AI-assisted research summary: The boundary map for the area in the schedule must be prepared and kept by the Director of Urban Planning and the Executive Director of Mbarali District Council.
3. Mpangokina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali. ______ JEDWALI ______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba UBK1 yenye majira-nukta 647311MS, 9039415KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KZ70˚28’MS kwa umbali wa kilomita 4.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwakatika Eneo la Ubaruku Tangazo La Serikali Na. 66 (Linaendelea) namba UBK2 yenye majira-nukta 648799MS, 9043611KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ157˚48MS kwa umbali wa kilomita 2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba UBK3 yenye majira-nukta 646944MS, 9044368KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ179˚40MS kwa umbali wa Kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya upimaji namba UBK5 yenye majira-nukta 646431MS, 9044371KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ 156˚32’MS kwa umbali wa kilomita 2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba UBK6 yenye majira-nukta 644599MS, 9045169KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ 129˚26’ kwa umbali wa kilomita 3.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba UBK7 yenye majira-nukta 642193MS, 9048091KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa KZ 269˚14’MG kwa umbali wa kilomita 1.2 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba UBK8 yenye majira-nukta 642177MS, 9046877KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KZ 269˚32’MG kwa umbali wa kilomita 3.2 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba UBK9 yenye majira-nukta 642151MS, 9043668KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa KZ 68˚19’MG kwa umbali wa kilomita 4 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba UBK10 yenye majira-nukta 643629MS, 9040385KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini -Magharini katika uelekeo wa KZ 189˚18’MG kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba UBK11 yenye majira-nukta 643116MS, 9040301KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa KZ 90˚35’MG kwa umbali wa kilomita 1.8 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba 36 yenye majira-nukta 643097MS, 9042167KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa KS 286˚37’MS kwa umbali wa kilomita 1.8 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba UBK12 yenye majira-nukta 643629MS, 9040385KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KZ 335˚48’KS kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba UBK13 yenye majira-nukta 644308MS, 9040080KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KZ 334˚40’KS kwa umbali wa kilomita