Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza za Mwaka 2024
This provision gives the bylaw’s official title: the Uvinza District Council Fees and Charges By-law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza za Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the bylaw’s official title: the Uvinza District Council Fees and Charges By-law, 2024. This provision says the by-law applies throughout the entire area of Uvinza District Council. This section defines key terms used in the By-Law, including fee, authorised officer, Council, building, permit, construction minerals, Director, law, market, revenue charge, and agent. Halmashauri inaweza kutoza ada au ushuru kwa leseni na huduma zilizoainishwa, na malipo yanapaswa kufanywa kabla au wakati wa kupokea huduma. A person liable to pay a fee or tax under these by-laws must pay it at the rates set out in the by-laws.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza za Mwaka 2024
Showing 13 of 13
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This provision gives the bylaw’s official title: the Uvinza District Council Fees and Charges By-law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza za Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This provision says the by-law applies throughout the entire area of Uvinza District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa pale
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the By-Law, including fee, authorised officer, Council, building, permit, construction minerals, Director, law, market, revenue charge, and agent.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa pale ambapo muktadha utaelekeza vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa leseni Halmashauri kwa ajili ya vibali au mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza; “Jengo” maana yake ni nyumba au maendelezo yoyote yaliyofanyika kwenda juu au chini katika ardhi ndani ya Halmashauri; lengo “Kibali” maana yake ni ruhusa ya maandishi iliyotolewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; Sura ya 290 ”Sheria” maana yake ni Sheria ya Fedha za Serikali za Mitaa. “soko” maana yake ni lililotengwa na linalomilikiwa na Halmashauri kwa matumizi ya soko; eneo “ushuru” maana yake ni ni tozo shughuli kwa au zinazofanywa katika inayotozwa na huduma la eneo Halmashauri mbalimbali Halmashauri; Utozaji wa ada na ushuru “Wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutoza ada au ushuru kwa leseni na huduma zilizoainishwa, na malipo yanapaswa kufanywa kabla au wakati wa kupokea huduma.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa leseni na huduma mbalimbali ilivyoainishwa ajili ya vibali, zinazotolewa na Halmashauri kama katika Jedwali la Kwanza. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Wajibu wa kulipa ada au ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: A person liable to pay a fee or tax under these by-laws must pay it at the rates set out in the by-laws.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atalipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Muda wa kukusanya ada au ushuru - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru
AI-assisted research summary: Ada au ushuru hukusanywa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni, malipo yanafanyika kila siku au kila mwezi au kwa makubaliano, na malipo lazima yatoe stakabadhi ya kielektroniki.
6. -(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) Ukusanyaji wa madeni Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yoyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (5) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Mkurugenzi anaweza kutoa kibali maalum kuruhusu shughuli za usafirishaji wa bidhaa yoyote kufanyika nje ya muda ulioainishwa katika Sheria Ndogo hii. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutumia mahakama, kukamata mali, na kuuza mali zilizokamatwa kufuatia kushindwa kulipa ada au ushuru kwa wakati.
7. -(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuuza mali hizo kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya mahakama. (4) Endapo mali zilizokamatwa zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya mahakama. (5) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo ya (3) na (4), Halmashauri kabla ya kuuza mali yoyote iliyokamatwa, itatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote ile itakayotokea ama wakati wa kukusanya madeni au kwa mali na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa itakayokamatwa kushikiliwa na 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) imesababishwa Halmashauri au Wakala. na uzembe wa watumishi wa Uteuzi wa Wakala - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua Wakala wa kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake, na Wakala aliyeteuliwa lazima akusanye, apokee, na awasilishe makusanyo hayo kwa masharti ya sheria ndogo na mkataba wa uwakala.
8. -(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua Wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- kwa katika ya Halmashauri (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa eneo viwango niaba alilopangiwa na vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa na uwakala Halmashauri. alioingia Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa Makosa - 9 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri, kwa masharti ya Sheria Ndogo hii na ndani ya saa 12:00 asubuhi hadi 12:00 jioni, kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali.
9. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. - 10 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anatenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anaweza kutenda kosa ikiwa atashindwa kulipa ada au ushuru, kutoa taarifa za uongo, kuzuia maafisa kutekeleza majukumu yao, kutoshika kumbukumbu zinazotakiwa, au kufanya biashara bila kibali.
10. -(1) Mtu yeyote anatenda kosa endapo- (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ada au ushuru; (e) atashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu, au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri; (f) atashindwa, atadharau, atakaidi au kukataa 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii; (g) atatengeneza, ataidhinisha atatayarisha, kutengeneza au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; au (h) atafanya biashara katika eneo la mamlaka ya Halmashauri bila kupata kibali. Adhabu Kufifilisha kosa - 11 Verify source ↗
Mtu atakayekiuka masharti ya kanuni yoyote
AI-assisted research summary: A person who breaks any rule under this by-law commits an offence and may be fined, imprisoned, or both.
11. Mtu atakayekiuka masharti ya kanuni yoyote katika Sheria Ndogo hii, atakuwa anatenda kosa na faini ya kiasi akitiwa hatiani, atatakiwa kulipa kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote kwa pamoja. - 12 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: The Director may compound an offence if the offender confesses, agrees to complete the special form in the Second Schedule, and pays the fee or tax owed.
12. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kwa mujibu wa Sheria, iwapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Namba. Aina ya zao Kiwango cha ushuru (shilingi) 1 JEDWALI LA Pamba Asilimia 3 ya bei ya soko KWANZA (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1)) SEHEMU A USHURU WA MAZAO YA KILIMO 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 Alizeti Ufuta Choroko Tumbaku Dengu Kakao Mahindi Mtama Mpunga Karanga Mchele Kunde Ulezi Uwele Mbaazi Maharage Ndizi Kakao Fiwi Njugu Mawe Njegere Korosho Kahawa Mchikichi Mawese Mise Matunda Tikiti maji Karoti au hoho au nyanya au vitunguu Mazao mengine ambayo hayajatajwa Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko Asilimia 3 ya bei ya soko ya mkungu Asilimia 3 ya bei ya soko ya ujazo wa lita 20 Asilimia 3 ya bei ya soko ujazo wa debe 2,000/= kwa tenga moja Asilimia 3 ya bei ya soko 3,000/= kwa tenga moja Asilimia 3 ya bei ya soko SEHEMU B USHURU WA MAZAO YALIYOCHAKATAWA 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) Namba Aina ya zao Kiwango cha ushuru (shilingi)
Part
SEHEMU B
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Section 6 lists fees, taxes, and permit charges for many local activities such as livestock, fish, parking, land services, construction, markets, minerals, and guest houses.
6. Unga (Kilo 25) Mafuta ya kupikia (lita 20) Mashudu (kilo 50) Chakula cha Mifugo (kilo 50) Pumba 250/= 500/= 500/= 500/= 1,500/= Mazao mengine ambayo hayajatajwa 2,000/= kwa kilo 100 SEHEMU C USHURU WA MAZAO YA MISITU Namba Aina ya zao 1 Mazao ya misitu Kiwango cha ushuru (shilingi) Asilimia 5 ya bei ya soko SEHEMU D: USHURU WA MIFUGO MNADANI Namba Aina ya mfugo Kiwango cha ushuru (shilingi) 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 Ng’ombe Ngamia Mbuzi Kondoo Nguruwe Punda Farasi Kuku Kanga Bata Wanyama wengine ambao hawajatajwa Aina nyingine ya ndege ambao hawajatajwa 4,000/ = 4,000/ = 1,500/= 1,500/= 1,000/ = 1,000/= 1,000/ = 500/= 500/= 500/= 3,000/= 1,000/= SEHEMU E USHURU WA KUSAFIRISHA MIFUGO Namba Aina ya mfugo Kiwango cha ushuru Kiwango cha ushuru (shilingi) 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Ng’ombe Ngamia Mbuzi Kondoo Nguruwe Punda Farasi Kuku (kwa tenga moja) Aina nyingine ya mnyama Aina nyingine ya ndege (shilingi) ndani ya Wilaya 1,000/= 1,000/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 3,000/= 1,000/= 2,000/= nje ya Wilaya 1,500/= 1,500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 3,000/= 1,500/= 2,000/= SEHEMU F USHURU WA HUDUMA ZA MIFUGO Namba Aina ya Huduma Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 Kuogesha ng’ombe Kuogesha mbuzi Kuogesha kondoo Kuogesha mbwa Ngozi za ng’ombe ngozi za mbuzi ngozi za kondoo 500/= kwa ng’ombe moja 300/= kwa mbuzi moja 300/= kwa kondoo moja 500/= kwa mbwa moja 150/= kwa ngozi moja 100/= kwa ngozi moja 100/= kwa ngozi moja ukaguzi wa nyama – ng’ombe 3,000/= kwa ng’ombe ukaguzi wa nyama – mbuzi au kondoo 1,000/= kwa mbuzi au kondoo ukaguzi wa nyama - nguruwe 3,000/= kwa nguruwe aina nyingine ya mfugo aina nyingine ya ndege 1,000/= kwa huduma 500/= kwa huduma SEHEMU G ADA YA LESENI NA USHURU WA SAMAKI Namba Aina ya Huduma 1 2 3 4 5 6 Leseni ya uvuvi Leseni ya chombo cha uvuvi Leseni ya kukusanya samaki Samaki Dagaa Samaki wa Mapambo 8 Kiwango cha Ada au Ushuru (Shilingi) Dola 10 Dola 10 Dola 4.56 1,000= kwa kilo 50 1,000/= kwa kilo 50 500/= kila samaki Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) 7 Aina nyingine ya mazao ya majini Asilimia 3 ya bei ya mauzo SEHEMU H USHURU WA CHUMVI Namba Aina ya Zao Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 1 Chumvi (out glowers) 500/= kg 25 SEHEMU I USHURU WA MAEGESHO Namba Aina ya Chombo cha Usafiri Kiwango cha Ushuru (Shilingi) kwa siku 500/= 1,500/= 1,000/= 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 Teksi au bajaji Mabasi yanayofanya safari ndani ya wilaya i. ii. mabasi yanayofanya safari nje ya wilaya mabasi makubwa(ya abiria 26 na zaidi) mabasi ya kati/madogo( abiria 0-25) i. mabasi makubwa(ya abiria 3,000/= 26 na zaidi) ii. mabasi ya kati/madogo (abiria 0- 25) 2,000/= Pick – up au carry Trekta Lori chini ya tani 8 Lori kuanzia tani 8 hadi 12 Lori kuanzia tani 13 na kuendelea Magari madogo yanayofanya biashara ya kubeba abiria Mashine au mitambo ya ujenzi Maegesho maalum Magari binafsi Pikipiki za magurudumu mawili au matatu Baiskeli 1,000/= 1,000/= 1,000/= 2,000/= 5,000/= 1,000/= 5,000/= 7,000/= 500/= 500/= 200/= SEHEMU J USHURU WA KAZI ZA UTAMADUNI NA MICHEZO 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) Namba Aina ya Shughuli Kibali cha sherehe ukumbini Ushuru wa waganga wa jadi au tiba asili Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Muda 30,000/= Kwa kila sherehe 30,000/= Kwa mwaka 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 Kibali cha kumbi za kuonyesha mpira na video: Kwa mwaka (i) (ii) Maeneo yaliyopimwa Maeneo yasiyopimwa Kibali cha kuchezesha michezo ya bahati nasibu Kupiga muziki kwenye kumbi za starehe, baa na sehemu nyingine yeyote inayoruhusiwa Usajili wa vikundi au mtu binafsi au taasisi inayojishughulisha na shughuli za michezo au utamaduni na au sanaa Kibali cha vikundi, mtu binafsi au taasisi inayoshughulika na shughuli za michezo, utamaduni na sanaa Kibali cha mashindano ya mpira au ligi au michezo mingine yoyote Kibali cha kutumia uwanja wa Halmashauri kwa shughuli yoyote yenye kutoza kiingilio Kibali cha kutumia uwanja wa Halmashauri kwa mazoezi, mechi au shughuli yoyote isiyo ya kiingilio. Kibali cha msanii aliyetoka nje ya Wilaya kufanya tamasha Kibali cha kufanya matangazo ya biashara katika maeneo ya wazi au barabarani Kibali cha usambazaji wa cable za luninga (tv) Kibali cha kuchezesha mchezo wa meza (pool table) au game na vinavyofanana na hivyo, kwa meza moja Kibali cha michezo ya sanaa za maonyesho yenye kiingilio ya ngoma au mziki au sinema au ngumi au mieleka au kungfu au mazingaombwe au sarakasi au maigizo Kibali cha michezo ya sanaa za maonyesho isiyo ya kiingilio ya ngoma au muziki au sinema au ngumi au mieleka au kungfu au mazingaombwe au sarakasi au maigizo Kibali cha kupiga muziki wa dansi (live band) au disko au tamasha 10 30,000/= 10,000/= 300,000/= kwa mashine kwa mwaka 50,000/= kwa mwaka 40,000/= kwa usajili 20,000/= kwa mwaka 30,000/= kwa ligi 20,000/= kwa siku 10,000/= kwa siku 50,000/= Kwa kila tamasha 30,000/= kwa siku 60,000/= Kwa mwaka 40,000/= kwa mwaka 20,000/= kwa siku 10,000/= kwa siku 30,000/= Kwa siku Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) 18 19 20 Kibali cha kufanya shughuli za sanaa za ufundi kama uchoraji picha, upakaji rangi, uchongaji mihuri, vinyago na sanaa nyingine yoyote inayofanana na kundi hilo Kibali cha kunasa sauti au video au picha mnato wakati wa mashindano au shughuli iliyoandaliwa na Halmashauri Kibali cha uzinduzi wa album kwa wasanii wa ndani ya Wilaya 20,000/= kwa mwaka 10,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 21 Kibali cha kupiga muziki wa taarabu 10,000/= kwa Tukio 22 Kibali kwa mmiliki wa kumbi za burudani 20,000/= Kwa Mwaka 23 Kibali cha kupiga picha za video 10,000/= kwa Tukio 24 Kibali cha mmiliki wa studio za kusafisha picha 50,000/= Kwa Mwaka 25 Kibali kwa mmiliki wa studio za kurekodi sauti 50,000/= Kwa mwaka 26 Wamiliki wa studio za kurekodi filamu 100,000/= Kwa mwaka 27 Wamiliki wa majumba ya mazoezi(gym houses) 30,000/= Kwa mwaka 28 Mabango yanayong’aa Kwa mwaka i. Yenye ukubwa wa sqm 1 au chini ya hapo ii. Yanayozi di sqm 1 ila hayazidi sqm 2 iii. Yanayozi di sqm 2 100,000/= Kwa mwaka 200,000/= Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka 250,000/= 50,000/= Yasiyong’aa i. Yenye ukubwa wa sqm 1 au chini ya 100,000/= hapo ii. Yanayozidi sqm 1 ila hayazidi sqm 2 150,000/= iii. Yanayozidi sqm 2 29 Kibali cha kufanya shughuli za matambiko 10,000/= Kwa tukio 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) SEHEMU K ADA YA MALI ZA HALMASHAURI Namba Aina ya Mali Kiwango cha Ada (Shilingi) 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Mitambo mikubwa Kwa mujibu wa mkataba Lori la tani 7 hadi 10 bila mafuta Kwa mujibu wa mkataba Gari dogo bila mafuta Trekta Ukumbi wa mikutano: i. Ukumbi mdogo ii. Ukumbi mkubwa Kiti Meza 50,000/= kwa siku moja 70,000/= kwa siku moja Kwa tukio 200,000/= kwa siku moja 500,000/= kwa siku moja 300/=kwa kiti 1 kwa siku 1 300/=kwa meza 1 kwa siku 1 Darubini au GPS 50,000/= kwa siku moja Kutumia maeneo ya wazi au 10,000/=kwa siku Shamba 50,000/= kwa ekari moja kwa Msimu 10 Kibanda eneo la soko kuu la Lugufu: i. kibanda eneo la mzunguuko wa ndani ii. kibanda eneo la mzunguko wa nje 11 Nyumba ya kuishi mtumishi wa Halmashauri 20,000/= kwa mwezi 25,000/= kwa mwezi Kwa mujibu wa mkataba 12 Mali nyingine ambayo haikutajwa Kwa mujibu wa mkataba 13 Chumba cha kupangisha eneo la Mialo i. Chumba kidogo ii. Chumba kikubwa 50,000/= 100,000/= 14 kibanda eneo la mnada wa mifugo wa Uvinza i. kibanda cha biashara ii. meza ya mama au baba lishe iii. choo cha mnadani 50,000/= kwa mwezi 3,000/= kwa kila siku ya mnada 30,000/= kwa mwezi 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) SEHEMU L ADA YA ARDHI I. HUDUMA ZA ARDHI Namba Aina ya Huduma Maombi ya kiwanja cha ujenzi Ukaguzi wa mchoro wa ujenzi Maombi ya hati miliki halisi Kiwango cha Ada (Shilingi) 5,000/= kwa kila kiwanja 30,000/= kwa kila mchoro 5,000/= Utafiti wa kitaalamu (official search) 30,000/= kwa kila utafiti Kuhamisha umiliki 30,000/= kwa kila kiwanja kimoja Kuoneshwa mipaka (plot identification) Kkurudishia kigingi cha mpaka (beacon replacement) kufufua mipaka 30,000/= kwa kila kiwanja au Shamba 5,000/= kwa kila kigingi Upimaji wa shamba Ada ya upimaji viwanja 50,000/= kwa ekari 300,000/= kwa kiwanja 1 2 3 4 5 6 7 8 9 II. KUBADILI MATUMIZI YA ARDHI Namba AINA YA MATUMIZI KIWANGO CHA ADA (SHILINGI) 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Ombi la kubadili matumizi Nyumba ya makazi na biashara Nyumba ya biashara Nyumba ya kuishi Ghorofa Ghorofa moja hadi mbili Kwa kila ghorofa inayoongezeka Kiwanda au bohari au ghala. kubadili matumizi ya ardhi (makazi) kubadili matumizi ya ardhi (biashara) Kubadili matumizi ya ardhi (makazi na biashara) 20,000/= 20,000/= 50,000/= 10,000/= 200,000/= 100,000/= 100,000/= 50,000/= 100,000/= 100,000/= III. ADA YA KIBALI CHA UJENZI Namba Aina ya ujenzi Kiwango cha ada (shilingi) 1 2 Ujenzi wa mnara wa mawasiliano Ujenzi wa nyumba ya biashara 500,000/= kwa mnara 100,000/= kwa nyumba 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 Ujenzi wa nyumba ya makazi na biashara Ujenzi wa nyumba za makazi Ujenzi wa ghala au karakana au gereji au bohari Ujenzi wa kituo cha mafuta Ujenzi wa kiwanda kidogo au mashine za kukoboa na au kusaga nafaka Ujenzi wa ghorofa moja Kwa kila ghorofa linaloongezeka Ujenzi wa chuo binafsi Ujenzi wa kiwanda Ujenzi wa shule kuweka uzio wakati wa kujenga jengo Ujenzi wa kibanda cha biashara 50,000/= kwa jengo moja 30,000/= kwa jengo moja 200,000/= 500,000/=kwa kituo kimoja 200,000/= 120,000/= 80,000/= 1,000,000/= 2,000,000/= 500,000/= 50,000/= 10,000/= Ujenzi wa jengo ambalo halijatajwa Asilimia 3% ya gharama za ujenzi SEHEMU M ADA YA VIBALI MBALIMBALI Namba Aina ya shughuli Kiwango cha ada (shilingi) 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 Ngoma za utamaduni 10,000/= kwa siku Maonyesho ( exhibition) [ya ndani ya nchi] 5,000/= kwa banda kwa siku Maonyesho ( exhibition) [ya kimataifa] Kununua pamba au tumbaku Kibali cha kununua mazao mchanganyiko Kufunga barabara kwa ajili ya sherehe Kibali cha kukata barabara ili kupitisha bomba Uuzaji wa dawa za asili na tiba mbadala Uuzaji vyombo vya majumbani Bonanza Ushuru wa choo Vyuma chakavu kwa tani Kitambulisho cha dalali mnadani Ukaguzi nyumba ya kulala wageni 500,000/= tukio zima. 200,000/= kwa msimu 50,000/= kwa msimu 20,000/= 30,000/= 40,000/= 20,000/= 50,000/= 300/= 5,000/= 40,000/= 20,000/= SEHEMU N ADA YA ZABUNI 14 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) Namba Aina ya zabuni Kiwango cha ada (shilingi) 1 2 3 4 Zabuni ya ujenzi wa majengo Zabuni ya uwakala mbalimbali Zabuni ya ugavi wa huduma 100,000/= kwa zabuni 30,000/= kwa zabuni 70,000/= kwa zabuni “Force account” Asilimia 0.03% ya gharama ya zabuni SEHEMU O USHURU WA SOKO, MNADA NA GULIO Namba. 1 Aina ya eneo Soko la lugufu (eneo la meza moja au kizimba au tandiko) Kiwango cha ushuru (shilingi) 6,000/= kwa mwezi au 200/= kwa siku 2 3 4 4 5 6 7 Masoko mengine (eneo la meza moja au kizimba au tandiko) Soko au gulio - kuku Soko au manada au gulio-gunia la nafaka kilo 100 Mnada au gulio - kiwanja kimoja cha biashara au tandiko au kizimba Mnada au gulio - baba au mama lishe 9,000/= kwa mwezi au 300/= kwa siku 500/= kwa kuku mmoja 2,000/= 10,000/= kwa mwaka 500/= kwa mnada au gulio Maeneo yote - kupakia mifugo katika lori – ng’ombe 10,000/= kwa lori Maeneo yote - kupakia mifugo katika lori– mbuzi au kondoo 5,000/= kwa lori SEHEMU P USHURU WA MADINI YA UJENZI Namba Aina ya madini Kiwango cha ushuru (shilingi) kwa meta moja ya ujazo 1 2 3 4 5 Mchanga Mawe Kifusi Kokoto Molalisi 1,500/= 1,500/= 1,500/= 1,500/= 1,500/= 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) 6 7 Udongo Aina nyingine ya madini ambayo haijatajwa 1,500/= 1,500/= SEHEMU Q USHURU WA NYUMBA YA KULALA WAGENI Namba Aina ya huduma Kiwango cha ushuru (shilingi) 1 Nyumba ya kulala wageni Asilimia kumi JEDWALI LA PILI (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 12) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi …………………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, kwamba mnamo tarehe ………… ya mwezi………….. Mwaka ……… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya ……………ya Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza ya Mwaka, 2024. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri, niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. Nathibitisha kwamba maelezo hapo juu ni ya kweli na nimeyatoa mimi mwenyewe kwa hiari yangu kadri ya ufahamu wangu. Leo tarehe …………………..ya Mwezi …………… Mwaka ………………… Jina: …………………………………………. Saini: ……………………………. MBELE YA: Jina: …………………………………… Wadhifa: ……………………………………. Saini: ……………………………….. Tarehe: ……………………………… 16 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Tangazo La Serikalina. 467 (Linaendelea) Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza imegongwa kwenye Sheria Ndogo hii kufuatia azimio lililopitishwa katika mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya Uvinza uliofanyika tarehe 18 mwezi Disemba Mwaka 2023 na kushuhudiwa Lakari hiyo ikigongwa mbele ya:- ACLAND DOMINIC KAMBILI Mkugenzi Mtendaji /Mkurugenzi wa Halmashauri Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza JACKSON FREDRICK MATESO Meya/Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya Uvinza NAKUBALI, L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB) 25 Machi, 2024 Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 17
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza za Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in