Tanzania Regulation

Parliament of Tanzania

KANUNI ZA UDHIBITI WA MAZINGIRA YA MAJARIBIO YA TEKNOLOJIA YA FEDHA ZA MWAKA 2024

Sehemu hii inaorodhesha mada za sehemu za sheria, ikiwemo jina, matumizi, tafsiri, sifa, utaratibu wa maombi, masharti ya suluhisho la fedha, tathmini ya maombi, kurudia kuomba, na masuala ya majaribio.…

application eligibilityapplication of rulesapplication processapplication re-submissionapplication reviewapproval withdrawalbusiness planningcomplianceconsumer protectioncustomer complaintscustomer data handlingcustomer noticeData protectionfinal report submissionfinanceBanking and financefinancial stabilityfinancial technologyfintechfintech sandboxinnovationinspectionsintellectual propertymarket approvalmarket entryregistrationregulated entitiesregulated testing environmentregulatory approvalregulatory complianceregulatory reportingregulatory sandboxresource planningrisk disclosuresandbox testingsandbox trialssandboxesshareholder declarationsupervisiontechnologytechnology deploymenttechnology trial oversighttestingtrial periodtrial phasetrial sandbox approvalstrial/sandbox complianceuhifadhi wa taarifauwaziwritten notice

Publicly available, excluded from search-engine indexing

This page remains available for direct research for the following reasons:

  • The record does not meet this release's canonical indexing criteria. (market-indexing-disabled)
  • The record does not meet this release's canonical indexing criteria. (emergency-noindex)

Professional statute overview

Enactment structure, operative effect and source provenance

Official source

01

Purpose and legislative effect

“Sehemu hii inaorodhesha mada za sehemu za sheria, ikiwemo jina, matumizi, tafsiri, sifa, utaratibu wa maombi, masharti ya suluhisho la fedha, tathmini ya maombi, kurudia kuomba, na masuala ya majaribio.”

Sehemu hii inaorodhesha mada za sehemu za sheria, ikiwemo jina, matumizi, tafsiri, sifa, utaratibu wa maombi, masharti ya suluhisho la fedha, tathmini ya maombi, kurudia kuomba, na masuala ya majaribio. Section heading only; no specific rule is stated here. This section is titled “Administrative penalties” and “Supervision,” but the provided text does not set out a specific rule. This provision states the name of the regulations: the 2024 Regulations on the Regulatory Sandbox for Financial Technology. Kanuni hizi zinatumika kwa watoa huduma za fedha waliosajiliwa na Benki na kwa baadhi ya kampuni za teknolojia ya fedha zilizo na uhusiano fulani na Benki.

02

How the instrument operates

  1. 01

    Start with the recorded version

    Legal dates not recorded. The date shown identifies this source expression and should not be treated as proof that no later change exists.

  2. 02

    Locate the controlling provision

    Use the provision map, part headings and full-text filter to move from the broad subject to the exact legal language.

  3. 03

    Read conditions and exceptions together

    Keep subsections, definitions, provisos and cross-references in context before drawing a legal conclusion.

  4. 04

    Verify currency and official wording

    Confirm later legislation, commencement notices and corrections with the official publisher before advice, filing or reliance.

03

Research entry points

Selected provisions across the instrument. Open any row to continue with the exact stored text.

Section 8

Sehemu hii inaorodhesha mada za sehemu za sheria, ikiwemo jina, matumizi, tafsiri, sifa, utaratibu wa maombi, masharti ya suluhisho la fedha, tathmini ya maombi, kurudia kuomba, na masuala ya majaribio.

Section 8

(1) Mwombaji ambaye maombi yake yamekataliwa

Mwenye maombi yaliyokataliwa anaweza kuwasilisha tena ndani ya miezi sita ikiwa dosari iliyosababisha kukataliwa imerekebishwa; benki itayahakikisha na inaweza kuyaidhinisha au kuyakataa.

Section 8

Ainisha vihatarishi ikijumuisha udanganyifu,

Sehemu hii inaelekeza kuainisha vihatarishi, ikiwemo udanganyifu, utakatishaji fedha, ufadhili wa ugaidi, silaha za maangamizi, na kutokuwepo uthabiti wa sekta ya fedha, pamoja na hatua za kudhibiti vihatarishi hivyo.

Section 13

04

Source and current-law status

Source record view

Source record from oagmis.oag.go.tz · Legal dates not recorded

Verify current force

The source record does not state a definitive current-law status. Check the official publisher and later amendments before relying on this text.

Source-indexed provision map

Sections and provisions

Search by section, heading, part or exact legal wording. Every result remains linked to the stored source record.

Showing 39 of 39 provisions

Provision 37Offence 2
§ 8Section 8Provision

Sehemu hii inaorodhesha mada za sehemu za sheria, ikiwemo jina, matumizi, tafsiri, sifa, utaratibu wa maombi, masharti ya suluhisho la fedha, tathmini ya maombi, kurudia kuomba, na masuala ya majaribio.

8. Jina. Matumizi. Tafsiri. SEHEMU YA PILI SIFA NA UTARATIBU WA MAOMBI Sifa. Utaratibu wa maombi. Masharti ya suluhisho la fedha. Tathmini ya maombi. Kurudia kuomba. SEHEMU YA TATU MAJARIBIO NA MASUALA MENGINE YAHUSIKANAYO Kuanza kwa majaribio. Kipindi cha majaribio.

Part

SEHEMU YA TATU

§ 16Section 16Provision

Section heading only; no specific rule is stated here.

16. Taarifa ya maendeleo. Kuondolewa idhini. Athari za kuondolewa idhini. Taarifa ya mwisho. Kukamilika kwa majaribio. Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) SEHEMU YA NNE MASHARTI YA JUMLA Uwazi. Ulinzi wa taarifa. Hakimiliki.
Section 16Verify source
§ 9(1) Mshiriki ataanza majaribio ndani ya miezi miwiliProvision

Mshiriki must start the trial within two months after Bank approval and follow the listed trial conditions.

9.-(1) Mshiriki ataanza majaribio ndani ya miezi miwili 7 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) kutokea tarehe ya kupokelewa kwa idhini kutoka katika Benki. (2) Endapondani ya muda uliotajwa chini ya kanuni ndogo ya (1), mshiriki anashindwa kuanza majaribio atatkiwa kuwasilisha kwa Benki sababu za maandishi za kushindwa kutekeleza kwa ajili ya kuzingatiwa. (3) Wakati wa majaribio, mshiriki - (a) atakusanya taarifa juu ya jaribio linalofanywa; (b) atatekeleza masharti yaliyotolewa kwenye idhini; (c) atakeleza sheria husika; (d) atawasilisha ripoti za maendeleo zilizoainishwa katika Kanuni hizi; (e) atapata na kutunza idhini ya awali ya mlaji ya kushiriki katika jaribio; (f) atazingatia vigezo ya mteja yaliyoidhinishwa kwa ajili ya majaribio ya suluhisho la fedha; na masharti (g) atahakikisha wateja wanalindwa hususani iwapo kutokutekelezeka kunatokea; (h) atashughulikia malalamiko ya walaji wa huduma za fedha na kulinda taarifa binafsi na za fedha; (i) ataomba idhini kutoka Benki iwapo kuna mabadiliko katika vigezo au masharti; na (j) atajibu maswali yote kutoka kwa Benki. Kipindi cha majaribio
§ 10(1) Mshiriki atakamilisha majaribio ya suluhisho laProvision

Mshiriki lazima akamilishe majaribio ya suluhisho la fedha ndani ya miezi 12 tangu kupokea idhini; Benki inaweza kuongeza muda wa majaribio ili kushughulikia masuala au vihatarishi vilivyobainika.

10.-(1) Mshiriki atakamilisha majaribio ya suluhisho la fedha katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa ndani ya kipindi cha miezi kumi na mbili kutokea ya kupokelewa kwa idhini. (2) Benki inaweza kuongeza muda wa majaribio kadri ili kushughulikia masuala mahususi au itakavyohitajika vihatarishi vilivyobainika wakati wa kipindi cha majaribio. Mazingira ya majaribio
Section 10Verify source
§ 11Mshiriki atafanya majaribio ya suluhisho la fedhaProvision

Mshiriki lazima afanye majaribio ya suluhisho la fedha linalopendekezwa katika mazingira ya majaribio kulingana na masharti ya idhini, isipokuwa Benki inaweza kuweka masharti mengine inapoona inafaa.

11. Mshiriki atafanya majaribio ya suluhisho la fedha linalopendekezwa katika mazingira ya majaribio yanayoendana na masharti yaliyobainishwa katika idhini isipokuwa kwamba, Benki inaweza kutoa masharti mengine kadiri itakavyoona inafaa. Taarifa za maendeleo ya majaribio
Section 11Verify source
§ 12Wakati wa majaribio, mshiriki atawasilisha kwaProvision

Wakati wa majaribio, mshiriki lazima awasilishe kwa Benki taarifa ya maendeleo ya majaribio kila baada ya miezi 3.

12. Wakati wa majaribio, mshiriki atawasilisha kwa Benki taarifa ya maendeleo ya majaribio kila baada ya miezi 8 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) mitatu, isipokuwa kwamba, taarifa hiyo itajumuisha- (a) mafanikio makuu yaliyofikiwa wakati wa kipindi kinachotolewa taarifa; (b) vihatarishi vilivyobainishwa wakati wa majaribio ikijumuisha hatua za kudhibiti vihatarishi hivyo; ambavyo malalamiko ya wateja (c) namna yalishughulikiwa; (d) changamoto za uendeshaji zilizojitokeza na hatua zilizochukuliwa wakati wa kipindi cha majaribio; (e) ulinzi wa taarifa binafsi na za fedha; (f) taarifa za mabadiliko ya umiliki wa kampuni; (g) orodha ya wateja wanaoshirikikatika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa; na (h) taarifa nyingine yoyote ya muhimu. Kuondolewa kwa idhini
Section 12Verify source
§ 13(1) Benki inaweza kuondoa idhini ya kushirikiProvision

Benki inaweza kuondoa idhini ya mshiriki katika mazingira ya majaribio, na inaweza kufanya hivyo mara moja katika hali fulani. Mshiriki pia anaweza kujitoa kwa ridhaa ya Benki.

13.-(1) Benki inaweza kuondoa idhini ya kushiriki katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Iliyodhibitiwa wakati wowote kabla ya kuisha kwa kipindi cha majaribio iwapo mshiriki- (a) atashindwa kukidhi masharti ya idhini; (b) aliwasilisha taarifa za uongo, zinazopotosha, alificha au kushindwa kuweka wazi maelezo muhimu katika maombi; (c) anakiuka sheria yoyote Jamhuri ya Muungano; inayotumika ndani ya (d) anafilisika; (e) anaendesha biashara katika namna iliyona athari kwa wateja; au (f) anashindwa kushughulikia ipasavyo kasoro zozote za kiufundi, dosari au udhaifu katika suluhisho la fedha. (2) Benki itamtaka mshiriki kuonesha sababu ya msingi ndani ya siku kumi na nne kwanini idhini isiondolewe. (3) Benki inaweza, iwapo itaona kuwa uwepo wa idhini utaatiri maslahi ya wateja, iwapo masharti ya kanuni ndogo ya (2) yatapaswa kutekelezwa, kuondoa idhini hiyo mara moja. (4) Benki itawaarifu wateja kuhusu kuondolewa kwa idhini ya mshiriki katika mazingira ya majaribio kupitia vyombo vya habari vilivyosambaa katika eneo kubwa. 9 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) Athari za kuondolewa kwa idhini (5) Mshiriki anaweza, kwa ridhaa ya Benki, kujitoa kushiriki katikaMazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha iliyodhibitiwa muda wowote kwa kutoa notisi iiyona sababu za kujitoa. (6) Kujitoa kwa mshiriki kunaweza kuidhinishwa iwapo Benki imeridhika kuwa hakuna kosa au viashiria vyovyote kinyume na sheria au muamala uliotendwa na mshiriki katika kipindi cha majaribio.
Section 13Verify source
§ 14Baada ya kuondolewa kwaProvision

After approval is withdrawn, the participant must immediately stop providing the financial solution to existing customers, notify customers, and compensate customers who suffered financial loss.

14.- Baada ya kuondolewa kwa idhini, mshiriki atatakiwa mara moja- (a) atasitisha utoaji wa suluhisho la fedha kwa wateja waliopo; (b) atawajulisha wateja kuhusu usitishwaji kwa suluhisho la fedha, haki zao za fidia itakapohitajika na wajibu wao kulipa madeni ambayo hayajalipwa; na (c) atamfidia kwa mteja yeyote ambaye amepata hasara ya kifedha kutokana na majaribio hayo. Taarifa ya mwisho
Section 14Verify source
§ 15(1) Mshiriki atatakiwa, baada ya kukamilika kwaProvision

Mshiriki lazima awasilishe taarifa ya mwisho kwa Benki baada ya majaribio kukamilika.

15.-(1) Mshiriki atatakiwa, baada ya kukamilika kwa majaribio, kuwasilisha taarifa ya mwisho inayoonesha- Kukamilika kwa kipindi cha majaribio (a) matokeo ya majaribio; (b) vihatarishi vilivyobainishwa wakati wa majaribio na hatua za kudhibiti vihatarishi hivyo; na (c) utayari wa kupeleka sokoni suluhisho la fedha lililojaribiwa. (2) Taarifa iliyorejewa chini ya kanuni ndogo ya (1) itawasilishwa kwa Benki ndani ya siku thelathini baada ya muda wa majaribio.
Section 15Verify source
§ 16(1) Baada ya kukamilika kwa kipindi cha majaribio,Provision

Baada ya kipindi cha majaribio kukamilika, Benki inaweza kupendekeza suluhisho la fedha litumike sokoni, na inaweza pia kuzuia matumizi yake sokoni kwa sababu maalum.

16.-(1) Baada ya kukamilika kwa kipindi cha majaribio, Benki inaweza kupendekeza suluhisho la fedha kutumika sokoni. (2) Benki inaweza kuzuia kutumika kwa suluhisho la fedha sokoni baada ya kukamilika kwa majaribio kutokana na- (a) jaribio lililoshindikana kutokana na vigezo vilivyokubaliwa; (b) athari hasi yasiyokusudiwa kwa umma; au (c) tishio linaloweza kuharibu uhimilivu wa sekta ya 10 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) fedha. Uwazi Ulinzi wa taarifa Sura ya 44 SEHEMU YA NNE MASHARTI YA JUMLA
Section 16Verify source

Part

SEHEMU YA NNE

§ 23Section 23Offence

This section is titled “Administrative penalties” and “Supervision,” but the provided text does not set out a specific rule.

23. Adhabu za kiutawala. Ufuatiliaji. _________ JEDWALI _________ 2 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) SHERIA YA BENKI KUU YA TANZANIA, (SURA YA 197) ________ KANUNI _________ (Zimetengenezwa chini ya kifungu cha 70(1)) KANUNI ZA UDHIBITI WA MAZINGIRA YA MAJARIBIO YA TEKNOLOJIA YA FEDHA ZA MWAKA 2024 SEHEMU YA KWANZA MASHARTI YA UTANGULIZI Jina Matumizi
Section 23Verify source
§ 17Kwa madhumuni ya kuhakikisha uwazi, mshirikiProvision

Mshiriki lazima ahifadhi taarifa sahihi za suluhisho la fedha ili kuhakikisha uwazi.

17. Kwa madhumuni ya kuhakikisha uwazi, mshiriki atahifadhi taarifa sahihi za suluhisho la fedha zinazojumuisha- (a) masuala yaliyobainika; (b) udhibiti wa vihatarishi; (c) ushiriki wa wateja; na (d) taarifa nyingine yoyote muhimu kadri ambavyo Benki itahitaji.
Section 17Verify source
§ 18MshirikiProvision

Mshiriki must handle trial and post-trial data under the Personal Data Protection Act, protect confidential/customer personal data before leaving the regulated fintech sandbox, and destroy such data if consent is withdrawn.

18.- Mshiriki atahakikisha kuwa zote zilizokusanywa wakati wa majaribio na, au baada ya kukamilika kwa majaribio ya suluhisho la fedha zinafanyiwa kazi kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na kwamba- taarifa (a) taarifa zote za siri ikijumuisha taarifa binafsi za mteja zilizokusanywa wakati wa kipindi cha majaribio zinalindwa kabla ya kutoka kwenye Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha iliyodhibitiwa; na (b) taarifa zote za siri ikijumuisha taarifa binafsi za zilizokusanywa wakati wa majaribio mteja zinaharibiwa endapo idhini imeondolewa. Hakimiliki
Section 18Verify source
§ 19(1) Mwombaji atakuwa na jukumu la kusajiliProvision

Mwombaji lazima aisajili hakimiliki yake katika mamlaka husika kulingana na sheria zinazosimamia hakimiliki.

19.-(1) Mwombaji atakuwa na jukumu la kusajili hakimiliki yake katika mamlaka husika kwa mujibu wa sheria zinazosimamia na hakimiliki. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), Benki haitawajibika kwa madai ya hakimiliki yaliyowasilishwa na mhusika mwingine dhidi ya mwombaji au mshiriki katika ya Fedha Mazingira yaliyodhibitiwa. ya Teknolojia ya Majaribio Malalamiko ya wateja
Section 19Verify source
§ 20Malalamiko ya wateja yanayotokanayo na awamuProvision

Malalamiko ya wateja yanayotokana na awamu ya majaribio yanapaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria za ulinzi wa mlaji.

20.- Malalamiko ya wateja yanayotokanayo na awamu ya majaribio yatashughulikiwa kwa mujibu wa sheria zinazomlinda mlaji. 11 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) Ufuatiliaji Mamlaka ya jumla ya Benki Adhabu za kiutawala
Section 20Verify source
§ 21BenkiProvision

Banks must monitor the implementation of participants in regulated fintech trials and conduct site inspections for monitoring and verification.

21. Benki - (a) itafuatilia utekelezaji wa washiriki katika Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa; na (b) itafanya kaguzi za maeneo kwa madhumuni ya ufuatiliaji na uhakiki.
Section 21Verify source
§ 22Benki inaweza, kwa vigezo na masharti kamaProvision

Benki inaweza kumwondolea mtu wajibu wa kutekeleza masharti ya Kanuni hizi, kwa masharti na vigezo inavyoona vinafaa.

22. Benki inaweza, kwa vigezo na masharti kama inafaa kumuondolea yatakayoainsihwa, kadri wajibu wa kutekeleza masharti ya vifungu vya Kanuni hizi. itakavyoona
Section 22Verify source
§ 23(1) Mshiriki atakayevunja masharti yoyote chini yaOffence

A participant who breaches any condition under these Regulations commits an offence. The Bank may, after being satisfied that a breach occurred, issue a warning or suspend the participant from the regulated fintech sandbox for one year.

23.-(1) Mshiriki atakayevunja masharti yoyote chini ya Kanuni hizi anatenda kosa. (2) Benki inaweza kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), baada ya kujiridhisha kuhusiana na ukiukwaji wa Kanuni hizi uliofanywa na mshiriki, kutoa amri zifuatazo: (a) onyo; au (b) kumsimamisha kushiriki katika mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa kutokea kipindi kwa tareheukiukwaji huo cha mwaka mmoja 12 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) _________ JEDWALI ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 5(2) na (3)) Sehemu A FOMU YA MAOMBI Maelezo ya Mwombaji Taarifa Maelezo Jina la mwombaji (kampuni) Namba ya Usajili wa kampuni Tovuti (kama ipo) Jina la mtu wa mawasiliano Barua pepe Namba ya simu Sanduku la Posta Anuani ya eneo la ofisi Maelezo ya Wanahisa N.A Jina Utaifa Nambari za Simu & Barua pepe Kazi Asilimia ya hisa Maelezo ya Wakurugenzi N.A Jina Utaifa Cheo Kiwango cha elimu 13 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) Maelezo ya suluhisho la fedha linalopendekezwa
Section 23Verify source

Part

SEHEMU YA KWANZA

§ 1Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Udhibiti waProvision

This provision states the name of the regulations: the 2024 Regulations on the Regulatory Sandbox for Financial Technology.

1. Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha za mwaka 2024.
§ 2(1) Kanuni hizi zitatumika kwaProvision

Kanuni hizi zinatumika kwa watoa huduma za fedha waliosajiliwa na Benki na kwa baadhi ya kampuni za teknolojia ya fedha zilizo na uhusiano fulani na Benki.

2.-(1) Kanuni hizi zitatumika kwa- (a) mtoa huduma za fedha aliyesajiliwa na Benki; (b) kampuni ya teknolojia ya fedha inayoshirikiana na mtoa huduma za fedha aliyepewa leseni na Benki; na (c) kampuni ya teknolojia ya fedha inayokusudia kutoa fedha na huduma la bidhaa za suluhisho zinazosimamiwa na Benki. (2) Shughuli watu walioorodheshwachini ya kanuni ndogo ya (1), zitakuwa ni zile ambazo haziangukii chini ya mfumo wa sheria uliyopo.. zitakazoendeshwa na Tafsiri Sura ya 197
§ 3Katika Kanuni hizi, isipokuwa kama muktadhaProvision

This section defines key terms used in the Regulations.

3. Katika Kanuni hizi, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Sheria” maana yake ni Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania; “mwombaji” maana yake ni kampuni inayokusudia kufanya majaribio ya teknolojia ya huduma za fedha ndani ya mazingira ya majaribio ya fedha yaliyodhibitiwa; teknolojia ya “Benki” itakuwa na maana kama iliyotolewa kwake chini ya 3 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) Sheria; “mteja” maana yake ni mtu anayetumia bidhaa yoyote yafedha huduma zinazotolewa na Mshiriki; “mtoa huduma za fedha” maana yake ni taasisi iliyona leseni ya kutoa huduma za fedha, inayodhibitiwa na kusimamiwa na Benki; “suluhisho la fedha” maana yake ni bidhaa yoyote, huduma, njia ya uwasilishaji, teknolojia au muundo wa biashara na inajumuisha, malipo ya kidijitali, mikopo ya kidijitali, uhamisho wa fedha na huduma za utumaji fedha, kumjua mteja wako kidijitali, jukwaa la kidijitali, huduma za utambuzi kidijitali, huduma za usalama wa mtandao na bidhaa, uendelevu wa sekta ya fedha, huduma za fedha kwa njia ya simu, uchambuzi na matumizi ya taarifa tofauti, matumizi ya teknolojia ya daftari iliyosambazwa, akili bandia na matumizi ya mashine ya kujifunza na aina nyingine ya bidhaa, huduma, njia ya uwasilishaji, teknolojia au muundo wa biashara kama itakavyoidhinishwa na Benki; la hesabu “teknolojia ya huduma ya fedha” maana yake ni uvumbuzi wa kiteknolojia utakaotumika katika utoaji wa bidhaa za fedha na huduma; “Mazingira ya Majaribio “kampuni ya teknolojia ya fedha” maana yake ni taasisi iliyosajiliwa ndani ya Jamhuri ya Muungano kwa ajili ya utoaji wa suluhisho la fedha iliyobuniwa katika soko; ya Fedha Yaliyodhibitiwa” maana yake ni utaratibu rasmi uliowekwa na Benki, ambao ndani yake, chini ya mazingira yaliyodhibitiwa, kampuni inafanya majaribio ya bidhaa mpya za uvumbuzi, huduma, njia za uwasilishaji au muundo wa biashara katika mazingira yaliyothibitiwa ; na ya Teknolojia “soko” maana yake ni mazingira ambayo ndani yake suluhisho la fedha linatolewa kwa ajili ya matumizi; “Waziri” itakuwa na maana sawa na maana iliyotolewa kwake chini ya Sheria; “mshiriki” maana yake ni taasisi iliyoidhinishwa kushiriki katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Huduma za Fedha Yaliyodhibitiwa; 4 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) “mazingira ya kufanya majaribio” maana yake ni mazingira ya soko halisi ya ambapo mshiriki anaonesha matumizi ya teknolojia ya huduma ya fedha. Sifa Utaratibu wa maombi SEHEMU YA PILI SIFA NA UTARATIBU WA MAOMBI

Part

SEHEMU YA PILI

§ 4Watu waliyotajwa katika kanuni ya 2(1) watakuwa naProvision

People named in regulation 2(1) are qualified to apply to participate in the regulated FinTech sandbox.

4. Watu waliyotajwa katika kanuni ya 2(1) watakuwa na sifa za kuomba kushiriki katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa .
§ 5(1) DirishaProvision

The Bank opens applications for the regulated fintech sandbox every quarter and invites applicants through its official website and other widely circulated media.

5.-(1) Dirisha la maombi ya kushiriki katika Mmazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa litafunguliwa kwa robo mwaka ambapo Benki itawakaribisha waombaji kupitia tovuti yake rasmi na vyombo vingine vya habari vilivyosambaa katika eneo kubwa. (2) Kwa kuzingatia kanuni ya 4, mtu anayekusudia kuomba kushiriki katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa atatakiwa kujaza fomu ya maombi kama ilivyoainishwa katika sehemu A ya Jedwali la Kanuni hizi. (3) Fomu ya maombi iliyorejewa katika kanuni ndogo ya (2) itaambatana na- (a) barua ya maombi kama ilivyoainishwa katika sehemu B ya Jedwali ya Kanuni hizi; (b) nakala zilizothibitishwa ya katiba za kampuni; (c) nakala iliyothibitishwa ya cheti cha usajili; (d) barua halisi kutoka kwa Msajili wa Kampuni inayobainisha taarifa za kampuni; (e) ushahidi wa vyanzo vya fedha kwa ajili ya kuwezesha majaribio; (f) wasifu wa watendaji wakuu wa mwombaji ulioambatishwa na picha moja ya pasipoti ya hivi karibuni, nakala zilizothibitishwa za kitambulisho cha taifa au hati ya kusafiria; (g) mkataba uliosainiwa kati ya kampuni ya teknolojia ya fedha na mmiliki wa mazingira ya majaribio endapo mwombaji ni aliyerejewa katika kanuni ya 2(1)(b) na (c); (h) muundo wa mfumo; 5 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) (i) sera ya udhibiti wa utakatishaji fedha haramu na udhibiti wa ufadhili wa ugaidi; (j) sera ya kumlinda mlaji wa huduma za fedha; (k) uamuzi wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni kuridhia ushiriki wa kampuni katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya fedha Yaliyodhibitiwa; (l) mpango halisi wa kibiashara unaoonesha jinsi litakavyotumika baada ya suluhisho kutoka katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa; (m) andiko la suluhisho la fedha linalojumuisha- la fedha (i) maelezo ya suluhisho la fedha na changamoto linalotatua; rasilimali (ii) maelezo ya fedha na watu zinazohitajika kwa ajili ya majaribio; (iii) manufaa kwa wateja; (iv) muda na mpango wa utekelezaji wa suluhisho la fedha unaopendekezwa; ya mazingira (v) maelezo ya majaribio jinsi majaribio yaliyopendekezwa yatakavyofanyika; na (vi) matokeo muhimu yaliyokusudiwa kutoka kwenye majaribio; na (vii) mkakati wa majaribio unaopendekezwa pamoja na namna ya kutoka kwenye mazingira ya majaribio ya teknolojia ya fedha yaliyodhibitiwa; (n) taratibu zilizoandikwa zinazopendekezwa kwa ajili ya kudhibiti vihatarishi vinavyohusiana na- (i) amana; (ii) usalama mtandaoni; (iii) uhimilivu wa kifedha; (iv) ukuaji na unyumbulishwaji na uendelevu wa fedha suluhisho la wa biashara linalopendekezwa; na (v) kusomana kwa mifumo. Maharti ya suluhisho la fedha

Part

Jedwali ya Kanuni hizi;

§ 6Suluhisho la fedha linalopendekezwa na mwombajiProvision

Suluhisho la fedha la mwombaji linatakiwa kutumia teknolojia mpya au ya ubunifu na kuboresha huduma za fedha.

6. Suluhisho la fedha linalopendekezwa na mwombaji litatakiwa - (a) matumizi ya teknolojia mpya au inayoibuka au matumiziya teknolojia iliyopo kwa njia ya ubunifu; 6 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) (b) kuondoa mapungufu yaliyopo katika soko au kufungua fursa mpya; na (c) kuboresha upatikanaji, matumizi, ufanisi, usalama na ubora wa huduma za fedha. Tathmini ya Maombi Kurudia kuomba
§ 7(1) Benki baada ya kupokea maombi katika kanuni 5Provision

After receiving an application under regulation 5, the Bank must assess it and notify the applicant in writing within 45 days whether it is approved or rejected. If rejected, the Bank must give written reasons, and where a defect may lead to rejection, the applicant must be allowed to fix it within the period in the rejection notice.

7.-(1) Benki baada ya kupokea maombi katika kanuni 5 itafanya tathmini na kumtaarifu mwombaji kwa maandishi ndani ya siku arobaini na tano kuhusu matokeo ya tathmini na iwapo yameridhiwa au au kukataliwa kushiriki katika Mazingira ya Fedha Yaliyodhibitiwa. ya Teknolojia ya Majaribio (2) Endapo ambapo maombi yamekataliwa na Benki, itampatia, mwombaji sababu za kwa maandishi, za kukataliwa huko. imebainikayobainika iwapo dosari Isipokuwa kwamba, inayoweza kusababisha kukataliwa, mwombaji atapatiwa nafasi ya kuirekebisha ndani ya kipindi kilichoainishwa katika notisi ya kukataliwa. (3) Idhini iliyotolewa chini ya kanuni ndogo ya (1) itahusika tu kumruhusu mwombaji kuendelea na majaribio ya suluhisho la fedha katika mazingira ya soko na haitachukuliwa kuwa ni idhini kamili ya kutoa suluhisho la fedha kwa umma.
§ 8(1) Mwombaji ambaye maombi yake yamekataliwaProvision

Mwenye maombi yaliyokataliwa anaweza kuwasilisha tena ndani ya miezi sita ikiwa dosari iliyosababisha kukataliwa imerekebishwa; benki itayahakikisha na inaweza kuyaidhinisha au kuyakataa.

8.-(1) Mwombaji ambaye maombi yake yamekataliwa anaweza kurudia kufanya maombi ndani ya kipindi cha miezi sita iwapo dosari iliyosababisha msingi wa kukataliwa kwa maombi ya awali imerekebishwa. (2) Benki itatathmini maombi yaliyorudiwa na inaweza ama kuyaidhinisha au kuyakataa. (3) Kwa madhumuni ya kanuni hii, masharti ya kanuni ya 5(1) na (2) hayatatumika katika mchakato wa maombi yaliyorudiwa isipokuwa iwapo msingi wa kukataliwa ulitokana na kutokutekelezwa kwa masharti ya kanuni hiyo. SEHEMU YA TATU MAJARIBIO NA MASUALA MENGINE YAHUSIKANAYO Kuanza majaribio

Part

Sehemu A

§ 1Eleza asili na ukubwa wa uendeshaji waProvision

Eleza asili na ukubwa wa uendeshaji wa shughuli zako.

1. Eleza asili na ukubwa wa uendeshaji wa shughuli zako
§ 2Eleza kwa ufupi suluhisho la fedhaProvision

Instructs the reader to briefly explain the proposed financial solution.

2. Eleza kwa ufupi suluhisho la fedha linalopendekezwa
§ 3Onesha kwa ufupi chanzo chaProvision

The text asks for a brief source statement so testing and rollout of the proposed financial solution can proceed.

3. Onesha kwa ufupi chanzo cha ili kuwezesha majaribio na upelekaji wa suluhisho la fedha linalopendekezwa sokoni. fedha
§ 4Eleza kwa ufupi muda wa majaribio na utumiajiProvision

Briefly explain the trial period and how the proposed financial solution will be used.

4. Eleza kwa ufupi muda wa majaribio na utumiaji wa suluhisho la fedha unaopendekezwa.
§ 5Eleza kwa ufupi teknolojia za msingi naProvision

Inaeleza kwa ufupi teknolojia za msingi na suluhisho la miundombinu linalopendekezwa sokoni.

5. Eleza kwa ufupi teknolojia za msingi na fedha suluhisho la miundombinu inayopendekezwa sokoni. ya
§ 6Eleza kwa ufupi mahitaji ya fedha na rasilimaliProvision

This provision asks for a brief explanation of the funding and human resource needs for testing and distributing the proposed financial solution in the market.

6. Eleza kwa ufupi mahitaji ya fedha na rasilimali watu kwa ajili ya majaribio na usambazaji wa suluhisho la fedha linalopendekezwa sokoni.
§ 7Toa maelezo ya kina ya tatizo la kutatuliwaProvision

Sehemu hii inaelekeza kutoa maelezo ya kina ya tatizo la kutatuliwa katika mfumo wa fedha na jinsi suluhisho linalopendekezwa litakavyotatua tatizo hilo na kuleta manufaa kwa watumiaji na au sekta ya fedha.

7. Toa maelezo ya kina ya tatizo la kutatuliwa katika mfumo wa fedha na jinsi suluhisho la fedha linalopendekezwa litakavyotatua tatizo na kutoa manufaa kwa watumiaji na/au sekta ya fedha.
§ 8Elezea na ambatisha mpango wa biasharaProvision

Eleza na uambatishe mpango wa biashara unaoonyesha jinsi ya kutumia suluhisho la fedha kwa kiwango kikubwa baada ya kutoka kwenye mazingira ya majaribio ya teknolojia ya fedha yaliyodhibitiwa.

8. Elezea na ambatisha mpango wa biashara ukijumuisha namna ya kutumia suluhisho la fedha kwa kiwango kikubwa baada ya kuondoka kwenye mazingira ya majaribio ya teknolojia ya fedha yaliyodhibitiwa.
§ 9Eleza mkakati wako wa kuondoka katikaProvision

The text asks for an exit strategy from the trial environment if removal happens at any time or if entry into the real market succeeds after trials.

9. Eleza mkakati wako wa kuondoka katika mazingira ya majaribio endapo utaondolewa wakati wowote au utafaulu kuingia katika soko halisi baada ya majaribio. yanakwamisha
§ 10Ainisha matakwa ya kisheria au ya kiusimamiziProvision

Provision says to specify the legal or administrative requirements for implementation.

10. Ainisha matakwa ya kisheria au ya kiusimamizi utekelezaji wa fedha ya kufanya huduma na marekebisho ambayo teknolojia ya inayopendekezwa kiusimamizi majaribio. yanayohitajika ya ili
Section 10Verify source
§ 11Eleza kwa ufupi mazingira ya majaribioProvision

This section asks for a brief description of the trial/test environment and how the proposed trial will be carried out.

11. Eleza kwa ufupi mazingira ya majaribio jaribio jinsi na yanayopendekezwa litakavyofanyika
Section 11Verify source
§ 12Eleza matokeo muhimu yanayokusudiwa katikaProvision

Eleza matokeo muhimu yanayokusudiwa katika jaribio.

12. Eleza matokeo muhimu yanayokusudiwa katika jaribio.
Section 12Verify source
§ 13Ainisha vihatarishi ikijumuisha udanganyifu,Provision

Sehemu hii inaelekeza kuainisha vihatarishi, ikiwemo udanganyifu, utakatishaji fedha, ufadhili wa ugaidi, silaha za maangamizi, na kutokuwepo uthabiti wa sekta ya fedha, pamoja na hatua za kudhibiti vihatarishi hivyo.

13. Ainisha vihatarishi ikijumuisha udanganyifu, 14 Tafadhali ufafanuzi usizidi maneno 100 na endapo kuna taarifa za ziada zinaweza kuambatishwa kama nyongeza Tafadhali ufafanuzi usizidi maneno 100 na endapo kuna taarifa za ziada zinaweza kuambatishwa kama nyongeza Tafadhali ufafanuzi usizidi maneno 100 na endapo kuna taarifa za ziada zinaweza kuambatishwa kama nyongeza Tafadhali ufafanuzi usizidi maneno 50 na endapo kuna taarifa za ziada zinaweza kama nyongeza. Tafadhali ufafanuzi usizidi maneno 200 na endapo kuna taarifa za ziada zinaweza kuambatishwa kama nyongeza kuambatishwa "" "" "" "" "" "" "" "" Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) utakatishaji fedha, ufadhili wa ugaidi na silaha za maangamizi na kutokua thabiti kwa sekta ya fedha na hatua za kudhibiti vihatarishi hivyo. Tamko la Wanahisa Mimi, niliyetia saini hapa chini, natamka kwamba: a) maelezo niliyoyaainisha humu ni ya kweli na sahihi kwa kadiri ya ufahamu na imani yangu; b) sijawahi kufilisiwa au kutiwa hatiani kwa ulaghai au kukosa uaminifu; Jina: Saini: Cheo: Jina: Saini: Cheo: 15 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) MBELE YANGU: Jina: …………………………………………………… Saini: ………………………………………………… .. Tarehe:………………………………………………… Anuani:………………………………………………… Sifa: …………………………………………………… Sehemu “B” Mfano wa Barua [Tarehe] [Anuani ya mwombaji] Gavana, Benki Kuu ya Tanzania, Barabara ya Jakaya Kikwete, SLP 2303, 40184 Dodoma Tanzania. Barua pepe: botcommunications@bot.go.tz : info@bot.go.tz Ndugu […………………], RE: [Maelezo ya kukusudia kushiriki katika Mazingira ya Majaribio chini ya Benki ya Tanzania] [Toa maelezo mafupi ya Kampuni na huduma ya fedha inayopendekezwa.] [Toa taarifa nyingine muhimu kama vile viambatisho na namba za mawasiliano] Wako mtiifu, [Saini] [Jina [Nafasi] [Kampuni] Dodoma, 21 Juni, 2024 MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU Waziri wa Fedha 16
Section 13Verify source

Legislative relationships

0 referenced instruments

Names are derived from the stored provision headings and citation-enrichment layer. Treat this as a research index and verify each relationship against the source text.

No structured legislative relationships were detected

The statute remains fully searchable by provision. Consult the source text for amendments and cross-references that have not yet been indexed.

Recorded versions and source checkpoint

1 version available in this collection

Current-law checkpoint
  • Undated version · currentSwahili

Source-linked research

Ask AI about this statute

The overview, provisions, and source records above are public. Continue in a separate conversation with this statute’s jurisdiction and source version attached.

About this LexChat collection

Statute information is organised from identified legislative sources for professional research. Corrections can be reported to hello@esheria.ai.