Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Malinyi za Mwaka 2017
This section gives the by-laws their name and says they start operating after being published in the Government Gazette.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Malinyi za Mwaka 2017
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the by-laws their name and says they start operating after being published in the Government Gazette. These by-laws apply throughout the Malinyi Council area. This section defines several terms used in the bylaw, including council officials, residents, farmers, crops, livestock, fishing terms, water sources, irrigation schemes, and illegal tools. Halmashauri ina wajibu wa kuhamasisha na kuratibu maendeleo ya kilimo katika maeneo yake. Serikali ya kijiji lazima itenge ardhi kwa kilimo na mifugo, na pamoja na uongozi wa kitongoji ihakikishe wakazi wanapata ardhi ya kutosha, wanajitosheleza kwa chakula, na wakazi wenye masharti yaliyotajwa walime mazao ya chakula na biashara.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Malinyi za Mwaka 2017
Showing 13 of 13
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitaitwa Sheria Ndogo za (Kilimo na
AI-assisted research summary: This section gives the by-laws their name and says they start operating after being published in the Government Gazette.
1. Sheria Ndogo hizi zitaitwa Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Malinyi za Mwaka 2017 na zitaanza kutumika baada ya kutangazwa kwenye Gazeti la Serikali. Matumizi Tafsiri - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: These by-laws apply throughout the Malinyi Council area.
2. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Malinyi - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa itakapohitajika
AI-assisted research summary: This section defines several terms used in the bylaw, including council officials, residents, farmers, crops, livestock, fishing terms, water sources, irrigation schemes, and illegal tools.
3. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa itakapohitajika vinginevyo- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri atakayeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; “Afisa Ugani” maana yake ni mtaalamu wa kilimo, mifugo Uvuvi na Nyuki katika ngazi za vijiji, mitaa na kata; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Malinyi; "Kilimo" maana yake ni shughuli yeyote ya uzalishaji mali inayofanywa na binadamu na itajumuisha kilimo cha mazao, ufugaji wa wanyama hai,samaki, nyuki na samaki; 1 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) “Maji ya asili” maana yake ni bahari, maziwa, mabwawa ya asili, mito pamoja na mabwawa yasiyo ya asili ambayo uvuvi wa umma unafanyika; “Mazao” maana yake ni Mazao yote yanayolimwa ndani ya Halmashauri; “Mifugo” maana yake ni utunzaji wa wanyama hai ufanywao yote na binadamu na utajumuisha nyuki na samaki; “Mfugaji” maana yake ni mtu yeyote anayejishughulisha na ufugaji wa mifugo katika eneo la Halmashauri; “Mkazi” maana yake ni Mtu yeyote ambaye kwa kawaida anaishi kwenye eneo la Halmashauri kwa muda mfupi au kudumu ama ana Kaya au anaishi katika Kaya au Taasisi iliyopo katika eneo la Halmashauri na haitamhusu mtu yeyote mwenye umri chini ya miaka 18, asiyejiweza kutokana na ulemavu, kuugua au uzee na Mwanafunzi aliyeko masomoni muda wote. “Mkulima” maana yake ni mtu yeyote anayejishughulisha na uzalishaji au kilimo cha mazao ya chakula, biashara na matunda; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri pamoja na Afisa yeyote wa umma atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “Skimu za Umwagiliaji” maana yake ni miundombinu ya miradi ya maji ambayo imeanzishwa na Serikali au Halmashauri na kuwapa wananchi ili kuendeleza kilimo cha umwagiliaji; “Uvuvi haramu” maana yake ni uvuvi unaotumia zana zisizokubalika katika uvuvi kama mabomu, sumu, makokoro, mikuki na vyandarua; “Uvuvi holela” maana yake ni uvuvi usio na leseni wala kibali cha Halmashauri; “Vyanzo vya Maji” maana yake ni mito, vijito, maji 2 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) yanayotiririka, visima, mabwawa, mifereji, maziwa, chemi chemi au ardhi oevu; “Wagani kazi” maana yake ni wananchi ambao wamepata mafunzo ya ugani nje ya vyuo ili kufanya kazi za maafisa ugani pale ambapo hawapo. “Zana haramu” maana yake ni vyandarua, mabomu, sumu, makokoro, nyavu zisizokubalika kitaalam pamoja na mikuki. SEHEMU YA PILI KILIMO CHA MAZAO Wajibu wa Halmashauri
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Halmashauri ina wajibu wa kuhamasisha na kuratibu maendeleo ya kilimo katika maeneo yake.
4. Katika kuhamasisha shughuli za Kilimo chenye manufaa Halmashauri itakuwa na wajibu wa;- (a) kuhakikisha viongozi wa Serikali, vyama vya siasa na wadau wengine wanashiriki ipasavyo katika kuendeleza sekta ya kilimo katika Halmashauri; (b) kuunda vikundi vinavyohamasisha kilimo cha kisasa; vya sanaa (c) kuweka mabango kwenye kila kijiji yanayoeleza kanuni bora za kilimo yanayopaswa kuzingatiwa na mkulima kwa mazao yanayolimwa kwenye eneo hilo (i) kuanzisha mashamba darasa ya mfano katika kila kijiji (ii) kuhakikisha upatikanaji rahisi na kwa wakati wa pembejeo za kilimo (d) kutekeleza mipango ya msimu wa kilimo unaofuata mara baada ya mwisho wa msimu; (e) kuhakikisha upatikanaji wa maafisa 3 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) ugani katika kila kijiji; (f) Kuhamasisha uanzishwaji wa vyama vya wakulima vya kuweka na kukopa kwa lengo la kujipatia mikopo ya benki. (g) kuanzisha vya kufundishia wanyama kazi vituo kukuzia na (h) kuanzisha vituo maalum kwa ajili ya kutolea mafunzo ya utumiaji na utunzaji wa zana bora za kilimo; (i) kuhamasisha matumizi ya wanyama kazi katika maeneo ambayo wafugaji hujishughulisha pia na kilimo cha mazao; (j) kushindanisha wakulima bora na maafisa ugani bora katika vijiji,kata na hatimaye Halmashauri; (k) kuanzisha mfumo wa stakabadhi ya mazao (l) kuainisha matumizi bora ya ardhi galani ili kubainisha na kutofautisha ardhi ya mifugo,kilimo na hifadhi ; (m) kusimamia upatikanaji wa mbolea na pembejeo nyingine za kilimo; (n) kusimamia upatikanaji, maadili na mwenendo wa mawakala wa mbolea na pembejeo za kilimo; (o) kuhamasisha Serikali za vijiji na wananchi kwa ujumla kujenga maghala ya chakula ya vijiji; Wajibu wa serikali ya kijiji - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Serikali ya kijiji lazima itenge ardhi kwa kilimo na mifugo, na pamoja na uongozi wa kitongoji ihakikishe wakazi wanapata ardhi ya kutosha, wanajitosheleza kwa chakula, na wakazi wenye masharti yaliyotajwa walime mazao ya chakula na biashara.
5. (1) Serikali ya kijiji itatenga ardhi kwa ajili ya kilimo na malisho ya mifugo, maeneo ya ufugaji wa nyuki na mabwawa ya kufugia samaki; 4 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) (2) (3) (4) Serikali ya kijiji kwa kushirikiana na uongozi wa kitongoji itahakikisha kuwa kila mkazi anapata ardhi ya kutosha kwa ajili yakutekeleza kauli mbiu ya kilimo kwanza; Serikali ya kijiji kwa kushirikiana na uongozi wa kitongoji itakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwa kila mkazi wa kijiji anajitosheleza kwa chakula; Kila mkazi katika eneo la kijiji anayemiliki ardhi ya kilimo chini ya sheria yeyote ile na mwenye uwezo wa kufanya kazi, atatakiwa kulima mazao ya chakula na biashara. Wajibu wa Afisa muidhiniwa - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Afisa mwidhiniwa lazima ahakikishe kila mkulima anafanya kazi za shamba kwa wakati na kwa njia iliyotajwa.
6. Afisa mwidhiniwa atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kwamba kila mkulima;- (a) anaandaa mashamba kwa wakati; (b) anapanda mbegu kwa mstari; (c) anazingatia nafasi inayotakiwa kitaalam; (d) anaweka mbolea kwa viwango na kwa wakati; (e) anapalilia kwa wakati palizi mbili au zaidi; Hifadhi ya mazao - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Residents who farm land in the council area must harvest crops when they are ripe, store food cleanly and safely, keep enough food for at least one year, and each household must have a food store.
7. (1) Kila mkazi atakayelima shamba katika eneo la Halmashauri atatakiwa kuvuna mazao yake pindi yakishakomaa na kuyahifadhi katika njia ya usafi ili kutunza ubora wake na kuhifadhi katika njia ya usalama (2) Itakuwa ni jukumu la kila mkazi hususani mkuu wa kaya kuhakikisha kuwa anahifadhi chakula cha kutosha yeye na familia yake kwa angalau mwaka mmoja au zaidi. (3) Litakuwa ni jukumu la kila kaya kuwa na ghala la kuhifadhia chakula ambalo litapaswa kuwa katika 5 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) Wajibu wa kulima - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Mkazi anayemiliki au kupewa shamba lazima alilime, alitunze na alikuze kulingana na maelekezo ya kitaalamu ya Afisa Ugani.
8. hali ya usalama na lisiwe na uwezekano wowote wa kuruhusu wadudu kama vile dumuzi, panya au wadudu wengine wanaoweza kusababisha uharibifu wa chakula hicho Kila mkazi anayemiliki au atakayemilikishwa shamba kwa mujibu wa kifungu kidogo cha 5(1) cha Sheria Ndogo hizi atawajibika kulilima, kulitunza na kuendeleza shamba lake kwa mujibu wa maelezo ya kitaalamu atakayopewa na Afisa Ugani. Wajibu wa Mkulima - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Farmers must carry out several crop-management duties, and each extension officer must provide an annual agricultural programme based on weather conditions.
9. (1) Bila kuathiri kifungu kidogo cha 8(1) cha Sheria Ndogo hizi itakuwa ni wajibu wa kila Mkulima:- (a) (b) (c) (d) (e) kupalilia shamba kabla ya wakati isipokuwa kama wa mavuno itaelezwa vinginevyo; kutumia mbolea kwa mujibu wa maelekezo ya Wataalm wa Kilimo; itakayokuwa kutoa taarifa kwa Halmashauri inafaa kwa njia kuhusu kuwepo kwa ugonjwa wa mazao au kuwepo kwa wadudu waharibifu; maelezo pembejeo kwa kutumia kuzingatia ya kitaalamu kila mwaka isipokuwa kama itaelekezwa vinginevyo na Afisa Ugani; kuchukua hatua za kuangamiza wadudu waharibifu au kutibu magonjwa kama atakavyokuwa ameelekezwa na Afisa Ugani. (2) Kila Afisa Ugani atawajibika kutoa programu ya kilimo ya mwaka kulingana na hali ya hewa; 6 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) Ukaguzi - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: The provision gives an authorized officer inspection and enforcement powers, requires certain recordkeeping and farm-visit planning, and makes several crop-storage and cultivation failures offences.
12. (a) programu hiyo itazingatia aina ya mazao kwa msimu; (b) aina ya mbegu kwa msimu husika; (c) namna na wakati wa kupanda Afisa mwidhiniwa akishirikiana na Afisa Ugani;- (a) ataweza wakati wowote wa saa za kazi kuingia kwenye eneo la kilimo au katika shamba kwa madhumuni ya kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; (b) ataweza kuingia katika kaya yoyote ili kukagua ghala la chakula kuona kama taratibu chakula za zinazingatiwa; kuhifadhi (c) ataweza kumchukulia hatua za kisheria mtu yeyote atakayevunja Sheria Ndogo hizi; (d) atatakiwa kuwa na daftari linaloonyesha idadi kamili ya wakazi na idadi ya ekari zao za kilimo; (e) atapanga ratiba ya kutembelea mashamba ya wakazi kama ili wanatekeleza wajibu wa kulima na kutunza mashamba kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; kujionea Kila Afisa Mtendaji wa kata au Kijiji atawajibika kutunza kumbukumbu za mashamba yote ya mazao yaliyomo katika Kata au Kijiji chake na atasimamia moja kwa moja utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi. Itakuwa ni kosa chini ya Sheria Ndogo hizi kwa mtu yeyote; (a) anayemiliki ardhi ya kilimo kushindwa au kukataa au kukataza shamba hilo kulima mazao ya chakula,biashara au matunda; 7 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) (b) kutotunza shamba; (c) kutovuna mazao yaliyoko shambani ambayo yamefikia wakati wa kuvunwa; (d) kutokuwa na ghala la kuhifadhia mazao na kulitumia; (e) kutohifadhi chakula cha kutosha; (f) kuuza mazao bila kuweka akiba ya mwaka mzima au zaidi; (g) kuuza mazao yakiwa shambani; SEHEMU YA TATU UFUGAJI WA KISASA Wajibu wa Halmashauri 13 Ili kuendeleza ufugaji bora na wa kisasa Halmashauri zitakuwa na majukumu yafuatayo;- (a) kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi ili kutenga maeneo ya wakulima, wafugaji na maeneo ya hifadhi; (b) kuhakikisha upatikanaji wa maafisa ugani; (c) kuhakikisha upatikanaji wa madawa ya mifugo na chanjo za mifugo; (d) kuhakikisha uwepo wa majosho katika kila kijiji au kitongoji kwa kushirikisha nguvu za wananchi; (e) kuanzisha kamati za majosho kwenye kila kijiji au kitongoji ambapo majosho hayo yameanzishwa. (f) kuhakikisha upatikanaji wa masoko ya mifugo hai na nyama; (g) kuanzisha minada na magulio ya mifugo ndani ya maeneo ya Halmashauri na kuhimiza wafugaji kutumia minada hii ili kuvuna na kupunguza idadi ya mifugo; (h) kuhamasisha wananchi kuanzisha vyama vya ushirika wa wafugaji na vyama vya kuweka na kukopa; (i) kusaidia kuanzisha vituo vya uhawilishaji wa mifugo ili kupata madume bora ya kisasa na mifugo yenye tija; (j) kushindanisha wafugaji vijijini, mitaa na 8 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) kata ili kupata washindi wa mfugaji bora wa mwaka katika mtaa,kijiji na katika kata kwa mwaka; (k) kushindanisha maafisa ugani wote katika vijiji na kata ili kumpata afisa ugani bora katika ngazi za vijiji,mitaa,kata na Halmashauri; (l) kuandaa vigezo vya kuwapata maafisa ugani bora wa mifugo katika vijiji,mtaa na kata; (m) kutoa zawadi za kijiji, mtaa, na kata bora katika ufugaji kwa mwaka; (n) kutoa zawadi kwa mfugaji bora kwa mwaka wa kila kijiji,mtaa,kata na Halmashauri; (o) kutoa zawadi kwa afisa ugani bora wa mwaka kila Halmashauri, kata, mtaa au kijiji; (p) kutoa zawadi kwa shamba darasa la mifugo kwa mwaka; (q) kuhakikisha upatikanaji wa mabwawa ya maji ya kunyweshea mifugo; (r) kuhakikisha upatikanaji rahisi wa soko la ngozi za mifugo; (s) kuhamasisha uwekezaji katika viwanda vidogovidogo vya mazao ya mifugo kama mikanda,pochi,mapambo yatokanayo na ngozi za wanyama na usindikaji wa maziwa,siagi,jabini na mtindi; (t) kuanzisha klabu za wanywaji maziwa katika Halmashauri; (u) kufanya uperembaji wa mara kwa mara juu ya ufugaji wa kisasa ili kujadili mafanikio na udhaifu katika utekelezaji ili kuweza kuboresha au kuimarisha au kurekebisha kosoro zilizojitokeza; (v) kuhamasisha wafugaji wa vijijini kuanzisha mashamba ya mazao ya kilimo ili wanufaike na upatikanaji rahisi wa mbolea ya mboji; (w) kuhamasisha wafugaji kufanya uvunaji 9 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) ili wa mara kwa mara wa mifugo kubakisha idadi ndogo ya mifugo yenye kuleta tija na rahisi kuihudumia; (x) kuanzisha machinjio ya wanyama ambayo ni ya kisasa na salama ili kurahisisha uvunaji wa mifugo kwa njia ya uchinjaji; (y) kuhakikisha udhibiti wa ufugaji wa kuhamahama ili kuhifadhi mazingira. (z) kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii ili kudumisha amani,utulivu na maelewano katika jamii za wakulima na wafugaji; Wajibu wa serikali ya kijiji
Part
SEHEMU YA TATU
- 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: Serikali ya kijiji ikishirikiana na uongozi wa kitongoji lazima ihakikishe mpango wa matumizi bora ya ardhi, malisho ya kutosha kwa wafugaji, ulinzi wa mipaka ya ardhi, udhibiti wa idadi ya mifugo, majosho ya mifugo, na elimu ya ufugaji wa kisasa.
14. Serikali ya kijiji kwa ushirikiano na uongozi wa kitongoji utahakikisha; (a) unaandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi; (b) kila mfugaji anapata ardhi ya kutosha ya malisho ya mifugo; (c) inasimamia na kulinda mipaka ya ardhi ya kilimo na mifugo iliyobainishwa na mpango wa matumizi bora ya ardhi; (d) inatoa au kutaja idadi ya mifugo ambayo kila mfugaji ataruhusiwa kuwa nayo; (e) inasimamia uanzishwaji wa majosho ya mifugo kwa ushirikiano na wafugaji; (f) inahamasisha wafugaji kuvuna mifugo yao mara kwa mara ili kubakisha idadi ya mifugo yeynye kuleta tija; (g) wataalamu wa ugani waliopo katika kijiji wanatoa elimu ya ufugaji wa kisasa ili kupata mifugo bora na mazao bora ya mifugo; - 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa au Afisa Ugani lazima wafuatilie na kusimamia mifugo, na kila mfugaji lazima azingatie masharti ya ufugaji na udhibiti wa magonjwa.
15. Afisa Mwidhiniwa au Afisa Ugani atatakiwa;- (a) kuwa na daftari linaloonyesha kamili ya mifugo kwa kila mfugaji; (b) kuingia katika kaya yoyote ili kukagua idadi aina na idadi ya mifugo; (c) kuhakikisha kuwa mfugaji anachanja na 10 Wajibu wa Afisa Mwidhiniwa Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) kuogesha mifugo yake mara kwa mara ili kuepuka magonjwa ya mifugo; (d) kuhakikisha kuwa mfugaji mwenye mifugo iliyozidi anavuna mifugo hiyo; (e) kutoa taarifa kwa Halmashauri mara anapogundua kuna mlipuko wa magonjwa ambayo yanahitaji msaada kutoka ngazi za juu; (f) Kumchukulia hatua mfugaji yeyote anayekwenda kinyume na masharti ya ufugaji yaliyoainishwa chini ya Sheria Ndogo hizi; kufuga Kila mfugaji atakuwa na wajibu wa;- (a) idadi ya wanyama ambayo haitasababisha usumbufu kwa wadau wengine wa kilimo kama ilivyoidhinishwa kwenye kibali cha Halmashauri; kuchanja mifugo yake kila mara ili kuzuia magonjwa ya mifugo na magonjwa ya mlipuko. kuogesha mifugo yake ili kuihami dhidi ya magonjwa,kupe na mbung’o. kujiunga na vyama vya wafugaji wajasiriamali. taarifa yoyote kutoa juu ya kutokea kwa magonjwa ya mifugo akiyaona au kuhisi au kuyatambua dhidi ya mifugo yake. (a) kulishia au kuchungia mifugo yake katika yaliyotengwa katika mpango wa maeneo matumizi bora ya ardhi ya Halmashauri. (b) kufugia mifugo yake ndani ya banda (zero grazing) kwa idadi ambayo Halmashauri itatoa kibali. kuheshimu mipaka iliyotenganisha ardhi ya kilimo,mifugo,hifadhi za Taifa ,makazi,maeneo ya Taasisi na maeneo mengine ya wadau wa kilimo kama mazao ya wakulima, wafugaji wa 11 Wajibu wa Mfugaji - 16 Verify source ↗
Section 16
AI-assisted research summary: The excerpt sets rules for livestock harvesting, irrigation schemes, and fishing, including permits, fees, inspections, prohibited conduct, and penalties.
16. (1) (2) (3) (4) (5) (6) (7) Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) nyuki, samaki na skimu za umwagiliaji; (8) atashirikiana na maafisa mifugo au maafisa ugani wakati wa tiba au chanjo wakati wa magonjwa ya mlipuko na karantini na kampeni zozote za kitaifa za kudhibiti magonjwa na vifo vya mifugo. (9) (10) atashirikiana na maafisa ugani kuanzisha mashamba darasa na mashamba ya kulishia mifugo ataheshimu masharti ya karantini wakati wa magonjwa ya mlipuko; Uvunaji wa mifugo 17 (1) Kila mfugaji atawajibika kuvuna mifugo yake kila atakapobaini kuwa imevuka idadi iliyoko kwenye kibali kilichotolewa na Halmashauri. (2) Wakati wa uvunaji wa mifugo kila mfugaji ataweza kuuza wanyama hai au kwa kuchinja na kuuza nyama. (3) Kabla ya kuvuna mfugaji atashirikiana na afisa mifugo ili kujiridhisha kwamba wanyama wake hawana maradhi wala magonjwa ya kuambukiza. Makosa 18 Mfugaji yeyote atakuwa ametenda kosa iwapo;- (a) atashindwa kuvuna mifugo iliyozidi idadi iliyoko kwenye kibali kilichotolewa na Halmashauri au; (b) atashindwa au kukataa kuchanja mifugo yake ili kuzuia magonjwa au; (c) atalisha mifugo yake kwenye maeneo ambayo hayakutengwa kwa ajili hiyo au; (d) ataruhusu mifugo yake kuzurura hovyo; au (e) atazembea au kushindwa kutoa taarifa juu ya ugonjwa wa mifugo au; (f) atamzuia Afisa Mwidhiniwa au Afisa Ugani kutekeleza majukumu yake; 12 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) (g) atasafirisha mifugo pasipokuwa na kibali cha Halmashauri; (h) atasafirisha mifugo barabarani; kwa kuiswaga SEHEMU YA NNE SKIMU ZA UMWAGILIAJI Jukumu la Halmashauri 19 (1) (2) (3) itaanzisha Kila Halmashauri za umwagiliaji katika maeneo ya vijiji ambayo upatikanaji wa maji siyo wa shida ili kuchochea kilimo cha umwagiliaji; skimu za umwagiliaji Skimu Halmashauri zitagawiwa kwa wanavijiji kuendeleza kilimo cha umwagiliaji; zilizoanzishwa na ili Halmashauri zitaendelea kutoa utaalam wa ugani na matumizi bora ya skimu hizi ili kuzifanya ziwe endelevu; (4) Miundombinu za umwagiliaji itaendelea kuwa chini ya umiliki wa Halmashauri; kwenye iliyopo skimu (5) (6) (7) Halmashauri itawajibika kufanya ukarabati wa miundombinu katika skimu isipokuwa kwa uzembe makusudi wa uharibifu utakaosababishwa na matumizi mabaya ya skimu; au Halmashauri itagawa skimu kwa wananchi watakaoomba na kuahidi kutunza skimu hizo ili ziwe endelevu; Halmashauri itakuwa na uwezo wa kumfutia kibali mtu yeyote ambaye atathibitika kutumia vibaya skimu au ataharibu au atakodisha kwa mtu mwingine bila ridhaa ya Halmashauri; (8) Halmashauri itashindanisha watumiaji wa skimu 13 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) umwagiliaji kumpata mshindi ili za atakayejulikana kama “mtunzaji na mtumiaji bora wa skimu” mshindi huyo atapewa zawadi na Halmashauri; (9) Halmashauri itatoa leseni ya utumiaji wa skimu na itakuwa na uwezo wa kubatilisha leseni hiyo. Leseni itolewayo na Halmashauri italipiwa kiasi cha shilingi……………kwa mwaka; ada ya utunzaji Fee) (10) Kabla ya kupewa leseni mwombaji atalazimika kulipa (Scheme na Maintanance Halmashauri, ada hiyo italipwa kila mwaka na mwombaji ataruhusiwa kulipa kwa awamu mbili kwa mwaka; skimu itakayopangwa (11) Maafisa wa Halmashauri watakuwa na uwezo wa kuingia kwenye skimu saa yoyote wakati wa saa za kazi ili kufanya ukaguzi; (12) Pasipo kuathiri kifungu cha 19(11) maafisa wa Halmashauri watakuwa na uwezo wa kufanya ukaguzi baada ya saa za kazi na siku za mapumziko au jumamosi na jumapili au siku za sikukuu ili mradi wawe na kibali cha Mkurugenzi; 20 Wajibu wa watumiaji skimu za umwagiliaji Watumiaji wa skimu za umwagiliaji watakuwa na majukumu yafuatayo;- (a) kutunza, kuhifadhi kulinda, na kuheshimu miundombinu iliyoko katika skimu za umwagiliaji; za miundombinu ya skimu kila inapotokea; uharibifu wa taarifa (b) kutoa (c) kulipia leseni na ada za skimu kila mwaka; (d) kujiunga na umoja wa skimu au chama cha watumiaji wa skimu katika skimu ambayo wao ni watumiaji; (e) kufanya ukarabati wa skimu kwa uharibifu ambao umesababishwa na 14 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) uzembe miundombinu ya skimu; au matumizi mabaya ya (f) kulipa fidia ya gharama kwa Halmashauri endapo Halmashauri itafanyia ukarabati uharibifu uliosababishwa na watumiaji au wanachama wa skimu; (g) kuwaruhusu maafisa wa Halmashauri na ushirikiano wakati wowote kukagua kuwapa kuingia wanapotaka miundombinu ya skimu; au (h) kushirikiana na Halmashauri wakati wowote kunapotokea haja ya kuboresha miundombinu ya skimu ili kuongeza ufanisi katika kutoa huduma kwenye skimu;- (i) katika kufanya hivyo watumiaji watatakiwa kuchangia nguvu kazi au fedha taslimu;na (ii) umoja wa watumiaji wa skim rasilimali fedha kutoka utachangia katika akiba yake (j) watumiaji wa skimu za umwagiliaji watabuni vyanzo vya mapato na kuweka taratibu za namna ya kukusanya ili kuwa na hazina ambayo itatumika kama italazimika kufanya hivyo ili kuboresha au kuimarisha miundombinu ya skimu za umwagiliaji; (k) kulinda vyanzo vya maji ambavyo za skimu katika vinaingiza maji umwagiliaji;- (i) katika kufanya hivyo mtu yeyote; hataruhusiwa kuchepusha maji kwa sababu yoyote au kwa namna yoyote bila ruhusa ya Halmashauri; (ii) Hataruhusiwa kupanda miti au 15 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) Barabara za Halmashauri 21 Marufuku ya jumla 22 (1) inaweza mimea yoyote ambayo kusababisha hasara au uharibifu au kuhatarisha miundombinu ya skimu au kupunguza kina cha maji katika skimu. Bila kuathiri majukumu ya Halmashauri yaliyoainishwa katika vifungu vya 4, 13 na 19, Halmashauri itahakikisha kwamba barabara za Halmashauri zinapitika ili kurahisisha usafirishaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo na mazao wakati wa mavuno. Itakuwa ni marufuku kwa mtu yeyote chini ya Sheria Ndogo hizi; (a) kusafisha au kuandaa shamba kwa kuchoma moto; (b) kuchoma moto msitu wa hifadhi; vyanzo (c) kulima katika vya maji,miteremko au misitu ya hifadhi; (d) kuchunga na kunywesha mifugo katika vyanzo vya maji au miteremko au misitu ya hifadhi; (e) kulima kando kando ya barabara au za za hifadhi vijiji,Wilaya,Mikoa au Taifa; barabara (2) (3) (f) kuswaga mifugo barabarani au kuchungia mifugo barabarani au kandokando ya barabara au katika hifadhi ya barabara. Bila kuathiri masharti yaliyopo kwenye kifungu cha 22(1) (a) mtu yeyote anaweza kuruhusiwa kusafisha au kuandaa shamba kwa kuchoma moto baada ya kuomba na kupata kibali maalumu kutoka kwa Halmashauri; itatoa kibali baada ya Afisa Halmashauri Mwidhiniwa kuridhika kwamba taratibu zote za kuzuia moto usilete madhara zimezingatiwa ikiwa ni pamoja na; (a) kutengeneza wigo mpana kati ya shamba litakalochomwa moto na mashamba 16 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) jirani ili moto usivuke au kuenea kwenye mashamba hayo au misitu; (b) kutoa taarifa ya angalau siku saba kabla ya kuchoma moto kwa majirani wanaozunguka shamba hilo; (c) kuwepo kwa taarifa ya angalau siku saba kwa serikali y a kijiji kabla ya kuchoma moto; (4) Kibali kitakachotolewa chini ya Sheria Ndogo hizi kitakuwa cha maandishi na kitaonyesha jina, tarehe, eneo analotaka kuchoma moto na maoni ya Halmashauri. Makosa 23 (1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa iwapo;- (a) ataharibu miundombinu iliyopo kwenye skimu za umwagiliaji; au (b) atashindwa kukarabati miundombinu ya skimu kwa uzembe au matumizi yake mabaya ya miundombinu hiyo; au (c) atashindwa au atakataa kulipia leseni na ada ya skimu; au (d) atachepusha maji kutoka kwenye vyanzo vya maji bila kibali cha Halmashauri au; (2) (e) atapanda miti au mimea inayoweza kusababisha hasara, kuhatarisha au kuharibu miundombinu ya skimu Bila kuathiri maelezo ya kifungu cha 33 endapo kosa alilotenda mtu huyo lilisababisha hasara au uharibifu wa mali ya kijiji au Halmashauri au Serikali au skimu ya umwagiliaji au mali ya mtu binafsi; ataamriwa kufanya matengenezo au kulipa fidia ya matengenezo na akishindwa atahukumiwa kifungo cha miezi kumi na miwili jela. 17 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) Ufugaji 24 Jukumu la Halmashauri 25 Jukumu la serikali ya kijiji 26 SEHEMU YA TANO UFUGAJI WA SAMAKI NA UVUVI A.UFUGAJI WA SAMAKI Kila Halmashauri nchini kulingana na jiografia yake,sayansi ya udongo wake,upatikanaji wa maji na mvua itakua na wajibu wa kuhamasisha, kuanzisha na kusimamia ufugaji wa samaki wa kisasa katika eneo lake Ili kutekeleza mahitaji ya kifungu cha 25 cha Sheria Ndogo hizi itakuwa ni jukumu la kila Halmashauri kote nchini kuhakikisha kwamba; (a) inahamasisha wananchi juu ya uanzishaji wa kilimo cha ufugaji wa samaki; (b) inaanzisha mabwawa ya mfano ya samaki katika kila kata; (c) inawezesha upatikanaji wa maafisa ugani wa uvuvi kwenye kata na vijij; (d) vifaranga vya samaki vinapatikana ili kupandikizwa katika mabwawa ya wananchi, Kata, Vijiji, na Vitongoji. Ili kutekeleza azma na dhamiri ya kuhamasisha ufugaji wa samaki kila Serikali ya kijiji kote nchini itahakikisha kwamba; (a) inatenga ardhi ya kuanzishia mabwawa ya mfano au mashamba darasa ya ufugaji wa samaki; (b) inaanzisha mabwawa ya samaki ya kijiji ili kukuza kipato cha makusanyo ya maduhuli ya kijiji; (c) inaanzisha vyama vya kuweka na kukopa vya wafugaji wa samaki kijijini; (d) inashirikiana na Halmashauri ya Wilaya kuanzisha mafunzo ya nadharia na vitendo kuhusiana na ufugaji bora wa samaki; (e) inaanzisha masoko na minada maalum katika siku maalum kwa ajili ya kuuzia samaki. 18 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) Jukumu la Afisa uvuvi 27 Kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi kila Afisa uvuvi wa kata au kijiji atakuwa na jukumu la; (a) kuanzisha rejesta ya orodha ya wafugaji wote wa samaki katika kata au kijiji; ya ratiba (b) kupanga kuwatembelea wafugaji wa samaki katika kata au kijiji; (c) kuanzisha orodha na idadi ya mabwawa ya samaki na aina ya samaki katika kila bwawa katika kata au kijiji; (d) kuanzisha mashamba au mabwawa ya mfano kwa ajili ya kutolea mafunzo ya nadharia na vitendo; darasa (e) kuhakikisha upatikanaji wa vifaranga na mbegu bora ya samaki; (f) kuanzisha programu ya kuangamiza samaki wakubwa wanaowala samaki wadogo (predators) katika mabwawa; (g) kuanzisha programu ya kuangamiza magugu maji katika mabwawa; (h) kuandaa programu ya uendelezaji na ukuzaji wa kilimo cha ufugaji wa samaki katika kata au kijiji; (i) kuhakikisha wafugaji wa samaki wanatumia nyavu sahihi wakati wa kuvuna katika mabwawa yao ili kutoharibu mazalia na kutovuna samaki wadogo. B. UVUVI KATIKA MAJI YA ASILI Wananchi watakuwa na ruhusa ya kuvua katika maji ya asili kama mito, maziwa, mabwawa ya asili na yasiyo ya asili na bahari kwa vibali maalum vya uvuvi. Kila Halmashauri iliyozungukwa na mito, maziwa, bahari na mabwawa ya asili au yasiyo ya asili itakuwa na jukumu la kuhakikisha kwamba;- (a) wavuvi wote wanakuwa na vibali na leseni halali za uvuvi; (b) wavuvi wanatumia nyavu 19 Uvuvi katika maji ya asili 28 Jukumu la Halmashauri 29 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) zinazokubaliwa kitaalam (c) inapiga marufuku uvuvi haramu wa kutumia makokoro,sumu, mabomu na vyandarua; (d) inatoa elimu ya uvuvi wa kisasa na zana za uvuvi zinazokubalika kisheria; (e) inaanzisha vikosi vya wananchi vya kupambana na wavuvi haramu kupitia ulinzi shirikishi; inaanzisha masoko na minada ya samaki katika fukwe za maji ya asili na yasiyo ya asili; (f) (g) inateketeza zana haramu za uvuvi zinazotengenezwa na wavuvi haramu; (h) inawafikisha wavuvi haramu katika vyombo vya dola kwa hatua za kisheria pindi wanapokamatwa; vyote au kuzungukwa na maji ya asili vinapatiwa maafisa uvuvi; inaanzisha vikosi vya doria katika fukwe zote za maji ya asili ili kupambana na uvuvi haramu; vinavyopakana (i) vijiji (j) (k) inaandaa mpango wa kuwazawadia raia wema wanaotoa taarifa kuhusu wavuvi haramu; inatenga na kuanzisha makambi ya wavuvi ili kuzuia uvuvi holela na uvuvi haramu; (l) (m) inafanya ukaguzi wa leseni za uvuvi wa mara kwa mara na kuwachukulia hatua wavuvi wasio na leseni; (n) itaanzisha na kutunza rejesta ya orodha ya wavuvi wote wenye leseni katika Halmashauri; (o) itahakikisha kwamba wavuvi wote halali wanalipa ushuru wa kisheria kwa Halmashauri; (p) inahamasisha wavuvi kuanzisha vyama ili kuweza vya kuweka na kukopa kujipatia mikopo katika mabenki kwa ajili ya kukuza mitaji na kujipatia zana 20 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) bora na za kisasa za uvuvi; Jukumu la Afisa uvuvi 30 Mamlaka ya Halmashauri 31 Kila Afisa uvuvi wa Halmashauri kwa kushirikiana na Afisa Mtendaji wa Kata, Kijiji na Mtaa atakuwa na wajibu wa; (a) kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; (b) kuhamasisha na kuunda vikosi vya doria dhidi ya wavuvi haramu; (c) kufanya ukaguzi wa leseni mara kwa mara katika makambi ya wavuvi; (d) kutoa elimu juu ya uvuvi salama, uvuvi endelevu na hifadhi ya mazingira katika maeneo ya uvuvi; (e) kuwachukulia hatua za kisheria watu wote wanaokiuka Sheria Ndogo hizi au Sheria yoyote andishi ya uvuvi na hifadhi ya mazingira; (f) kuanzisha na kutunza rejesta yenye orodha ya wavuvi katika kata, kijiji na mtaa; (g) kuanzisha rejesta yenye majina ya makambi ya uvuvi, idadi ya makambi na idadi ya wavuvi katika makambi hayo; Halmashauri itakuwa na uwezo wa kusitisha, kufuta au kumnyang’anya leseni Mtu yeyote endapo itabaini kuwa mtu huyo amevunja itaweza leseni ya uvuvi masharti ya kuangamiza au kuteketeza kwa namna yoyote ile inayoona inafaa zana haramu zilizokamatwa au kutelekezwa na wamiliki wake. au Makosa 32 Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa iwapo; (a) atavua samaki kwa kutumia mabomu au milipuko au sumu au mikuki; (b) atavua bila kuwa na leseni halali; (c) atakataa au kukwepa kulipa ushuru wa Halmashauri; (d) atatumia nyavu zisizokubaliwa kitaalam; maeneo (e) atauza yanayokatazwa chini Sheria Ndogo hii au samaki katika 21 Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na. 21 (linaendelea) sheria yoyote andishi; (f) ataendesha shughuli za uvuvi bila kujiandikisha kweshe rejista ya wavuvi ya kata, kijiji au mtaa; (g) atavua katika maeneo ya hifadhi au eneo lolote lisiloruhusiwa kisheria; (h) atapatikana akivua au akiuza samaki wadogo. Mtu yeyote atakayetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hizi akipatikana na hatia atatozwa faini isiyozidi shilingi laki tatu (300,000/=) au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili (12) jela au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. Adhabu 33 Nembo ya halmashauri ya Wilaya ya Malinyi imebandikwa kwenye Sheria ndogo hizi kufuatia azimio iliyotolewa katika kikao kilichofanyika tarehe 23.04.2016 na ilibandikwa mbele ya:- la Halmashauri SAID ALLY MSOMOKA, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi. FADHILI NASSORO LIGUGUDA, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi. NAKUBALI, Dodoma, 09Januari, 2017 GEORGE B. SIMBACHAWENE (MB) Waziri wanchi-or-Tamisemi. 22
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za (Kilimo na Hifadhi ya Chakula) za Halmashauri ya Malinyi za Mwaka 2017
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in