Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo ya Mwaka 2023
This section gives the by-law’s title: the Kibondo District Council Fees and Charges By-Law, 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo ya Mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the by-law’s title: the Kibondo District Council Fees and Charges By-Law, 2023. This by-law applies throughout the entire area of Kibondo District Council. Sehemu hii inatoa maana za maneno yaliyotumiwa katika Sheria Ndogo hii, ikiwemo ada, leseni, kibali, ushuru, Halmashauri, Mkurugenzi, na wakala. Halmashauri must charge fees or levies for permits, licenses, and other services at the rates set in the First Schedule. Halmashauri lazima ikusanye na kutoza ushuru wa huduma kwa kiwango kisichozidi 0.3% kutoka kwa kampuni, biashara, wafanyabiashara wenye leseni na watoa huduma ndani ya eneo lake, bila VAT na excise duty.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo ya Mwaka 2023
Showing 46 of 46
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya
AI-assisted research summary: This section gives the by-law’s title: the Kibondo District Council Fees and Charges By-Law, 2023.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo ya Mwaka 2023. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This by-law applies throughout the entire area of Kibondo District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kam muktadha
AI-assisted research summary: Sehemu hii inatoa maana za maneno yaliyotumiwa katika Sheria Ndogo hii, ikiwemo ada, leseni, kibali, ushuru, Halmashauri, Mkurugenzi, na wakala.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kam muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “bidhaa” maana yake ni kitu chochote chenye thamani kitakacholetwa sokoni kwa lengo la kuuzwa; “bucha” maana yake ni jengo au duka maalumu kwa ajili ya kuuzia nyama lenye vigezo vinavyokubalika kisheria; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha mtu, watu, au mizigo 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine isipokuwa, mkokoteni, au wanyama wanaotumika kusafirisha watu au mizigo; “ghala” maana yake ni jengo au sehemu iliyotengwa kwa ajili ya kazi ya kuhifadhi mazao au bidhaa nyingine yoyote inayoweza kuuzwa “gulio” maana yake ni soko la wazi linalofanyika kwa wakati maalumu kwa kibali maalumu cha Halmashauri; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “kibanda” maana yake ni jengo au chumba cha biashara; “leseni” maana yake ni kibali cha maandishi kinachotolewa kwa mtu binafsi, kampuni au taasisi kinacho ruhusu kufanya biashara au shughuli yoyote katika eneo la Halmashauri; “machinjio’’ maana yake ni sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa lengo la kuchinja mifugo; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “maegesho” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha chombo cha usafiri kwa muda maalum; “magogo” maana yake ni miti iliyokatwa yenye unene zaidi kipenyo ishirini na kuendelea yanayotarajiwa na yenye mwelekeo wa kutoa mbao na bidhaa nyingine; sentimita cha “mali za Halmashauri” maana yake ni miliki zote za kudumu na za muda za Halmashauri pamoja na nyumba, kumbi, magari, mitambo na vibanda vya Halmashauri; “mazao” maana yake ni mazao yote ya chakula au biashara au maua au matunda na mboga yanayolimwa ndani na nje ya Halmashauri; “meza” au “kizimba” maana yake ni kitu au kifaa 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) au kwa namba alama kinachotambulika kinachotumika kuwekea bidhaa za biashara katika soko au eneo lililoidhinishwa na Halmashauri; “mifugo” maana yake ni wanyama wote wafugwao na binadamu na itajumuisha nyuki, samaki, bata na kuku; “mnara” maana yake ni kifaa kinachopokea na kusafirisha mawasiliano ya simu au redio isipokuwa mnara unaotumika kuongoza vyombo vya usafiri; “mkaa” maana yake ni miti iliyochomwa na kukusanywa kwa pamoja kwa ajili ya matumizi ya kupikia pamoja na shughuli nyingine; “mkataba” maana yake ni makubaliano yenye nguvu ya kisheria ya ununuzi au uuzaji au Utoaji wa huduma yoyote kati ya Halmashauri na wadau wa Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mnada” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa na kumilikiwa na Halmashauri kwa ajili ya biashara ya kuuza na kununua bidhaa au huduma kufuatanana taratibu zilizowekwa na Halmashauri; “soko” maana yake ni eneo lililotengwa na linalomilikiwa na Halmashauri kwa shughuri za kuuza na kununua bidhaa; “stendi” maana yake ni eneo maalum lililotengwa na Halmashauri kwa madhumuni ya kupakia au kushusha abiria na mizigo; “usajili wa vyombo vya usafiri” maana yake ni utaratibu utakaowekwa na Halmashauri wa kutambua na kuorodhesha vyombo vya usafiri vinavyofanya biashara ndani ya Halmashauri; “ushuru” maana yake ni maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “ushuru wa huduma” maana yake ni tozo inayotozwa au 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) Utozaji wa ada au ushuru Ushuru wa huduma kukusanywa na Halmashauri kutoka kwa Kampuni, tawi la kampuni, taasisi ya biashara, mtoa huduma au mtu yeyote mwenye leseni ya biashara kwa huduma anazopata kutokana na kutumia miundombinu ya Umma inayomuwezesha kufanya biashara katika eneo la Halmashauri; “wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya
AI-assisted research summary: Halmashauri must charge fees or levies for permits, licenses, and other services at the rates set in the First Schedule.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali au leseni au huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo ya (1), ada au ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. la tawi - 5 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakusanya na kutoza ushuru wa
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ikusanye na kutoza ushuru wa huduma kwa kiwango kisichozidi 0.3% kutoka kwa kampuni, biashara, wafanyabiashara wenye leseni na watoa huduma ndani ya eneo lake, bila VAT na excise duty.
5.-(1) Halmashauri itakusanya na kutoza ushuru wa huduma kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kutoka kwa kila kampuni, biashara, kampuni, mfanyabiashara yeyote mwenye leseni ya biashara na mtoa huduma yeyote kwa kiwango kisichozidi asilimia sifuri nukta tatu (0.3%) kutokana na uzalishaji wa bidhaa, kazi na huduma zinazofanyika au kutolewa ndani ya eneo la Halmashauri ukiondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) na kodi ya bidhaa (excise duty). taasisi ya (2) Mfanyabiashara mwenye leseni ya biashara ambae ameshindwa kutunza kumbukumbu na hakuna namna ya kupata taarifa zake atalipa ushuru kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) Wajibu wa kulipa ada au ushuru - 6 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa.
6. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Muda wa kukusanya ada au ushuru - 7 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni
AI-assisted research summary: Ada au ushuru hukusanywa ndani ya muda uliowekwa, lakini Halmashauri au wakala anaweza kukusanya baada ya muda huo kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
7.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri au wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda ulioainishwa. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yoyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au wakala na baada ya kukamilisha malipo mlipaji atapewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (5) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri au wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda ulioainishwa. - 8 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutumia mahakama na kukamata au kushikilia mali zinazohamishika ili kukusanya madeni ya ushuru yanayodaiwa, na kabla ya kuuza mali zilizokamatwa lazima itoe taarifa ya siku saba kupitia Mkurugenzi.
8. Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi au kikundi au taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita tangu 5 Ukusanyaj i wa madeni Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya Mahakama. (4) Endapo mali zilizokamatwa zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama (5) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (3) na (4), kabla ya Halmashauri kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote ile itakayotokea ama wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri au wakala. Uteuzi wa wakala - 9 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kuteua wakala kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala wa kukusanya ada au ushuru, na wakala aliyechaguliwa lazima akusanye na kuwasilisha makusanyo hayo kwa masharti yaliyowekwa.
9.-(1) Halmashauri inaweza kuteua wakala kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa aya ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. Mamlaka ya Afisa Mwidhini wa - 10 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti mengine ya Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia eneo, jengo au chombo cha usafiri wakati wa mchana kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia masuala ya ada, ushuru, leseni au kibali.
10. Bila kuathiri masharti mengine ya Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) Makosa - 11 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Anyone commits an offence if they fail to pay fees or levies, interfere with officials, give false information, fail to keep required records, disobey payment orders, or use false documents for fee or levy collection benefits.
11.-(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi au Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria hii; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ada au ushuru; (e) atashindwa kuweka kumbukumbu au vitabu au hesabu, au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri; (f) atashindwa au atadharau au atakaidi au kukataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii; au (g) atatengeneza au atatayarisha au ataidhinisha kutengeneza au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri. Adhabu Kufifilish a kosa - 12 Verify source ↗
Mtu atakayetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii
AI-assisted research summary: A person convicted of an offence under this bylaw must pay a fine, serve imprisonment, or both.
12. Mtu atakayetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii na kutiwa hatiani atatakiwa kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. - 13 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa
AI-assisted research summary: The Director may compound an offence under this bylaw by charging up to TZS 200,000 if the offender admits the offence on the prescribed form and pays the fee or tax owed.
13. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji fomu maalumu atakiri kosa na kuwa iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. tayari kujaza 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) - 14 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri
AI-assisted research summary: This section repeals the Kibondo Council Fees and Charges By-law of 2008.
14. Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Kibondo ya Mwaka 2008 imefutwa. Kufutwa kwa Sheria Ndogo TS Na. 110 la 2008 ______________ JEDWALI LA KWANZA ______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1) na 5(2)) SEHEMU YA I: UKODISHAJI AU UPANGISHAJI WA MALI ZA HALMASHAURI Namba.
Part
SEHEMU YA I: UKODISHAJI AU UPANGISHAJI WA MALI ZA HALMASHAURI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada na ushuru wa soko na maeneo mengine ya Halmashauri kwa bidhaa, magari, vibanda, na huduma mbalimbali.
3. 4 5 6 Aina ya tozo Nyumba za Halmashauri Magari ya Halmashauri Kumbi za Halmashauri Viwanja vya wazi vya Halmashauri Vibanda vya biashara (kwa mwezi) Vifaa na Magari kiasi cha tozo (Shilingi) kwa mujibu wa mkataba. kwa mujibu wa mkataba. 300,000/= kwa siku. 50,000/= kwa siku. kwa mujibu wa mkataba. kwa mujibu wa makubaliano. 7 Vizimba kwa mjibu wa mkataba. SEHEMU YA II: USHURU WA SOKO, KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO Kiwango cha ushuru kwa siku (Shilingi) 10,000/= kwa kila gari. 20,000/= kwa kila gari. 500/= kila dumu. 1,000/= kwa kila gunia. 2,500/= kwa kila tenga/boksi. 500/= Namba. Aina ya Chanzo 1 2 3 4 5 6 Gari ndogo la mizigo Gari kubwa la mizigo Dumu la mawese lita 20 Dagaa Samaki Kuingiza sokoni Gunia, Tenga, Robota la mitumba na Kiloba Tafsiri ya Tenga - - - - - - - Tenga tikiti 15 Tenga nanasi 35 Tenga la fenesi 10 Tenga la staferi 50 Tenga la maboga 15 Mzigo wa miwa 10 Masanduku ya mbao ya kubebea nyanya 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) 7 8 9 10 11 12 13 Mama lishe au Baba lishe Eneo la matenga 500/= 500/= Ada ya eneo la machinjio ya kuku 500/= kwa kila mtu. Maegesho Sokoni Dalali Gulio Fundi nguo kwa cherehani 500/= kwa siku. 1,000/= kwa kila mtu. 500/= kwa kila mtu. 500/= kwa kila mtu. ANGALIZO: Maeneo ya kushusha na kupakia mizigo kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi ni kama ifuatavyo: Soko kuu la Kibondo mjini, stendi ya Maroli, soko la mikaratusini, soko la Mabamba, soko la ujirani Mwema Mkarazi, Kibuye, Kigina, Nyaruyoba, Kifura, mnada na maeneo mengine yatakayotengwa na Halmashauri kama maeneo ya kushusha na kupakia mizigo. SEHEMU YA III: USHURU WA MATANGAZO AU SANAA AU TAMASHA Namba.
Part
SEHEMU YA III: USHURU WA MATANGAZO AU SANAA AU TAMASHA
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This provision lists local council fees and charges for permits, transport registration, parking, livestock inspection, and related services.
7. 8 9 Aina ya Chanzo Vibali vya matamasha ya ngoma au nyimbo au muziki Maombi ya kibali cha kufanya sanaa au maonyesho au kumbi za picha jongefu Maombi ya kibali cha kupiga disko au dansi Matangazo kwa kutumia kipaza sauti Maombi ya kibali cha kufanya sherehe Kuendesha mikutano ya hadhara ya Injili Kuuza miziki ada ya usajili wa vikundi vya sanaa Ada za kumbi za starehe na mikutano Ada ya ukaguzi wa mihtasari ya Halmashauri Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 30,000/= kwa kibali. 10,000/= kwa siku. 35,000/= kwa siku. 350,000/= kwa siku. 10,000/= kwa siku. 10,000/= kwa siku. 25,000/= kwa siku. 25,000/= kwa siku. 10,000/= kwa kila Muhtasari. (a) Ushuru wa Maegesho Stendi ya mabasi au Probox au Malori na Maeneo mengine ya SEHEMU YA IV: Halmashauri Namba. 1 2 3 Gari binafsi Pikipiki Gari ndogo Aina ya chanzo Kiwango cha ushuru (Shilingi) 500/= kwa siku. 500/= kwa wiki. 500/= kwa siku. 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) 4 5 6 7 8 9 Teksi 500/= kwa siku. Gari ndogo ya abiria 1,500/= kwa siku. Gari kubwa ya abiria 3,000/= kwa siku. Lori lenye uzito zaidi ya tani saba (7) 5,000/=kwa siku. Malori lenye uzito chini ya tani saba (7) Ada ya kutunza gari ililokamatwa au kuzuiliwa lenye uzito chini ya tani saba 3,000/= kwa siku. 10,000/= kwa siku. 10 Ada ya kutunza gari ililokamatwa au kuzuiliwa lenye uzito zaidi ya tani saba 20,000/= kwa siku. (b) Ada ya Usajili Vyombo vya Usafiri NA. Aina ya chanzo Kiwango ch Ada (Shilingi) Pikipiki/ Bajaji Gari dogo la mizigo Teksi 5,000/= kwa mwaka. 10,000/= kwa mwaka. 50,000/= kwa mwaka. 50,000/= kwa mwaka. Gari lenye uwezo wa kubeba abiria chini ya 25 70,000/= kwa mwaka. Gari lenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 25 100,000/= kwa mwaka. Lori lenye uzito chini ya tani 7 Lori lenye uzito zaidi ya tani 7 100,000/= kwa mwaka. 150,000/= kwa mwaka. 1 2 3 4 5 6 7 8 SEHEMU YA V: A. Ada ya Machinjio na Ukaguzi wa Nyama Namba. Aina ya Mnyama Kiwango cha Ada (Shilingi) 1 2 3 4 5 Ng’ombe Kondoo au Mbuzi Nguruwe Cheti cha usafirishaji wa ngozi za wanyama zilizotengenezwa tayari kwa kuuzwa. Ukaguzi wa mifugo 5,000/= kwa kila mmoja. 1,500/= kwa kila mmoja. 2,500/= kwa kila mmoja. 3,000/= kwa cheti kimoja. 10,000/= kila mwezi anapoenda kukagua mifugo. 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) 6 Chanjo kwa Ng’ombe 550/= kwa kila Mmoja B. Ada Nyinginezo za Huduma ya Mifugo Namba. Aina ya Chanzo
Part
SEHEMU YA V:
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The text lists fees for keeping livestock at a slaughterhouse, market or auction fees for livestock, and poultry slaughterhouse fees.
4. Ada ya kutunza Ng’ombe mmoja machinjioni kwa siku Ada ya kutunza Mbuzi au Kondoo mmoja machinjioni kwa siku Ada ya soko au mnada wa mifugo Ada ya machinjio ya kuku C. Vibali vya kusafilisha mifugo Kiwango cha Ada (Shilingi). 1,000/= 500/= 1,000/=kwa kila mfugo 500/= kwa kila mmoja Namba. Aina ya Chanzo Kiwango cha Ushuru (Shilingi). - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The section lists several fees and license charges, including 10,000/= per permit, 5,000/= per permit, and 150,000/= for one license per year.
3. Ng’ombe au mbuzi na kondoo Wanyama wengine Leseni za usafirishaji ngozi na ngozi za wanyama zilizotengenezwa tayari kwa kuuzwa 10,000/= kwa kila kibali. 5,000/= kwa kila kibali. 150,000/= leseni moja kwa mwaka. SEHEMU YA VI: USHURU WA VYOO VYA UMMA Namba. Aina ya chanzo Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA VI: USHURU WA VYOO VYA UMMA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text shows a schedule of fees in shillings for different toilet uses and begins the next section on brick-factory charges.
3. Choo cha Sokoni Choo cha Stendi Maeneo mengine Kuoga Haja ndogo Haja kubwa Kuoga Haja ndogo Haja kubwa Kuoga Haja ndogo Haja kubwa Kiwango cha Ushuru (Shilingi). 500/= 300/= 300/= 500/= 300/= 300/= 500/= 300/= 300/= SEHEMU YA VII: USHURU WA VIWANDA VYA MATOFALI Namba. Aina ya chanzo Kiwango cha Ada au Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA VII: USHURU WA VIWANDA VYA MATOFALI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text lists an amount of 100,000/= for urban areas.
1. Maeneo ya mjini 100,000/= 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza ushuru/ada unaohusiana na mazao ghalani na usafirishaji wa mazao mbalimbali zaidi ya tani moja, pamoja na kiwango kinachoonekana kuwa 50,000/=.
2. Maeneo ya pembezoni 50,000/= SEHEMU YA VIII: USHURU WA KUHIFADHI MAZAO GHALANI NA KUSAFIRISHA MAZAO MBALIMBALI ZAIDI YA TANI MOJA Namba Aina ya chanzo Kiwango cha Ada au Ushuru
Part
SEHEMU YA VIII: USHURU WA KUHIFADHI MAZAO GHALANI NA KUSAFIRISHA MAZAO
- 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka ada na ushuru kwa bidhaa za kilimo, bidhaa za misitu, na baadhi ya shughuli za kuchakata mazao.
18. Mihogo 1,500/= kwa gunia ilisilozidi kilo 100. Alizeti au karanga na mazao mengine jamii ya kunde Miwa tani moja 2,000/= kwa gunia. 15,000/=kwa tani moja. Chia Dumu la alizeti lita 20 Mashudu Mahindi au mtama na mazao ya nafaka Kuhifadhi mazao katika ghala ndogo Kuhifadhi mazao katika ghala kubwa Chumvi Matunda Mkaa Mbao Mirunda 2,000/= kwa kila debe. 2,000/= kwa kila dumu. 2,000/= kwa kila gunia. 2,000/= kwa gunia. 25,000/= kwa kila mwaka. 50,000/= kwa kila mwaka. 2,000/= kwa gunia. 1,000/= kwa gunia. 1,000/= kwa gunia. 500/= kwa kila ubao. 1,000/= kwa kila gogo. Ndoo ya Asali masega au chujiwa Nta na mazao mengine ye nyuki 3,000/= kwa kilo 10 hadi 20. 500/= kwa kilo. Ushuru wa kukamua alizeti Ushuru wa kukoboa mpunga na kusaga mahindi 1,000/= kwa siku. 1,000/= kwa siku. 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) SEHEMU YA IX: USHURU WA KUSAFIRISHA MAZAO YA MISITU YA ASILI NA YA KUPANDWA A. Misitu Namba Aina ya chanzo Kukata au kukusanya au kusafirisha nishati ya kumi. Kukata na kusafirisha magogo ya futi 7 hadi 10 ya miti ya kupandwa Kukata au kusafirisha fito au nguzo za miti ya kupandwa fito au nguzo Kupasua na kusafirisha mbao zinazotokana na miti ya kupasua Kukata na kusafirisha magogo ya miti ya asili italipwa Kiwango cha Ada au Ushuru 2,500/=kwa mita moja ya ujazo 2,000/=kwa kila gogo 500/= kwa kila fito au nguzo 500/=kwa kila ubao 5% ya tozo za TFS. Kukata na kusafirisha fito au nguzo za miti ya asili italipwa 5% ya tozo za TFS. Kupasua na kusafirisha mbao zinazotokana na miti ya asili italipwa 5% ya tozo za TFS. 1 2 3 4 5 6 7 B. Utunzaji wa Mazingira Namba Aina ya Chanzo Kiwango cha Ada au Ushuru
Part
SEHEMU YA IX: USHURU WA KUSAFIRISHA MAZAO YA MISITU YA ASILI NA YA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Mwekezaji wa mradi lazima alipe 6% ya gharama ya tathmini ya athari kwa mazingira.
1. Mwekezaji wa mradi Atalipia 6% ya gharama aliyolipia tathmini ya athari kwa mazingira. SEHEMU YA X: ADA YA MAOMBI YA KUJENGA VITUO VYA KUOSHEA MAGARI Namba Aina ya chanzo Kiwango cha Ada au Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA X: ADA YA MAOMBI YA KUJENGA VITUO VYA KUOSHEA MAGARI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This provision lists health inspection fee amounts by area.
3. Maeneo ya katikati ya mji Nje ya maeneo ya katikati ya mji Maeneo mengine wa Vijijini 20,000/= kwa mwaka. 10,000/= kwa mwaka. 5,000/=kwa mwaka. SEHEMU YA XI: ADA YA UKAGUZI WA AFYA Namba Eneo la Ukaguzi Kiwango cha Ada (Shilingi.) Kwa mwezi
Part
SEHEMU YA XI: ADA YA UKAGUZI WA AFYA
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This fragment lists local fees for several business types, including lodging houses, restaurants, butcheries, and stalls or places for roasting/frying food.
4. Nyumba za kulala wageni Mighahawa Bucha. Vibanda au maeneo ya kuchomea nyama au kukaanga. Chipsi au 5,000/= 2,000/= 2,000/= 2,000/= 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) - 20 Verify source ↗
Section 20
AI-assisted research summary: This section lists fees for various premises and services, including an annual permit fee for alternative or traditional medicine.
20. 21 nyama au mayai. Hoteli. Kumbi za muziki (disko au dansi) au Baa. Vibanda vya biashara na maeneo ya biashara nyinginezo. Ghala ya bidhaa za vyakula vinywaji . Nyumba za makazi. Maduka ya dawa muhimu ya binadamu au mifugo. Zahanati au Kliniki na Vituo vya Afya vya Taasisi na watu binafsi. Maeneo ya biashara yaliyofungwa baada ya ukaguzi wa awali na kuomba kufanyiwa ukaguzi mpya Duka au kibanda cha biashara ya jumla. Ukaguzi wa Vioski. Majengo ya taasisi binafsi. Vyoo vya kibiashara vinavyoendeshwa na watu binafsi. Karakana na gereji za magari na mitambo. Karakana za vyuma na viwanda vya mbao. Mtoa tiba Asilia. Saluni ya kiume na kike. Ada ya kibali cha tiba mbadala au asilia 10,000/= 5,000/= 3,000/= 5,000/= 1,000/= 5,000/= 10,000/= 7,000/= 3,000/= 2,000/= 10,000/= 3,000/= 3,000/= 2,000/= 2,000/= 2,000/= 50,000/= kwa kila mwaka. SEHEMU YA XII: ADA YA HUDUMA ZA ARDHI (A) Ada na Vibali vya Ujenzi Namba. 1 2 3 4 5 6 7 8 9
Part
SEHEMU YA XII: ADA YA HUDUMA ZA ARDHI
- 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: This section lists permit and land-related fees in Tanzanian shillings for different building types and related applications.
10. Aina ya Jengo Jengo la makazi na biashara ya maduka Jengo la makazi ghorofa moja Jengo la makazi na biashara Jengo la biashara Jengo la biashara zaidi ya ghorofa moja Jengo la kiwanda Jengo la taasisi binafsi Ujenzi wa mnara Ada ya maombi ya upimaji wa Ardhi Ada ya kubadili matumizi ya kiwanja (B) Ada Nyinginezo Gharama (Shilingi) 25,000/= kwa kibali. 50,000/= kwa kibali. 150,000/= kwa kibali. 200,000/= kwa kibali. 250,000/= kwa kibali. 85,000/= kwa kibali. 500,000/= kwa kibali. 2,000,000/= kwa kibali. 20,000/= kwa kila kiwanja. 20,000/= kwa kibali Namba. Kazi Aina Ada (Shilingi) Muda - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Provision sets fees for fencing a plot and for certain building renovation and planning application permits.
1. Kuweka Uzio wa kiwanja. Bati au ukuta. 100/=kwa futi (Kulingana na Wiki Mbili hadi Mwaka 14 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) muda na eneo ambapo uzio utawekwa,) mmoja. (C) Ada ya Vibali vya Ukarabati wa Majengo Namba. 1 Ukarabati Kazi Aina Nyumba za watu binafsi Taasisi binafsi 2 Ukarabati au kibali kilichopita muda ulioombewa Nyumba za watu binafsi Ada (Shilingi) 10,000/= kwa kila kibali. 20,000/= kwa kila kibali. 30,000/= kwa kila kibali. Taasisi binafsi 50,000/= kwa kila kibali. (D) Ada ya maombi ya kupatiwa maelekezo ya kiupangaji Namba Eneo la makazi lisilo na msongamano 30,000/= Huduma zingine 1 2 Eneo la makazi lenye msongamano wa kati 25,000/= Eneno la makazi lenye msongamano 20,000/= Viwanda Ukubwa wa Eneo (i)Viwanda vya Huduma (ii)Viwanda vya kati (iii)Viwanda Vikubwa - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section shows farm area size categories, including ranges in square meters and acres.
3. Mashamba i)Mashamba madogo (ii)Mashamba ya kati Mita za Mraba 1,500 hadi 4,000 Mita za Mraba 4,001 hadi 8,000 Mita za Mraba zaidi ya 8,000 Ukubwa wa Eneo (Ekari) i. ( 1 hadi 2 - 2 Verify source ↗
5 hadi 4
AI-assisted research summary: Hati hii inaonyesha ada za maombi kwa shilingi na inataja "mashamba makubwa".
2.5 hadi 4 Ada ya Maombi (Shilingi) 40,000/= 80,000/= 200,000/= Ada ya Maombi (Shilingi) 20,000/= 50,000/= (iii)Mashamba makubwa - 4 Verify source ↗
5 hadi 10
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha ada za maombi kwa aina mbalimbali za taasisi, maeneo na zabuni za halmashauri, zikiwa na viwango tofauti kwa kila kundi.
4.5 hadi 10 100,000/= (iv)Mashamba makubwa zaidi zaidi ya 10 250,000/= 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) 4 5 6 Taasisi binafsi Ukubwa wa eneo (i)Shule ya awali (ii) Shule ya msingi (iii) Shule ya sekondari na vyuo Afya Ukubwa wa eneo (i)Zahanati (ii)Kituo cha Afya (iii)Shule ya Awali Ada ya Maombi (Shilingi) 30,000/= 50,000/= 80,000/= Ada ya Maombi (Shilingi) 25,000/= 50,000/= 100,000/= Maeneo ya Kuabudia na Kumbi mbalimbali Ukubwa wa eneo Ada ya Maombi (Shilingi) (i)Msikiti (ii)Kanisa (iii)Kituo cha maombi (iv)Kumbi mbalimbali 30,000/= 30,000/= 50,000/= 30,000/= 7 Ofisi Mbalimbali Ukubwa wa eneo Ada ya Maombi (Shilingi) (i) Taasisi binafsi (ii)Vituo vya mafuta (iii)Makazi maalum (iv)Hoteli (v)Hosteli (vi)Nyumba za kulala wageni 16 50,000/= 150,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) (vii)Upimaji na Uuzaji wa viwanja (viii)Makazi ya familia zaidi ya moja 200,000/= 50,000/= SEHEMU YA XIII: ADA ZA MAOMBI YA ZABUNI MBALIMBALI ZA HALMASHAURI Aina ya chanzo Ukusanyaji wa mapato Ujenzi wa barabara Ukusanyaji na uondoshaji wa taka ngumu (CBD) Ukusanyaji na uondoshaji wa taka ngumu (pembezoni) Kupakua mashimo ya maji taka (vyoo) Kukarabati na kujenga maduka Vioski na vizimba vya umma Kurekebisha mali za Halmashauri (magari na majengo) Ukaguzi na upimaji wa viwanja. Uendeshaji vyoo vya umma Namba
Part
SEHEMU YA XIII: ADA ZA MAOMBI YA ZABUNI MBALIMBALI ZA HALMASHAURI
- 10 Verify source ↗
Uendeshaji wa vioski vya Halmashauri
AI-assisted research summary: Section title: operation of municipal kiosks.
10. Uendeshaji wa vioski vya Halmashauri - 11 Verify source ↗
Huduma elekezi / mshauri (Consultancy services)
AI-assisted research summary: Section 11 is titled “Huduma elekezi / mshauri (Consultancy services)”.
11. Huduma elekezi / mshauri (Consultancy services) - 14 Verify source ↗
Huduma zisizohitaji ushauri wa kitaalamu (non-consultancy
AI-assisted research summary: This section is titled “Non-consultancy services.”
14. Huduma zisizohitaji ushauri wa kitaalamu (non-consultancy services) - 15 Verify source ↗
Maeneo mengine ambayo hayajatajwa
AI-assisted research summary: This section lists fee amounts in shillings for “other unspecified areas.”
15. Maeneo mengine ambayo hayajatajwa Kiasi (Shilingi) 50,000/= 100,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 50,000/= 100,000/= 50,000/= 20,000/= 50,000/= 20,000/= 50,000/= 50,000/= 20,000/= SEHEMU YA XIV: USHURU WA MADINI YA UJENZI Namba Aina ya Chanzo Kiwango cha Ada
Part
SEHEMU YA XIV: USHURU WA MADINI YA UJENZI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The provision sets a per-trip fee for trucks based on tonnage.
1. Tofali (i) Gari ya ujazo wa tani 1 hadi 5 3,000/= kwa tripu. (ii) Gari ya ujazo wa tani 6 hadi 10 5,000/= kwa tripu. (iii) Gari ya ujazo wa tani 10 hadi 15 7,000/= kwa tripu. (iv) Gari ya ujazo wa tani 16 na kuendelea 10,000/= kwa tripu. - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This provision sets fees for transporting building materials and related items, plus inspection and annual ownership fees for sites to be mined for construction minerals.
2. Udongo (i) Gari ya ujazo wa tani 1 hadi 5 Tshs 1,000/= kwa tripu. 17 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) (ii) Gari ya ujazo wa tani 6 hadi 10 Tshs 2,000/= kwa tripu. (iii) Gari ya ujazo wa tani 10hadi 15 Tshs 3,000/= kwa tripu. (iv) Gari ya ujazo wa tani 16 na kuendelea Tshs 4,000/= kwa tripu. 3 Mawe au Moramu au Mchanga au Kokoto ya ujazo (i) Gari ya ujazo wa tani 1 hadi 5 2,5000/= kwa tripu. (ii) Gari ya ujazo wa tani 6 hadi 10 3,500/= kwa tripu. (iii) Gari ya ujazo wa tani 10 hadi 15 5,000/= kwa tripu. (iv) Gari ya ujazo wa tani 16 na kuendelea 6,000/= kwa tripu. 4 5 6 Chokaa na aina nyingenezo za namna hiyo 300/= kwa mfuko wa kilo 25. Ada ya ukaguzi wa eneo linalokusudiwa kuchimbwa madini ya ujenzi 100,000/= kwa kila maombi yatakayo kaguliwa. Ada ya umiliki wa eneo linalochimbwa madini ya ujenzi 500,000/= kwa kila mwaka. SEHEMU YA XV: USHURU WA SOKO GULIO NA MINADA Namba.
Part
SEHEMU YA XV: USHURU WA SOKO GULIO NA MINADA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section identifies the source type as a market tax.
1. Aina ya chanzo Ushuru wa kwenye masoko - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: The section lists daily fees for selling certain goods at a gulio or auction, with some activities paying 500, 1,000, 1,500, 3,500, or 5,000 shillings per day, or using an entrepreneur identity card.
8. Vizimba Kuuza nguo za mitumba kwenye gulio au minada Kuuza nguo mpya kwenye gulio au mnada Mama na Baba lishe Kuuza nyama ya ng’ombe kwenye gulio au mnada, mbuzi na kondoo Kuuza nyama ya mbuzi, kondoo na kuku au jamii nyingine ya ndege kwenye gulio au mnada, Kuuza Vyombo vya ndani kwenye gulio au mnada Kiwango cha Ada (Shilingi) 500/= kwa siku au kitambulisho cha mjasiliamali. 500/= kwa siku au kitambulisho cha Mjasiliamali. 1,500/= kwa siku au kitambulisho cha mjasiliamali. 1,000/= kwa siku au kitambulisho cha mjasiliamali. 500/= kwa siku au kitambulisho cha mjasiliamali. 5,000/= kwa siku au kitambulisho cha mjasiliamali. 3,500/= kwa siku au kitambulisho cha mjasiliamali. 1,000/= kwa siku au kitambulisho cha mjasiliamali. 18 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Section 10 mentions a chicken-selling stall at the market, gulioni or mnadani, and the sale of bran.
10. Banda la kuuzia kuku sokoni, gulioni au mnadani Uuzaji wa pumba - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Inataja kiasi cha 500/= kwa siku au kitambulisho cha mjasiliamali, na pia kiwango cha 500/= mpaka 1,000/= kwa siku.
12. Bidhaa zinginezo 500/= kwa siku au kitambulisho cha mjasiliamali. 500/= kwa siku au kitambulisho cha mjasiliamali. 500/= kwa siku au kitambulisho cha mjasiliamali. 500/= mpaka 1,000/= kwa siku. - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: A permit for transporting produce costs 2,000/= per permit.
13. Kibali cha kusafirisha mazao 2,000/= kwa kila kibali. - 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: Ada na ushuru unawekwa kwa baadhi ya shughuli za kuuza na kwa usafirishaji wa maji kwa viwango tofauti kulingana na aina ya chombo na ujazo.
14. Ushuru wa kuuza gulioni na minada 500/= kwa siku. SEHEMU YA XVI: USHURU WA MAJI Namba. 1 2 3 Aina ya Chanzo Gari kubwa au Boza linalobeba ujazo wa lita 501 hadi 20,000 Kenta au gari dogo la mizigo linalobeba ujazo wa lita 3001 hadi 5000 Mkokoteni unaobeba ujazo wa lita 100 hadi 3000 Kiwango cha Ada (Shilingi) 10,000/= kwa tripu. 3,000/= kwa tripu. 1,000/= kwa tripu. SEHEMU YA XVII: USHURU WA HUDUMA Namba. 1
Part
SEHEMU YA XVII: USHURU WA HUDUMA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha viwango vya ada: taasisi za shule na huduma za afya za sekta binafsi hulipa Tshs 500,000 kwa mwaka, makampuni ya aina zote Tshs 200,000 kwa mwaka, na biashara nyingine zisizo na VAT Tshs 100,000 kwa mwaka.
3. Aina ya Chanzo Kwa Taasisi za shule na huduma za Afya kwa sekta binafsi Makampuni ya aina zote Kiasi cha Ada (Shilingi) 500,000/= kwa mwaka. 200,000/= kwa mwaka. Biashara nyinginezo zisizo na VAT 100,000/= kwa mwaka. SEHEMU YA XVIII: ADA YA HUDUMA YA UKUSANYAJI NA UZOAJI WA TAKA Namba. Aina ya Biashara au mchangiaji Kiwango cha Ada kwa Mwezi (Tshs)
Part
SEHEMU YA XVIII: ADA YA HUDUMA YA UKUSANYAJI NA UZOAJI WA TAKA
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section lists fee amounts for several business and service categories, including a small restaurant or tea/food stall, kiosk, lodge, dispensary, and health center.
5. Mgahawa mdogo au kibanda cha kuuzia chai au chakula. Kioski na Glosari. Nyumba ya kulala wageni Zahanati (Taka zisizo hatari). Kituo cha Afya (Taka zisizo hatari). 3,000/= 3,000/= 5, 000/= 10, 000/= 15, 000/= 19 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) - 40 Verify source ↗
Section 40
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka ada ya kila mwezi ya kutupia taka kwenye jaa la halmashauri, ikiwemo ada ya Shilingi 30,000 kwa taka chini ya tani moja na Shilingi 50,000 kwa taka ya tani moja.
40. Fundi Seremala. Fundi chuma. Karakana au gereji za magari. Karakana nyinginezo. Duka la jumla Duka la reja-reja. Duka dogo la vyakula. Duka kubwa la vyakula. Baa Kumbi za Starehe au disko Duka la kuuza samaki au nyama (bucha ya samaki au nyama) Kibanda au kituo cha nyama choma au chipsi kinachojitegemea Duka la Dawa (Jumla na reja—reja) Duka la dawa la reja—reja Kiwanda kidogo au kiwanda cha kati Fundi cherehani Saluni ya wanaume au wanawake Kibanda au mwamvuli wa kuuza vocha za simu eneo la Hifadhi la Ardhi la Halmashauri ya Wilaya. Kituo cha Kuuzia nishati ya mafuta Washona viatu Wauza viatu vya mitumba/ dukani Wauza nguo za mitumba Toroli la bidhaa au matunda Stoo za mkaa Stoo za mbao Mama au Baba lishe Duka la kuuzia vipuli vya magari Kila kaya Kila meza au kizimba ndani ya soko Ofisi za Taasisi kama benki au posta na tasisi nyingine za kifedha. Steshenari au maduka ya kuuza vitabu Duka la dawa muhimu za binadam au duka la dawa za mifugo au pembejeo za kilimo Hospitali au vituo vya Afya au zahanati za watu binafsi Vyuma chakavu tani moja 3,000/= 2, 000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= 3,000/= 2, 000/= 3,000/= 3,000/= 10,000/= 3,000/= 2,000/= 2,000/= 2,000/= 10, 000/= 2,000/= 3,000/= 2,000/= 10,000/= 2,000/= 2,000/= 2,000/= 2,000/= 5,000/= 5,000/= 2,000/= 3,000/= 500/= 2,000/= 10,000/= 5,000/= 3,000/= 10,000/= 12,000/= SEHEMU YA XIX: GHARAMA ZA UTUPAJI TAKA KWENYE JALALA (JAA) LA TAKA LA HALMASHAURI Namba. 1 Kiasi cha Taka Ada kwa Mwezi (Shilingi) Taka za aina yoyote kwa kiwango cha ujazo 30,000/= 20 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) 2 chini ya tani moja. Taka za aina yoyote kwa kiwango cha ujazo tani moja. 50,000/= JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 12) _____________ FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi …………………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, kwamba mnamo tarehe ………… ya mwezi…………...…. Mwaka ………...… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya ……………ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo ya Mwaka 2023. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri, Niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe …………………..ya Mwezi …………… Mwaka ………………… Jina: …………………………………………. Saini: ……………………………. MBELE YA: Jina: …………………………………… Wadhifa: ……………………………………. Saini: ……………………………….. Tarehe: ……………………………… 21 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Tangazo La Serikali Na. 918 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya Kibondo imebandikwa kwenye sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa katika kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo uliofanyika Tarehe 31 mwezi 01 Mwaka 2023 DIOCLES M. RUTEMA Mkurugenzi Mtendaji (W) Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo HABILI C. MASEKE Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARI MCHENGERWA (MB) 31 Oktoba, 2023 Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais, (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 22
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo ya Mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in