AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha fomu ya kukiri kosa na taarifa za kulipa kiasi cha fedha kwa ajili ya kufifilisha kosa mbele ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa.
2. Karanga Punje kuwa na unyevu MWONEKANO WA PUNJE Punje kuwa na ukungu au kuvu – rangi kahawia au nyeusi au kijani au njano kuwa na harufu ya uvundo Punje kuwa na ukungu au kuvu – rangi kahawia au nyeusi au kijani au njano kuwa na harufu ya uvundo 7 Sheria ndogo ya kuzuia na kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Tangazo la Serikali Na. 411 (Linaendelea) __________ JEDWALI LA PILI _______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 17) FOMU YA KUFIFILISHA KOSA Mimi ………………………………. Nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya…………………………………….…ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kwamba mnamo tarehe…………ya Mwezi….......... Mwaka ……………. nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya cha ………. Cha Sheria Ndogo ya Kuzuia na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa ya Mwaka 2024. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Niko tayari kulipa kiasi cha Shilingi…………… kwa ajili ya kufifilisha kosa nililotenda chini ya Sheria Ndogo ya Kuzuia na Kudhibiti Sumukuvu. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe………..ya Mwezi……………………Mwaka………………….. Jina………………………………..…………….Saini………………………. MBELE YA: Jina……………………………………………….….. Wadhifa………………………..…………………….….. Saini…………………………………………………… Tarehe…………………………………………………. 8 Sheria ndogo ya kuzuia na kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Tangazo la Serikali Na. 411 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa imegogwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Kilosa ulifanyika tarehe 30 Agosti, 2023 na kushuhudiwa lakiri hiyo ikigongwa mbele ya; KISENA MAGENA MABUBA Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa. WILLFRED LOGIRU SUMARI Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa. NAKUBALI, L.S Dodoma 20 Disemba,2023. MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB) Waziri wa Nchi- Ofisi ya Rais, (Tawala za Mikoa Na Serikali za Mitaa) 9