Sheria Ndogo ya (Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ya Mwaka, 2024
This section gives the short title of the by-law as the Moshi District Council Livestock Control and Management By-law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya (Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ya Mwaka, 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the by-law as the Moshi District Council Livestock Control and Management By-law, 2024. This bylaw applies throughout the entire area under the authority of Moshi District Council. This section defines key terms used in the by-law, including the authorized officer, council, livestock, slaughterhouse, permit, and related roles. Halmashauri lazima ifanye kazi kadhaa kuhusu matumizi ya ardhi, ufugaji, chanjo, sensa ya mifugo, na udhibiti wa mifugo ndani ya eneo lake. Kila mfugaji lazima atimize masharti ya ufugaji na usimamizi wa mifugo yaliyoorodheshwa katika kifungu hiki.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya (Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ya Mwaka, 2024
Showing 40 of 40
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the by-law as the Moshi District Council Livestock Control and Management By-law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya (Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika eneo lote la mamlaka ya
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the entire area under the authority of Moshi District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika eneo lote la mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa kama muktadha
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including the authorized officer, council, livestock, slaughterhouse, permit, and related roles.
3. Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo: “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “afya” maana yake ni hali timilifu ya kimwili na kiakili ya mnyama; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. “kaya” maana yake ni familia ya watu akiwemo baba, mama, mtoto au watoto na mtu mwingine yeyote anayeishi na familia hiyo, au watu wanaokaa katika nyumba moja na kuishi kama familia au mtu yeyote anayeishi peke yake katika chumba au nyumba; 1 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) “kero au chukizo” maana yake ni kitu chochote ambacho kipo katika hali yoyote iwe kinatumika au kimewekwa au kimejengwa au ni kichafu kiasi cha kusababisha: (a) hatari kwa viumbe na maisha ya binadamu; (b) harufu mbaya ya kuudhi; (c) kuzaliana kwa wadudu na wanyama hatari kama vile inzi, mende, sisimizi, panya, nyoka, nyuki, kunguni au viumbe wengine hatari; (d) magonjwa kwa binadamu, kuhifadhi mbu, inzi, panya na viumbe wenye madhara; “kibali” maana yake ni idhini ya maandishi inayotolewa na shughuli ajili ya kufanya Halmashauri kwa iliyokusudiwa chini ya Sheria Ndogo hii; “machinjio” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi ikiwa ni pamoja na maeneo ya taasisi ya umma au watu binafsi yaliyopo katika eneo la Halmashauri; “meneja wa machinjio” maana yake ni Meneja wa Machinjio yanayomilikiwa na Halmashauri aliyeteuliwa kwa mujibu wa Hati ya Uanzishaji wa Bodi ya Huduma ya Machinjio ya Halmashauri; “mfugo” maana yake ni ng’ombe, mbuzi, kondoo, kuku, na wanyama wengine wafugwao na binafsi; “mkaguzi wa nyama” maana yake ni mtaalam wa afya ya mifugo aliyeajiriwa na Serikali na kusajiliwa au kuorodheshwa au kuandikishwa na Baraza la Veterinari Tanzania; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Moshi au afisa yeyote atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mmiliki wa machinjio” maana yake ni mtu yeyote la anayemiliki machinjio binafsi katika eneo Halmashauri; “ufugaji wa ndani” maana yake ni ufugaji na ulishaji wa mifugo ndani ya jengo lililoruhusiwa; 2 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) “Wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi, shirika, au kampuni iliyoteuliwa kwa ajili ya kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “wanyama wa mapambo” maana yake ni wanyama rafiki wanaofugwa na binadamu kwa aajili ya nakshi ya nyumba, ulinzi au kufurahisha nafsi ya mtumiaji; “zizi” maana yake ni jengo au eneo lililozungushiwa uzio ambalo linatumika kuhifadhi mifugo iliyokamatwa ambalo linatunzwa na kusimamiwa na Halmashauri; - 4 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na wajibu wa kufanya mambo
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ifanye kazi kadhaa kuhusu matumizi ya ardhi, ufugaji, chanjo, sensa ya mifugo, na udhibiti wa mifugo ndani ya eneo lake.
4. Halmashauri itakuwa na wajibu wa kufanya mambo yafuatayo: Wajibu wa Halmasha uri (a) kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi; (b) kuelekeza idadi ya mifugo ambayo kila mfugaji anaruhusiwa kufuga kulingana na ukubwa wa eneo lake; (c) kujenga majosho ya mifugo kwa kushirikiana na wananchi; (d) kutoa elimu ya ufugaji bora kwa jamii ili kuongeza tija; (e) kufanya sensa ya mifugo, kuweka alama na kutoa kadi za mifugo; (f) kutoa chanjo kwa kushirikiana na wafugaji ili kudhibiti magonjwa ya mifugo yasiyoambukiza na yanayoambukiza binadamu; na (g) kudhibiti uzururaji holela wa mifugo na wanyama katika Halmashauri kwa mujibu wa Sheria. - 5 Verify source ↗
Kila mfugaji chini ya Sheria Ndogo hii atahakikisha
AI-assisted research summary: Kila mfugaji lazima atimize masharti ya ufugaji na usimamizi wa mifugo yaliyoorodheshwa katika kifungu hiki.
5. Kila mfugaji chini ya Sheria Ndogo hii atahakikisha (a) anaogesha mifugo yake ili kudhibiti magonjwa ya na atakavyoelekezwa kama wanyama Halmashauri; (b) mifugo yake inawekwa alama maalumu zinazotolewa kwa mujibu wa sheria husika; 3 Wajibu wa mfugaji kuwa: Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) (c) anahudhuria mafunzo ya ufugaji kama atakavyo hitajika na Halmashauri; (d) anafuga jengo ya mifugo idadi lililoidhinishwa na maelekezo kulingana yaliyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii; katika (e) anakuwa na kadi ya mifugo itakayo onesha idadi na aina ya mifugo aliyonayo; (f) anaipatia mifugo yake malisho au chakula na maji ya kutosha kwa kuzingatia kanuni bora za ufugaji; (g) ana kibali cha kusafirisha mifugo na mazao yake; (h) anafuga kwa kuzingatia mipango ya matumizi bora ya ardhi; (i) anapeleka mifugo yake katika vituo vya chanjo kama itakavyoamriwa na Halmashauri na atalipia chanjo hiyo kama atatakiwa kufanya hivyo kwa mujibu wa viwango vitakavyoainishwa na mamlaka husika; na (j) anauza mifugo yake katika masoko na minada taarifa lingine kwa iliyoidhinishwa au eneo maalum. Kibali cha kufuga wanyama - 6 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakayetaka kufuga mifugo
AI-assisted research summary: Mtu anayetaka kufuga mifugo lazima apate kibali cha kufuga kutoka kwa Halmashauri; kibali hicho ni bure na ni cha miaka mitatu.
6.-(1) Mtu yeyote atakayetaka kufuga mifugo atalazimika kupata kibali cha kufuga kutoka kwa Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. (2) Kibali kilichotajwa katika kifungu kidogo cha (1) hakitakuwa na gharama na kitakua cha miaka mitatu kuanzia tarehe kilipotolewa. (3) Bila kuathiri masharti ya Kifungu Kidogo cha (1) na (2) mtu yeyote atakayekiuka taratibu za ufugaji kulingana na Sheria Ndogo hii kibali chake kitafutwa na atalazimika kuhamisha mifugo yake yote. Masharti - 7 Verify source ↗
Kila mfugaji hataruhusiwa
AI-assisted research summary: Mfugaji haruhusiwi kufanya shughuli mbalimbali za mifugo bila kibali au nje ya maeneo yaliyotengwa/kuidhinishwa.
7. Kila mfugaji hataruhusiwa: 4 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) kwa mfugaji Kibali cha kusafirish a mifugo (a) kuchunga, kulisha au kunywesha maji mifugo katika maeneo ambayo hayakutengwa kwa shughuli hiyo; (b) kusafirisha mifugo kwa kuiswaga barabarani; (c) kusafirisha au kuhamisha mifugo kutoka eneo moja hadi lingine bila kibali kutoka Halmashauri; (d) kuingiza mifugo katika eneo la Halmashauri bila kibali; (e) kuuza au kununua mifugo katika maeneo ambayo siyo mnada, masoko au magulio ya mifugo cha yaliyoaidhinishwa bila kibali maalum Halmashauri; (f) kufuga mifugo zaidi ya idadi iliyoainishwa katika Sheria Ndogo hii; na (g) kununua, kuuza au kufanya biashara ya kubadilishana aina yoyote ya mfugo au mifugo katika eneo la Halmashauri bila kibali maalum au magulio kwenye minada isipokuwa yaliyotengwa kwa shughuli hiyo na Halmashauri. - 8 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote ambaye anataka kusafirisha mfugo
AI-assisted research summary: Mtu anayetaka kusafirisha mfugo au mazao yake kuingia au kutoka katika eneo la Halmashauri lazima apate kibali maalumu. Halmashauri pia huweka utaratibu wa utoaji wa kibali hicho, na Afisa Mwidhiniwa anaweza kukamata na kutoza faini au adhabu kwa usafirishaji unaokiuka sheria ndogo hii.
8.-(1) Mtu yeyote ambaye anataka kusafirisha mfugo au mifugo na mazao yake kutoka au kuingia katika eneo la Halmashauri kibali maalumu kuwa kilichoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria ndogo hii. atatakiwa na (2) Halmashauri itatoa kibali cha kusafirisha mifugo kwa kuweka utaratibu ikiwa ni pamoja na: (a) mfugaji kutoa uthibitisho wa kumiliki mfugo au mifugo kutoka kwa Afisa Mwidhiniwa; (b) kukagua kibali cha kusafirisha mfugo au mifugo. (3) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kukamata na kutoza faini na adhabu kwa mfugo au mifugo yoyote inayosafirishwa kinyume na Sheria Ndogo hii. Taratibu za ufugaji - 9 Verify source ↗
Mfugaji yeyote atatakiwa kuzingatia masharti ya
AI-assisted research summary: Any livestock keeper must follow the livestock-keeping conditions set out in this by-law.
9. Mfugaji yeyote atatakiwa kuzingatia masharti ya kufuga kama yalivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. 5 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) Kudhibiti mifugo inayozuru ra ovyo - 10 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakamata mfugo au mifugo
AI-assisted research summary: Halmashauri inapaswa kukamata mifugo inayozurura ovyo, na mfugo uliokamatwa hutozwa faini ya Shilingi 10,000 kwa kila siku.
10.-(1) Halmashauri itakamata mfugo au mifugo la inazurura ovyo katika eneo itakayoonekana yoyote Halmashauri. (2) Mfugo wowote utakaokamatwa chini ya Kifungu Kidogo cha (1) utalipiwa faini ya Shilingi elfu kumi kwa kila siku. (3) Endapo mfugo uliokamatwa hautachukuliwa na mmiliki ndani ya kipindi cha siku saba (7) tangu kukamatwa, Halmashauri itakuwa na haki ya kuuza kwa mnada mfugo huo fedha baada ya kupata zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmliki wa mfugo huo baada ya kutoa faini inayodaiwa, gharama za kuhifadhi mfugo, gharama ya Mahakama na gharama ya mnada. idhini ya Mahakama, na (4) Bila kuathiri Kifungu Kidogo cha (3) Halmashauri kabla ya kuuza mfugo huo kwa mnada itamjulisha mmliki na umma juu ya kusudio hilo. (5) Endapo kutatokea kufa kwa mifugo au mfugo kutokana na sababu yoyote ile, Halmashauri haitawajibika na ulipaji wa gharama zozote isipokuwa kama vifo hivyo vitakuwa vimesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri. Ukaguzi wa mifugo na bidhaa za mifugo - 11 Verify source ↗
(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kukataa mifugo au bidhaa kuingia au kuuzwa ndani ya eneo la Halmashauri ikiwa zinaweza kuhatarisha afya au usalama, na pia anaweza kuingia nyumba au jengo kwa ajili ya kutekeleza Sheria Ndogo hii katika saa za asubuhi hadi jioni.
11.-(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kukataa aina yoyote ya mifugo au bidhaa kuingia au kuuzwa ndani ya eneo la Halmashauri, iwapo mifugo hiyo au bidhaa hizo zinaweza kuhatarisha afya au usalama wa mifugo mingine au watumiaji. (2) Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika nyumba au jengo lolote kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni kwa lengo la utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. Taratibu za biashara - 12 Verify source ↗
(1) Mfanyabiashara kabla ya kuanza biashara ya
AI-assisted research summary: Before starting livestock or livestock-products business, a trader must have the required licence and permits, present them to the Council for verification, and use approved permits and places when trading or moving livestock.
12.-(1) Mfanyabiashara kabla ya kuanza biashara ya mifugo na mazao ya mifugo atatakiwa kuwa na leseni, 6 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) ya mifugo na mazao yake utambulisho na vibali kutoka Mamlaka husika vinavyohusu kuuza na kununua mifugo na mazao ya mifugo na atatakiwa kuwasilisha vibali vyake Halmashauri kwa ajili ya uhakiki. (2) Mfanyabiashara wa Mifugo inayopelekwa au kutoka mnadani au machinjioni atatakiwa kuwa na kibali maalum kutoka Halmasahauri. (3) Mfanyabiashara atakayesafirisha mifugo kutoka nje ya Halmashauri atatakiwa kuwa na kibali kutoka Halmashauiri ambayo mifugo hiyo inatoka. (4) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika Kifungu Kidogo cha (2) na (3), mfanyabiashara wa mifugo atatakiwa kusafirisha mifugo usafiri vinavyokubalika kwa mujibu wa Sheria. vyombo katika vya (5) Mifugo yote itauzwa au kununuliwa katika minada na masoko yanayotambulika kwa mujibu wa Sheria. (6) Mifugo itakayokamatwa ikisafirishwa bila kibali au kuuzwa eneo ambalo halijaidhinishwa kwa ajili ya shughuli hiyo, mhusika atalazimika kulipa faini ya Shilingi elfu kumi kwa kila mfugo. (7) Minada yote ya mifugo au magulio ya mifugo itafanyika kwa kibali maalumu cha Halmashauri na kwenye maeneo yaliyoruhusiwa. - 13 Verify source ↗
Kila mfanyabiashara wa bucha au duka la nyama
AI-assisted research summary: Wachuuzi wa bucha na maduka ya nyama lazima wawe na leseni, vifaa na mazingira yanayohitajika, wauze nyama iliyoidhinishwa, wavae sare maalumu, wafanyiwe ukaguzi wa afya kila baada ya miezi sita, na washirikiane na wakaguzi.
13. Kila mfanyabiashara wa bucha au duka la nyama atahakikisha kuwa- (a) ana leseni na vibali vya kufanya biashara hiyo; Wajibu wa mfanyabi ashara wa bucha na maduka ya nyama (b) kuna kabati la vioo la kuzuia inzi na wadudu wengine wataambao; (c) kuna pipa la kuhifadhia taka ngumu na laini; (d) kuna jokofu la kuhifadhia nyama; (e) jengo lake la biashara lina mwanga wa kutosha, umeme, maji safi na salama, visu, meza, mzani wa kawaida au mzani wa kielektroniki, na misumeno 7 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) maalumu ya kukatia nyama; (f) nyama imekaguliwa na mkaguzi aliyeidhinishwa na kugongwa muhuri na inauzwa ndani ya jengo; (g) muuzaji anavaa sare nyeupe muda wote ambazo ni mabuti, koti na kofia; (h) muuzaji anapima afya yake kila baada ya miezi sita (6) na kuhakikisha anakuwa na cheti cha upimaji; (i) mmiliki wa bucha au muuzaji wa nyama anatoa ushirikiano wa kutosha kwa wakaguzi mara atakapotakiwa kufanya hivyo wakati wowote wa ukaguzi; na (j) biashara ya nyama inafanyika katika bucha na maduka maalumu na sio vinginevyo. Usafirisha ji wa nyama - 14 Verify source ↗
(1) Mfanyabiashara wa
AI-assisted research summary: Mfanyabiashara lazima asafirishe nyama kutoka machinjioni kwa gari maalumu; akitumia pikipiki au baiskeli, lazima aitumie chombo maalumu kilichoidhinishwa na Halmashauri.
14.-(1) Mfanyabiashara wa atatakiwa kusafirisha nyama kutoka machinjioni kwa kutumia gari maalumu na endapo atatumia usafiri wa pikipiki au baiskeli atatakiwa kubeba nyama kwa kutumia chombo maalumu kilichoidhinishwa na Halmashauri. nyama (2) Kila mmiliki wa gari la kubeba nyama atahakikisha kuwa gari lake: (a) limesajiliwa na kupewa cheti maalumu cha ukaguzi na Halmashauri; (b) linakaguliwa kila baada ya miezi mitatu; (c) lina sanduku la aluminium lenye mfuniko na limepakwa rangi nyeupe, mstari mwekundu na namba; (d) halibebi kitu kingine kinachoweza kuleta madhara (e) atalipia au athari kwa afya ya mlaji; na gharama zilivyowekwa na Halmashauri. za usafirishaji kama Kuingiza wanyama katika machinjio - 15 Verify source ↗
(1) Meneja wa machinjio au mmiliki wa machinjio
AI-assisted research summary: Meneja au mmiliki wa machinjio lazima athibitishe umiliki wa mnyama kabla ya kuingia machinjioni, akague kibali cha usafirishaji na nyaraka za umiliki, na atunze rejista ya wanyama waliopokelewa.
15.-(1) Meneja wa machinjio au mmiliki wa machinjio atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwa umiliki wa mnyama anayekusudiwa kuchinjwa unathibitishwa kabla ya kuingizwa 8 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) katika eneo la machinjio. (2) Bila kuathiri kifungu kidogo cha (1), Meneja wa machinjio au Mmiliki wa Machinjio atawajibika kukagua kibali cha usafirishaji wa mnyama na nyaraka nyingine zinazothibitisha umiliki. (3) Meneja wa machinjio au mmiliki wa machinjio atatunza rejista ya wanyama waliopokelewa machinjioni ambayo itaainisha aina ya mnyama, jinsi, umri na taarifa za mmiliki - 16 Verify source ↗
Mtu yeyote anaetaka kuingia katika eneo la
AI-assisted research summary: Anayetaka kuingia katika eneo la uzalishaji wa nyama lazima aombe kibali kwa maandishi saa 72 kabla ya siku ya kutembelea; meneja au mmiliki wa machinjio anaweza kumruhusu na kumtaka avae mavazi maalum.
16. Mtu yeyote anaetaka kuingia katika eneo la uzalishaji wa nyama anatakiwa kuomba kibali kwa maandishi ndani ya saa sabini na mbili kabla ya siku ya kutembelea na Meneja wa machinjio au mmiliki wa machinjio anaweza kumruhusu mtu huyo na kumtaka kuvaa mavazi maalum yanayopatikana katika eneo la machinjio. - 17 Verify source ↗
(1) Mnyama yoyote anayekusudiwa kuchinjwa
AI-assisted research summary: Animals meant for slaughter must be inspected before slaughter. Diseased animals may be isolated for treatment, and if the owner does not remove them within 12 hours after an order, an authorized officer may order destruction at the owner’s expense.
17.-(1) Mnyama yoyote anayekusudiwa kuchinjwa katika machinjio atafanyiwa ukaguzi wa awali na Mkaguzi wa nyama kabla ya kuchinjwa. (2) Mnyama ambaye baada ya ukaguzi atagundulika kuwa na magonjwa hatarishi kwa afya ya binadamu atahifadhiwa katika eneo maalum la kuhifadhi wanyama wenye magonjwa kwa ajili ya matibabu. Taratibu za kuingia machinjio ni Ukaguzi wa wanyama (3) Kabla taratibu ya mnyama zilizoainishwa katika Sheria ya Magonjwa ya Wanyama zitafuatwa. kutengwa, (4) Endapo mnyama aliyetengwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2) ataendelea kuwa na maradhi yaliyosababisha atengwe, Afisa Mwidhiniwa atamtaka mmiliki wa mnyama huyo kumtoa nje ya eneo la machinjio kwa matibabu zaidi. (5) Endapo mmiliki atashindwa kumwondoa mnyama aliyetengwa ndani ya muda wa saa kumi na mbili tangu amri ya kuondolewa kwa mnyama itolewe Afisa Mwidhiniwa anaweza kuamuru mnyama huyo kuteketezwa kwa gharama 9 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) Udhibiti wa uchinjaji machinjio ni ya mmiliki. (6) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na wajibu wa kuchukua kumbukumbu za mnyama aliyebainika kuwa na maradhi na za mmiliki na kumweka alama maalum itakayomtambulisha mnyama huyo. - 18 Verify source ↗
(1) Watu wote wanaohusika na shughuli za
AI-assisted research summary: Watu wanaohusika na machinjio lazima wapime afya, wawe safi na wavae mavazi maalumu, na kuna vizuizi vikali vya biashara, uchinjaji, na uondoaji wa nyama au mifugo katika eneo la machinjio.
18.-(1) Watu wote wanaohusika na shughuli za machinjio, watatakiwa kupima afya kila baada ya miezi sita. (2) Watu wanaohusika na machinjio wanatakiwa kuwa wasafi, na kuvaa mavazi maalumu kwa ajili ya kazi hiyo. (3) Hairuhusiwi kukaa au kufanya mkusanyiko wa aina yoyote katika eneo la machinjio isipokuwa kwa kibali maalumu kitakachotolewa na Halmashauri. (4) Uendeshaji wa machinjio utafuata Sheria na Taratibu za Afya. (5) Hairuhusiwi kufanya biashara ya aina yoyote katika eneo la machinjio. (6) Hairuhusiwi kuweka bucha au duka la nyama au biashara yoyote ya nyama ndani ya mita mia mbili kutoka eneo la machinjio. (7) Mfanyabiashara ya nyama anapaswa kuwa na utambulisho kutoka Bodi ya Nyama na leseni halali ya biashara. (8) Kila mfugaji atatakiwa kupeleka mfugo au mifugo yake machinjioni au mahali huduma hiyo inapopatikana na itakuwa ni marufuku kwa mtu yeyote kuchinja mfugo au mifugo mahali pengine popote ambapo sio machinjio isipokuwa kwa kutoa taarifa kwa Afisa Mwidhiniwa na atalazimika kulipia gharama za machinjio kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. (9) Nyama yoyote haitaruhusiwa kutumika kwa matumizi ya binadamu bila kufanyiwa ukaguzi wa mwisho na kuwa na muhuri maalumu wa ukaguzi nyama. (10) Mtu yeyote hatoruhusiwa kuingiza mifugo katika 10 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) machinjio kwa ajili ya kuchinja baada ya Saa kumi na moja kamili jioni isipokuwa kwa kibali maalumu cha Halmashauri. (11) Mtu yeyote hatoruhusiwa kutoa nje ya eneo la machinjio mnyama aliye hai au aliyekufa au nyama bila ya idhini ya maandishi ya Meneja wa machinjio au mmiliki wa machinjio. (12) Mifugo yote haitaruhusiwa kuchinjwa bila kufanyiwa ukaguzi wa awali. (13) Hairuhusiwi kutoa lugha za kashfa, kuudhi, kudhalilisha au matusi kwa mtaalamu au mtu yeyote katika eneo la machinjio. - 19 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anaejua kuwa anauguwa ugonjwa
AI-assisted research summary: People who know they have a contagious disease, or have wounds or bruises, must not enter slaughterhouse or meat production areas unless they have a doctor’s certificate. Slaughterhouse managers or owners must not let infected workers enter the slaughterhouse without a doctor’s certificate.
19.-(1) Mtu yeyote anaejua kuwa anauguwa ugonjwa unaoambukiza kwa kugusana au kwa njia ya hewa au anamajeraha au michubuko hataruhusiwa kuingia katika eneo ya machinjio au eneo la uzalishaji wa nyama mpaka apate kibali cha daktari. (2) Meneja wa machinjio au mmiliki wa machinjio hatamruhusu mfanyakazi wa machinjio ambaye ameugua ugonjwa unaoambukiza kwa kugusana au hewa kuingia katika machinjio mpaka apate kibali cha daktari. - 20 Verify source ↗
(1) Mkaguzi wa nyama atakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Mkaguzi wa nyama lazima akague nyama baada ya kuchinjwa, athibitishe kwa muhuri nyama iliyo salama, na aihifadhi kwa muda usiozidi saa 24 ikiwa kuna shaka kuhusu usalama wake.
20.-(1) Mkaguzi wa nyama atakuwa na wajibu wa kukagua nyama katika eneo la machinjio baada ya mnyama kuchinjwa kwa madhumuni ya kubaini iwapo nyama inafaa kwa matumizi ya binadamu. (2) Ada ya ushuru wa ukaguzi wa nyama utatozwa kwa mujibu wa Jedwali la Nne la Sheria Ndogo hii. (3) Endapo itabainika kuwa nyama iliyokaguliwa: (a) inafaa kwa matumizi ya binadamu, mkaguzi wa nyama atagonga nyama hiyo muhuri unaothibitisha iliyokaguliwa ni salama kwa kuwa nyama matumizi ya binadamu; au Maradhi ya binadamu Ukaguzi wa nyama (b) haifai kwa matumizi ya binadamu, nyama hiyo itateketezwa kwa kuichoma moto au kwa njia na Afisa nyingine itakayoonekana inafaa 11 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) Mwidhiniwa atachukua kumbukumbu za nyama hiyo na za mmiliki wake. (4) Endapo matokeo ya vipimo vya awali yatakuwa na mashaka kuhusu usalama wa nyama kwa matumizi ya binadamu, mkaguzi wa nyama atahakikisha kuwa nyama husika inahifadhiwa kwa muda usiozidi saa ishirini na nne ili kuruhusu vipimo zaidi vya kimaabara kufanyika. (5) Meneja wa machinjio au mmiliki wa machinjio atatunza rejista ya nyama zilizokaguliwa ambayo itaonesha aina ya nyama, jinsi, umri, uzito na taarifa za mmiliki na kama nyama inafaa au haifai kwa matumizi ya binadamu. Rejista ya wanyama, nyama na wafanyabi ashara wa wanyama - 21 Verify source ↗
Meneja wa machinjio au mmiliki wa machinjio
AI-assisted research summary: Meneja au mmiliki wa machinjio lazima atunze rejista ya wanyama, nyama na wafanyabiashara wa wanyama.
21. Meneja wa machinjio au mmiliki wa machinjio atakuwa na wajibu wa kutunza rejista ya wanyama. nyama na wafanyabiashara wa wanyama ambayo inaonesha aina ya mnyama au nyama, jinsi, umri, uzito, jina na anwani ya mmiliki wa wanyama. Udhibiti wa ufugaji wa mbwa - 22 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote hatakayeruhusiwa kufuga mbwa
AI-assisted research summary: A person may not keep dogs in the Halmashauri area without a dog-keeping permit, and dog keepers must follow permit, vaccination, confinement, washing, and transport rules.
22.-(1) Mtu yeyote hatakayeruhusiwa kufuga mbwa katika eneo la Halmashauri bila kibali cha ufugaji kutoka Halmashauri. (2) Kibali cha ufugaji kitalipiwa kiasi cha Shilingi elfu kumi na kitadumu kwa mwaka mmoja. (3) Mfugaji atawajibika kumpatia chanjo mnyama wake na kulipa ada ya chanjo kama atakavyoelekezwa na Halmashauri. (4) Mfugaji atalazimika kuonesha cheti cha chanjo ya mbwa kabla ya kupata au kuhuisha kibali kilichoisha muda wake. (5) Mfugaji atawajibika kumfungia mbwa wake wakati wote wa mchana na atamfungulia kuanzia Saa nne kamili usiku na kumfungia saa kumi na moja alfajiri. (6) Mfugaji atawajibika kuogesha mbwa kila baada ya siku saba ili kudhibiti magonjwa na wadudu wasumbufu kwa gharama zake na kama atakavyoelekezwa na Halmashauri. (7) Mfugaji atalazimika kumfunga mbwa kwa 12 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) Mbwa anaezurur a Kibali cha kutoa huduma za mifugo Ushuru wa minada Makosa mnyororo maalumu wakati wa kutembea nae kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa mujibu wa Sheria. (8) Iwapo mfugaji atalazimika kusafirisha mbwa atalazimika kuwa na kasha maalumu ambalo ataelekezwa na Afisa wa Mwidhiniwa la kusafirishia mbwa kabla ya kupewa kibali. - 23 Verify source ↗
Mbwa atakayepatikana anazurura atakamatwa na
AI-assisted research summary: Mbwa anayepatikana akizurura atakamatwa na kuwekwa kizuizini kwa muda usiozidi siku mbili; baadaye Halmashauri inaweza kumtaifisha au kufanya uamuzi mwingine wa kisheria.
23. Mbwa atakayepatikana anazurura atakamatwa na kuhifadhiwa katika kizuizi kwa muda usiozidi siku mbili na baada ya hapo Halmashauri inaweza kumtaifisha au kufanya maamuzi mengine ya kisheria kwa kadri itakavyoona inafaa. - 24 Verify source ↗
Mtu yeyote ambaye anataka kutoa huduma za
AI-assisted research summary: Anyone who wants to provide veterinary services in a municipal area through the listed facilities must have a special permit.
24. Mtu yeyote ambaye anataka kutoa huduma za mifugo kwa kuanzisha duka la kuuza vyakula vya mifugo, ghala la kuhifadhia vyakula vya mifugo, kiwanda cha kutengeneza vyakula vya mifugo, vituo vya huduma za mifugo au zahanati na vituo vya kutotolesha vifaranga katika eneo la Halmashauri atalazimika kuwa na kibali maalumu kitakachoruhusu kutoa huduma hiyo kama ilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. - 25 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ushuru wa minada kwa
AI-assisted research summary: The Halmashauri must charge auction fees at the rates set in the Fifth Schedule, and all livestock must be sold by auction.
25.-(1) Halmashauri itatoza ushuru wa minada kwa viwango vilivyoainishwa kwenye Jedwali la Tano la Sheria Ndogo hizi. (2) Mifugo yote itauzwa kwa njia ya mnada na ushuru kwa kila mfugo utakaouzwa utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake mara baada ya mauzo au kabla ya mauzo kufanyika. - 26 Verify source ↗
Mfugaji yeyote atakuwa ametenda kosa iwapo
AI-assisted research summary: Mfugaji yeyote anatenda kosa akifanya mojawapo ya vitendo vilivyokatazwa, ikiwemo kushindwa kuchanja au kuogesha mifugo, kufuga au kuuza mifugo sehemu zisizoruhusiwa, au kufanya shughuli nyingine zilizopigwa marufuku katika maeneo ya mifugo na machinjio.
26. Mfugaji yeyote atakuwa ametenda kosa iwapo: (a) atashindwa au kukataa kuogesha au kuchanja mfugo au mifugo yake ili kuzuia magonjwa; (b) atalisha mfugo au mifugo kwenye maeneo yasiyoruhusiwa; (c) kuanzisha duka la kuuza vyakula vya mifugo, la kuhifadhia mifugo, kiwanda cha ghala 13 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) kutengeneza vyakula vya mifugo, vituo vya huduma za mifugo au zahanati na vituo vya kutotolesha vifaranga bila kuwa na kibali kutoka Halmashauri; (d) hatokuwa na kibali cha ufugaji; (e) atashindwa au atazembea kutoa taarifa juu ya uwepo wa au dalili za ugonjwa au kifo cha ghafla cha mfugo au mifugo katika banda lake; (f) kushindwa kuwasilisha taarifa ya mwezi ya uuzaji wa vyakula vya mifugo, utengenezaji wa vyakula vya mifugo au ghala, vituo vya huduma za mifugo au zahanati na vituo vya kutotolesha vifaranga kwa Afisa Mwidhiniwa; (g) kuuza na kufuga mfugo au mifugo pembezoni mwa barabara au sehemu ambayo haijaruhusiwa; (h) kusababisha kero ya harufu mbaya na kelele ya mfugo au mifugo yake kwa jamii; (i) ataruhusu mfugo au mifugo yake kuzurura hovyo; (j) kuweka vyakula vya mifugo wazi; (k) atashindwa kutoa ushirikiano wa uwekaji wa alama kwa mfugo au mifugo yake; (l) mtu yeyote ambaye hana utaalamu wa vyakula vya mifugo kujihusisha na utengenezaji wa vyakula vya mifugo; (m) ataingia katika eneo la machinjio akiwa amelewa; (n) atatumia kuingiza chochote kilevi au kisichoruhusiwa katika eneo la machinjio; (o) atatumia lugha inayoudhi ndani ya machinjio au kufanya udhalilishaji wa aina yoyote; (p) kubandika au kubandua tangazo bila idhini ya Meneja wa Machinjio au Mmiliki wa Machinjio; (q) mtu yeyote atakayehatarisha amani au kushiriki kwa namna yeyote kuhatarisha amani eneo la machinjio; (r) mtu yeyote atakayefanya au kushiriki kufanya uchafuzi wa mazingira; 14 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) (s) atakayefanya shughuli za kisiasa ikiwa ni pamoja na kupandisha bendera ya Chama cha Siasa; (t) kumzuia Afisa Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake; (u) Kuuza mifugo kwenye eneo ambalo haliruhusiwi; na (v) Kuingiza mifugo kutoka nje ya Halmashauri bila ya kibali Adhabu Kufililish a kosa Kufutwa TS. Na 235 la mwaka 2008 - 27 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Sheria
AI-assisted research summary: Anyone who violates the by-law’s provisions commits an offence and, if convicted, may be fined, imprisoned for up to 12 months, or both.
27. Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hii atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini tatu au kifungo isiyozidi shilingi kisichozidi miezi kumi na mbili au vyote kwa pamoja. laki - 28 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kuhitimisha kosa kwa kumtoza mkosaji Shilingi elfu hamsini, ikiwa mkosaji anakiri kosa na yuko tayari kujaza fomu maalum ya Jedwali la Sita.
28. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha Shilingi elfu hamsini endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Sita la Sheria Ndogo hii. - 29 Verify source ↗
Sheria Ndogo za (Minada ya Mifugo) za
AI-assisted research summary: This section repeals the 2008 Moshi District Council livestock auction bylaw.
29. Sheria Ndogo za (Minada ya Mifugo) za Halmashauri ya Wilaya ya Moshi za mwaka, 2008 zimefutwa na Sheria Ndogo hii. ___________ JEDWALI LA KWANZA __________ (Limetungwa chini ya kifungu cha 5(d)) IDADI YA MIFUGO ILIYORUHUSIWA KUFUGWA Namba Aina ya Mfugo
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Mfugaji anaweza kupewa kibali cha kufuga kulingana na ukubwa wa eneo alilonalo, mradi asisababishe kero ya harufu na kelele kwa jamii.
1. Ng’ombe Idadi - Maelezo Mfugaji atapewa kibali cha kufuga kulingana na ukubwa wa eneo alilonalo bila kusababisha kero ya harufu na kelele kwa jamii 15 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Mfugaji anaweza kupewa kibali cha kufuga mifugo kulingana na ukubwa wa eneo alilonalo, ikiwa hatasababisha kero ya harufu na kelele kwa jamii.
5. au - Mbuzi Kondoo Nguruwe Mbwa Wanyama wa jamii ya ndege Mfugaji atapewa kibali cha kufuga kulingana na ukubwa wa eneo alilonalo bila kusababisha kero ya harufu na kelele kwa jamii Nguruwe Watoto wakiachishwa kunyonya wauzwe au kuondolewa Mfugaji atapewa kibali cha kufuga kulingana na ukubwa wa eneo alilonalo bila kusababisha kero ya harufu na kelele kwa jamii Mfugaji atapewa kibali cha kufuga kulingana na ukubwa wa eneo alilonalo bila kusababisha kero ya harufu na kelele kwa jamii 4 - - . __________ JEDWALI LA PILI __________ (Limetungwa chini ya kifungu cha 6 (1)) KIBALI CHA KUFUGA MIFUGO Jina la Mfugaji:……………………………………………………….. Anuani:…………………………………………………………........... Kata:…………………………………… Mtaa …………………......... Namba Nyumba:………………………. Namba Kitalu:……………... Ameruhusiwa kufuga Mifugo ifuatayo katika eneo la …………........... Namba Aina ya Mfugo Koo Idadi ya Mifugo Dume Jike Jumla 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 Ng’ombe Mbuzi Kondoo Nguruwe Ngamia Punda Paka Farasi Sungura Mbwa Kuku au Bata Wanyama wengine 16 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) Kibali hiki kimetolewa kwa Ndugu:………………………………………kwa muda wa miezi kumi na mbili (12) kwa Mfugo au mifugo kuanzia tarehe……………..hadi tarehe ……………….. Kimetolewa na: Jina la Afisa Mwidhiniwa …………………………………..Saini……… Wadhifa: ……………………………………………………………….... Tarehe: …………………........................................................................... Muhuri: …………………………………………...................................... ____________ JEDWALI LA TATU _____________ (Limetungwa chini ya kifungu cha 8 (1)) KIBALI CHA KUSAFIRISHA MIFUGO Jina:……………………………………………. Anuani:………………………………………… Ameruhusiwa kusafirisha Mifugo ifuatayo kutoka ………………kupitia njia za……………………..hadi…………..….. Idadi ya Mifugo Aina ya Mfugo Ng’ombe Mbuzi Kondoo Nguruwe Ngamia Punda Paka Farasi Sungura Namba
Part
JEDWALI LA TATU
- 12 Verify source ↗
Mifugo wengine
AI-assisted research summary: This section shows a livestock permit form for chickens or ducks, with a stated validity period and fields for the authorized officer’s details.
12. Mifugo wengine Kuku au Bata Kibali hiki kitakuwa cha muda wa siku….. kuanzia tarehe…....hadi tarehe………. Kimetolewa na : 17 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) Jina la Afisa Mwidhiniwa:………………………………………. Saini:…………………………………………………………….. Wadhifa:…………………………………………………………. Tarehe:………………………………………………………….... Muhuri:……………………………………… ________ JEDWALI LA NNE _______ Limetungwa chini ya kifungu cha 20(2) k Namba. 1 2 3 4 5 Namba. 1 2 3 4 5 Aina ya Mnyama SEHEMU “A” ADA NA USHURU WA UKAGUZI WA NYAMA Ada na Ushuru katika Karo (Slub) za Bucha na Nyumbani (Shilingi) 2,500/= 2,000/= 2,000/= 2,500/= 2,000/= Ng’ombe. Mbuzi. Kondoo. Ngamia. Ngurue. 2,500/= 2,000/= 2,000/= 2,500/= 2,000/= Ada na Ushuru katika Machinjio ya (Shilingi) SEHEMU “B” PANGO LA MACHINJIO YA HALMASHAURI Aina ya Mnyama Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 5,000/= 2,000/= 2,000/= 5,000/= 1,000/= Ng’ombe. Mbuzi. Kondoo. Ngamia. Ngurue. 18 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) _______ JEDWALI LA TANO _______ (Limetungwa chini ya kifungu cha 25(1)) _______ VIWANGO VYA USHURU WA MNADA A. VIWANGO VYA USHURU MNADA WA AWALI (PRIMARY MARKETS) Namba Aina ya Mifugo Kiwango cha Ushuru wa Halmashauri (Shilingi) Kiwango cha Ushuru wa Wizara ya Mifugo (Shilingi)
Part
JEDWALI LA TANO
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha viwango vya ushuru kwa mifugo katika masoko ya upili.
7. Ng’ombe Ngamia Farasi Punda Mbuzi Kondoo Nguruwe 4,000/= 4,000/= 4,000/= 4,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 2,500/= 2,500/= 2,500/= 2,500/= 1,500/= 1,500/= 1,500/= B. VIWANGO VYA USHURU MNADA WA UPILI (SECONDARY MARKETS) Namba Aina ya Mifugo Kiwango cha Ushuru wa Halmashauri (Shilingi) Kiwango cha Ushuru wa Wizara ya Mifugo (Shilingi) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists the charge for transporting livestock outside the district.
7. Ng’ombe Ngamia Farasi Punda Mbuzi Kondoo Nguruwe 1,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 500/= 500/= 500/= 2,500/= 2,500/= 2,500/= 2,500/= 1,500/= 1,500/= 1,500/= C: USHURU WA KUSAFIRISHA MIFUGO NJE YA WILAYA Namba Aina ya mfugo Kiwango cha malipo (Shilingi) 19 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha viwango vya ushuru/ada kwa baadhi ya mifugo na huduma za mifugo.
7. Ng’ombe 4,000/= kwa kila mmoja Mbuzi au Kondoo 1,500/= kwa kila mmoja Nguruwe 1,500/= kwa kila mmoja Kuku au kanga au bata Mifugo mingine 2,000/= kuanzia 10 hadi 50 na kuanzia 51 na kuendelea 5,000/= 2,000/= kwa kila mmoja Ushuru wa kupakia Ng’ombe kwenye pakilio Ada ya kuogesha mifugo kwenye josho 500/= kwa kila moja 150/= kwa kila mmoja D: USHURU WA KUSAFIRISHA MAZAO YA MIFUGO Namba - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The fee for cow hide is 100 shillings per hide.
1. Aina ya mfugo Kiwango cha malipo (Shilingi) Ngozi ya Ng’ombe 100/= kwa kila ngozi - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The text lists charges for several livestock and related goods, including goat/sheep hides, eggs, ghee, milk, horns, and bones.
7. Ngozi ya Mbuzi au Kondoo 50/= kwa kila ngozi Mayai Samli Maziwa Pembe Mifupa 500/= kwa trei 300/= kwa kilo 50/= kwa lita moja 300/= kwa kilo 300/= kwa kilo E: USHURU WA MALISHO YA MIFUGO KWA MAENEO YALIYOTENGWA NA HALMASHAURI KAMA VITALU VYA MALISHO Namba - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The provision sets annual charges per head of livestock: cattle, donkeys, goats, and sheep are charged at different Shilling amounts.
4. Aina ya mfugo Ng’ombe Punda Mbuzi Kondoo Kiwango cha malipo (Shilingi) 2,500/= kila mmoja kwa mwaka. 2,500/= kwa kila mmoja kwa mwaka 1,500/= kwa kila mmoja kwa mwaka 1,500/= kwa kila mmoja kwa mwaka 20 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Ada ya TZS 2,000 kwa kila mmoja kwa mwaka kwa “mifugo mingine” inaonyeshwa katika kifungu hiki.
5. Mifugo mingine. 2,000/= kwa kila mmoja kwa mwaka. F: SIKU NA MUDA WA KUFUNGA NA KUFUNGUA MNADA Namba Jina la Mnada Siku ya Mnada - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section contains a form for a person to voluntarily confess an offence before the Moshi District Council Director and state readiness to pay the fine owed.
2. NJIAPANDA JUMANNE MIKOCHENI ALHAMISI Muda wa Kufunguliwa Saa 2:00 asubuhi Saa 2:00 asubuhi Muda wa Kufunga 12:00 Jioni 12:00 Jioni ________ JEDWALI LA SITA _______ (Limetungwa chini ya kifungu cha 28) _______ FOMU YA KUKIRI NA KUFILILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, kwamba mnamo tarehe …… ya Mwezi ………. Mwaka ……….…… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya Kifungu cha …… cha Sheria Ndogo ya (Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ya Mwaka 2023. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi , niko tayari kulipa kiasi cha faini ninayodaiwa. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU: Jina:……………………………………..……………………..... Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa:………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………… 21 Sheria Ndogo ya (Udhibiti Na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo La Serikali Na. 38 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Moshi imegongwa kwenye sheria Ndogo hii kufutia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Moshi uliofanyika Tarehe 09 Mwezi Februari Mwaka 2021 na Kushudiwa na Lakiri hiyo ikigongwa mbele ya :- SHADRACK M. MGAHAGAMA Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Moshi MORRIS J. MAKOI Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Moshi NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARI MCHENGERWA (MB) 5 Decemba, 2023 Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais, (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 22
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya (Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo) ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ya Mwaka, 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in