Kanuni za Ubebaji wa Shehena ya Mizigo Yabisi na Fueli za Mwaka 2024
Mwongozo huu unaweka taarifa za jumla kuhusu ufungaji wa mizigo na matumizi ya vifaa vya kufungia mizigo, na unasema ufungaji ufanywe kwa usahihi na vifaa vihifadhiwe vizuri.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Kanuni za Ubebaji wa Shehena ya Mizigo Yabisi na Fueli za Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Mwongozo huu unaweka taarifa za jumla kuhusu ufungaji wa mizigo na matumizi ya vifaa vya kufungia mizigo, na unasema ufungaji ufanywe kwa usahihi na vifaa vihifadhiwe vizuri. Sehemu hii inahitaji maelezo na orodha/mpango wa vifaa visivyohamishika vya kufungia mizigo, pamoja na taarifa za msingi na nyaraka husika kwa kila aina inapowezekana. Sehemu hii inaorodhesha taarifa zinazopaswa kuambatanishwa kuhusu vifaa vinavyohamishika vya kufungia mizigo vinavyobebwa melini. Sehemu hii inaeleza mipango ya ukaguzi na matengenezo ya vifaa vya kufungia mizigo melini. Ukaguzi na matengenezo ya mara kwa mara ya vifaa vya kufungia mizigo yafanyike chini ya uangalizi wa nahodha, na uchunguzi au kupimwa upya kufanywe inapohitajika na Shirika.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Kanuni za Ubebaji wa Shehena ya Mizigo Yabisi na Fueli za Mwaka 2024
Showing 36 of 36
- 1 Verify source ↗
Jina
AI-assisted research summary: Mwongozo huu unaweka taarifa za jumla kuhusu ufungaji wa mizigo na matumizi ya vifaa vya kufungia mizigo, na unasema ufungaji ufanywe kwa usahihi na vifaa vihifadhiwe vizuri.
1.3 Mwongozo utajumuisha taarifa za jumla zifuatazo: Taarifa za jumla (a) mwongozo uliotolewa humu hautaondoa kanuni bora za ubaharia, wala hautakuwa mbadala wa uzoefu katika utendaji wa uhifadhi na utendaji; (b) taarifa na mahitaji yaliyowekwa katika Mwongozo yanashabihiana na mahitaji ya kitabu cha mlingano na ueleo thabiti wa meli, Cheti cha Kimataifa cha Mstari wa Kupakia, mwongozo wa uimara wa upakiaji wa umbo la meli pale itakapotolewa kwa mahitaji ya Kanuni za Kimataifa za Usafirishaji wa Bidhaa Hatarishi Majini pale inapohitajika; Mwongozo wa Kufunga Mizigo unaelezea mipangilio na vifaa vya kufungia mizigo vinavyopatikana ndani ya meli kwa matumizi sahihi kwa, na ufungaji wa vyombo vya kubebea mizigo, makasha, magari na vifaa vingine kwa kuzingatia kani mkingamo, mlalo na wima ambazo zinaweza kutokeza wakati wa hali mbaya ya hewa na mchafuko wa bahari. (c) (e) (d) ni muhimu kwa ajili ya usalama wa meli na ulinzi wa mzigo na wafanyakazi, ufungaji wa mizigo ufanywe kwa usahihi na sehemu au viunga sahihi vya ufungaji vitumike kwa ajili ya ufungaji mzigo; vifaa vya kuhifadhia mizigo vilivyotajwa katika Mwongozo vitatumika kulingana na wingi, aina ya vifungashio na hali ya nje ya mzigo utakaobebwa; (f) endapo aina mpya au mbadala wa vifaa vya kufungia mizigo vimetambulishwa, Mwongozo wa Ufungaji Mizigo utapitiwa upya ipasavyo na vifaa mbadala vya kufungia mizigo vilivyotambulishwa havipaswi kuwa na uimara mdogo kuliko vifaa vinavyobadilishwa; (g) kutakuwa na kiasi cha kutosha cha vifaa vya akiba vya kufungia mizigo melini; (h) taarifa kuhusu uimara na maelekezo ya matumizi na utunzaji ya kila aina mahususi ya kifaa cha kufungia mizigo, iwapo inahusika, itatolewa katika Mwongozo; (i) kifaa cha kufungia mzigo kitatunzwa katika hali ya kuridhisha na vitu vilivyochoka au kuharibika katika kiwango ambacho ubora wake umeathiriwa, vitabadilishwa; na (j) Mpango wa Ufikiaji Salama wa Mizigo utatoa taarifa za kina kwa watu wanaojihusisha na kazi zinazohusiana uhifadhi na ufungaji mizigo, na ufikiaji salama utatolewa na kudumishwa kwa mujibu wa Mpango huo. 20 Kanuni za Ubebaji wa Shehena ya Mizigo Yabisi na Fueli Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea) VIFAA VYA UFUNGAJI NA MIPANGILIO - 2 Verify source ↗
Matumizi
AI-assisted research summary: Sehemu hii inahitaji maelezo na orodha/mpango wa vifaa visivyohamishika vya kufungia mizigo, pamoja na taarifa za msingi na nyaraka husika kwa kila aina inapowezekana.
2.1 Maelezo ya vifaa visivyohamishika vya kufungia mizigo Sehemu hii itabainisha na, endapo ni muhimu, kufafanua idadi, maeneo, aina na uwezo wa juu wa kufunga mzigo wa vifaa visivyohamishika vinavyotumika kufungia mizigo na kwa uchache kujumuisha taarifa zifuatazo: (a) orodha au mpango wa vifaa visivyohamishika vya kufungia mizigo, ambavyo vitaambatishwa na nyaraka stahiki kwa kila aina ya kifaa kadiri iwezekanavyo, nyaraka zitajumuisha taarifa kuhusu- (i) jina la mzalishaji; (ii) aina ya matumizi ya kifaa mchoro rahisi kwa wepesi wa utambuzi; (iii) nyenzo; (iv) alama za utambuzi; (v) matokeo ya majaribio ya uimara au tamati ya mvutano; (vi) matokeo ya majaribio yasiyo uharibifu; na (vii) uwezo wa juu wa kufunga mzigo. (b) vifaa vya ufungaji visivyohamishika kwenye kiambaza cha kukingama, fremu za webu, stanchi, na aina zake kama vile tundu, jicho la bolti, pale zinapotolewa, ikijumuisha uwezo wa juu wa kufunga mzigo; vifaa vya kufungia mizigo visivyohamishika kwenye deki na aina zake kama vile viunga vya miguu ya tembo, viunga vya kasha, vipenyo pale vinapotolewa, vikijumuisha uwezo wa juu wa kufunga mzigo; (c) (d) vifaa vya kufungia visivyohamishika kwenye sehemu za juu za deki, vinapotolewa, (e) vikiorodhesha aina zake na uwezo wa juu wa kufunga mzigo; na kwa meli zilizopo ambazo hazina vifaa visivyohamishika ambavyo vimesanifiwa, taarifa kuhusu uwezo wa juu wa kufunga mzigo na sehemu za kufungia zinaonekana toshelezi.
Part
Sehemu hii itabainisha na, endapo ni muhimu, kufafanua idadi, maeneo, aina na uwezo wa juu wa
- 2 Verify source ↗
Matumizi
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha taarifa zinazopaswa kuambatanishwa kuhusu vifaa vinavyohamishika vya kufungia mizigo vinavyobebwa melini.
2.2 Maelezo ya vifaa vinavyohamishika vya kufungia mizigo Sehemu hii itabainisha idadi ya sifa za utendaji na za muundo wa vifaa vinavyohamishika vya kufungia mizigo vinavyobebwa melini, vitaambatishwa na michoro au vielelezo stahiki, vinavyojumuisha taarifa zifuatazo: (a) orodha ya vifaa vinavyohamishika vya kufungia mizigo, ambavyo vitaambatishwa na nyaraka sahihi kwa kila aina ya kifaa, ambazo zitajumuisha taarifa kuhusu: (i) jina la mzalishaji; (ii) aina ya matumizi ya kifaa mchoro rahisi kwa wepesi wa utambuzi; (iii) nyenzo, ikijumuisha kiwango cha chini cha halijoto ya uendeshaji salama; (iv) alama za utambuzi; (v) matokeo ya majaribio ya uimara au tamati ya mvutano; (vi) matokeo ya majaribio yasiyo uharibifu; na (vii) uwezo wa juu wa kufunga mzigo. (b) Viunga vya kuunganisha fito za makasha, viunga vya kufungia kasha kwenye deki, viunga vya kufungia makasha yaliyobebana, kiunganishi cha safu mbili za makasha, uwezo wa juu wa kufunga mzigo na matumizi; (c) minyororo, waya wa kufungia, ufito, uwezo wa juu wa kufunga mizigo na matumizi; 21 Kanuni za Ubebaji wa Shehena ya Mizigo Yabisi na Fueli Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea) (d) mikazo kama vile viungashi fito, mikazo ya mnyororo, uwezo wa juu wa kufunga mzigo na matumizi; (e) zana za kufungia magari, na vyombo vya moto vingine, uwezo wa juu wa kufunga mzigo na matumizi; (f) egemeo na jeki, kwa ajili ya vyombo vya moto ikijumuisha matrela endapo yametolewa, uwezo wa juu wa kufunga mzigo na matumizi; na (g) nyenzo za kuzuia kuteleza kama vile mbao laini za kutumiwa na vyombo kubebea mizigo zenye sifa za kiwango kidogo za msuguano.
Part
Sehemu hii itabainisha idadi ya sifa za utendaji na za muundo wa vifaa vinavyohamishika vya
- 2 Verify source ↗
Matumizi
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza mipango ya ukaguzi na matengenezo ya vifaa vya kufungia mizigo melini.
2.3 Mipango ya ukaguzi na matengenezo Sehemu hii itaelezea mipango ya ukaguzi na matengenezo ya vifaa vya kufungia mizigo melini.
Part
Sehemu hii itaelezea mipango ya ukaguzi na matengenezo ya vifaa vya kufungia mizigo melini.
- 2 Verify source ↗
Matumizi
AI-assisted research summary: Ukaguzi na matengenezo ya mara kwa mara ya vifaa vya kufungia mizigo yafanyike chini ya uangalizi wa nahodha, na uchunguzi au kupimwa upya kufanywe inapohitajika na Shirika.
2.3.1 Ukaguzi na matengenezo ya mara kwa mara yatafanyika chini ya uangalizi wa nahodha na ukaguzi wa vifaa vya kufungia mizigo kwa uchache zitajumuisha- uchunguzi wa mara kwa mara wa vifaa vinavyotumika; na (a) (b) uchunguzi wa mara kwa mara au kupimwa upya kama itakavyohitajika na Shirika na vifaa husika vya kufungia mizigo vitafanyiwa ukaguzi endapo utahitajika. - 2 Verify source ↗
Matumizi
AI-assisted research summary: Sehemu hii inasema taarifa za ukaguzi na matengenezo ya vifaa vya kufungia mizigo melini ziandikwe katika kitabu cha kumbukumbu.
2.3.2 Sehemu hii itabainisha namna ya kutunza kumbukumbu za hatua za ukaguzi na matengenezo ya vifaa vya kufungia mizigo melini na taarifa zitaingizwa katika kitabu cha kumbukumbu za mafuta, kitakachowekwa na Mwongozo wa kufunga Mizigo.Kitabu cha kumbukumbu kitajumuisha taarifa zifuatazo: (a) taratibu za kukubali, kutengeneza na kukarabati au kukataa vifaa vya kufungia mizigo; na (b) kumbukumbu za ukaguzi. - 2 Verify source ↗
Matumizi
AI-assisted research summary: Sehemu hii inasema taarifa kuhusu ukaguzi na marekebisho ya mipangilio ya ufungaji wakati wa safari itajumuishwa kwa nahodha.
2.3.3 Sehemu hii itajumuisha taarifa kwa ajili ya nahodha kuhusu ukaguzi na marekebisho ya mipangilio ya ufungaji wakati wa safari. - 2 Verify source ↗
Matumizi
AI-assisted research summary: Sehemu hii inataja taratibu za matengenezo zilizowekwa kielektroniki na mada ya uhifadhi na ufungaji wa mizigo isiyo sanifiwa na iliyosanifiwa nusu.
2.3.4 Taratibu za matengenezo zilizowekwa kielektroniki zinaweza kurejewa katika Sehemu hii. UHIFADHI NA UFUNGAJI WA MIZIGO ISIYO SANIFIWA NA ILIYOSANIFIWA NUSU - 3 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha taarifa kuhusu maelekezo ya kubeba vifaa vya kufungia na maelekezo ya usalama kwa vifaa na vyombo vya kufungia na kufungulia kwenye meli na kwa watu walioko nchi kavu.
3.1 Maelekezo ya usalama na ubebaji Sehemu hii itakuwa na taarifa zifuatazo: maelekezo kuhusu ubebaji wa vifaa vya kufungia; na (a) (b) maelekezo ya usalama kuhusiana na ubebaji wa vifaa na vyombo vya kufungia na kufungulia kwenye meli na kwa watu waliopo nchi kavu.
Part
Sehemu hii itakuwa na taarifa zifuatazo:
- 3 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha taarifa, mifano, na mahesabu yanayopaswa kujumuishwa kuhusu kani zinazozalishwa kwenye vyombo vya kubebea mzigo na kufungia mizigo.
3.2 Tathmini ya kani zinazozalishwa kwenye vyombo vya kubebea mzigo Sehemu hii itakuwa na taarifa zifuatazo: (a) majedwali au michoro inayotoa muhtasari mpana wa kani za mseleleko zinazotarajiwa kutokea sehemu mbalimbali za meli wakati wa hali ya mchafuko wa bahari katika wigo wa kimo cha metasentriki kinachoweza kutumika; (b) mifano ya kani zinazozalishwa kwenye vyombo vya kubebea mzigo vinapokabiliwa na kani za mseleleko ziliorejewa katika aya (a) na thamani za pembe za myumbo wa meli na kimo cha metasentriki ambapo kani zinazozalishwa kwenye vyombo vya kubebea mzigo zinazidi kikomo kinachoruhusiwa kwa mipangilio ya ufungaji maalumu; mifano ya jinsi ya kukokotoa idadi na uimara wa vifaa vya kufungia vinavyohamishika vinavyohitajika kukabiliana na kani zinazorejewa katika aya (c) 22 Kanuni za Ubebaji wa Shehena ya Mizigo Yabisi na Fueli Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea) (b) na vile vile vigezo vya kiusalama vitakavyotumika kwa aina tofauti za vifaa vya kufungia mizigo vinavyohamishika, mahesabu yanaweza kufanywa kulingana na Kiambatisho cha 13 cha Kanuni za CSS au mbinu zilizokubaliwa na Shirika; (d) inapendekezwa kuwa mbunifu wa Mwongozo wa Kufungia Mizigo abadilishe njia ya kukokotoa iliyotumika kwenye fomu kulingana na meli husika, vifaa vyake vya kufungia na mizigo iliyobebwa na fomu hiyo inaweza kuwa na michoro inayotumika, majedwali au mifano iliyokokotolewa; na (e) mipangilio mingine ya uendeshaji kama vile kuchakata data kielektroniki au matumizi ya kompyuta ya kupakia vinaweza kukubaliwa kama masharti ya aya (a) hadi (d), iwapo kwamba mfumo una taarifa sawa. - 3 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: This section concerns the use of movable freezing equipment on cargo-carrying containers.
3.3 mizigo mbalimbali, vyombo vya moto na vizuizi vya kuhifadhia mizigo Matumizi ya vifaa vya kufungia vinavyohamishika kwenye vyombo vya kubebea - 3 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza jinsi nahodha anavyopaswa kuzingatia matumizi sahihi ya vifaa vya kufungia mzigo vinavyohamishika kwa mujibu wa vigezo vilivyoorodheshwa.
3.3.1Sehemu hii itazingatia nahodha kwenye matumizi sahihi ya vifaa vya kufungia mzigo vinavyohamishika, kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo, kama vilivyoonyeshwa kwenye Kiambatisho cha 13 cha Kanuni za CSS- muda wa safari; (a) (b) eneo la kijiografia la safari kwa kuzingatia kiwango cha chini cha hali joto la vifaa vya kufungia mzigo vinavyohamishika; (c) hali ya bahari inayoweza kutarajiwa; (d) vipimo, muundo na sifa za meli; (e) (f) aina na ufungaji wa vyombo vya kubebea mzigo na vyombo vya moto; (g) mtindo unaokusudiwa wa uhifadhi wa vyombo vya kubebea mzigo na vyombo kani tuli na kani mwendo zinazotarajiwa wakati wa safari; vya moto; na (h) maada na vipimo vya vyombo vya kubebea na vyombo vya moto. Sehemu hii itaelezea matumizi ya vifaa vya kufungia mizigo vinavyohamishika
Part
Sehemu hii itaelezea matumizi ya vifaa vya kufungia mizigo vinavyohamishika
- 3 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: When the permitted number of locks and lock loops is relevant, the text should be supplemented with suitable drawings or illustrations to support correct understanding and use.
3.3.2 kama idadi ya mifungo na pembe za mifungo zilizoruhusiwa, ambapo ni muhimu, maandishi yataongezwa kwa michoro au vielelezo vinavyofaa ili kuwezesha uelewa sahihi na matumizi sahihi ya vifaa vya kufungia aina mbalimbali za mzigo na vifaa vya kubebea mizigo. - 3 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: Kwa baadhi ya vyombo vya kubebea mizigo na vitu vyenye msuguano mdogo, inapendekezwa kuweka mbao laini au nyenzo zisizoteleza chini ya mzigo.
3.3.3 Kwa vyombo vya kubebea mizigo fulani na vitu vyenye ukinzani wa msuguano mdogo,inashauriwa kuweka mbao laini au nyenzo nyingine za kuzuia utelezi chini ya mizigo ili kuongeza msuguano kati ya deki na mizigo. - 3 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha mwongozo wa mahali na namna inayopendekezwa ya kuhifadhi na kufunga baadhi ya vyombo na mizigo.
3.3.4 Sehemu hii itakuwa na mwongozo wa mahali na njia inayopendekezwa ya kuhifadhi na kufunga kasha, trela na vyombo vya moto vingine vya kubeba mizigo, mizigo inayobebwa kwenye toroli, vyombo vya mizigo na mzigo mmoja kama vile mbao, miviringisho ya karatasi, mizigo, magari na vyombo vya moto vingine. - 3 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: For weather-dependent mifungo, operational procedures are to be developed in accordance with Annex 13 of the CSS Regulations.
3.3.5 Wakati mifungo inayotegemea hali ya hewa, taratibu za uendeshaji zitatengenezwa kwa mujibu wa Kiambatisho cha 13 cha Kanuni cha CSS. - 3 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: The guideline must include illustrations showing the arrangement of equipment for ro-ro ships.
3.4 Masharti ya ziada kwa meli za ro-ro Mwongozo utakuwa na vielelezo vinavyoonyesha mpangilio wa vifaa vya - 3 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: The provision describes how to secure cargo, including lashing strength and spacing, and says further guidance will come from IMO resolutions and related rules.
3.4.1 kufungia mzigo visivyohamishika vikiwa na utambulisho wa uimara, uwezo wa juu wa kufunga mzigo pamoja na umbali wa mkingamo na wima kati ya sehemu za kufungia, katika kuandaa sehemu hii mwongozo zaidi utatumika kutoka kwenye maazimio ya Shirika la Bahari 23 Kanuni za Ubebaji wa Shehena ya Mizigo Yabisi na Fueli Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea) Duniani juu ya vipengele vitakavyoweza kuzingatiwa wakati wa Kuzingatia uhifadhi salama na ufungaji wa vyombo vya kubebea Mizigo na vyombo vya moto kwenye meli na miongozo kwa mipangilio ya ufungaji kwa usafirshaji wa vyombo vya moto barabarani na meli za ro-ro. - 3 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: Cargo securing arrangements for ro-ro and passenger ships must consider ship movement, heel after damage or flooding, and other factors affecting effectiveness.
3.4.2 Katika kubuni mipangilio ya ufungaji kwa vyombo vya kubebea mizigo, kujumuisha vyombo vya moto na makasha, kwenye meli za ro-ro na abiria na kubainisha mahitaji ya chini ya uimara kwa vifaa vya kufungia mizigo vilivyotumika, kani kutokana na mjongeo wa meli, pembe ya myumbo baada ya uharibifu au mafuriko na mazingatio mengine kuhusiana na ufanisi wa mipangilio ya ufungaji wa mzigo. Meli za kubeba shehena - 3 Verify source ↗
Tafsiri
AI-assisted research summary: Cargo carried in ships with containers within the stated convention chapters must be stowed and secured according to the Cargo Securing Manual.
3.5 Pale ambapo meli za kubeba shehena zimebeba vyombo vya kubebea mzigo vilivyomo kwenye mawanda ya sura ya VI/5 au sura ya VII/5 ya Mkataba wa Usalama, mzigo huo utahifadhiwa na kufungwa mujibu wa Mwongozo wa Kufunga Mizigo. UHIFADHI NA UFUNGAJI WA MAKASHA NA MIZIGO MINGINE ILIYOSANIFIWA - 4 Verify source ↗
Ubebaji wa shehena ya mizigo yabisi tofauti na nafaka
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza maelekezo ya utunzaji sahihi na usalama kuhusu vifaa vya ufungaji na mizigo inayohusiana.
4.1 Sehemu hii itakuwa na: Maelekezo ya utunzaji na usalama (a) maelekezo kuhusu utunzaji sahihi wa vifaa vya ufungaji; na (b) maelekezo ya usalama yanayohusiana na utunzaji wa vifaa vya ufungaji na makasha yaliyofungwa na yasiyofungwa au mizigo mingine iliyosanifiwa na mfanyakazi aliye melini au asiye melini. Maelekezo ya uhifadhi na ufungaji
Part
Sehemu hii itakuwa na:
- 4 Verify source ↗
Ubebaji wa shehena ya mizigo yabisi tofauti na nafaka
AI-assisted research summary: Sehemu hii inatumika kwa mifumo ya uhifadhi na ufungaji wa mizigo, ikiwemo kuhifadhi ndani au bila kutumia chumba cha kuhifadhia makasha na mizigo mingine iliyosanifiwa.
4.2 Sehemu hii inatumika kwa mfumo wowote wa uhifadhi na ufungaji kama vile uhifadhi ndani au bila ya kutumia chumba cha kuhufadhia makasha na mizigo mingine iliyosanifiwa. Kwenye meli zilizopo nyaraka zinazohusika na uhifadhi na ufungaji salama zinaweza kuunganishwa kwenye nyenzo zinazotumiwa kwa uandaaji kama ilivyoainishwa chini ya aya ya 4.2 hadi 4.4.
Part
Sehemu hii inatumika kwa mfumo wowote wa uhifadhi na ufungaji kama vile uhifadhi ndani au
- 4 Verify source ↗
Ubebaji wa shehena ya mizigo yabisi tofauti na nafaka
AI-assisted research summary: The section requires a detailed, clear packing/storage plan covering container placement, stacking limits, storage options, and related markings.
4.2.1 Mpango wa uhifadhi na ufungaji Sehemu hii itakuwa na mpango wa kina na unaoeleweka au seti za mipango inayotoa muhtasari muhimu kuhusu: (a) muonekano wa urefu na wa pande zote wa mahali pa kufungia makasha chini na juu ya deki; uzito wa juu wa kasha unaoweza kubebwa juu ya kasha jingine; (b) mifumo mbadala ya uhifadhi makasha yenye vipimo tofauti; (c) (d) mfuatano wa kubebanisha makasha wima unaokubalika; (e) ukomo wa urefu wa kubebanisha makasha kuhusiana na njia za kuona zilizoidhinishwa; na (f) utumiaji wa vifaa vya kufungia kwa kutumia alama zinazofaa kwa kuzingatia nafasi ya kuhifadhi, uzito wa kasha, mfuatano wa kubebanisha makasha, urefu wa kubebanisha makasha, alama zitakazotumika zitakuwa sawa katika Mwongozo wa Ufungaji wa Mizigo.
Part
Sehemu hii itakuwa na mpango wa kina na unaoeleweka au seti za mipango inayotoa muhtasari
- 4 Verify source ↗
Ubebaji wa shehena ya mizigo yabisi tofauti na nafaka
AI-assisted research summary: Kichwa cha kifungu kinahusu kanuni za uhifadhi na ufungaji wa mizigo yabisi kwenye deki na chini ya deki.
4.2.2 Kanuni ya uhifadhi na ufungaji kwenye deki na chini ya deki. - 4 Verify source ↗
Ubebaji wa shehena ya mizigo yabisi tofauti na nafaka
AI-assisted research summary: This section explains how to interpret the storage and packaging plan for container storage, including the use of specified equipment and any guidance or limits on container dimensions, maximum stack weight, stacking sequence, wind-affected stacking, and stacked height.
4.2.2.1 Sehemu hii itasaidia tafsiri ya Mpango wa Uhifadhi na Ufungaji kuhusu uhifadhi wa makasha ikielezea: (a) umatumizi ya vifaa vilivyoainishwa; na (b) Mwongozo wowote au ukomo wa vipimo kama vile ukubwa wa makasha, uzito wa juu wa kasha unaoweza kubebwa juu ya kasha jingine, mfuatano wa 24 Kanuni za Ubebaji wa Shehena ya Mizigo Yabisi na Fueli Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea) kubebesha makasha, ubebanishaji wa makasha ulioathiriwa na upepo, urefu wa makasha yaliyobebanishwa. - 4 Verify source ↗
Ubebaji wa shehena ya mizigo yabisi tofauti na nafaka
AI-assisted research summary: Sehemu hii inasema kuwe na tahadhari maalum dhidi ya madhara yanayoweza kutokana na matumizi mabaya ya vifaa vya kufungia mizigo au tafsiri potofu ya maelekezo yaliyotolewa.
4.2.2.2 Itajumuisha tahadhari mahususi za madhara yanayoweza kutokea kutokana na matumizi mabaya ya vifaa vya kufungia mizigo au tafsiri potofu ya maelekezo yaliyotolewa. - 4 Verify source ↗
Ubebaji wa shehena ya mizigo yabisi tofauti na nafaka
AI-assisted research summary: Section heading only: “4.3 Mifumo mingine inayoruhusiwa ya uhifadhi.”
4.3 Mifumo mingine inayoruhusiwa ya uhifadhi - 4 Verify source ↗
Ubebaji wa shehena ya mizigo yabisi tofauti na nafaka
AI-assisted research summary: Sehemu hii inasema taarifa muhimu itatolewa kwa nahodha kuhusu kushughulikia hali za uhifadhi wa mizigo kinyume na maelekezo ya jumla, pamoja na tahadhari na maonyo ya madhara au matokeo yanayoweza kutokea.
4.3.1 Sehemu hii itatoa taarifa muhimu kwa nahodha kushughulikia hali za uhifadhi wa mizigo kinyume na maelekezo ya jumla yaliyoelezewa chini ya sehemu ya 4.2, ikijumuisha tahadhari zinazofaa za madhara yanayoweza kutokea, maonyo yanayofaa ya matokeo yanayoweza kutokea kutokana na matumizi mabaya ya vifaa vya kufungia mizigo au tafsiri potofu ya maelekezo yaliyotolewa. - 4 Verify source ↗
Ubebaji wa shehena ya mizigo yabisi tofauti na nafaka
AI-assisted research summary: The text says information must be provided about alternative ways of loading, storage, and reduced securing effort for certain crates.
4.3.2 Pamoja na mambo mengine, taarifa itatolewa kuhusu: mpangilio mbadala wa kubebanisha makasha wima; (a) (b) ubebanishaji wa makasha ulioathiriwa na upepo kwa kukosekana kwa makasha ya nje yaliyobebabishwa; (c) uhifadhi mbadala wa makasha yenye vipimo mbalimbali; na (d) upunguzaji unaoruhusiwa wa juhudi za ufungaji kuhusiana na uzito wa makasha ya safu za chini, urefu wa makasha mepesi yaliyobebanishwa au sababu nyingine. - 4 Verify source ↗
Ubebaji wa shehena ya mizigo yabisi tofauti na nafaka
AI-assisted research summary: Kichwa hiki kinahusu nguvu inayotumika kwenye vyombo vya kubebea mizigo.
4.4 Nguvu inayotumika kwenye vyombo vya kubebea mizigo - 4 Verify source ↗
Ubebaji wa shehena ya mizigo yabisi tofauti na nafaka
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza usambazaji unaohusiana na mfumo wa uhifadhi na ufungaji mizigo na hali yake ya msingi ya utulivu.
4.4.1 Sehemu hii inahusu usambazaji wa kuongeza kasi ambayo mfumo wa uhifadhi na ufungaji mizigo unategemea, na kutaja hali ya msingi ya utulivu. - 4 Verify source ↗
Ubebaji wa shehena ya mizigo yabisi tofauti na nafaka
AI-assisted research summary: Kichwa hiki kinahusu taarifa kuhusu nguvu za upepo na bahari zinazoathiri mzigo ulioko kwenye deki.
4.4.2 Taarifa juu ya nguvu zinazochochewa na upepo na bahari kwenye mzigo wa uliopo kwenye deki. - 4 Verify source ↗
Ubebaji wa shehena ya mizigo yabisi tofauti na nafaka
AI-assisted research summary: Recommendations must be made to reduce the risk of cargo loss from the deck when loaded containers create high initial stability that cannot be avoided.
4.4.3 Taarifa kuhusu ongezeko la kawaida la nguvu au uharakishaji na ongezeko la uthabiti wa awali na mapendekezo yatatolewa kwa ajili ya kupunguza hatari ya upotevu wa mizigo kutoka kwenye deki kwa uzito au urefu wa makasha yaliyobebanishwa, ambapo uthabiti wa juu wa awali hauwezi kuepukika. MPANGO WA KUPATIKANA KWA MIZIGO - 5 Verify source ↗
6. Uchunguzi wa oksijeni na kifaa cha kutambua gesi
AI-assisted research summary: Meli zilizoundwa kwa ajili ya kubeba makontena zinapaswa kupewa CSAP ili kuonyesha kwamba wafanyakazi watakuwa na ufikiaji salama kwa shughuli za ulinzi wa kontena.
5.1 Meli ambazo zimeundwa mahususi na kuwekwa kwa madhumuni ya kubeba makontena zitapewa Mpango wa Ufikiaji Salama wa Mizigo (CSAP) ili kuonyesha kwamba wafanyakazi watakuwa na ufikiaji salama kwa shughuli za ulinzi wa kontena. - 5 Verify source ↗
6. Uchunguzi wa oksijeni na kifaa cha kutambua gesi
AI-assisted research summary: The plan must describe in detail the key safe storage and access arrangements for all work areas used by workers.
5.2 na kujumuisha yafuatayo kwa maeneo yote yatakayofanyiwa kazi na wafanyakazi: Mpango huo utaeleza kwa kina mipangilio muhimu ya kuhifadhi mizigo kwa njia salama njia za kutembelea; (a) mikondo; (b) majukwaa; (c) (d) ngazi; (e) ufikiaji wa vifuniko; (f) eneo la vifaa vya kuhifadhia; (g) vifaa vya taa; (h) upangaji wa kontena kwenye vifuniko vya kuanguliwa au nguzo; (i) vifaa vya kuweka vyombo maalumu, kama vile plagi za rifa au vyombo; (j) vituo vya huduma ya kwanza na ufikiaji au njia ya dharura; 25 Kanuni za Ubebaji wa Shehena ya Mizigo Yabisi na Fueli Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea) (k) magenge; na (l) mipango mingine yoyote muhimu kwa utoaji wa njia ya usalama. Miongozo ya mahitaji mahususi itakuwa kama inavyotolewa katika kiambatisho 14 cha - 5 Verify source ↗
6. Uchunguzi wa oksijeni na kifaa cha kutambua gesi
AI-assisted research summary: Kichwa hiki kinataja uchunguzi wa oksijeni na kifaa cha kutambua gesi chini ya Kanuni za CSS Dodoma, tarehe 3 Mei 2024.
5.3 Kanuni za CSS Dodoma, 3 Mei, 2024 MAKAME M. MBARAWA Waziri wa Uchukuzi 26
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Kanuni za Ubebaji wa Shehena ya Mizigo Yabisi na Fueli za Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in