Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango vya Lazima ya Mwaka 2024
This section says the notice is to be known as the 2024 Notice of Proposed Mandatory Standards.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Notice
- Citation
- Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango vya Lazima ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section says the notice is to be known as the 2024 Notice of Proposed Mandatory Standards. The notice says the standards for the specified products are proposed to be made mandatory. A person with an objection to the proposed mandatory standards may submit it in writing to the Tanzania Bureau of Standards within 60 days of this Notice’s publication. This notice ends 60 days after it is published. This section lists several standards and quality requirements, each marked “Lazima” (required).
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango vya Lazima ya Mwaka 2024
Showing 47 of 47
- 1 Verify source ↗
Notisi hii
AI-assisted research summary: This section says the notice is to be known as the 2024 Notice of Proposed Mandatory Standards.
1. Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango vya Lazima ya Mwaka 2024. Mapendekezo ya viwango vya lazima vinavyopendekezwa Pingamizi - 2 Verify source ↗
Viwango kwa bidhaa kama vilivyoainishwa
AI-assisted research summary: The notice says the standards for the specified products are proposed to be made mandatory.
2. Viwango kwa bidhaa kama vilivyoainishwa la Notisi hii vinapendekezwa katika kutangazwa kuwa viwango vya lazima. Jedwali
Part
Jedwali
- 3 Verify source ↗
Mtu aliye na pingamizi lolote kuhusiana na
AI-assisted research summary: A person with an objection to the proposed mandatory standards may submit it in writing to the Tanzania Bureau of Standards within 60 days of this Notice’s publication.
3. Mtu aliye na pingamizi lolote kuhusiana na viwango vya lazima vinavyopendekezwa anaweza kuwasilisha pingamizi hilo kwa maandishi kwa Shirika la Viwango Tanzania ndani ya siku sitini tangu tarehe ya kuchapishwa kwa Notisi hii. Ukomo wa Notisi - 4 Verify source ↗
Notisi hii itakoma baada ya kuisha kwa siku
AI-assisted research summary: This notice ends 60 days after it is published.
4. Notisi hii itakoma baada ya kuisha kwa siku sitini kutokea tarehe ya kuchapishwa kwake. 1 Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango Vya Lazima Tangazo La Serikali Na. 430 (Linaendelea) ________ JEDWALI ________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) VIWANGO VYA LAZIMA VINAVYOPENDEKEZWA Na. NAMBA KIWANGO YA JINA LA KIWANGO AINA YA KIWANGO
Part
JEDWALI
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section lists several standards and quality requirements, each marked “Lazima” (required).
9. TZS 3731 TZS 3805 TZS 2771 TZS 20388:2021 3800/ISO TZS 3801/ 23105:2021 ISO/TS TZS 20377:2018 - 3811/ISO Matakwa ya bia iliyoongezwa ladha Matakwa ya ubora wa cheuro Matakwa ya ubora wa manda (vifungashio vitokanavyo na ngano) Bioteknolojia – Benki ya kibiolojia - matakwa ya ubora wa mahitaji ya kibayolojia ya wanyama Bioteknolojia - Benki ya kibiolojia – Matakwa ya ubora wa benki ya kibayolojia ya nyenzo za kibaolojia za mimea kwa ajili ya utafiti na ukuzaji Matakwa ya ubora wa kotmiri iliyokaushwa Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Matakwa ya zilizogandishwa kwa barafu ubora wa Matakwa ya ubora wa vanilla ngisi Lazima TZS 3814 TZS 1735 TZS 973:1999 3810/ISO Matakwa ya ubora wa pimento nzima na iliyosagwa - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Section 10 is titled “TZS 3916 Matakwa ya ubora wa hafukeki.”
10. TZS 3916 Matakwa ya ubora wa hafukeki - 16 Verify source ↗
Section 16
AI-assisted research summary: This section lists quality requirements and indicates they are mandatory.
16. TZS 3950 Matakwa ya ubora wa sambusa na springi roli zilizoganda Matakwa ya ubora wa keki Matakwa ya ubora wa mchaichai mzima na uliosagwa Matakwa ya ubora wa majongoo bahari yaliyokaushwa Matakwa ya ubora wa unga wa mwani 2 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango Vya Lazima Tangazo La Serikali Na. 430 (Linaendelea) - 24 Verify source ↗
Section 24
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha matakwa ya ubora kwa mazao mbalimbali ya mboga na matunda.
24. TZS 3894 TZS 3892 Matakwa ya ubora wa zabibu za kula Matakwa ya ubora wa vitunguu majani Matakwa ya ubora wa manavunavu/ zabibu bata Matakwa ya ubora wa matunda ya kiwi Matakwa ya ubora wa brokoli Matakwa ya ubora wa mgulabi Matakwa ya ubora wa tango Matakwa ya ubora wa kabeji maua - 25 Verify source ↗
Section 25
AI-assisted research summary: Section 25 is titled “TZS 3904 Matakwa ya ubora wa komamanga,” indicating quality requirements for pomegranates.
25. TZS 3904 Matakwa ya ubora wa komamanga - 30 Verify source ↗
Section 30
AI-assisted research summary: Section 30 lists quality requirements for several food products and repeats that they are mandatory.
30. TZS 3930 Matakwa ya ubora wa maharage machanga Matakwa ya ubora wa tango chungu Matakwa ya ubora wa unga wa lozi Matakwa ya ubora wa karanga za na hazeli zilizokaangwa Matakwa ya ubora wa karanga za brazil zilizobanguliwa zilizobanguliwa Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima - 31 Verify source ↗
Section 31
AI-assisted research summary: This section is titled as a mandatory requirement about the quality of a blood meal.
31. TZS 548 Matakwa ya ubora wa Mlo wa damu Lazima - 34 Verify source ↗
Section 34
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaonyesha mada ya matakwa ya ubora kwa chokaa ya malisho ya wanyama, fosfati ya kalsiamu ya daraja la malisho ya wanyama, na mchanganyiko wa chakula cha nguruwe.
34. TZS 2046 Matakwa ya ubora wa chokaa kwa ajili ya malisho ya wanyama Matakwa ya ubora wa fosfati ya kalsiamu ya daraja la malisho ya wanyama Matakwa ya ubora wa mchanganyiko wa chakula cha nguruwe - 37 Verify source ↗
Section 37
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha viwango/mahitaji ya ubora kwa aina kadhaa za kahawa.
37. TZS3725/EAS 1087:2022 Matakwa ya ubora wa kahawa iliyoongezewa ladha TZS 1088:2022 TZS 1089:2022 3726/EAS Matakwa ya ubora wa kahawa ya kimiminika 3727/EAS Matakwa ya ubora wa mchanganyiko wa kahawa - 38 Verify source ↗
Section 38
AI-assisted research summary: The text appears to refer to general quality requirements for fertilizers and soil nutrients, including sulfur-coated urea.
38. TZS2557/ISO17323 Matakwa ya jumla ya ubora wa mbolea na virutubisho vya udongo – Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima 3 Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango Vya Lazima Tangazo La Serikali Na. 430 (Linaendelea) Urea iliyofunikwa na salfa - 39 Verify source ↗
Section 39
AI-assisted research summary: This section concerns certification requirements for wheat seed.
39. TZS 4004/EAS 1034 Matakwa ya uthibitishwaji wa mbegu Lazima ya ngano - 40 Verify source ↗
Section 40
AI-assisted research summary: The provision concerns mandatory seed certification requirements.
40. TZS 4003 /EAS 1036 Matakwa ya uthibitishwaji mbegu ya Lazima - 56 Verify source ↗
Section 56
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha matakwa ya uthibitishwaji na ubora kwa mbegu na bidhaa mbalimbali za chakula.
56. TZS 665 mchele Matakwa ya uthibitishwaji wa mbegu ya mtama Matakwa ya uthibitishwaji wa mbegu ya pamba Matakwa ya uthibitishwaji wa mbegu ya maharagwe ya kawaida Matakwa ya uthibitishwaji wa mbegu ya mbaazi Matakwa ya uthibitishwaji wa mbegu ya njugumawe Matakwa ya uthibitishwaji wa mbegu ya ufuta Matakwa ya uthibitishwaji wa mbegu ya machungwa Matakwa ya uthibitishwaji wa mbegu ya kunde Matakwa ya ubora wa stachi ya mahindi Matakwa ya ubora wa mahindi yaliyopikwa Matakwa ya ubora wa magharage makavu mchanganyiko Matakwa ya ubora wa mtindi wa soya Matakwa ya ubora wa mtindi utokanao na protini ya mimea Matakwa ya ubora wa unga wa soya uliokaangwa Matakwa ya ubora wa unga wa mtama Matakwa ya ubora wa matakwa ya vileo vilivyowekewa ladha - 57 Verify source ↗
Section 57
AI-assisted research summary: This section lists several standards and marks them as mandatory.
57. TZS 1062:2022 2331/EAS Matakwa ya ubora wa matakwa ya unga wa maboga 4 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango Vya Lazima Tangazo La Serikali Na. 430 (Linaendelea) Matakwa ya ubora wa bidhaa za nyanya- Sehemu ya nne- nyanya za kopo zilizoondolewa maji Matakwa ya ubora wa uyoga uliolimwa na kusindikwa 1583/EAS 3752/ARS Kifuniko cha uso - Mahitaji yenye mwongozo wa matumizi. 3753/ARS Matakwa ya ubora wa vipumuaji vya matibabu - 58 Verify source ↗
Section 58
AI-assisted research summary: This section appears to list citations or references to standards or instruments.
58. TZS 4:2022 87/EAS 66- TZS 1059:2022 TZS 1693:2021 TZS 1694:2021 - 71 Verify source ↗
Section 71
AI-assisted research summary: This provision appears to list several TZS/EAS reference numbers.
71. TZS 1697:2021 3756/ARS TZS 2845/EAS 967- 1:2022 TZS 317-1/EAS 842- 1:2022 TZS 835-1: 2022 2122-1/EAS TZS 786:2022 313/EAS TZS 638-1/EAS 377- 1:2022 - 72 Verify source ↗
Section 72
AI-assisted research summary: This section lists multiple standards and product requirements, including medical devices, protective equipment, cosmetics, and related test methods or prohibited-substance lists.
72. TZS 638-2/EAS 377- 2:2022 Vifaa vya matibabu - Gauni za upasuaji, drapes na suti za hewa safi - Sehemu ya 1: Mahitaji ya jumla. Vifaa vya matibabu - Gauni za upasuaji, drapes na suti za hewa safi - Sehemu ya 2: Mbinu za majaribio Vifaa vya matibabu - Gauni za upasuaji, drapes na suti za hewa safi - Mahitaji ya jumla Utendaji wa kizuizi cha kioevu na uainishaji wa nguo za kinga na kitambaa zinazokusudiwa kutumika katika vituo vya huduma ya afya. Matakwa ya ubora wa vifaa vya kujikinga binafsi - Ngao ya uso Matakwa ya ubora wa siagi kwa matumizi ya vipodozi - Sehemu ya Kwanza: Siagi ya Shea Shampuu ya nywele - Maelezo - Sehemu ya 2: Sabuni ya sanisi Mahitaji kwa ajili ya kuogea - Sehemu ya kwanza: sabuni za povu na jeli za kuogea Matakwa ya ubora wa mafuta ya kutunza ngozi, losheni na jeli (Toleo Vipodozi na bidhaa za vipodozi - Sehemu ya kwanza: Orodha ya vitu vilivyopigwa marufuku la Tatu) Bidhaa za vipodozi na vipodozi - Sehemu ya Pili: Orodha ya vitu ambavyo havipaswi kuwekwa katika bidhaa za vipodozi isipokuwa kwa mujibu wa masharti yaliyoainishwa (Toleo la Tatu) 5 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango Vya Lazima Tangazo La Serikali Na. 430 (Linaendelea)
Part
Sehemu ya Pili: Orodha ya vitu
- 73 Verify source ↗
Section 73
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha viwango na matakwa ya ubora kwa bidhaa za vipodozi na bidhaa zinazohusiana.
73. TZS 638-3/EAS 377- 3:2022, Vipodozi na bidhaa za vipodozi - Sehemu ya Tatu: Orodha ya rangi zinazoruhusiwa, vihifadhi na vichujio vya miali ya jua (Toleo la Tatu) Matakwa ya kuweka kitambulisho chenye maelezo ya vipodozi 774/EAS 884/EAS Matakwa ya ubora wa pomade na solid brilliantines (Toleo la Tatu) 1687/EAS Matakwa ya ubora wa polishi za kucha (Toleo la Pili) 318-2/EAS Matakwa ya ubora wa jeli ya petroli kwa matumizi ya vipodozi 775/EAS Matakwa ya ubora wa kemikali za kulainisha nywele na bidhaa za urembo wa nywele - Maelezo (Toleo la Tatu) Matakwa ya ubora wa viungio vya fueli
Part
Sehemu ya Tatu: Orodha ya rangi
- 78 Verify source ↗
Section 78
AI-assisted research summary: This section lists references to TZS 346:2022, TZS 342:2022, TZS 340:2022, TZS 126:2022, and TZS 338:2022.
78. TZS 346:2022 TZS 342:2022 TZS 340:2022 TZS 126:2022 TZS 338:2022 - 79 Verify source ↗
Section 79
AI-assisted research summary: The text lists certain small laboratory glassware items.
79. TZS 1247 ndogo za maabara Vyombo vya vioo vya maabara – chupa za kuchemsha zenye shingo nyembamba Vyombo vya vioo vya maabara – chupa za volumetriki zenye alama moja Vyombo vya vioo vya maabara – faneli za chujio za maabara ndogo 3833/ISO Vyombo vya vioo vya maabara – Kondensa - 81 Verify source ↗
Section 81
AI-assisted research summary: 81. TZS 1042:1998 3831/ISO 3832/ISO TZS 4798:1997 TZS 4799:1978
81. TZS 1042:1998 3831/ISO 3832/ISO TZS 4798:1997 TZS 4799:1978 - 86 Verify source ↗
Section 86
AI-assisted research summary: This section is a notice about mandatory standards for certain lubricants, industrial oils, greases, and hydraulic-system products.
86. TZS 12922:2020 1074/ISO Vilainishi, mafuta ya viwandani na bidhaa zinazohusiana (daraja L)- Familia C (gia) - Sehemu ya 2: Makundi ya CKH, CKJ, na CKM (mfumo wa gia wazi na iliyofungwa nusu) Vilainishi, mafuta ya viwandani na bidhaa zinazohusiana (daraja L)- Familia C (gia) - Sehemu ya 3: Maelezo ya grisi kwa mifumo gia iliyofungwa na ya wazi Mafuta ya kulainisha, mafuta ya viwandani na bidhaa zinazohusiana (daraja L)- Familia H (Mifumo ya haidroliki) - Maelezo ya aina za HFAE, HFAS, HFB, HFC, HFDR na HFDU 6 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango Vya Lazima Tangazo La Serikali Na. 430 (Linaendelea) - 98 Verify source ↗
Section 98
AI-assisted research summary: This provision lists three TZS amounts.
98. TZS 24252:2021 TZS 22580:2020 TZS 23590:2020 - 102 Verify source ↗
Section 102
AI-assisted research summary: This section lists multiple products and standards marked as mandatory.
102. TZS 283 Matakwa ya ubora wa mafuta meupe ya viwandani Matakwa ya ubora wa mafuta yenye matumizi mengi ya nyumbani za usaidizi kwa watu Bidhaa wasioona na wenye uoni hafifu- vifaa vya kuelekeza wakati wa kutembea Minyororo ya chuma (pingili za duara) kwa ajili ya minyororo ya uchukuzi wa majembe ya makaa ya mawe Vifaa vya kuchonga miamba kwa ajili ya mashimo marefu – Mtambo wenye kamba ya kurudisha nyuma (kipenyo cha kuanzia 27mm mpaka 32mm) Vifaa vya kuchonga miamba kwa ajili ya mashimo marefu – Mtambo wenye kamba ya kurudisha nyuma (kipenyo cha kuanzia 28mm mpaka 64mm) Vifaa vya kuchimba miamba yenye almasi kwa njia ya mzunguko- Mfumo C Vifaa vya kuchimba miamba kwa msingi wa almasi- Mfumo wa CSSK Mwongozo wa uundaji boti za mbao zitumiwazo katika bahari ya Hindi na maji ndani ya nchi Mifumo ya Biogesi — isiyo katika kaya na isiyo ya gesi Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Mahitaji ya mfumo wa biogesi wa kaya: ubunifu, ufungaji, uendeshaji, utunzaji na usalama Mchanganyiko wa lami - maelezo sehemu ya - kuhusu malighafi kwanza: lami nyepesi. Mchanganyiko wa lami – maelezo kuhusu malighafi - sehemu tatu: lami nzito mchanganyo Vipimo vya matofali magumu kwa matumizi ya vinu vya kuzunguka Matakwa ya ubora wa matofali ya mchanga na cement 7 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima 3815/ISO Vifaa kwa ajili ya kuwashia biogesi Lazima Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango Vya Lazima Tangazo La Serikali Na. 430 (Linaendelea)
Part
sehemu ya
- 103 Verify source ↗
Section 103
AI-assisted research summary: This section is a title reference to TZS 10904:2011 / ISO 3962 about fibre-cement roof sheets, connectors, and caps.
103. TZS 10904:2011 3962/ISO Bati za nyuzi na saruji na viunganishi vya paa na vifuniko - 107 Verify source ↗
Section 107
AI-assisted research summary: Section 107 lists TZS 8715:2001, TZS 17409:2020, and ISO 3948 / ISO 3952.
107. TZS 8715:2001 TZS 17409:2020 3948/ISO 3952/ISO - 114 Verify source ↗
Section 114
AI-assisted research summary: The provision lists multiple technical safety standards and marks them as mandatory.
114. TZS 4706:2008 3836/ISO Usimamizi wa usalama wa reli - Mahitaji ya kiufundi ya uhandisi na viwango vya utendaji – mabehewa Usimamizi wa usalama wa reli - Mahitaji ya kiufundi ya uhandisi na viwango vya utendaji - Kanuni za uendeshaji salama kwenye reli Magari ya umeme uendeshaji barabarani - Tabia za na na na ya moto moto moto Magari barabarani yanayoendeshwa na umeme – Uwezo wa kupitisha umeme - Mahitaji ya kiusalama Baiskeli pikipiki zinazoendeshwa kwa umeme – Maelezo ya kiusalama - Sehemu ya Pili: Usalama wa uendeshaji wa chombo Baiskeli pikipiki zinazoendeshwa kwa umeme – Maelezo ya kiusalama - Sehemu ya Kwanza: Mfumo wa kuhifadhi nishati unaochajishwa. Baiskeli pikipiki zinazoendeshwa kwa umeme – Maelezo ya kiusalama - Sehemu ya Tatu: Usalama wa umeme Matakwa ya ubora wa nyaya za chuma zilizokazwa na kufunikwa na madini ya zinki na alumini kwa ajili ya madaraja Matakwa ya ubora wa vifaa vya Elektrodi kuchomelea zilizofunikwa ya kuchomelea vyuma visivyo na aloi na vyenye chembechembe nzuri kwa umeme Mitungi ya gesi utambulisho stempu Mitungi ya gesi - Mitungi ya chuma iliyochomelewa inayoweza kujazwa tena - Shinikizo la 60 bar kushuka chini — Alama za kwa zinazowekwa — kwa ajili 8 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango Vya Lazima Tangazo La Serikali Na. 430 (Linaendelea) - 117 Verify source ↗
Section 117
AI-assisted research summary: This section lists TZS/ISO standard identifiers.
117. TZS 17096:2015 3844/ISO TZS 13854:2017 3842/ISO - 129 Verify source ↗
Section 129
AI-assisted research summary: This provision lists several standards and indicates they are mandatory.
129. TZS 60839-5-3:2014 1950-5-3/IEC sehemu Usalama wa mashine — Kiwango cha chini cha uwazi ili kuzuia kusagwa kwa za mwili wa mwanadamu Winchi - Usalama - Viambatisho vya kuinua mzigo Usalama wa mashine — Kiwango cha chini cha uwazi/pengo ili kuzuia kusagwa kwa sehemu za mwili wa binadamu Matakwa ya ubora wa pamba inayofyonza Pamba ya inayofyonza kwa matumizi ya matibabu Matakwa ya ubora wa plasta ya wambiso ya oksidi ya zinki ya Matakwa ya ubora wa bandeji ya zinki oksidi kujifunga inayovutika na inayonata Matakwa ya ubora wa soksi ndefu zinazobana za matibabu ya Mavazi ya Upasuaji - Mbinu za upimaji Tathmini ya kibiolojia ya vifaa vya matibabu - Sehemu ya Tano: Majaribio ya vitrocytotoxicity Matakwa ya ubora wa vipande vya bandeji zisizo za kusuka Matakwa ya ubora wa mkanda wa wambiso wa upasuaji usio wa kusuka Mifumo ya tahadhari na usalama ya kielekroniki – Sehemu ya Tano 1: Mifumo ya usafirishaji wa taarifa za tahadhari – Matakwa ya jumla Teknolojia ya habari – Mbinu za usalama – Ulinzi wa taarifa za kibayometriki Mifumo ya tahadhari na usalama ya kielekroniki – Sehemu ya 5-3: Mifumo ya usafirishaji wa taarifa za tahadhari – Mahitaji ya kipitisha habari kwenye kituo cha kupokelea taarifa za tahadhari 9 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango Vya Lazima Tangazo La Serikali Na. 430 (Linaendelea) - 133 Verify source ↗
Section 133
AI-assisted research summary: 133. TZS 3874/ISO/IEC14473: 1999 TZS 3875-6/ISO/IEC 11801-6:2017
133. TZS 3874/ISO/IEC14473: 1999 TZS 3875-6/ISO/IEC 11801-6:2017 - 139 Verify source ↗
Section 139
AI-assisted research summary: This section lists standard references.
139. TZS 61071:2017 3882/IEC TZS 61196-6:2021 3885-6/IEC - 141 Verify source ↗
Section 141
AI-assisted research summary: This provision appears to list multiple technical standards or subject areas, rather than set a rule.
141. 3598-3-1/IEC TZS 61400-3-1:2019 Mifumo ya ufuatiliaji wa video kwa matumizi ya kiusalama – Sehemu ya Kwanza na ya Pili: Mahitaji ya mfumo – Mahitaji ya kiutendaji kazi kwa usafirishaji wa video Vyombo vya usafiri wa barabarani – Mifumo ya tahadhari kwa magari ya kibiashara yanayoruhusiwa kuwa na tungamo isiyozidi tani 3.5 Teknolojia ya habari Vifaa vya ofisi taarifa za kawaida zinazotakiwa kubainishwa kwenye skena Teknolojia ya habari – uwekaji wa nyaya kwenye za mawasiliano majengo ya wateja - Sehemu ya Sita: Usambazaji wa huduma kwenye majengo Teknolojia ya habari – uwekaji wa nyaya kwenye za mawasiliano majengo ya wateja - Sehemu ya Nne: Nyumba za mpangaji mmoja Nyaya za twinax za mawasiliano ya kidijitali - Sehemu ya Kwanza: maelezo ya jumla Mfumo wa kumbukumbu ya sauti - Sehemu ya 1-2: diski ya BD na uhamishaji wa data kwa hifadhi ya data ya sauti ya muda mrefu Mfumo wa kumbukumbu ya sauti - Sehemu ya 1-1: Diski ya DVD na uhamishaji wa data kwa hifadhi ya data ya sauti ya muda mrefu Capacitors kwa ajili ya matumizi ya elektroniki. Nyaya za coaxial Sehemu ya Sita: Vipimo vya sehemu kwa nyaya za kuunganisha kwenye runinga Mifumo ya kuzalisha nishati kwa njia ya upepo - Sehemu ya 3-2: Mahitaji ya muundo wa mitambo ya upepo inayoelea baharini. Mifumo ya kuzalisha nishati kwa njia ya upepo - Sehemu ya 3-1: Mahitaji ya mitambo ya upepo baharini.
Part
Sehemu ya 1-1: Diski ya DVD na
- 142 Verify source ↗
Section 142
AI-assisted research summary: This section refers to safety and testing requirements for junction boxes used with solar PV modules.
142. TZS 3896/IEC 62790 Boksi la makutano kwa ajili ya moduli za umeme jua - mahitaji ya kiusalama na majaribio 10 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango Vya Lazima Tangazo La Serikali Na. 430 (Linaendelea) - 143 Verify source ↗
Section 143
AI-assisted research summary: The text names TZS 3897/IEC 62930 in relation to solar-system electrical wiring and marks it as mandatory.
143. TZS 3897/IEC 62930 Nyaya za umeme wa mifumo jua Lazima - 144 Verify source ↗
Section 144
AI-assisted research summary: This section appears to list a citation/reference only.
144. 448-2-75/IEC TZS 60335-2- 75:2012+AMD1:2015 +AM2:2018 - 152 Verify source ↗
Section 152
AI-assisted research summary: This section lists several electrical safety standards proposed to be made mandatory.
152. 448-2-79/IEC TZS 60335-2-79:2021 zenye volteji 1.5 kV DC. Vifaa vya umeme vya majumbani na vinavyofanana na hivyo – Usalama – Sehemu ya 2-75: Mahitaji maalumu kwa ajili ya usambazaji wa kibiashara na mashine za kuuza. Vifaa vya umeme vya majumbani na vinavyofanana na hivyo – Usalama – Sehemu ya 2-59: Mahitaji maalumu kwa ajili ya viuawadudu. Vifaa vya umeme vya majumbani na vinavyofanana na hivyo – Usalama – Sehemu ya 2-42: Mahitaji maalumu kwa ajili ya matanuru ya umeme, majiko ya mvuke, na matanuru ya mvuke kwa ajili ya biashara Vifaa vya umeme vya majumbani na vinavyofanana na hivyo – Usalama – Sehemu ya 2-4: Mahitaji maalumu kwa ajili ya vitoa-vimiminika kwa kutumia mzunguko. Vifaa vya msongo mdogo wa umeme wa vinavyokinga mwongezeko msongo - Sehemu ya 11: Vifaa vya umeme msongo mdogo vinavyokinga mwongezeko wa msongo vinavyounganishwa kwenye mifumo ya msongo mdogo – Mahitaji na njia za majaribio. Vifaa vya msongo mdogo vya kuwashia na kudhibiti msongo - Sehemu ya Sita wa Vifaa vya msongo mkubwa vya kuwashia na kudhibiti msongo - Sehemu ya 200: Vifaa vya kuwashia na kudhibiti msongo unaobadilika kwa msongo zaidi ya kilovolti 1 hadi 52 Vifaa vya msongo mkubwa vya kuwashia na kudhibiti:Sehemu ya 1: vipimo vya kawaida kwa ajili ya vifaa vya msongo unaobadilika vya kuwashia na kudhibiti Vifaa vya umeme vya majumbani na vinavyofanana na hivyo – Usalama – Sehemu ya 2-79: Mahitaji maalumu kwa ajili ya visafishio vyenye 11 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango Vya Lazima Tangazo La Serikali Na. 430 (Linaendelea) mgandamizo wa juu na visafishio kwa njia ya mvuke.
Part
Sehemu ya 2-79: Mahitaji maalumu
- 153 Verify source ↗
Section 153
AI-assisted research summary: Section 153 appears to reference IEC TZS 60335-2-82:2017+AMD1:2020.
153. 448-2-82/IEC TZS 60335-2- 82:2017+AMD1:2020 - 154 Verify source ↗
Section 154
AI-assisted research summary: This section contains a citation/reference to IEC TZS 60335-2-85:2002, with AMD1:2008 and AMD2:2017.
154. 448-2-85/IEC TZS 60335-2- 85:2002+AMD1:2008 +AMD2:2017 - 157 Verify source ↗
Section 157
AI-assisted research summary: This section lists two standards by reference.
157. TZS 4024/IEC 62080:2001+AMD1:2 008+AMD2:2015 TZS 448-2-103/IEC 60335-2- 103:2015+AMD1:201 7+AMD2:2019 - 161 Verify source ↗
Section 161
AI-assisted research summary: This section lists standards or citations.
161. IEC 4023-1/ TZS 60204- 1:2016+AMD1:2021 TZS 60095-2:2021 144-2/IEC - 162 Verify source ↗
Section 162
AI-assisted research summary: This section lists several standards and indicates they are to be made mandatory.
162. TZS 60095-4:2021 144-4/IEC Vifaa vya umeme vya majumbani na vinavyofanana na hivyo – Usalama – Sehemu ya 2-82 - Mahitaji maalumu kwa ajili ya vifaa vya pumbao na mashine za huduma binafsi. Vifaa vya umeme vya majumbani na vinavyofanana na hivyo – Usalama – Sehemu ya 2-85: Mahitaji maalumu kwa ajili ya vizalishamvuke kwa vitambaa. Vifaa vya umeme vya nyumbani na vinavyofanana na hivyo – Usalama – Sehemu ya 2-89: Mahitaji maalumu kwa ajili ya vipoozeo vya kibiashara na vitengenezeo vya barafu vyenye rifrejeranti iliyofichika au kompresa itumiayo mota. Vifaa vitoavyo sauti kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na matumizi yanayofanana na hayo Vifaa vya umeme vya nyumbani na vinavyofanana na hivyo – Usalama – Sehemu ya 2-103: Mahitaji maalumu kwa ajili ya viendeshea mageti, milango na madirisha. Vifaa vya umeme vya majumbani na vinavyofanana na hivyo – Usalama – Sehemu ya 2-2: Mahitaji maalumu kwa ajili ya visafishio kwa njia ya ombwe na visafishio kwa njia ya kunyonya maji. Vifaa vya umeme vya majumbani na vinavyofanana na hivyo – Usalama – Sehemu ya 2-69: Mahitaji maalumu kwa ajili ya visafishio vibichi na vikavu ombwe, njia ikijumuisha brashi za umeme kwa matumizi ya kibiashara. Usalama wa mashine - Vifaa vya umeme vya mashine - Sehemu ya kwanza: Mahitaji ya jumla Betri za risasi na tindikali – Sehemu ya 2: Vipimo vya betri na vipimo na alama za ncha za umeme Betri za risasi na tindikali – sehemu ya 2: Vipimo vya betri za gari nzito. kwa ya 12 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango Vya Lazima Tangazo La Serikali Na. 430 (Linaendelea)
Part
Sehemu ya 2-69: Mahitaji maalumu
- 164 Verify source ↗
Section 164
AI-assisted research summary: This section lists references to TZS 60086-1:2021 and TZS 60086-2:2021.
164. TZS 60086-1:2021 143-1/IEC TZS 60086-2:2021 143-2/IEC - 165 Verify source ↗
Section 165
AI-assisted research summary: The text mainly lists technical document titles and repeats “Lazima” (“must”), but it does not clearly state a specific rule.
165. TZS 60099-4:2014 3286-4/IEC Betri za awali – Sehemu ya 1: Jumla Lazima Betri za awali – Sehemu ya pili: Maelezo ya muonekano na umeme wake. Vizuizi vya mwongezeko wa ghafla wa umeme – Sehemu ya 4: Vizuizi vya mwongezeko wa ghafla wa umeme vya metali na oksaidi visivyokuwa na upenyo kwa ajili ya mifumo ya umemegeu. Lazima Lazima Dar es salaam 12 Aprili, 2024 ATHUMAN Y. NGENYA Mkurugenzi Mkuu 13
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Notisi ya Mapendekezo ya Kutangaza Viwango vya Lazima ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in