AI-assisted research summary: Mpangokina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali huandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya.
3. Mpangokina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya. 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Katika Eneo la Sangambi Tangazo la Serikali Na.104 (Linaendelea.) _______ JEDWALI _______ (Limeandaliwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MJ1 yenye majira-nukta 565066.558MS, 9053226.812KZ; baada ya hapo mpaka unelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 56⁰48′44″ kwa umbali wa kilomita 1.67 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MJ2 yenye majira-nukta 563670.746MS, 9054139.784KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki kwa kufuata uelekeo wa 25⁰07′53″ kwa umbali wa kilomita 1.02 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MJ3 yenye majira-nukta 564102.694MS, 9055060.577KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 37⁰16′05″ kwa umbali wa kilomita 1.82 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SANG2 yenye majira-nukta 565202.027MS, 9056505.327KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 06⁰16′58″ kwa umbali wa kilomita 1.38 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SANG3 yenye majira-nukta 565050.881MS, 9057878.188KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 23⁰07′36″kwa umbali wa kilomita 1.08 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SANG4 yenye majira-nukta 565474.299MS, 9058869.596KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa 84⁰05′39″ kwa umbali wa kilomita 1.96 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SANG5 yenye majira-nukta 567420.659MS, 9058668.261KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa 35⁰33′55″ kwa umbali wa kilomita 1.38 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SANG6 yenye majira-nukta 568220.608MS, 9057549.477KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa 43⁰24′14″ kwa umbali wa kilomita 1.66 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SANG1 yenye majira-nukta 567077.913MS, 9056341.27KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa 28⁰59′41″ kwa umbali wa kilomita 2.64 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MJ5 yenye majira-nukta 565796.08MS, 9054028.289KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa 05⁰22′06″ kwa umbali wa kilomita 1.48 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 29 Disemba, 2023 JERRY WILLIAM SILAA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2