37.-(1) Mwanafunzi ataonesha kitambulisho katika maeneo yote wakati wote atakapotakiwa kufanya hivyo na afisa aliyeidhinishwa. (2) Mwanafunzi atatakiwa kuonesha na kuvaa kitambulisho chake wakati wote akiwa katika maeneo ya Chuo. (3) Lango kuu la Chuo au njia nyingine za kuingia Chuo zitafungwa saa 6:00 usiku hadi saa 11:30 alfajiri. (4) Chuo hakitawajibika na uangalizi na usalama wa mali yoyote ya mwanafunzi. 21 Tangazo la Serikali Na. 365 (Linaendelea) Kanuni za Nidhamu kwa Wanafunzi __________________ JEDWALI LA KWANZA __________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 23(2)) FOMU YA KUKIRI KOSA Mimi (Jina la mwanafunzi mtuhumiwa), mwenye Namba ya Usajili …………………ninaelewa kuwa kukiri kwangu hakukusababishwa na ushawishi, tishio wala ahadi ya aina yoyote ile. Kuwa, kukiri kwangu ni kwa hiari, na kuwa kunaweza kutumika kama ushahidi dhidi yangu mbele ya Kamati ya Nidhamu kwa Wanafunzi au Kamati ya Rufaa ya Nidhamu kwa Wanafunzi au mbele ya Mahakama. Kwa kuongezea, nimefahamishwa kuhusu haki zangu zote kwa mujibu wa Kanuni za Nidhamu za Wanafunzi za mwaka 2024. Maelezo ya kukiri kosa …………………………………………………………................... ……………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………… ……………………………………. …………………….. Saini ya mwanafunzi mtuhumiwa tarehe ya kukiri kosa 22 Tangazo la Serikali Na. 365 (Linaendelea) Kanuni za Nidhamu kwa Wanafunzi _______________ JEDWALI LA PILI ________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 33(1)) ADHABU KWA MAKOSA YA KINIDHAMU KANUNI 4 (a) 4 (b) 4 (c) 4 (d) 4 (e) lolote lililokodishwa KOSA LA KINIDHAMU Mwenendo au una ambao unafanya uwezekano wa kusababisha uharibifu au vurugu kwa mtu au mali yoyote ndani ya Chuo ikizingatiwa kuwa, kitendo hicho kimefanywa na mwanafunzi dhidi ya mwanafunzi mwingine au afisa Chuoni au eneo au linalotambuliwa rasmi na Chuo. Kutumia nguvu au vurugu au vitisho dhidi kumshambulia mwanafunzi ya mwenzake au afisa wa Chuo au mtu yeyote ndani ya Chuo au eneo lolote lililokodishwa au linalotambuliwa rasmi na Chuo. Kitendo au mwenendo ambao unaweza kuzuia au kuvuruga uendeshaji wa shughuli ya kitaaluma, kiutawala au uchaguzi Kuharibu, kuvuruga au kuteketeza mali ya Chuo au Matumizi yasioidhinishwa ya, au kuingilia, mfumo wowote wa kiteknolojia, umeme au huduma zingine za Chuo. 4 (f) Kumiliki mali ya Chuo bila ruhusa 4(g) 4 (h) Kukataa au kushindwa kutii amri halali au maelekezo yaliyotolewa na afisa yeyote wa Chuo au amri kutoka kwa chombo chochote husika cha Chuo. Kutoa taarifa ya uongo kwa kujua. ADHABU Mwanafunzi atapewa onyo kali au kusimamishwa masomo kwa muda usiozidi mwaka mmoja na ataagizwa kulipa fidia kwa thamani ya mali iliyoharibika. Mwanafunzi atasimamishwa masomo kwa muda usiopungua mwaka mmoja au kufukuzwa. atasimamishwa Mwanafunzi masomo kwa muda usiozidi mwaka mmoja wa masomo. Mwanafunzi atasimamishwa masomo kwa mwaka mmoja, na fidia kwa ataagizwa kulipa thamani ya mali iliyoharibika. Mwanafunzi atasimamishwa masomo kwa muda usiozidi miezi sita, na ataagizwa kulipa fidia kwa thamani ya mali iliyoharibika au kuingilia huduma. Kutoa onyo kali na kumwagiza mwanafunzi kurudisha mali hiyo ikiwa na hali nzuri. Iwapo mali iliyorudishwa haitakuwa na hali nzuri, mwanafunzi atatakiwa kutoa fidia kwa mali aliyoharibu. kali Kutoa au mwanafunzi kumsimamisha masomo kwa muda usiozidi miezi sita. au Kutoa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu. onyo onyo kali 4(1) (i) Kushindwa au kukataa kuhudhuria kikao Kutoa onyo kali au 23 Tangazo la Serikali Na. 365 (Linaendelea) Kanuni za Nidhamu kwa Wanafunzi 4 (j) 4 (k) 4 (l) 4 (m) 4(1) (n) 4 (o) 4 (p) 4 (q) 4 (r) 4 (s) 4 (t) kilichoitishwa na chombo chochote chenye mamlaka kwa njia ya mdomo au maandishi. Kuzuia au kuingilia kwa makusudi kazi au mashauri yanayoendeshwa na afisa yeyote mwenye mamlaka au chombo chochote chenye mamlaka cha Chuo. Kukataa au kushindwa kutoa ushahidi mbele ya Kamati ya Nidhamu kwa Wanafunzi au chombo kingine chochote chenye mamlaka Kukataa au kushindwa kuheshimu na kutekeleza hukumu, uamuzi au adhabu halali iliyotolewa na afisa yeyote au chombo kingine chochote chenye mamlaka. Matumizi ya lugha ya kashfa, matusi, chafu au ya kitisho baina ya wanafunzi au afisa au mwanajumuiya yeyote wa Chuo. kitendo au lililokodishwa au inaweza Kutenda kwa namna ambayo kushawishi au kuchochea vurugu miongoni mwa wanafunzi, iwe ndani ya Chuo au eneo lolote linalotambuliwa rasmi na Chuo. chochote Kufanya kitakachosababisha kinachoweza kumsababishia madhara ya kimwili au kisaikolojia mwanafunzi mwingine, au afisa au mwanajumuiya yeyote wa Chuo. au au Kupiga kuwahamasisha wanafunzi au watu wengine kupiga kelele au kufanya usumbufu wa aina yoyote kwenye majengo ya Chuo au majengo yoyote yaliyokodiwa. Kuunda au kuanzisha kikundi cha wanafunzi kisichoruhusiwa kinaweza kusababisha kuvunja umoja au kuleta vurugu. au kuitisha kwa Kuandaa, kushiriki makusudi mkutano au kikao kinyume na sheria. kusumbua ambacho kelele Kuchochea na kushiriki katika ghasia, mgomo, kususia madarasa au vurugu zozote au uchochezi wowote. Kushawishi wanafunzi kugomea lolote. jambo 24 mwanafunzi kumsimamisha masomo kwa muda usiozidi miezi sita. Kumsimamisha mwanfunzi kwa mwaka mmoja. masomo kali onyo au Kutoa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu. Kumsimamisha mwanafunzi masomo kwa muda usiozidi mwaka mmoja au kumfukuza mwanafunzi. au Kutoa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi sita. au Kutoa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi sita. onyo onyo kali kali kali onyo au Kutoa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi mwaka mmoja. Kutoa onyo kali au kusimamisha masomo kwa muda usiopungua miezi mitatu. kali kali onyo onyo au Kutoa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi sita. au Kutoa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi sita. Kumsimamisha mwanafunzi masomo kwa muda usiozidi mwaka mmoja Onyo kali au kusimamisha masomo mwanafunzi kwa kuda usiopungua miezi sita. Tangazo la Serikali Na. 365 (Linaendelea) Kanuni za Nidhamu kwa Wanafunzi 4 (u) 4 (v) 4 (w) 4 (x) 4(y) 4 (z) 4 (aa) Kuitisha au kufanya Baraza la Wanafunzi bila ruhusa. Kupanga na kushiriki kwenye maandamano yasiyo halali. Kumwalika kiongozi wa serikali au wa kisiasa, mgeni rasmi, mshereheshaji, au mtu yeyote kutoka nje ya Chuo bila kupata ruhusa kutoka kwa Mshauri wa Wanafunzi au yeyote mwenye mamlaka. Kusambaza kwa maandishi au mdomo matamko ya kashfa kwa watu wengine. afisa mwingine Uzembe au ubadhilifu wa fedha za Serikali ya Wanafunzi au chama, klabu, au kikundi chochote cha wanafunzi kinachotambulika. Kiongozi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara kuingia mkataba na mtu yeyote kinyume na Katiba ya Serikali ya Wanafunzi. Kukusanya fedha kwa ulaghai au kupokea fedha kwa udanganyifu kutoka kwa wanafunzi wenzake au mtu mwingine yeyote. 4 (bb) Kushindwa kulipa fidia kwa uharibifu au upotevu wa mali ya Chuo. 4 (cc) 4(dd) au eneo Kubeba silaha bila ruhusa au kibali ndani ya lolote majengo ya Chuo lililokodishwa au linalotambuliwa rasmi na Chuo. Wizi unaofanyika katika majengo ya Chuo au au linalotambuliwa rasmi na Chuo. lililokodishwa lolote eneo 4 (ee) Kughushi waraka au kusambaza waraka wa uongo au kuwasilisha waraka wa kughushi. 25 onyo au kali Kutoa kumsimamisha mwanafunzi masomo kwa muda usiopungua miezi sita. Kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi mwaka mmoja kali onyo Kutoa kumsimamisha mwanafunzi usiopungua miezi mitatu. kwa au masomo muda kali kwa onyo au masomo muda Kutoa kumsimamisha mwanafunzi usiopungua miezi mitatu. Kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa mwaka mmoja fedha na atatakiwa kurejesha zilizofanyiwa ubadhirifu. au deni Kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi sita na binafsi atawajibika kwa madai yatakayolimbikizwa chini ya huo mkataba. masomo Kumsimamisha mwanafunzi kwa mwaka mmoja na atatakiwa kurejesha fedha alizokusanya kwa ulaghai au udanganyifu. masomo Kumsimamisha mwanafunzi muda usiopungua miezi mitatu na atatakiwa kulipa fidia. Kutoa kumsimamisha mwanafunzi usiopungua miezi mitatu. masomo Kumsimamisha muda mwanafunzi usiopungua miezi na mwanafunzi atatakiwa kurudisha au kulipa thamani ya mali hiyo. Kumsimamisha kwa mwanafunzi usiopungua miezi sita. au masomo muda masomo muda onyo kwa kwa kwa kali sita Tangazo la Serikali Na. 365 (Linaendelea) Kanuni za Nidhamu kwa Wanafunzi Kosa ambalo linavunja Sheria ya Serikali Mtandao. Kumfukuza mwanafunzi. Kutumia dawa zozote haramu au sumu ya aina yoyote kwa mwanafunzi mwenyewe au mwanafunzi mwenzake au mtu mwingine yeyote. Kosa ambalo linavunja Sheria ya Makosa ya Kimtandao, chochote na Kitendo mwanafunzi ndani au nje ya Chuo na kupelekea kuharibu taswira ya Chuo. kinachofanywa Kuendesha mkutano uchaguzi nje ya muda uliopangwa. au kampeni ya 4 (kk)(i) hadi (x) Unyanyasaji wa kingono. 4(ll) Kutoa au kupokea rushwa ya Ngono 4 (mm) Kujifanya mtu mwingine chochote na Kitendo mwanafunzi akikusudia kuonesha ushiriki au utii wake kwa chama cha siasa. kinachofanywa Kushawishi au kuchochea wanafunzi kugomea mihadhara, mitihani ya vitendo au kazi yoyote ya kitaaluma. Kushindwa kusoma taarifa au matangazo kwenye ubao wa matangazo, mfumo wa habari wa wanafunzi, au tovuti ya Chuo au namna au itakayotumika, kushindwa kufuata maelekezo husika. Kosa ambalo linavunja Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya. nyingine 4 (ff) 4 (gg) 4 (hh) 4 (ii) 4 (jj) 4(nn) 4 (oo) 4 (pp) 4 (qq) 4(1) (rr) 4 (ss) Kumsimamisha mwanafunzi usiopungua miezi kumfukuza. Kumfukuza mwanafunzi. kwa masomo muda au sita kali kwa onyo onyo au masomo muda Kutoa kumsimamisha mwanafunzi usiopungua miezi mitatu. au Kutoa kali masomo kumsimamisha mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi sita. Kutoa kumsimamisha kwa mwanafunzi usiopungua miezi sita. Kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda wa mwaka mmoja au kumfukuza. au masomo muda onyo kali kali kwa onyo masomo Kumsimamisha mwanafunzi muda usiopungua mwaka mmoja au kumfukuza. au Kutoa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi sita. Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi mwaka mmoja au Kutoa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu. onyo kali Kumfukuza mwanafunzi. masomo masomo masomo muda Kosa ambalo linavunja Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa. Kumfukuza mwanafunzi. Kuingilia pasipo uhalali mchakato wa uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi. Kumsimamisha mwanafunzi kwa usiopungua miezi sita. 26 Tangazo la Serikali Na. 365 (Linaendelea) Kanuni za Nidhamu kwa Wanafunzi 4 (tt) 4 (uu) 4 (vv) 4(ww) Kuunda au kuanzisha chama, klabu au kikundi cha wanafunzi bila ruhusa kutoka kwa Mshauri wa Wanafunzi, afisa Ustawi wa Jamii au chombo kingine chochote chenye mamlaka. au Kushindwa kitambulisho cha uanafunzi kufanya hivyo na afisa mwenye mamlaka. kuonesha kukabidhi inapotakiwa Kutokupitisha kwa Mshauri wa Wanafunzi au afisa Ustawi wa Jamii mawasiliano yoyote rasmi ya kwenda nje ya Chuo kwa mwanafunzi yeyote au kiongozi wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo cha Elimu ya Biashara. Kushindwa kurejesha mkopo au deni baina ya wanafunzi au mtu mwingine yeyote. kali onyo au Kutoa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu. kali onyo au Kutoa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu. Kutoa au masomo kumsimamisha mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu. onyo kali kali onyo au Kutoa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu na kurejesha mkopo au deni. ADHABU KWA MAKOSA YA KINIDHAMU YANAYOHUSIANA NA UVAAJI WA MAVAZI WA WANAFUNZI KANUNI 5 (a) hadi (q) KOSA LA NIDHAMU Mwanafunzi yeyote atakayevunja Kanuni ya 5 (1) (a) hadi (q). ADHABU atazuiwa (a) Mwanafunzi kuingia kwenye majengo ya Chuo au majengo yoyote yaliyopangwa na Chuo; (b) Mwanafunzi kuingia kwenye ofisi za Chuo, kumbi za mihadhara au madarasa, maktaba, maabara na mikusanyiko yote rasmi; au atazuiwa (c) Mwanafunzi atasimamishwa masomo kwa muda usiozidi miezi mitatu. ADHABU KWA MAKOSA YA KINIDHAMU YANAYOHUSIANA NA MALAZI KANUNI 6 (a) 6 (b) 6 (c) KOSA LA NIDHAMU Kupangisha chumba katika mabweni ya Chuo au malazi mengine yaliyokodiwa au kutambuliwa na Chuo kwa mtu mwingine Kuishi kwenye bweni la Chuo au malazi mengine yaliyokodiwa au kutambuliwa na Chuo pasipo uhalali. Kutumia majengo ya mabweni kwa ajili ya matukio ya kijamii bila kupata kibali cha Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii. ADHABU Kumwondoa mwanafunzi bwenini bila kumrudishia malipo ya pango. Kulipa 30% ya malipo ya mwaka ya pango na kufukuzwa bwenini au malazi husika Kumwondoa mwanafunzi bwenini bila kumrejeshea malipo ya pango. 27 Tangazo la Serikali Na. 365 (Linaendelea) Kanuni za Nidhamu kwa Wanafunzi 6 (d) 6 (e) 6 (f) 6 (g) 6 (h) 6 (i) 6 (j) 6 (k) 6 (l) Kuchangia chumba na mwanafunzi wa jinsi tofauti Kupika chakula bwenini pasipo kibali cha maandishi kutoka kwa Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii. Kuingilia au kuhamisha samani au vifaa vya aina yoyote kutoka bwenini bila ruhusa ya Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii. Kutumia baraza, dirisha au ukuta kwa ajili ya kuanika nguo au ufuaji wa aina yoyote. friji, mashine ya Kuingiza bwenini kukausha, friza au kifaa chochote cha kupikia pasipo kibali cha maandishi kutoka kwa Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii. Kuondoka bila kumkabidhi vifaa vya malazi kwa afisa mwenye mamlaka. Kumzuia afisa wa Chuo au mtu yeyote aliyeidhinishwa kuingia chumbani kwa ajili ya ukarabati, ukaguzi au shughuli nyingine kama iliyoamuriwa. Kutumia vifaa vya muziki na vyombo sauti bwenini na vingine vinavyotoa kusababisha kwa wakazi wengine. Ulevi au uvutaji wa sigara kwenye bwenini usumbufu 6 (m) Kuwakaribisha wageni wa jinsia tofauti bwenini baada ya saa nne usiku. Kumwondoa mwanafunzi bwenini bila kumrejeshea malipo ya pango. Kumwondoa mwanafunzi bwenini bila kumrejeshea malipo ya pango. au Kutoa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu.na atatakiwa kulipa kwa uharibifu au upotevu wowote wa kifaa au samani hiyo. onyo kali Kutoa onyo kali. Kumfukuza mwanafunzi bwenini bila kumrudishia malipo ya pango. Kutoa onyo kali na kumwagiza mwanafunzi kukabidhi vifaa vya malazi. Kumfukuza mwanafunzi bwenini bila kumrudishia malipo ya pango. Kutoa onyo kali au kumfukuza mwanafunzi kwenye chumba bila kumrudishia malipo ya pango. kutoka Kutoa onyo kali au kumfukuza kwenye mwanafunzi chumba bila kumrudishia malipo ya pango. Kutoa onyo kali au kumfukuza mwanafunzi katika chumba bila kumrudishia malipo ya pango. ADHABU KWA MAKOSA YA KINIDHAMU YANAYOHUSIANA NA MGAHAWA NA JIKO KANUNI 10(1) KOSA LA NIDHAMU Kuingia jikoni kwa mtoa huduma za mgahawa bila ruhusa ya mtoa huduma au Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii. ADHABU Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu. 28 Tangazo la Serikali Na. 365 (Linaendelea) Kanuni za Nidhamu kwa Wanafunzi 10(2) au kitu chombo Kuchukua chochote kutoka mgahawani au eneo lolote ndani au nje ya Chuo ya Chuo bila cha mtoa huduma, Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii. Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu.na mwanafunzi atatakiwa kurudisha vyombo au vitu hivyo vikiwa na hali nzuri au kulipa fidia kwa uharibifu wowote. Dar es Salaam, 23 Aprili, 2024 WINEASTER S. ANDERSON Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi 29