Sheria Ndogo za (Afya na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia za Mwaka 2024
These bylaws are titled the Mafia District Council Environmental Health and Sanitation Bylaws, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za (Afya na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia za Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
These bylaws are titled the Mafia District Council Environmental Health and Sanitation Bylaws, 2024. These by-laws apply throughout the entire area under the Mafia District Council’s authority. This section defines key terms used in these by-laws, including fees, officers, public health terms, waste-related terms, and local authority terms. Mmiliki wa nyumba, kiwanja au biashara lazima aweke eneo lake safi, ashughulikie taka, ajenge shimo la taka na choo kinachofaa, na ahakikishe eneo halina mazalia ya wadudu hatarishi. Owners of houses, factories, or business premises must have a wastewater storage pit, empty it when full, and must not discharge wastewater into public places or waterways.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za (Afya na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia za Mwaka 2024
Showing 43 of 43
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: These bylaws are titled the Mafia District Council Environmental Health and Sanitation Bylaws, 2024.
1. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za (Afya na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia za Mwaka 2024. - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote
AI-assisted research summary: These by-laws apply throughout the entire area under the Mafia District Council’s authority.
2. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote lililo chini ya Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Mafia. - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in these by-laws, including fees, officers, public health terms, waste-related terms, and local authority terms.
3. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya huduma ya kuzoa taka; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; “afya” maana yake hali timilifu ya kimwili, kiakili na kijamii na wala sio tu kutokuwa na ugonjwa au ulemavu; chakula” maana yake ni kitu kinacholiwa au kunywewa na binadamu isipokuwa madawa; “chanzo cha maji” maana yake ni eneo lolote ambalo limetengwa kwa ajili ya kuwa chanzo cha maji kwa matumizi ya jamii ikiwemo visima, mito, yote vijito, chemchemi, yanayopatikana maji; maeneo na “choo bora” maana yake ni choo chochote cha maji chenye sakafu inayosafishika, banda imara la kudumu, limeezekwa, lina mlango imara, bomba 1 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) la kutolea hewa chafu na lenye mfuniko kwenye tundu la choo na shimo salama na safi kwa ajili ya kutupa kinyesi na mkojo wa binadamu, lililojengwa kwa vifaa vya kudumu; “chukizo au kero” maana yake ni kitu ambacho kipo katika hali yoyote iwe kinatumika, kimewekwa, kimejengwa, au ni kichafu kiasi cha kusababisha: (a) hatari kwa viumbe na maisha ya binadamu; (b) harufu mbaya au harufu ya kuudhi au kuleta kinyaa; (c) kuzaliana kwa wadudu hatari kama vile inzi, mende, sisimizi, panya, nyoka, nyuki, kunguni au viumbe wengine hatari; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Mafia; “kaya” maana yake mtu mzima anayejitegemea mwanamke au mwanaume, na mtoto au watoto inayoishi aidha kwenye nyumba nzima au ndani ya chumba kimoja kwenye eneo la Halmashauri; “kelele” maana yake ni kero isababishwayo na sauti ambayo kwa asili inakataliwa au ile ambayo inaweza kusababisha athari mbaya kwa afya ya binadamu au mazingira; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia au Afisa yeyote ya atakayeteuliwa Mkurugenzi; kutekeleza majukumu “kibali” maana yake ni idhini ya maandishi inayotolewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; taka” maana yake ni eneo maalum lililotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuhifadhi taka ngumu; “kizimba cha “kituo cha maji machafu” maana yake ni sehemu maalumu iliyotengenezwa kwa ajili ya ukaguzi wa mfereji ambao una mfuniko usioruhusu hewa kutoka; “kuchakata taka” maana yake ni kuzichambua, kuzitenganisha na kuzibadili kuwa kitu kingine chenye manufaa kwa jamii; “mabwawa ya maji taka” maana yake ni mabwawa yaliyojengwa kwa madhumuni ya kuhifadhi na 2 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) kutakasa maji taka yanayotokana na kuosha vyombo, kutoka vyooni, kutoka bafuni, kufua nguo, kuosha nywele au shughuli zozote za nyumbani na viwanda; “mkazi” maana yake ni mtu yeyote ambaye kwa kawaida anaishi kwenye eneo lililoko chini ya mamlaka ya Halmashauri na ambaye ama ana kaya au anaishi katika kaya au taasisi iliyopo katika eneo la Halmashauri; “maji taka” maana yake ni ile iliyoanishwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; “taka” maana yake ni ile iliyoanishwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; “taka ngumu” Maana yake ni ile iliyoainishwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira. - 4 Verify source ↗
Itakuwa ni wajibu wa kila mkazi anayemiliki
AI-assisted research summary: Mmiliki wa nyumba, kiwanja au biashara lazima aweke eneo lake safi, ashughulikie taka, ajenge shimo la taka na choo kinachofaa, na ahakikishe eneo halina mazalia ya wadudu hatarishi.
4. Itakuwa ni wajibu wa kila mkazi anayemiliki la nyumba, kiwanja au biashara kuhakikisha eneo kwamba- (a) mazingira yanayozunguka eneo lake yanakuwa safi wakati wote; (b) taka zote zinakusanywa na kufukiwa au kuondolewa kwa njia itakayoelekezwa na Halmashauri; Sura 191 Sura 191 Sura 191 Wajibu wa kufanya usafi wa mazingira (d) anajenga (c) anachimba shimo la kutupia taka litakalokuwa na urefu usiopungua kimo cha futi 3 na upana usiopungua futi 2; choo kudumu imara kilichojengwa kwa matofali na kuezekwa kwa bati, tembe, majani, vigae chenye mlango unaofunga na kufunguka na kuhakikisha kwamba choo kinatumika wakati wote na kuwe na chombo cha maji tiririka na sabuni ya kunawa mikono; cha Uhifadhi wa maji taka (e) eneo lake halina mazalia ya mbu, panya na wadudu wengine hatarishi. - 5 Verify source ↗
Kila mmiliki wa nyumba, kiwanda au eneo la
AI-assisted research summary: Owners of houses, factories, or business premises must have a wastewater storage pit, empty it when full, and must not discharge wastewater into public places or waterways.
5. Kila mmiliki wa nyumba, kiwanda au eneo la biashara atatakiwa- (a) kuhakikisha kuwa analo karo la kuhifadhi maji taka; (b) kunyonya maji taka pale karo linapojaa; na 3 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) (c) kutotiririsha au kutoelekeza maji kutoka vyooni, bafuni, karoni au viwandani kwenda barabarani, uchochoroni, mtoni, kwenye vyanzo vya maji, maeneo ya wazi, kwenye mfereji wa maji ya mvua au sehemu yoyote isiyotengwa kuhifadhia maji taka. Utengenezaji na uuzaji wa vyakula - 6 Verify source ↗
Mtu anayetengeneza, kuchoma, kupika,
AI-assisted research summary: Mtu anayeshughulika na kutengeneza, kuchoma, kupika, kuchemsha au kuuza chakula katika eneo la Halmashauri lazima azingatie masharti na kanuni za afya zilizowekwa chini ya Sheria na Sheria Ndogo hizi.
6. Mtu anayetengeneza, kuchoma, kupika, kuchemsha au kuuza chakula cha aina yoyote katika eneo la Halmashauri atatakiwa kutimiza masharti na kanuni za afya zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria na Sheria Ndogo hizi. Ada ya ukaguzi wa kiafya Upimaji wa afya Ada ya kuzoai taka Mamlaka ya Afisa - 7 Verify source ↗
Kutakuwa na ada ya ukaguzi wa kiafya na
AI-assisted research summary: Mmiliki au mhudumu anapaswa kulipa ada ya ukaguzi wa kiafya kwa maeneo yaliyoorodheshwa.
7. Kutakuwa na ada ya ukaguzi wa kiafya na italipwa na mmiliki au mhudumu katika majengo ya biashara, vituo vya afya na zahanati za watu binafsi, famasi au maduka ya madawa, hoteli, migahawa, mama au baba lishe, watoa tiba asili, majengo ya biashara na vioski kama na maeneo mengine ilivyoainishwa katika katika Jedwali la Kwanza. (groceries) - 8 Verify source ↗
Itakuwa ni wajibu wa kila mhudumu wa hoteli,
AI-assisted research summary: Hotel, restaurant, bar, guest house, butcher, baker, and cooked-food sellers must have their health checked every six months.
8. Itakuwa ni wajibu wa kila mhudumu wa hoteli, migahawa, baa, nyumba za kulala wageni, bucha, waoka mikate, au watu wanaoshughulika na kuuza vyakula vilivyopikwa kuhakikisha kwamba wanapima afya zao kila baada ya miezi sita. - 9 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na ada ya uzoaji taka ambayo
AI-assisted research summary: Halmashauri must levy a waste collection fee, and waste producers must pay it on the 28th of every month to the authorised officer.
9.-(1) Kutakuwa na ada ya uzoaji taka ambayo itatozwa na Halmashauri kwa lengo la kufanikisha utekelezaji wa shughuli za usimamizi wa mazingira kama ilivyoainishwa kwenye Jedwali la Pili. (2) Ada ya uzoaji taka italipwa tarehe ishirini na nane ya kila mwezi na italipwa kwa Afisa Mwidhiniwa ambaye atatoa stakabadhi ya malipo kwa njia ya kieletroniki na atajaza katika rejista ya wazalishaji taka. (3) Iwapo mzalishaji wa taka atashindwa kulipia gharama ya huduma ya uzoaji taka kwa kipindi cha miezi miwili mfululizo, Halmashauri itamchukulia hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufikishwa mahakamani. - 10 Verify source ↗
Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa ana mamlaka ya kuingia ndani ya eneo la Sheria Ndogo hizi na kushauri au kuelekeza watu wasiishi katika jengo hatari kwa afya au maisha.
10. Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya- (a) kuingia katika lolote ndani ya eneo 4 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) Mwidhiniwa Vifaa vya kuhifadhi taka ngumu Ukusanyaji taka ngumu Halmashauri kuanzia saa moja kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; na (b) kushauri au kuelekeza watu au mtu kutokuishi katika jengo ambalo linahatarisha afya au maisha ya watu na viumbe hai. - 11 Verify source ↗
(1) Kila mmliki wa jengo la makazi au
AI-assisted research summary: Wakazi, tenants, and anyone doing business in the council area must keep a covered waste container and collect the waste in designated bins; owners or tenants in green belt, unplanned areas must also keep a large pit for solid waste on their premises.
11.-(1) Kila mmliki wa jengo la makazi au mpangaji wa jengo la makazi au mtu yeyote anayefanyia biashara katika eneo lolote ndani ya Halmashauri atatakiwa kuwa na chombo cha kuhifadhia taka chenye mfuniko na atawajibika kukusanya taka hizo kwenye vizimba vya kuzolea taka katika maeneo yaliyoainishwa. (2) Kila mmiliki wa jengo au mpangaji wa nyumba iliyoko katika ukanda wa kijani, katika maeneo ambayo hayajapimwa atalazimika kuwa na shimo kubwa la kukusanyia taka ngumu katika eneo lake. - 12 Verify source ↗
(1) Halmashauri itawajibika kukusanya taka
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ikusanye taka ngumu kutoka kwenye vizimba vilivyoainishwa kila kata, na watu hawaruhusiwi kuweka uchafu hatarishi kwenye mapipa au kuchoma/kuzika taka ngumu bila kibali cha Halmashauri.
12.-(1) Halmashauri itawajibika kukusanya taka ngumu kutoka katika vizimba vya taka vilivyoainishwa katika kila kata. (2) Taka ngumu zote zitakazokusanywa kwenye mapipa ya taka zitabaki kuwa mali ya mkazi au mmliki wa eneo lile mpaka zitakapokuwa zimefikishwa kwenye kizimba cha taka au zitakapokuwa zimetolewa na Wakala kutoka katika eneo lake. (3) Haitaruhusiwa kwa mtu yeyote- (a) kuweka uchafu wenye asili ya maji maji taka au kitu chochote kusababisha la kulipuka na kwenye pipa kinachoweza madhara; na (b) kuchoma au kufukia taka ngumu bila kibali cha Halmashauri. Eneo la kutupa taka - 13 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: The council must set aside a waste disposal area, provide special waste containers, and offer waste collection services for a fee.
13. Halmashauri itakuwa na wajibu wa- (a) kutenga eneo maalum kwa ajili ya kutupia taka; (b) kuweka vyombo maalum vya kutunzia taka; na (c) kutoa huduma ya uzoaji taka kwa malipo 5 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) Udhibiti utupaji wa taka kutoka kwa wazalishaji wa taka hadi kwenye dampo. - 14 Verify source ↗
(1) Watumiaji wa vyombo vya usafiri binafsi
AI-assisted research summary: Watumiaji wa vyombo vya usafiri binafsi au vya umma hawaruhusiwi kutupa taka nje ya vyombo hivyo; taka lazima ziwekwe kwenye chombo cha taka kilichomo ndani ya chombo husika. Pia, mtu hapaswi kutupa taka ovyo katika maeneo ya makazi, biashara, mifereji ya maji ya mvua, hifadhi ya barabara, au sehemu zisizo rasmi za kutupia taka.
14.-(1) Watumiaji wa vyombo vya usafiri binafsi au vya umma hawataruhusiwa kutupa taka nje ya vyombo hivyo, na taka zote zitatakiwa kuwekwa kwenye chombo cha kuhifadhia taka kilichomo kwenye chombo husika. (2) Mtu hataruhusiwa kutupa taka ovyo katika maeneo ya makazi, biashara, mifereji ya maji ya mvua, hifadhi ya barabara au mahali popote ambapo si rasmi kwa ajili ya kutupa taka. (3) Mtu au mkazi atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kwamba anatupa uchafu au taka katika vyombo maalum vilivyowekwa kwa ajili ya kutunzia taka katika maeneo maalum yaliyotengwa. Udhibiti wa kelele kupita kiasi - 15 Verify source ↗
Mtu hataruhusiwi kusababisha au kufungulia
AI-assisted research summary: A person must not create excessive noise, including music, factory noise, generators, or any other sound pollution, unless they first get permission from an authorized officer.
15. Mtu hataruhusiwi kusababisha au kufungulia kwa kelele kupita kiasi iwe muziki, kelele za kiwanda, jenereta au kitu kingine chochote (sound pollution) bila kupata kibali cha Afisa Mwidhiniwa. Kutiririsha maji taka - 16 Verify source ↗
(1) Mtu hataruhusiwa kutiririsha au kumwaga
AI-assisted research summary: Haramu kumwaga au kuachia maji taka katika maeneo yasiyoruhusiwa, na viwanda pamoja na wamiliki wa nyumba wana wajibu wa kuyahifadhi maji taka ipasavyo.
16.-(1) Mtu hataruhusiwa kutiririsha au kumwaga au kuruhusu au kusababisha kutiririsha au kumwaga maji taka barabarani, uchochoroni kwenye mifereji, mtoni, kwenye vyanzo vya maji au sehemu yoyote ambayo si rasmi kwa ajili ya kuhifadhi maji taka. (2) Kila kiwanda kinachozalisha maji taka kitakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwa kinaunganisha maji taka au kujenga mifereji na mabwawa kwa ajili ya kuhifadhi maji taka. (3) Kila mmiliki wa nyumba atatakiwa- (a) kuhakikisha kuwa ana karo la kuhifadhi maji taka na atawajibika kunyonya maji taka pale karo hilo linapojaa; na (b) itakuwa ni marufuku kwa mtu kuacha karo kujaa na kutiririsha maji taka barabarani au sehemu yoyote isiyoruhusiwa. Utengenezaji na uuzaji vyakula
Part
sehemu yoyote isiyoruhusiwa.
- 17 Verify source ↗
(1) Mtu hataruhusiwa kutengeneza, kuchoma,
AI-assisted research summary: A person may not make, burn, cook, boil, or sell any food anywhere or in any house until health requirements and rules are met.
17.-(1) Mtu hataruhusiwa kutengeneza, kuchoma, kupika, kuchemsha na kuuza chakula cha aina yoyote mahali popote au kwenye nyumba yoyote mpaka awe 6 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) ametimiza masharti na kanuni za afya yaliyowekwa kwa mujibu wa sheria. (2) Kila mtu anayeendesha biashara ya vyakula vya kupikwa au kukaangwa atakuwa na wajibu wa kuhakikisha vyakula hivyo vinahifadhiwa kwenye sanduku lililotengenezwa kwa mbao safi na kuwekwa kioo kuzuia nzi, vumbi na wadudu waletao madhara kwa afya ya binadamu. - 18 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kutoa amri ya kuzuia
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kuamuru shughuli fulani zisifanyike ikiwa ana sababu ya kuamini zinaweza kusababisha kuenea kwa magonjwa ya mlipuko na kuathiri maisha ya binadamu.
18. Mkurugenzi anaweza kutoa amri ya kuzuia shughuli yoyote isifanyike kama vile utengenezaji wa vyakula, pombe, mijumuiko, sherehe na mikusanyiko yoyote kwa kutangaza kwa njia ya kipaza sauti, maandishi au kupitia vyombo vya habari endapo atakuwa na sababu ya kuamini kwamba shughuli hiyo inaweza kusababisha kuenea kwa magonjwa ya mlipuko na kuleta athari kwa maisha ya binadamu. - 19 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya
AI-assisted research summary: The local authority may arrest anyone who ignores a ban on selling food during an epidemic, and it must deal with seized food according to whether it spoils quickly.
19.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kumkamata mtu yeyote ambaye atakaidi amri ya zuio la kufanyika kwa shughuli ya uuzaji wa vyakula wakati wa magonjwa ya mlipuko. (2) Endapo mtu aliyekamatwa alikuwa anauza vyakula ambavyo vinaharibika kwa haraka, Halmashauri itaharibu vyakula hivyo. Uzuiaji wa shughuli wakati wa magonjwa ya mlipuko Ukamataji wakati wa zuio (3) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (1) na (2), iwapo vyakula vilivyokamatwa vitakuwa haviharibiki kwa haraka, Halmashauri la kuvihifadhi hadi mwisho wa amri ya zuio. itakuwa na jukumu Wajibu wa mfanyabiashara wa bucha na maduka ya nyama (4) Halmashauri haitahusika na gharama zozote zitakazotokea isipokuwa kama uharibifu huo utakuwa umesababishwa kwa uzembe wa Afisa wa Halmashauri. - 20 Verify source ↗
Kila mfanyabiashara wa bucha au duka la
AI-assisted research summary: Wafanyabiashara wa bucha au maduka ya nyama lazima wakidhi masharti ya leseni, usafi, vifaa, ukaguzi wa nyama, sare, na kuuza nyama ndani ya bucha au maduka maalum tu.
20. Kila mfanyabiashara wa bucha au duka la nyama atatakiwa kuhakikisha kuwa- (a) ana leseni na vibali vya kufanya biashara hiyo; (b) kuna kabati la vioo la kuzuia nzi na wadudu wengine wataambao; (c) kuna pipa la kuhifadhia taka ngumu na laini; (d) kuna jokofu la kuhifadhia nyama; (e) jengo lake la biashara lina mwanga wa 7 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) kutosha, umeme, maji safi na salama, visu, meza, mzani wa kawaida au mzani wa kielektroniki, na misumeno maalumu ya kukatia nyama; (f) nyama imekaguliwa mkaguzi aliyeidhinishwa na kugongwa muhuri na inauzwa ndani ya jengo; na Siku ya usafi (g) muuzaji anavaa sare nyeupe muda wote ambazo ni mabuti, koti na kofia; na (h) biashara ya nyama inafanyika katika bucha na maduka maalum na si vinginevyo. - 21 Verify source ↗
(1) Kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi
AI-assisted research summary: Wakazi lazima washiriki usafi wa mazingira katika siku na maeneo yaliyopangwa.
21.-(1) Kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi itakuwa ni siku maalam ya kufanya usafi wa mazingira katika maeneo ya makazi na umma. (2) Itakuwa ni wajibu na lazima kwa kila mkazi katika kijiji na kitongoji kushiriki usafi wa mazingira kwa siku iliyopangwa na Halmashauri katika maeneo yao na maeneo ya umma. (3) Kila mtu atahakikisha eneo la makazi yake na vichochoro vilivyomzunguka, eneo analofanyia biashara, eneo la wazi lililokaribu naye kwa umbali wa mita kumi na eneo la mazingira ya ofisi ni safi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. Wajibu wa kuwa na choo na kukitumia - 22 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki wa nyumba au mpangaji
AI-assisted research summary: Mmiliki wa nyumba au mpangaji lazima ahakikishe nyumba ina choo safi na sehemu ya kunawia mikono yenye maji safi na sabuni; choo kinapaswa kujengwa angalau mita 60 kutoka chanzo cha maji.
22.-(1) Kila mmiliki wa nyumba au mpangaji atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kwamba- ina choo safi, (a) nyumba yake imara kwa Vyoo vya umma matumizi ya wakazi wa nyumba hiyo; (b) anaweka sehemu maalum ya kunawia mikono ikiwa na maji safi na sabuni maalum ya kimiminika. (2) Choo kinatakiwa kijengwe umbali wa mita sitini (60) kutoka chanzo chochote cha maji. - 23 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kujenga choo cha
AI-assisted research summary: Halmashauri may build a public toilet or allow others to build public toilets in places it considers suitable. Toilets built under the bylaw must be permanent and meet several facility requirements.
23.-(1) Halmashauri inaweza kujenga choo cha umma au kumruhusu mtu binafsi, vikundi vya watu au taasisi kujenga vyoo vya Umma katika maeneo ambayo Halmashauri itaona inafaa. (2) Vyoo vitakavyojengwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii vitatakiwa viwe vya kudumu na- 8 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) (a) vyenye matundu yasiyopungua mawili (2) kwa wanawake na mawili (2) kwa wanaume; (b) vyenye mfumo madhubuti wa maji na uwepo wa maji ya kutosha yaliyo safi na salama; (c) kuwepo na chombo cha kuhifadhia maji ya akiba; (d) kuwepo kwa bafu ya wanaume na wanawake; (e) kuwepo na chumba maalum cha kuvutia sigara; (f) kuwepo na sehemu ya haja ndogo kwa wanaume; na (g) kuwepo na chombo maalumu chenye mfuniko cha kuhifadhia taka zisizoweza kusukumwa na maji; Vyoo vya muda katika mikusanyiko - 24 Verify source ↗
Ni wajibu wa mtu yeyote, kikundi au taasisi
AI-assisted research summary: Watu, vikundi au taasisi zinazoandaa mkutano, sherehe au mkusanyiko lazima ziweke au zijenge vyoo vya muda ikiwa eneo halina vyoo vya kudumu, na ziombe idhini ya Halmashauri.
24. Ni wajibu wa mtu yeyote, kikundi au taasisi yoyote yenye lengo la kukusanya watu kwa madhumuni ya mkutano au sherehe au mkusanyiko wowote, kuweka au kujenga vyoo vya muda endapo eneo hilo hakuna vyoo vya kudumu na atatakiwa kuomba idhini kutoka Halmashauri. Ilani ya kujenga au kurekebisha choo Ilani ya kuondoa kero - 25 Verify source ↗
Afisa Mwidhiniwa atafanya ukaguzi wa afya
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa lazima afanye ukaguzi wa afya na akigundua nyumba haina choo, choo kimejaa, au hakifai kwa matumizi ya binadamu, aitoe ilani kwa mmiliki au mpangaji.
25. Afisa Mwidhiniwa atafanya ukaguzi wa afya na iwapo katika ukaguzi huo itagundulika kuwa nyumba yoyote haina choo au choo kilichopo kimejaa au hakifai kwa matumizi ya binadamu, Afisa Mwidhiniwa atatoa ilani kwa mmiliki wa nyumba au mpangaji akiainisha masharti ya kurekebisha hali hiyo kama ilivyoainishwa kwenye Jedwali la Tatu. - 26 Verify source ↗
(1) Katika ukaguzi afya, Afisa Mwidhiniwa
AI-assisted research summary: During a health inspection, the authorised officer must issue a notice within 7 days if a nuisance is found, requiring the relevant person to remove it. Failure to comply with the notice within the stated time is an offence.
26.-(1) Katika ukaguzi afya, Afisa Mwidhiniwa akigundua kuwa eneo alilokagua lina kero yoyote atatoa ilani ndani ya siku saba (7) kwa mmiliki wa nyumba, mpangaji, mtumiaji au mtu yeyote anayehusika, akimtaka kuondoa kero hiyo kama ilivyoainishwa kwenye Jedwali la Nne. (2) Mtu atakayeshindwa kutekeleza masharti ya ilani aliyopewa ndani ya muda ulioainishwa kwenye ilani atakuwa anatenda kosa. Vikundi vya - 27 Verify source ↗
Halmashauri itahamasisha uundaji wa ikundi
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ihamasishe uundaji wa vikundi na kuvitambua ili viweze kufanya usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu katika mitaa, baada ya kuingia mkataba na Halmashauri.
27. Halmashauri itahamasisha uundaji wa ikundi 9 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) usafi Wajibu wa mfugaji Jamii na kuvitambua ili kuviwezesha kufanya shughuli za udhibiti wa taka ngumu pamoja na usafi wa mazingira katika mitaa, baada ya kuingia mkataba na Halmashauri. - 28 Verify source ↗
Kila mfugaji chini ya Sheria Ndogo hizi
AI-assisted research summary: Kila mfugaji chini ya Sheria Ndogo hizi lazima afuate maagizo ya Halmashauri kuhusu njia za kupitisha mifugo, maeneo ya malisho, kadi ya mfugo, michango ya josho na maboresho ya malisho, upelekwaji wa mifugo katika vituo vya Halmashauri, uwekaji wa alama, na upelekwaji wa mifugo josho.
28. Kila mfugaji chini ya Sheria Ndogo hizi atatakiwa- (a) kupitisha mfugo au mifugo yake katika njia zilizopangwa na kutengwa na Halmashauri; (b) kufuga na kulisha mifugo katika maeneo ya malisho yaliyopangwa na Halmashauri; (c) kuwa na kadi ya mfugo au mifugo idadi na aina ya mifugo itakayoonyesha aliyonayo; (d) kuchangia gharama za ukarabati wa josho kama sehemu ya mchango wake, pale itakapobidi kufanya hivyo, na kwa gharama itakayopendekezwa na Halmashauri; (e) kupeleka mfugo au mifugo yake katika vituo na vya Halmashauri, na atalipia chanjo hiyo kama atatakiwa kufanya hivyo; itakavyoamriwa chanjo kama Kudhibiti mifugo inayozurura ovyo (f) kuchangia gharama za uboreshaji wa maeneo ya malisho yaliyotengwa na Halmashauri; (g) kuweka alama kwenye mfugo au mifugo yake na katika viungo vya mfugo au mifugo vinavyopendekezwa na mamlaka husika ili kutoharibu zao la ngozi; (h) kupeleka mfugo au mifugo katika josho kama atakavyoagizwa na Halmashauri. - 29 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakamata mfugo au mifugo
AI-assisted research summary: Halmashauri must impound roaming livestock in its area. A seized animal may be sold at auction after 7 days if the owner does not collect it, with court approval and notice to the owner and public.
29.-(1) Halmashauri itakamata mfugo au mifugo yoyote itakayoonekana inazurura ovyo katika eneo la Halmashauri. (2) Mfugo wowote utakaokamatwa mahali pasipostahili utatozwa faini kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Tano. (3) Endapo mfugo uliokamatwa hautachukuliwa na mmiliki ndani ya kipindi cha siku saba (7) tangu kukamatwa, Halmashauri itakuwa na haki ya kuuza kwa mnada mfugo huo baada ya kupata idhini ya Mahakama, na fedha zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmliki wa 10 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) mfugo huo baada ya kutoa faini inayodaiwa, gharama za kuhifadhi mfugo, gharama ya Mahakama na gharama ya mnada. (4) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (3), Halmashauri kabla ya kuuza mfugo huo kwa mnada, itamjulisha mmliki na umma juu ya kusudio hilo. na (5) Endapo kutatokea kufa kwa mfugo au mifugo ile, Halmashauri yoyote kutokana haitawajibika na ulipaji wa gharama zozote isipokuwa kama vifo hivyo vimesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri. sababu Marufuku
Part
Jedwali la Tano.
- 30 Verify source ↗
Ni marufuku
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinakataza vitendo mbalimbali vinavyohusiana na uchafuzi, taka, matumizi ya maeneo ya umma, na baadhi ya shughuli za biashara bila ruhusa au leseni.
30. Ni marufuku- (a) kwa mtu yeyote kuendesha biashara ya upulizaji dawa au biashara ya kuua wadudu au wanyama waharibifu katika nyumba yoyote au mahali popote bila cheti cha taaluma kinachotambuliwa na Serikali na leseni kutoka Halmashauri; (b) kwa mfanyabiashara yeyote kupanga bidhaa nje ya jengo lake la biashara au barabarani au vichochoroni au katika eneo lolote ambalo halikuidhinishwa kwa ajili ya shughuli hiyo; (c) kwa mtu yeyote kutupa taka za aina yoyote barabarani au eneo lolote la wazi au kwenye vichochoro au kwenye chanzo chochote cha maji ambalo halikutengwa kwa ajili ya shughuli hiyo; (d) kwa mtu yeyote aliye ndani ya gari kudondosha taka ngumu nje ya gari likiwa ndani au nje ya kituo cha magari na sehemu yoyote ile ambapo gari hilo linapita; katika lolote eneo au (e) kwa mtu yeyote kuweka kitu chochote kwenye maji taka ambacho kinaweza kuathiri mtu yeyote au kuharibu mfumo wa tiba ya maji taka au kinachoweza kusababisha kuzuia mtiririko wa maji taka; (f) kwa mtu yeyote kulima kilimo cha matuta yanayosababisha maji kutuama ndani ya eneo la katikati ya mji; (g) kuchimba mchanga au kokoto au mawe katika 11 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) vyanzo vya maji au mito barabarani; (h) kuchafua au kuoga au kufulia au kuvuruga maji yanayotumika kwa ajili ya matumizi ya binadamu au wanyama; (i) kuuza mchanga au kokoto na mawe kandokando mwa barabara; (j) kufanya biashara ya pombe ya aina yoyote katika nyumba au kwenye maeneo ya akiba za barabara au mitaani; (k) kuuza matunda au bidhaa nyingine za vyakula barabarani au kuanzisha masoko au magenge ya kuuzia matunda au vyakula au biashara nyingine ndogo bila ruhusa ya Halmashauri; (l) kuunganisha bomba la taka vimiminika katika mifereji ya maji ya mvua; (m) kufungulia au kutiririsha maji ya choo au taka vimiminika katika mkondo asili wa maji ya mvua au barabara au mfereji wa barabara wa maji ya mvua; (n) kujisaidia haja ndogo au haja kubwa barabarani au mitaani au sehemu yoyote isiyokusudiwa kwa madhumuni hayo; ya (o) kufanya mikusanyiko au kiutamaduni au kijamii wakati wa milipuko ya magonjwa ya kuambukiza, isipokuwa kwa ruhusa maalum ya Halmashauri na usimamizi wa Afisa Afya; na kidini (p) kuweka uchafu wenye asili ya maji maji taka au kitu chochote kusababisha la kulipuka na kwenye pipa kinachoweza madhara. Makosa - 31 Verify source ↗
Itakuwa ni kosa chini ya Sheria Ndogo hizi
AI-assisted research summary: Section 31 makes it an offence for any person to do various sanitation-related acts, including improper toilet placement, dumping waste, failing to pay waste fees, selling food in the streets without permission, and washing vehicles in unauthorized areas.
31. Itakuwa ni kosa chini ya Sheria Ndogo hizi kwa mtu yeyote- (a) kujenga choo chini ya umbali wa mita 60 kutoka kisimani, bwawani, mtoni, au chanzo kingine cha maji yanayotumika, kwa matumizi ya binadamu; (b) kutoa kinyesi au kusababisha kinyesi, mkojo, maji machafu, yenye kinyesi kutoka kwenye choo chake au bafu lake au karo la kuoshea 12 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) linalochukua maji machafu vyombo au nguo au kutoka kwenye bomba lolote na kuyatitirisha kwenye barabara, mitaa, au kwenye mifereji ya maji ya mvua, au mfereji wowote uliowazi; (c) kutupa taka au kusababisha mtu mwingine atupe taka mahali popote pasiporuhusiwa na Halmashauri; (d) kutolipa ada ya taka kwa miezi miwili mfululizo; (e) kutembeza vyakula mitaani bila kibali cha Halmashauri; (f) kutokuwa na pipa la taka lenye mfuniko katika eneo la biashara; (g) kutokuwa na choo au kukutwa na choo kibovu au kilichojaa; (h) kukutwa na shimo la maji taka lililojaa au ambalo halina mfuniko; (i) kutokuwa na chombo maalum cha kukusanyia taka ndani ya gari la abiria; na (j) atafanya biashara ya kuosha gari, pikipiki au mtambo wowote katika eneo la makazi, eneo la wazi au eneo ambalo si rasmi kwa kufanya shughuli hiyo au kuruhusu eneo lake kutumika kwa shughuli za kuosha vyombo vya moto katika maeneo ambayo hayakutengwa kwa shughuli hizo bila kupata kibali rasmi kutoka Halmashauri; Adhabu Ufifilishaji wa makosa - 32 Verify source ↗
Mtu atakayekiuka masharti ya Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: Mtu anayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hizi anatenda kosa na akitiwa hatiani anaweza kutozwa faini ya shilingi 50,000 hadi 300,000, kifungo cha hadi miezi 12, au vyote.
32. Mtu atakayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hizi atakuwa anatenda kosa na akitiwa hatiani atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi elfu hamsini na isiyozidi shilingi laki tatu au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili, au vyote kwa pamoja. - 33 Verify source ↗
Mkurugenzi
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa chini ya masharti fulani ikiwa mkosaji anakiri kwa maandishi na analipa ada au ushuru unaodaiwa.
33. Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa lililoainishwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa mujibu wa masharti ya kifungu cha 158 cha Sheria, iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari yake mwenyewe kwa maandishi kwa kujaza fomu maalum iliyoambatishwa kwenye Jedwali la Sita na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. 13 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) 14 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) _______________ JEDWALI LA KWANZA _______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 7) ADA YA UKAGUZI WA AFYA NA. AINA YA BIASHARA ADA KWA MWAKA 1 2 3 4 5 6 7 8 Baa na maduka ya vinywaji (groceries), bucha Migahawa na mama lishe Nyumba za wageni (Guest House) na hoteli Kumbi za starehe au mikutano Ukaguzi wa mitambo, maeneo ya madini ikiwemo ya ujenzi Majengo mengine ya biashara Viwanda vikubwa Viwanda vidogo Hoteli za kitalii (TZS) 5,000/= 2,000/= 10,000/= 10,000/= 30,000/= 7,000/= 100,000/= 20,000/= 100,000/= 15 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) ___________ JEDWALI LA PILI ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 9(1)) ADA YA UZOAJI TAKA KATIKA MAJENGO NA MAENEO MENGINE NA. ENEO ADA KWA MWEZI Kaya moja Maduka la rejareja Mashine ya kukamua mauta ya nazi Maduka la jumla Migahawa (Restaurant) Mashine za kukoboa/kusaga Vilabu vya pombe za kienyeji, baa, grocery Mama lishe/Baba lishe, nyama choma/chipsi inayojitegemea (TZS) 1,000/= 3,000/= 5,000/= 5,000/= 3,000/= 5,000/= 5,000/= 3,000/= Viwanda vidogo vya useremala na mashine za mbao, 10,000/=
Part
JEDWALI LA PILI
- 15 Verify source ↗
Kituo cha kuuza mafuta (Filling station)
AI-assisted research summary: Section 15 is titled “Kituo cha kuuza mafuta (Filling station)”.
15. Kituo cha kuuza mafuta (Filling station) - 22 Verify source ↗
Majengo/maeneo ya kuoshea magari/pikipiki
AI-assisted research summary: Section title on buildings/areas for washing cars and motorcycles.
22. Majengo/maeneo ya kuoshea magari/pikipiki - 23 Verify source ↗
Section 23
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha ada/viwango vya malipo vinavyohusiana na zahanati, kituo cha afya au hospitali.
23. Zahanati/kituo cha afya au hospitali 16 5,000/= 5,000/= 3,000/= 10,000/= 7,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= 5,000/= 2,000/= 100,000/= (kwa mwaka) 10,000/= 5,000/= 20,000/= Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) - 24 Verify source ↗
Majengo mengine yasiyotajwa
AI-assisted research summary: Other unspecified buildings are charged 20,000/=
24. Majengo mengine yasiyotajwa 20,000/= - 26 Verify source ↗
Maeneo yanayochimbwa madini mfano mchanga na
AI-assisted research summary: The text mentions mined areas such as sand and rubble and refers to 5,000/=.
26. Maeneo yanayochimbwa madini mfano mchanga na 5,000/= vifusi - 27 Verify source ↗
Viwanda vikubwa
AI-assisted research summary: This notice says an inspection found that the premises has no latrine, the latrine is full, or it is damaged, and the recipient is ordered to carry out the required matters.
27. Viwanda vikubwa 10,000/= 17 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) _____________ JEDWALI LA TATU ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 25) ILANI YA KUJENGA CHOO AYA YA I Ndugu ………………………..……simu………………..wa Kitongoji ……………………………….Kijiji………………..Kata……………………….. ……………………Unaarifiwa kwamba katika ukaguzi uliofanyika cha Tarafa tarehe …………………mwezi……………..mwaka……………katika nyumba yako ya biashara/kuishi/kutolea huduma/Namba iliyopo eneo la …………………….katika Kitongoji/Mtaa*………….……….Kijiji cha …………….………Kata ya …………………. Imekuwa haina choo/choo kimejaa/kimeharibiwa*, hivyo unaamriwa kutekeleza mambo yafuatayo: -
Part
JEDWALI LA TATU
- 4 Verify source ↗
……………………………………………………………………………
AI-assisted research summary: Mtu anayepokea ilani hii lazima atekeleze maelekezo yaliyotajwa ndani ya siku 30 tangu apokee ilani; akishindwa, Halmashauri inaweza kuchukua hatua kali za kisheria bila taarifa nyingine.
4. …………………………………………………………………………… AYA YA II Unapewa muda wa siku thelathini (30) tu tangu siku ya kupokea ilani hii kutekeleza maelekezo yote yaliyoelezwa katika aya ya I ya ilani hii. Ukaguzi wa kuthibitisha utekelezaji wa maelekezo uliyopewa utafanyika tarehe ……………. Endapo utashindwa kutekeleza maelekezo ndani ya muda uliopewa Halmashauri itachukua hatua kali za kisheria AYA YA III bila kukupa taarifa nyingine. Saini …………………………………………… Majina…………………………………………. Simu…………………………………………… Aya hii mtu aliyekosa kama amepatikana wakati wa kutoa ilani. SHAHIDI ALIYETHIBITISHA NI: IMETOLEWA NA: Saini ……………………………………….. Saini ……………………………….. 18 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) Majina ……………………………………. …………………………….. Simu ……………………………………… …………………………… Tarehe ……………………………………. …………………………….. *Futa lisilohusika Majina Wadhifa Tarehe 19 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) ____________ JEDWALI LA NNE ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 26(1)) ILANI YA KUONDOA KERO AYA YA I Ndugu ………………………simu…………………..wa Kitongoji …………………….Kijiji……………………..Kata…………….. cha Tarafa ………………………Unaarifiwa kwamba katika ukaguzi uliofanyika tarehe …………………mwezi……………..mwaka……………katika nyumba yako ya biashara/kuishi/kutolea huduma/Namba iliyopo eneo la …………………….katika Kitongoji/Mtaa*………….……….Kijiji cha …………….………Kata ya …………………. Tumekuta machukizo/kero/uchafu*, hivyo unaamriwa kutekeleza mambo yafuatayo:-
Part
JEDWALI LA NNE
- 4 Verify source ↗
……………………………………………………………………………
AI-assisted research summary: This notice orders you to repair, remove, or clean as stated for Part II.
4. …………………………………………………………………………… Kwa ilani hii unaamriwa kurekebisha/kuondoa/kusafisha* kwa: AYA YA II - 4 Verify source ↗
……………………………………………………………………………
AI-assisted research summary: Aliyepewa ilani anatakiwa kutekeleza kilichosemwa katika sehemu ya II ndani ya siku 7 tangu kupokea ilani.
4. …………………………………………………………………………… AYA YA III 20 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) Unapewa muda wa siku saba (7) tangu siku ya kupokea ilani hii, unatakiwa kutekeleza yote yaliyoelezwa katika sehemu ya II ya Ilani hii, kushindwa kwako kutekeleza ndani ya muda uliopewa Halmashauri italazimika kukuchukulia hatua kali za kisheria bila kukupa taarifa nyingine. Saini ……………………………………….Majina………………………………….simu……… Aya hii mtu aliyekosa kama amepatikana wakati wa kutoa ilani. SHAHIDI ALIYETHIBITISHA NI: Saini ………………………………………..Saini Majina ……………………………………. Majina Simu………………………………………...Simu IMETOLEWA NA: Wadhifa……………………………………..Wadhifa Tarehe ………………………………………Tarehe *Futa lisilohusika 21 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) ______________ JEDWALI LA TANO _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 29(2)) VIWANGO VYA FAINI KWA MFUGO AU MIFUGO INAYOZURURA NA. AINA YA MFUGO Ng’ombe Punda Mbuzi Kondoo 1
Part
JEDWALI LA TANO
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha viwango vya faini kwa wanyama mbalimbali na fomu ya kukiri kosa mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia.
2. 2 3 4 KIWANGO CHA FAINI (TZS) 50,000/= kila ng’ombe 40,000/= kila punda 30,000/= kila mbuzi 30,000/= kila kondoo Wanyama wengine 15,000/= kila nguruwe 22 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) _____________ JEDWALI LA SITA _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 33) HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi;………………………………………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya;…………………………………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, kwamba mnamo tarehe;…… ya Mwezi;….…. Mwaka;…….… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya …… ya Sheria Ndogo ya (Afya na Usafi wa Mazingira) ya Halmashauri ya Wilaya ya Mafia ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU: Leo tarehe;…....... ya Mwezi;………… Mwaka;………….. Jina;…………………………………..……………………. Saini;…………………………..…………………………… MBELE YANGU : Jina;…………………………….………..…………………… Wadhifa;…………………………………………………..……. Saini;………………………………………………………… Tarehe;………………………………………………………. 23 Sheria Ndogo za (Afya Na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Tangazo La Serikali Na. 462 (Linaendelea) Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Mafia imegongwa kwenye Sheria Ndogo hii kufuatia azimio lililopitishwa katika mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya Mafia uliofanyika tarehe 31 mwezi 05 Mwaka 2022 na kushuhudiwa Lakari hiyo ikigongwa mbele ya:- KASSIM SEIF NDUMBO Mkugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mafia JUMA SALUM ALLY /Mwenyekiti wa Halmashauri Halmashauri ya Wilaya Mafia NAKUBALI, / L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB) Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 24
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za (Afya na Usafi wa Mazingira) Halmashauri ya Wilaya ya Mafia za Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in