Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya wilaya ya hai ya Mwaka 2024
This section gives the short title of the bylaw.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya wilaya ya hai ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the bylaw. This bylaw applies throughout the entire area of Hai District Council. This section defines key terms used in the by-law, including fees, authorized officers, vehicles, the Council, permits, service charges, and related transport and market terms. Halmashauri inatoza ada au ushuru kwa huduma, leseni na vibali vilivyoorodheshwa, na mlipa ada au ushuru anatakiwa kulipa kabla au wakati wa kupokea huduma. A person liable to pay a fee or tax under these by-laws must pay it according to the rates set out in the by-laws.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya wilaya ya hai ya Mwaka 2024
Showing 49 of 49
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the bylaw.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya wilaya ya hai ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the entire area of Hai District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Hai. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including fees, authorized officers, vehicles, the Council, permits, service charges, and related transport and market terms.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa pale muktadha utahitaji vinginevyo: “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Bajaji” maana yake ni chombo cha usafiri chenye matairi lengo matatu. “Chombo cha Usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha mtu, watu au mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine isipokuwa Baiskeli, Mkokoteni, au wanyama wanaotumika kusafirisha watu au mizigo; “Halmashauri”maana yake ni Halmashauri ya wilaya ya Hai; Sura ya 212 “kampuni” maana yake ni kama ilivyofafanuliwa chini ya Sheria ya kampuni; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) inayotolewa na Halmashauri; “kituo cha Mabasi” maana yake ni eneo maalum lililotengwa na Halmashauri kwa madhumuni ya kupakia na kushusha abiria na mizigo ya Abiria; “kodi ya Huduma” maana yake ni ada au ushuru inayotozwa na Halmashauri kutoka kwa kampuni au taasisi zinazofanya biashara au kutoa huduma katika Halmashauri; “Machinjio” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi za wanyama waliochinjwa; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “maegesho’’ Sehemu yeyote iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha chombo cha usafiri kwa muda; “makazi” maana yake ni jengo lolote linalo tumiwa kwa kuishi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuendesha shughuli za kuuza na kununua bidhaa; “mnada” maana yake ni sehemu “mnyama” maana yake ni mbuzi, ng`ombe, nguruwe na wanyama wengine wowote wanaofugwa na binadamu; “soko” maana yake ni eneo lililotengwa na linalomilikiwa na Halmashauri kwa matumizi ya soko; “stendi” maana yake ni eneo maalum lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo; “teksi” maana yake ni gari linalotumika kubeba abiria wasiozidi wanne; “usajili wa vyombo vya usafiri” maana yake ni utaratibu utakaowekwa na Halmashauri wa kuorodhesha idadi ya vyombo vya usafiri vinavyofanya biashara ndani ya mamlaka ya Halmashauri; “ushuru” maana yake ni maana yake ni tozo inayotozwa 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) na Halmashauri kwa mbalimbali Halmashauri; zinazofanywa shughuli au huduma la katika eneo Utozaji Ada Ushuru wa au “wakala” maana yake ni mtu binafsi,kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza ada au ushuru kwa huduma, leseni na vibali vilivyoorodheshwa, na mlipa ada au ushuru anatakiwa kulipa kabla au wakati wa kupokea huduma.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama la Kwanza la Sheria Ndogo hii. ilivyoainishwa katika Jedwali (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. (4) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yoyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (5) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika;- (6) Huduma zitakazotozwa ada au ushuru katika sharia ndogo hii ni; (a) ada ya kukodi mali za halmashauri; ambapo baadhi ya mali zitatozwa kulingana na makubaliano yatakayoingiwa kwenye mkataba, kama vile magari, mitambo, vibanda, viti, mashamba ya halmashauri, ukumbi, treka na mali nyingine; (b) ushuru wa madini ya ujenzi; (c) ada na ushuru wa soko; (d) ushuru wa mifugo; (e) ada ya kibali cha kusafirisha mifugo; (f) mazao ya chakula yatatozwa 2%; (g) mazao ya biashara yatatozwa 3% ya bei ya 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) kununulia; (h) ada ya huduma za machinjio, ukaguzi wa nyama; (i) ushuru wa mazao ya misitu; (j) ada ya vibali ya ujenzi na ukarabati wa majengo, ambapo kibali kinatakiwa kudumu tu, baada ya miezi sita kwa miezi sita hakitahesabika kama ni kibali; (k) ada ya zabuni za Halmashauri; (l) ada ya maegesho; (m) ada ya vibanda na Ushuru wa Stendi; (n) ada ya mashamba ya ushirika; (o) Na ada nyingine kama zilivyoainishwa kwenye Jedwali la kwanza; (7) Bila kuathiri masharti ya kanuni hizi, Mkurugenzi anaweza kutoa kibali maalum kuruhusu shughuli za usafirishaji wa bidhaa yoyote kufanyika nje ya muda ulioainishwa katika Sheria Ndogo hii. Wajibu wa kulipa ada au ushuru
Part
Jedwali la kwanza;
- 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: A person liable to pay a fee or tax under these by-laws must pay it according to the rates set out in the by-laws.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Muda wa kukusanya ada au ushuru Ukusanyaji wa madeni - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Ada au ushuru unaweza kukusanywa tu katika muda uliotajwa, na ukusanyaji baada ya muda huo unaruhusiwa tu kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda ulioainishwa kwenye kanuni hii. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri may recover unpaid fees or taxes through court or by seizing movable property, and may sell seized property with court approval after 30 days, or sooner if it may spoil quickly.
7.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya Mahakama. (4) Endapo mali zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama. zilizokamatwa (5) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo ya (3) na (4), Halmashauri kabla ya kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote ile itakayotokea ama wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri au Wakala. Uteuzi wa Wakala - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala wa kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake, na wakala huyo lazima akusanye na kuwasilisha makusanyo kwa masharti yaliyowekwa.
8.-(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya kuteua wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa - 9 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia kwenye eneo, jengo au chombo cha usafiri katika saa za asubuhi hadi jioni kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia masuala ya ada, ushuru, leseni au kibali.
9. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Kuanzisha Soko Sura ya 355 Muundo wa Soko Upangaji - 10 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: The Council may establish a market anywhere in its area, considering residents’ needs and town planning laws, and must set aside specific land for market construction in planning documents and implementation.
10.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuanzisha soko mahali popote katika eneo la Halmashauri kama itakavyoona inafaa kwa kuzingatia mahitaji wa Wananchi na matakwa ya Sheria za Mipango Miji na kulitangaza. (2) Katika michoro ya mipango miji na utekelezaji wake, Halmashauri itatenga maeneo maalum kwa ajili ya ujenzi wa soko. - 11 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima igawanye soko katika vyumba, vibanda, vizimba na stoo, na matumizi ya soko yazingatie mpangilio wa bidhaa zitakazouzwa.
11.-(1) Halmashauri itagawanya soko katika vyumba, vibanda, vizimba na stoo kwa ajili ya kurahisisha matumizi bora ya Soko. (2) Matumizi ya soko yatazingatia mpangilio wenye mahusiano ya bidhaa zitakazouzwa Sokoni - 12 Verify source ↗
(1) Halmashauri itapangisha chumba, kibanda,
AI-assisted research summary: Halmashauri must rent market spaces to traders under the contract terms, and traders must apply and sign a contract if approved.
12.-(1) Halmashauri itapangisha chumba, kibanda, kizimba au stoo kwa wafanyabiashara kwa mujibu wa taratibu na viwango vya kodi ya pango vitakavyowekwa kwenye mkataba ya pango. (2) Mfanyabiashara atakayehitaji kupanga eneo la soko atawasilisha maombi yake kwa Halmashauri na akikubaliwa ataingia mkataba utakaonyesha muda, kiwango cha kodi ya pango, wajibu na taratibu za kufuata katika kipindi chote cha mkataba alichokubaliwa kufanya biashara. (3) Mkataba wa upangaji unaweza kusitishwa endapo:- (a) muda wa upangaji utakapokwisha; (b) upande mmoja wa mkataba kutoa taarifa ya thelasini kwa upande maandishi ya siku mwingine ukitoa kusudio la kusitisha mkataba; (c) Mfanyabiashara atapoteza sifa kutokana na kukiuka taratibu za Sheria Ndogo hii (4) Baada ya muda wa upangaji ndani ya Mkataba kumalizika, mkataba mpya utafanyika kwa njia ya zabuni au kwa namna ambayo Halmashauri itaona inafaa. (5) Halmashauri itakuwa na uwezo wa kufunga kibanda au kizimba chochote ambacho hakijalipiwa 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) ushuru kwa miezi miwili mfululizo. Uteuzi wa Msimamizi wa Soko - 13 Verify source ↗
Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima imteue afisa yeyote kuwa msimamizi wa soko, atakayejulikana pia kama afisa masoko chini ya Sheria Ndogo hii.
13. Halmashauri itamteua afisa yeyote kuwa msimamizi wa soko ambaye kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatambulika kama afisa masoko. Wajibu wa Afisa Masoko Kamati ya Soko - 14 Verify source ↗
Afisa masoko atakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Afisa masoko ana wajibu wa kusimamia shughuli za kila siku za soko, kuandaa na kutunza orodha ya wafanyabiashara, na kushirikiana na uongozi wa soko na wadau husika.
14. Afisa masoko atakuwa na wajibu wa:- (a) kusimamia shughuli za kila siku za uendeshaji la yaliyopo katika eneo wa masoko Halmashauri; (b) kwa kushirikiana na wadau wengine wa afya, mapato na mazao anaweza kuzuia uuzaji wa mazao au bidhaa sokoni iwapo kwa maoni yao bidhaa au mazao hayo yanaweza kuleta madhara kwa watumiaji au kusababisha uchafu wa soko; (c) kuandaa na kutunza orodha ya wafanyabiashara wa sokoni; na (d) atashirikiana na uongozi wa soko katika kupanga, kutekeleza na kutatua changamoto za uendeshaji wa soko. - 15 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na kamati ya soko itakayoundwa
AI-assisted research summary: A market committee is to be formed by traders and other market stakeholders, and market management must create and allocate additional subcommittees.
15.-(1) Kutakuwa na kamati ya soko itakayoundwa na wafanyabiashara na wadau wengine wa soko. (2) ukubwa wa kamati ya soko utategemeana na wingi wa wafanyabiashara katika soko husika. (3) Bila kuathirimasharti ya kanuni ndogo ya (1) uongozi wa soko utaunda na kugawa kamati ndogo ndogo nyingine za wadau wa soko kama ifuatavyo: (a) Kamati Ndogo ya miundombinu na usafi (b) Kamati Ndogo ya biashara na utawala; na (c) Kamati ndogo ya Ulinzi na Usalama (4) Kamati zilizoainishwa kwenye kanuni ndogo ya (3) zitakuwa na wajumbe wasiozidi wanne. Kazi za Kamati ya Soko - 16 Verify source ↗
Kazi za Kamati ya soko zitakuwa kama
AI-assisted research summary: The market committee must carry out the listed market management functions.
16. Kazi za Kamati ya soko zitakuwa kama ifuatavyo- (a) kuweka mazingira mazuri ya ufanyaji wa biashara na utendaji wa soko ili kuinua ustawi wa soko. 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) (b) kuanzisha na kuhamasisha uundwaji na kujiunga katika vyama vya ushirika (c) kudhibiti nidhamu, usafi na matumizi sahihi ya soko na vyoo vya sokoni; na (d) kuratibu mipango ya kugharamia huduma za ulinzi, usafi, maji na umeme kwa kadri itavyopangwa - 17 Verify source ↗
(1) Muda wa kuanza shughuli za Soko utakuwa
AI-assisted research summary: Soko linafanya kazi kila siku kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni, na Halmashauri inaweza kuruhusu shughuli baada ya muda huo.
17.-(1) Muda wa kuanza shughuli za Soko utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni kila siku. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1) hapo juu, Halmashauri inaweza kuruhusu shughuli za Soko baada ya muda ya muda ulioainishwa kwenye kanuni hii. - 18 Verify source ↗
Mtu yeyote hataruhusiwi kupika chakula,
AI-assisted research summary: No one may cook food, roast meat, run restaurant activities, or do any fire-related activity inside the market area, except in specially designated areas.
18. Mtu yeyote hataruhusiwi kupika chakula, kuchoma nyama au kuendesha shughuli za mgahawa au shughuli yoyote inayohusisha moto ndani ya eneo la soko isipokuwa katika maeneo maalum yaliyotengwa kwa ajili ya Shughuli hii - 19 Verify source ↗
Halmashauri itatenga maeneo maalum katika
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itenge maeneo maalum katika soko ya kukusanyika au milango maalumu kwa matumizi wakati wa dharura.
19. Halmashauri itatenga maeneo maalum katika soko kwa ajili ya kukusanyika endapo kutatokea dharura yoyote au kuweka milango maalumu kwa ajili ya matumizi kipindi cha dharura. - 20 Verify source ↗
(1) Mazao na bidhaa mbalimbali zitasafirishwa
AI-assisted research summary: Vehicles used to bring goods into the market must leave within six hours after unloading, unless the market officer directs otherwise.
20.-(1) Mazao na bidhaa mbalimbali zitasafirishwa na kuingizwa sokoni kwa kutumia vyombo vya usafiri, kisha mizigo itapakuliwa na vyombo hivyo vitaondoka sokoni ndani ya masaa sita au kadiri itakavyoelekezwa na afisa wa soko. (2) Halmashauri itatoza ushuru wa magari yote yatakayoingia katika eneo la soko, kwa ajili ya kununua bidhaa au kupakia na kupakua bidhaa. - 21 Verify source ↗
Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Anyone who does any of the listed acts commits an offence.
21. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa 8 Saa za Soko Tahadhari ya Moto Milango kwa matumizi ya dharula Upakuaji mizigo katika masoko Makosa Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au kutekeleza majukumu yake kwa wakala mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ada au ushuru; (e) atashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu, au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri; (f) atashindwa, atadharau, atakaidi au kukataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii; au ataidhinisha atatayarisha, kutengeneza au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri. (g) atatengeneza, Adhabu Kufifilisha kosa - 22 Verify source ↗
Mtu atakayekiuka masharti ya Sheria hii
AI-assisted research summary: A person who violates the law’s conditions commits an offence and, if convicted, may be fined, imprisoned, or given both penalties.
22. Mtu atakayekiuka masharti ya Sheria hii atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatakiwa kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili (12) na kisichozidi miezi ishirini na nne (24) au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. - 23 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: The Director may compound an offence by charging 200,000 shillings if the offender admits the offence, completes the specified form, and pays any fees or charges owed.
23. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. ________________ JEDWALI LA KWANZA _________________ 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) (limetengenezwa chini ya kanuni ya 4 (1)) SEHEMU YA KWANZA NYUMBA ZINAZOMILIKIWA NA HALMASHAURI Namba Aina ya chanzo Kiwango cha ushuru(shilingi)
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha viwango vya ushuru/ada kwa makundi tofauti na maombi fulani.
7. Daraja la kwanza 50,000/= kwa mwezi Daraja la pili Daraja la tatu 35,000/= kwa mwezi 20,000/= kwa mwezi Maombi ya kumiliki viwanja 20,000/= kwa kila fomu Banda la Ngozi Kwa mujibu wa Mkataba Jengo la Nanenane Arusha Kwa mujibu wa Mkataba Nyumba nyingine za Halmshauri ambazo hazikutajwa Kwa mujibu wa Mkataba SEHEMU YA PILI USHURU WA YA UJENZI Namba Aina ya chanzo Idadi Kiwango cha ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA PILI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This text lists charges for construction materials based on their size in centimeters.
1. Kokoto,mchanga,mawe, moramu,udongo na changarawe na madini mengine ya ujenzi yatakayopatikana Sentimita moja hadi saba 10,000/= Sentimita 7 hadi kumi na nne 15,000/= Sentimita kumi nne na kuendelea 20,000/= SEHEMU YA TATU ADA NA USHURU WA SOKO Namba aina ya ada au ushuru Chanzo cha ada au ushuru
Part
SEHEMU YA TATU
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Ada au ushuru ni Sh 300 kwa siku kwa kizimba Gezaulole, Soko la Walaji Bomang’ombe na masoko mengine yaliyotajwa.
1. Kodi ya pango kwa kizimba Gezaulole,Soko la Walaji Bomang’ombe na masoko mengine ambayo hayakutajwa hapa. kiwango cha ada au ushuru 300/= kwa siku SEHEMU YA NNE 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) USHURU WA MINADA YA MIFUGO Namba Aina ya Mfugo Kiwango cha ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA NNE
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The text lists fees/charges for different livestock and poultry categories, including 2,000/= per head for cattle and pigs, a market-price-based amount for goats and sheep, and 2,000/= per basket for chickens, guinea fowl, or ducks.
4. Ushuru wa ng’ombe Ushuru wa nguruwe Ushuru wa mbuzi na kondoo Kuku au kanga au bata 2,000/= kwa kila mmoja. 2,000/= kwa kila mmoja. Robo kilo kwa bei ya soko 2,000/= kwa tenga . SEHEMU YA TANO ADA YA KIBALI CHA KUSAFIRISHA MIFUGO Namba Aina ya mfugo Kiwango cha ada (Shilingi)
Part
SEHEMU YA TANO
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section lists service charges for slaughterhouse, meat inspection, and butcher-related services by animal type.
6. Ng’ombe Mbuzi au kondoo Kondoo Nguruwe Kuku au bataa kanga Wanyama Wengine ambao hajatajwa 2,000/= kwa kila mmoja 1,500/= kwa kila mmoja 1,500/= kwa kila mmoja 1,000/= kwa kila mmoja 100/= kwa kila mmoja 4,000/= kwa kila mmoja SEHEMU YA SITA ADA YA HUDUMA ZA MACHINJIO, UKAGUZI WA NYAMA NA USHURU WA BUCHA. Namba
Part
SEHEMU YA SITA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text lists fee/tax bases for livestock and introduces a hides tax schedule.
3. aina ya chanzo kiwango cha ada au ushuru Ng’ombe Kondoo na mbuzi Nguruwe Kwa kilo kwa bei ya soko Kwa robo kilo kwa bei ya soko Kwa kilo kwa bei ya soko SEHEMU YA SABA USHURU WA NGOZI Namba aina ya ngozi kiwango cha ushuru (shilingi) idadi
Part
SEHEMU YA SABA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text lists a fee of 500/= per cow hide, goat hide, and sheep hide.
3. Ngozi ya Ng`ombe Ngozi ya Mbuzi Ngozi ya Kondoo 500/= 500/= 500/= Kwa kila ng’ombe 1 Kwa kila mbuzi 1 Kwa kila kondo 1 SEHEMU YA NANE USHURU WA MAZAO YA MISITU 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) Namba
Part
SEHEMU YA NANE
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Section 7 lists tax/fee rates for several forest products, including firewood, charcoal, timber, poles, and exported logs.
7. chanzo cha ushuru kiwango cha ushuru (shilingi) Kuni za miti laini Mkaa Gunia moja Mbao- bila kujali unene mti laini Mbao- bila kujali unene mti asili Nguzo-bila kujali unene Mti laini Nguzo-bila kujali unene Mti asili Mbao zinazosafirishwa nje ya Halmashauri 10,000/= kwa tani 1. 2,000/= 200/= kwa ubao 1,000/= kwa ubao 300/= kwa nguzo 2000/= kwa nguzo fito 300/= kwa kila gogo - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: The provision lists charges/rates for softwood utility poles, firewood logs, honey, and bees.
10. Miti laini ya nguzo za umeme Magogo ya kuni Asali Nyuki 1000/= kwa gogo 500/= kwa gogo (i)Nyuki wakubwa (ii)Nyuki wadogo 5% ya bei ya mauzo ya soko kwa kila lita 5% ya bei ya mauzo kwa kila lita - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Section 12 lists two amounts, 10,000/= per tonne and 5,000/= per tonne, for items described as industrial fuel wood/firewood-related material.
12. Magogo “mete” yanayotumika viwandani kwa ajili ya nishati ya moto Magome ya Miti 10,000/= kwa tani1 5,000/= kwa tani 1 SEHEMU YA TISA ADA YA IDHINI YA UJENZI Namba
Part
SEHEMU YA TISA
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The provision lists building types and their fee amounts.
4. aina ya jingo Nyumba zote za Makazi, ghorofa na nyumba za biashara Ghala au Bohari Usimikaji wa minara ya Simu Vituo vya mafuta kiwango cha ada (shilingi) 500/= kwa mita moja ya mraba 400,000/= 5,000,000/= 500,000/= SEHEMU YA KUMI ADA YA MABADILIKO YA JENGO LILILOPO Namba
Part
SEHEMU YA KUMI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Ada ya kupimiwa ardhi ni Shilingi 500 kwa kila mita moja ya mraba kwa nyumba ya makazi, biashara, au ghorofa.
1. Nyumba ya makazi au biashara au ghorofa Aina ya jingo Kiwango cha ada 500/= kwa mita moja ya mraba SEHEMU YA KUMI NA MOJA ADA YA KUPIMIWA ARDHI Namba Aina Kiwango cha ada (Shilingi) 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This excerpt lists fees for different plot sizes: small, medium, and large plots.
3. Kiwanja Kidogo Kiwanja cha Kati Kiwanja kikubwa 80,000/= 120,000/= 150,000/= SEHEMU YA KUMI NA MBILI UZIO WA UKUTA WA KUDUMU A: MAENEO YA KUISHI Namba Aina ya ada Kiwango cha ada
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This provision lists fees for permits and for inspection of maps, documents, and construction, including amounts charged per meter.
2. Ada ya kibali 150 /= Kwa kila mita ya urefu Ada ya Ukaguzi wa ramani, Nyaraka na ujenzi 100/= kwa mita B: MAENEO YA BIASHARA Namba Aina ya ada Kiwango cha ada - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The text lists fees for a permit/inspection related to maps, documents, and construction, including a fee of 200/= and another fee of 120/= per meter of length.
2. Ada ya kibali Ada ya Ukaguzi wa ramani, Nyaraka na ujenzi 200 /= Kwa kila mita ya urefu 120/= kwa kila meta ya urefu C: UJENZI WA UZIO Namba Aina ya ada Kiwango cha ada - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The text sets fee rates per meter for a construction fence, with the amount depending on how long the fence is needed.
4. Ada ya kuweka uzio wakati wa ujenzi kwa muda usio zidi Mwezi mmoja Ada ya kuwek a uzio wakati wa ujenzi kwa muda usio pungua mwezi mmoja na usio zidi miezi mitatu. Ada ya kuweka uzio wakati wa ujenzi kwa muda usio pungua miezi mitatu na usio zidi miezi sita Ada ya kuweka uzio wakati wa ujenzi kwa muda usio pungua miezi sita na usio zidi miezi kumi na miwili 100/= kwa kila mita ya urefu 150/= kwa kila mita ya urefu 200/= kwa kila mita ya urefu 400/= kwa kila mita ya urefu SEHEMU YA KUMI NA TATU USHURU WA LESENI ZA ZABUNI Namba Aina ya kibali Kiwango cha ushuru (Shilingi) 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The text lists several local taxes, fees, and license charges for alcohol, tenders, business licenses, and market or council facilities.
4. Ushuru wa pombe za kienyeji Ushuru wa pombe za kigeni Maombi ya zabuni Leseni za biashara 12,000/= Kwa miezi sita 30,000/= Kwa miezi sita 50,000 - 100,000/= Kwa zabuni moja 500,000 Kwa 10,000/= mwaka ikizingatia na thamani pia na ukubwa wa biashara - SEHEMU YA KUMI NA NNE ADA YA KUTUMIA JENGO AU KIBANDA, KIOSKI AU MEZA ZA HALMASHAURI Namba
Part
SEHEMU YA KUMI NA NNE
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha viwango vya ada kwa aina mbalimbali za vibanda, meza/kichanja, na ada ya kupima afya kwa wahudumu.
3. 4 Aina ya chombo Kiwango cha ada (Shilingi) Kibanda Sokoni Kibanda Stendi Vizimba Meza au kichanja 50,000/=Kwa mwezi. 80,000/=Kwa mwezi 9,000/=Kwa mwezi. 500/=Kwa siku za soko SEHEMU YA KUMI NA TANO ADA YA KUPIMA AFYA KWA WAHUDUMU Kiwango cha ada (Shilingi) 10,000/=Kwa mwaka. Namba Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA KUMI NA TANO
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Wahudumu na wafanyakazi fulani lazima wajisajili kwa Halmashauri ili kubaini kama afya yao inawaruhusu kufanya kazi zao.
1. Ada ya kupima wahudumu kila mhudumu wa nyumba ya kulala wageni, hoteli, mgahawa, saluni, wafanyakazi wa viwanda vya kuzalisha vinywaji, wauzaji wa vyakula vilivyopikwa au kukaaangwa anawajibika kusajili kwa Halmashauri ili kubainisha ukamilifu wa afya yake kuendesha shughuli husika SEHEMU YA KUMI NA SITA USHURU WA MBAO ZA MATANGAZO Namba Aina ya matangazo
Part
SEHEMU YA KUMI NA SITA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha viwango vya ushuru wa matangazo kwenye vibao kando ya barabara, kwa mwaka na kwa kila futi mraba.
1. Matangazo yatakayoandikwa kwenye vibao na kuwekwa kando ya barabara [yasiyotoa hai] [yanayotoa hai] Kiwango cha ushuru ukubwa muda 25,000/= 40,000/= Kila futi mraba moja Kwa mwaka Kwa mwaka Kila futi mraba moja 14 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The text lists fees for different kinds of advertisements, permits to put up signs, and a permit fee for communication towers, then begins a new section on vehicle registration fees for taxis and bajaj.
6. ya Matangazo yatakayoandikwa kubandikwa kwenye nyumba biashara na Kwa mwaka Kwa mwaka [a] yasiyotoa mwanga [b] yanayotoa mwanga [c] Aina zote za matangazo ya na kubandika mengineyo ukutani Matangazo ya biashara kwa njia ya kipaza sauti 80,000/= 120,000/= 15,000/= Kila mita moja ya mraba Kwa mita moja ya mraba 20,000/= Kwa siku Kwa siku Kuweka kibao au tangazo(Kibali) 5,000/= Minara kibali kwa ajili ya kusimika 500,000/= Kwa mnara mmoja Minara ya mawasiliano katika maeneo yote ya Halmshauri Kwa mujibu wa Mkataba Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mujibu wa Mkataba SEHEMU YA KUMI NA SABA ADA YA USAJILI WA TEKSI NA BAJAJI Namba Aina ya chombo cha usafiri Kiwango cha ada muda
Part
SEHEMU YA KUMI NA SABA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This row lists annual stand-use fees for taxis, bajajis, and motorcycles: 60,000, 60,000, and 30,000 shillings respectively.
3. Teksi Bajaji Pikipik 60,000/= 60,000/= 30,000/= Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka SEHEMU YA KUMI NA NANE USHURU WA KUTUMIA STENDI Namba Aina ya chombo cha usafiri Kiwango cha ushuru (shilingi) 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA KUMI NA NANE
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada za maegesho kwa aina mbalimbali za magari.
9. Basi kubwa la abiria 40 na kuendelea Basi la abiria kuanzia 21 mpaka 49 (coaster) Basi dogo (hiace, Noah na mengineyo) Teksi Gari binafsi Bajaji Pikipiki 2,000/= 1,500/= 1,000/= 1,000/= 500/= 500/= 500/= Magari madogo ya mizigo (pickup) 1,500/= Ada ya kutunza gari lililokamatwa au kuzuiliwa 10,000/= SEHEMU YA KUMI NA NANE USHURU WA MAEGESHO Namba Aina ya chombo cha usafiri - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaweka viwango vya ushuru kwa aina mbalimbali za magari na kwa magulio/minada.
7. Teksi Pikipiki au bajaji Magari ya abiria, mfano mabasi na coaster, Hiace, landrover, noah na magari mengine madogo Kulaza malori (tani 11-30) eneo lililotengwa na Halmashauri Kulaza malori kuanzia Kg 800- tani 10 Eneo lililotengwa na Halmashauri Kulaza magari mengine eneo lilitengwa na Halmashauri Kiwango cha ushuru 500/= 300/= 1,500/= Muda Kwa siku Kwa siku Kwa siku 1,000/= Kwa siku 5,000/= Kwa usikun mmoja 3,000/= Kwa usiku mmoja 2,000/= Kwa siku SEHEMU YA KUMI NA TISA USHURU KATIKA MAGULIO NA MINADA YOTE Namba Aina ya mazao Kiwango ushuru (shilling) 16 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea)
Part
SEHEMU YA KUMI NA TISA
- 28 Verify source ↗
Section 28
AI-assisted research summary: Section 28 lists fees and charges for various market goods and services, with amounts shown in Tanzanian shillings.
28. Ulezi gunia 1,000/= Ndizi mbichi mkungu (mkao) Ndizi mbivu Debe au plastiki Nyanya – Tenga Nyanya – debe Kabeji-Gunia Mahindi-Gunia Vinywaji (juisi, barafu) sanduku ya kuwekea chupa za soda, kontena, kasha la barafu la kuhifadhi vinywaji. Mafuta ya kupikia ndoo au Debe Sabuni za kufulia au kuogea katoni. Majembe au mapanga Magadi-Gunia Samaki au dagaa Samaki tenga Mafuta ya taa kwa siku (mkao) Viatu,Raba,Malapa kwa siku (mkao) Matunda aina zote- Gunia Asali, Mafuta (mkao) Matunda – Lori Matunda – gari ndogo aina ya pick up Viazi,Karoti,Vitunguu, Njegere- Lori Viazi, Karoti, Vitunguu, Njegere- gari ndogo aina ya pick up Nazi – Gunia Udalali sokoni kwa siku. Mboga za Majani- Gunia Mtama, Ufuta – debe Tumbaku au Sonyo 200/= 200/= 300/= 200/= 300/= 500/= 200/= 200/= 200/= 500/= 200/= 200/= 300/= 500/= 500/= 200/= 3,000/= 2,000/= 2,000/= 300/= 1,000/= 300/= 1,000/= 200/= 200/= 300/= Bidhaa za madukani zilizopangwa sokoni. 1,000/= 17 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) - 36 Verify source ↗
Section 36
AI-assisted research summary: Section 36 lists fees for several goods and animals and includes a form for voluntarily confessing an offence and agreeing to pay the owed fee or tax plus a fine.
36. Maharage – gunia Mchele – gunia Samaki wabichi – gari ndogo aina ya pick up. Mitumba robota Miwa (mkao) Kuku tenga Mbuzi, kondoo, nguruwe Bidhaa nyinginezo kwa mkao 1,000/= 1,000/= 2,000/= 500/= 500/= 1,000/= 2,000/= 200/= ____________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 23) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi …………………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai, kwamba mnamo tarehe ………… ya mwezi…………. Mwaka ……… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha ……………cha Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya wilaya ya hai ya Mwaka, 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri, Niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe …………………..ya Mwezi …………… Mwaka ………………… Jina: ……………………………... Saini: ……………………………. MBELE YANGU: Jina: …………………………………… Wadhifa: ………………………………. Saini: ……………………………….. Tarehe: ……………………………… 18 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Tangazo La Serikali Na. 459 (Linaendelea) Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio lililopitishwa kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika tarehe 12 mwezi Mei, mwaka . DIONIS M. MNYINGA Mkugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Hai EDMUND RUTARAKA Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya Hai NAKUBALI, L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB) 5 Disemba, 20243 Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 19
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya wilaya ya hai ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in