KANUNI ZA MAFUNZO YA SHERIA KWA VITENDO NA MAFUNZO YA UWANDANI ZA MWAKA 2024
Inaelekeza mtumiaji ajaze fomu kwa makini na afanye tathmini ya sehemu aliyofanya mafunzo ya uwandani na uzoefu alioupata.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- KANUNI ZA MAFUNZO YA SHERIA KWA VITENDO NA MAFUNZO YA UWANDANI ZA MWAKA 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Inaelekeza mtumiaji ajaze fomu kwa makini na afanye tathmini ya sehemu aliyofanya mafunzo ya uwandani na uzoefu alioupata. This section is labeled as a description of the field training section. This section asks the trainee to describe the areas of law learned during field training. Sehemu hii inaorodhesha ujuzi unaopaswa kuainishwa baada ya mafunzo ya uwandani. Inaomba ueleze mazingira na mpangilio wa ofisi uliyofanyia mafunzo ya uwandani pamoja na vifaa vilivyokuwamo vilivyokusaidia kutekeleza majukumu yako.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of KANUNI ZA MAFUNZO YA SHERIA KWA VITENDO NA MAFUNZO YA UWANDANI ZA MWAKA 2024
Showing 26 of 26
- 1
AI-assisted research summary: Inaelekeza mtumiaji ajaze fomu kwa makini na afanye tathmini ya sehemu aliyofanya mafunzo ya uwandani na uzoefu alioupata.
1. MAELEZO YA UTANGULIZI Tafadhali jaza fomu hii kwa umakini kwa kufanya tathmini ya sehemu uliyofanya mafunzo ya uwandani na uzoefu uliopata katika kujifunza kutokana na malengo uliyojiwekea. Tafadhali soma vigezo vya upimaji na maelezo yake na weka alama kwenye sehemu sahihi. Toa maoni sahihi yanayoakisi upimaji wako. - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: This section is labeled as a description of the field training section.
2. MAELEZO YA SEHEMU YA MAFUNZO YA UWANDANI. - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: This section asks the trainee to describe the areas of law learned during field training.
2.1 Eneo la sheria. Elezea maeneo ya sheria uliyojifunza wakati wa mafunzo ya uwandani: ……………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………… - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ujuzi unaopaswa kuainishwa baada ya mafunzo ya uwandani.
2.2. Ujuzi. Ainisha ujuzi ulioupata wakati wa mafunzo ya uwandani: (a) Utafiti wa kisheria……………………………………………… (b) Uandishi……………………………………………………………. (c) Majadiliano………………………………………………………… (d) Mahojiano na wateja/ ushauri nasihi……………………. (e) Uendeshaji wa kesi ……………………………………………… (f) Uwakilishi…….…………………………………… (g) Uchunguzi wa hoja……..………………………. (h) Mengineyo - tafadhali eleza……………………… 17 Kanuni Za Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo Na Mafunzo ya Uwandani Tangazo la Serikali Na.620 (Linaendelea.) ……………………………………………………………………………. …..…………………………………………………………………………. - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: Inaomba ueleze mazingira na mpangilio wa ofisi uliyofanyia mafunzo ya uwandani pamoja na vifaa vilivyokuwamo vilivyokusaidia kutekeleza majukumu yako.
2.3. Mpangilio wa ofisi Tafadhali elezea mazingira na mpangilio wa ofisi uliyofanyia mafunzo ya uwandani na vifaa vilivyopo ndani ya ofisi vilivyokusaidia katika kutekeleza majukumu yako. ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… …………………… - 3
AI-assisted research summary: Msimamizi wa nje anapaswa kutoa mafunzo ya awali yanayohusu historia, majukumu, muundo, malengo, sera, taratibu za ofisi na watumishi wa ofisi.
3.1. Mafunzo kudirishi: Msimamizi wa nje anapaswa kutoa mafunzo kudirishi yanayojumuisha: historia, majukumu, muundo, malengo, sera, taratibu za ofisi pamoja na watumishi wa ofisi. (a) Mafunzo kudirishi hayakutolewa. (b) Mafunzo kudirishi yalitolewa kiasi. (c) Mafunzo kudirishi yametolewa kwa Kiwango cha kuridhisha. (d) Mafunzo kudirishi yametolewa kwa Kiwango cha juu. Maoni:………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… - 3
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaeleza tathmini ya kuweka malengo ya kujifunza kati ya msimamizi wa nje na mwanafunzi kuhusu jinsi mafunzo ya uwandani yanavyosaidia kufikia malengo na mahitaji binafsi.
3.2. Kuweka Malengo. Msimamizi wa nje amekutana na mwanafunzi na kujadiliana juu malengo ya kujifunza na kwa namna gani mafunzo ya uwandani yatamsaidia mwanafunzi kufikia malengo na mahitaji yake binafsi. (a) Malengo ya kiofisi hayakuwekwa na malengo ya msimamizi juu ya mafunzo hayaeleweki (b) Malengo yaliwekwa kiasi (c) Malengo yaliwekwa katika kiwango cha kuridhisha (d) Malengo yaliwekwa wazi na yanayoeleweka 18 Kanuni Za Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo Na Mafunzo ya Uwandani Tangazo la Serikali Na.620 (Linaendelea.) Maoni:………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… - 3
AI-assisted research summary: Msimamizi wa nje lazima ampe mwanafunzi maelezo ya jumla kuhusu kesi anayofanyia kazi na jinsi atakavyojifunza kupitia hiyo.
3.3. Usimamizi wa kesi Msimamizi wa nje anatakiwa kumpa mwanafunzi maelezo ya jumla juu ya kesi anayofanyia kazi na namna gani ataweza kujifunza kupitia kesi hiyo. Msimamizi anapaswa kueleza kwa ufasaha (i) hitaji la kumaliza kazi, (ii) muda ambao mwanafunzi anapaswa kutumia katika kazi, (iii) tarehe ya kukamilisha kazi na (iv) matakwa mengine ya kuzingatia wakati wa kufanya kazi. (a) Kazi zilitolewa bila maelekezo, mwanafunzi haelewi kazi inayohitajika (b) Kazi zilitolewa na maelekezo kiasi, mwanafunzi amekuwa anauliza taarifa za ziada (c) Kazi zilitolewa na maelekezo ya kuridhisha, mwanafunzi ameelewa kazi (d) Kazi zilitolewa na maelekezo ya kujitosheleza Maoni:………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… - 3
AI-assisted research summary: Msimamizi lazima akutane na mwanafunzi angalau mara moja kila wiki na amsaidie katika ufuatiliaji wa kazi na maendeleo ya kitaaluma.
3.4. Uangalizi. Msimamizi atakutana na mwanafunzi angalau mara moja katika kila wiki ili kujadili maendeleo ya mwanafunzi kitaaluma, kujibu maswali, kumpa mrejesho juu ya kazi ambazo amezifanya, kumpatia kazi mpya na kuwa na majadiliano ya jumla ya kitaaluma. Msimamizi anapaswa kuwepo na kumsaidia mwanafunzi zaidi ya kazi za wiki. (a) Uangalizi haukutolewa. (b) Uangalizi wa kiasiulitolewa. (c) Uangalizi wa kuridhisha. (d) Uangalizi wa kiwango cha juu. Maoni:………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… 19 Kanuni Za Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo Na Mafunzo ya Uwandani Tangazo la Serikali Na.620 (Linaendelea.) - 3
AI-assisted research summary: The text asks whether you can recommend this office for other students’ field training.
3.5. Unaweza kuwashauri mwanafunzi wengine kufanya mafunzo ya uwandani ofisi hii? Maoni:………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ……………… - 3
AI-assisted research summary: The text asks whether you can advise your external supervisor to keep supervising other students during field training in the future.
3.6. Unaweza kushauri msimamizi wako wa nje aendelee kuwasimamia wanafunzi wengine wakati wa mafunzo ya uwandani kwa siku za usoni? Elezea na sababu za kufanya hivyo. Maoni:………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… - 4
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaomba maoni na mapendekezo ya kuboresha mafunzo ya uwandani.
4. MAPENDEKEZO YA JUMLA YA MAFUNZO YA UWANDANI Tafadhali elezea mapendekezo yako juu ya namna bora ya kuboresha mafunzo ya uwandani kwa kuainisha maeneo ya kuboreshwa: Maoni:………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… - 5
AI-assisted research summary: Fomu hii inatumiwa na msimamizi wa nje wa mafunzo ya uwandani kumtathmini mwanafunzi.
5. SAINI. Tarehe: ------------------------ Saini:------------------------ 20 Kanuni Za Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo Na Mafunzo ya Uwandani Tangazo la Serikali Na.620 (Linaendelea.) (Imetengenezwa chini ya kanuni ya 15(c)) FOMU YA TATHMINI YA MSIMAMIZI WA NJE FOMU NA. 4 Jina la msimamizi:…………………………………………………… Taasisi:…………………………………………………………………… Jina la Mwanafunzi:…………………………………………………. Tarehe:…….……………………………………………………………… (a) TAARIFA ZA USULI Fomu hii itatumika na msimamizi wa nje wa mafunzo ya uwandani katika kumpima mwanafunzi. Upimaji utazingatia malengo na matarajio yaliyowekwa wakati wa mafunzo uwandani. Tafadhali zingatia vigezo vya tathmini kwa umakini, weka alama kwenye sehemu iliyoonyeshwa na weka maoni ambayo ni ya muhimu yatakayosaidia katika tathmini. (b) TATHMINI YA MWANAFUNZI - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaweka vigezo vya kutathmini ubora wa kazi katika viwango vitano, kuanzia ubora usioridhisha hadi ubora wa juu sana.
2.1 Uhakiki Ubora (a) Anafanya kazi lakini hazina ubora unao hitajika. (b) Anafanya kazi kwa kipindi na chini ya ubora unaohitajika. (c) Anafanya kazi kwa kuzingatia ubora unaohitajika, yuko makini. (d) Anafanya kazi zenye ubora kwa kiwango kikubwa na yupo tayari kubadilika. (e) Kazi zote anafanya na kukamilisha katika ubora wa kiwango cha juu. Maoni: ……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………… - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: Inafafanua viwango tofauti vya uwezo wa utafiti, kuanzia mdogo hadi wa juu zaidi.
2.2. Uwezo wa utafiti (a) Uwezo mdogo wa kufanya utafiti, viwango vya chini (b) Mara chache uwezo wa utafiti unakuwa mdogo kuliko viwango vinavyokusudiwa. (c) Uwezo wa utafiti katika viwango vinavyotarajiwa. (d) Uwezo wa utafiti katika viwango vya juu. (e) Uwezo wa utafiti katika viwango cha juu kuliko matarajio. Maoni: ……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………… - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: This section lists writing-ability rating levels from below standard to above expectations.
2.3. Uwezo wa Kuandika 21 Kanuni Za Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo Na Mafunzo ya Uwandani Tangazo la Serikali Na.620 (Linaendelea.) (a) Uwezo wa kuandika usiokidhi viwango (b) Mara chache uwezo wa kuandika usiokidhi viwango. (c) Uwezo wa kuandika umefikia viwango vya kawaida. (d) Uwezo wa kuandika katika viwango vya juu. (e) Uwezo wa kuandika katika viwango cha juu kuliko matarajio. Maoni: ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha viwango vya hukumu na uamuzi wa kisheria, ikijumuisha maamuzi ya haraka, yenye ubora, yenye usahihi, na yale ya mihemuko au yasiyo na sababu ya msingi.
2.4. Hukumu na Uamuzi wa kisheria (a) Uwezo mdogo wa kufanya maamuzi. Uamuzi usio na umakini au kutokuwa tayari kufanya maamuzi (b) Hukumu za mihemuko na zisizo na sababu ya msingi. (c) Hukumu au Uamuzi wenye ubora na kwa haraka. (d) Hukumu au Uamuzi wenye ubora mkubwa, sahihi na wa kujitosheleza. (e) Hukumu au Uamuzi wenye Kiwango kikubwa cha ubora kuliko matarajio. Maoni: ……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha tabia zinazohusiana na kukubali majukumu na kuwa tayari kuwajibika katika kazi.
2.5. Kukubali majukumu (a) Kutokuwa tayari kuwajibika (b) Mara kwa mara kukwepa majukumu na kutokuwa tayari kuwajibika. (c) Kupokea majukumu kwa viwango vya kuridhisha na kuwa tayari kukabiliana na changamoto na kuwa tayari kuwajibika. (d) Kuwa tayari kujitoa na kutekeleza majukumu ya kazi zote zilizo chini yake. (e) Kujitoa na kubeba majukumu ya shughuli za kazi anazozisimamia na asizozisimamia. Maoni: ……………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………………… - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaelezea dhana ya “uwezo wa kuanzisha jambo” na inatoa maelezo ya tabia zinazohusiana nayo.
2.6 Uwezo wa kuanzisha jambo (a) Ukosefu wa ubunifu mara nyingi anahitaji kusukumwa (b) Mara chache ukosefu wa uwezo kuanzisha jambo hujitokeza mara chache anahitaji kusukumwa. (c) Uwezo wa kuanzisha mambo katika kiwango cha kujitosheleza. (d) Muanzilishi wa vitu ili kukidhi mahitaji (e) Mwenye uwezo wa juu na mwenye mawazo mapya Maoni: ……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… 22 Kanuni Za Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo Na Mafunzo ya Uwandani Tangazo la Serikali Na.620 (Linaendelea.) - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha viwango vya utegemezi na kutegemewa, kuanzia mwenye mihemuko ambaye lazima afatiliwe kwa karibu hadi mwenye kujiamini anayehitaji usimamizi mdogo.
2.7. Utegemezi (a) Mwenye mihemuko na sio wa kutegemewa na ni lazima afatiliwe kwa karibu (b) Wakati mwingine sio wa kutegemewa anahitaji usimamizi wa karibu (c) Anaweza kutegemewa (d) Anaweza kutegemewa na kuaminiwa (e) Mwenye kujiamini na kuhitaji usimamizi mdogo Maoni: ……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: Hii inaeleza viwango vya kupanga malengo, kuanzia kutoweza kupanga malengo hadi kupanga na kufikia malengo ya juu, yanayofikika, na ya uhalisia.
2.8. Kupanga malengo (a) Hawezi kupanga malengo. (b) Anapanga malengo akielekezwa (c) Anapanga malengo yenye kufikika (d) Anapanga malengo makubwa na anayafikia (e) Anapanga malengo ya juu na yenye uhalisia. Maoni: ……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: This text describes levels of ability to plan work and use time, from poor to exceptional.
2.9. Uwezo wa kupanga na kutumia muda (a) Anafanya kazi nyingi bila kupangilia muda na haombi kazi anapokuwa hana kazi za kufanya (b) Anaelewa umuhimu wa kupanga vitu lakini anahitaji usaidizi kwenye kazi za kila siku, rahisi kujisahau. (c) Anapanga kazi zake katika viwango vya kuridhisha na anatumia muda wake vizuri. (d) Anapanga kazi vizuri na anaweza kutatua dharula zikijitokeza kwa haraka. (e) Ana sifa za kipekee mwenye uwezo wa kupanga na kuelekeza taratibu na utendaji, uwezo wa kutumia muda vizuri. Maoni: ……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: This section describes levels of ability to improve work methods and adapt to change.
2.10. Uwezo wa kuboresha njia za utendaji (a) Anafanya kazi kama zinavyofanyika siku zote na hayupo tayari kwa mabadiliko. (b) Ni mgumu kukubali mabadiliko kwenye kazi. (c) Ana uwezo wa kubadili njia za kufanya kazi uhitaji unapojitokeza. (d) Ni wa kutegemewa na anaenda na mabadiliko kwa haraka na bila kuharibu ubora wa kazi. 23 Kanuni Za Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo Na Mafunzo ya Uwandani Tangazo la Serikali Na.620 (Linaendelea.) (e) Ni mbunifu mwenye kupokea mabadiliko na kuboresha kazi bila kujali vikwazo. Maoni: ……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza viwango vya uwezo wa kushirikiana na kuwasiliana na wengine, kuanzia ugumu wa kufanya kazi na kushirikiana hadi ushirikiano na mawasiliano ya hali ya juu.
2.11. Uwezo wa kushirikiana na kuwasiliana na wengine (a) Mgumu wa kufanya kazi na asiye jua kuwasiliana. (b) Hana ushirikiano na wakati mwingine anasababisha migogoro. (c) Anashirikiana pale inapohitajika na anamahusiano ya kuridhisha na wenzie. (d) Ana ushirikiano mzuri, yupo tayari kusaidia kazi za wengine na anaushawishi kwenye kufanya kazi kama timu. (e) Ana ushirikiano wa hali ya juu, aliye tayari na mwenye uwezo wa kuwasaidia kazi na ana ujuzi mkubwa wa mawasiliano. Maoni: ……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… - 2 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: This section is a heading for a supervisor’s general comments and recommendations, followed by blank lines.
2.12 Maoni ya msimamizi kwa ujumla na mapendekezo Maoni: ……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… - 3
AI-assisted research summary: Nakala hii inaomba maoni au mapendekezo kuhusu maboresho ya mafunzo ya uwandani ya shule.
3. MAPENDEKEZO YA PROGRAMU: Tafadhali onyesha kama kuna mawazo au mabadiliko ambayo unaamini Shule inatakiwa kuzingatia kuweka katika mafunzo ya uwandani ili yawe bora zaidi. Maoni: ……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… Tarehe:……………………Saini ya Msimamizi:……………………………… Dar es Salaam, 8 Julai, 2024 KENNEDY G. GASTORN, Mwenyekiti wa Bodi 24
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
KANUNI ZA MAFUNZO YA SHERIA KWA VITENDO NA MAFUNZO YA UWANDANI ZA MWAKA 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in