Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele za Mwaka 2017
These by-laws are titled the Mlele District Council (Fees and Charges) By-Laws, 2017, and they start to apply after being published in the Government Gazette.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele za Mwaka 2017
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
These by-laws are titled the Mlele District Council (Fees and Charges) By-Laws, 2017, and they start to apply after being published in the Government Gazette. These by-laws apply throughout the area under the authority of Mlele District Council. This section defines terms used in the by-laws, unless stated otherwise. The Council charges various fees and levies for permits, licences, and services, and those charges must be paid before the service is provided. Halmashauri must change fee and levy rates when it considers it appropriate, with stakeholder involvement, and announce the changes as amendments in these by-laws.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele za Mwaka 2017
Showing 60 of 60
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za
AI-assisted research summary: These by-laws are titled the Mlele District Council (Fees and Charges) By-Laws, 2017, and they start to apply after being published in the Government Gazette.
1. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele za Mwaka 2017 na zitaanza kutumika baada ya kutangazwa kwenye Gazeti la Serikali. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote lililo chini
AI-assisted research summary: These by-laws apply throughout the area under the authority of Mlele District Council.
2. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote lililo chini ya mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi isipokua pale itakapoelezwa
AI-assisted research summary: This section defines terms used in the by-laws, unless stated otherwise.
3. Katika Sheria Ndogo hizi isipokua pale itakapoelezwa vinginevyo:- “Ada na Ushuru” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri au wakala wake kwa ajili ya huduma, vibali, au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; 1 Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) “Chombo cha Usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha mtu, watu au mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine isipokuwa mkokoteni, au wanyama wanaotumika kama kusafirisha watu au mizigo; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Mlele; “Kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “Machinjio” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi; “Masoko” maana yake ni sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuuza na kununua bidhaa; “Mnada” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuendesha shughuli za kuuza na kununua bidhaa; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele pamoja na Afisa yeyote wa umma atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi. “Usajili wa vyombo vya usafiri” maana yake ni utaratibu utakaowekwa na Halmashauri wa kuorodhesha idadi ya vyombo vya usafiri vinavyofanya biashara ndani ya mamlaka ya halmashauri; vibao vya matangazo maana yake ni ubao, ukuta au mahali popote au chombo chochote ambacho kimewekewa tangazo la biashara “Wakala” maana yake ni Mtu, Taasisi, Kampuni, au asasi yeyote iliyoteuliwa kisheria na Halmashauri kukusanya mapato kwa niaba ya halmashauri. 2 Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) SEHEMU YA PILI NAMNA YA KUKUSANYA ADA NA USHURU Ada na Ushuru
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza Ada na Ushuru mbalimbali kwa
AI-assisted research summary: The Council charges various fees and levies for permits, licences, and services, and those charges must be paid before the service is provided.
4. -(1) Halmashauri itatoza Ada na Ushuru mbalimbali kwa ajili ya vibali, leseni na huduma zitolewazo na Halmashauri kama inavyoonyeshwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi. (2) Ada na Ushuru utozwayo chini ya Sheria Ndogo hizi utalipwa kabla ya huduma kutolewa. (3) Huduma zitakazotozwa Ada na ushuru katika Sheria Ndogo hizi ni;- (a) (b) (c) (d) (e) (f) (g) (h) (i) (j) (k) Ushuru wa Mazao; Ushuru wa mifugo na machinjio; Ushuru wa soko; Ada ya kibali cha kufanya biashara zisizohitaji leseni; Ada ya kibali cha ujenzi; Ada ya Ukaguzi wa ramani; Ada ya kuchangia gharama za upimaji na usafishaji wa viwanja; Kodi ya ardhi (Land rent); Ada ya Leseni mbalimbali; Ada ya Zabuni; Ada ya Uthamini wa ardhi; 3 Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) (l) (m) (n) (o) (p) Ada ya kibali cha kusafirisha ngozi; Ada ya kukodi mali za Halmashauri; Faini ya adhabu kwa makosa mbalimbali; Ushuru wa Vibao vya Matangazo Ushuru wa Kuchinja, kuwamba na kununua ngozi Mabadiliko ya viwango vya ada na ushuru Taratibu za kulipa Ada na Ushuru - 5 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na Wajibu wa kubadilisha viwango
AI-assisted research summary: Halmashauri must change fee and levy rates when it considers it appropriate, with stakeholder involvement, and announce the changes as amendments in these by-laws.
5. Halmashauri itakuwa na Wajibu wa kubadilisha viwango vya Ada na Ushuru pale itakapoona kuwa inafaa kwa kushirikisha wadau, na kutangaza katika Sheria Ndogo hizi kama Marekebisho. - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Wanaotakiwa kulipa Ada na Ushuru lazima walipe kwa viwango vilivyo kwenye jedwali; ukusanyaji wa ada na ushuru ni kuanzia 12:00 asubuhi hadi 12:00 jioni.
6. -(1)Itakuwa ni Wajibu wa kila mtu anayetakiwa kulipa Ada na Ushuru kuhakikisha kwamba analipa Ada na Ushuru kwa viwango vilivyoainishwa kwenye jedwali la Sheria Ndogo hizi. (2) Muda wa kukusanya Ada na Ushuru utakuwa ni kuanzia Saa Kumi na mbili kamili (12:00) asubuhi mpaka saa kumi na mbili (12:00) jioni. (3) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo (2), Maafisa wa Halmashauri au Wakala anaweza kukusanya ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu endapo atakuwa na kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi. (4) Malipo ya Ada na Ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri/ Wakala na mlipa ada na ushuru. (5) Malipo ya Ada na Ushuru yanayotozwa kwa Mujibu wa Sheria Ndogo hizi yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala 4 Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) wake na kutolewa stakabadhi ya Halmshauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika Bindhaa za nyumbani - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Bidhaa za matumizi ya nyumbani zenye uzani usiozidi kilo 50 hazitatozwa ushuru au ada zinapoingizwa sokoni.
7. Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hizi bidhaa zozote zenye uzani usiozidi kilo 50 zitakazoingizwa sokoni na mtu yeyote kwa ajili ya matumzi ya nyumbani hazitatozwa Ushuru au Ada. Ukusanyaji wa madeni - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: A person required to pay a fee or tax must pay it within the required time, and the council may recover unpaid amounts through court proceedings.
8. Ikiwa mtu yeyote anayetakiwa kulipa Ada au Ushuru atakataa au kushindwa kulipa Ada au Ushuru ndani ya muda unaotakiwa, Halmashauri inaweza kukusanya Ushuru au Ada unaodaiwa Kwa njia ya Mahakama. Uteuzi wa Wakala Wajibu wa Wakala - 9 Verify source ↗
Halmashauri ina Mamlaka ya kumteua Mtu binafsi,
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kumteua mtu binafsi, kampuni, asasi au taasisi kukusanya ada na ushuru kwa niaba yake.
9. Halmashauri ina Mamlaka ya kumteua Mtu binafsi, Kampuni, Asasi au Taasisi kukusanya Ada na Ushuru kwa niaba yake katika vyanzo vilivyokubaliwa kukusanywa na Wakala. - 10 Verify source ↗
Wakala aliyeteuliwa chini ya Sheria Ndogo hizi atakuwa
AI-assisted research summary: The appointed agent must collect and receive fees and charges in the assigned area, remit all collections under the agency agreement, post a one-month collection bond before starting collections, and take legal action against anyone who breaches the by-laws.
10. Wakala aliyeteuliwa chini ya Sheria Ndogo hizi atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea Ada na Ushuru katika eneo alilopangiwa kwa kiwango kilichoainishwa chini ya Sheria Ndogo hizi; (b) kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya Mkataba wa Uwakala; (c) kuweka dhamana ya kusanyo la mwezi mmoja kabla ya kuanza makusanyo ambapo dhamana hiyo itarejeshwa mwisho wa Mkataba; (d) kumchukulia hatua za kisheria mtu yeyote ambaye atakiuka masharti ya Sheria Ndogo hizi; 5 Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) SEHEMU YA III MAKOSA NA ADHABU Makosa
Part
SEHEMU YA III
- 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Hukataza watu na Wakala kufanya vitendo mbalimbali vya kosa kuhusu ukusanyaji, ulipaji, na uwasilishaji wa ada na ushuru, na inaweka adhabu ya faini hadi Tshs 50,000 au kifungo hadi miezi 12, au vyote viwili.
11. (1) Itakuwa ni kosa kwa; A. Kwa Wakala; (a) Atakusanya Ada na Ushuru bila kibali cha maandishi au mkataba toka kwa Halmashauri; (b) Atajaribu au atakusanya ada na ushuru kwa kiwango tofauti na kilichotajwa na Sheria Ndogo hizi; (c) Atashindwa kuwasilisha au atawasilisha pungufu ya kiwango cha Ada na Ushuru alichokubaliwa katika mkataba; (d) Atakusanya Ada na Ushuru kwa mbinu tofauti na alizoelekezwa na Halmashauri; B. Kwa yeyote; (a) Atashindwa, atadharau, au atakaidi/ Atakataa kulipa Ada na Ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa Ada na Ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi; (b) Atamshawishi mtu au kundi la watu kukataa au kukwepa kulipa Ada na Ushuru; (c) Atatengeneza, atatayarisha, ataidhinisha utengenezaji, au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa Ada na Ushuru mbalimbali ndani ya Halmashauri; (d) Kwa makusudi huku akijua ni kosa atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri, au Atashindwa au kutoa 6 Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) taarifa zitakazohitajika na halmashauri; (e) atashindwa kuweka Kumbukumbu, Vitabu, Hesabu, au maelezo yoyote yatakayohitajika Halmashauri; Na (f) Atamzuia Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake. Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hizi atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyozidi shilingi elfu hamsini (Tshs. 50,000/=) au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili (12) au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. Adhabu - 13 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote faini
AI-assisted research summary: The Director may impose a fine of up to Tshs. 50,000 if the offender admits the offence in writing and agrees to perform the required duty and pay the fine owed.
13. Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote faini isiyozidi shilingi elfu hamsini (Tshs.50,000/=) iwapo mkosaji atakiri kosa kwa maandishi na kukubali kutekeleza wajibu wake pamoja na kulipa faini anayodaiwa. JEDWALI LA KWANZA _____________ (Chini ya kifungu cha 4(1))
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Ushuru wa Mazao ( Produce Cess Farm gate price)
AI-assisted research summary: This section is titled “Ushuru wa Mazao” and refers to produce cess at farm gate price for agricultural produce.
1. Ushuru wa Mazao ( Produce Cess Farm gate price) A. Mazao ya Kilimo Na. Aina ya Mazao - 5 Verify source ↗
Mchele
AI-assisted research summary: The provision lists rice (Mchele) tax amounts in Tshs and a quantity basis.
5. Mchele Kiwango Ushuru (Tshs) cha Ujazo 1,500/= 5,000/= 2,000/= 1,500/= 5,000/= kwa debe 6/ kg 100 kwa debe 6/ kg 100 kwa debe 6/ kg 100 kwa debe 6/ kg 100 kwa debe 6/ kg 100 - 6 Verify source ↗
Mpunga
AI-assisted research summary: The text appears to list a charge for rice: 2,000/= per debe, but the wording is fragmentary.
6. Mpunga 2,000/= kwa debe 6/ kg 7 Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) - 8 Verify source ↗
Mhongo ambao haujatwangwa
AI-assisted research summary: This provision appears to be only a section title: “Mhongo ambao haujatwangwa Karanga za maganda.”
8. Mhongo ambao haujatwangwa Karanga za maganda - 15 Verify source ↗
Bidhaa nyingine zozote ambazo
AI-assisted research summary: This provision fragment lists prices for “other products not mentioned” and a heading for forest produce farm-gate prices.
15. Bidhaa nyingine zozote ambazo hazikutajwa 3000/= 1,000/= 1,500/= 5,000/= 3,000/= 2,000/= 6/ debe 100 kwa debe 6/ kg 100 kwa kg100 kwa debe 6/ kwa kg100 kwa kg100 kwa kg100 debe debe debe 6/ 6/ 6/ 2,000/= Kwa mkungu 1000/= Kwa tani moja 500/= B. Mazao ya Misitu (Forest Produce Farm gate price) Na. Aina ya Mazao - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section refers to other goods not specifically mentioned.
6. Bidhaa nyingine zozote ambazo hazikutajwa - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists tax amounts in Tanzanian shillings for several quantities/units.
7. Kiwango cha Ushuru (Tshs) 1,000/= kwa gunia 100/= 100/= 2,000/=kwa lita 20 300/= kwa kilo moja 5,000/= 500/= - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section introduces a livestock levy and slaughterhouse-related charges table.
2. Ushuru wa Mifugo na machinjio ya Mifugo. A. Ushuru wa Mifugo (Mnadani) Na. Aina ya Mifugo Kiasi cha Ushuru kwa kila Mfugo (Tshs) - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This table lists slaughter and meat inspection fees for cattle, goats, sheep, and pigs.
4. Ng’ombe………………………..................................…. 3,000/= Mbuzi……………………………………...........................1,000/= Kondoo………………………………….…….1,000/= Nguruwe……………………………….….….1,500/= 8 Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) B. Ushuru/ ada ya Machinjio na Ukaguzi wa Nyama. Na.Aina ya Mifugo Ushuru wa Machinjio naAda ya Ukaguzi wa Nyama (Tsh) - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The provision lists amounts per animal: cattle, goats, sheep, and pigs each have a stated price.
4. Ng’ombe………………………………………………… 3,000/= kila mmoja Mbuzi……………………………………………………1,000/= kila mmoja Kondoo………………………………………………..1,000/= kila mmoja Nguruwe……………………………………………....1,500/= kila mmoja. - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section is a heading for a market charge on unloading cargo in a council-designated area or market.
3. Ushuru wa Soko: A. Ushuru wa Kushusha Mizigo katika Eneo au Soko lolote liliotengwa na Halmashauri Na. Aina ya Mizigo na uzani - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The provision mentions lorries carrying bananas, sugarcane, oranges, avocado, tomatoes, or pineapple at a weight of 1 ton.
2. Lori liliobeba Ndizi lenye uzani wa tani 1 Lori lililobeba Miwa, Machungwa, Parachichi nyanya au Nanasi lenye uzani wa tani 1 - 3 Verify source ↗
Mkaa kwa gunia
AI-assisted research summary: A section title referring to charcoal in a sack or in a sack for dagaa/fish.
3. Mkaa kwa gunia Tenga au gunia la dagaa, Samaki - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Section 8 lists market and produce tax amounts for certain goods and market business types.
8. Tenga la Machungwa, Parachichi, Nanasi, Papai au Nyanya Kiwango cha Ushuru (Tshs) 5,000/= 6,000/= 1,000/= 1,000/= 2,000/= 2500 5,000 kwa gunia 500/= kwa tenga B. Ushuru wa bidhaa mbalimbali katika masoko, minada, magulio na maeneo mbalimbali yaliyotengwa na Halmashauri : Aina ya Biashara Vibanda Meza Wauza mitumba Nguo za madukani kutandaza Ndizi kupika mkungu Ndizi mbivu mkungu Nanasi tenga Maparachici tenga Na - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Kuna ushuru/kodi ya pango na ada nyingine zilizoorodheshwa kwa baadhi ya vitu kama kibanda na meza.
11. Nyanya/ nyanya mshumaa tenga Ushuru/Kodi ya Pango Tshs. 15,000/= kwa kibanda Tshs. 300/= kwa meza Tshs 500/= Tshs.1,000/ Tshs. 200/= Tshs. 200/= Tshs. 500/= Tshs. 500/= Tshs. 200/= Tshs. 300/= 9 Muda kwa mwezi Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) Vyombo vya ndani Nyama au nyama choma Urembo Bidhaa mchanganyiko Samani (furniture - 25 Verify source ↗
Section 25
AI-assisted research summary: The provision lists amounts in Tanzanian shillings for other unspecified goods not named elsewhere, with some amounts charged per day and one charged per month.
25. Bidhaa nyingine zozote ambazo hazikutajwa Tshs. 200/= Tshs.1,000/= Tshs.500/= Tshs.500/= Tshs. 1,000/= Tshs.500/= Tshs.500/= Tshs. 5,000 Tsh 500/= Tsh 500/= Tsh 1,000/= Tsh 500/= Tsh 500/= Tshs.500/= Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa mwezi Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku - 4 Verify source ↗
Ada ya Kibali cha Biashara mbalimbali zisizohitaji leseni
AI-assisted research summary: Sehemu hii inahusu ada ya kibali cha biashara mbalimbali zisizohitaji leseni.
4. Ada ya Kibali cha Biashara mbalimbali zisizohitaji leseni. Aina ya kibali - 1 Verify source ↗
Biashara ya mitumba nje ya maeneo
AI-assisted research summary: This section refers to the business of used goods outside fair, market, and auction areas.
1. Biashara ya mitumba nje ya maeneo ya magulio, soko na minada - 2 Verify source ↗
Fundi cherehani, baiskeli dobi,
AI-assisted research summary: This provision lists fundi cherehani, baiskeli dobi, radio, TV, and fundi simu.
2. Fundi cherehani, baiskeli dobi, radio, TV, Fundi simu - 4 Verify source ↗
kinyozi, saluni za wanawake/
AI-assisted research summary: The provision lists monthly permit application fees for barbers and women’s/men’s salons in Tanzanian shillings.
4. kinyozi, saluni za wanawake/ wanaume Kiwango cha Ada ya maombi ya kibali (Tshs) Tshs. 1000/= kwa mwezi Tshs. 1000/= kwa mwezi Tshs 500 kwa mwezi Tshs. 5,000/= kwa mwezi - 5 Verify source ↗
Mikokoteni, matoroli yenye magurudumu
AI-assisted research summary: Sehemu hii ina kichwa cha “Mikokoteni, matoroli yenye magurudumu”.
5. Mikokoteni, matoroli yenye magurudumu - 6 Verify source ↗
Kibali cha biashara nyinginezo zisizohitaji leseni
AI-assisted research summary: A permit for other businesses that do not require a licence costs Tshs 200 per day or Tshs 2,000 per year.
6. Kibali cha biashara nyinginezo zisizohitaji leseni Tshs. 200/= kwa siku Tshs. 2, 000/=kwa mwaka 1 2 3 4 5 - 5 Verify source ↗
Ada ya Kibali cha Ujenzi
AI-assisted research summary: Section 5 lists construction permit fees for different types of building works.
5. Ada ya Kibali cha Ujenzi. Ujenzi wa Nyumba ya makazi Ujenzi wa Ghala, Karakana, gereji au karakana za magari Ujenzi wa Viwanda vidogo vidogo, mashine za kukoboa au kusaga nafaka (mchele, mahindi Ujenzi wa Nyumba ya ghorofa moja Ujenzi wa Kibanda chochote cha biashara 10 30, 000/= 50,000/= 30,000/= 40,000/= 6,000/= Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) Ujenzi wa uzio wakati wa kujenga jengo lolote .50, 000/= - 6 Verify source ↗
Ada yaukaguzi wa Ramani, Kubadili matumizi ya Majengo na Ukaguzi
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaweka ada za vibali kwa aina mbalimbali za ukaguzi wa ramani na hatua za ujenzi.
6 . Ada yaukaguzi wa Ramani, Kubadili matumizi ya Majengo na Ukaguzi wa Majengo. Aina ya kibali Kukagua ramani ya jengo la Nyumba ya makazi Kukagua ramani ya Ujenzi wa Gorofa kwa kila hatua ya ujenzi. Kuendelea na hatua ya ujenzi inayoendelea baada ya kibali cha awali Ramani za maghala Ramani za Makanisa na misikiti 1 2 3 4 5 Kiwango cha Ada ya kibali Tshs. 10, 000/= Tshs. 15,000/= Tshs.5,000/= Tshs, 15, 000/= Tshs. 15, 000/= - 1 Verify source ↗
Kibali cha idhini ya kubadilisha matumizi ya Ardhi/ viwanja kutoka
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada za kibali cha kubadilisha matumizi ya ardhi/viwanja kwa aina mbalimbali za mabadiliko ya matumizi.
1. Kibali cha idhini ya kubadilisha matumizi ya Ardhi/ viwanja kutoka:- Makazi kwenda biashara…………....................................Tshs 50,000/= i. ii. Makazi kwenda kwenda viwanda……………………Tshs. 100,000/= Biashara Kwenda Makazi………………………………Tshs. 40,000/= iii. Biashara/ makazi/ viwanda Kwenda matumizi Mengine Tshs 100,000/= iv. - 2 Verify source ↗
Kibali cha idhini ya kuhamisha miliki ya Ardhi ………………..…Tsh 40,000/=
AI-assisted research summary: This section states a fee of Tsh 40,000 for a land ownership transfer approval permit.
2. Kibali cha idhini ya kuhamisha miliki ya Ardhi ………………..…Tsh 40,000/= - 7 Verify source ↗
Ada ya Kuchangiaji gharama za Upimaji na Usafishaji wa Viwanja
AI-assisted research summary: Ada za kuchangia gharama za upimaji na usafishaji wa viwanja zimewekwa kwa viwango tofauti kulingana na aina ya kiwanja.
7. Ada ya Kuchangiaji gharama za Upimaji na Usafishaji wa Viwanja Kiwanja chenye Ujazo wa Msongamano Mkubwa (HD)…..Tshs. 40, 000/= Kiwanja chenye Ujazo wa Msongamano wa Kati (MD)……Tshs. 50, 000/= Kiwanja chenye Ujazo wa Msongamano Mdogo (LD)……..Tshs. 60, 000/= Viwanja vya Taasisi za watu Binafsi/dini……………………Tshs100,000/= Na. Aina ya Kiwanja Kiwango cha Ada - 5 Verify source ↗
Mashamba………………………Tshs. 100, 000/= kwa kila ekari moja
AI-assisted research summary: Mashamba yanaoneshwa kuwa Tshs. 100,000 kwa kila ekari moja.
5. Mashamba………………………Tshs. 100, 000/= kwa kila ekari moja. - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: A repeat survey fee is set at 50% of the survey fee for the relevant plot or area, and a fee of Tshs. 10,000 is stated for re-showing a plot after the initial subdivision.
6. Kurudia upimaji upya baada ya mipaka kufutika 50% ya ada ya upimaji wa kiwanja au eneo husika. Kurudia kuonyeshwa kiwanja baada ya ugao wa awali kufanyika…Tshs.10, 000/= - 8 Verify source ↗
Kodi ya Ardhi kutokana na Makusanyo ya Kodi ya Viwanja kwa mapato ya Serikali Kuu
AI-assisted research summary: This section is a table heading for land rent and the tax rate in Tanzanian shillings.
8. Kodi ya Ardhi kutokana na Makusanyo ya Kodi ya Viwanja kwa mapato ya Serikali Kuu (Land Rent) Na. Aina ya Kodi Kiwango cha kodi (Tshs) - 1 Verify source ↗
Ushuru utokanao na Uwakala wa Kukusanya
AI-assisted research summary: Ushuru unaohusiana na uwakala wa kukusanya kodi ya viwanja kwa mapato ya Serikali Kuu unaonekana kuwekwa kwa kiwango cha 30% ya makusanyo halisi.
1. Ushuru utokanao na Uwakala wa Kukusanya Kodi ya Viwanja kwa ajili ya mapato ya Serikali Kuu (Land Rent …30% ya makusanyo halisi. 11 Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section appears to list a license/permit category for foreign liquor.
9. Ada ya Leseni mbalimbali Na. Aina ya Leseni au Kibali Leseni ya pombe za kigeni - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists fee amounts: Tshs 40,000 for six months, Tshs 20,000 for six months, and 20% of the cost/licence fee.
3. Kiwango cha Ada (Tshs) Tshs 40,000 kwa miezi Sita Tshs 20,000.kwa miezi sita 20% ya gharama/ ushuru wa leseni - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaonyesha aina za zabuni na ada zao.
3. Aina ya Zabuni Zabuni ya ujenzi wa majengo, barabara na miundo mbinu mingine Zabuni za uwakala mbalimbali Zabuni za ugavi wa huduma mbalimbali Kiwango cha Ada (Tshs) 100, 000/= 50, 000/= 50, 000/= - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Huu unaonekana kuwa kichwa cha kifungu kuhusu uthamini wa ardhi na viwanja kwa taasisi binafsi na watu binafsi.
11. Ada ya Uthamini wa Ardhi na Viwanja vya taasisi binafsi na watu binafsi Na. Aina ya Thamani - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Ada ni 10% ya thamani ya kiwanja au shamba, bila kujali ukubwa.
2. Kiwanja cha Ukubwa wowote Shamba lenye ukubwa wowote Kiwango cha Ada (Tshs) 10 % ya kiwango cha thamani ya kiwanja 10% ya kiwango cha thamani ya shamba - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: This provision appears to concern a fee for a permit to transport hides and skins.
12. Ada ya kibali cha kusafirisha ngozi Na - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section sets fees in Tanzanian shillings for different types of hides: cow hides, goat hides, and sheep hides.
3. Aina ya Ngozi Ngozi za ng’ombe Ngozi za mbuzi Ngozi za Kondoo Kiwango cha Ada (Tshs) Tshs. 1,000/= Tshs. 500/= Tshs. 500/= - 13 Verify source ↗
Kodi , Ushuru na Ada ya kukodi vifaa, mali ukumbi na mitambo ya
AI-assisted research summary: This section is about charges for hiring equipment, property, halls, and machinery of the council.
13. Kodi , Ushuru na Ada ya kukodi vifaa, mali ukumbi na mitambo ya Halmashauri. Na. Aina ya kibali - 1 Verify source ↗
Mitambo ya Halmashauri lori tani 7 hadi 10
AI-assisted research summary: This provision appears to refer to Halmashauri trucks in the 7 to 10 tonne range.
1. Mitambo ya Halmashauri lori tani 7 hadi 10 - 2 Verify source ↗
Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ( mdogo)
AI-assisted research summary: This provision is titled “Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri (mdogo)”.
2. Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ( mdogo) - 3 Verify source ↗
Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri (mkubwa)
AI-assisted research summary: Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri (mkubwa) una ada ya kibali inayotajwa kama Tshs 500 kwa kilometa, Tshs 150,000 kwa siku moja, na Tshs 300,000 kwa siku moja.
3. Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri (mkubwa) Ada ya Kibali Tshs 500/= kwa kilometa Tshs150,000/ kwa siku moja Tshs.300,000/ kwa siku moja. 12 Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) - 4 Verify source ↗
Vifaa/Mali za Halmashauri kiti au meza za ukumbi
AI-assisted research summary: The provision lists charges for using council hall chairs and tables during a council meeting.
4. Vifaa/Mali za Halmashauri kiti au meza za ukumbi Tshs 300@kiti 500/= meza kwa siku wa mkutano wa Halmashauri - 5 Verify source ↗
Maeneo ya wazi/ barabara kwa ajili ya shughuli za
AI-assisted research summary: Tshs10,000 is charged per day for promotions and business advertisements in open areas or on roads.
5. Maeneo ya wazi/ barabara kwa ajili ya shughuli za Tshs10,000/ kwa siku promosheni na matangazo ya biashara - 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: Section 14 lists fines for livestock roaming, with different Tanzanian shilling amounts for donkeys, dogs, cattle, pigs, and goats.
14. Faini na Adhabu kwa makosa Mbalimbali (Fines and penalties) ya uzururaji wa mifugo. Na. Aina ya Mifugo/ wanyama kiwango cha Faini au adhabu (Tshs) kwa kosa. i. Punda …………………………………………………………….Tshs.5,000/= ii. Mbwa…………………………………………………………..Tshs. 10,000/= iii. Ng’ombe……………………………………………………….Tshs. 20,000/= iv. Nguruwe……………………………………………………… Tshs. 10,000/= v. Mbuzi…………………………………………………………..Tshs. 10,000/= Na Aina ya Tangazo Ushuru (Tshs) Kwa mwaka - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Kuna ada tofauti za matangazo kulingana na aina ya tangazo na ukubwa wake.
4. Ada ya Tangazo lenyewe 2,000/- Matangazo yanayotoa mwanga 8,000/- kwa kila mita moja ya mraba Matangazo yasiyokuwa na mwanga 6,000/- kwa kila mita moja ya mraba Matangazo yanayotoa na yasiyotoa mwanga yasiyofika mita moja ya mraba 4,000/- - 16 Verify source ↗
Section 16
AI-assisted research summary: This section appears to list taxes for slaughtering, tanning, and buying skins.
16. USHURU WA KUCHINJA, KUWAMBA NA KUNUNUA NGOZI Na. AINA YA MNYAMA USHURU WA KUCHINJA USHURU WA KUWAMBA USHURU WA KUNUNUA NGOZI - 5 Verify source ↗
Mnyama mwingine
AI-assisted research summary: Hii ni fomu ya kukiri kosa na kukubali kulipa ada/ushuru na faini, mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.
5. Mnyama mwingine 3,000/= 1,000/= 1,000/= 1,500/= 1,000/= 13 1000/= 500/= 500/= 500/= 500/= 1500/= 1000/= 1000/= 1,000/= 1000/= Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) JEDWALI LA PILI HATI YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA (Chini ya kifungu cha 13) Mimi …………………… nakiri mbele ya ………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Mlele, kwamba mnamo tarehe …… ya Mwezi ……. Mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha …… cha Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele za Mwaka 2016. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Niko tayari kulipa kiasi cha Ada/ Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. Jina……………………………….. ya Mwezi………… Mwaka …………………. Saini……………………………. Mbele ya : Jina: …………………………………………… Cheo: …………………………………………. Saini: ………………………………………….. Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele imebandikwa katika Sheria hizi Ndogo kutokana na Azimio la kikao cha Halmashauri ya Wilaya ya Mlele kilichoketi tarehe 17 mwezi 07 mwaka 2015 na lakiri imebandikwa mbele ya:- GODWIN L. BENNE, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. DUES J. BUNDALA, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. NAKUBALI, Dodoma, 09 Januari, 2017 GEORGE B. SIMBACHAWENE (MB) Waziri wanchi-or-Tamisemi. 14 Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Tangazo la Serikali Na. 25 (Linaendelea) 15
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele za Mwaka 2017
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in