Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma za mwaka, 2017
These by-laws are titled the Musoma District Council (Fees and Charges) By-Laws, 2017, and they start to apply after publication in the Government Gazette.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma za mwaka, 2017
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
These by-laws are titled the Musoma District Council (Fees and Charges) By-Laws, 2017, and they start to apply after publication in the Government Gazette. These by-laws apply throughout the area under the authority of Musoma District Council. Kifungu hiki kinafafanua istilahi muhimu na kisha kinaelekeza Halmashauri kutoza Ada na Ushuru kwenye huduma, vibali na leseni zilizoainishwa, pamoja na kuhakikisha malipo yanafanyika kwa Halmashauri au wakala na stakabadhi ya kielektroniki hutolewa. Watu wanaopaswa kulipa Ada au Ushuru lazima walipe kwa kiwango kilichowekwa, watoe taarifa sahihi na watunze rekodi za malipo; wanaotaka shughuli zinazoitaji kibali au leseni lazima waombe na wapate kutoka Halmashauri. Halmashauri ina mamlaka ya kuteua kampuni au taasisi iliyosajiliwa kukusanya ada au ushuru chini ya sheria ndogo hizi.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma za mwaka, 2017
Showing 15 of 15
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: These by-laws are titled the Musoma District Council (Fees and Charges) By-Laws, 2017, and they start to apply after publication in the Government Gazette.
1. Jina na mwanzo wa kuanza kutumika Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma za mwaka, 2017 na zitaanza kutumika baada ya kutangazwa kwenye Gazeti la Serikali. Matumizi - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: These by-laws apply throughout the area under the authority of Musoma District Council.
2. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote lililo chini ya mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinafafanua istilahi muhimu na kisha kinaelekeza Halmashauri kutoza Ada na Ushuru kwenye huduma, vibali na leseni zilizoainishwa, pamoja na kuhakikisha malipo yanafanyika kwa Halmashauri au wakala na stakabadhi ya kielektroniki hutolewa.
3. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa itakapoelekezwa vinginevyo:- “Ada na Ushuru” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri au wakala kwa ajili ya huduma, vibali, au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa masuuli” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri au afisa yeyote atakaye idhinishwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi. “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa na Halmashauri kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; thamani “Bidhaa“ maana yake ni kitu chochote chenye kilicholetwa sokoni au gulioni kwa lengo la kuuzwa. “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya Musoma. idhini au ruhusa ya maandishi “Kibali’ maana yake ni inayotolewa na Halmashauri. “Leseni” maana yake ni kibali cha maandishi kinachotolewa kwa Mtu binafsi, Kampuni au taasisi kinachoruhusu kufanya biashara au shughuli yoyote katika eneo la Halmashauri. 1 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo la Serikali Na. 98 (linaendelea) “Machinjio” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi. “Masoko” maana yake ni sehemu maalumu iliyotengwa na kumilikiwa na Halmashauri kwa ajili ya biashara ya kuuza na kununua bidhaa au huduma kufuatana na taratibu zilizowekwa na Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Musoma pamoja na Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “Mkataba” maana yake ni makubaliano yenye nguvu ya kiSheria ya ununuzi au uuzaji au utoaji wa huduma yoyote kati ya Halmashauri na mdau husika. “Wakala” maana yake ni Mtu, Taasisi, Kampuni au asasi yoyote iliyoteuliwa kiSheria na Halmashauri kukusanya mapato kwa niaba ya Halmashauri. (1) Halmashauri itatoza Ada na Ushuru katika biashara, huduma, vibali, au leseni mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama ilivyoorodheshwa kwenye jedwali la kwanza Sheria Ndogo hizi. (2) Bila kuathiri masharti ya jumla kifungu kidogo cha (1 ) cha 4 cha Sheria Ndogo Halmashauri itatoza Ada na Ushuru katika vyanzo vifuatavyo:- i. Ushuru wa Kupakia na Kupakua Bidhaa ii. Kibali cha Kusafirisha bidhaa iii. Ada ya Maegesho ya mitumbwi na boti iv. Ada ya maombi ya kuchimba/kupitisha mtaro kwenye eneo la barabara v. Ada ya Mabango vi. Ada ya Shughuli za Utamaduni. vii. Ushuru wa machinjio na ada ya ukaguzi wa nyama. viii. Adaya vibali vya ujenzi (1) Halmashauri itaweka utaratibu itakavyoona inafaa ikiwa ni pamoja na kutenga maeneo maalum ya kutoza Ada na Ushuru kutoka vyanzo vya mapato kama ilivyoainishwa kwenye kifungu kidogo cha (2) cha kifungu cha 4 cha Sheria Ndogo hizi. (2) Malipo ya Ada au Ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi yatalipwa kwa Halmashauri au wakala na kutolewa stakabadhi halali ya kielektroniki kama 2 Ada na Ushuru - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Watu wanaopaswa kulipa Ada au Ushuru lazima walipe kwa kiwango kilichowekwa, watoe taarifa sahihi na watunze rekodi za malipo; wanaotaka shughuli zinazoitaji kibali au leseni lazima waombe na wapate kutoka Halmashauri.
4. 5 Namna ya kukusanya Ada na Ushuru Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo la Serikali Na. 98 (linaendelea) kielelezo cha malipo yaliofanyika. (3) Ada na Ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi utalipwa kabla ya kupata huduma, leseni au kibali husika. (4) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (2) cha kifungu cha 5 cha Sheria Ndogo hizi Halmashauri au wakala kwa idhini ya Afisa Masuuli itatoa kwa mlipaji stakabadhi halali ya kawaida kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika endapo stakabadhi ya kielektroniki haiwezi kutolewa. (5) Halmashauri au Wakala atakuwa na mamlaka ya kukamata bidhaa au mali ya mtu yeyote endapo ameshindwa kulipa Ada au Ushuru ndani ya muda aliotakiwa kulipa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. (6) Endapo bidhaa au mali iliyokamatwa na Halmashauri au wakala haitalipiwa Ada au Ushuru unaodaiwa ndani ya siku 7 kwa mali au bidhaa zisizoharibika haraka, na ndani ya siku 2 kwa mali au bidhaa zinazoharibika haraka. Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuuza bidhaa au mali na fedha zitakazopatikana zitawekwa kwenye akaunti ya Halmashauri (7) Wakala hataruhusiwa kuuza au kufanya jambo lolote kwa mali au bidhaa iliyokamatwa bila kupata idhini ya Afisa Masuuli. (1) Ni wajibu wa kila mtu anayetakiwa kulipa Ada au Ushuru kulipa kiwango cha Ada au Ushuru kama ilivyoainishwa kwenye Sheria Ndogo hizi. (2) Ni wajibu kwa kila mtu kutoa taarifa sahihi kwa au Wakala kuhusu bidhaa au mali Halmashauri zinazotakiwa kulipiwa Ada au Ushuru. Itakuwa ni wajibu kwa kila mtu atakayelipa Ada au Ushuru kutunza kumbukumbu za malipo. (3) (1) Halmashauri itatoa kibali au leseni kwa mfanyabiashara au mtu yeyote kwa kadri itakavyoona inafaa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. (2) Ni wajibu kwa kila mfanyabiashara au mtu yeyote anayetaka kufanya jambo lolote linalohitaji kibali au leseni kuomba na kupata leseni au kibali kutoka Halmashauri. Wajibu wa kulipa Ada au Ushuru 6 Kibali au leseni - 8 Verify source ↗
Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri ina mamlaka ya kuteua kampuni au taasisi iliyosajiliwa kukusanya ada au ushuru chini ya sheria ndogo hizi.
8. Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua Kampuni au Taasisi iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria kukusanya Ada au Ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. 3 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo la Serikali Na. 98 (linaendelea) Wajibu wa wakala - 9 Verify source ↗
Wakala aliyeteuliwa chini yakifungu cha 8 cha Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: The appointed agent under section 8 has a duty to do something, but this provision cuts off before listing the actual duties.
9. Wakala aliyeteuliwa chini yakifungu cha 8 cha Sheria Ndogo hizi atakuwa na wajibu wa: - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Wakala must collect fees/taxes for the Halmashauri in the assigned area, use the electronic system, and submit collections according to the agency contract. The section also makes several acts by the Wakala an offence.
10. Makosa kwa Wakala (a) Kukusanya na kupokea Ada au Ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alililopangiwa na kwa kiwango kilichoidhinishwa chini ya Sheria Ndogo hizi. (b) Wakala atakusanya Ada au Ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. Itakuwa ni kosa kwa Wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi endapo:- (1) Atashindwa, atadharau, atakwepa au atakataa kulipa Ada au Ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kwa mujibu wa sheria Ndogo hizi. (2) Atamshawishi mtu au kundi la watu kukataa au kukwepa kulipa Ada au Ushuru. (3) Atamzuia kwa namna yoyote ile Afisa mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. (4) Atatumia nyaraka za kughushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa Ada au Ushuru ndani ya halmashauri (5) Atashindwa au atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au wakala kuhusu bidhaa au mali zinazotakiwa kulipiwa Ada au Ushuru. (6) Atashindwa kutunza kumbukumbu sahihi za malipo ya Ada au Ushuru. Atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyozidi Shilingi elfu hamsini (50,000/=) au kifungu kisichozidi miezi kumi na mbili au vyote kwa pamoja na kulipa fedha anazodaiwa. Uwezo wa Afisa mwidhini wa Makosa - 11 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hizi Afisa
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo au jengo lolote kwa kazi zinazohusiana na Ada, Ushuru, leseni au Kibali, subject to the by-laws. Mtu yeyote anayetaka kulipa Ada au kutekeleza agizo na akashindwa, akadharau, akakwepa au akakataa anaweza kuwa ametenda kosa chini ya kifungu hiki.
11. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hizi Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo lolote au jengo lolote kwa nia ya kukusanya au kufanya tathimini au kufanya jambo lolote linalohusiana na Ada, Ushuru, leseni au Kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. Itakuwa ni kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi iwapo mtu yeyote:- 1) atashindwa, atadharau, atakwepa au atakataa kulipa Ada au lolote alilopewa na Ushuru au kutekeleza agizo - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: The text lists prohibited acts connected to council fees and taxes, including helping people evade payment, obstructing an authorised officer, using forged documents, giving false information, and failing to keep accurate payment records.
12. 4 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo la Serikali Na. 98 (linaendelea) halmashauri kwa mujibu wa sheria Ndogo hizi. 2) 3) 4) 5) 6) atamshawishi mtu au kundi la watu kukataa au kukwepa kulipa Ada au Ushuru. atamzuia kwa namna yoyote ile Afisa Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. atatumia nyaraka za kughushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa Ada au Ushuru ndani ya halmashauri. atashindwa kutoa taarifa sahihi au atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au wakala kuhusu bidhaa au mali zinazotakiwa kulipiwa Ada au Ushuru. atashindwa kutunza kumbukumbu sahihi za malipo ya Ada au Ushuru. Kufifilisha Makosa Adhabu Kufutwa kwa Tangazo la Serikali GN.No. 202/2009 GN.No. 153/2013 GN.No. 159/2013 GN.No. 193/2009 - 13 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza faini mtenda kosa hadi Tsh.50,000 ikiwa anakiri kosa kwa hiari na yuko tayari kujaza fomu maalum; mkosaji pia anatakiwa kulipa Ada na Ushuru.
13. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza faini mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria hizi, kiasi kisichozidi shilingi elfu hamsini (Tsh.50,000/=) iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoambatishwa kwenye jedwali la pili la Sheria Ndogo hizi, na atatakiwa kulipa Ada na Ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. - 14 Verify source ↗
Mtu yeyote atakaye kwenda kinyume na masharti ya Sheria
AI-assisted research summary: Any person who contravenes these by-laws commits an offence and, if convicted, may be fined up to Tsh 50,000 or imprisoned for up to 12 months, or both.
14. Mtu yeyote atakaye kwenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hizi atakuwa ametenda kosa, na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyozidi shilingi elfu hamsini (Tsh.50, 000/=) au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili au vyote kwa pamoja. - 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zinafuta sheria Ndogo zifuatazo
AI-assisted research summary: These by-laws repeal the by-laws listed below.
1. Sheria Ndogo hizi zinafuta sheria Ndogo zifuatazo:- - 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: This section repeals several earlier Musoma District Council bylaws and sets fee/charge schedules for listed goods, vehicles, boats, parking, drainage works, and advertising.
15. (i) Sheria Ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ‘Fees and Charges’ za mwaka 2009; (ii) Sheria Ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Kibali cha Ujenzi), 2013; (iii) Sheria Ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Ada ya Shughuli za Kiutamaduni), 2013; (iv) Sheria Ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Ushuru wa Maegesho ya Vyombo vya Majini), 2009 zimefutwa. 5 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo la Serikali Na. 98 (linaendelea) ______ JEDWALI LA KWANZA ______ (Chini ya kifungu cha 4 (1) SEHEMU YA KWANZA USHURU WA KUPAKIA NA KUPAKUA BIDHAA BIDHAA ZA MAJINI Kilo moja ya samaki wabichi Tenga dogo la samaki wakavu Kg 0-20 Tenga la saizi ya kati la samaki wakavu Kg 21- 50 Tenga kubwa la samaki wakavu Kg 51-100 5% ya bei ya soko/ununuzi Halilipiwi 5,000/= 10,000/= Kwa kila kilo inayoongezeka zaidi ya Kg 100 500/= Gunia la dagaa lenye Kg 0-10 Gunia la dagaa lenye Kg 11-50 Gunia la dagaa lenye Kg 51-100 Halilipiwi 3,000/= 5,000/= Kwa kila kilo inayoongezeka zaidi ya Kg 100 500/= Gunia la magamba ya konokono: Kg 1-20 Kg 21-50 Gunia la mabondo Kg 1-20 Gunia la mabondo Kg 21-50 Gunia la mabondo Kg 51-100 1,000/= 2,000/= 30,000/= 100,000/= 150,000/= Kwa kila kilo inayoongezeka zaidi ya Kg 100 30,000/= Chakula cha mifugo: Gunia lenye kg 1-20 Gunia lenye kg 20-50 Gunia lenye kg 51-100 Halilipiwi 2,000/= 3,000/= Kwa kila kilo inayoongezeka zaidi ya Kg 100 Mabini ya samaki 500/= 20,000/= kwa mwezi BIDHAA ZA KILIMO Pamba 5% ya bei ya shambani au itakayoamriwa na bodi ya pamba 6 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo la Serikali Na. 98 (linaendelea) Mahindi…Gunia Kg 20- 100 zaidi ya Kg 100 Mpunga…Gunia Kg 20-100 zaidi ya Kg 100 Mihogo/makopa/viazi………Gunia Kg 20-100 zaidi ya Kg 100 Ulezi/uwele/mtamaGunia Kg 20-100 zaidi ya Kg 100 Maharage/jamii ya maharage…. Gunia Kg 20- 100 zaidi ya Kg 100 Maembe………Gunia Kg 20-100 zaidi ya Kg 100 Alizeti……………… Mchele……… Gunia la Kg 25-50 Gunia Kg 20-100 Kg 50-100 Mkungu wa ndizi Mzigo wa Miwa Nyanya tenga la debe 3 zaidi ya debe 3 Vitunguu Gunia la Kg 20-100 zaidi kg 100 Karanga Gunia la Kg 50-100 1,500/= 3,000/= 1,000/= 3,000/= 1,000/= 1,500/= 1,500/= 3,000/= 1,500/= 3,000/= 3,000/= 5,000/= 3,000/= 1,500/= 3,000/= 500/= 1,000/= 3,000/= 5,000/= 3,000/= 5,000/= 5,000/= zaidi ya Kg 100 Tikiti Maji ........ Tani 0-1 zaidi ya Tani 1 Mazao mengine ambayo hayajabainishwa... Gunia/tenga kg 20-100 500/= @ Kg 5000/= 2000/= @ Tani 1,000/= zaidi kg 100 2000/= 7 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo la Serikali Na. 98 (linaendelea) BIDHAA ZA VIWANDANI Gari la bidhaa za viwanda la tani 1- 9 Gari la tani 10 na zaidi lenye bidhaa za viwandani lenye ‘trailer’ Gari la tani 10 na zaidi lenye bidhaa za viwandani lisilo na ‘ tlailer’ Robota ‘‘Ballon’’ la mitumba Gari la mafuta ya taa, au diesel, au petrol chini ya tani 10 Gari la mafuta ya taa, au diesel, au petrol zaidi ya tani 10 Gari la gesi na bidhaa nyingine za mlipuko chini ya tani 10 Gari la gesi na bidhaa nyingine za mlipuko zaidi ya tani 10 5,000/= 15,000/= 10,000/= 3,000/= 10,000/= 15,000/= 20,000/= 30,000/= FOMU YA MAOMBI YA KIBALI Kibali cha kusafirisha bidhaa kutoka katika halmashauri ya wilaya ya musoma Kibali kinatolewa kwa Ndugu………………………………………………………………………. Mmiliki wa Leseni yenye Na……………………………….. toka …………………………………. Kwa ajili ya kusafirisha bidhaa toka Halmashauri ya Wilaya ya Musoma kwenda ………………… Kwa bidhaa yenye maelezo yafuatayo: Aina ya bidhaa inayosafirishwa Idadi/Ujazo wa mzigo Ada na Ushuru uliolipwa Halmashauri Na. ya risiti Mahali bidhaa inapopelekwa Tarehe ya kusafirisha bidhaa Kibali cha kusafirisha bidhaa hizi kimetolewa leo hii tarehe………..mwezi……….mwaka………... Jina la Afisa mhidhiniwa…………………… Sahihi…………………. Cheo…………………… Jina la mwombaji wa kibali……………………… Sahihi…………………….. Tarehe……………………. 8 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo la Serikali Na. 98 (linaendelea) SEHEMU YA PILI ADA YA MAEGESHO YA MITUMBWI NA BOTI Mtumbwi Kalua/Ngama Kivuko ‘Ferry’ Meli Ndogo Boti iliyobeba sanduku za kubeba samaki Makontena Mitumbwi ya kusafirisha abiria 1000 kwa siku 6000 kwa siku 6000 kwa siku 6000 kwa siku 3000 kwa siku 6000 kwa siku 2,000/= kila safari USHURU WA MAEGESHO YA MAGARI YA BIASHARA KWENYE VITUO VYA KUTUA Gari lenye tani 1-3 Gari lenye tani 4-7 Gari lenye tani 7-10 1,000/= kwa siku 1,500/= kwa siku 2,000/= kwa siku Gari la zaidi ya tani 10 5,000/= kwa siku SEHEMU YA TATU MAOMBI YA KUCHIMBA/KUPITISHA MTARO KWENYE ENEO LA BARABARA Barabara za lami Barabara za kawaida Tsh 300,000/= Tsh 100,000/= SEHEMU YA NNE ADA NA USHURU WA MATANGAZO Ada ya Mabango kwa mwaka Kila bango linalotoa mwanga litalipia Kila bango ambalo halitoi mwanga litalipia Tsh. 35,000/=kwa kila M2 1 kwa mwaka Tsh 30,000/= kwa kila M2 1 kwa mwaka Ada ya Maombi ya kusimika mabango ya matangazo ya biashara
Part
SEHEMU YA NNE
- 5 Verify source ↗
1 M2 – nakuendelea
AI-assisted research summary: This section lists local fees and permit charges for advertisements, cultural activities, slaughter-related services, and some other council services.
5.1 M2 – nakuendelea 4,000/= kwa kila ombi 6,000/= kwa kila ombi 8,000/= kwa kila ombi 10,000/= kwa kila ombi 25,000/= kwa kila ombi Matangazo yaliyobandikwa kwenye ukuta/kuchorwa kwenye ukuta yatalipia Tsh. 25,000/=kwa kila M2 1 kwa mwaka 9 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo la Serikali Na. 98 (linaendelea) MATANGAZO YA BIASHARA ‘PROMOTION’ Matangazo ya biashara kwa wenyeji (ndani ya mkoa) Matangazo ya biashara kwa watu wanaotoka nje ya mkoa Kazi za sanaa kwa wasanii wa ndani ya mkoa Kazi za sanaa kwa wasanii wa nje ya mkoa Tsh. 100,000/= kwa siku Tsh. 150,000/= kwa siku Tsh. 50,000/= kwa siku Tsh. 100,000/= kwasiku. SEHEMU YA TANO ADA YA SUGHULI ZA UTAMADUNI Aina ya Chanzo Kiasi cha Ushuru Kibali cha kusajili shughuli za utamaduni Kibali cha ngoma za jadi Kibali cha kuchezesha disco, maonyesho ya bendi, sanaa za maonyesho (maigizo, mazigaombwe, sinema na video kwa vikundi vya ndani yaWilaya Kibali cha kuchezesha disco, maonyesho ya bendi, sanaa za maonyesho (maigizo, mazigaombwe, sinema na video kwa vikundi vya nje yaWilaya) Kibali cha kucheza michezo ya kubahatisha Kibali cha mechi za mpira katika uwanja wa Halmashauri Ada ya kibali cha Tiba asili Ada ya kibali cha sherehe Tsh 5000 kwa Mwaka Tsh.10,000/= kwa mwaka Tsh. 30,000/=kwa mwaka Tsh. 50,000/=kwa mwaka Tsh. 30,000/= kwa kibali 10% ya mapato kwa kila mechi Tsh. 30,000/= kwa mwaka Tsh 5,000/= kwa kila sherehe ya siku moja. Ada ya kukodisha vyombo vya matangazo Tshs 300,000/= kwa siku moja. SEHEMU YA SITA USHURU WA KUCHINJA MIFUGO Mifugo Ng’ombe Nguruwe Mbuzi Kondoo Ngamia Machinjioni 5,000/= 5,000/= 3,000/= 3,000/= 3,000/= 10 Maeneo maalum (slaughter slub) kwa kila mfugo 3,000/= 1,500/= 1,500/= 1,500/= 1,500/= Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo la Serikali Na. 98 (linaendelea) ADA YA UKAGUZI WA WANYAMA (UKAGUZI WA AWALI MASAA 12 KABLA YA KUCHINJA):- Aina ya Chanzo Ng’ombe Mbuzi/Kondoo Nguruwe Kiasi cha Ushuru Tsh.500/= Tsh.300/= Tsh. 500/= ADA YA KUTUNZA NGOZI KWA MWEZI:- Ng’ombe, Mbuzi/Kondoo Tsh.25,000/= Ng’ombe Mbuzi/ Kondoo Nguruwe ADA YA UKAGUZI WA NYAMA BAADA YA KUCHINJA:- Tsh. 1,000/= Tsh. 500/= Tsh. 500/= SEHEMU YA SABA ADA YA VIBALI VYA UJENZI ENEO LA SAKAFU LINALOZIDI META ZA ENEO (M2) ENEO LA SAKAFU LISILOZIDI META ZA ENEO (M2) VIWANGO VYA ADA
Part
SEHEMU YA SABA
- 278
AI-assisted research summary: This text is a form for admitting an offence under section 13 and agreeing to pay the fees, charges, and any fine owed.
278.71 15,000/= 20,000/= 30,000/= 45,000/= 70,000/= 50,000/= Ongezeko la ada kwa kila meta moja ya mraba zaidi ya meta za mraba 278.71 Mabadiliko ya kuta za nje za jengo kwa upanuzi wowote 150/= 31,600/= kima cha chini. 11 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo la Serikali Na. 98 (linaendelea) _______ JEDWALI LA PILI ______ KUFIFILISHA KOSA (Chini ya kifungu cha 13) Mimi ………………………………………………wa S.L.P……………….……….. nakiri KWA HIYARI YANGU MWENYEWE mbele ya……………………………………..ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri tarehe……ya Mwezi….Mwaka………nilitenda kosa la kukiri masharti ya kifungu cha …………..cha Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya Musoma za mwaka 2017. ya ………………………………. kwamba mnamo Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri. Niko tayari kulipa kiasi cha Ada na Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIYARI YANGU KWA KADIRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe……………..ya mwezi……………mwaka…………………… Jina……………………………..…………………………...Saini……………………........ Mbele ya: Jina……………………………..………………. Saini…………………………………….…........ Wadhifa………………………………………… Nembo na muhuri wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma umebadikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa Azimio lililopitishwa na Mkutano wa Baraza la Madiwani ulioitishwa tarehe 18 mwenzi Mei mwaka 2016 na ubandikwaji huo kushuhudiwa na:- FLORA R. YONGOLO, Mkurugenzi Mtendaji (W), Halmashauri ya Wilaya. Musoma 12 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Tangazo la Serikali Na. 98 (linaendelea) CHARLES MAGOMA NYAMBITA, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wiilaya, Musoma NAKUBALI Dodoma, 9 Januari, 2017 GEORGE B. SIMBACHAWENE (MB.), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tamisemi 13
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma za mwaka, 2017
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in