AI-assisted research summary: Mpangokina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali lazima uandaliwe na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.
3. Mpangokina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya. _______ JEDWALI _______ (Limeandaliwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VMA 502A yenye majira- nukta 548729MS, 9011864KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki kwa 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwakatika Eneo la Swaya Tangazo La Serikali Na. 72 (Linaendelea) umbali wa kilomita 2.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B1 yenye majira- nukta 549987MS, 9010094KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B2 yenyemajira- nukta 549775MS, 9009921KZ;baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B3 yenye majira- nukta 550249MS, 9009110KZ;baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B4 yenye majira- nukta 549744MS, 9008868KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B5 yenye majira-nukta 549166MS, 9009728KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B6 yenye majira-nukta 549598MS, 9009728KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B7 yenye majira-nukta 549330MS, 9010011KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B8 yenye majira-nukta 549166MS, 9009923KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B9 yenye majira-nukta 548985MS, 9010096KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B10 yenye majira-nukta 548259MS, 9010018KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B11 yenye majira-nukta 548259MS, 9010530KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 1.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VMA502 yenye majira-nukta 548098MS, 9011848KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi ulipoanzia.” JERRY WILLIAM SILAA Dodoma, 29 Disemba, 2023 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2