AI-assisted research summary: Mpango wa jumla na wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unatakiwa kuandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo.
3. Mpango wa Jumla na kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka namba A yenye majira-nukta 600008MS, 8974379KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki mwa Wilaya ya Makete katika uelekeo wa KS 270 04' 37.08 MS kwa umbali wa kilomita 1.19 hadi kwenye alama ya mpaka namba B yenye majira-nukta 600550MS, 8973319KZ; baada ya hapo mpaka 1 Tangazo La Serikali Na. 49 (Linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Kikuba unaelekea KusiniMashariki katika uelekeo wa KS 00 00' 00.00MS kwa umbali wa kilomita 0.91hadi kwenye alama ya mpaka namba C yenye majira-nukta 600550MS, 8972409KZ;baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki wa mto Lufilyo katika uelekeo wa KZ 900 00' 00.00 MS kwa umbali wa kilomita 0.47 hadi kwenye alama ya mpaka ya namba D yenye majira-nukta 601019MS, 8972409KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa KS 260 46' 14.53MS kwa umbali wa kilomita 0.64 hadi kwenye alama ya mpaka namba E yenye majira-nukta 601308MS, 8971838KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea katika uelekeo Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS 600 29' 31.26MG kwa umbali wa kilometa 0.94 hadi kwenye alama ya mpaka namba F yenye majira-nukta 600490MS, 8971375KZ;baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS 890 52' 24.39MG kwa umbali wa kilomita 0.61 hadi kwenye alama ya mpaka namba G yenye majira-nukta 599877MS, 8971374KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki mwa Kijiji cha Kilugu katika uelekeo wa KZ 030 13'15.71 MG kwa umbali wa kilomita 0.99hadi kwenye alama ya mpaka namba H yenye majira-nukta 599933MS, 8972366KZ;baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ 900 00' 00.00 MG kwa umbali wa kilomita 0.46 hadi kwenye alama ya mpaka namba I yenye majira-nukta 599476MS,8972366 KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ 400 54' 51.78 MG kwa umbali wa kilomita 0.41 hadi kwenye alama ya mpaka namba J yenye majira-nukta 599207MS,8972677KZ;baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ 070 41' 02.33 MG kwa umbali wa kilomita 0.57 hadi kwenye alama ya mpaka namba K yenye majira-nukta 599131MS,8973240KZ;baada ya hapo mpaka unaelekea KaskaziniMashariki mwa mto Lufilyo katika uelekeo wa KZ 260 09' 10.29 MS kwa umbali wa kilomita 0.69 hadi kwenye alama ya mpaka namba L yenye majira-nukta 599437MS,8973864KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki mwa Kijiji cha Kifunda katika uelekeo wa KZ 470 56' 40.99 MS kwa umbali wa kilomita 0.45 hadi kwenye alama ya mpaka namba A yenye majira-nukta 600008MS, 8974379KZ unapoanzia.” Dodoma, JERRY WILLIAM SILAA 29 Disemba, 2023 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2