomikiwa na Halmashauri kama soko; “stendi” maana yake ni eneo maalum lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo; “ushuru” maana yake ni maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “Wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya
AI-assisted research summary: Halmashauri must charge fees or charges for permits, licenses, and other services it provides, using the rates in the First Schedule.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo ya (1), ada au ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Wajibu wa kulipa ada au ushuru
Part
Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii.
- 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: Anyone required to pay a fee or tax under these bylaws must pay it at the rates set out in the bylaws.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Ukusanyaj i wa ada au ushuru - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni
AI-assisted research summary: Ada au ushuru hukusanywa ndani ya muda uliowekwa, na baada ya muda huo Halmashauri au wakala anaweza kukusanya kwa kibali maalum cha Mkurugenzi. Malipo yanaweza kuwa ya kila siku, ya mwezi, au kwa mpango mwingine uliokubaliwa, na mlipaji akimaliza malipo anapaswa kupewa stakabadhi ya kielektroniki.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri au wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda ulioainishwa kwenye aya hii.. 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) (3) Malipo ya ada na ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Endapo mlipaji atakamilisha malipo yaliyoainishwa kwenye Sheria Ndogo hii, atapaswa kupewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. Ukusanyaj i wa madeni - 7 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ada au
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukusanya ada au ushuru kupitia Mahakama na, kwa ada za ushuru, kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa; baada ya siku 30 au kwa mali zinazoharibika haraka, inaweza kuuza kwa mnada kwa idhini ya Mahakama, na Mkurugenzi lazima atoe taarifa ya siku 7 kabla ya mauzo.
7. Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ada au ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu au taasisi itakuwa imeshindwa kulipa kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za wadaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya Mahakama. (4) Endapo mali zilizokamatwa zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama. (5) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (3) na (4), kabla ya Halmashauri kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri au wakala. Uteuzi wa Wakala - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala wa kukusanya ushuru au ada kwa niaba yake; wakala huyo lazima awasilishe makusanyo yote na akusanye ushuru kwa mfumo wa kielektroniki.
8.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua wakala watu kwa ajili ya kukusanya ushuru au ada kwa niaba 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa aya ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri; (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki. Makosa ya Wakala - 9 Verify source ↗
Wakala aliyeteuliwa na Halmashauri atakuwa
AI-assisted research summary: A council-appointed agent commits an offence if they collect fees or levies at the wrong rate, fail to remit the agreed amount, use different collection procedures, or ignore important council instructions.
9. Wakala aliyeteuliwa na Halmashauri atakuwa ametenda kosa endapo: (b) atajaribu au atakusanya ada na ushuru kwa kiwango tofauti na kilichoainishwa katika Sheria Ndogo hii; (c) atashindwa kuwasilisha au atawasilisha pungufu ya kiwango cha ada na ushuru kilichokubaliwa katika mkataba; (d) atakusanya ada na ushuru kwa taratibu tofauti na alizoelekezwa na Halmashauri; na (e) hatazingatia maelekezo yoyote muhimu atakayopewa na Halmashauri wakati wa kutekeleza majukumu yake. Maeneo ya machinjio - 10 Verify source ↗
Mtu yeyote anayetaka au atakayetaka kuchinja
AI-assisted research summary: Anyone who wants to slaughter animals must do so at a slaughterhouse designated by the Council.
10. Mtu yeyote anayetaka au atakayetaka kuchinja wanyama atatakiwa kuchinja wanyama wake kwenye machinjio yatakayoainishwa na Halmashauri. Mamlaka ya Afisa Mwidhini wa - 11 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti mengine ya Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia eneo, jengo au chombo cha usafiri wakati wa muda wa kazi kwa madhumuni ya ada, ushuru, tathmini, leseni au kibali.
11. Bila kuathiri masharti mengine ya Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri wakati wa muda wa kazi kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Minara ya mawasilia no - 12 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anayekusudia kujenga mnara wa
AI-assisted research summary: Anyone who wants to build a communications tower must apply for written permission from the Council.
12.-(1) Mtu yeyote anayekusudia kujenga mnara wa mawasiliano atatakiwa kuomba kibali cha maandishi kutoka 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) Halmashauri. (2) Endapo mtu atajenga mnara wa mawasiliano bila kibali, Halmashauri itatoa Notisi ya siku saba ya kumtaka mtu huyo kuondoa mnara huo. (3) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (2), mtu atakayepewa notisi ya kuondoa mnara atatakiwa kuondoa mnara huo kwa gharama zake binafsi, na endapo atashindwa kuondoa mnara huo Halmashauri itauondoa na atatakiwa kuilipa Halmashauri gharama iliyotumika. Makosa na adhabu - 13 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anatenda kosa akifanya yoyote ya vitendo vilivyoorodheshwa kuhusu ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii.
13.-(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake chini ya Sheria Ndogo hii; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu shughuli zinazohitaji kulipiwa ada au ushuru; (e) atashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri; (f) atashindwa, atadharau, atakaidi au kukataa kulipa ada au ushuru au atakataa kutekeleza agizo na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii; na alilopewa lolote (g) atatengeneza, ataidhinisha atatayarisha, kutengeneza au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri. Kufifilisha - 14 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu aliyefanya kosa chini ya Sheria Ndogo hii shilingi 200,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa, ajaze fomu maalum ya Jedwali la Pili, na alipe ada au ushuru unaodaiwa.
14. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Kufutwa kwa Sheria Ndogo TS Na. 71, 72, 74 na 73 ya mwaka 2011 na TS Na. 556 na 557 ya mwaka 2015 - 15 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri
AI-assisted research summary: This section repeals several listed Korogwe District bylaws and sets construction permit fees for certain buildings and fences.
15. Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya Korogwe ya mwaka 2011; Sheria Ndogo ya (Ushuru wa Mazao) ya Halmashauri ya Wilaya Korogwe ya mwaka 2011; Sheria Ndogo ya (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) ya Halmashauri ya Wilaya Korogwe ya mwaka 2011; Sheria Ndogo ya (Ushuru wa Stendi) ya Halmashauri ya Wilaya Korogwe ya mwaka 2011; Marekebisho ya Sheria Ndogo ya (Ushuru wa Mazao) ya Halmashauri ya Wilaya Korogwe ya mwaka 2015 na (Marebisho) ya Sheria Ndogo ya (Ushuru Madini ya Ujenzi) ya Halmashauri ya Wilaya Korogwe ya mwaka 2015, zinafutwa. _____________ JEDWALI LA KWANZA ______________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA: ADA YA KIBALI CHA UJENZI Namba 1 2 3 4 5 6 7 Aina ya Mchoro Kiwango cha Ada (Shilingi) Majengo yote ya nyumba za makazi 300/= kwa kila mita ya mraba 500/= kwa kila mita ya mraba Majengo yote ya biashara 500/= kwa kila mita ya mraba Majengo yote ya makazi na biashara 500/= kwa kila mita Uzio wa mipaka (jengo la Makazi) 600/= kwa kila mita Uzio wa mipaka (jengo la biashara) Uzio wa jengo la makazi na biashara 600/= kwa kila mita Endapo ni ghorofa kila ghorofa itahesabiwa ukubwa wa eneo lake Namba
Part
SEHEMU YA KWANZA: ADA YA KIBALI CHA UJENZI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: A permit fee of 1,500 shillings per cubic meter applies to oil or gas tanks.
1. SEHEMU YA PILI: ADA YA KIBALI CHA KUWEKA MATANKI Kiwango cha Ada (Shilingi) 1,500 kwa kila mita moja ya ujazo Aina ya Matanki Matanki ya mafuta au gesi 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA PILI: ADA YA KIBALI CHA KUWEKA MATANKI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The text lists fees for water tanks, including industrial or business water tanks, with amounts stated per cubic meter.
4. Matanki ya Maji Matanki ya Maji ya viwandani au biashara Matanki ya maji 500 kwa kila mita moja ya ujazo 500 kwa kila mita moja ya ujazo 150 kwa kila mita moja ya ujazo SEHEMU YA TATU: ADA YA MAOMBI YA KIBALI CHA KUWEKA MINARA YA MAWASILIANO Namba
Part
SEHEMU YA TATU: ADA YA MAOMBI YA KIBALI CHA KUWEKA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This text lists permit fee amounts for construction-related applications, including building applications and tower installation applications.
2. Aina ya Huduma Kiwango cha Ada ya Kibali (Shilingi) Maombi ya ujenzi Maombi ya kuweka Mnara 200,000/= 20,000 kwa kila mita ya mraba SEHEMU YA NNE: ADA YA UKARABATI WA JENGO NA KUZINGIRA WAKATI WA UJENZI Namba Aina Kiwango cha Ada ya Kibali (Shilingi)
Part
SEHEMU YA NNE: ADA YA UKARABATI WA JENGO NA KUZINGIRA WAKATI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text lists fee amounts for different kinds of property repair or related local charges, including homes, hotels, petrol stations, institutions, and industries.
3. Ukarabati wa makazi Ukarabati wa hoteli au vituo vya mafuta au Taasisi na viwanda Ada kuzingira Makazi Biashara na Makazi 50,000/= 200,000/= 100,000= kwa mwaka 200,000/= kwa mwaka SEHEMU YA TANO: USHURU WA KUKODI MITAMBO/MALI ZA HALMASHAURI Nmba
Part
SEHEMU YA TANO: USHURU WA KUKODI MITAMBO/MALI ZA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha gharama/ushuru kwa baadhi ya vitu kama mtambo au kifaa, lori na ukumbi, zikiwekwa kwa shilingi na kwa muda wa masaa maalum.
2. Mtambo au Kifaa Gharama (Shilingi) Lori Ukumbi 100,000/= kwa masaa 10 200,000/= kwa masaa 8 SEHEMU YA SITA : USHURU WA BIDHAA ZA MISITU Namba. Bidhaa
Part
SEHEMU YA SITA : USHURU WA BIDHAA ZA MISITU
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists duty rates for certain timber products, including rates of Shilingi 5,000 per cubic meter, Shilingi 3,500 per cubic meter, and Shilingi 500 per board, for permit holders.
3. Magogo ya miti mikubwa (kwa wenye vibali) Mbao za miti ya kupandwa Mbao za miti ya asili Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 5,000/= kila meta ya ujazo 3,500/= ya meta ya ujazo 500 kwa ubao 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section lists charges for different items and an entry fee for visiting attractions and taking photos.
9. Gunia la mkaa –Kubwa Gunia la mkaa –Dogo Nguzo za miti ya kupandwa Nguzo za miti ya asili Kuni Ada ya kutembelea maeneo ya vivutio na kupiga picha 1,500/= kwa kila gunia 1,000/= kwa kila gunia 150/= kwa kila nguzo 700/= kwa kila nguzo 1,000/= kwa mita za ujazo Dola 5 ya Kimarekani kwa raia wa kigeni Shilingi. 1,000/= wazawa Namba. - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text lists livestock tax amounts for different animals and then starts a new section on business and food crops.
3. Ukaguzi wa nyama baada ya mnyama kuchinjwa Mifugo inayozurura SEHEMU YA SABA: USHURU WA MIFUGO Mifugo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 4,000/= kwa ng’ombe na Punda 1000/= kwa mbuzi, nguruwe na kondoo 3,000/= kwa ng’ombe 2,000/= kwa mbuzi, kondoo na nguruwe 50,000/= kwa kila ng’ombe 10,000/=kwa kila mbuzi, kondoo na nguruwe 50,000/= kwa kila punda SEHEMU YA NANE: USHURU WA MAZAO YA BIASHARA NA CHAKULA Namba Mazao Ujazo (KGS)
Part
SEHEMU YA NANE: USHURU WA MAZAO YA BIASHARA NA CHAKULA
- 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: Kipengele hiki kinaonyesha viwango vya ada/ushuru kwa mazao na baadhi ya mizigo, ikiwemo asilimia ya bei ya shambani na ada za kiasi maalum cha Shilingi.
15. Mahindi Mpunga Mchele Mtama Ufuta Alizeti Pamba Korosho Maharage Kunde au Mbaazi au choroko Kahawa Tangawizi Iliki Kakao Matunda yote 100 100 100 100 100 100 100 100 100 100 100 kwa kilo kwa kilo 100 kwa gari fuso kubwa 9 Kiwango cha Ada (Shilingi) 2% ya bei ya shambani 2% ya bei ya shambani 2% ya bei ya shambani 2% ya bei ya shambani 3% ya bei ya shambani 3% ya bei ya shambani 3% ya bei ya shambani 3% ya bei ya shambani 3% ya bei ya shambani 3% ya bei ya shambani 3% ya bei ya shambani 3% ya bei ya shambani 3% ya bei ya shambani 2,500.00 70,000.00 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) (Tandamu) Kwa gari Fuso Dogo au kenta Pickup Gunia moja Kwa fuso Kwa kenta Kwa lita 45,000.00 20,000.00 1,000.00 40,000.00 20,000.00 2% ya bei ya shambani - 17 Verify source ↗
Section 17
AI-assisted research summary: Section 17 is labeled “Miwa Mazao mengine ya chakula (asali, maziwa)”.
17. Miwa Mazao mengine ya chakula (asali, maziwa ) - 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: This provision appears to list a registration fee amount of 2,500/= in a table for social groups/VIKOBA.
18. Mazao mengine 100 2,500/= SEHEMU YA TISA: ADA YA USAJILI WA VIKUNDI VYA KIJAMII NA Namba. VIKOBA Maelezo Kiwango cha Ada (Shilingi)
Part
SEHEMU YA TISA: ADA YA USAJILI WA VIKUNDI VYA KIJAMII NA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada ya usajili wa vikoba na viwango vya ushuru kwa vibali vya kuchimba madini ya ujenzi.
2. Ada ya usajili ya vikundi vya kijamii Ada ya usajili wa vikoba 40,000/= 40,000/= SEHEMU YA KUMI: ADA YA KUCHIMBA MADINI YA UJENZI Aina Ada ya kibali cha kuchimba madini ya ujenzi Mchanga Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 200 kwa kila mita ya mraba 1,000 kwa tani moja Udongo au Kifusi Kokoto Mawe au Chokaa Rasilimali nyingine (Madini mengine) 1,000 kwa tani moja 2,000 kwa tani moja 2,000 kwa tani moja 2,000 kwa tani moja Namba
Part
SEHEMU YA KUMI: ADA YA KUCHIMBA MADINI YA UJENZI
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section is about a tax on construction materials from areas not owned by the council, with a table for tax rate and vehicle weight.
6. SEHEMU YA KUMI NA MOJA: USHURU WA MADINI YA UJENZI KUTOKA KWENYE MAENEO MENGINE YASIYOMILIKIWA NA HALMASHAURI Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Uzito wa Gari Namba.
Part
SEHEMU YA KUMI NA MOJA: USHURU WA MADINI YA UJENZI KUTOKA
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Hii ni jedwali la ada na ushuru wa madini: malipo kwa safari hutegemea tani, na baadhi ya madini ya viwandani yana ada ya kibali ya Shilingi 50,000 kwa mwaka.
5. Tani 1 hadi 3 Tani 4 hadi 7 Tani 8 hadi 10 Tani 11 hadi 22 Zaidi ya tani 22 2,000/= kwa safari 3,000/= kwa safari 4,000/= kwa safari 5,000/= kwa safari 8,000/= kwa safari 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI NA MBILI: ADA NA USHURU WA MGODI WA Namba. Madini Gpsum MADINI YA VIWANDANI Ushuru au Ada ya Kibali kwa Mchimbaji (Shilingi) 50,000/= kwa kibali kwa mwaka Magnesite 50,000/= kwa kibali kwa mwaka Felisper 50,000/= kwa kibali kwa mwaka
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI: ADA NA USHURU WA MGODI WA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Inaonyesha ushuru wa mnunuzi wa Shilingi 10,000 kwa safari au tripu moja.
3. Ushuru kwa Mnunuzi (Shilingi) 10,000 kwa safari au tripu moja 10,000 kwa safari au tripu moja 10,000 kwa safari au tripu moja Namba. SEHEMU YA KUMI NA TATU: ADA YA MAOMBI YA ZABUNI Kiwango cha Ada (Shilingi) Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU: ADA YA MAOMBI YA ZABUNI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text lists tender application fees for kiosks and shops, including amounts of 150,000/= and 20,000/=.
1. 2 Maombi ya zabuni Zabuni za vizimba na maduka 150,000/= 20,000/= SEHEMU YA KUMI NA NNE: ADA YA HUDUMA ZA KUMILIKI ARDHI Namba.
Part
SEHEMU YA KUMI NA NNE: ADA YA HUDUMA ZA KUMILIKI ARDHI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Ada ya matumizi ya kiwanja cha makazi ni Shilingi 500 kwa kila mita ya mraba.
1. Makazi Matumizi ya Kiwanja Kiwango cha Ada (Shilingi) 500/= kwa kila mita ya mraba - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada na ushuru kwa huduma mbalimbali za viwanja na uthamini, pamoja na viwango tofauti kwa matumizi ya makazi, biashara, viwanda, hoteli, ghala, na taasisi.
4. 5 6 7 8 9 10 500/= kwa kila mita ya mraba Makazi na biashara Viwanda au Hoteli au Ghala au Biashara 1,000/= kwa kila mita ya mraba Huduma za kijamii (shule, Hospital) Kufufua mipaka ya kiwanja Malipo ya alama za upimaji Kuonyeshwa kiwanja kwa mara nyingine 50,000/= 10,000/= Maombi ya kupatiwa (Site plan) 20,000/= Utafiti binafsi wa taarifa za kiwanja 120,000/= kiwanja cha Makazi Kufanya uthamini kwa ajili ya kuhamisha miliki 700/= kwa kila mita ya mraba 200,000/= 10,000/= kila alama (beacon) 150,000/= kiwanja cha Makazi na Biashara 200,000/= kiwanja cha Biashara 1,000,000/= viwanda au taasisi 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI NA TANO: USHURU WA MICHEZO YA KUBAHATISHA Namba.
Part
SEHEMU YA KUMI NA TANO: USHURU WA MICHEZO YA KUBAHATISHA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Mmiliki wa mashine analipa ada ya Shilingi 50,000 kwa kila mashine kwa mwezi.
1. Kiwango cha Ada (Shilingi) 50,000/= kwa kila mashine kwa kila mwezi-mlipaji ni mmiliki wa mashine Aina ya Huduma Ushuru wa mashine ya michezo ya kubahatisha SEHEMU YA KUMI NA SITA (A): ADA YA KUENDESHA SHUGHULI ZA UTAMADUNI, BURUDANI NA MICHEZO Namba. Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA KUMI NA SITA (A): ADA YA KUENDESHA SHUGHULI ZA
- 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: This section lists permit types for cultural, entertainment, and sports activities and the corresponding fees.
14. 15 Kibali cha Dansi kutoka nje ya Halmashauri Kibali cha Taarabu kutoka nje ya Halmashauri Kibali cha sherehe za harusi ambazo hazifanyiki katika kumbi Kibali cha Sherehe za harusi katika kumbi cha matambara Kibali cha Disco/Dansi/Taarabu vikundi ndani ya Halmashauri Kibali cha Sherehe za Camp za vijana Kibali cha Maonesho ya muziki kwenye magari ya matangazo Kibali cha Matangazo Kibali cha kurekodi Filamu na Harusi katika Bustani na maeneo ya wazi na Kumbukumbu Kibali burudani yanayofungwa katika maeneo mbalimbali ndani ya Halmashauri Kibali cha kuweka Posters katika nguzo, miti, kuta mbalimbali Kibali cha kufanya matamasha yanayofanyika katika maeneo mengine Kibali cha kukodisha maeneo ya wazi kwa ajili ya mikutano ya dini Kibali cha kuendesha mchezo wa “game” kwa kutumia TV Ada ya kiingilio kwenye viwanja vya michezo ya Kiwango cha Ada (Shilingi) 100,000/= kwa siku 100,000/= kwa siku 25,000/= kwa siku ya 5% gharama iliyolipwa na mkodishaji 20,000/= kwa siku 10,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 20,000/= 10,000/= kwa kwa siku saba tambara 300/= kwa poster, kwa siku 50,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 180,000/= kwa Mwaka 15,000/= kwa mwezi 3% ya kiingilio 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI NA SITA (B) FOMU YA MAOMBI YA KIBALI CHA KUENDESHA SHUGHULI ZA UTAMADUNI, BURUDANI NA MICHEZO SEHEMU YA KWANZA (Taarifa za Mwombaji)
Part
SEHEMU YA KWANZA (Taarifa za Mwombaji)
- 7 Verify source ↗
Ada ya kibali
AI-assisted research summary: Section 7 refers to a permit fee in shillings and includes signature and date lines.
7. Ada ya kibali Shilingi.…………………............ Saini: …………………………. Tarehe: …………………….. - 4 Verify source ↗
Eneo analokusudia kufanya
AI-assisted research summary: Sehemu hii ina kichwa kinachorejea eneo linalokusudiwa kufanyia shughuli.
4. Eneo analokusudia kufanya shughuli……… - 8 Verify source ↗
Stakabadhi ya malipo
AI-assisted research summary: This section is titled “Stakabadhi ya malipo” and indicates Part Two is for office use.
8. Stakabadhi ya malipo; …………………… SEHEMU YA PILI (Kwa Matumizi ya Ofisi)
Part
SEHEMU YA PILI (Kwa Matumizi ya Ofisi)
- 4 Verify source ↗
Tarehe:……………………………
AI-assisted research summary: This section is a form page for a responsible officer’s comments, acceptance/rejection, date, name, and signature, under the heading for fisheries produce tax.
4. Tarehe:…………………………….. Maoni ya Afisa Mwidhiniwa: - *Nakubali/Sikubali (weka alama ya tiki kwa inayohusika) Sababu: ………………………………..…………………………………………… Jina: ………………………… Tarehe:………. Mwezi.................. Mwaka................................................... Saini: ………………………………… SEHEMU YA KUMI NA SABA: USHURU WA MAZAO YA UVUVI Namba Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA KUMI NA SABA: USHURU WA MAZAO YA UVUVI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Ada na ushuru unawekwa kwa minada ya samaki na mauzo ya mazao ya uvuvi bila mnada, pamoja na viwango maalum kwa dagaa wakavu na samaki wabichi.
2. Minada ya samaki katika mwalo au eneo maalum la kuuzia Ushuru wa mazao ya uvuvi bila ya kutumia mnada i. Gunia la dagaa wakavu kwa vipimo vifuatavyo: (a) Chini ya kilo 50 (b) Kuanzia kilo 51 hadi kilo 100 (c) Kuanzia kilo 101 13 Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Asilimia Tano (5%) ya bei ya mazao 5,000 kwa gunia 10,000 kwa gunia 15,000 kwa gunia Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) ii) Samaki wabichi 1000/= ndoo ndogo na 2000 kwa ndoo kubwa SEHEMU YA KUMI NA NANE KIBALI CHA KUTUMIA SOKO
Part
SEHEMU YA KUMI NA NANE
- 1 Verify source ↗
Jina la mwombaji na anuani yake…………………...................…
AI-assisted research summary: This section is for the applicant’s name and address.
1. Jina la mwombaji na anuani yake…………………...................… - 2 Verify source ↗
Kibali cha……………………..…………………
AI-assisted research summary: Section heading: License.
2. Kibali cha……………………..…………………............................. - 3 Verify source ↗
Eneo ambalo kibali hicho kitatumika……………………………
AI-assisted research summary: This section indicates the area where the permit applies.
3. Eneo ambalo kibali hicho kitatumika…………………………… - 4 Verify source ↗
Muda wa kibali ni kuanzia tarehe...hadi tarehe.…..saa…………
AI-assisted research summary: The permit is valid from one date to another date and time.
4. Muda wa kibali ni kuanzia tarehe...hadi tarehe.…..saa………… - 5 Verify source ↗
Masharti ya kutumia kibali hicho ni pamoja na
AI-assisted research summary: Provision hii inaonyesha kwamba kutumia kibali hicho kunategemea masharti yaliyotajwa, lakini masharti yenyewe hayajaandikwa katika maandishi yaliyotolewa.
5. Masharti ya kutumia kibali hicho ni pamoja na: (a)…………………………………........ (b)…………………………………… (c)……………………………….. - 6 Verify source ↗
Tarehe ya kikao iliyoidhinisha kibali……
AI-assisted research summary: This section is a form for recording the meeting date that approved a permit, with signatures for the market chief and the applicant.
6. Tarehe ya kikao iliyoidhinisha kibali……......................................... Muhtasari Namba............. Imesainiwa na: Jina…………………………………… Na.…………………………… ……………………… ………………………….. Sahihi ya Mkuu wa Soko Tarehe………………………… Sahihi ya mwombaji Tarehe………………………….. Mhuri……………………………… USHURU WA KIZIMBA/MEZA KWENYE MASOKO YA ………...... NAMBA .............. Namba Aina ya Huduma Kiwango cha Kodi kwa Mwezi au Siku (Shilingi) - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The text lists local charges for temporary shops, store/office space, warehouses, and goods vehicles at markets and auctions.
4. 5 Kizimba Kizimba vya muda mfupi Kodi ya duka au kioski au kibanda Kodi ya stoo na Ofisi Kodi ya maghala 5,000/= kwa mwezi 1,000/= kwa siku 20,000/= kwa mwezi 50,000/= hadi 1,000,000/= kwa mwezi 300,000/= hadi 1,000,000/= kwa mwezi USHURU WA MAGARI YA MIZIGO KWENYE MASOKO, MINADA NA MAGULIO Namba. Aina za Mazao Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 14 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Lists various crops and fruits.
12. Vitunguu Viazi mbatata Karanga Nazi Maembe Papai Nyanya Ndizi Samaki wakavu Samaki wabichi Samaki wabichi Nyanya chungu Pilipili Karoti Matango Ndimu Limau Pesheni Parachichi Peasi Embe Machungwa Namba. - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Hii inaweka viwango vya ushuru kwa mazao mbalimbali, hasa viazi vitamu, kulingana na aina ya kifungashio au kipimo.
1. Aina za Mazao Viazi vitamu A. Ushuru wa Gunia 1000 kwa kila gunia au roba 1000 kwa kila gunia au roba 1000 kwa gunia au roba 1000 kwa gunia au roba B. Ushuru wa Matenga 2000/= kwa kila tenga 2000/=kwa kila tenga 2000/= kwa kila tenga 500/= kwa kila Mkungu 3000/= kwa kila tenga 2000/= kwa kila ndoo kubwa 1000/= kwa kila ndoo ndogo C. Ushuru wa Kiroba 2000/= kwa kila kiroba 2000/= kwa kila kiroba 2000/= kwa kila kiroba 2000/= kwa kila kiroba 2000/= kwa kila kiroba 2000/= kwa kila kiroba 2000/= kwa kila kiroba 2000/= kwa kila kiroba 2000/= kwa kila kiroba 2000/= kwa kila gunia/roba 2000/= kwa kila gunia/roba Kiwango cha Ushuru 1000/= kwa kila gunia au roba 1000/= kwa kila gunia au roba 1000/= kwa kila gunia au roba 1000/= kwa kila gunia au roba 1000/= kwa kila gunia au roba Mihogo Kunde Njegere Choroko, mbatata, magimbi - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text indicates a ushuru of 10,000 per ton for certain goods.
1. Ushuru wa bidhaa zisizo katika 10,000 kwa tani moja 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) magunia au kiroba au tenga au box SEHEMU YA KUMI NA TISA: USHURU WA MAGARI YA MIZIGO KWENYE VITUO VYA MABASI NA MAEGESHO Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA TISA: USHURU WA MAGARI YA MIZIGO KWENYE
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Cargo vehicles are charged Tsh 5,000 per day.
1. Aina ya Gari Gari lolote la mizigo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 5,000/= Kwa siku USHURU WA VYOMBO VYA USAFIRI KITUONI Namba. Aina ya Chombo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: This section lists daily entry and parking/lay-up fees for different vehicle types.
10. Basi Dogo la abiria kati ya 1 hadi 20 Basi kubwa la abiria kati ya 20 hadi 28 Basi kubwa la abiria 28 na kuendelea Gari Dogo (Teksi) Gari Dogo (Binafsi) Magari ya Mizigo (Pick-up) Pikipiki (Bodaboda) Bajaji Magari mengine Ada ya Kuingia mtu mmoja 2,000/= kwa siku 3,000/=kwa siku 5,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku 500/= kwa siku 1,200/= kwa siku 500/= kwa siku 1,000/= kwa siku 1,000/= kwasiku 200/= kila anapoingia KULAZA CHOMBOCHA USAFIRI KITUO MAALUM Namba. Aina ya Chombo Ushuru wa kulaza chombo cha usafiri (Shilingi) - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: This section lists annual vehicle registration fees for taxi-related and other vehicle categories, with amounts shown in Tanzanian shillings per day in the text.
10. Basi kubwa la abiria kati ya 20-28 Basi kubwa la abiria 28 na kuendelea Basi Dogo la abiria kati ya 1-20 Gari Dogo (Teksi) Gari Dogo (Binafsi) Malori na Tela zaidi ya tani 3 Malori na Tela tani 3 na zaidi Magari ya Mizigo (Pick-up) Magari mengine Pikipiki 4,000/= kwa siku 5,000/= kwa siku 3,000/= kwa siku 3,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku 5000/= kwa siku 3,000/= kwa siku 3,000/= kwa siku 3,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku 16 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) GHARAMA ZA USAJILI WA TEKSI Namba. Aina ya Chombo Ada ya Usajili kwa Mwaka (Shilingi) - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section is a form for admitting an offence and agreeing to pay the owed fee or tax plus a fine instead of being prosecuted in court.
1. Teksi 60,000/= ___________ JEDWALI LA PILI ___________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 14) HATI YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya …… ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe ya mwaka, 2023. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU: Jina: ……………………………………..…………………… Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe……………………………………………………… 17 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Tangazo La Serikali Na. 913 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya Korogwe imegongwa kwenye sheria Ndogo hii kufutia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe uliofanyika Tarehe 5/11/2021 na Kushudiwa na Lakiri hiyo ikigongwa mbele ya :- GOODLUCK A. MWANGOMANGO Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe KALLAGHE S. YUSUPH Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARI MCHENGERWA (MB) 31 Oktoba, 2023 Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais, (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 18
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe ya Mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in