Sheria Ndogo ya Kuzuia na kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima ya Mwaka 2024
This provision gives the by-law’s short title: the Itilima District Council by-law for 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Kuzuia na kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the by-law’s short title: the Itilima District Council by-law for 2024. This bylaw applies throughout the area of the Itilima District Council. This section defines key terms used in the bylaw on preventing and controlling aflatoxin contamination in Itilima District. Halmashauri ina mamlaka ya kuratibu na kusimamia shughuli za kilimo ndani ya eneo lake, na inaweza kukagua mashamba, vyombo vya usafirishaji wa mazao, maghala, viwanda, au maeneo ya usindikaji. Anyone intending to cultivate must follow the stated farm-preparation principles, including timely preparation and not burning fires.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Kuzuia na kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima ya Mwaka 2024
Showing 17 of 17
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision gives the by-law’s short title: the Itilima District Council by-law for 2024.
1. Sheria Ndogo hii itaitwa Sheria Ndogo ya ya Kuzuia Halmashauri ya Wilaya ya Itilima ya Mwaka 2024. Sumukuvu kudhibiti na Matumi zi - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the area of the Itilima District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the bylaw on preventing and controlling aflatoxin contamination in Itilima District.
3. Katika Sheria ndogo hii itakapoelezwa vinginevyo: isipokuwa pale “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa na Mkurugenzi kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Itilima; “kanuni bora za kilimo” maana yake ni uandaaji wa shamba kwa usahihi, upandaji mbegu bora kwa wakati na kwa nafasi sahihi, upaliliaji, utumiaji mbolea 1 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Tangazo La Serikali Na. 433 (Linaendelea) kwa usahihi, udhibiti wa wadudu na wanyama waharibifu, uvunaji na hifadhi sahihi ya mazao; “kilimo” maana yake ni shughuli ya uzalishaji wa mazao; “mkulima” maana yake ni mtu, au kampuni anayejihusisha na shughuli za kilimo; taasisi, cha watu kikundi “mfanyabiashara’’ maana yake ni taasisi, kampuni, kikundi cha watu au mtu binafsi anayejihusisha na shughuli za kuuza au kununua mazao ya kilimo; “Mkurugenzi” Maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mazao’’ maana yake ni punje zinazotokana na mmea wa mhindi, mpunga, uwele, mtama, karanga, ngano, ufuta, alizeti, shayiri, ulezi na mazao ya mizizi yatokanayo na mihogo,viazi; “Kuvu’’ maana yake ni ukungu unaoota kwenye mazao; “sumukuvu” maana sumu zinazozalishwa na kuvu wanao ota kwenye mazao; yake ni “uhifadhi ” maana yake ni utaratibu wa 2 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Tangazo La Serikali Na. 433 (Linaendelea) kutunza mazao katika sehemu ambayo haisababishi mazingira ya uotaji wa kuvu; “ukaushaji” maana yake ni taratibu sahihi za kupunguza unyevu kwenye mazao kwa ajili ya matumizi au uhifadhi; “usindikaji” maana yake ni hatua ya uchakataji wa zao kwa lengo la kuongeza thamani; “uvunaji” maana yake ni uondoaji wa mazao kutoka kwenye mmea baada ya kukomaa au kukauka; “viashiria vya sumukuvu” maana yake ni dalili zinazoonyesha uwepo wa sumukuvu kwenye mazao ya mahindi, mpunga, uwele, mtama, karanga, ngano, ufuta, alizeti, shayiri, ulezi zilizovunjika, na mazao ambayo hayajauka vizuri; “viuatilifu” maana yake ni sumu ya kuua au kuzuia wadudu waharibifu wa mazao; Uratibu na Usima mizi wa Shughul i za kilimo na Udhibiti wa Sumuku vu - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Halmashauri ina mamlaka ya kuratibu na kusimamia shughuli za kilimo ndani ya eneo lake, na inaweza kukagua mashamba, vyombo vya usafirishaji wa mazao, maghala, viwanda, au maeneo ya usindikaji.
4.- (1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuratibu na kusimamia shughuli za kilimo ndani ya eneo la Halmashauri kwa la kuzuia na kudhibiti lengo sumukuvu. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kufanya ukaguzi katika mashamba au vyombo vya usafirishaji wa mazao 3 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Tangazo La Serikali Na. 433 (Linaendelea) au maghala au kiwanda au eneo la usindikaji kwa la kusimamia lengo utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. Uandaaj i wa Shamba - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayekusudia kulima, atapaswa
AI-assisted research summary: Anyone intending to cultivate must follow the stated farm-preparation principles, including timely preparation and not burning fires.
5.- Mtu yeyote anayekusudia kulima, atapaswa kuzingatia misingi ifuatayo: (a) (b) (c) kufuata njia sahihi za uandaaji wa Shamba; kutayarisha shamba kwa wakati; na kutochoma moto. Upanda ji wa Mazao. - 6 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayepanda mazao atapaswa
AI-assisted research summary: Anyone planting crops must follow proper planting methods.
6.- Mtu yeyote atakayepanda mazao atapaswa kuzingatia njia sahihi za upandaji ikiwa ni pamoja na: (a) (b) kutumia mbegu bora; kupanda mara mvua za kupandia zinapoanza kunyesha; na (c) kupanda kwa nafasi sahihi. Utunzaj i wa Mazao Shamba ni - 7 Verify source ↗
Mtu yeyote aliyepanda mazao atapaswa
AI-assisted research summary: Mtu aliyepanda mazao anatakiwa kuyatunza kwa njia sahihi, ikiwemo kutumia mbolea, kupalilia kwa wakati, na kudhibiti magonjwa, wadudu na wanyama waharibifu.
7.- Mtu yeyote aliyepanda mazao atapaswa kuyatunza kwa kuzingatia njia sahihi za utunzaji wa mazao ikiwa ni pamoja na: (a) (b) kutumia mbolea; kupalilia kwa wakati; na 4 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Tangazo La Serikali Na. 433 (Linaendelea) (c) kudhibiti magonjwa, wadudu wanyama waharibifu. au Uvunaji wa Mazao - 8 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayevuna mazao atapaswa
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayevuna mazao lazima avune kwa kufuata kanuni bora za uvunaji.
8.- Mtu yeyote atakayevuna mazao atapaswa kuvuna kwa kuzingatia kanuni bora za uvunaji ikiwa ni pamoja na: (a) (b) (c) kuvuna mara baada ya mazao kukomaa au kukauka; kusafirisha na kuhifadhi vizuri; na kusafisha shamba baada ya kuvuna. Ukaush aji wa Mazao - 9 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayevuna mazao anapaswa
AI-assisted research summary: Anyone who harvests crops must dry them properly immediately after harvesting.
9.- Mtu yeyote atakayevuna mazao anapaswa kuyakausha kwa kutumia njia sahihi mara tu baada ya kuvuna ikiwa ni pamoja na: - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Mtu yeyote lazima ahifadhi mazao kwa njia zinazozuia kuota kwa kuvu.
10.- Uhifadh i wa Mazao (a) (b) (c) njia za asili zisizoruhusu kuvu kuota; kutumia maturubai, mikeka na vichanja vinavyozuia uchafuzi wa mazao; na kukausha kwa njia yoyote itakayoelekezwa na mtaalam. sahihi (1) Mtu yeyote atawajibika kuhifadhi mazao kwa kutumia njia sahihi za kiasili au za kisasa ambazo zitazuia kuota kwa kuvu. (2) Njia sahihi zinazoelekezwa kutumika kuhifadhi mazao ni pamoja na: (a) mifuko isiyopitisha hewa; 5 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Tangazo La Serikali Na. 433 (Linaendelea) (b) magunia ya kawaida kwa ajili ya mazao yaliyowekwa viuatilifu; (c) kihenge na kichanja bora cha asili; (d) silo au pipa maalum; (e) ghala bora lililo safi; (f) kutumia viuatilifu kwenye mazao kwa ushauri wa kitaalam; au kuzingatia (g) njia nyingine itakavyoshauriwa na wataalam. kadri Wajibu wa Halmas hauri - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Halmashauri must carry out several support and control duties on crop production, storage, records, training, and market facilities, and it may appoint an officer to oversee implementation.
11.- (1) Halmashauri katika utekelezaji wa Sheria Ndogo hii itakuwa na wajibu wa: (a) kuhamasisha na kutoa elimu ya usimamizi wa na uzalishaji mazao; (b) kuhamasisha uhifadhi wa mazao katika eneo au mahala salama ili kuepuka uchafuzi wa sumukuvu; (c) kuweka mazingira wezeshi ya za upatikanaji wa pembejeo kilimo; (d) kutunza kumbukumbu za mashamba yote ya mazao ya kilimo katika Kata na Vijiji ili 6 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Tangazo La Serikali Na. 433 (Linaendelea) kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; (e) kuanzisha, kuendeleza mashamba darasa na vituo maalum kwa ajili ya kutolea mafunzo ya udhibiti wa sumukuvu; (f) na kuanzisha kuhamasisha wakulima na wadau wengine kujenga sehemu za kuhifadhia mazao; au (g) kuandaa uwepo wa vituo maalum vya kuuza na kununua mazao. (2) Bila ya kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1) Halmashauri inaweza kumteua Afisa kusimamia Mwidhiniwa utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. Wajibu wa Mkulim a - 12 Verify source ↗
Kila Mkulima atakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Kila mkulima lazima afuate kanuni bora za kilimo, aripoti dalili za kuvu katika mazao kwa Halmashauri, na ahudhurie mafunzo ya kudhibiti sumukuvu na kutekeleza ujuzi unaopatikana.
12.- Kila Mkulima atakuwa na wajibu wa: (a) (b) (c) kufanya shughuli za kilimo kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo na usimamizi wa mazao kabla na baada ya kuvuna; kutoa taarifa kwa Halmashauri kuhusu uwepo wa dalili za kuvu katika mazao; na kushiriki mafunzo yaliyoandaliwa na Halmashauri ya kudhibiti sumukuvu na 7 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Tangazo La Serikali Na. 433 (Linaendelea) kutekeleza ujuzi uliopatikana kwenye mafunzo hayo. Wajibu wa msafiris haji Wajibu wa mfanya biashara - 13 Verify source ↗
Mtu yeyote anayesafirisha mazao anapaswa
AI-assisted research summary: Anyone transporting produce must make sure the packaging and equipment used are dry or prevent water, moisture, and dust from getting in.
13. Mtu yeyote anayesafirisha mazao anapaswa kuhakikisha vifungashio na vifaa anavyotumia kusafirisha mazao ni vikavu au visivyoruhusu maji au unyevu na vumbi kuingia ndani ili kuepusha kuvu kuota kwenye mazao. - 14 Verify source ↗
Kila mfanyabiashara wa mazao atakuwa na
AI-assisted research summary: Kila mfanyabiashara wa mazao lazima ahakikishe mazao anayenunua, kuhifadhi, kusafirisha, au kuuza hayana viashiria vya sumukuvu.
14. Kila mfanyabiashara wa mazao atakuwa na wajibu wa kuhakikisha ananunua au anahifadhi au anasafirisha au kuuza mazao ambayo hayana viashiria vya uwepo wa sumukuvu kama inanyoonekana katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. Wajibu wa Msindik aji - 15 Verify source ↗
Kila msindikaji atakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Kila msindikaji lazima asindikie mazao yasiyoonyesha viashiria vya sumukuvu kama yalivyoorodheshwa katika Jedwali la Kwanza.
15. Kila msindikaji atakuwa na wajibu wa kusindika mazao ambayo hayana viashiria vya uwepo wa sumukuvu kama inanyoonekana katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. Makosa na Adhabu - 16 Verify source ↗
Mtu yeyote ambaye
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayefanya vitendo vilivyotajwa kuhusu mazao anaweza kutenda kosa na kuadhibiwa kwa faini, kifungo, au vyote viwili.
16. Mtu yeyote ambaye: (i) (ii) hata andaa, kupanda, kutunza shamba na mazao kwa usahihi; hatavuna kwa wakati mara baada ya mazao kukomaa; (iii) atachelewa kuondoa mazao shambani baada ya kuvuna; (iv) ataanika kwenye udongo, vumbi au 8 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Tangazo La Serikali Na. 433 (Linaendelea) (v) (vi) mchanga; atakausha mazao katika mazingira yanayoweza kusababisha sumukuvu; atatumia kutumika kwenye mazao; viuatilifu vilivyozuiliwa (vii) atauza mazao yenye viashiria vya sumukuvu; (viii) atasafirisha njia mazao zitakazosababisha mazingira ya kuvu kuota; kwa (ix) (x) atatumia mazao yenye viashiria vya sumukuvu wakati wa usindikaji; au atatenda jambo lolote lililokatazwa na Sheria Ndogo hii, atakuwa ametenda kosa na endapo atapatikana na hatia atatozwa faini isiyopungua Shilingi elfu hamsini na isiyozidi Shilingi laki tatu au kutumikia kifungo kisichozidi miezi kumi na miwili jela au adhabu zote mbili kwa pamoja. Kufifili sha kosa - 17 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu aliyefanya kosa chini ya Sheria Ndogo hii faini ya Shilingi 50,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari na yuko tayari kujaza fomu maalum ya Jedwali la Pili.
17. Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi cha Shilingi elfu hamsini iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoambatishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. 9 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Tangazo La Serikali Na. 433 (Linaendelea) _____________ ______________ JEDWALI LA KWANZA ________________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 14 na 15) VIASHIRIA VYA SUMUKUVU Namba AINA YA MAZAO HALI YA UNYEVU AU KUVU 1 2 Mahindi Punje kuwa na unyevu Karanga Punje kuwa na unyevu MWONEKANO WA PUNJE Punje kuwa na ukungu au kuvu – rangi kahawia au nyeusi au kijani au njano kuwa na harufu ya uvundo Punje kuwa na ukungu au kuvu – rangi kahawia au nyeusi au kijani au njano kuwa na harufu ya uvundo 10 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Tangazo La Serikali Na. 433 (Linaendelea) ____________ JEDWALI LA PILI ____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 17) FOMU YA KUFIFILISHA KOSA Mimi ………………………………. Nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya…………………………………….…ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima kwamba mnamo tarehe…………ya Mwezi….......... Mwaka ……………. nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya ………. ya Sheria Ndogo za (Kuzuia na kudhibiti Sumukuvu) ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima ya Mwaka 2024. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, Niko tayari kulipa kiasi cha Shilingi…………… kwa ajili ya kufifilisha Kosa nililotenda chini ya Sheria Ndogo za (Kuzuia na kudhibiti Sumukuvu). NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe………..ya Mwezi……………………Mwaka………………….. Jina………………………………..…………….Saini……………………… MBELE YA: Jina……………………………………………….….... Wadhifa………………………...……………………... Saini…………………………………………………... Tarehe…………………………………………………. 11 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Tangazo La Serikali Na. 433 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya wilaya ya Itilima imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hii kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano Maalum wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima uliofanyika tarehe 26 Mwezi Agosti Mwaka 2022 mbele ya; ELIZABETH M. GUMBO Mkugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Itilima DAUDI M. NYALAMU Mwenyekiti wa Halmashauri Halmashauri ya Mji wa Itilima NAKUBALI, L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB) 30 Januari 2023 Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 12
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Kuzuia na kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in