AI-assisted research summary: The detailed plans for the area mentioned in paragraph 2 must be prepared and kept by the Town Planning Director and the Kilwa District Council Director.
3. Mipango kina katika eneo lililotajwa chini ya aya 2 itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilwa. ________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VL 028 yenye majira - nukta 550166MS, 8954947KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa KZ247°23'10''MS kwa umbali wa kilomita 6.725 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VL 033 yenye majira - nukta 556374MS, 8957533KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS16°32'10''MG kwa 1 Tangazo la Serikali Na. 364 (Linaendelea) Amri ya kupanga Eneo la Kiranjeranje umbali wa kilomita 3.092 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VL 032 yenye majira - nukta 555494MS, 8954569KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS91°24'50''MS kwa umbali wa kilomita 5.386 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VL 067 yenye majira - nukta 560878MS, 8954436KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa KS329°26'10''MS kwa umbali wa kilomita 4.111 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP 15 yenye majira - nukta 562911MS, 8951001KZ iliyopo mto Nanyee; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kufuata mto Nanyee hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP 16 yenye majira - nukta 562344MS, 8948126KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS62°12'20''MG kwa umbali wa kilomita 1.004 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VL 035 yenye majira - nukta 561361MS, 8947637KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS175°56'10''KS kwa umbali wa kilomita 1.940 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP 16A yenye majira - nukta 561492MS, 8945762KZ iliyopo mto Mbwemkuru; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kufuata mto Mbwemkuru hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP 30 yenye majira - nukta 547119MS, 8943380KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ155°48'10''MG kwa umbali wa kilomita 1.715 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VL 030 yenye majira - nukta 546416MS, 8944944KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ196°50'40''MS kwa umbali wa kilomita 5.204 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VL 027 yenye majira - nukta 547924MS, 8949925KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ155°02'20''MG kwa umbali wa kilomita 4.521 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VL 031 yenye majira - nukta 546016MS, 8954024KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS257°27'40''MS kwa umbali wa kilomita 4.251 hadi ulipoanzia”. Dodoma JERRY WILLIAM SILAA 25 April, 2024 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2