Sheria Ndogo za Ushuru wa Mabango na Matangazo za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi za Mwaka 2017
Sehemu hii inaweka jina la sheria ndogo, eneo lake la matumizi, na ufafanuzi wa maneno muhimu kuhusu mabango, matangazo, kibali, na ada ya matangazo.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za Ushuru wa Mabango na Matangazo za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi za Mwaka 2017
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Sehemu hii inaweka jina la sheria ndogo, eneo lake la matumizi, na ufafanuzi wa maneno muhimu kuhusu mabango, matangazo, kibali, na ada ya matangazo. Before putting up or advertising an advert, a person, company, or institution must seek council approval and pay the application fee. Vibali vya matangazo ya maeneo maalum hutumika kwa muda ulioandikwa kwenye kibali, na Halmashauri huweka na kudhibiti maeneo maalum ya mabango na matangazo. Halmashauri inaweza kuagiza mmiliki wa bango au tangazo aliondoe ikiwa kibali kimeisha, masharti yamekiukwa, ada hazijalipwa, au bango limechakaa; akishindwa, Halmashauri inaweza kuliondoa na kumdai gharama. Halmashauri inaweza kuamua kutoa msamaha wa ushuru wa matangazo kwa baadhi ya taasisi na mabango fulani.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za Ushuru wa Mabango na Matangazo za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi za Mwaka 2017
Showing 27 of 27
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka jina la sheria ndogo, eneo lake la matumizi, na ufafanuzi wa maneno muhimu kuhusu mabango, matangazo, kibali, na ada ya matangazo.
3. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za (Ushuru wa Mabango na Matangazo) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi za Mwaka 2017 na zitaanza kutumika mara baada ya kutangazwa kwenye Gazeti la Serikali. Sheria Ndogo hizi na zitatumika katika eneo lote la mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi. Sheria Ndogo Katika itakapoelekezwa vinginevyo- hizi isipokuwa pale 1 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Mabango na Matangazo) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.20 (Linaendelea) “Ada ya matangazo” maana yake ni tozo kwa mwombaji wa kibali kwa ajili ya kuruhusiwa kuweka bango au kutoa tangazo; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; “Bango la tangazo” maana kitu kilichotengenezwa au kujengwa kwa kutumia kifaa chochote kwa ajili ya kutolea au kuweka tangazo ambacho ukubwa wake utapimwa kwa futi za mraba; yake ni “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi; “Kibali” maana yake ni idhini ya maandishi itakayotolewa na Halmashauri ili kuruhusu kujenga au kuweka bango au kutoa matangazo ambayo itadumu kwa kadri ya muda utakavyoelekezwa na Halmashauri; “Maeneo maalum” maana yake ni maeneo yote yaliyotengwa kwa ajili ya Ofisi za Serikali, Taasisi au Mashirika ya umma, Mahakama, Hospitali na Vituo vya afya, Kambi za Jeshi na Polisi au maeneo mengine yanayohitaji utulivu wakati wote au maeneo mengine ambayo Halmashauri itaona inafaa kwa nyakati tofauti; “Matangazo” maana yake ni taarifa zitakazotolewa kwa njia ya vipaza sauti, maandishi, picha au michoro itakayochorwa au kuandikwa au kubandikwa katika vibao, ukuta wa nyumba, vitambaa, kwenye gari au chombo chochote kwa madhumuni ya kunadi biashara, huduma au bidhaa” “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa 2 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Mabango na Matangazo) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.20 (Linaendelea) Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi au Afisa yeyote wa umma atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “Wakala” maana yake ni Taasisi, Kampuni au Asasi yoyote iliyoteuliwa kisheria na Halmashauri kukusanya mapato kwa niaba ya Halmashauri. Ushuru wa Matangazo Kibali cha matangazo - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Before putting up or advertising an advert, a person, company, or institution must seek council approval and pay the application fee.
5. itatoza wa matangazo Halmashauri ya yatakayotangazwa Halmashauri kwa mujibu wa viwango vilivyotajwa kwenye Jedwali la kwanza la Sheria Ndogo hizi. Ushuru eneo la mamlaka katika (1) Mtu yeyote, Kampuni au Taasisi kabla ya kuweka au kutangaza tangazo lolote atawajibika kuomba idhini kutoka kwa Halmashauri ambapo atajaza fomu maalum na atalipia ada ya maombi hayo; (2) Halmashauri inaweza kukubali au kukataa maombi ya kuweka au kutangaza tangazo baada ya kujiridhisha kuwa tangazo hilo lina maudhui ambayo ni kinyume cha maadili au linavunja matakwa ya Sheria yoyote ya Nchi; (3) Endapo Halmashauri itakataa maombi ya kuweka au kutangaza tangazo kutokana sababu zilizotajwa kwenye kifungu kidogo cha juu, itamtaarifu kwa maandishi Mwombaji ikimweleza sababu za kukataa maombi hayo na kumpa nafasi ya kurekebisha Tangazo lake; (2) hapo (4) Kabla ya kutoa idhini ya kutangaza, Halmashauri itajiridhisha- (a) aina ya tangazo; (b) vipimo vya ukubwa, urefu na upana wa tangazo; (c) mbinu zitakazotumika kutangaza; na 3 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Mabango na Matangazo) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.20 (Linaendelea) (d) Uwepo wa leseni ya biashara na/au usajiri wa biashara. (5) Taarifa zilizowasilishwa kutokana na kifungu kidogo cha (4) hapo juu zitatumika katika kukokotoa viwango vya ada na ushuru ambao Mwombaji atatakiwa kuilipa Halmashauri. Muda wa kibali - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Vibali vya matangazo ya maeneo maalum hutumika kwa muda ulioandikwa kwenye kibali, na Halmashauri huweka na kudhibiti maeneo maalum ya mabango na matangazo.
8. Maeneo ya kutangaza Udhibiti katika maeneo maalum (1) Kibali kitakachotolewa chini ya Sheria ndogo hizi kitatumika kwa mujibu wa muda utakaotajwa katika kibali husika, na endapo kibali kitapitwa na wakati kutokana na muda wake kuisha basi Mwombaji anaweza kuomba kibali kingine; (2) Vibali vyote vitatolewa na kusainiwa na Mkurugenzi au Afisa yeyote atakayeteuliwa na Halmashauri. Halmashauri itatenga maeneo maalum kwa ajili ya kuweka mabango na kutangaza tangazo na kuainisha maeneo hayo katika kibali cha Mwombaji. Halmashauri itadhibiti kwa kuzuia uwekaji mabango au kufanya matangazo katika maeneo ya maalum ili kuepusha bughudha au kero kwa Watumiaji wa maeneo hayo. Kuondoa Bango au Tangazo - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuagiza mmiliki wa bango au tangazo aliondoe ikiwa kibali kimeisha, masharti yamekiukwa, ada hazijalipwa, au bango limechakaa; akishindwa, Halmashauri inaweza kuliondoa na kumdai gharama.
9. (1) Halmashauri inaweza kumtaka Mmiliki wa bango au tangazo kuondoa tangazo au bango husika endapo- (a) muda wa kibali cha kutangaza umeisha; (b) Mmiliki amekiuka masharti yaliyotajwa katika kifungu kidogo cha 5(2); (c) Mmiliki ameshindwa kulipia ada na ushuru wa bango au tangazo husika; (d) bango au tangazo limechakaa na kuharibu 4 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Mabango na Matangazo) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.20 (Linaendelea) mandhari ya Halmashauri; au (e) kwa sababu nyingine yoyote itakayoelezwa na Halmashauri. (2) Endapo Mmiliki atashindwa kutekeleza matakwa ya kifungu kidogo cha (1) hapo juu, Halmashauri kwa taarifa au bila taarifa italiondoa bango au tangazo husika na inaweza kumdai Mmiliki wa bango au tangazo gharama iliyoingia katika kuondoa bango au tangazo hilo. (3) Ni wajibu wa Mmiliki wa tangazo au bango lolote litakaloondolewa kutokana na ilani iliyotolewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi, kuhakikisha jengo au eneo ambalo tangazo lake liliwekwa linabakia katika hali nzuri na salama . Msamaha - 10 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kutoa msamaha wa kulipa ushuru
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuamua kutoa msamaha wa ushuru wa matangazo kwa baadhi ya taasisi na mabango fulani.
10. Halmashauri inaweza kutoa msamaha wa kulipa ushuru wa matangazo kwa Taasisi na Idara za Serikali, Taasisi za kidini, mabango yanayohusu za usalama barabarani, au mabango au matangazo mengine kwa kadri itakavyoelekezwa na Halmashauri. alama Marufuku - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: This section prohibits putting up or advertising notices without council approval, placing signs in prohibited places, and placing signs that hide road signs or block visibility at intersections, corners, roundabouts, or on roads.
11. (1) Itakuwa ni marufuku - (a) kuweka au kutangaza tangazo bila idhini ya Halmashauri; (b) kuweka mabango katika maeneo yasiyoruhusiwa; (c) kuweka mabango ya aina yoyote itakayoficha au kuzuia au kusababisha alama za barabarani kutoonekana; au (d) kuweka tangazo kwenye makutano ya barabara, kona, au mzunguko wa barabara ambalo litazuia muonekano wa Barabara. 5 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Mabango na Matangazo) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.20 (Linaendelea) Ilani - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: A notice or information issued by the Halmashauri is treated as received when it is received by the person concerned or by certain people at the person’s home or office, or when sent by post, email, or fax to the owner’s address on the Halmashauri’s records.
12. Ilani au Taarifa yoyote itakayotolewa na Halmashauri itaonekana imemfikia Mhusika endapo itapokelewa na Mhusika mwenyewe, Mtu yeyote anayeishi kwenye nyumba ya Mhusika wa tangazo au Msaidizi wake, Mtu yeyote aliye ajiriwa katika ofisi ya Mhusika, au imetumwa kwa njia ya posta, barua pepe, nukushi katika anwani ya mmiliki iliyopo katika kumbukumbu za Halmashauri. Ukaguzi Makosa na Adhabu Kufifilisha kosa - 13 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kufanya ukaguzi wa mara kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri may carry out periodic inspections to confirm compliance with these by-laws.
13. Halmashauri inaweza kufanya ukaguzi wa mara kwa mara ili kujiridhisha na utekelezwaji wa Sheria Ndogo hizi. - 14 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayekwenda kinyume cha Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: Anyone who acts contrary to these by-laws commits an offence and, if convicted, may be fined up to 50,000 shillings, jailed up to 12 months, or both.
14. Mtu yeyote atakayekwenda kinyume cha Sheria Ndogo hizi atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyozidi Shilingi Elfu hamsini (50,000/=), au kifungo kisichozidi miezi kumi na miwili (12) au vyote viwili kwa pamoja yaani faini na kifungo. - 15 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtoza Mtu yeyote faini ya
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote faini ya shilingi 50,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa maandishi, anakubali kulipa faini, na kutimiza wajibu wa kulipa ushuru.
15. Mkurugenzi anaweza kumtoza Mtu yeyote faini ya shilingi elfu hamsini (50,000/=) iwapo Mkosaji kwa hiari yake mwenyewe atakiri kosa kwa maandishi na kukubali kulipa faini na kutekeleza wajibu wake wa kulipa ushuru. JEDWALI LA KWANZA ADA YA MABANGO NA MATANGAZO (limetungwa chini ya kifungu cha 4) Na.
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section lists annual advertising fee rates for different kinds of advertisements.
5. Aina ya Tangazo Maombi ya kuweka matangazo Matangazo yanayong’aa (kwa Mwaka), Matangazo yasiyong’aa (kwa Mwaka), Matangazo kwenye kuta za Nyumba (yanayong’aa (kwa Mwaka), Matangazo kwenye kuta za Nyumba yasiyong’aa (kwa Mwaka), 6 Kiwango cha Ushuru (kwa mwaka) 3,000/= kwa kila ombi 5,000/= kwa futi ya mraba 3,000/= kwa futi ya mraba 2,500/= kwa futi ya mraba 2,000/= kwa futi ya mraba Sheria Ndogo za (Ushuru wa Mabango na Matangazo) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.20 (Linaendelea) - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: The text lists fees for certain advertisement types, including weekly, permit-based, and per-square-foot charges.
8. Tangazo kwa kutumia Kitambaa Matangazo ya vipaza Sauti/ Magari na Promosheni Tangazo la umeme (trivision) 25,000/= kwa Wiki 50,000/= kwa kibali 15,000/ kwa futi mraba JEDWALI LA PILI FOMU YA MAOMBI YA KIBALI (Chini ya kifungu cha 5(1) SEHEMU YA KWANZA (Taarifa za Mwombaji)
Part
SEHEMU YA KWANZA (Taarifa za Mwombaji)
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This line is for entering the applicant/company name.
1. Jina la Mwombaji/ Kampuni: ……………..………………………………. - 5 Verify source ↗
Muda wa Bango/Tangazo
AI-assisted research summary: This section is titled “Muda wa Bango/Tangazo” (time period for a sign/announcement), but it does not provide the rule text here.
5. Muda wa Bango/Tangazo :…………………………………………….. - 7 Verify source ↗
Ada ya kibali Sh. …………………
AI-assisted research summary: The provision sets a permit fee in Tanzanian shillings, but the amount is not shown in the text provided.
7. Ada ya kibali Sh. …………………............ - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha eneo linalokusudiwa kuweka bango au tangazo.
4. ………………….…………………… Eneo analokusudia kuweka Bango/Tangazo ……………………………………………. - 6 Verify source ↗
Ukubwa wa Tangazo
AI-assisted research summary: Fomu inaonyesha kipengele cha “Ukubwa wa Tangazo” na nafasi ya “Stakabadhi ya malipo”, bila kuonyesha kanuni ya kiutendaji.
6. Ukubwa wa Tangazo: ………………………………………… … Stakabadhi ya malipo: ……………………… - 10 Verify source ↗
Muonekano wa tangazo
AI-assisted research summary: This section is about the appearance of an advertisement and asks the relevant choice to be marked.
10. Muonekano wa tangazo ……………………………………………… Lenye mng’aro/ lisilo na mng’aa (weka alama ya tiki kwa inayohusika) - 12 Verify source ↗
Tarehe: ……………………………………
AI-assisted research summary: Section 12 is a blank date line for office use.
12. Tarehe: …………………………………….. SEHEMU YA PILI (Kwa Matumizi ya Ofisi)
Part
SEHEMU YA PILI (Kwa Matumizi ya Ofisi)
- 1 Verify source ↗
Maombi Na.……………..…….……… 2. Ada ya kibali Sh:. …………
AI-assisted research summary: This line lists an application number and a permit fee field.
1. Maombi Na.……………..…….……… 2. Ada ya kibali Sh:. …………............ - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section is a permit form for a billboard/advertisement and includes a place for the authorized officer to accept or رفض it and state reasons.
4. Tarehe:………………………………….. Maoni ya Afisa Mwidhiniwa: - *Nakubali/Sikubali (weka alama ya tiki kwa inayohusika) Sababu:…………………………………………………………………………………………… Jina: ………………………… Saini: ………………………………… Tarehe: ……………………… 7 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Mabango na Matangazo) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.20 (Linaendelea) JEDWALI LA TATU KIBALI CHA BANGO/TANGAZO (Limetungwa chini ya kifungu cha 6(2) SEHEMU YA KWANZA: (Taarifa ya Mwenye Kibali)
Part
SEHEMU YA KWANZA: (Taarifa ya Mwenye Kibali)
- 7 Verify source ↗
Ukubwa wa Bango/Tangazo;…………
AI-assisted research summary: Section heading on banner/advertisement size and permit conditions.
7. Ukubwa wa Bango/Tangazo;………… SEHEMU YA PILI: (Masharti ya kibali)-
Part
SEHEMU YA PILI: (Masharti ya kibali)-
- 1 Verify source ↗
……………………………………………………………………………………………
AI-assisted research summary: 1. …………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………
1. …………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………… - 2 Verify source ↗
……………………………………………………………………………………………
AI-assisted research summary: Section 2 is not legible in the provided text.
2. …………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………… - 3 Verify source ↗
……………………………………………………………………………………………
AI-assisted research summary: 3. …………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………
3. …………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………… - 4 Verify source ↗
……………………………………………………………………………………………
AI-assisted research summary: Fomu hii inaonyesha kwamba Halmashauri inaweza kuridhia matumizi ya kibali, na mtu anayekiri kosa anaweza kukubali kulipa faini iliyoainishwa ikiwa Mkurugenzi atatumia madaraka ya kifungu cha 15.
4. …………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………… Pamoja na masharti yaliyotajwa hapo juu, Halmshauri imeridhia Kibali hiki kitumike kuanzia Tarehe …………. Mwezi ………… Mwaka 20…. na ukomo wake wa kutumika ni Tarehe ………………… Mwezi ……. mwaka 20….. Kibali hiki kimetolewa leo, Tarehe ……… Mwezi ………. Mwaka 20……… na:- Jina kamili: ………………………………………………….……………… Cheo: …………………………….………….Saini: …………..……………. 8 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Mabango na Matangazo) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.20 (Linaendelea) JEDWALI LA NNE FOMU YA KUFIFILISHA KOSA (Chini ya kifungu cha 15) Mimi …………………………… wa S.L.P. …………, …………………………………. Nimekiri kwa hiari yangu mwenyewe kuwa nimetenda kosa la ………………………… katika Eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, kosa ambalo ni kinyume na na kifungu cha ……………… cha Sheria ya Ndogo za (Ushuru wa Matangazo) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi za Mwaka 2016. Kwa hiyo, Kwa hiari yangu mwenyewe pasipo kushawishiwa na mtu yeyote nakubali kulipa faini iliyoainishwa kwenye Sheria Ndogo hizi iwapo Mkurugenzi atatekeleza madaraka aliyopewa chini ya Kifungu cha 15 cha Sheria Ndogo hizi. Saini:………………………………………………... Mbele yangu:- Jina:……………………………………………. Saini:…………………………………………… Wadhifa: ……………………………………… Nembo ya halmashauri ya Wilaya ya Malinyi imebandikwa kwenye Sheria ndogo hizi kufuatia azimio la Halmashauri iliyotolewa katika kikao kilichofanyika tarehe
Part
JEDWALI LA NNE
- 23 Verify source ↗
04.2016 na ilibandikwa mbele ya
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha kutiwa saini na kukubaliwa kwa waraka huu na majina na tarehe zilizoorodheshwa.
23.04.2016 na ilibandikwa mbele ya:- SAID ALLY MSOMOKA, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi. FADHILI NASSORO LIGUGUDA, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi. NAKUBALI, Dodoma, 09Januari, 2017 GEORGE B. SIMBACHAWENE (MB) Waziri wanchi-or-Tamisemi. 9
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za Ushuru wa Mabango na Matangazo za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi za Mwaka 2017
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in