Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo za Mwaka, 2023
This provision gives the by-law its short title.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo za Mwaka, 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the by-law its short title. This provision says the law applies throughout the area of the Rombo District Council authority. Sehemu hii inafafanua istilahi zinazotumika katika Sheria Ndogo hii. Halmashauri lazima ikusanye ushuru wa huduma kutoka kwa makampuni, matawi, taasisi za biashara, wafanyabiashara wenye leseni, na watoa huduma ndani ya eneo lake, kwa kiwango kisichozidi 0.3%, bila kujumuisha VAT na ushuru wa bidhaa. Kila mlipa ushuru wa huduma lazima alipe ushuru, awasilishe taarifa na hesabu sahihi, atunze na aonyeshe kumbukumbu, na afuate muda uliowekwa wa malipo na uwasilishaji.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo za Mwaka, 2023
Showing 16 of 16
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama
AI-assisted research summary: This provision gives the by-law its short title.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo ya Mwaka 2023. - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogohii itatumika katika eneo
AI-assisted research summary: This provision says the law applies throughout the area of the Rombo District Council authority.
2. Sheria Ndogohii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo. - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa
AI-assisted research summary: Sehemu hii inafafanua istilahi zinazotumika katika Sheria Ndogo hii.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo: “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Rombo; “kipindi maalum cha hesabu” maana yake ni muda ambao mfanyabiashara anatakiwa kuwasilisha hesabu za biashara kwa Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi 1 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo Tangazo la Serikali Na.32 (Linaendelea.) Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza kazi za Mkurugenzi chini ya Sheria Ndogo hii; “mlipa ushuru wa huduma” maana yake ni taasisi, kampuni, tawi la kampuni au mfanyabiashara leseni anayefanya shughuli zake katika eneo la Halmashauri; mwenye kukusanywa “ushuru wa huduma” maana yake ni ushuru na unaotozwa na Halmashauri kutoka kwa kampuni, tawi la kampuni au mfanyabiashara yeyote leseni ya biashara ambaye mwenye mauzo yake kwa mwaka ni zaidi ya shilingi milioni nne kutokana na huduma anazopata na kutumia miundombinu ya kufanya inayomuwezesha umma biashara katika eneo la Halmashauri; “Wakala” maana yake ni mtu binafsi au kikundi cha watu, kampuni au shirika ambalo limeteuliwa na Halmashauri kufanya kazi yoyote chini ya Sheria Ndogo hii kwa niaba ya Halmashauri.. - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakusanya na kutoza
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ikusanye ushuru wa huduma kutoka kwa makampuni, matawi, taasisi za biashara, wafanyabiashara wenye leseni, na watoa huduma ndani ya eneo lake, kwa kiwango kisichozidi 0.3%, bila kujumuisha VAT na ushuru wa bidhaa.
4.-(1) Halmashauri itakusanya na kutoza ushuru wa huduma kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kutoka kwa kila kampuni, tawi la kampuni, taasisi ya biashara, mfanyabiashara yeyote mwenye leseni ya biashara na mtoa huduma yeyote yule kwa kiwango kisichozidi asilimia sifuri nukta tatu (0.3%) kutokana na uzalishaji wa bidhaa, kazi na huduma zinazofanyika au kutolewa ndani ya eneo la Halmashauri ukiondoa kodi ya ongezeko la thamani na ushuru wa bidhaa. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo 2 Ushuru wa huduma Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo Tangazo la Serikali Na.32 (Linaendelea.) ya (1), Halmashauri itatoza na kukusanya Ushuru wa Huduma kiwango kilichoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii kutoka kwa wafanyabiashara wenye leseni za biashara ambao wameshindwa kutunza kumbukumbu za kibiashara. kwa Wajibu wa mlipa ushuru - 5 Verify source ↗
(1) Kila mlipa ushuru wa huduma
AI-assisted research summary: Kila mlipa ushuru wa huduma lazima alipe ushuru, awasilishe taarifa na hesabu sahihi, atunze na aonyeshe kumbukumbu, na afuate muda uliowekwa wa malipo na uwasilishaji.
5.-(1) Kila mlipa ushuru wa huduma atakuwa na wajibu wa- (a) kulipa ushuru wa huduma kwa kiwango kilichoainishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) kuwasilisha taarifa sahihi za mauzo ya kila mwezi endapo anawasilisha taarifa za hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania. (c) kuwasilisha hesabu sahihi na za kweli; (d) kuwasilisha nyaraka, maelezo au taarifa kwa inayotakiwa Halmashauri katika muda uliowekwa; (e) kutunza kumbukumbu, vitabu au hesabu; kuwasilishwa na (f) kuonyesha kumbukumbu yoyote au nyaraka kwa ajili ya uchunguzi. (2) Kila mlipa ushuru wa huduma atatakiwa kulipa ushuru wa huduma si zaidi ya siku kumi na nne tangu tarehe ya kuwasilisha taarifa za mauzo ya kila mwezi. (3) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (2), Halmashauri inaweza kukubaliana na mlipa ushuru wa huduma utaratibu wa kulipa ushuru huo. (4) Kila mlipa ushuru atatakiwa kuwasilisha kwa Halmashauri hesabu za mwisho katika kipindi cha miezi mitatu tangu kumalizika kwa kipindi cha hesabu. (5) Iwapo mlipa ushuru hajawasilisha hesabu za mwisho kwa mwaka wa fedha husika 3 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo Tangazo la Serikali Na.32 (Linaendelea.) na ametakiwa kufanya hivyo kwa notisi ya siku thelathini, Mkurugenzi anaweza kwa kadri atakavyoona inafaa, kukadiria kiwango cha hesabu za mlipa ushuru huyo kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (6) Ushuru uliofanyiwa tathimini kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, utalipwa katika kipindi cha siku thelathini tangu tarehe ya tathmini. (7) Iwapo mlipa ushuru hajawasilisha majumuisho ya hesabu zake kwa mwaka wowote wa mapato, na endapo Mkurugenzi au Afisa Mwidhiniwa anaona kwamba mlipa ushuru huyo ana wajibu wa kulipa ushuru kwa mwaka huo, anaweza kwa kadri atakavyoona, kukadiria kiwango cha hesabu za mlipa ushuru huyo, tathmini hiyo haitaathiri wajibu wowote wa mlipa ushuru anayostahili kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kwa kushindwa kwake kuwasilisha hesabu hizo. isipokuwa - 6 Verify source ↗
(1) Endapo mlipa ushuru wa huduma
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kutoa notisi, kuomba taarifa kwa maandishi, kuagiza ukaguzi, kuteua mtoza ushuru, na kuhitaji nyaraka za biashara kutoka kwa walipa ushuru wa huduma.
6.-(1) Endapo mlipa ushuru wa huduma anayetakiwa kuwasilisha taarifa ya mauzo chini ya Sheria Ndogo hii atashindwa kuwasilisha taarifa za mauzo kwa wakati, Mkurugenzi anaweza kutoa notisi ya kumtaka mlipa ushuru wa huduma kuwasilisha taarifa hiyo ndani ya siku thelathini kuanzia tarehe ya kutolewa kwa notisi. sahihi (2) Mkurugenzi anaweza kumtaka kwa maandishi mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu mfanyabiashara anayepaswa kulipa Ushuru wa Huduma kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kuwasilisha kwake taarifa hizo. (3) Mkurugenzi anaweza kumwagiza kwa maandishi afisa mwidhiniwa kuingia kwenye jengo au eneo la taasisi ya kibiashara 4 Mamlaka ya Mkurugenzi Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo Tangazo la Serikali Na.32 (Linaendelea.) au la mlipa ushuru yeyote kwa nia ya kufanya uchunguzi na tathmini ya kumbukumbu za biashara, vitabu vya hesabu na taarifa kwa ajili ya kupata na kujua kiwango sahihi cha ushuru anachotakiwa kulipa. (4) Mkurugenzi anaweza kumteua Kamishna wa kodi ya forodha au kodi ya mapato kwa ajili ya kutathmini na kukusanya ushuru wa huduma na kuwasilisha kwa Halmashauri kwa lengo la kupata ushuru wa huduma pamoja na madeni yake. kwa (5) Mkurugenzi ya maandishi, anaweza kumtaka mlipa ushuru yeyote kuwasilisha hesabu zenye taarifa kamili za shughuli za kibiashara zikionyesha thamani ya kiasi na ya kifedha ya bidhaa au huduma zilizozalishwa, kutolewa kusambazwa au kuuzwa kibiashara na taarifa ya fedha katika kipindi maalumu kisichozidi siku thelathini tangu tarehe ya taarifa hiyo. taarifa kwa taarifa (6) Mkurugenzi, ya maandishi ya siku saba, anaweza kumtaka mlipa ushuru kuwasilisha kumbukumbu za kibiashara na vitabu vya hesabu kwa nia ya kupata taarifa kwa ajili ya kufanyiwa tathmini au kukusanya ushuru wa huduma. - 7 Verify source ↗
Halmashauri itakokotoa ushuru wa
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ikokotoe ushuru wa huduma kwa walipa ushuru wa huduma wanaowasilisha taarifa za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania.
7. Halmashauri itakokotoa ushuru wa huduma kwa walipa ushuru wa huduma wanaowasilisha taarifa za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kuzingatia taarifa zinazowasilishwa na walipa Ushuru wa Huduma katika kipindi maalum cha hesabu. - 8 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kuteua wakala
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kuteua wakala wa kukusanya ushuru wa Halmashauri, na wakala huyo lazima awasilishe majumuisho ya makusanyo na ushuru aliokusanya kwa mujibu wa mkataba.
8. Mkurugenzi anaweza kuteua wakala wa ya kukusanya ushuru Halmashauri na wakala huyo atakuwa na niaba kwa 5 Ukokotoaji wa ushuru wa huduma Uteuzi wa Wakala Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo Tangazo la Serikali Na.32 (Linaendelea.) mamlaka ya afisa mwidhiniwa jukumu la: (a) kuwasilisha majumuisho ya makusanyo ya ushuru kwa Mkurugenzi au Afisa Mwidhiniwa; (b) kuwasilisha ushuru aliokusanya kwa mujibu wa mkataba. - 9 Verify source ↗
Afisa mwidhiniwa anaweza
AI-assisted research summary: Afisa mwidhiniwa anaweza kupokea, kukubali, kukataa, na kutathmini hesabu za mlipa ushuru katika hali zilizoelezwa.
9. Afisa mwidhiniwa anaweza- (a) kupokea na kukubali hesabu za mlipa ushuru na kuzifanyia kutathmini; (b) kufanya tathmini kuhusu kiwango cha hesabu cha mlipa ushuru endapo hesabu hizo zitakuwa si sahihi; (c) kukataa hesabu za mwisho na kufanya tathmini kuhusu hesabu hizo iwapo atakuwa na sababu za msingi za kuamini kuwa hesabu hizo siyo sahihi. Makosa - 10 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anaweza kutenda kosa akishindwa kuwasilisha taarifa sahihi za mauzo, akitoa taarifa zisizo sahihi, akishindwa kulipa ushuru wa huduma kwa wakati, au akizuia maafisa kutekeleza majukumu yao.
10.-(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) atashindwa kuwasilisha kwa Halmashauri taarifa sahihi za mauzo katika muda ulioainishwa katika Sheria hii; (b) atawasilisha kwa Halmashauri taarifa zisizo sahihi; (c) atashindwa kulipa ushuru wa huduma katika muda ulioainishwa katika Sheria hii; (d) atamshawishi mlipa ushuru wa huduma kukataa au kukwepa kulipa ushuru wa huduma; au (e) atamzuia Mkurugenzi, afisa mwidhiniwa au wakala kutekeleza majukumu yake aliyopewa kwa mujibu wa Sheria hii. (f) atafanya kwa kupunguza au kutoa hesabu zisizokuwa hesabu uongo za 6 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo Tangazo la Serikali Na.32 (Linaendelea.) sahihi kwa Halmashauri au wakala; (g) atatoa taarifa isiyokuwa sahihi kuhusu jambo lolote linaloweza kuathiri jukumu lake au la mtu mwingine la kulipa ushuru; (h) ataandaa au atasababisha au kutengenezwa kwa vitabu vya uongo vya hesabu au kumbukumbu; atatengeneza kuandaliwa au (i) atashindwa kulipa ushuru wa huduma ndani ya muda ulioainishwa katika Sheria hii; au (j) atashindwa kutunza yoyote au nyaraka kwa ajili ya ukaguzi. kumbukumbu Adhabu Kufifilisha kosa - 11 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayetenda kosa chini
AI-assisted research summary: Anyone convicted of an offence under these bylaws is liable to a fine, imprisonment, or both.
11. Mtu yeyote atakayetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii na kutiwa hatiani atatozwa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja. - 12 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi ana uwezo wa kulipisha na kufifilisha kosa kwa mtu aliyekosa chini ya Sheria Ndogo hii, hadi shilingi 200,000, ikiwa mkosaji anakiri kosa, yuko tayari kujaza fomu maalumu, na analipa ushuru unaodaiwa.
12. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ushuru anaodaiwa. 7 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo Tangazo la Serikali Na.32 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA KWANZA _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(2)) VIWANGO VYA USHURU WA HUDUMA Na.
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha viwango vya ada ya leseni na kodi ya huduma kwa kiasi cha shilingi.
2. Aina ya Biashara au Kiwango cha Ada ya Leseni (Shilingi) kati ya 10,000/= hadi 20,000/= Kiwango cha Kodi ya Huduma (Shilingi) Muda 10,000/= Kwa mwaka kati ya 30,000/= hadi 40,000/= 20,000/= Kwa mwaka - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The provision states an amount range of 50,000 to 90,000 and another amount of 30,000 per year.
3. kati ya 50,000/= hadi 90,000/= 30,000/= Kwa mwaka - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: A 50,000 amount is stated for the 100,000 to 150,000 bracket, per year.
4. kati ya 100,000/= hadi 150,000/= 50,000/= Kwa mwaka - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Hii ni fomu ya kukiri kosa na kuthibitisha nia ya kulipa ushuru unaodaiwa pamoja na faini mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo.
5. zaidi ya 250,000/= 150,000/= Kwa mwaka 8 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo Tangazo la Serikali Na.32 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA PILI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 12) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya …… ya Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo ya Mwaka, 2023. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, niko tayari kulipa kiasi cha ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe …………………. ya Mwezi …………… Mwaka ………………… Jina: …………………………………………. Saini: ……………………………. MBELE YA: Jina: …………………………………… Cheo: ……………………………………. Saini: ……………………………….. Tarehe: ……………………………… 9 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo Tangazo la Serikali Na.32 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia Azimio la Mkutano wa baraza la Madiwani uliofanyika tarehe 3/3/2023 na Lakiri imebandikwa mbele ya:- GODWIN JUSTIN CHACHA, Mkurugenzi Mkuu, Halmashauri ya wilaya, Rombo GILBERT ALEX TARIMO, Mwenyekiti, Halmashauri ya wilaya, Rombo L.S /NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA (Mb.), 31 Oktoba, 2023 Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI, 10
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo za Mwaka, 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in