Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Viwanda Mbezi ya Mwaka 2024
This provision names the order as the 2024 order for formalizing unplanned residential areas in the Mbezi industrial area.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Viwanda Mbezi ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision names the order as the 2024 order for formalizing unplanned residential areas in the Mbezi industrial area. The area listed in this Order’s Schedule is declared a regularization area for purposes of the Urban Planning Act. Mipango kina ya eneo lililotajwa lazima iandaliwe na kuhifadhiwa na viongozi waliotajwa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Viwanda Mbezi ya Mwaka 2024
Showing 3 of 3
- 1 Verify source ↗
Amri hii itajulikana kama Amri ya Kurasimisha
AI-assisted research summary: This provision names the order as the 2024 order for formalizing unplanned residential areas in the Mbezi industrial area.
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Viwanda Mbezi ya Mwaka 2024. Utangazaji wa eneo la upangaji Sura ya 355 - 2 Verify source ↗
Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii
AI-assisted research summary: The area listed in this Order’s Schedule is declared a regularization area for purposes of the Urban Planning Act.
2. Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii la upangaji(mpango wa linatangazwa kuwa eneo urasimishaji) kwa madhumuni ya Sheria ya Mipango Miji. Mpango - 3 Verify source ↗
Mipango kina katika eneo lililotajwa chini ya
AI-assisted research summary: Mipango kina ya eneo lililotajwa lazima iandaliwe na kuhifadhiwa na viongozi waliotajwa.
3. Mipango kina katika eneo lililotajwa chini ya aya 2 itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. 1 Amri ya kurasimisha Makazi yasiyopangwa Eneo la Viwanda Mbezi Tangazo la Serikali Na. 348 (Linaendelea) ___________ JEDWALI ____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH57 yenye majira–nukta 521484.615MS, 9259340.717KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.44 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DZN750 yenye majira–nukta 521753.479MS, 9258987.381KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.019 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DZN751 yenye majira–nukta 521749.246MS, 9258968.331KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.24 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DZN747 yenye majira – nukta 521564.893MS, 9258817.149KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.18 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SF979 yenye majira – nukta 521674.633MS, 9258670.277KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.38 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba YE750 yenye majira – nukta 521984.657MS, 9258902.197KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.34 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba YE724 yenye majira – nukta 522187.801MS, 9258629.442KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SF952 yenye majira – nukta 522072.413MS, 9258543.47KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.24 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SF951 yenye majira – nukta 521895.414, 9258376.391KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.044 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH37 yenye majira - nukta 521869.783MS, 9258340.052KZ; baada ya apo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.083 hadi kwenye majira – nukta 521790.833MS, 9258314.46KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.11 hadi kwenye majira – nukta 521824.523MS, 9258207.74KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DZK504 yenye majira ya nukta 521959.721MS, 9258251.674KS; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.093 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH52 yenye majira – nukta 521989.445MS, 9258163.306KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye majira – nukta 521853.083MS, 9258118.332KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.089 hadi kwenye majira – nukta 521880.378MS, 2 Amri ya kurasimisha Makazi yasiyopangwa Eneo la Viwanda Mbezi Tangazo la Serikali Na. 348 (Linaendelea) 9258032.837KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH51 yenye majira ya nukta 522017.323MS, 9258077.609KZ;baada ya apo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.089 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH50 yenye majira – nukta 522045.893MS, 9257992.484KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye majira – nukta 521908.874MS, 9257947.143KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.09 hadi kwenye majira –nukta 521938.431MS, 9257861.893KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazin - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH49 yenye majira – nukta 522073.73MS, 9257907.148KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.089 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH48 yenye majira – nukta 522101.932MS, 9257821.926KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.13 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba YE647 yenye majira – nukta 522226.712MS, 9257863.462KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika kwa umbali wa kilomita 0.18 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba YE649 yenye majira – nukta 522273.042MS, 9257719.120KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.57 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH3 yenye majira – nukta 521736.726MS, 9257513.386KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazin - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.71 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH19 yenye majira – nukta 521509.933MS, 9258195.006KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.12 hadi kwenye majira – nukta 521622.185MS, 9258234.295KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini -Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.42 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba DBE726 yenye majira – nukta 521382.192MS, 9258578.891KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 0.043 hadi kwenye majira – nukta 521381.532MS, 9258622.028KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.32 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH72 yenye majira – nukta 521419.328MS, 9258935.127KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.097 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH64 yenye majira – nukta 521405.938MS ,9258031.393KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SH31 yenye majira – nukta 521284.703MS, 9259191.259KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.25 hadi ulipoanzia”. Dodoma 25 Aprili, 2024 JERRY WILLIAM SILAA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 3
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Viwanda Mbezi ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in