AI-assisted research summary: Mpangokina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unapaswa kuandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino.
3. Mpangokina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. ________ JEDWALI ________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: 1 Tangazo La Serikali Na. 55 (Linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Izava “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZV1 yenye majira-nukta 188267.625MS, 9396774.878KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS104048’12’’MG kwa umbali wa kilomita 9.8 hadi kwenye alama ya upimaji ya upimaji namba ZV2 yenye majira-nukta 197732.4979MS, 9394270.910KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS18209’13’’MG kwa umbali wa kilomita 13.31 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZV3 yenye majira-nukta 197232.2569MS, 9380967.891KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa KS177013’2’’MS kwa umbali wa kilomita 7.72 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZV4 yenye majira-nukta 197607.27MS, 9373252.537KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS240013’12’’MG kwa umbali wa kilomita 7.89 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZV5 yenye majira-nukta 190758.3467MS, 9396333.285KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ324020’30’’MG kwa umbali wa kilomita 2.45 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZV6 yenye majira-nukta 189328.5355MS, 9371326.131KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ6024’36’’MS kwa umbali wa kilomita 3.28 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZV7 yenye majira-nukta 189694.853MS, 9374586.848KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ11038’17’’MS kwa umbali wa kilomita 7.16 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZV8 yenye majira-nukta 191139.9956MS, 9381603.403KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ34004’41’’MG kwa umbali wa kilomita 5.61 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZV9 yenye majira-nukta 189227.2035MS, 9386881.097KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ8043’17’’MS kwa umbali wa kilomita 2.58 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZV10 yenye majira- nukta 189618.953MS, 9389434.827 KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Magharibi katika uelekeo wa KZ34008’35’’MG kwa umbali wa kilomita 5.04 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZV11 yenye majira-nukta 187908.3743MS, 9394171.373KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ7038’25’’MS kwa umbali wa kilomita 2.63 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 29 Disemba, 2023 JERRY WILLIAM SILAA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2