Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi za Mwaka 2017
These by-laws are called the Malinyi District Council Construction Minerals Tax By-Laws, 2017, and they start to apply after publication in the Government Gazette.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi za Mwaka 2017
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
These by-laws are called the Malinyi District Council Construction Minerals Tax By-Laws, 2017, and they start to apply after publication in the Government Gazette. These by-laws apply throughout the entire area under the jurisdiction of Malinyi District Council. This section defines key terms used in the by-laws, including the authorized officer, the Council, permits, building minerals, prohibited areas, and the Director. Halmashauri must collect the construction-minerals levy from miners, sellers, and transporters in its area, and it may adjust the levy rates. Halmashauri lazima itoe kibali baada ya kupokea maombi ya kuchimba au kuanzisha machimbo ya madini ya ujenzi, na kibali hicho kionyeshe aina ya madini na eneo la uchimbaji.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi za Mwaka 2017
Showing 14 of 14
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: These by-laws are called the Malinyi District Council Construction Minerals Tax By-Laws, 2017, and they start to apply after publication in the Government Gazette.
1. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi za Mwaka 2017 na zitaanza kutumika baada ya kutangazwa kwenye Gazeti la Serikali. Matumizi - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: These by-laws apply throughout the entire area under the jurisdiction of Malinyi District Council.
2. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-laws, including the authorized officer, the Council, permits, building minerals, prohibited areas, and the Director.
3. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi; “Kibali” maana yake ni idhini au ruhusa inayotolewa 1 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.23 (linaendelea) na Halmashauri kuruhusu uchimbaji wa Madini ya Ujenzi; “Madini ya Ujenzi” maana yake ni Kokoto, Mawe, Changarawe, Mchanga, Chokaa, Marumalu, Kifusi, Udongo Mfinyanzi, au chochote kinachochimbwa na kupatikana katika Mamlaka ya Halmashauri kwa shughuli za ujenzi. “Maeneo marufuku” ni maeneo ya mito, madaraja, barabara, mashamba ya watu, mijini, maeneo ya shule, na maeneo mengine yanayofanana na hayo; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri au Afisa yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi. SEHEMU YA PILI JINSI YA KUTOZA USHURU Ushuru wa Madini ya Ujenzi,
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Halmashauri must collect the construction-minerals levy from miners, sellers, and transporters in its area, and it may adjust the levy rates.
4. (1) Halmashauri itatoza ushuru wa madini ya ujenzi kutoka kwa wachimbaji wa madini, wauzaji au wasafirishaji waliopo katika eneo la mamlaka ya Halmashauri kwa viwango na taratibu zilizowekwa na Sheria Ndogo hizi. (2) Ushuru wa madini ya ujenzi utatozwa katika eneo la machimbo au eneo lolote ndani ya Mamlaka ya Halmashauri pale yatakapokutwa kuwa hajalipiwa ushuru. 2 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.23 (linaendelea) (3) Wakati wowote itakapoona inafaa Halmashauri itakuwa na uwezo wa kubadilisha kwa kuongeza au kupunguza viwango vya Ushuru wa madini ya ujenzi kwa kuzingatia taratibu za kisheria. Kibali na masharti ya kuchimba madini ya ujenzi Maeneo ya Madini ya Ujenzi. - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoe kibali baada ya kupokea maombi ya kuchimba au kuanzisha machimbo ya madini ya ujenzi, na kibali hicho kionyeshe aina ya madini na eneo la uchimbaji.
5. (1) Halmashauri itatoa kibali baada ya kupokea maombi ya kuchimba au kuanzisha machimbo ya madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri; (2) Kibali kitakachotolewa kitaeleza aina ya madini ya ujenzi yatakayochimbwa na eneo yatakayochimbwa; - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Halmashauri must allocate and announce areas where construction minerals may be mined, and may stop such mining if it is proven to threaten environmental cleanliness, conservation, or the safety of other residents.
6. (1) Halmashauri itatenga na kutangaza maeneo yanayoruhusiwa kuchimba madini ya ujenzi; (2) Halmashauri inaweza kusimamisha shughuli za uchimbaji wa madini ya ujenzi endapo itathibitika kwamba uchimbaji huo unaweza kuhatarisha usafi na uhifadhi ya mazingira au usalama wa wakaazi wengine wa eneo hilo Maeneo yaliyopigwa marufuku - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Mtu yeyote haruhusiwi kuchimba madini ya ujenzi katika maeneo yaliyotajwa kwenye kifungu hiki.
7. Ni marufuku kwa Mtu yeyote kuchimba madini ya ujenzi katika maeneo yafuatayo- (a) Maeneo ya hifadhi; (b) Maeneo ya mito au kando ya mito na vyanzo vya maji; (c) Maeneo ya karibu na makazi ya watu; (d) Maeneo ya hifadhi ya Barabara; na (e) Maeneo ambayo yametajwa katika Sheria yoyote andishi kuwa haifai kwa shughuli ya uchimbaji wa madini ya ujenzi. 3 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.23 (linaendelea) Muda na mahali pa kulipia ushuru - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Ushuru wa madini ya ujenzi hulipwa gari linapotoka eneo la uchimbaji au linaposimamishwa na Afisa Mwidhiniwa; ushuru hukusanywa kati ya saa 12 kamili asubuhi na saa 1 kamili usiku.
8. (1) Ushuru wa madini ya ujenzi utalipwa wakati gari linapotoka katika eneo yanapochimbwa madini hayo au sehemu yeyote litakaposimamishwa na Afisa Mwidhiniwa. (2) Muda wa kukusanya Ushuru wa madini ya ujenzi ni kuanzia saa 12 kamili asubuhi mpaka saa 1 kamili usiku. Uteuzi wa Wakala - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kumteua wakala wa kukusanya ushuru wa madini ya ujenzi, na wakala huyo lazima akusanye, awasilishe makusanyo, na achukue hatua za kisheria dhidi ya wanaokiuka sheria ndogo.
9. (1) Halmashauri inaweza kumteua Mtu binafsi, Kampuni, Asasi au Taasisi kukusanya Ushuru wa madini ya ujenzi kwa niaba yake; (2) Wakala aliyeteuliwa atakuwa na majukumu ya- (a) Kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmshauri katika eneo alilopangiwa, na kwa kiwango kilichoainishwa chini ya Sheria Ndogo hizi. (b) Kuwasilisha makusanyo yote aliyowajibika kukusanya kwa mujibu wa Mkataba wa Uwakala alioingia na Halmashauri. (c) Kumchulia hatua za kisheria Mtu, Kampuni, Shirika au Taasisi yeyote itakayokiuka masharti ya Sheria Ndogo hizi. SEHEMU YA TATU MAKOSA NA ADHABU Makosa
Part
SEHEMU YA TATU
- 10 Verify source ↗
Mtu yeyote ikiwa ni mnunuzi au muuzaji ambaye
AI-assisted research summary: Mtu yeyote ambaye ni mnunuzi au muuzaji hapaswi kukataa au kukwepa kulipa ushuru, kuwashawishi wengine wasilipe, kumzuia Afisa Mwidhiniwa, kuchimba Madini ya ujenzi mahali pasipo ruhusa, au kudanganya na kusababisha Halmashauri ipoteze mapato.
10. Mtu yeyote ikiwa ni mnunuzi au muuzaji ambaye- (a) atakataa au kukwepa kulipa ushuru; 4 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.23 (linaendelea) (b) atamshawishi mtu yeyote au kundi la watu wasilipe ushuru (c) atamzuia Afisa Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake; (d) atachimba Madini ya ujenzi mahali ambapo hapajaruhusiwa chini ya Sheria Ndogo hizi; (e) atadanganya na kuhusiana na kitendo chake hicho ataikosesha Halmashauri mapato yake; Adhabu - 11 Verify source ↗
Mtu yeyote ambaye atakuwa ametenda kosa chini ya Sheria
AI-assisted research summary: Anyone who commits an offence under these subsidiary laws and is convicted faces a fine of up to 50,000 shillings, imprisonment of up to 12 months, or both.
11. Mtu yeyote ambaye atakuwa ametenda kosa chini ya Sheria Ndogo hizi na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyozidi shilingi elfu Hamsini (50,000/=) au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili (12) jela au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. Kufifilisha kosa - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Mkurugenzi wa Halmashauri anaweza kufifilisha kosa ikiwa mkosaji anakiri kwa maandishi, anakubali kulipa faini isiyozidi Shilingi 50,000, na kutekeleza wajibu aliouvunja; pia Halmashauri inaweza kuruhusu kuchimba au kusomba madini ya ujenzi bila ushuru kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
12. (1) Mkurugenzi wa Halmashauri anaweza kufifilisha kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi, iwapo Mkosaji kwa hiari yake mwenyewe atakiri kwa maandishi na kukubali kulipa faini isiyozidi Shilingi Elfu Hamsini pamoja na kutekeleza wajibu aliouvunja. (2) Halmashauri inaweza kuruhusu Madini ya ujenzi kuchimbwa au kusombwa bila kulipwa ushuru kwa kibali maalum kitakachotolewa na Mkurugenzi. Hati ya kukamata na kuuza kwa mnada mali ya mdaiwa - 13 Verify source ↗
Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuomba mahakamani ruhusa ya kukamata na kuuza mali inayohamishika ya mdaiwa, kwa kutumia fomu maalum.
13. Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuomba katika Mahakama yenye Mamlaka katika eneo la Halmashauri kukamata na kuuza mali ya mdaiwa inayohamishika baada ya kupata kibali cha mahakama kwa kutumia fomu maalum iliyoambatanishwa kwenye jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi. 5 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.23 (linaendelea) _________ JEDWALI LA KWANZA ______ (chini ya kifungu cha 4(1) USHURU WA MADINI YA UJENZI Na Uzito wa gari Uzito Kiasi cha Ushuru
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: The text lists charges for certain building materials and includes forms for confessing an offence and for seizure and sale of property if debts are not paid.
5. Changarawe Kokoto Mchanga Kifusi/ udongo wa kutengenezea tofali Udongo wa saruji tani 3 hadi 7 tani 3 hadi 7 tani 3 hadi 7 tani 3 hadi 7 5,000/= kwa kila safari 5,000/= kwa kila safari 3,000/= kwa kila safari 3,000/= kwa kila safari tani 3 hadi 7 3,000/=kwa kila safari _______ JEDWALI LA PILI ______ HATI YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA (Chini ya kifungu cha 12) Mimi …………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Malinyi, kwamba mnamo tarehe …… ya Mwezi ……. Mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha …… cha Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi za Mwaka 2016. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurgenzi Mtendaji wa Halmashauri, Niko tayari kulipa kiasi cha Ada/ Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. 6 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.23 (linaendelea) NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU ya Mwezi………… Mwaka …………………. Leo tarehe…………. Jina……………………………….. Saini……………………………………. Mbele ya : Jina: ……………………………… Saini: …………………………….. Cheo: ……………………… ___________ JEDWALI LA TATU _________________ HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI HATI YA KUKAMATA MALI NA KUIUZA (limetengenezwa chini ya Kifungu cha 13) JINA LA MALI: …………………………………………………………………. KWA DALALI WA MAHAKAMA ……………………………………………………………………………………….. ……………………………………………………………………………………….. ya ni na mali mpaka Jedwali, kuitunza kukamata kukuamuru inayoondosheka Hii ……………………………….……………… ……………………………………………………………………………… ambayo imeonyeshwa atakapolipa katika mtajwa ni shilingi………………………………………………………………………………….. zikiwa deni la kodi analodaiwa pamoja na riba kwa kiwango cha asilimia moja [1%] kwa kila mwezi kuanzia Mwaka. mwezi……………………………….. ……………………….. Mpaka tarehe……………………………..mwezi……………………… mwaka……………………………………… ikiwa ni pamoja na gharama za kukamata mali hiyo. Na baada ya kutoa taarifa [notice] ya siku kumi na nne ambayo itabandikwa katika jengo la mahakama na baada ya kumalizika kwa notisi hiyo, mauzo ya mali hiyo yataanza kwa mnada ili kupata shilingi……….……………………………………….pamoja na riba na gharama za kukamatia mali hiyo. tarehe……………………… hapo juu UNAAMRIWA kurudisha tarehe……………… mwezi………………………….. mwaka………………………………………. Pamoja na maelezo ya namna ulivyotekeleza amri hiyo au sababu kwanini hukutekeleza. hii mnamo kabla hati au ya Imetolewa na mimi na kugongwa mhuri wa Mahakama leo tarehe……………………… Mwezi……………………………………… Mwaka…………………………………… ………………………………………………………………………………………. HAKIMU 7 Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Tangazo la Serikali Na.23 (linaendelea) Nembo ya halmashauri ya Wilaya ya Malinyi imebandikwa kwenye Sheria ndogo hizi kufuatia azimio iliyotolewa katika kikao kilichofanyika tarehe 23.04.2016 na ilibandikwa mbele ya:- la Halmashauri SAID ALLY MSOMOKA, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi. FADHILI NASSORO LIGUGUDA, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi. NAKUBALI, Dodoma, 09Januari, 2017 GEORGE B. SIMBACHAWENE (MB) Waziri wanchi-or-Tamisemi. 8
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Ujenzi) za Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi za Mwaka 2017
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in