AI-assisted research summary: The designated area map in the Schedule must be prepared and kept by the Director of Town Planning and the Executive Director of Mbeya District Council.
3. Mpangokina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya. _______ JEDWALI _______ (Limeandaliwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VMA 498 yenye majira- nukta 552589MS, 9012523KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 1.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VMA 498A yenye majira- nukta 552356MS, 9011447KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki kwa umbali wa kilomita 2.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VMA510 yenye 1 Tangazo La Serikali Na. 50 (Linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Swaya majira-nukta 554651MS, 9009940KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki kwa umbali wa kilomita 2.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VMA509A, yenye majira-nukta 555935MS, 9007739KZ; hadi alama ya mpaka thence VMA509 yenye majira-nukta 556217MS, 9007353KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VMA 505 yenye majira-nukta 554150MS, 9005673KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa kilomita 3.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VMA 506A yenye majira-nukta 552468MS, 9005086KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 6.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VMA 506 yenye majira - nukta 547887MS,9008884KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa umbali wa kilomita 3.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VMA 401 yenye majira-nukta 545449MS, 9009094KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba VMA 402 yenye majira-nukta 545057MS, 9008512KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 2.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VMA 404 yenye majira-nukta 543850MS, 9010416KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa kilomita 4.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VMA 502 yenye majira-nukta 548098MS, 9011848KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa kilomita 5.1.hadi ulipoanzia Dodoma, 29 Disemba, 2023 JERRY WILLIAM SILAA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2