Sheria Ndogo za (Ada naUshuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi za Mwaka 2017
This section says the bylaws are called the Nkasi District Council Fees and Charges Bylaws, 2017, and they start applying after publication in the Government Gazette.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za (Ada naUshuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi za Mwaka 2017
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section says the bylaws are called the Nkasi District Council Fees and Charges Bylaws, 2017, and they start applying after publication in the Government Gazette. These by-laws apply throughout the area under the authority of Nkasi District Council. This section defines key terms used in the by-laws, including fees and charges, the Council, permits, markets, receipts, registration, and the Council’s agent. Halmashauri lazima itoze ada na ushuru kwa huduma zake, na malipo yafanywe kabla ya huduma kutolewa. All produce within the Council must be sold only in special areas set aside by the Council.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za (Ada naUshuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi za Mwaka 2017
Showing 58 of 58
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za (Ada na
AI-assisted research summary: This section says the bylaws are called the Nkasi District Council Fees and Charges Bylaws, 2017, and they start applying after publication in the Government Gazette.
1. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi za Mwaka 2017, na zitaanza kutumika mara baada ya kutangazwa kwenye Gazeti la Serikali. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote lililo chini ya
AI-assisted research summary: These by-laws apply throughout the area under the authority of Nkasi District Council.
2. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote lililo chini ya mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-laws, including fees and charges, the Council, permits, markets, receipts, registration, and the Council’s agent.
3. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa pale itakapoelezwa vinginevyo:- “Ada na Ushuru” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri au Wakala wake kwa ajili ya huduma, vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri. “Afisa Muidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa kusimamia Utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi. “Biashara” maana yake ni shughuli yoyote halali inayofanywa na mtu, watu, taasisi, shirika au kampuni ya kuuza na kununua mazao na au bidhaa yoyote inayozalishwa ndani ya Halmashauri “Chombo cha Usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirishia mtu, watu au mizigo kutoka sehemu 1 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) moja kwenda nyingine, bila kuhusisha mikokoteni na wanyama wanaotumika kusafirishia mizingo. “Chombo cha Uvuvi” maana yake ni Mitumbwi, Boti au chombo kingine chochote kinachotumika katika shughuli za uvuvi. “Doria” maana yake ni shughuli yoyote ya kushtukiza, kwa ajili ya kubaini na kukamata uharifu na waharifu. “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi. “Kibali/Leseni” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri. “Kituo cha Mabasi/Stendi” maana yake ni eneo maalum la kupakia na lililotengwa na Halmashauri kwa kutelemsha abiria na mizigo ya abiria. lengo “Machinjio” maana yake ni eneo lililotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanikia ngozi. “Madini ya Ujenzi” maana yake ni kokoto, mawe, changarawe, mchanga, chokaa, malumalu, kifusi, udongo mfinyanzi au chochote kinachochimbwa kwa shughuli za ujenzi na kupatikana katika mamlaka ya Halmashauri. “Mashine”maana yake ni nyenzo ya kielektroniki inayotumika katika biashara. “Masoko” maana yake Halmashauri kwa ajili ya kuuza na kununua bidhaa. ni maeneo yoyote yaliyotengwa na “Mazao” maana yake ni mazao yote yanayozalishwa kutoka mashambani, mistuni, majini na sehemu nyingine yoyote ndani ya Halmashauri. “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi, na ni pamoja na Afisa yeyote wa umma atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi. 2 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) “Mnada” maana yake ni sehemu maalum iliyotengwa na Halmashauri katika tarehe maalum kwa ajili ya kuendesha shughuli za kuuza na kununua bidhaa na Mifugo. “Risiti” maana yake ni kielelezo cha maandishi kinachotolewa na Halmashauri au wakala kuonesha ufanyikaji wa biashara. “Stakabadhi” maana yake ni hati maalum inayotolewa na Halmashauri kwa ajili ya malipo. “Usajili” maana yake ni utaratibu wa kutambua na kuorodhesha kimaandishi mali, vyombo, mtu, taasisi, au namna yingine yoyote itakayoifanya Halmashauri kutambua uwepo wa kitu kilichosajiliwa. “Wakala” maana yake ni mtu, Taasisi, Kampuni, au asasi yoyote iliyoteuliwa kisheria na Halmashauri kukusanya mapato ya Halmashauri kwa niaba yake SEHEMU YA PILI NAMNA YA KUKUSANYA ADA NA USHURU Ada na Ushuru
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoze ada na ushuru kwa huduma zake, na malipo yafanywe kabla ya huduma kutolewa.
4. (1) Halmashauri itatoza Ada na Ushuru mbalimbali kwa ajili ya Shughuli na huduma zitolewazo na Halmashauri kama inavyooneshwa kwenye jedwali la kwanza la Sheria Sheria Ndogo hizi. (2) Ada na Ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi, utalipwa kabla ya huduma kutolewa. (3) Bidhaa au huduma nyingine yoyote ambayo ilipaswa kutozwa ushuru ambayo haikutajwa na Sheria Ndogo hizi ambayo mtoza ushuru ataona kwa maslahi ya Halmashauri inafaa itozwe, itatozwa 5% ya bei ya soko la bidhaa hiyo kwa wakati huo. (4) Ada na Ushuru utakaotozwa na Halmashauri utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake ambaye atatoa stakabadhi ya Malipo kwa mtoaji wa Ada na ushuru huo. 3 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) (5) Bila kuathiri kifungu kidogo cha 4 cha kifungu hiki cha Sheria Ndogo hizi, malipo yote yatafanyika kwa kutumia mfumo wa kielektroniki yaani I – tax au kwa mfumo wa kawaida wa stakabadhi za Halmashauri pale ambapo mfumo wa I – tax utakaposhindikana. Maeneo ya kufanyia biashara Kulipa ada na ushuru. - 5 Verify source ↗
Mazao yote ndani ya Halmashauri yatauzwa katika maeneo
AI-assisted research summary: All produce within the Council must be sold only in special areas set aside by the Council.
5. Mazao yote ndani ya Halmashauri yatauzwa katika maeneo maalum yaliyotengwa na Halmashauri kwa shughuli hiyo, na kwa mujibu wa Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi. - 6 Verify source ↗
1) Itakuwa ni wajibu wa kila mtu anayetakiwa kulipa ada na
AI-assisted research summary: Watu wanaotakiwa kulipa ada na ushuru lazima walipe kwa viwango vilivyoainishwa, kwa Halmashauri au wakala wake, na risiti itolewe baada ya malipo.
6. 1) Itakuwa ni wajibu wa kila mtu anayetakiwa kulipa ada na Ushuru kuhakikisha kwamba analipa Ada na Ushuru kwa Viwango vilivyoainishwa na Sheria ndogo hizi. (2) Muda wa kukusanya Ada na Ushuru utakuwa kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. (3) Muda wa kusafirisha Mazao au bidhaa yoyote inayotakiwa kulipiwa ushuru kwa Halmashauri itakuwa kuanzia saa 12.30 Asubuhi hadi saa 12.30 jioni. (4) Malipo ya Ada na Ushuru yatafanyika kila siku au kwa muda maalum kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri/wakala na mlipa Ada na Ushuru katika Mkataba kwa Mawakala. (5) Malipo yote ya Ada na Ushuru yatalipwa kwa Halmashauri au wakala wake kwa mujibu wa Sheria ndogo hizi, na stakabadhi kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika itatolewa. Kibali cha kununua mazao - 7 Verify source ↗
Mfanyabiashara anayetaka kununua mazao ndani ya Halmashauri
AI-assisted research summary: A trader who wants to buy produce within the Council must obtain a permit from the Director.
7. Mfanyabiashara anayetaka kununua mazao ndani ya Halmashauri atapashwa kupata kibali toka kwa Mkurugenzi, kama ilivyooneshwa katika jedwali la nne la Sheria Ndogo hizi. Halmashauri kumteua wakala - 8 Verify source ↗
Halmashauri ina mamlaka ya kumteua Mtu binafsi, Kampuni,
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kumteua mtu binafsi, kampuni, asasi, au taasisi kukusanya ada na ushuru kwa niaba yake.
8. Halmashauri ina mamlaka ya kumteua Mtu binafsi, Kampuni, Asasi, au Taasisi kukusanya Ada na Ushuru kwa Niaba yake. 4 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) Wakala kusimamiwa na Afisa Mtendaji kata - 9 Verify source ↗
Kila Wakala atatakiwa kuripoti kwa Afisa Mtendaji wa Kata
AI-assisted research summary: Wakala lazima aripoti kwa Afisa Mtendaji wa Kata wa eneo lake. Afisa huyo anasimamia shughuli za ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kuhakikisha anapata taarifa za makusanyo kila baada ya miezi 3, 6, 9 na mwaka.
9. Kila Wakala atatakiwa kuripoti kwa Afisa Mtendaji wa Kata mahali uwakala wake ulipo, na Afisa Mtendaji huyo atakuwa na jukumu la kumsimamia wakala katika shughuli zake zote za ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kuhakikisha kuwa anapata taarifa za Makusanyo ya kila, Miezi mitatu (3),sita (6), tisa (9) na Mwaka. Waganga wa jadi kusajiliwa - 10 Verify source ↗
Waganga wote wa jadi hawataruhusiwa kuendesha shughuli zao
AI-assisted research summary: Traditional healers may not conduct their healing activities until they are registered under these by-laws.
10. Waganga wote wa jadi hawataruhusiwa kuendesha shughuli zao za uganga mpaka wawe wamesajiliwa kwa mujibu wa sharia ndogo hizi. SEHEMU YA TATU MAKOSA NA ADHABU Makosa
Part
SEHEMU YA TATU
- 11 Verify source ↗
Itakuwa ni kosa
AI-assisted research summary: Section 11 says it is an offence for the agent (Wakala) or any person to break the fee and levy collection rules listed here.
11. Itakuwa ni kosa; A. kwa Wakala (a) Kukusanya Ada na Ushuru bila kibali cha maandishi au mkataba kutoka Halmashauri. (b) Kujaribu au kukusanya Ada na Ushuru kwa kiwango tofauti na kilichotajwa katika Sheria Ndogo hizi. (c) Kushindwa kuwasilisha au kuwasilisha kiwango pungufu cha Ada na Ushuru kilichokubaliwa katika mkataba. (d) Kufanya uzembe usumbufu utakaoisababishia hasara Halmashauri kutokujua, kujua au kwa makusudi. au wowote iwe kwa (e) Kuwaruhusu watumishi wake kuingia eneo la Halmashauri kukusanya Ada au ushuru bila kuvaa vitambulisho vya Wakala. 5 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) B. Kwa yeyote ambaye;- (a) Atashindwa, atadharau, au kukaidi/kukataa kulipa Ada na lolote alilopewa na Ushuru au kutotekeleza agizo Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa Ada na Ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi. (b)Atakimbia, ataharibu kizuizi au kufanya kitendo chochote kiovu kwa lengo la kukwepa kulipa Ada na Ushuru (c) Atamshawishi mtu au kundi la watu kukataa au kukwepa kulipa Ada na Ushuru. (d)Atatengeneza, atatayarisha, ataidhinisha utengenezaji au atatumia nyaraka za uongo Kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa Ada na Ushuru mbalimbali ndani ya Halmashauri. (e) Kwa maksudi atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri wakati akijua taarifa anazotoa ni za uongo au atashindwa kutoa taarifa zitakazohitajika na Halmashauri. (f) Atashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu, au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri. (g)Kwa maksudi atasababisha au atapoteza nyaraka au sehemu ya nyaraka za Halmashauri, na (h)Atamzuia Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake. Adhabu - 12 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti ya Sheria
AI-assisted research summary: Anyone who goes against these by-laws commits an offence and, if convicted, may be fined up to TZS 50,000, jailed for six months, or both.
12. Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hizi atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyozidi shilingi elfu hamsini (50,000/=) au kifungo cha miezi sita jela au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo 6 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) Kufifi-lisha kosa Kufutwa kwa GN 394 - 13 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kumtoza faini mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mkurugenzi ana uwezo wa kumtoza faini mtu yeyote isiyozidi shilingi 50,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa maandishi, anajaza fomu maalum ya Jedwali la 23, na anakubali kulipa faini.
13. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kumtoza faini mtu yeyote isiyozidi shilingi elfu hamsini (50,000/=) iwapo mkosaji atakiri kwa maandishi kutenda kosa hilo kwa kujaza fomu maalum iliyopo kwenye jedwali la ishirini na tatu la Sheria Ndogo hizi na kukubali kulipa faini anayodaiwa. - 14 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zinafuta Sheria Ndogo GN Na. 394 ya tarehe
AI-assisted research summary: This provision says these by-laws repeal GN No. 394 dated 17/10/2014.
14. Sheria Ndogo hizi zinafuta Sheria Ndogo GN Na. 394 ya tarehe 17/10/2014. SEHEMU YA NNE JEDWALI (Limetungwa chini ya kifungu cha 4(1)) JEDWALI LA KWANZA
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
ADA YA JENGO NA KUKODI MALI YA HALMASHAURI
AI-assisted research summary: Halmashauri inaonesha ada na pango mbalimbali za nyumba, ukumbi, viti, masoko, chumba, meza ya soko na huduma ya choo.
1. ADA YA JENGO NA KUKODI MALI YA HALMASHAURI Na. Huduma Kiwango 1 Nyumba za Halmashauri (a) Kubwa (b) Za kati (c) ndogo Tsh. 50,000/= kwa mwezi Tsh. 40,000/= kwa mwezi Tsh. 30,000/= kwa mwezi 2 3 4 5 6 7 8 Ukumbi mkubwa Tsh. 50,000/= kwa siku Ukumbi mdogo Tsh. 30,000/=kwa siku Viti Tsh. 500/= kwa kila kiti kwa siku Masoko yote ya Halmashauri Mzunguko wa stendi kuu Maeneo Mengine ya Halmashauri Tsh. 4,000/= kwa mita za mraba kwa mwezi Tsh. 4,000/= kwa mita za mraba kwa mwezi Tsh.4,000/= kwa mita za mraba kwa mwezi Pango la Chumba Tsh. 40,000/= kwa mwezi 7 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) 9 10 Pango la meza la soko Tsh. 3,000/= kwa mwezi Huduma ya Choo Tsh. 200/= @ kila mtu atumiapo - 2 Verify source ↗
ADA NA USHURU WA MAZAO MCHANGANYIKO
AI-assisted research summary: This section lists 5% ushuru rates for several crops and produce units.
2. ADA NA USHURU WA MAZAO MCHANGANYIKO Na. 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 Zao Mahindi Maharage Mpunga Mchele Ulezi Karanga Alizeti Muhogo Ngano Matunda Miwa Mawese Mazao mengine Kiwango 5% kwa gunia la kilo 100 5% kwa gunia la kilo 100 5% kwa gunia la kilo 100 5% kwa gunia la kilo 100 5% kwa gunia la kilo 100 5% kwa gunia la kilo 100 5% kwa gunia la kilo 60 5% kwa gunia la kilo 100 5% kwa gunia la kilo 100 5% kwa gunia la kilo 100 5% kwa tripu ya Lori la Tani saba 5% kwa lita 20 5% ya bei ya kununulia kwa gunia la kilo 100 - 3 Verify source ↗
ADA YA HUDUMA ZA MACHINJIO, UKAGUZI WA NYAMA NA
AI-assisted research summary: This section lists slaughterhouse and meat inspection charges for cattle, sheep and goats, and pigs.
3. ADA YA HUDUMA ZA MACHINJIO, UKAGUZI WA NYAMA NA USHURU WA BUCHA Na. Ada/Ushuru 1 2 3 3 Ada ya Machinjio na Ukaguzi wa nyama kwa kila Ng’ombe atakayechinjwa Ada ya Machinjio na Ukaguzi wa nyama kwa kila Kondoo na Mbuzi Ada Machinjio na ukaguzi wa nyama kwa kila Nguruwe - 2 Verify source ↗
Ushuru wa ngozi ya
AI-assisted research summary: Hii aya inaonyesha ushuru wa ngozi ya mbuzi na kondoo na viwango vya fedha vilivyoorodheshwa.
2. Ushuru wa ngozi ya mbuzi na kondoo Kiwango Tsh. 4,000/= Tsh 1,500/= Tsh. 2,000/= Tsh. 500/= Tsh. 200/= - 4 Verify source ↗
ADA YA KUENDESHA SHUGHULI ZA UTAMADUNI, BURUDANI
AI-assisted research summary: This section lists local fees and charges for entertainment, traditional healer registration, pool tables, and slotting machines.
4. ADA YA KUENDESHA SHUGHULI ZA UTAMADUNI, BURUDANI NA MICHEZO 8 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) Ada/Ushuru Kiwango N a. 1 Kibali cha kuendesha DISCO, Maonesho ya bendi na Sanaa za Maonesho 2 Waganga wa Jadi waliosajiliwa 3 Pool Table 4 Slotting Machine Tsh.10,000/= kwa siku Tsh. 80,000/= kwa mwaka Tsh. 500/= kwa kila Pool Table kwa siku Tsh. 500/= kwa kila mashine kwa siku - 5 Verify source ↗
ADA NA USHURU WA VYOMBO VYA USAFIRI KATIKA ENEO LA
AI-assisted research summary: Kuna viwango vya ushuru wa maegesho kwa aina tofauti za vyombo vya usafiri katika stendi na maegesho yaliyotengwa.
5. ADA NA USHURU WA VYOMBO VYA USAFIRI KATIKA ENEO LA STENDI NA MAEGESHO YALIYOTENGWA Na . 1 2 3 4 5 Chombo cha Usafiri Ushuru wa Maegesho Pikipiki zilizosajiliwa kwa biashara katika maeneo yaliyotengwa Teksi Lori chini ya Tani saba/pick up/Basi ndogo Lori zaidi ya Tani saba/ Basi kubwa Magari mengine yasiyo ya biashara 300/= kwa siku 500/= kwa siku 1,000/= kwa siku 3,000/= kwa siku 500/= kwa siku - 6 Verify source ↗
ADA NA USHURU WA STENDI
AI-assisted research summary: This section lists daily fees and charges for different vehicles, fishing vessels, and dock loading/unloading by category.
6. ADA NA USHURU WA STENDI N a. 1 2 3 Chombo cha Usafiri Kiwango Teksi/gari dogo chini ya abiria 5 Basi chini ya Abiria 25 Basi zaidi ya Abiria 25 Tsh. 500/= kwa kutoka kwa siku Tsh. 1,000/= kwa kutoka kwa siku Tsh. 2,000/= kwa kutoka kwa siku Ada au na Ushuru wa Maegesho ya Vyombo vya Uvuvi ndani ya Nchi na ushuru wa Gati 4 5 6 7 Tsh. 2,000/= kwa siku Tsh. 1,000/= kwa siku Tsh. 500/= kwa siku Tsh. 1000/= kwa kila tani Boti kubwa Boti la Kati Mtumbwi Gati kupakia na kupakua 9 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) - 7 Verify source ↗
ADA NA USHURU WA MAEGESHO YA VYOMBO USAFIRI WA
AI-assisted research summary: Section 7 sets charges for parking water transport vehicles from outside the country and a charge for sand from outside the country.
7. ADA NA USHURU WA MAEGESHO YA VYOMBO USAFIRI WA MAJI TOKA NJE YA NCHI, PAMOJA NA USHURU WA MCHANGA TOKA NJE YA NCHI NA. 1 Mtumbwi/Boti Boti Kubwa 2 3 4 5 Boti la Kati Boti Dogo Mtumbwi Mchanga mwambao mwa ziwa Tanganyika Kiwango Tsh.10,000/=kuingia na kutoka Tsh.7,000/=kuingia na kutoka Tsh.5,000/=kuingia na kutoka Tsh.2,000/=kuingia na kutoka Tsh.2,000/= kwa kila mgeni kutoka nje ya nchi - 8 Verify source ↗
USHURU WA MADINI YA UJENZI
AI-assisted research summary: This text gives a tax heading and table labels for vehicle weight and tax amount, but it does not state the full rule.
8. USHURU WA MADINI YA UJENZI N a. 1 2 3 Uzito wa Gari Kiasi cha Ushuru A. Mchanga - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text repeats a list of one bullock cart trip, one power tiller trip, and one lorry trip, but it does not state a clear rule.
1. Tripu moja ya mkokoteni wa Ng’ombe Tripu moja ya power tiller Tripu moja ya Lori Tripu moja ya mkokoteni wa Ng’ombe Tripu moja ya power tiller Tripu moja ya Lori Tripu moja ya mkokoteni wa Ng’ombe Tripu moja ya power tiller Tripu moja ya Lori - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This provision lists several amounts in Tanzanian shillings.
3. Tsh. 500/= Tsh. 500/= Tsh. 2,000/= Tsh. 500/= Tsh. 700/= Tsh. 2,000/= Tsh. 500/= Tsh. 700/= Tsh. 3,000/= - 9 Verify source ↗
ADA YA MATANGAZO YA BIASHARA
AI-assisted research summary: This provision lists advertising fees for different kinds of business advertisements.
9. ADA YA MATANGAZO YA BIASHARA Na . 1 2 Aina ya Tangazo Kiwango Matangazo yanayong’aa(kwa makampuni ya simu na viwanda) Tsh. 20,000/= kwa mwezi Matangazo yanayong’aa (kwa nyumba za kulala wageni) Tsh. 5,000/= kwa mwezi 10 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) 3 4 5 6 7 8 9 10 Matangazo yanayong’aa (kwa wafanyabiashara wa kawaida) Matangazo yasiyong’aa (kwa wafanyabiashara wa kawaida) Tsh. 3,000/= kwa mwezi Tsh. 1,000/= kwa mwezi Matangazo yasiyong’aa (kwa makampuni ya simu na viwanda) Tsh. 10,000/= kwa mwezi Matangazo yasiyong’aa (kwa nyumba za kulala wageni) Bango la Tangazo linalobadilikabadilika Tangazo kwa kutumia kitambaa Tangazo kwa kutumia karatasi Tangazo kwa kutumia vyombo vya usafiri na vipasa sauti Tsh. 3,000/= kwa mwezi Tsh. 100,000/= kwa mwezi Tsh. 3,000/= kwa mwezi Tsh. 1,000/= kwa mwezi Tsh. 10,000/= kwa siku - 10 Verify source ↗
USHURU WA SAMAKI NA DAGAA
AI-assisted research summary: This section lists a fish and dagaa tax/rate schedule.
10. USHURU WA SAMAKI NA DAGAA Na . 1 2 3 4 Aina ya Samaki Kiwango Samaki wabichi Samaki wa Mapambo Ushuru wa dagaa Samaki Wakavu:- - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The text lists several prices or charges in Tanzanian shillings for different quantities or containers of fish and related items.
4. Sanduku kubwa Tenga Kubwa Tenga la Kati Tenga Dogo Tsh. 100 kwa kilo Tsh. 5,000/= kwa samaki mmoja Tsh. 15,000/= kwa gunia Tsh. 15,000/= kwa sanduku Tsh 10,000/= kwa Tenga Tsh. 7,000/= kwa Tenga Tsh. 5,000/= kwa Tenga - 11 Verify source ↗
USHURU WA SAMAKI NA DAGAA KWENDA NJE YA NCHI
AI-assisted research summary: This section appears to list export duties for fish and dagaa, but the rate details are not shown in the provided text.
11. USHURU WA SAMAKI NA DAGAA KWENDA NJE YA NCHI Na . 1 2 3 Aina ya Samaki Kiwango Samaki wabichi Dagaa Samaki Wakavu:- - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This section lists several prices in Tanzanian shillings for different container and bag categories.
8. Sanduku kubwa Tenga Kubwa Tenga la Kati Tenga Dogo Tsh. 150 kwa kilo Tsh. 20,000/= kwa gunia Tsh. 20,000/= Tsh.15,000/= Tsh. 10,000/= Tsh. 7,000/= - 12 Verify source ↗
ADA NA USHURU WA BIDHAA KWENDA NJE YA NCHI
AI-assisted research summary: Bidhaa zilizoorodheshwa kwa ajili ya kwenda nje ya nchi zinatozwa ada/ushuru wa 5% ya bei ya soko.
12. ADA NA USHURU WA BIDHAA KWENDA NJE YA NCHI 11 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) Na Aina ya Bidhaa Kiwango 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Sabuni 5% ya bei ya soko Mafuta ya taa 5% ya bei ya soko Disel Petrol 5% ya bei ya soko 5% ya bei ya soko Mafuta ya kula 5% ya bei ya soko Sukari Nguo Chumvi 5% ya bei ya soko 5% ya bei ya soko 5% ya bei ya soko Chuma chakavu 5% ya bei ya soko 10 Bidhaa nyingine 5% ya bei ya soko - 13 Verify source ↗
ADA YA MAJENGO, UPIMAJI WA ARDHI NA VIBALI VYA UJENZI
AI-assisted research summary: This section lists fees for building permits, plan inspection, and land survey/use applications.
13. ADA YA MAJENGO, UPIMAJI WA ARDHI NA VIBALI VYA UJENZI Na . 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Ada ya kibali cha ujenzi na ukaguzi wa ramani Jengo la makazi Jengo la makazi la ghorofa moja Jengo la makazi zaidi ya ghorofa moja Jengo la makazi na biashara Jengo la biashara Jengo la biashara zaidi ya ghorofa moja Jengo la kiwanda kidogo na ghala Jengo la kiwanda/kituo cha mafuta Jengo la taasisi ya dini, NGO, Chama cha Siasa Jengo la taasisi ya dini, NGO, Chama cha Siasa 10 Ada za Maombi ya Upimaji na Utumiaji wa Ardhi kiwango Tsh. 15,000/= Tsh. 30,000/= Tsh. 50,000/= Tsh. 20,000/= Tsh. 25,000/= Tsh. 70,000/= Tsh. 50,000/= Tsh. 150,000/= Tsh. 20,000/= Tsh. 50,000/= - 2 Verify source ↗
Ada ya malipo ya awali ya
AI-assisted research summary: Ada ya malipo ya awali ya kiwanja/ardhi ni Tsh 10,000.
2. Ada ya malipo ya awali ya kiwanja/ Ardhi (Premiun) Tsh. 10,000/= - 7 Verify source ↗
5% ya thamani ya
AI-assisted research summary: The fragment refers to 7.5% of land value.
7.5% ya thamani ya Ardhi 12 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) - 14 Verify source ↗
USHURU WA MAZAO YA MALIASILI
AI-assisted research summary: A schedule sets ushuru rates for different natural-resource products like timber, logs, charcoal, firewood, and honey.
14. USHURU WA MAZAO YA MALIASILI Aina ya Maliasili Na . 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Nta Mbao za mninga Mbao za mkaratusi Mbao nyinginezo Gogo kubwa Gogo la kati Gogo dogo Mkaa Kuni Asali Kiwango Tsh. 2,000/= kwa kila ubao Tsh. 1,000/= kwa kila ubao Tsh. 1,000/= kwa kila ubao Tsh. 5,000/= kwa kila gogo Tsh. 3,000/= kwa kila gogo Tsh. 2,000/= kwa kila gogo Tsh. 2,000/= kwa kila gunia Tsh. 5,000/= kwa tani moja Tsh. 200/= kwa lita Tsh. 500/= kwa kilo - 15 Verify source ↗
ADA NA USHURU WA MASOKO NA MINADA
AI-assisted research summary: This section lists market and auction fees, including a Tsh. 200 daily fee for goods sold at a market table and various other market/livestock charges.
15. ADA NA USHURU WA MASOKO NA MINADA Ada na Ushuru wa bidhaa sokoni kwa meza Kiwango Tsh. 200/= kwa siku Bidhaa Na . 1 Ada na Ushuru wa Minada 2 3 4 5 6 7 8 Ada na Ushuru wa Mifugo Mnadani 9 10 Mbuzi/Kondoo/Nguruwe/ na Meza Wauza mitumba/nguo Mamantilie Wauza soda Wauza bia Biashara ndogondogo Pombe za asili Ng’ombe Tsh. 1,000/= kwa siku Tsh. 1,000/= kwa siku Tsh. 500/= kwa siku Tsh. 1,000/= kwa siku Tsh. 2,000/= kwa siku Tsh. 500/= kwa siku Tsh. 1,000/= kwa siku Tsh. 5,000/= kwa kila mmoja Tsh. 1,500/= kwa kila mmoja Punda 11 Kuku/Kanga na Bata Tsh. 1,000/= kwa kila mmoja - 16 Verify source ↗
ADA YA KIBALI CHA KUNUNUA MAZAO YA KILIMO
AI-assisted research summary: Sectioni inaweka ada ya kibali cha kununua mazao ya kilimo kulingana na idadi ya magunia kwa safari moja.
16. ADA YA KIBALI CHA KUNUNUA MAZAO YA KILIMO N a. 1 2 3 Idadi ya Gunia Kiwango kwa safari moja Gunia 1- 100 Gunia 100 - 500 Gunia 500 - 1000 Tsh.20,000/= Tsh. 80,000/= Tsh. 150,000/= 13 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) 4 5 6 7 Gunia 1,000 -1,500 Gunia 1,500 - 2,000 Gunia 2,000 - 3,000 Gunia zaidi ya 3,000 Tsh. 200,000/= Tsh. 250,000/= Tsh. 300,000/= Tsh. 500,000/= - 17 Verify source ↗
ADA NA USHURU WA MIFUGO INAYOSAFIRISHWA KWENDA
AI-assisted research summary: Kuna ushuru wa mifugo inayosafirishwa kwenda nje ya nchi, ukiwa tofauti kulingana na aina ya mnyama.
17. ADA NA USHURU WA MIFUGO INAYOSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI NA. MIFUGO KIWANGO 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Ng’ombe Punda Farasi Mbuzi Kondoo Nguruwe Bata Kanga Kuku Tsh. 10,000/= Tsh. 10,000/= Tsh. 10,000/= Tsh. 5,000/= Tsh. 5,000/= Tsh. 5,000/= Tsh. 1,000/= Tsh. 1,000/= Tsh. 500/= - 18 Verify source ↗
ADA NA USHURU WA MAZAO MCHANGANYIKO
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaweka ada na ushuru kwa mazao mchanganyiko yanayosafirishwa nje ya nchi, ikiwemo viwango vya asilimia 10 kwa mazao mengi yaliyoorodheshwa na ada ya 14 kwa ulezi.
18. ADA NA USHURU WA MAZAO MCHANGANYIKO YANAYOSAFIRISHWA NJE YA NCHI Na. 1 2 3 4 5 Zao Mahindi Maharage Mpunga Mchele Ulezi Ada 10% 10% 10% 10% 10% 14 Ushuru 10% 10% 10% 10% 10% Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 Karanga Alizeti Muhogo Ngano Matunda Miwa Mawese Mazao mengine Ufuta Tumbaku Mikambaa Mazao mengine 10% 10% 10% 10% 10% 10% 10% 10% 10% 10% 10% 10% - 19 Verify source ↗
Section 19
AI-assisted research summary: The text lists a 10% service tax for the named services.
19. USHURU WA HUDUMA 10% 10% 10% 10% 10% 10% 10% 10% 10% 10% 10% 10% Aina ya huduma Zuku Azam Continental Minara ya simu Vituo vya kuuzia mafuta Runinga ya nyaya (Cable) TANESCO TTCL BENKI YA NMB BENKI YA CRDB BENKI YA POSTA TUNAKOPESHA LTD BAYPOT Na . 1 2 3 4 5 6 8 9 10 11 12 13 14 15 ABC PLATINUM 16 17 TING 18 DSTV KIWANGO - 0 Verify source ↗
3% kwa mwaka
AI-assisted research summary: This provision states a rate of 0.3% per year.
0.3% kwa mwaka JEDWALI LA PILI (Limetungwa chini ya kifungu cha 5)
Part
JEDWALI LA PILI
- 1 Verify source ↗
MASOKO YALIYOTAMBULIWA NDANI YA HALMASHAURI
AI-assisted research summary: This section is titled “Masoko yaliyotambulwa ndani ya halmashauri” (markets identified within the municipality).
1. MASOKO YALIYOTAMBULIWA NDANI YA HALMASHAURI - 12 Verify source ↗
Soko la Lyazumbi
AI-assisted research summary: Hii ni kichwa cha kifungu kinachotaja Soko la Lyazumbi.
12. Soko la Lyazumbi 15 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) Soko la Kirando - 2 Verify source ↗
MAGULIO YANAYOTAMBULIWA RASMI NDANI YA HALMASHAURI
AI-assisted research summary: Magulio rasmi ndani ya halmashauri ndiyo maeneo ambako wafanyabiashara wanatakiwa kutozwa ushuru na ada.
2. MAGULIO YANAYOTAMBULIWA RASMI NDANI YA HALMASHAURI KUWA NDIYO MAENEO AMBAYO WAFANYABIASHARA WANATAKIWA KUTOZWA USHURU NA ADA. VITUO VIKUBWA Soko la mazao la kimataifa Isunta VITUO VIDOGO VYA MASOKO Kanazi, Kakoma, Mbwendi Lunyala, Mkole, Ipanda NA . 1 2 3 4 4 5 6 7 8 9 KATA Namanyere Kipundu Nkomolo Majengo Isunta Isale Asilia Isale Kate Sintali Myula 10 11 Kipande Nkandasi 12 Mkwamba N A. 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Isale Godown Ntuchi Godown Kate Godown Nkana Godown Ntalamila Godown Kantawa Godown Kasu Godown Swaila Godown Chala Ntatumbila 13 14 15 Machete 16 Mtenga 17 18 19 20 Paramawe Kabwe Korongwe Kirando Chala Godown Ntatumbila Godown 10 11 12 Machete Godown 13 Mtenga Godown 14 15 16 17 Paramawe Godown Kabwe Korongwe Kamwanda Godown 16 Msilihofu, Mtapenda Kitosi, Ifundwa Nkata, Itekesya, Nchenje Sintali, Nkomanchindo, Kasapa Chonga, Chalatila, Myula Nkundi, Kipande, Kalundi, Nkomolo II Katani, Milundikwa, Kisula, Malongwe Tambaruka, Lyele, Itindi - Kacheche, londokazi Miombo matala Kizi, Lyazumbi Utinta, Kazovu Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) 21 22 Itete Kipili 23 Mkinga 24 25 26 Wampemb Ninde Kizumbi e Kala 27 18 Kipili 19 Mkinga Namansi 20 Kizumbi 21 22 Wampembe 23 King’ombe 24 Mpasa Chongokatete Katongolo, Mandakerenge Ninde Ngundwe Izinga, Mwinza Kilambo, Kala, Mlambo. - 3 Verify source ↗
MASOKO YA SAMAKI NA DAGAA
AI-assisted research summary: Huu ni mwongozo wa fomu za kukiri kosa na kuomba kibali cha kununua mazao katika masoko ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi.
3. MASOKO YA SAMAKI NA DAGAA 1 2 3 4 5 6 7 Mwalo wa Kabwe Soko la Korongwe Mwalo wa Kirando Malo wa Ntanganyika Mwalo wa Namansi Mwalo wa Ninde Mwalo wa Msamba Mwalo wa Mkilinga Mwalo wa Mpasa Mwalo wa Lyele Mwalo wa Kizumbi Mwalo wa Wampembe Mwalo wa Kala Mwalo wa Lupata 8 9 10 11 12 13 14 15 Mwalo wa Kapumpuli JEDWALI LA TATU. HATI YA KUFIFILISHA KOSA (Limetungwa chini ya kifungu cha 15) ………………………………..nakiri ya Mimi …………………………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi, kwamba mnamo tarehe……………….. ya mwezi……………mwaka ……………..nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha……………… cha Sheria Ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi (Ada na Ushuru) za Mwaka 2016. mbele Na kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Niko tayari kulipa kiasi cha Ada/Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe …………ya mwezi …………………… mwaka .………………… Jina ……………………………………sahihi ………………………………… Mbele ya Jina …………………………………………………. Cheo ………………………………………………… Saini …………………………………………………. 17 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) JEDWALI LA NNE (Limetungwa chini ya kifungu cha 6(6)) MAOMBI YA KIBALI CHA KUNUNUA MAZAO KATIKA MASOKO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA NKASI (Ijazwe na mwombaji)
Part
JEDWALI LA NNE
- 1 Verify source ↗
Jina la kampuni/Shirika/Ushirika/Mnunuzi ……………………………
AI-assisted research summary: This section is titled with the company, organization, cooperative, or buyer name and marked as Section A.
1. Jina la kampuni/Shirika/Ushirika/Mnunuzi …………………………….. SEHEMU ‘A’ - 2 Verify source ↗
Anuani yake S. L. P ……………………Simu ………………Wilaya ……
AI-assisted research summary: This section asks for contact details: postal address, telephone number, and district.
2. Anuani yake S. L. P ……………………Simu ………………Wilaya ……. - 3 Verify source ↗
Mahali ofisi yake ilipo………………….mji ………………….. mtaa ……
AI-assisted research summary: This section asks for the location of the office, including the town and street.
3. Mahali ofisi yake ilipo………………….mji ………………….. mtaa …… - 4 Verify source ↗
Mahalianapoishi/Mji………………………………………………………
AI-assisted research summary: Section 4 is titled “Mahalianapoishi/Mji.”
4. Mahalianapoishi/Mji……………………………………………………… - 5 Verify source ↗
Namba ya Leseni ya Ununuzi wa mazao ………………………………
AI-assisted research summary: Section 5 is titled “Namba ya Leseni ya Ununuzi wa mazao.”
5. Namba ya Leseni ya Ununuzi wa mazao ……………………………… - 6 Verify source ↗
Namba ya kuandikishwa Shirika/Kampuni…………………………………
AI-assisted research summary: This section concerns the registration number for a company or corporation.
6. Namba ya kuandikishwa Shirika/Kampuni………………………………… - 7 Verify source ↗
Mazao anayotaka kununua ………………………………………………
AI-assisted research summary: Section 7 is titled “Mazao anayotaka kununua” (crops intended to be bought).
7. Mazao anayotaka kununua ………………………………………………. - 8 Verify source ↗
Kiasi anachotaka kununua Gunia/Kgms…………………………………
AI-assisted research summary: This section refers to the quantity a person wants to buy, measured in sacks or kilograms.
8. Kiasi anachotaka kununua Gunia/Kgms…………………………………. - 9 Verify source ↗
Masoko/kijiji atakaponunulia ……………………………………………
AI-assisted research summary: The text mentions a purchase at a market or village, but the rule itself is not stated in the excerpt.
9. Masoko/kijiji atakaponunulia ……………………………………………. - 10 Verify source ↗
Maghara atakayotumia kusombea mazao yake …………………………
AI-assisted research summary: Sehemu hii ina kichwa kuhusu maghara ya kusombea mazao, kisha ina tamko la kuthibitisha kwamba maelezo yaliyotolewa ni sahihi na kweli.
10. Maghara atakayotumia kusombea mazao yake ………………………….. NATHIBITISHA: Kuwa maelezo yote niliyotoa hapo juu ni sahihi na kweli. - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaomba jina la mwombaji.
1. Jina la mwombaji …………………………………………………. - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sahihi ya mwombaji.
2. Sahihi ya mwombaji ………………………………………………. - 4 Verify source ↗
Tarehe ……………………………………………………………
AI-assisted research summary: Nakala ya kibali hiki inapaswa kubaki kwa ajili ya ukaguzi wakati wowote, ikihusisha Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya na Afisa Mtendaji wa Kijiji.
4. Tarehe ……………………………………………………………... Nakala ya kibali kwa ajili ya ukaguzi wakati wowote: Nakala ya kibali hiki itabaki kwa:- - Mkurugenzi Mtendaji Wilaya (W) ……………………………. - Afisa Mtendaji Kijiji cha ……………………………………… …………………………………... MKURUGENZI MTENDAJI (W) Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi 18 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Tangazo la Serikali Na. 29 (Linaendelea) Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi ilibandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa kufuata Azimio lililopitishwa kwenye mkutano wa Halmashauri uliofanyika tarehe 27 mwezi Aprili mwaka 2016. Mbele ya:- JULIUS MSELECHE KAONDO, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi. SUMUNI ZENO MWANAKULYA, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi. NAKUBALI, Dodoma, 09 Januari, 2017 GEORGE B. SIMBACHAWENE (MB) Waziri wanchi-or-Tamisemi 19
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za (Ada naUshuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi za Mwaka 2017
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in