KANUNI ZA MAFUNZO YA UANAGENZI ZA MWAKA 2012
This section appears to list headings, including name, use, interpretation, and parts on formal and informal apprenticeship training.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- KANUNI ZA MAFUNZO YA UANAGENZI ZA MWAKA 2012
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section appears to list headings, including name, use, interpretation, and parts on formal and informal apprenticeship training. This section lists topics about minimum age, guardian consent, child consent, minimum apprenticeship requirements, and a later section on banning hazardous environments in training. This section concerns a prohibition against having a hazardous environment at a training place. Kifungu hiki kinahusu mafunzo ya maandalizi ya kazi ya baadaye ya mwanagenzi. Kichwa cha sehemu hii kinahusu ulinzi wa mwanagenzi dhidi ya unyanyasaji na udhalilishaji pamoja na usajili wa mwanagenzi.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of KANUNI ZA MAFUNZO YA UANAGENZI ZA MWAKA 2012
Showing 48 of 48
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section appears to list headings, including name, use, interpretation, and parts on formal and informal apprenticeship training.
6. Jina. Matumizi. Tafsiri. SEHEMU YA PILI MAFUNZO RASMI YA UANAGENZI NA MAFUNZO YA UANAGENZI YASIYO RASMI Kutolewa kwa mafunzo ya uanagenzi. Mafunzo rasmi ya uanagenzi. Mafunzo ya uanagenzi yasiyo rasmi. SEHEMU YA TATU MASHARTI YA CHINI YA MAFUNZO YA UANAGENZI
Part
SEHEMU YA TATU
- 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: This section lists topics about minimum age, guardian consent, child consent, minimum apprenticeship requirements, and a later section on banning hazardous environments in training.
10. Umri wa chini kuhusu mafunzo ya uanagenzi. Ridhaa ya mwangalizi kuhusu mafunzo ya uanagenzi ya mtoto. Ridhaa ya mtoto kuhusu mafunzo ya uanagenzi. Kiwango cha chini cha mafunzo ya uanagenzi. SEHEMU YA NNE KATAZO LA KUWA NA MAZINGIARA HATARISHI KWENYE MAFUNZO - 7 Verify source ↗
(1) Umri wa chini wa kujiunga na mafunzo ya
AI-assisted research summary: Minimum age for apprenticeship training is 14 years.
7.-(1) Umri wa chini wa kujiunga na mafunzo ya uanagenzi utakuwa ni miaka kumi na nne. (2) Mtoto wa miaka kumi na minne ambaye bado anahudhuria elimu ya lazima hatakuwa mwanagenzi hadi hapo atakapomaliza miaka ya lazima ya shuleni. (3) Mtoto wa miaka mine na zaidi aliyemaliza elimu ya msingi ya lazima anaweza kujiunga na mafunzo yasiyo rasmi ya uanagenzi. - 8 Verify source ↗
(1)
AI-assisted research summary: Mwangalizi lazima aridhie mafunzo ya uanagenzi kabla mtoto hajaingia uanagenzi, na mtoa mafunzo lazima amtaarifu mwangalizi kuhusu vigezo na masharti yake.
8.-(1) Mwangalizi atatakiwa kuridhia mafunzo ya uanagenzi kabla ya mtoto kujiunga na uanagenzi. (2) Mtoa mafunzo atamtaarifu mwangalizi kuhusu vigezo na masharti ya uanagenzi na kipekee kuhusiana na ujuzi uliotolewa na wajibu uliowekwa kwa mtoto au mwangalizi. - 9 Verify source ↗
(1) Mtoa mafunzo atamtaarifu mwangalizi kuhusu
AI-assisted research summary: The training provider must inform the supervisor about apprenticeship conditions, and the child must give written consent after being given time to reflect.
9.-(1) Mtoa mafunzo atamtaarifu mwangalizi kuhusu vigezo na masharti ya uanagenzi na kipekee kuhusiana na ujuzi uliotolewa na wajibu uliowekwa kwa mtoto au mwanagenzi. (2) Mtoto atapewa nafasi ya kutafakari taarifa iliyotolewa kabla ya kutoa uamuzi wa mwisho. (3) Mtoa huduma atakuwa na wajibu wa kumhoji mtoto na kujiridhisha pasipo kuacha shaka kuwa mtoto ameridhia na anakusudia kufanya mafunzo ya uanagenzi. (4) Mtoto atatakiwa kuonyesha ridhaa yake kwa maandishi kwa kutoa ridhaa kwa mtoa mafunzo mbele ya mwangalizi wake. 8 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) Kiwango cha chini cha mafunzo ya uanagenzi - 10 Verify source ↗
(1) Mamlaka ya Serikali iliyo na dhamana na masuala
AI-assisted research summary: Sheria hii inaweka viwango na vikwazo vya mafunzo ya uanagenzi kwa mtoto, ikijumuisha masaa ya mafunzo, mizigo, siku za kuhudhuria, mapumziko, likizo na hatua za usalama.
10.-(1) Mamlaka ya Serikali iliyo na dhamana na masuala ya ufundi stadi itaweka viwango vya wanagenzi kwa kila fani kwa kuzingatia usalama na ustawi wa mtoto. (2) Masaa ya juu ya mafunzo kwa wiki hayatazidi masaa thelathini na sita. (3) Masaa ya juu ya mafunzo kwa wiki hayatazidi masaa thelathini na sita. (4) Mtoto hatafanya mazunzo kati ya masaa ya saa mbili usiku na saa kumi na mbili asubuhi. (5) Mtoto hataruhusiwa kufanya mafunzo zaidiya muda uliotajwa na kanuni hizi. (6) Mtoto aliye kati ya miaka kumi na minne na miaka kumi na sita hatabeba mizigo inayozidi kilogramu kumi na iwapo ni mtoto wa miaka kumi na sita hadi kumi na minane, mzigo wa kilogramu ishirini, isipokuwa kwamba afisa kazi au mganga atakuwa na mamlaka ya kupunguza uzito ulioruhusiwa pale ambapo mtoto ana tatizo linalotambulika. (7) Mtoto hatahudhuria mafunzo ya uanagenzi kwa zaidi ya siku sita katika wiki moja na kwenye sikukuu. (8) Mtoto ambaye anafanya kazi kwa zaidiya masaa matatu kwa siku moja atapewa chakula au kipindi cha mapumziko cha angalau saa moja (9) Mtoto atatakiwa kupewa likizo ya siku thelathini ili kuwa mbali na eneo la mafunzo ya uanagenzi. (10) Mafunzo yaliyotolewa mwanagenzi vinavyohatarisha usalama wake. anakingwa dhidi yatahakikisha ya ya matumizi kuwa vifaa (11) Mtoa mafunzo atahakikisha kuwa mwanagenzi hapatiwi nafasi ya uingiaji bila ya kuwa chini ya uangalizi au kutakiwa kufanya kazi kwenye mashine zisizokuwa chini ya uangalizi ambazo zinaweza kuhatarisha afya na usalama wake. (12) Mtoa huduma atahakikisha kuwa mwanagenzi anatumia mavazi ya kazi na nyenzo nyingine salama. 9 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) SEHEMU YA NNE KATAZO LA KUWA NA MAZINGIRA HATARISHI KWENYE MAFUNZO Katazo la kuwa na mazingaira hatarishi kwenye sehemu ya mafunzo
Part
SEHEMU YA NNE
- 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: This section concerns a prohibition against having a hazardous environment at a training place.
11. Katazo la kuwa na mazingira hatarishi kwenye sehemu ya mafunzo. 1 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) SEHEMU YA TANO WAJIBU WA MTOA MAFUNZO YA UANAGENZI
Part
SEHEMU YA TANO
- 12 Verify source ↗
Mafunzo ya maandalizi ya kazi ya baadaye ya mwanagenzi
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinahusu mafunzo ya maandalizi ya kazi ya baadaye ya mwanagenzi.
12. Mafunzo ya maandalizi ya kazi ya baadaye ya mwanagenzi. - 16 Verify source ↗
Section 16
AI-assisted research summary: Kichwa cha sehemu hii kinahusu ulinzi wa mwanagenzi dhidi ya unyanyasaji na udhalilishaji pamoja na usajili wa mwanagenzi.
16. Ulinzi wa mwanagenzi dhidi ya unyanyasaji na udhalilishaji. Usajili wa mwanagenzi. SEHEMU YA SITA MAKUBALIANO YA MAFUNZO YA UANAGENZI - 12 Verify source ↗
(1) Mtoa mafunzo atatoa mafunzo ya awali kuhusiana
AI-assisted research summary: Mtoa mafunzo lazima ampe mtoto mafunzo ya awali kuhusu fani kabla ya mafunzo kuanza, na akishindwa kutoa msaada fulani wa kisaikolojia au ushauri, ampeleke mtoto kwa Afisa Stawi wa Jamii au taasisi iliyoidhinishwa.
12.-(1) Mtoa mafunzo atatoa mafunzo ya awali kuhusiana na fani kwa mtoto kabla mtoto hajaanza mafunzo. (2) Mafunzo ya awali kuhusiana na fani yatajumuisha, isipokuwa hayatakuwa na ukomo kuhusiana na faida na hasara za biashara, hatari na changamoto. (3) Kwa madhumuni ya ufundishaji unaofaa, mtoa mafunzo anaweza akatoa msaada wa kisaikolojia jamii, ushauri nasaha na mwongozo pale inapohitajika na mtoto kulingana na uhitaji na mazingira ya kila mtoto. (4) Pale ambapo mtoa mafunzo anashindwa kutoa msaada wa kisaikolojia, ushauri nasaha au muongozo, atampeleka mtoto kwa Afisa Stawi wa Jamii au taasisi nyingine iliyoidhinishwa. - 13 Verify source ↗
(1) Mtoa huduma atawajibika kuhakikisha kuwa
AI-assisted research summary: Training providers must keep apprentice attendance records and provide the required training and information.
13.-(1) Mtoa huduma atawajibika kuhakikisha kuwa mahudhurio ya wanagenzi ni ya mara kwa mara kwa kuweka kitabu cha mahudhurio ambacho wanagenzi watatakiwa kusajili mahudhurio yao kwa kila siku. (2) Mtoa mafunzo katika vyuo rasmi atawajibika kutoa mafunzo ya nadharia na vitendo kuhusiana na biashara kama ilivyoainishwa na mamlaka iliyo na dhamana na mafunzo ya ufundi stadi. (3) Mtoa mafunzo katika sekta rasmi atawajibika kutoa mafunzo kwa vitendo na mafunzo mengine kwa kadri ambavyo mazingira yanahitaji. (4) Mtoa mafunzo katika sekta rasmi na zisizo rasmi atawajibika kutoa taarifa kuhusiana na soko la biashara, kuuzika kwa bidhaa, ujasiriamali, maisha na muongozo kwa ajili ya sekta rasmi na isiyo rasmi. Wajibu wa kutoa cheti cha mafunzo ya ufundi - 14 Verify source ↗
(1) Mtoa mafunzo katika sekta rasmi atawajibika
AI-assisted research summary: Watoa mafunzo katika sekta rasmi lazima wampatie mwanagenzi mtihani unaofaa kulingana na viwango vilivyowekwa; watoa mafunzo waliosajiliwa pia wanatakiwa kutoa vyeti kwa kufuata viwango, mifumo na taratibu husika.
14.-(1) Mtoa mafunzo katika sekta rasmi atawajibika kumpatia mwanagenzi mtihani unaofaa kwa ajili ya sekta rasmi na kwa mujibu wa viwango vilivyowekwa na mamlaka husika ya Serikali au mamlaka husika zisizo za kiserikali. (2) Watoa mafunzo waliosajiliwa katika sekta rasmi watatoa vyeti kwa mujibu wa viwango vilivyowekwa, mifumo na taratibu kama zilivyowekwa na asasi za kibiashara kwa 11 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) Ulinzi wa mwanagenzi dhidi ya unyanyasaji na udhalilishaji kushirikiana na mamlaka zilizo na dhamana ya masuala ya mafunzo ya ufundi stadi. (3) Cheti cha kuhitimu mafunzo kitaelekeza kuhusu ujuzi na mafunzo yaliyopatikana wakati wa kipindi cha mafunzo. (4) Msaada wa kisaikolojia, ushauri nasaha na muongozo kwa ajili ya sekta rasmi na isiyo rasmi vitasimamiwa na kuongozwa na mamlaka ya Serikali iliyo na dhamana na mambo ya ustawi wa jamii. - 15 Verify source ↗
(1) Mtoa mafunzo ya ufundi atahakikisha kuwa mtoto
AI-assisted research summary: Training providers must keep apprentices safe, provide immediate healthcare if a child is injured, avoid hazardous work, prevent abuse and discrimination, and provide basic welfare support in formal training.
15.-(1) Mtoa mafunzo ya ufundi atahakikisha kuwa mtoto anapata huduma ya afya mara moja iwapo ataumia wakati wa mafunzo. (2) Mtoa mafunzo atakuwa na jukumu la kuhakikisha kuwa mwanagenzi haendeshe mashine hatarishi au kufanya kazi kwa kutumia vifaa vingine hatarishi au katika hali yoyote ile, kufanya kazi kwenye mazingira hatarishi. (3) Mtoa huduma atahakikisha kuwa mwanagenzi anafanya kazi chini ya mazingira salama, ikijumuisha kuhakikisha kuwa wana vitendea kazi au kuchukua hatua nyingine salama ili kuhakikisha usalama dhidi ya madhara au majeraha. (4) Mtoa mafunzo atamlinda mtoto dhidi ya madhara yoyote wakati wa kipindi cha mafunzo, ikijumuisha madhara ya kisaikolojia (Psychosocial), kiakili, kimwili au mazingaira ambayo yanaweza kumpelekea mwanagenzi kunyanyaswa, kudharauliwa, kuteswaau matendo mengine yaliyo na madhara. (5) Mtoa mafunzo hatawanyanyasa wanagenzi kwa misingi ya jinsia, kabila, ulemavu, hali ya kuwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi, kuwa yatima au hali nyingine yoyote ile. (6) Mtoa mafunzo katika sekta rasmi atakuwa na jukumu la kutoa sehemu ya mafuunzo inayofaa na chakula kinachofaa na cha kutosha kwa mwanagenzi kwa kipidi cha mafunzo. (7) Mtoa mafunzo katika sekta rasmi anaweza kufanya majadiliano na muangalizi na mwanagenzi kwa ajili ya kupata mahali panapofaa na chakula cha kutosha kwa mwanagenzi. (8) Mtoa mafunzo katika sekta rasmi anaweza kufanya majadiliano na muangalizi na mwanagenzi kwa ajili ya kupata mahali panapofaa na chakula cha kutosha kwa mwanagenzi. (9) Mtoa mafunzo atatoa huduma za choo kwa ajili ya wanagenzi wa kike na wa kiume wakati wa kipindi cha mafunzo. 12 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) (10) Mtoa huduma atawajibika kumfichia mwanagenzi pale ambapo amepata jeraha wakati wa mafunzo ya wanagenzi kwa mujibu wa masharti yaliyokubalika na vigezo kwa mujibu wa sheria zinazosimamia masuala ya fidia. (11) Mtoa mafunzo atahakikisha kuwa mwanagenzi hasababishi tishio lolote au madhara kwa wanagenzi wengine wanaohudhuria mafunzo. (12) mtoa mafunzo atakidhi masharti ya Sheria na kanuni kuhusiana na usalama wa mtoto. (13) Baada ya kumaliza mafunzo, mtoa mafunzo atamuondolea mwanagenzi jukuju lolote au wajibu kuhusiana na mtoa mafunzo. Usajili wa mwanagenzi - 16 Verify source ↗
(1) Mtoa mafunzo atawajibika kuwasajili watoto wote
AI-assisted research summary: Mtoa mafunzo lazima awasajili watoto wote wanaoshiriki katika mafunzo ya uanagenzi na ahakikishe mawasiliano ya mara kwa mara na muangalizi kuhusu maendeleo ya mwanafunzi.
16.-(1) Mtoa mafunzo atawajibika kuwasajili watoto wote wanaoshiriki katika mafunzo ya uanagenzi. (2) Rejesta itajumuisha jina na umri wa mtoto, ulemavu wowote, jinsia, makazi, majina ya muangalizi na anuani zake na aina ya mafunzo yatakayotolewa. (3) Mtoa mafunzo atahakikisha kuwa mawasiliano ya mara kwa mara na muangalizi kuhusiana na maendeleo ya mwanagenzi ikijumuisha kuingiza taarifa mpya kuhusiana na mtoto. SEHEMU YA SITA MAKUBALIANO YA MAFUNZO YA UANAGENZI Makubaliano kutiwa saini ya mtoa mafunzo na mwangalizi wa mtoto
Part
SEHEMU YA SITA
- 17 Verify source ↗
Makubaliano kutiwa saini ya mtoa mafunzo na mwangalizi wa mtoto
AI-assisted research summary: This section concerns an agreement to be signed by the trainer and the child minder.
17. Makubaliano kutiwa saini ya mtoa mafunzo na mwangalizi wa mtoto. - 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: This section concerns termination of an apprenticeship training agreement by the trainer or the child’s guardian.
18. Kusitishwa kwa makubaliano ya mafunzo ya uanagenzi na mtoa mafunzo. Kusitishwa kwa makubaliano ya mafunzo ya uanagenzi na mwangalizi wa mtoto. - 20 Verify source ↗
Wajibu wa mwangalizi wa mtoto kutoa taarifa za kunyanyaswa au
AI-assisted research summary: Mwangalizi wa mtoto lazima atoee taarifa za kunyanyaswa, kuonewa, au kunyonywa kwa mtoto.
20. Wajibu wa mwangalizi wa mtoto kutoa taarifa za kunyanyaswa au kuonewa/kunyonywa. Kukiukwa kwa mkataba/ makubaliano ya mafunzo ya uanagenzi. - 21 Verify source ↗
Section 21
AI-assisted research summary: This section is a heading for the chapter on the duties of the driver and the attendant.
21. SEHEMU YA SABA MAJUKUMU YA MWANAGENZI NA MWANGALIZI - 17 Verify source ↗
(1) Kila mtoa mafunzo atatakiwa kusaini mkataba na
AI-assisted research summary: Kila mtoa mafunzo lazima asaini mkataba na mwangalizi wa mwanagenzi kabla mwanagenzi kusajiliwa kwa mafunzo.
17.-(1) Kila mtoa mafunzo atatakiwa kusaini mkataba na mwangalizi wa mwanagenzi kabla mwanagenzi hajaandikishwa kwa ajili ya mafunzo. (2) Makubaliano yataainisha haki na wajibu wa mtoa mafunzo na mwanagenzi. (3) Kutakuwa na fomu inayoelezea yaliyomo katika mkataba kama ambavyo itakuwa imeainishwa katika Kanuni za Elimu ya Ufundi, utatumika kama mwongozo katika mahusiano ya kimkataba kati ya mtoto na mtoa mafunzo. (4) Fomu inayoainisha yaliyomo kwenye makubaliano kama ilivyoelezewa kwenye Kanuni za Mafunzo ya Ufundi Stadi, inaweza kutumika kutoa mwongozo kwa mahusiano ya kimkataba baina ya mwanagenzi na mtoa mafunzo. 13 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) Kusitishwa kwa makubaliano ya mafunzo ya uanagenzi na mtoa mafunzo Kusitishwa kwa makubaliano ya mafunzo ya uanagenzi na mwangalizi wa mtoto (5) Mtoa mafunzo kwenye sekta rasmi atafungwa na makubaliano baina ya mwangalizi na mtoa mafunzo au Kanuni nyingine, taratibu au mifumo iliyowekwa na Asasi za Kibiashara. - 18 Verify source ↗
(1) Bila ya kuathiri masharti yaliyotangulia,
AI-assisted research summary: Uanagenzi unaweza kusitishwa tu chini ya mazingira yaliyotajwa, na mtoa mafunzo lazima athibitishe kutokuwa na sifa za kuendelea na pia atoe notisi ya siku 30 ikiwa mkataba umevunjika.
18.-(1) Bila ya kuathiri masharti yaliyotangulia, kusitishwa kwa uanagenzi kunaweza kufanyika chini ya mazingira yafuatayo pekee: (a) kutokuwa na uwezo uliothibitishwa na taarifa ya mganga; (b) kutokuwa na uwezo uliothibitishwa na taarifa ya mganga; (c) utovu wa nidhamu uliokithiri; (d) afya duni inayozuia utekelezaji ulio na tija; (e) masharti ya kiuendeshaji; na (f) kutokuwa na uwezo wa kujifunza. (2) Mtoa mafunzo ya atathibitisha kuwa mwanagenzi hana sifa za kuendelea na mafunzo ya uanagenzi. (3) Mtoa mafunzo, iwapo mkataba umevunjika, atatoa notisi ya siku thelathini kwa mwangalizi na mwanagenzi akiwataarifu kuhusu kuvunjika huko kwa mkataba na sababu ya kuvunjika huko. (4) Iwapo mwangalizi wa mtoto hawajaridhika na kuvunjika huko kwa mkataba, wataomba msaada wa Afisa Ustawi wa jamii au Afisa Kazi ndani ya kipindi kisichozidi mwezi mmoja kutokea tarehe ya kuvunjika. - 19 Verify source ↗
(1) Mwangalizi anaweza kuvunja mkataba kwa niaba
AI-assisted research summary: Mwangalizi anaweza kuvunja mkataba kwa niaba ya mtoto ikiwa mtoa mafunzo amekiuka mkataba; pia lazima asitishe mkataba baada ya kumshirikisha mtoto na kujiridhisha kuwa hilo ni kwa manufaa ya mtoto.
19.-(1) Mwangalizi anaweza kuvunja mkataba kwa niaba ya mtoto iwapo mtoa mafunzo amekiuka mkataba kwa namna yoyote ile. (2) Mwangalizi wa mtoto atasitisha mkataba baada ya kuwasiliana na mtoto mwenyewe na akijiridhisha kuwa kusitisha mkataba ni kwa manufaa ya mtoto. (3) Pale ambapo kuvunjika kwa mkataba kunapelekea unyenyasaji wa mtoto, mwanaglizi atamtaarifu Afisa Ustaw wa Jamii ambaye atachukua hatua zote kumuunganisha mtoto na uangalizi stahili. 14 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) Wajibu wa mwangalizi wa mtoto kutoa taarifa za kunyanyaswa au kuonewa/ kunyonywa - 20 Verify source ↗
(1) Mwangalizi aliyeko katika sekta rasmi atastahili
AI-assisted research summary: Mwangalizi katika sekta rasmi ana haki ya kulipwa kwa utaratibu uliowekwa na sheria na kanuni za mafunzo ya ufundi stadi.
20.-(1) Mwangalizi aliyeko katika sekta rasmi atastahili kupewa malipo kwa namna iliyoainishwa na sheria ya mafunzo ya ufundi stadi na marekebisho yake na Kanuni zilizotungwa chini yake. (2) Iwapo mtoa mafunzo anashindwa kumlipa mtoto, sheria, kanuni na taratibu za mamlaka husika ya Serikali iliyio na dhamana na mambo ya mafunzo ya ustadi wa jamii vitatumika. (3) Malipo ni stahili na itapigiwa hesabu kwa kuzingatia masaa ya kazi na si kuzingatia bidhaa zilizozalishwa na mwanagenzi. (4) Malipo yatalipwa kifedha tu na hayatajumuisha aina nyigine ya malipo. Kukiukwa mkataba/ makubaliano ya mafunzo ya uanagenzi - 21 Verify source ↗
(1) Masharti ya sheria nyingine zinazohusika na
AI-assisted research summary: Sheria nyingine za taratibu zitatumika ikiwa mkataba kati ya mwanagenzi na mtoa mafunzo umevunjwa, na mwangalizi wa mtoto anatakiwa kutoa taarifa za kunyanyaswa au kuonewa/kunyonywa.
21.-(1) Masharti ya sheria nyingine zinazohusika na taratibu yatatumika pale ambapo mkataba umekiukwa kati ya mwanagenzi na mtoa mafunzo. (2) Pale ambapo makubaliano yamevunjwa na mtoa mafunzo, mwangalizi au mtoto, kwa msaada wa afisa ustawi wa jamii ataomba msaada wa afisa wa kazi au Mahakamani. Wajibu wa mwangalizi wa mtoto kutoa taarifa za kunyanyaswa au kuonewa/ kunyonywa SEHEMU YA SABA MAJUKUMU YA MWANAGENZI NA MWANGALIZI
Part
SEHEMU YA SABA
- 22 Verify source ↗
Wajibu wa mwangalizi wa mtoto kutoa taarifa za kunyanyaswa au
AI-assisted research summary: Mwangalizi wa mtoto ana wajibu wa kutoa taarifa kuhusu kunyanyaswa au kuonewa/kunyonywa kwa mtoto.
22. Wajibu wa mwangalizi wa mtoto kutoa taarifa za kunyanyaswa au kuonewa/kunyonywa. - 24 Verify source ↗
Wajibu wa kutoa taarifa kuhusu uharibifu wa mali
AI-assisted research summary: This section is about the duty to give information about damage to property.
24. Wajibu wa kutoa taarifa kuhusu uharibifu wa mali. - 25 Verify source ↗
Wajibu wa mtoto kutoa taarifa kuhusu kunyanyaswa au kunyonywa
AI-assisted research summary: Mtoto anatakiwa kutoa taarifa kuhusu kunyanyaswa au kunyonywa.
25. Wajibu wa mtoto kutoa taarifa kuhusu kunyanyaswa au kunyonywa. - 26 Verify source ↗
Wajibu wa mtoto kutoa taarifa kuhusu kunyanyaswa au kunyonywa
AI-assisted research summary: This section heading indicates a child’s duty to report abuse or exploitation.
26. Wajibu wa mtoto kutoa taarifa kuhusu kunyanyaswa au kunyonywa. SEHEMU YA NANE USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI - 22 Verify source ↗
(1) Mwangalizi atakuwa na jukumu la kutoa taarifa ya
AI-assisted research summary: Mwangalizi lazima aripoti unyanyasaji au udhalilishaji kwa afisa ustawi wa jamii au mamlaka za serikali za mitaa anapokuwa na mashaka ya kuwepo kwao; mtu mwingine yeyote anaweza pia kutoa taarifa.
22.-(1) Mwangalizi atakuwa na jukumu la kutoa taarifa ya unyanyasaji wowote au udhalilishaji kwa afisa ustawi wa jamii au mamlaka za serikali za mitaa iwapo mwangalizi ana mashaka kuwa kuna unyanyasaji au udhalilishaji. (2) Mtu mwingine yeyote anaweza kutoa taarifa ya unyanyasi au udhalilishaji kwa Afisa Ustawi wa Jamii au Mamlaka za Serikali za Mitaa pale ambapo mtu ana mashaka kuwa kuna unyanyasaji au udhalilishaji wa mwanagenzi. (3) Pale ambapo mtoto unyanyasi au udhalilishaji wa Afisa Ustawi wa Jamii au Mamlaka za Serikali za Mitaa pale ambapo mtu ana mashaka kuwa kuna unyanyasaji au udhalilishaji wa mwanagenzi. 15 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) Wajibu wa kufuata maelekezo halali Wajibu wa kutoa taarifa kuhusu uharibifu wa mali Wajibu wa mtoto kutoa taarifa kuhusu kunyanyaswa au kunyonywa Wajibu wa mtoto kutoa taarifa kuhusu kunyanyaswa au kunyonywa Wajibu wa Afisa Kazi - 23 Verify source ↗
Mwanagenzi atafuata maelekezo na miongozo halali
AI-assisted research summary: Mwanagenzi lazima afuate maelekezo na miongozo halali kadri atakavyoelekezwa na mtoa mafunzo.
23. Mwanagenzi atafuata maelekezo na miongozo halali kwa kadri itakavyoelekezwa na mtoa mafunzo. - 24 Verify source ↗
Mwanagenzi atatoa taarifa ya uharibifu wowote wa
AI-assisted research summary: Mwanagenzi lazima atoe taarifa kuhusu uharibifu wowote wa mali ya Mtoa mafunzo.
24. Mwanagenzi atatoa taarifa ya uharibifu wowote wa mali ya Mtoa mafunzo. - 25 Verify source ↗
(1) Mtoto hataiba, kuficha au kuchukua mali yeyote ya
AI-assisted research summary: Mtoto haruhusiwi kuiba, kuficha, au kuchukua mali ya mtoa mafunzo bila ruhusa, na lazima ahakikishe mafunzo na matumizi bora ya vifaa vya mtoa mafunzo.
25.-(1) Mtoto hataiba, kuficha au kuchukua mali yeyote ya mtoa mafunzo bila ya ruhusa ya mtoa mafunzo. (2) Katika nyakati zote, mtoto atahakikisha mafunzo na matumizi bora ya vifaa vya mtoa mafunzo. - 26 Verify source ↗
Mtoto atakuwa na jukumu la kutoa taarifa ya
AI-assisted research summary: Mtoto ana jukumu la kutoa taarifa ya unyanyasaji au udhalilishaji kwa Afisa Ustawi wa Jamii, mamlaka za serikali za mitaa, au taasisi nyingine zinazoshughulika na haki za watoto.
26. Mtoto atakuwa na jukumu la kutoa taarifa ya unyanyasaji au udhalilishaji wa Afisa Ustawi wa Jamii, mamlaka za serikali za mitaa au taasisi nyingine yoyote inayoshughulika na haki za watoto. SEHEMU YA NANE USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI
Part
SEHEMU YA NANE
- 28 Verify source ↗
Wajibu wa Msimamizi wa Elimu ya Ufundi
AI-assisted research summary: Section title about the duties of the vocational education administrator.
28. Wajibu wa Msimamizi wa Elimu ya Ufundi. - 30 Verify source ↗
Wajibu wa Mkaguzi wa Afya na Usalama Mahali pa Kazi
AI-assisted research summary: Kichwa hiki kinataja wajibu wa mkaguzi wa afya na usalama mahali pa kazi.
30. Wajibu wa Mkaguzi wa Afya na Usalama Mahali pa Kazi. 2 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) SEHEMU YA TISA UTATUZI WA MIGOGORO - 27 Verify source ↗
(1) Litakuwa ni jukumu la Afisa Kazi kukagua
AI-assisted research summary: Afisa Kazi must inspect work environments and standards, may question a child privately, and may order immediate release of a child from a trainer’s care if the training environment is abusive or degrading.
27.-(1) Litakuwa ni jukumu la Afisa Kazi kukagua mazingira ya kazi na viwango kwa mujibu wa Sheria hii, Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini, Sheria ya Taasisi za Kazi na sheria nyingine yoyote inayohusika pamoja na kanuni zake husika. (2) Afisa Kazi atakuwa uwezo wa kumhoji mtoto kwenye sehemu ya faragha pasipo mtoa mafunzo kuwepo au mtu mwingine yeyote. (3) Afisa Kazi atakuwa na uwezo wa kuamarisha mtoto kuachiliwa mara moja kutoka katika uangalizi wa mtoa mafunzo iwapo mazingiara ya mafunzo yataonekana kuwa ni ya unyanyasaji au udhalilishaji. (4) Pale ambapo Afisa Kazi ametoa amri ya kuachiliwa kwa mwanagenzi kutoka katika uangalizi wa mtoa mafunzo, Afisa huyo wa Kazi mara moja atampeleka mtoto kwenye taasisi inayofaa au kwa Afisa Ustawi wa Jamii. (5) Afisa Kazi atampatia taarifa mara moja Afisa Ustawi wa Jamii kuhusu kuondolewa katika mafunzo mtoto au kuwaarifu 16 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) kuhusu mazingira ya unyanyasaji katika muda usiozidi saa ishirini na nne (24) tangu afanye ukaguzi. (6) Pale ambapo Afisa Kazi anaamuru mtoto kuachiliwa, Afisa huyo wa Kazi atatakiwa kujaza fomu ili kumtaarifu Afisa Ustawi wa Jamii kuhusiana na hali ya mazingira ya sehemu ya kazi, na mapendekezo ya hatua ya kuchukuliwa. zinazohusika, madhara yaliyopatikana athari Wajibu wa msimamizi wa elimu ya ufundi Wajibu wa Afisa Ustawi wa Jamii (7) taarifa ya Afisa Kazi atatoa mara moja kutokutekelezwa kwa amri yake na matukio ya kikazi kuhusiana na ajira kwa mtoto kwa mamlaka zilizoidhiniwa kama ilivy oainishwa kwenye Sheria ya Taasisi za Kazi na Kanuni zake. (8) Afisa Kazi atachukua hatua zote kufuatilia utekelezaji wa Sheria.
Part
SEHEMU YA TISA
- 32 Verify source ↗
Section 32
AI-assisted research summary: This section heading refers to penalties for violations and dispute resolution in the apprenticeship training regulations.
32. Adhabu kwa ukiukwaji. Utatuzi wa migogoro. 3 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) SHERIA YA MTOTO (SURA YA 13) ______ KANUNI _______ KANUNI ZA MAFUNZO YA UANAGENZI ZA MWAKA 2012 SEHEMU YA KWANZA MASHARTI YA UTANGULIZI Jina - 31 Verify source ↗
Pale ambapo mtoa mafunzo anakiuka masharti ya
AI-assisted research summary: Ikiwa mtoa mafunzo anakiuka masharti ya sheria inayosimamia wanagenzi au Kanuni hizi, adhabu zote husika zitatumika.
31. Pale ambapo mtoa mafunzo anakiuka masharti ya sheria yoyote inayosimamia wanagenzi au Kanuni hizi, adhabu zote zilizotolewa chini ya Sheria hiyo, kwenye kanuni za Adhabu na Sheria nyingine zote husika na Kanuni zitatumika. - 32 Verify source ↗
(1) Afisa Kazi atashauriana na Afisa Mafunzo ya
AI-assisted research summary: Afisa Kazi na Afisa Ustawi wa Jamii wanapaswa kushughulikia kusikiliza wahusika na kusaidia mtoto wakati wa shauri; wahusika pia wana haki ya kwenda Mahakamani kama hawajaridhika na upatanishi.
32.-(1) Afisa Kazi atashauriana na Afisa Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET) wa mkoa na Afisa Usttawi wa Jamii kuhusu kuwasikiliza wahusika na iwapo mazingira yanaruhusu kutatua mgogoro kwa njia ya maelewano. (2) Iwapo wahusika hawakuridhika na upatanishi, watakuwa na haki ya kufungua kesi kwenye Mahakama. (3) Afisa Ustawi wa Jamii atahakikisha kuwa mtoto anapata msaada, ikijumuisha msaada wa kisheria, kiafya na kisaikolojia kama itakavyohitajika. 18 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) (4) Katika nyakati zote, Afisa Ustawi wa Jamii ataambatana na mtoto na kuhakiki uwepo wa waangalizi wakati wote wa kipindi cha kusikilizwa kwa shauri. Dar es Salaam, 27 Machi, 2012 HADJI H. MPONDA, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii 19
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Kanuni hizi zitaitwa Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi
AI-assisted research summary: This section says these rules are called the Apprenticeship Training Regulations.
1. Kanuni hizi zitaitwa Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto, za mwaka, 2012. Matumizi Sura 82 Sura 82, 366 na 13 Tafsiri - 2 Verify source ↗
Kanuni hizi zitatumika kwa Wizara zote, Wakala za
AI-assisted research summary: Kanuni hizi zinatumika kwa wizara, wakala za serikali, idara, vyombo vingine na watu binafsi wanaotoa mafunzo ya uanagenzi nchini Tanzania.
2. Kanuni hizi zitatumika kwa Wizara zote, Wakala za Serikali na Idara pamoja katika vyombo vingine au na watu binafsi wanaotoa mafunzo ya uanagenzi nchini Tanzania na zitasomwa pamoja na Sheria ya Elimu ya Ufundi Stadi na Sheria ya Mahusiano Kazini na Sheria nyingine zozote zinazohusika na Kanuni. - 3 Verify source ↗
Katika Kanuni hizi isipokuwa kama muktadha utahitaji
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in these Regulations, including child, apprentice, hazardous work, inspector, remuneration, social welfare officer, trainer, and occupational safety and health standards.
3. Katika Kanuni hizi isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo: “sheria” maana yake ni Sheria ya Mtoto ya Tanzania; “mafunzo rasmi ya uanagenzi” maana yake ni mchakato wa kutoa mafunzo ya ujuzi au weledi wa kazi unaoweza kutolewa chuoni au mahali pa kazi kwa kutumia sekta rasmi au isiyo rasmi; “mwanagenzi” maana yake ni mtoto aliye na umri wa miaka kumi na mine au zaidi ambaye ameajiriwa ili kujifunza ujuzi katika sekta rasmi au isiyo rasmi; “mwangalizi” maana yake ni mzazi, mlezi, au idara iliyopewa mamlaka ya kuangalia mtoto, kiongozi wa kijiji au kamati ya kijiji inayotambuliwa rasmi kwa ajili hiyo, mwalimu au mtu yeyote anayewajibika kumwangalia mtoto; “mtoto” maana yake ni mtu yeyote mwenye umri chini ya miaka kumi na nane; 4 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) Sura 300 “kazi hatarishi” maana yake ni kazi yeyote inayomweka mtoto katika hatari ya kimwili au kiakili; “afisa wa kazi” maana ni afisa aliye na majukumu ya ukaguzi mahali pa kazi kama inavyoelekezwa kwa mujibu wa kifungu cha 43 kifungu kidogo cha (3) cha Sheria ya Mahusiano Kazini; “mtu mwenye ulemavu” maana yake ni mtu mwenye ulemavu wa mwili au akili, ambaye uwezo wake wa kufanya kazi unakuwa mdogo anapokumbana na vikwazo vya hisia, mazingira na kitaasisi; “ujira” maana yake ni jumla ya thamani ya malipo yote ya kifedha ambayo anayestahili kulipwa mwanagenzi kutokana na kazi iliyofanywa wakati wa kipindi cha mafunzo ya uanagenzi; “Afisa Ustawi wa Jamii” maana yake ni Afisa Ustawi wa Jamii aliye katika utumishi wa umma; “mtoa mafunzo” maana yake ni mwajiri au taasisi yeyote iliyosajiliwa au mtu anaye wajibika kutoa mafunzo ya uongozi kwa mujibu wa sheria za ndani na viwango; “viwango vya usalama wa afya kazini” ina maana iliyotolewa kwake chini ya Sheria ya Usalama wa Afya Mahali pa Kazi, Sura ya 297. SEHEMU YA PILI MAFUNZO RASMI YA UANAGENZI NA MAFUNZO YA UANAGENZI YASIYO RASMI Kutolewa kwa mafunzo ya uanagenzi
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Mafunzo ya Uanagenzi yatatolewa kwa sekta rasmi na
AI-assisted research summary: Apprenticeship training is to be provided for both the formal and informal sectors in accordance with regulations made by the institutions responsible for apprenticeship training.
4. Mafunzo ya Uanagenzi yatatolewa kwa sekta rasmi na isiyo rasmi kwa mujibu wa Kanuni zilizotugnwa na taasisi zinazohusika na mafunzo ya uanagenzi. Mafunzo rasmi ya uanagenzi - 5 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na mafunzo ya kijasiriamali na mafunzo
AI-assisted research summary: The section sets rules for apprenticeship and entrepreneurial training, including minimum facilities for providers, eligibility for formal apprenticeship training, advisory duties of trainers, and possible government grants for entrepreneurial institutions.
5.-(1) Kutakuwa na mafunzo ya kijasiriamali na mafunzo rasmi yanayotolewa kitaasisi. (2) Mafunzo yanayotoewa chini ya taasisi iliyosajiliwa chini ya Mamlaka iliyo na dhamana na mafunzo ya ufundi stadi. (3) Mafunzo ya kijasiriamali yatatolewa na taasisi za kijasiriamali kwa kushirikiana na taasisi zinazotoa mafunzo rasmi ndani na nje ya nchi chini ya masharti yaliyoainishwa kwenye makubaliano baina ya taasisi ya kijasiriamali, mtoa mafunzo na 5 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) mamlaka husika ya Serikali. (4) Mtoa huduma atatakiwa, kwa kiwango cha chini kabisa, kuwa na yafuatayo: (a) vifaa vya kufanyia kazi na vifaa vya kujikinga kwa ajili ya wanagenzi; (b) vifaa salama na safi vya choo kwa ajili ya wanagenzi; (c) mahali pa mapumziko kwa ajili ya wanagenzi kujipumzisha wakati wa kipindi cha mapumziko; na (d) mazingira salama kwa ajili ya wanagenzi kufanyia mafunzo. (5) Taasisi za kijasiriamali zinazotoa elimu ya ufundi stadi zinaweza kupewa ruzuku kwa kadri ambavyo Serikali itaona inafaa. (6) Wanagenzi walio na uwezo wa kusoma na kuandika walio na kiwango cha chini kabisa cha elimu kwa kadri itakavyoainishwa na mamlaka ya Serikali inayohusika na utolewaji wa elimu ya ufundi stadi watakuwa na sifa za kujiunga na mafunzo rasmi ya uanagenzi. (7) Mafunzo rasmi ya uanagenzi yatafanywa na taasisi iliyoidhinishwa kutoa mafunzo hayo kwa ngazi iliyotajwa na mamlaka husika ya Serikali. (8) Mafunzo ya uanagenzi yanayotolewa na taasisi ya kijasiriamali yatatolewa chini ya masharti yanayosimamiwa na msimamizi aliye na sifa kutoka katika taasisi ya kijasiriamali inayosimamiwa na mamlaka husika ya Serikali. (9) Mtoa mafunzo atashauri katika kila hatua ya mafunzo kuhusiana na yaliyomo katika mafunzo, mfumowa ufundishaji na masuala mengine kuhusiana na mafunzo hayo. (10) Maombi ya kupata mafunzo rasmi ya uanagenzi yanaweza kufanywa na mwajiri kwa niaba ya mwanagenzi, watu au wanafunzi wa mafunzo ya ufundi stadi (VETA) ambao wamemaliza ngazi zilizoidhinishwa za mafunzo kwa ukamilifu au kwa kadri ambavyo viwango vya elimu ya ufundi stadi vitaainisha na kwa namna ilivyoainishwa na mamlaka husika ya Serikali iliyo na dhamana na masuala ya elimu ya ufundi stadi. (11) Taasisi zinazotoa mafunzo rasmi zitatumia mtaala uliowekwea na taasisi husika kwa ajili ya kuelekeza utolewaji husika kwa ajili ya kuelekeza utolewaji wa mfumo rasmi wa mafunzo. 6 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) Mafunzo ya uanagenzi yasiyo rasmi (12) Mafunzo yanayotolewa na sekta rasmi yatakidhi masharti ya Sheria na kanuni kuhusiana na haki za watoto. (13) Mwanagenzi anayetoka kwenye familia iliyo na kipato cha chini anayepata matatizo ya kulipa ada au malipo mwengine yanayohusiana na gharama za masomo, atasaidiwa kupata msaada wa kifedha na mamlaka ya Serikali za Mitaa, Sekta binafsi au watu kwa kushirikiana na mwangalizi wa mtoto. - 6 Verify source ↗
(1)
AI-assisted research summary: Informal technical training may be offered by any school or individual, but certified schools must follow the relevant standards and regulations. Apprentices have limits on training length, may be entitled to living support, and some low-income apprentices can get help with fees.
6.-(1) Mafunzo yasiyo rasmi ya ufundi yanaweza yakafanywa na chuo chochote au mtu binafsi bila kujali kama ana cheti au hana cheti kwa ajili ya kufanya mafunzo hayo. (2) Vyuo ambavyo vina vyeti au vimeidhinishwa kutoa mafunzo ya ufundi vitatoa mafunzo hayo kwa kuzingatia sheria ndogo na kanuni kuhusu viwango na ngazi ya mafunzo kama ambavyo itakuwa imeelekezwa na taasisi husika ya Serikali. (3) Taasisi husika ya Serikali itaamua sifa za chini za kwa ajili ya mwanagenzi kuanza mafunzo yasiyo rasmi kwa mtoto ambaye amefikisha kiwango cha chini cha elimu inayotakiwa. (4) Mafunzo ya ufundi katika shule ambazo haziko katika mfumo rasmi yatafanyika kwa kipindi kisichozidi miaka minne. (5) Hakuna kiwango cha chini cha sifa za kuanza mafunzo ya ufundi iwapo mtoto anayetakiwa kupata mafunzo hayo hajahitimu elimu ya msingi ambayo ni ya lazima. (6) Mwanagenzi katika kipindi atakapokuwa anapatiwa mafunzo katika vyuo ambavyo siyo rasmi atastahili kulipwa posho ya kujikimu ambayo itapangwa kwa makubaliano kati ya mtoa mafunzo na mwangalizi wa anayemtunza mtoto. (7) Mtoa mafunzo ya ufundi atakuwa akiangaliwa katika kila hatua ya mafunzo kuhusu maudhui ya mafunzo, ya ufundishaji na mambo mengine yeyote yanayohusu kufundisha. (8) Maombi kwa ajili ya kufanya mafunzo yasiyo rasmi ya ufundi yatafanywa na anayemtunza mtoto, mwajiri kwa niaba yake au watoto wenyewe binafsi kwa uangalizi au uongozi wa mwangalizi wa mtoto. (9) Vyuo vilivyothibitishwa kwa ajili ya mafunzo ya ufundi yasiyo rasmi watatumia mitaala ya viwango vilivyowekwa mahsusi na taasisi zinazohusika kwa ajili ya kuwasaidia katika kutoa mafunzo na kuzingatia sheria zote zinazohusu haki za mtoto. (10) Mwanagenzi ambaye anatoka katika familia yenye 7 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) Umri wa chini kuhusu mafunzo ya uanagenzi Ridhaa ya mwangalizi kuhusu mafunzo ya uanagenzi ya mtoto Ridhaa ya mtoto kuhusu mafunzo ya uanagenzi kipato cha chini na ambaye anapata matatizo kulipa ada au malipo mengine yanayohusiana na masomo, atasaidiwa kupata msaada wa kifedha na Serikali za Mitaa, shirika binafsi au mtu binafsi kwa kushirikiana na mwangalizi wa mtoto. (11) Mwanagenzi baada ya kutimiza miaka minne akipatiwa mafunzo ya ufundi, atahesabiwa kuwa na ujuzi au weledi sawa kama wa mwanagenzi aliyepata mafunzo katika chuo rasmi cha mafunzo ya ufundi. SEHEMU YA TATU MASHARTI YA CHINI YA MAFUNZO YA UANAGENZI
Part
sehemu ya
- 11 Verify source ↗
(1) Kazi, kwa mukhtadha wa uanagenzi, inachukuliwa
AI-assisted research summary: This section restricts child apprenticeship and training in hazardous or sexualised work settings, and requires training providers to follow child labour laws and regulations.
11.-(1) Kazi, kwa mukhtadha wa uanagenzi, inachukuliwa kuwa ni aina mbaya kabisa ya ajira ya mtoto pale ambapo mwanagenzi aliye chini ya umri wa miaka kumi na minane anahusishwa na aina au mazingira hatarishi ya kazi ndani ya uangalizi unaostahili. (2) Mtoto hatatakiwa kufanya kazi ya uanagenzi bila ya idhini na usimamizi wa chombo cha Serikali kilichoidhiniwa katika yoyote kati ya shughuli zijulikanazo kama “kazi hatarishi” chini ya kifungu cha 28 cha Serhai au Kanuni zozote zilizotungwa chini ya Sheria au chini ya Sheria ya Usalama wa Afya Mahali Pa Kazina Kanuni zozote zilizotungwa chini ya Sheria hiyo au Sheria nyingine na Kanuni zake. (3) Kwa madhumuni ya uelewa, “kazi hatarishi” zitajumuisha kazi zote ambazo zinaweza kumdhuru au kumuweka mtoto hatarini kimwili au kumsababishia majeraha ya kiakili na zinajumuisha shughuli zote zilizoainishwa kwenye orodha ya kazi hatarishi iliyoambatanishwa kwenye Kanuni za Ajira ya Mtoto. (4) Mtoa mafunzo atazingatia Sheria na Kanuni zinazosimamia ajira ya mtoto. (5) Mtoto hatapatiwa mafunzo kwenye mazingira yanayosababisha hatari ya afya na usalama wake, ikijumuisha kufanya kazi inayohusiana na vumbi au moto, kemikali hatarishi, kelele zilizozidi kiwango, mtetemeko, joto, kuinama, kusimama au kukaa chini, kuwekwa kwenye mazingira ya pombe au kwenye mazingira yenye ubichi uliozidi, vifaa vya kazi hatarishi kama mashine nzito, kubeba mizigo mizito mgongoni, kichwani au mabegani na kitendo kingine chochote ambacho kinaweza kuathiri afya na usalama wa mtoto. (6) Mwanagenzi hatajihusisha na kazi yoyote au mafunzo ambayo yanahusiana na matendo ya kujamiiana, yanayomuweka kwenye mazingira ya kingono au yaliyo kinyume na maadili na picha na mikanda ya video ya utupu. 10 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) Mafunzo ya maandalizi ya kazi ya baadaye ya mwanagenzi Mahudhurio na mafunzo ya uanagenzi SEHEMU YA TANO WAJIBU WA MTOA MAFUNZO YA UANAGENZI
Part
sehemu ya faragha pasipo mtoa mafunzo kuwepo au mtu
- 28 Verify source ↗
(1) Mkaguzi wa Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET)
AI-assisted research summary: The VET inspector must monitor training standards, report abusive or humiliating training conditions to the Labour Officer immediately, and make sure qualifying apprentices receive certificates under the law and VET regulations.
28.-(1) Mkaguzi wa Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET) atachukua hatua zote kufuatilia utekelezaji wa viwango vya mafunzo kwa kutumia nyenzo zilizoidhinishwa na mamlaka ya mafunzo iliyoainishwa. (2) Mkaguzi wa Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET) mara moja atamtaarifu Afisa Kazi iwapo mazingira ya mafunzo ni ya unyanyasaji au udhalilishaji kwa mwanagenzi. (3) Mkaguzi wa Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET) atawajaibika kuhakikisha kuwa wanagenzi waliomaliza mafunzo ya uanagenzi wanapewa vyeti kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET). - 29 Verify source ↗
(1) Afisa Ustawi wa Jamii atachukua hatua zote
AI-assisted research summary: Afisa Ustawi wa Jamii must follow up reported abuse or humiliation cases involving apprentices and take steps to remove the child, notify police and the labor officer, and provide support.
29.-(1) Afisa Ustawi wa Jamii atachukua hatua zote kufuatilia kesi zilizotolewa taarifa kuhusiana na unyanyasaji na udhalilishaji wa wanagenzi. (2) Iwapo Afisa Ustawi wa Jamii ataona kuwa mwanagenzi anayanyaswa au kudhalilishwa, Afisa huyo atamuondoa mtoto huyo na kutoa taarifa ya suala hilo latika kituo cha polisi na kwa Afisa wa Kazi. (3) Polisi au Afisa Ustawi wa Jamii atakuwa na jukumu la kuhakikisha kuwa mtoto aliye kwenye uanagenzi unaonyanyasa au kudhalilisha, anapewa huduma za kumrudisha katika hali ya kawaida. (4) Afisa Ustawi wa Jamii atawajibika kumfuatilia mwangalizi wa mwanagenzi na kumtaarifu kuhusu kuondolewa 17 Kanuni za Mafunzo ya Uanagenzi chini ya Sheria ya Mtoto Tangazo la Serikali Na. 172 (linaendelea) Wajibu wa Mkaguzi wa afya na Usalama Mahali pa Kazi Adhabu kwa ukiukwaji Utatuzi wa migogoro kwa mwanagenzi huyo na kumtaarifu kuhusu mazingira ya kuondolewa huko. (5) Afisa Ustawi wa Jamii atampatia mwangalizi na mwanagenzi msaada mwingine wowote utakao hitajika ikijumuisha kumpeleka mwangalizi kwenye sehemu ya msaada wa kisheria, husuma ya matibabu na msaada wa kisaikolojia. - 30 Verify source ↗
(1) Pale ambapo Mkaguzi wa Usalama wa Afya
AI-assisted research summary: A workplace health and safety inspector must remove a mistreated apprentice/child and report it to the social welfare officer and labor officer, and must inspect safety standards and work equipment in the training area.
30.-(1) Pale ambapo Mkaguzi wa Usalama wa Afya mahali pa kazi anakuta kuwa mwanagenzi ananyanyaswa au kudhalilishwa, afisa huyo atamuondoa mtoto na kutoa taarifa kwa Afisa Ustawi wa Jamii na Afisa Kazi. (2) Mkaguzi wa Usalama wa Afya mahali pa kazi, atakagua viwango vya usalama wa afya katika sehemu ya mafunzo. (3) Mkaguzi wa Usalama wa Afya mahali pa kazi atakagua vitendea kazi, ikijumuisha mavazi na vifaa. SEHEMU YA TISA UTATUZI WA MIGOGORO
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
KANUNI ZA MAFUNZO YA UANAGENZI ZA MWAKA 2012
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in