SHERIA NDOGO ZA MITIHANI NA RUFAA ZA SHULE YA SHERIA KWA VITENDO ZA MWAKA 2024
This section is titled “Interpretation” and introduces Part Two on drafting and checking the examination.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO ZA MITIHANI NA RUFAA ZA SHULE YA SHERIA KWA VITENDO ZA MWAKA 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section is titled “Interpretation” and introduces Part Two on drafting and checking the examination. This section lists topics for exam administration and student assessment, including quality control, exam preparation, exam custody, exam dates, continuous assessment, practical written assessment, and final examinations. Sehemu hii inaeleza mada za mratibu wa moduli kuhusu taratibu za mtihani na ukaguzi wa mtihani. Sehemu hii ina kichwa kuhusu kutangaza matokeo ya mitihani na kuhifadhi vitabu vya majibu ya mitihani. This section is titled about failing and retaking examinations, and it introduces the appeals section and appeals procedure.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO ZA MITIHANI NA RUFAA ZA SHULE YA SHERIA KWA VITENDO ZA MWAKA 2024
Showing 36 of 36
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section is titled “Interpretation” and introduces Part Two on drafting and checking the examination.
2. Jina. Tafsiri. SEHEMU YA PILI UTUNGAJI NA UHAKIKI WA MTIHANI
Part
SEHEMU YA PILI
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section lists topics for exam administration and student assessment, including quality control, exam preparation, exam custody, exam dates, continuous assessment, practical written assessment, and final examinations.
9. Uanzishaji wa Timu ya Udhibiti Ubora. Utungaji na udhibiti ubora wa mtihani. Mhifadhi wa mitihani. Tarehe ya mtihani. SEHEMU YA TATU TATHMINI YA WANAFUNZI Tathmini endelevu ya mwanafunzi. Tathmini ya vitendo kwa maandishi. Mtihani wa mwisho. 1 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) SEHEMU YA NNE TARATIBU ZA KUFANYA MTIHANI - 3 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na Timu ya Udhibiti Ubora kwa
AI-assisted research summary: A Quality Control Team must be set up to check exam quality, with at least three members.
3.-(1) Kutakuwa na Timu ya Udhibiti Ubora kwa ajili ya kuangalia ubora wa mitihani itakayoundwa na angalau wajumbe watatu. (2) Wajumbe wa Timu ya Udhibiti Ubora watateuliwa na Mkuu wa Shule kwa kuzingatia utaalamu wao katika moduli husika. (3) Wajumbe wa timu ya Udhibiti Ubora watahudumu kwa kipindi cha miaka mitatu na wanaweza 4 Uanzishaji wa Timu ya Udhibiti Ubora Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) Utungaji na udhibiti ubora wa mtihani kuteuliwa tena kwa kipindi kingine kimoja. (4) Wajumbe wa Timu ya Udhibiti Ubora, kwa idhini ya Mkuu wa Shule, wanaweza kumteua mtaalamu kutoka nje kwa madhumuni ya kuangalia ubora. (5) Timu ya Udhibiti Ubora itakuwa na jukumu la kuhakiki nakala za mitihani iliyotungwa na mitihani iliyosahihishwa ili kuhakikisha uzingatiaji wa viwango vya ubora vilivyoainishwa na Shule. - 4 Verify source ↗
(1) Mratibu wa kozi atatunga na kuwasilisha
AI-assisted research summary: Mratibu wa kozi lazima atunge na awasilishe mtihani kwa Timu ya Udhibiti Ubora mapema, na aandae ufuatiliaji wa marekebisho na urudishaji wa mtihani kwa wakati.
4.-(1) Mratibu wa kozi atatunga na kuwasilisha mtihani kwa Timu ya Udhibiti Ubora siku tano kabla ya tarehe iliyopangwa kufanyika kwa mtihani husika. (2) Timu ya Udhibiti Ubora itahakiki na kurejesha mtihani kwa mratibu wa kozi ndani ya siku mbili kuanzia tarehe ya kupokea mtihani huo. (3) Kila Mtihani utahakikiwa na angalau wajumbe wawili kutoka katika Timu ya Udhibiti Ubora. (4) Timu ya Udhibiti Ubora, baada ya kuangalia ubora wa mtihani, itaandaa ripoti na kuiwasilisha kwa Mkuu wa Shule. (5) Mratibu wa kozi baada ya kupokea mtihani husika atatakiwa kuzingatia mapendekezo yaliyotolewa na Timu ya Udhibiti Ubora. (6) Mratibu wa kozi atahakikisha mtihani uliopitiwa na Timu unadurufiwa siku mbili kabla ya kufanyika kwa mtihani husika. Mhifadhi wa mitihani ` - 5 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa msimamizi wa mchakato
AI-assisted research summary: Mkurugenzi must supervise the examination-related process and keep the examination records.
5. Mkurugenzi atakuwa msimamizi wa mchakato unaohusiana na mitihani na mhifadhi wa nyaraka za mitihani. Tarehe ya mtihani - 6 Verify source ↗
(1) Mitihani yote ya mihula itafanyika kwa
AI-assisted research summary: Semester examinations must be held on the dates set out in the school calendar, and the school may change an exam date if necessary.
6.-(1) Mitihani yote ya mihula itafanyika kwa tarehe zilizoainishwa katika kalenda ya Shule. (2) Bila kujali masharti ya aya ndogo ya (1), Shule inaweza kubadili tarehe ya kufanyika kwa mtihani endapo itahitajika na atawajulisha wanafunzi mabadiliko ya tarehe ya kufanyika mtihani huo. 5 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) Tathmini endelevu ya mwanafunzi Tathmini ya vitendo kwa maandishi SEHEMU YA TATU TATHMINI YA WANAFUNZI
Part
SEHEMU YA NNE
- 12 Verify source ↗
Mratibu wa moduli
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza mada za mratibu wa moduli kuhusu taratibu za mtihani na ukaguzi wa mtihani.
12. Mratibu wa moduli. SEHEMU YA TANO UKIUKAJI WA TARATIBU ZA MTIHANI Ukiukaji wa taratibu za mtihani. Taratibu za kushughulikia vitu visivyoruhusiwa. Ukiukwaji mwingine usiohusisha udanganyifu. Kuahirisha mitihani. Kusahihisha mitihani. Kamati ya uhakiki wa mtihani. - 10 Verify source ↗
(1) Kabla ya kuanza kwa mtihani, msimamizi
AI-assisted research summary: Msimamizi wa mtihani lazima achukue hatua kadhaa kabla, wakati, na baada ya mtihani, ikiwemo kusimamia chumba cha mtihani, kuhakikisha utambulisho wa wanafunzi, kukusanya sahihi za mahudhurio, kulinda mitihani, na kuwasilisha nyaraka za mtihani.
10.-(1) Kabla ya kuanza kwa mtihani, msimamizi wa mtihani- (a) atachukua bahasha iliyofungwa yenye karatasi za maswali na vitabu vya kujibia mtihani kutoka katika ofisi ya mitihani; (b) atakuwa kwenye chumba cha mtihani angalau dakika thelathini kabla ya mtihani kuanza; (c) atahakikisha kuwa kila mwanafunzi ana kitambulisho halali cha uanafunzi; na (d) atahakikisha kuwa wanafunzi wanakumbushwa kuhusu- (i) kutokuwa na kitu chochote ambacho hakiruhusiwi kwenye chumba cha mtihani; (ii) kutofanya kitu ambacho kinapelekea uvunjivu wa sheria ndogo za mtihani; chochote (iii) kujiridhisha iwapo wana karatasi sahihi za mtihani; na (iv) kuzingatia sheria ndogo na miongozo ya mitihani. 7 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) (2) Wakati wa mtihani, msimamizi wa mtihani atahakikisha kuwa- (a) wanafunzi wote wamesaini karatasi ya mahudhurio wakati wa kukusanya mtihani; (b) mitihani iliyoko kwenye hifadhi yake iko salama; (c) watahiniwa walio katika chumba cha mtihani hawabaki bila usimamizi wakati mtihani unaendelea; na (d) pale anapogundua hatari yoyote anachukua hatua stahiki ikijumuisha kuitaarifu mamlaka husika. (3) Msimamizi wa mtihani atakuwa na mamlaka (a) kumkagua mtahiniwa wakati wa mtihani kama ataona inafaa; (b) kupanga na kubadili mpangilio wa ukaaji wa wanafunzi; na (c) kuchukua kitu chochote kisichoruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. (4) Baada ya kukamilika kwa mtihani, msimamizi ya- wa mtihani- (a) atakusanya na kujiridhisha kuwavitabu vya kujibia na wanafunzi vinaendana na idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani; na vilivyowasilishwa (b) atawasilisha kwenye ofisi ya mitihani karatasi za mitihani, vitabu vyote vya kujibia mtihani, ripoti ya usimamizi, na karatasi ya mahudhurio iliyosainiwa na watahiniwa. Mtahiniwa - 11 Verify source ↗
(1) Mtahiniwa anayestahili kufanya mtihani,
AI-assisted research summary: Mtahiniwa anayestahili kufanya mtihani lazima afuate taratibu za mtihani, ajitambulishe, awe chumbani mapema, asijisahau au kuwasiliana kinyume cha ruhusa, na asitoke nje bila kibali cha msimamizi.
11.-(1) Mtahiniwa anayestahili kufanya mtihani, kabla na wakati wa mtihani, atazingatia na kufuata taratibu na miongozo ifuatayo: (a) kuwa na kitambulisho halali cha mwanafunzi; (b) kuzingatia na mahali mtihani ratiba unapofanyika; (c) kuwa kwenye chumba cha mtihani dakika thelathini kabla ya kuanza kwa mtihani; (d) kukagua mazingira yanayomzunguka kuona kama kuna kitu kisichoruhusiwa na kutoa 8 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) taarifa au kumkabidhi msimamizi kabla ya kuanza kwa mtihani; (e) kumsikiliza msimamizi wa mtihani; (f) kusoma kwa makini maelekezo yote yaliyotolewa kwenye karatasi ya mtihani na kitabu cha kujibia; (g) kukaa kimya na kuwa na utulivu katika chumba cha mtihani; (h) kutofanya mawasiliano ya aina yoyote na ya ruhusa bila mtahiniwa mwenzake msimamizi wa mtihani; (i) kutoandika jina au kutoweka alama yoyote katika kitabu au karatasi ya kujibia mtihani inayoweza kuweka wazi utambulisho wake; (j) kutoandika wala kuchora kitu chochote kwenye karatasi ya maswali ya mtihani; (k) kuandika namba ya mtihani katika sehemu husika ya karatasi ya kujibia maswali; (l) kusaini karatasi ya mahudhurio wakati wa mtihani na kukusanya kitabu cha kujibia mtihani kwa msimamizi wa mtihani; (m) hataruhusiwa kutoka nje ya chumba cha mtihani akiwa na kitabu cha kujibia mtihani na karatasi ya maswali; na (n) hataruhusiwa kutoka nje ya chumba cha mtihani bila ruhusa ya msimamizi wa mtihani. (2) Mtahiniwa hataruhusiwa kuingia na kufanya mtihani baada ya kupita kwa dakika thelathini kuanzia mtihani ulipoanza. (3) Isipokuwa katika mazingira ya kipekee, ruhusa iliyorejewa katika aya ndogo ya (1)(n) haitatolewa- (a) ndani ya dakika thelathini baada ya kuanza kwa mtihani; na (b) ndani ya dakika thelathini kabla ya kuisha. Mratibu wa moduli - 12 Verify source ↗
Mratibu wa kozi wakati wa mtihani atakuwa na
AI-assisted research summary: Mratibu wa kozi lazima amsaidie msimamizi wa mtihani kufafanua masuala yanayohitaji ufafanuzi wakati wa mtihani.
12. Mratibu wa kozi wakati wa mtihani atakuwa na wajibu wa kumsaidia msimamizi wa mtihani kufafanua masuala yoyote yanayoweza kuhitaji ufafanuzi wakati wa kufanya mtihani. 9 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) Ukiukaji wa taratibu za mtihani SEHEMU YA TANO UKIUKAJI WA TARATIBU ZA MTIHANI
Part
SEHEMU YA TANO
- 21 Verify source ↗
Section 21
AI-assisted research summary: Sehemu hii ina kichwa kuhusu kutangaza matokeo ya mitihani na kuhifadhi vitabu vya majibu ya mitihani.
21. Kutangaza matokeo ya mitihani. Kuhifadhi vitabu vya majibu ya mitihani. SEHEMU YA SITA MITIHANI YA MARUDIO NA MAALUMU - 13 Verify source ↗
Vitendo ambavyo vinaweza kupelekea ukiukaji
AI-assisted research summary: This section lists actions that may count as exam-rule violations, including bringing forbidden items into the exam room, cheating, disrupting the exam, impersonating another person, leaking exam content, leaving without permission, and boycotting the exam.
13. Vitendo ambavyo vinaweza kupelekea ukiukaji wa taratibu za mtihani vinajumuisha- (a) kuwa na kitu kisichoruhusiwa katika chumba cha mtihani ikijumuisha maandiko, jarida, kitabu, kitu chochote chenye maandishi, au maelezo yaliyoandikwa kwenye sehemu yoyote ya mwili, simu ya kiganjani au janja, saa janja, redio, ukanda wa kunasia sauti au aina zingine za vinasa sauti, kompyuta, kishikwambi, vifaa vya kurekodia, na nyaraka zimeandikwa nyingine katika mandishi chumba cha mtihani, sheria, mkoba na pochi; zozote yasiyoruhusiwa ambazo katika (b) kusababisha usumbufu au kero ya aina yoyote ndani au karibu na chumba cha mtihani bila sababu ya msingi; (c) udanganyifu au uongo wa aina yoyote kwa lengo la kupata manufaa yasiyo halali katika mtihani; (d) kuharibu kitu kisichoruhusiwa kwa msimamizi wa mtihani anapotakiwa kufanya hivyo; kukabidhi kukataa au (e) kutoka nje ya chumba cha mtihani bila kupata ruhusa kutoka kwa msimamizi wa mtihani; (f) kujifanya mtu mwingine katika chumba cha mtihani; (g) kuiba, kusaidia, au kusababisha kuvuja kwa mtihani; (h) kutoa taarifa ya uongo zidi ya msimamizi wa mtihani; (i) kuagiza, kuomba, kushawishi, kuchochea, kuwezesha, kusaidia na kukiuka taratibu za mitihani; (j) kunakili kazi ya mwingine; (k) kutatoka nje ya chumba cha mtihani kwa kugomea mtihani; (l) kushawishi au kuchochea watahiniwa wengine kupinga au kugoma kufanya mtihani; 10 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) (m) kushiriki katika kitendo chochote cha kugoma au kupinga mtihani, kwa kificho au kwa uwazi; (n) kuchomoa sehemu ya kitabu cha kujibia mtihani; na (o) kufanya kitendo ambacho kimekatazwa katika mtihani kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. chochote Taratibu za kushughulikia vitu visivyoruhusiwa - 14 Verify source ↗
(1) Endapo mtahiniwa amekutwa na kitu
AI-assisted research summary: If a candidate is found with a prohibited item or cheating in the exam room, the candidate must sign a form, the supervisor must report it, and a temporary committee will decide the case.
14.-(1) Endapo mtahiniwa amekutwa na kitu kisichoruhusiwa ndani ya chumba cha mtihani atatakiwa kusaini fomu kama ilivyoainishwa katika Jedwali kwa ajili ya kuthibitisha kuwa yeye ndiye amekutwa na kitu hicho. (2) Endapo mtahiniwa atakataa kusaini fomu msimamizi wa mtihani ataelezea suala hilo katika ripoti ya usimamizi wa mtihani. (3) Msimamizi wa mtihani atawasilisha ripoti yamandishi iliyosainiwa ikiambatishwa na ushahidi wa udanganyifu kwenda kwa Mkuu wa Shule mara baada ya tukio hilo. (4) Mkuu wa Shule baada ya kupokea ripoti atamtaka Naibu Mkuu wa Shule Mafunzo, Utafiti na Ushauri Elekezi kuunda Kamati ya muda itakayokuwa na wajumbe wafuatao: (a) Mshauri wa Wanafunzi; (b) Mkuu wa Kitengo cha Sheria; (c) Mkurugenzi; (d) Mkurugenzi wa Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo; na (e) mwakilishi kutoka serikali ya wanafunzi. (5) Kamati ya muda itafanya kikao mara baada ya kupokea ripoti ya udanganyifu na kutoa maamuzi. (6) Mtahiniwa atakayekamatwa akifanya vitendo taratibu za mitihani ataruhusiwa vya ukiukaji wa kuendelea na mtihani huo mpaka pale Kamati ya muda itakapotoa maamuzi. (7) Mtahiniwa atakayekutwa anafanya udanganyifu au anakiuka taratibu za mitihani chini ya Sheria Ndogo hizi, ataachishwa masomo mara moja na endapo Kamati ya muda itaona kuwa hakuna ushahidi wa kutosha dhidi ya mtahiniwa, itamruhusu mtahiniwa kuendelea na mtihani. 11 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) Ukiukwaji mwingine usiohusisha udanganyifu Kuahirisha mitihani Kusahihisha mitihani Kamati ya Uhakiki wa Mtihani (8) Mtahaniwa ambaye hajaridhika na maamuzi ya Kamati ya muda anaruhusiwa kukata rufaa kwa Kamati ndani ya siku tano za kazi baada ya kupokea uamuzi. (9) Mtahaniwa ambaye ataachishwa masomo kwa makosa ya udanganyifu wakati wa mitihani anaweza kudahiliwa tena baada ya miaka mitatu kutoka siku ya kuondolewa katika mafunzo na atatakiwa kuzingatia masharti ya udahili ya programu husika. - 15 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti ya aya ya 13, kwa
AI-assisted research summary: Kwa makosa mengine yasiyohusisha udanganyifu ndani ya chumba cha mtihani, msimamizi wa mtihani anaweza kuchukua hatua anazoona zinafaa kutokana na tukio.
15. Bila kuathiri masharti ya aya ya 13, kwa makosa mengine yasiyohusisha udanganyifu ndani ya chumba cha mtihani msimamizi wa mtihani anaweza kuchukua hatua ambazo anaona zinafaa kutokana na tukio. - 16 Verify source ↗
(1) Mwanafunzi
AI-assisted research summary: A student may apply in writing to the head teacher to defer an exam for certain reasons; the student may defer the exam for one year, and the head teacher may extend that deferment by one more year if appropriate.
16.-(1) Mwanafunzi anaweza kuomba kwa maandishi kuahirisha kufanya mtihani kwa Mkuu wa Shule kutokana na- (a) ugonjwa uliothibitishwa daktari na aliyesajiliwa; (b) sababu nyingine ambazo Mkuu wa Shule ataona ni za msingi. (2) Mwanafunzi ataruhusiwa kuahirisha mtihani kwa muda wa mwaka mmoja. (3) Mkuu wa Shule anaweza kuongeza muda wa kuahirisha mtihani kwa mwaka mmoja zaidi pale inafaa na kwa kuzingatia maombi ya atakapoona mwanafunzi. - 17 Verify source ↗
Mkurugenzi atafanya maandalizi ya namna
AI-assisted research summary: Mkurugenzi must make arrangements for how exams will be marked after they are held.
17. Mkurugenzi atafanya maandalizi ya namna mitihani itakavyosahihishwa baada ya kufanyika. - 18 Verify source ↗
(1) Kamati ya Uhakiki wa Mtihani itaundwa
AI-assisted research summary: A review committee must be formed after marking is finished, include specified members, prepare a report for the school head, and it may not re-mark exams.
18.-(1) Kamati ya Uhakiki wa Mtihani itaundwa baada ya zoezi la kusahihisha mitihani kukamilika. (2) Kamati ya Uhakiki wa Mtihani itajumuisha wajumbe wafuatao: (a) Mkurugenzi ambaye atakuwa Mwenyekiti; (b) walimu wasiopungua watatu; (c) maafisa taaluma wasiopungua wawili; na (d) afisa TEHAMA. (3) Kamati ya Uhakiki wa Mtihani itakuwa na 12 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) majukumu yafuatayo: (a) kujumlisha alama katika kitabu cha majibu ya mitihani; (b) kujiridhisha kama maswali yamejibiwa na yamesahihishwa; ya mtihani (c) kujiridhisha kama alama zote ndani ya kitabu cha majibu ya mtihani zimejumlishwa; na (d) kutekeleza majukumu mengine yanayoendana na udhibiti wa mitihani. (4) Kamati ya Uhakiki wa Mtihani haitakuwa na mamlaka ya kurudia kusahihisha mitihani. (5) Kamati ya Uhakiki wa Mtihani itaandaa ripoti na kuiwasilisha kwa Mkuu wa Shule ambaye baada ya kupokea ripoti hiyo atatoa maelekezo. Watahini wa ndani na nje - 19 Verify source ↗
(1) Kutakuwa
AI-assisted research summary: Watahini wa nje huwekwa na Bodi, hudumu kwa miaka mitatu, na wanaweza kurejelewa kwa miaka mingine mitatu; pia kuna utaratibu wa kukagua majibu ya mitihani, kuandika ripoti, na kuitisha kikao cha watahini wa ndani.
19.-(1) Kutakuwa nje watakaoteuliwa na Bodi ambao watatoka miongoni mwa wanataaluma na wataalamu wa nje ya Shule. na watahini wa (2) Watahini wa nje walioteuliwa watahudumu kwa kipindi cha miaka mitatu na wanaweza kurudia kuhudumu kwa kipindi kingine cha miaka mitatu. (3) Kurugenzi ya Huduma Wezeshi za Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo itawasilisha vitabu vya majibu ya mitihani kwa watahini wa nje kwa ajili ya uhakiki mara baada ya kusahihishwa. (4) Mtahini wa nje ataandaa ripoti baada kupitia na kuhakiki vitabu vya majibu ya mitihani aliyohakiki. (5) Mtahini wa nje endapo ataona inafaa anaweza kutoa maoni kwa mtahini wa ndani juu ya mtihani aliohakiki. (6) Mkuu wa Shule ataitisha kikao cha watahini wa ndani baada ya uhakiki ili kupitia matokeo ya mitihani sambamba na ripoti zilizowasilishwa na watahini wa nje na kisha kuwasilisha mapendekezo ya kikao kwenye Kamati. (7) Watahini wote wa ndani watakua wajumbe katika kikao kilichotajwa katika aya ndogo ya (6) na endapo itaonekana inafaa, Mkuu wa Shule anaweza kumualika Mtahini yeyote kutoka nje kuhudhuria kikao hicho. 13 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) Kutangaza matokeo ya mitihani Kuhifadhi vitabu vya majibu ya mitihani. - 20 Verify source ↗
(1) Mkurugenzi atatangaza matokeo ya awali
AI-assisted research summary: Mkurugenzi lazima atangaze matokeo ya awali baada ya Kamati kuyapitisha, na Kamati lazima iwasilishe kwa Bodi mapendekezo ya matokeo ya mitihani kwa ajili ya idhini.
20.-(1) Mkurugenzi atatangaza matokeo ya awali mara baada ya kupitishwa na Kamati. (2) Kamati itawasilisha kwa Bodi mapendekezo ya matokeo ya mitihani kwa ajili ya idhini. - 21 Verify source ↗
Shule itahifadhi vitabu vya majibu ya mitihani
AI-assisted research summary: Shule lazima ihifadhi vitabu vya majibu ya mitihani ya wanafunzi kwa miaka mitano baada ya matokeo kutangazwa, kisha vitabo hivyo vitaondolewa.
21. Shule itahifadhi vitabu vya majibu ya mitihani ya wanafunzi baada ya kutangazwa kwa matokeo kwa muda wa miaka mitano, na baada ya muda huo kuisha vitaondolewa. Kushindwa na kurudia mitihani SEHEMU YA SITA MITIHANI YA MARUDIO NA MAALUMU
Part
SEHEMU YA SITA
- 22 Verify source ↗
Section 22
AI-assisted research summary: This section is titled about failing and retaking examinations, and it introduces the appeals section and appeals procedure.
22. Kushindwa na kurudia mitihani. SEHEMU YA SABA RUFAA Rufaa. Utaratibu wa rufaa. - 22 Verify source ↗
(1) Mtahiniwa wa Stashahada ya Uzamili ya
AI-assisted research summary: Mtahiniwa wa stashahada ya uzamili ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo anaweza kurudia mtihani chini ya masharti yaliyowekwa, ikiwemo kujisajili mapema na kuwa na kitambulisho cha kurudia mtihani.
22.-(1) Mtahiniwa wa Stashahada ya Uzamili ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo atakuwa na vigezo vya kurudia mtihani aliyoshindwa ikiwa amefaulu angalau moduli nne isipokuwa moduli ya mafunzo ya uwandani. (2) Mtahiniwa wa Stashahada ya Uzamili ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo ambaye ameshindwa moduli saba au zaidi isipokuwa moduli ya mafunzo ya uwandani atakuwa ameshindwa mitihani na ataruhusiwa kuomba kudahiliwa tena. (3) Katika kuamua WAKIA, mtaala wa programu husika utatumika. (4) Mtihani wa marudio utafanyika katika kipindi cha kawaida cha tathmini ya darasani au mitihani au muda mwingine ambao Mkuu wa Shule ataona unafaa. (5) Mtahiniwa anayekusudia kufanya mtihani wa marudio atatakiwa- (a) kujisajili angalau siku kumi na nne kabla ya tarehe ya mtihani; na (b) kuwa na kitambulisho cha kurudia mtihani. (6) Mtahiniwa aliyefaulu mtihani wa marudio na alama hizo asilimia hamsini kupata ufaulu wa zitarekodiwa na kupewa daraja “C”. (7) Mtahiniwa ataruhusiwa kufanya mtihani wa tarehe ya marudio ndani ya miaka mitatu kutoka kutangazwa kwa matokeo yake ya awali. (8) Mtahiniwa ambaye ameshindwa kufanya mtihani wa marudio au amefanya mtihani wa marudio na ameshindwa ndani ya miaka mitatu kutoka tarehe ya 14 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) matokeo ya awali yalipotangazwa atasitishwa kuwa mtahiniwa na ataruhusiwa kuomba kurudia programu. (9) Mtahiniwa ambaye anafanya mtihani wa marudio kwa mara ya pili au zaidi atatakiwa kulipa ada ya mtihani wa marudio kwa mtihani husika kama itakavyoainishwa na Bodi. (10) Mtahiniwa hataruhusiwa kufanya mtihani kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya mtihani wa moduli ambayo hayajatoka. (11) Mtahiniwa ambaye hajatekeleza maelekezo ya aya ndogo ya (10), matokeo ya mtihani wa pili hayatazingatiwa na ada ya mtihani huo haitarudishwa. SEHEMU YA SABA RUFAA
Part
SEHEMU YA SABA
- 27 Verify source ↗
Section 27
AI-assisted research summary: This section is a heading for appeals to the Board and for repeal, continuity, and transitional provisions.
27. Rufaa kwa Bodi. Kufutwa, masharti ya mwendelezo na masharti ya mpito. _______ JEDWALI _______ 2 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) SHERIA YA SHULE YA SHERIA TANZANIA, (SURA YA 425) ______ SHERIA NDOGO ______ (Zimetengenezwa chini ya kifungu cha 27(2)(d)) SHERIA NDOGO ZA MITIHANI NA RUFAA ZA SHULE YA SHERIA TANZANIA ZA MWAKA 2024 Jina Tafsiri SEHEMU YA KWANZA MASHARTI YA UTANGULIZI - 23 Verify source ↗
Mtahiniwa anaweza kukata rufaa dhidi ya
AI-assisted research summary: Mtahiniwa anaweza kukata rufaa dhidi ya matokeo ya mtihani ikiwa ana sababu za msingi zinazoleta mashaka kuhusu usahihishaji au ujumlishaji wa alama.
23. Mtahiniwa anaweza kukata rufaa dhidi ya matokeo ya mtihani akiwa na sababu za msingi ambazo zinaweza kuibua mashaka katika namna ambavyo mtihani umesahihishwa au alama zilivyojumlishwa. - 24 Verify source ↗
(1) Rufaa itawasilishwa kwa Mkuu wa Shule
AI-assisted research summary: Rufaa lazima iwasilishwe kwa Mkuu wa Shule ndani ya siku 14, kwa maandishi, ikieleza sababu na ikiambatana na stakabadhi ya malipo ya ada ya rufaa.
24.-(1) Rufaa itawasilishwa kwa Mkuu wa Shule ndani ya siku kumi na nne kwa njia ya maandishi ikielezea sababu za msingi za rufaa na ikiambatishwa na stakabadhi ya malipo ya ada ya rufaa. (2) Rufaa ambayo yaliyowekwa chini ya aya ndogo ya (1) itakataliwa. haijazingatia masharti (3) Bila kujali masharti ya aya ndogo ya (1), Mkuu wa shule anaweza kwa sababu za msingi kuongeza muda wa kuwasilisha rufaa pale atakapoona inafaa au kwa maombi ya mkata rufaa. - 25 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na
AI-assisted research summary: This section sets a step-by-step appeals process with deadlines for the Director, appeal reviewers, the School Head, and the Committee.
25.-(1) Kutakuwa na la wapitia rufaa wataoteuliwa na Mkuu wa Shule ambalo litaundwa na wajumbe ambao ni wataalamu wa sheria. jopo (2) Mkurugenzi atawasilisha rufaa kwa wapitia rufaa ndani ya siku kumi za kazi kutoka tarehe ya mwisho ya kupokea rufaa. (3) Wapitiarufaa watapitia rufaa na kuwasilisha taarifa ya rufaa kwa Mkuu wa Shule ndani ya siku kumi. (4) Mkuu wa Shule baada ya kupokea taarifa ya 15 Rufaa Utaratibu wa rufaa Wapitia rufaa Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) Rufaa kwa Bodi Kufutwa, masharti ya mwendelezo na masharti ya mpito TS. Na. 172 ya 2011 wapitia rufaa atawasilisha taarifa hiyo kwa Kamati ndani ya siku kumi za kazi kwa ajili ya kutolewa uamuzi. (5) Kamati baada ya kupokea taarifa kutoka kwa wapitia rufaa watatoa uamuzi kuhusu taarifa ya rufaa. (6) Taarifa ya uamuzi wa rufaa kutoka kwa Kamati itawasilishwa kwa maandishi kwa mkata rufaa ndani ya siku tano za kazi baada ya kutolewa kwa uamuzi. - 26 Verify source ↗
(1) Mtahiniwa ambaye hajaridhika na uamuzi
AI-assisted research summary: Mtahiniwa asiye ridhika na uamuzi wa Kamati anaweza kuwasilisha rufaa ya maandishi kwa Bodi akitoa sababu. Rufaa inapaswa kuwasilishwa ndani ya muda uliotajwa, na Bodi ndiyo itatoa uamuzi wa mwisho.
26.-(1) Mtahiniwa ambaye hajaridhika na uamuzi wa Kamati, anaweza kuwasilisha rufaa kwa njia ya maandishi kwa Bodi ya akieleza sababu za rufaa. (2) Mkata Rufaa atawasilisha rufaa yake ndani ya siku saba baada ya kupokea uamuzi wa rufaa kutoka kwa Kamati. (3) Mkuu wa Shule baada ya kupokea rufaa kutoka kwa mtahiniwa itawasilisha rufaa hiyo katika kikao cha Bodi ndani ya siku arobaini na tano kutoka tarehe ya kuwasilishwa kwa rufaa. (4) Bodi itaamua njia nzuri ya kushughulikia rufaa na kwa kufanya hivyo itazingatia mwenendo na taarifa ya Kamati. (5) Bodi itapitia rufaa na kutoa uamuzi na Uamuzi huo utakuwa wa mwisho. - 27 Verify source ↗
(1) Sheria Ndogo za Tathmini ya Utendaji wa
AI-assisted research summary: Sheria Ndogo za mwaka 2011 zinazoitwa Sheria Ndogo za Tathmini ya Utendaji wa Taaluma wa Mwanafunzi na Utoaji wa Tuzo zinafutwa, lakini yaliyofanywa kihalali chini yake bado yanabaki na wanafunzi fulani wanaweza kulazimika kuendelea na masharti ya zamani kwa muda wa miaka mitano.
27.-(1) Sheria Ndogo za Tathmini ya Utendaji wa Taaluma wa Mwanafunzi na Utoaji wa Tuzo za Mwaka 2011 zinafutwa. (2) Kufutwa kwa Sheria Ndogo za Tathmini ya Utendaji wa Taaluma wa Mwanafunzi na Utoaji wa Tuzo za Mwaka 2011 hakutaathiri au kubatilisha kitu chochote kilichofanywa kihalali chini ya Sheria Ndogo zilizofutwa. (3) Bila kujali kufutwa kwa Sheria Ndogo za Tathmini ya Utendaji wa Taaluma wa Mwanafunzi na Utoaji wa Tuzo za Mwaka 2011, endapo, wakati wa kuanza kutumika kwa Sheria Ndogo hizi, mwanafunzi anatakiwa kurudia na kufaulu mtihani wowote wa kozi alioshindwa, mwanafunzi huyo atatakiwa kufaulu mtihani huo ndani ya kipindi cha miaka mitano tangu tarehe ya kuanza kutumika kwa Sheria Ndogo hizi, na kwa mujibu wa masharti ya Sheria Ndogo zilizofutwa. (4) Endapo 16 kipindi cha miaka mitano Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) kilichowekwa chini ya aya ndogo ya (3) kitaisha, kurudia na kufaulu kozi zilizoshindwa chini ya Sheria Ndogo zilizofutwa kutakoma na mwanafunzi atatakiwa kurudia mafunzo kwa mujibu wa Sheria Ndogo zilizopo. 17 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) ________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 14(1)) FOMU YA KUTHIBITISHA UDANGANYIFU NDANI YA CHUMBA CHA MTIHANI
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the regulations: Sheria Ndogo za Mitihani na Rufaa za Shule ya Sheria Tanzania za Mwaka 2024.
1. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Mitihani na Rufaa za Shule ya Sheria Tanzania za Mwaka 2024. - 2 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-laws, including the Board, Committee, Director, module, and exam supervisor.
2. Katika Sheria Ndogo hizi, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Bodi” maana yake ni Bodi ya Usimamizi ya Shule iliyoanzishwa chini ya kifungu cha 15 cha Sheria; “Kamati” ina maana kama ilivyoainishwa katika Sheria; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Huduma Wezeshi za Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo; “Mkuu wa Shule” ina maana kama ilivyoainishwa katika Sheria; “moduli” maana yake ni mkusanyiko wa mada za mafunzo mbalimbali unaojitegemea na unaohusiana na programu na mwanafunzi kwa idadi maalumu ya saa katika muhula; inayochukuliwa ya masomo “mratibu” maana yake ni mwalimu aliyeteuliwa na Mkuu wa shule kuratibu programu maalumu ya mafunzo; “msimamizi wa mtihani” maana yake ni mtu aliyepewa jukumu la kuhakikisha kuwa mtihani unafanyika kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; “mtahini wa ndani” maana yake ni mwalimu aliyeajiriwa na Shule kwa ajili ya kufundisha; “mtahini wa nje” maana yake ni mwalimu anayefundisha 3 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) ambaye hajaajiriwa na Shule kwa ajili ya kufundisha; “mtahiniwa” maana yake ni mtu mwenye sifa na aliyesajiliwa kwa ajili ya kufanya mtihani; “mwalimu wa moduli” maana yake ni mkufunzi msaidizi, mhadhiri mhadhiri mwandamizi, profesa mshiriki au profesa; “mwanafunzi” maana yake ni mtu aliyesajiliwa na Shule kufanya mafunzo ndani ya muda maalumu ulioinishwa; mhadhiri, msaidizi, “programu” maana yake ni mafunzo yanayotolewa na shule kwa mujibu wa mtaala husika; Sura ya 425 “Sheria” maana yake ni Sheria ya Shule ya Sheria Tanzania; “Shule” ina maana kama ilivyoainishwa katika Sheria; "tathmini" maana yake ni tathmini ya utendaji wa mwanafunzi kitaaluma katika kipindi cha mafunzo na inajumuisha tathimini kwa kazi za darasani, mitihani au mafunzo ya uwandani; “tathmini endelevu” maana yake ni mjumuiko wa njia za tathimini zinazotumika kupima utendaji wa mwanafunzi kitaaluma katika moduli katika mhula na haijumuishi mtihani wa mwisho wa mhula; “Timu ya Udhibiti” maana yake ni timu iliyoanzishwa chini ya aya ya 3; “tuzo” maana yake ni tuzo inayotolewa na Bodi kwa ajili ya kumtunuku mwanafunzi aliyekidhi vigezo kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; na “Waziri” ina maana kama ilivyoainishwa katika Sheria. SEHEMU YA PILI UTUNGAJI NA UHAKIKI WA MTIHANI
Part
SEHEMU YA TATU
- 7 Verify source ↗
(1) Kutakuwepo na
AI-assisted research summary: Tathmini endelevu ya mwanafunzi lazima ijumuishe vipengele vilivyoorodheshwa na iwe na jumla ya asilimia 50 ya alama; chuo pia kinaweza kutumia njia nyingine kwa masharti fulani, na kama inafanyika kwa mtihani wa maandishi haipaswi kuzidi saa mbili.
7.-(1) Kutakuwepo na mwanafunzi katika kila somo la msingi. tathmini endelevu ya (2) Tathmini endelevu ya mwanafunzi itajumuisha- (a) kazi za darasani; (b) majaribio; (c) mashauri ya mfano; (d) potifolio; na (e) mahudhurio. (3) Tathmini endelevu ya mwanafunzi itakuwa na jumla ya asilimia hamsini ya alama. (4) Chuo kinaweza, pale inapoonekana kuwa ni mhimu, kutumia njia nyingine inayofaa kufanya tathimini endelevu ya mwanafunzi kama nyogeza au mbadala kwa njia zilizoainishwa katika aya ndogo ya (2). (5) Endapo tathmini endelevu ya mwanafunzi inafanyika kwa njia ya mtihani wa maandishi, tathimini hiyo itafanyika kwa muda usiozidi saa mbili. - 8 Verify source ↗
(1) Kutakuwepo na tathmini ya vitendo kwa
AI-assisted research summary: Kozi zote za msingi zina tathmini ya vitendo kwa maandishi mwishoni mwa muhula wa kwanza, inayochukua saa tano.
8.-(1) Kutakuwepo na tathmini ya vitendo kwa maandishi kwa kozi zote za msingi katika kila mwisho wa muhula wa kwanza. (2) Tathmini ya vitendo kwa maandishi itafanyika kwa muda wa saa tano. (3) Katika muda wa saa tano zilizorejewa kwenye aya ndogo ya (2) mwanafunzi atatakiwa kufanya utafiti na kujibu mtihani huo. (4) Mwanafunzi atatumia nyenzo zilizoruhusiwa wakati wa mtihani. (5) Baada ya saa tano za kufanya tathmini, mwanafunzi atakusanya karatasi ya maswali pamoja na kitabu cha majibu ya mtihani. Mtihani wa mwisho - 9 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na mtihani wa mwisho kwa kozi
AI-assisted research summary: Final examinations are required for both basic and non-basic courses, with different timing and format rules for basic courses.
9.-(1) Kutakuwa na mtihani wa mwisho kwa kozi za msingi na zisizo za msingi. (2) Mtihani wa mwisho kwa kozi zisizo za msingi utafanyika mwisho wa muhula wa kwanza na kwa kozi za 6 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) msingi utafanyika mwisho wa muhula wa pili. (3) Mtihani wa mwisho wa kozi za msingi utajumuisha- (a) mtihani wa kuandika ambao utafanyika kwa muda usiozidi saa tatu; na (b) mtihani wa mahojiano utakaofanyika kwa muda usiopungua dakika ishirini. (4) Mtihani wa mahojiano utaendeshwa na jopo la watahini watatu ambao watajumuisha watahini wa ndani na wa nje. (5) Maswali ya mtihani wa mahojiano yatajikita katika maeneo ya sheria kwa vitendo kama ilivyo katika mtaala. (6) Wakati wa mtihani wa mahojiano mwanafunzi atatathminiwa kwa namna alivyovaa, usahihi wa jibu analotoa, sauti na utulivu wakati wa kujibu maswali. SEHEMU YA NNE TARATIBU ZA KUFANYA MTIHANI Msimamizi wa mtihani
Part
JEDWALI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section is a form for recording basic initial details such as name, registration number, sex, mobile phone, email, and supervisor name.
1. MAELEZO YA AWALI i. ii. iii. iv. v. JINA:…………………………………………………………………………… NAMBA YA USAJILI: ………………………………………………………… JINSI: ……………………………………………………………………….. SIMU YA MKONONI.: …………………………………………………… BARUA PEPE:……………………………………………………………… vi. JINA LA MSIMAMIZI:……………………………………………………. - 2 Verify source ↗
MAKOSA YA KUKIUKA TARATIBU ZA MITIHANI
AI-assisted research summary: This section is a form for recording an exam misconduct case, with spaces for the offense, student signature, invigilator signature, and date.
2. MAKOSA YA KUKIUKA TARATIBU ZA MITIHANI Kosa:……………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………… Saini ya mwanafunzi:…………………………………………………………………… Saini ya msimamizi:………………………………………………………………………. Tarehe:…………………………………………………………………………………… Kosa:……………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………… Saini ya mwanafunzi:……………………………………………………………………… Saini ya msimamizi:……………………………………………………………………. Tarehe:…………………………………………………………………………………….. 18 Sheria Ndogo Za Mitihani Na Rufaa Za Shule ya Sheria kwa Vitendo Tangazo la Serikali Na.621 (Linaendelea.) - 3 Verify source ↗
VIELELEZO VYA MAKOSA YA UDANGANYIFU
AI-assisted research summary: Section heading: “Vielelezo vya makosa ya udanganyifu” (examples of fraud offences).
3. VIELELEZO VYA MAKOSA YA UDANGANYIFU Nyenzo:…………………………………………………………………………………… Alama ya utambulishi wa nyenzo:……………………………………………………….. Saini ya mwanafunzi:………………………………………………………………………. Saini ya msimamizi:……………………………………………………………………….. Tarehe:……………………………………………………………………………………… Dar es Salaam, 8 Julai, 2024 KENNEDY G. GASTORN, Mwenyekiti wa Bodi NIMEIDHINISHA, Dodoma, 11 Julai, 2024 PINDI H. CHANA, Minister for Constitutional and Legal Affairs 19
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO ZA MITIHANI NA RUFAA ZA SHULE YA SHERIA KWA VITENDO ZA MWAKA 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in