Kanuni za Kuasili Watoto, za Mwaka 2012
1. .................................................................
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Kanuni za Kuasili Watoto, za Mwaka 2012
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
1. ................................................................. 2. .................................................................. This section appears to be a placeholder or incomplete text and does not state a substantive rule. This text asks for a brief history of the case, including any child protection investigation and other support received before adoption is considered as a permanent solution. The text asks for the current status of the child’s parents and provides options for father and mother: alive, deceased, or unknown.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Kanuni za Kuasili Watoto, za Mwaka 2012
Showing 22 of 22
- 1 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: 1. .................................................................
1. ................................................................. - 2 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: 2. ..................................................................
2. .................................................................. - 3 Verify source ↗
Kanuni za jumla
AI-assisted research summary: This section appears to be a placeholder or incomplete text and does not state a substantive rule.
3. ................................................................. mengine (toa maelezo) ............................................................................................................................. ............................................................................................................................. . .............................................................................................................................. Historia ya suala - 3 Verify source ↗
Kanuni za jumla
AI-assisted research summary: This text asks for a brief history of the case, including any child protection investigation and other support received before adoption is considered as a permanent solution.
3.1 Ni nini historia ya suala? Toa maelezo mafupi ya mtiririko wa matukio ikijumuisha maelezo ya namna yoyote ya Uchunguzi juu ya Ulinzi wa mtoto chini ya kifungu cha 96 cha Sheria na ainisha aina nyingine yeyote ya msaada mwingine uliotolewa kabla ya kuridhia kuwa kuasili kutakuwa ndio suluhisho la kudumu. Ambatisha nakala za hati ambazo unaamini ni za umuhimu katika kutoa picha halisi ya suala hili. Familia anayoishi nayo kwa sasa/hali ya huduma - 4 Verify source ↗
Maombi ya kuasili mtoto
AI-assisted research summary: The text asks for the current status of the child’s parents and provides options for father and mother: alive, deceased, or unknown.
4.1 Hali ya Wazazi wa mtoto kwa sasa ikoje? Baba (Hawapo) Mama - - mzima/marehemu/hajulikani mzima/marehemu/hajulikani - 4 Verify source ↗
Maombi ya kuasili mtoto
AI-assisted research summary: This section asks for information about the child and the child’s parents, including the parents’ marital status, current custody arrangements, whether the child has siblings, and basic identity details for each child.
4.4 Hali ya ndoa ya Wazazi ikoje? ................................................................................................................................ Mipangilio wa matunzo ya mtoto kwa sasa yakoje? ............................................................................................................................. ... . ................................................................................................................................ . Je mtoto ana ndugu yeyote? (ndiyo/hapana). Kama NDIYO, toa maelezo na onyesha endapo naye anaweza kuhusishwa kwenye kuasiliwa (jaza sehemu zinazohusiana na sehemu hii katika taarifa hii kwa kila mtoto kwa kuzingatia nakala tofauti kwa kila fomu.) Jina Jinsi ....................................... ......................................... ......................................... ............. .............. .............. Tarehe ya Kuzaliwa ........................... ............................ ............................ Na. ya hati ya kuzaliwa ............................ ........................... ........................... 25 Kanuni za Kuasili Watoto - 5 Verify source ↗
Ridhaa ya kuasili
AI-assisted research summary: This text asks whether a child has been separated from the parents, and if so, for how long.
5.1 Je mtoto ametengwa na Wazazi wake? Kama NDIYO, kwa muda gani? ............................................................................................................................. ... ................................................................................................................................ - 5 Verify source ↗
Ridhaa ya kuasili
AI-assisted research summary: This section asks about efforts to find a child’s parents, reunite the child with family, and adoption involving a non-resident of Tanzania or foreigners.
5.4 Ni jitihada gani zimefanyika za kuwatafuta wazazi/kuunganisha mtoto na familia? ................................................................................................................................ ............................................................................................................................. ... Ni nini tathmini yako katika jitihada za kuiunganisha familia? ................................................................................................................................ ............................................................................................................................. ... Kuasili kwa raia asiye mkazi wa Tanzania au kwa Wageni maelezo ya kina kuhusu uchaguzi wa kubadili hatua zitakazochukuliwa kuasili mtoto ndani ya nchi? ................................................................................................................... ............. ............................................................................................................................. ... ................................................................................................................. ............... - 6 Verify source ↗
Utenguaji wa ridhaa
AI-assisted research summary: Asks whether the child is currently attending school or training.
6.1 Je mtoto kwa sasa anahudhuria shule/mafunzo (NDIYO/HAPANA) ............................................................................................................................. ... ................................................................................................................................ - 6 Verify source ↗
Utenguaji wa ridhaa
AI-assisted research summary: The form asks whether the child has special educational needs, a disability, a chronic illness, or another condition requiring special care, and says to provide details if yes.
6.3 Je mtoto ana mahitaji maalum ya kielimu? ............................................................................................................. ................... ............................................................................................................................. .. Je mtoto ana kilema, maradhi sugu au hali nyingine yoyote inayohitaji uangalizi maalum? Kama NDIYO, toa maelezo .................................................................................. ............................................................................................................................. ... - 7 Verify source ↗
Kutohitaji ridhaa ya wazazi
AI-assisted research summary: Kichwa hiki kinaonyesha sehemu inayohusu maelezo binafsi ya mzazi au wazazi na watu wengine waliotajwa.
7.0 Maelezo Binafsi ya Mzazi/Wazazi/Mtarajiwa/Watarajiwa/MMOJA/WANANDOA - 7 Verify source ↗
Kutohitaji ridhaa ya wazazi
AI-assisted research summary: The text asks whether the application is for a single person or for a married couple.
7.1 Je haya maombi ni ya mtu mmoja au wanandoa? MWOMBAJI MMOJA WANANDOA - 7 Verify source ↗
Kutohitaji ridhaa ya wazazi
AI-assisted research summary: This section appears to be a form or information list for an adoption-related process, asking for personal details such as name, date of birth, marital status, nationality, tribe, religion, language, and occupation.
7.11 ................................... ................................... .................................... .................................... .......................... .......................... .......................... ......................... Jina Tarehe ya kuzaliwa Jinsi Hali ya Ndoa Aina ya Ndoa (kwa waombaji walioungana) NDOA YA MKE MMOJA/WAKEWENGI Utaifa Kabila Dini Lugha Kazi .......................... .......................... ........................... ........................... ............................ ............................ ................................... .................................... .................................... .................................... .................................... ................................... 26 Kanuni za Kuasili Watoto - 10 Verify source ↗
Taarifa ya kusikilizwa kwa shauri
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha taarifa za anwani na mawasiliano za mwombaji/waombaji wa wilaya.
10.3 10 Anwani ya Mwombaji/Waombaji Wilaya Anwani ya Makazi ................................................................................................ ............................................................................................................................. ... Anwani ya Posta ................................................................................................... Simu ...................................................................................................................... Simu ya Mkononi (Mwombaji/Waombaji) ................................................................................................................................ Barua pepe (mwombaji/waombaji) ...................................................................................................................... .......... - 8 Verify source ↗
Kujibu maombi
AI-assisted research summary: Sehemu hii ina kichwa kinachohusu maelezo ya ndugu wa familia ya muombaji au waombaji.
8.0 Maelezo ya Ndugu Wanafamilia wa Muombaji/Waombaji - 8 Verify source ↗
Kujibu maombi
AI-assisted research summary: The applicant must list the names of children cared for in the applicant’s family.
8.1 Orodhesha majina ya watoto wanaotunzwa katika familia ya muombaji Jina Jinsi Tarehe ya kuzaliwa ............................. ............................. ............................. .............. .............. .............. .................... .................... .................... Uhusiano na muombaji/ waombaji ..................... ...................... ...................... Kazi .................... .................... ..................... - 8 Verify source ↗
Kujibu maombi
AI-assisted research summary: Muombaji anahitajika kutoa maelezo ya watu wengine wanaoishi katika kaya yake.
8.2 Toa maelezo ya watu wengine wanaoishi katika kaya ya muombaji. Jina Jinsi Tarehe ya kuzaliwa ............................. ............................. ............................. .............. .............. .............. .................... .................... .................... Uhusiano na muombaji/ waombaji ..................... ..................... ...................... Kazi .................... .................... ..................... - 9 Verify source ↗
Umri wa mtoto
AI-assisted research summary: Fomu hii inaomba mombaji/waombaji kutoa maelezo ya nyumba, kazi au chanzo cha mapato, na kama kipato kinatosha kumsaidia mtoto anayetarajiwa kuasiliwa.
9.6 Toa maelezo ya hali ya nyumba ya mombaji ............................................................................................................................. ... ................................................................................................................................ Idadi ya vyumba vya kulala. .............................................. Upatikanaji wa maji ............................................................................................................... ............................................................................................................... Aina ya Choo ...................... shamba shughuli au linalomilikiwa na Toa maelezo ya kazi au muombaji/waombaji Ni nini chanzo cha mapato cha Muombaji/Waombaji? Je kipato cha muombaji/waombaji kinatosha kumsaidia mtoto anayetarajiwa kuasiliwa? (NDIYO/HAPANA) Je kuna jambo lolote kuhusu mwobmaji kujihusisha na shughuli zozote za kijamii au kidini n.k. ambazo zinaweza kuwa na madhara chanya au hasi kwa faida yao kuwaWazazi watarajiwa na hasa hasa kwao katika kuasili mtoto aliyeainishwa katika taarifa hii? (NDIYO/HAPA). 27 Kanuni za Kuasili Watoto - 9 Verify source ↗
Umri wa mtoto
AI-assisted research summary: The form asks whether the applicant or someone in the applicant’s household has ever been convicted of a criminal offence, and if so to give details.
9.9 Kama NDIYO, toa sababu. ....................................................................................................... ......................... ............................................................................................................................. ... ..................................................................................................... ........................... Je zipo huduma zinazotokana na tathmini au zinazoelezwa na watoto kuwa zinahitajika (kama zipo) katika kaya ambazo zinaweza kuwa na madhara kwa mtoto anayeasiliwa? NDIYO/HAPANA Kama NDIYO, toa maelezo: ................................................................................................................................ ............................................................................................................................. ... ................................................................................................................................ Je yamekuwepo maradhi hatari katika familia ya muombaji (toa kipaumbele kwa maradhi ya akili ambayo yanaweza kuwa na athari hasi kwa mtoto anayeasiliwa? NDIYO/HAPANA Kama NDIYO, toa maelezo: ............................................................................................................................. ... ................................................................................................................................ ............................................................................................................................. ... Je mwombaji/waombaji au mmoja wa kaya ya muombaji amewahi kutiwa hatiani kwa kosa la jinai? NDIYO/HAPANA Kama NDIYO toa maelezo (jumuisha kwa kutaja kutiwa hatiani unyanyasaji wa mtoto, unyanyasaji wa kijinsia au kosa jingine lolote ambalo linaweza kumwathiri au kumwendeleza mtoto) TAREHE ............................ ............................ ............................ ............................ JINA ............................................. ............................................. ............................................. ............................................. OFISI ..................................... ..................................... ..................................... ..................................... Kama NDIYO, Je unaamini kuwa athari kubwa ambayo inaweza kumfaya muombaji/waombaji wazuiwe kuwa wazazi wa kuasili? NDIYO/HAPANA. - 10 Verify source ↗
Taarifa ya kusikilizwa kwa shauri
AI-assisted research summary: This section asks questions about whether a child can be adopted, what the child thinks about the adoption, and whether the parents have consented.
10.1 Ni nini tathmini yako kwa mtoto kuweza kuasiliwa? ............................................................................................................................. ... ................................................................................................................................ ............................................................................................................................. ... ............................................................................................................................... Ni yapi maoni ya mtoto kuhusu kuasiliwa kwa ujumla na kuasiliwa na muombaji/waombaji walioelezwa kwenye taarifa? ................................................................................................................................ ............................................................................................................................. ... ................................................................................................................................ Je wazazi wameridhia kuasiliwa? Kama HAPANA, kwa nini naamini kuwa kuridhia huko kunahitaji kupatikana mahakamani? - 10 Verify source ↗
Taarifa ya kusikilizwa kwa shauri
AI-assisted research summary: Sehemu hii inauliza taarifa za tathmini ya kuasili mtoto, ikijumuisha sababu za kuasili, uelewa wa madhumuni na majukumu, tathmini ya ufaafu wa muombaji, na kama mtoto anahitaji msaada mahsusi wakati wa kuhamishwa.
10.9 ................................................................................................................................ ............................................................................................................................. ... ................................................................................................................................ Kwa nini muombaji/waombaji wanataka kumuasili mtoto aliyetajwa kwenye hii taarifa? ................................................................................................................................ ............................................................................................................................. ... ................................................................................................................................ Je muombaji/waombaji wanatambua madhumuni ya kuasili na majukumu yatakayokuwa yanawakabili? NDIYO/HAPANA ................................................................................................... ............................. ............................................................................................................................. ... ................................................................................................... ............................. Ni nini tathmini yako kuhusu uwezo na muombaji kuwa mzazi aliyeasili? (toa sababu, fanya rejea ya ulivyotembelea, ulivyojadili na muombaji/waombaji, watoto wa mwombaji au mambo mengine yaliyorejewa au kujadiliwa na mtu mwingine yeyote mwenye uelewa unaohusika). ANAFAA/HAFAI ............................................................................................................................. ... ................................................................................................................................ ............................................................................................................................. ... Ni nini tathmini yako kuhusu kufaa kwa muombaji kuasili mtoto anayehusika katika taarifa hii. ANAFAA/HAFAI ............................................................................................................................. ... .................................................................................................. .............................. ............................................................................................................................. ... ................................................... Je upo msaada mahsusi unaohitajika katika kumhamisha huyo mtoto? NDIYO/HAPANA Kama upo, toa maelezo: ............................................................................................................................. ... ................................................................................................................................ ............................................................................................................................. ... - 11 Verify source ↗
Taarifa ya Uchunguzi ya Kijamii
AI-assisted research summary: This section is mostly a court form for adoption-related orders and an investigation report, including a direction for the Chief Registrar to enter adoption details in the adopted-children register.
11.1 Nathibitisha kwamba nimemaliza uchunguzi wa kifamilia wa mtoto aliyetajwa hapo juu na Wazazi Waasili na NAPENDEKEZA/SIPENDEKEZI (futa lisilohusika) Wazazi wa kuasili na pia NAPENDEKEZA/SIPENDEKEZI (futa lisilohusika) kwa madhumuni ya kuasili. Saini ............................................... Tarehe.............................................. Jina ........................................................ Sifa................................................... Namba ya usajili ................................... Tarehe .............................................. Msimamizi/Mfawidhi saini................... Tarehe.............................................. Jina........................................................ Sifa ................................................... 29 Kanuni za Kuasili Watoto SHERIA YA MTOTO FOMU NA. A.C.8 KANUNI ZA UASILI WA WATOTO ZA MWAKA 2015 (T.S.NA. ............................... LA MWAKA 2015) AMRI YA MPITO ________ (Imetengenezwa chini ya kanuni ya 16) (Jina maombi ya Kiasia) Baada ya kusomwa, n.k.) Kama ilivyo kwenye Amri ya kuasili) Baada ya kusomwa, n.k. Na baada ya kusikilizwa, n.k.) Na usahidi, n.k.) Na baada ya mahakama kujiridhisha kwamba malalamiko yaliyopo kwenye maombi ni ya kweli na pia baada ya kujiridhisha na atakayejihusisha na ........................................................................ ............................................................................................................................. .............................. ........... [na .....................................................] kwa masharti yatakayowekwa juu ya mtoto aliyetajwa na usalama dhidi yake na baada ya kujiridhisha kwamba itakuwa ni kwa faida ya mtoto kuwa chini ya usimamizi wa ..................................................................................... ............. ............................................................................ na ............................................. ............................. [.......................................................................................................................................................]* na kwamba masharti yote ya Sheria ya Mtoto yameshatimizwa/yameshazingatiwa. ................................................................................................................ ................................................ ............................................................................................................................. ...........................Na itaamuriwa kuwa uamuzi wa maombi usitishwe na uangalizi wa mtoto apewe .......................... [na................................................... ....................................................................... .................................................................................................................................] kwa muda wa .............................................................. kuanzia tarehe ya amri hii kwa muda wa majaribio (chini ya uangalizi wa ...................................................................................................... anayeishi maeneo ya wowote ................................................................................................ambaye kumembelea na kuongea na mtoto faragha na kumfanya mahojiano yeyote kwa ajili ya kumfariji mtoto na kujua maendeleo ya mtoto) wakati huru Na kuhusu gharama, inaagizwa kuwa ........................................................................................... .. na upande wowote, ikihusisha mlezi wa huyo mtoto watakuwa huru kuomba kulipwa malipo ya gharama kama itakavyoweza kushauriwa. 30 Kanuni za Kuasili Watoto SHERIA YA MTOTO FOMU NA. A.C.9(a) KANUNI ZA UASILI WA WATOTO ZA MWAKA 2015 (T.S.NA. ............................... LA MWAKA 2015) AMRI YA UASILI _________ (Imetengenezwa chini ya kanuni ya 17(1)) [na jukumu kwa mdomo); la kumtunza mtoto (Jina kama iliviyo kwenye maombi) Baada ya kusoma maombi ya ........................................................................................................... [na .............................................................................................] na baada ya kusoma kiapo cha .............................................................................. .......................................... .................] na vielelezo vilivyo ambatishwa (rejea kiapo kilichowasilishwa kinachohusiana na suala hili pamoja na vielelezo vyake) na baada ya kusikiliza ..................................................................... na ushahidi wa (taja majina .................................................................... na ushahidi wa (taja majina na anwani za mashahidi waliohojiwa ........................................................................ ............................................................................................................................ .................................. Na mahakama kujiridhisha kuwa maelezo yaliyopo kwenye maombi ni ya kweli na pia kujiridhisha ................................................................ na atakayechukua .......................................................................................... [na ....................................................... ..] kama utakavyoelezwa kwa ajili ya mtoto aliyetajwa hapa juu na mafunzo atakayopata wakati huo na baada ya kujiridhisha kwamba ni kwa manufaa ya mtoto huyo kuasiliwa na ..................... ............................................................................ [na ............................................ ...........................] na kwabma masharti yote ya Sheria ya Mtoto yametimizwa hivyo inaamriwa kwamba ............... ......................................................................... [na ............................................... ...........................] wahalalalishwe kuasili mtoto anayehusika. [Na malipo yafuatayo yanatakiwa kulipwa ambayo ni .......................................................................................................................... ............................] Na inaamriwa kuwa pande zote katika mwenendo wa maombi haya, isipokuwa upande wa ....... ............................................................................................................................. ............................... [na ....................................................................................................................................................] watalipwa ghrama zao na .................................................................................................................. [na ....................................................................................................................................................] na gharama hizo zitakatwa kodi na Msajili/Hakimu Mfawidhi, na inaagizwa kwamba ................ ............................................................................................................................................................ [na ......................................................................................................................... ...........................] walipe kiasi cha gharama inayohusika baada ya kukatwa kodi na Msajili/Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hii ndani ya siku kumi na nne baada ya hati ya kodi kutolewa. Na inaelekezwa kwamba, Msajili Mkuu aingize taarifa za kuasiliwa katika rejista ya Majina ya Watoto walioasiliwa. Katika utaratibu ulioainishwa kwenye Jedwali la Sheria [na baada ya Mahakama kuthibitisha na kujiridhisha kwa mtoto anayetajwa alizaliwa tarehe ........................... mwezi wa .................................. mwaka 20..... na anatambuliwa na .............................................. ambaye namba yake ya usajili ni ............................................. ambayo ni ya tarehe ....................... mwezi ........................................, mwaka 20................... katika rejista ya kusajili vizazi katika Wilaya ya .................................... 31 Kanuni za Kuasili Watoto Inaelekezwa zaidi kuwa Msajili Mkuu atatakiwa baada ya kuingiza jina la mtoto aliyeasiliwa kwenye regista, aongeze neno “Ameasiliwa” ikijumuisha tarehe iliyo hapo juu ya kuzaliwa na kuingizwa kwenye regista kwa namna ambayo imeainishwa kwenye Jedwali la Sheria. _____________________ Dar es salaam HADJI H. MPONDA, 27th Machi, 2012 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii 32
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Kanuni za Kuasili Watoto, za Mwaka 2012
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in