AI-assisted research summary: Cheti cha dhamana ya mazingira kinaonyesha kuwa dhamana imewekwa na kampuni haiwezi kuifuta kabla Mhifadhi wa Dhamana hajathibitisha hali ya mazingira ya eneo la mradi.
9. UMEME NA VIFAA VYA KIELEKRTONIKI Uzalishaji wa betri na Urejelezaji wa betri chakavu mwaka 1 miaka 3 mwaka 1-5 22 Tangazo La Serikali Na. 388 (Linaendelea) Dhamana ya Kuzingatia Masharti ya Mazingira _____________ JEDWALI LA PILI ________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 8 (2)) MPANGILIO WA MPANGO WA KINA WA UFUNGAJI WA MRADI SURA MAUDHUI utajumuisha jina la mradi, jina na anwani ya mwekezaji/mtaalamu wa mazingira aliyesajiliwa na tarehe ya kuwasilisha itaJumuisha orodha ya michoro Utajumuisha taarifa za usuli, Mawanda na madhumuni ya Mpango wa ufungaji wa mradi. yatajumuisha miongoni mwa mengine, eneo la mradi, sifa za eneo la mradi, aina ya shughuli au michakato, taarifa na data za msingi, uchambuzi wa mifumo ya usimamizi wa mazingira; itajumuisha utambuzi wa hatari, tathmini na usimamizi, Ufungaji wa mradi unapaswa kuwa mchakato wa mashauriano, wadau muhimu watambuliwe na kushirikishwa Uchambuzi wa njia mbalimbali za kufunga mradi, kuweka wa vigezo vya kukamilisha ufungaji wa mradi, ukusanyaji na uchambuzi wa data za ufungaji miradi inayoungwa mkono na tafiti maalumu, inapobidi; Itajumuisha hata zilizopo wakat wa kufunga mradi kwa dharula, mpango wa dharura wakati wa kipindi cha kufunga mradi. Ikijumuisha uchanganuzi wa gharama ya Dhamana ya Uzingatiaji wa Masharti ya Mazingira. Ukurasa wa juu yaliyomo Utangulizi Maelezo ya mradi Tathmini ya hatari na Mpango wa Usimamizi Ushirikiano wa wadau Mbinu na njia za ufungaji wa mradi Mpango wa utekerezaji na ufuatiliaji wa ufungaji wa mradi Masharti ya fedha Marejeleo na viambatisho 23 Tangazo La Serikali Na. 388 (Linaendelea) Dhamana ya Kuzingatia Masharti ya Mazingira ___________ JEDWALI LA TATU ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 11(2)) CHETI CHA DHAMANA YA KUZINGATIA MASHARTI YA MAZINGIRA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Uthibitisho wa Dhamana iliyopokelewa KANUNI ZA DHAMANA YA KUZINGATIA MASHARTI YA MAZINGIRA ZA MWAKA 2024 CHETI CHA DHAMANA YA KUZINGATIA MASHARTI YA MAZINGIRA __________ _________ (Kimetolewa chini ya kanuni ya 12 (2)) _________ Hii ni kuthibitisha kwamba Cheti Na...................……. ………………..................................……wa S. L. P ………....……………… ameweka Dhamana Kuzingatia Masharti ya Mazingira kwa njia ya ...................................................................……. (aina ya Dhamana iliyowekwa) kwa ................................................. (Jina la Mtoa Dhamana) ..................................................................................................... Cheti hiki kinathibitisha kwamba Mwekezaji tajwa, ameweka Dhamaba ya Uzingatiaji wa Masharti ya Mazingira ili kudhamini mradi ulioidhinishwa…………………………………………………………………………………… (Jinala mradi na mahali unapotekelezwa) Cheti hiki ni kuthibitisha kwamab, kampuni haitafuta dhamana iliyowekwa mpaka Mhifadhi wa Dhamana atakapojiridhisha na hali ya mazingira katika eneo la mradi Cheti hiki hakitakuwa halali kwa mradi wowote unaofuata. Masharti na vigezo vya Cheti hiki yameainishwa nyuma ya Cheti hiki. Jina…………………………….…………………...…. Saini ……………….……………………………..... Tarehe……………………….…………………………….. Waziri mwenye dhamana ya mazingira Dodoma, …….……..., 2024 SELEMANI SAIDI JAFO Waziri wa Nchi – Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira 24