Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ya Mwaka 2024
This provision gives the short title of the by-law: the Rungwe District Council Fees and Taxes By-Law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the short title of the by-law: the Rungwe District Council Fees and Taxes By-Law, 2024. This by-law applies throughout the whole area of Rungwe District Council. This section defines terms used in the by-law, including fees, permits, service levy, market places, transport, officials, and collecting agents. The council must charge fees and levies for permits, licenses, and services listed in the Schedule, and payment is due before or when the service is received. A person liable to pay a fee or tax under this bylaw must pay the applicable amount using the rates set out in the bylaw.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ya Mwaka 2024
Showing 22 of 22
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This provision gives the short title of the by-law: the Rungwe District Council Fees and Taxes By-Law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This by-law applies throughout the whole area of Rungwe District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa muktadha
AI-assisted research summary: This section defines terms used in the by-law, including fees, permits, service levy, market places, transport, officials, and collecting agents.
3. Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha abiria au mzigo kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine isipokuwa baiskeli, mkokoteni au wanyama wanaotumika kusafirisha watu au mizigo; lengo “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “kipindi maalumu cha hesabu” maana yake ni muda ambao mfanyabiashara anatakiwa kuwasilisha hesabu za biashara kwa Halmashauri; 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo la Serikali Na.486 (Linaendelea.) “kituo cha mabasi” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa na Halmashauri kwa madhumuni ya kupakia na kuteremsha abiria au mizigo ya abiria; “machinjio” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinja wanyama na kuanika ngozi ikiwa ni pamoja na maeneo ya taasisi ya umma au watu binafsi yaliyopo katika eneo la Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “maegesho” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha chombo cha usafiri kwa muda; yake “Mkurugenzi” maana ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mnada” maana yake ni soko la wazi ambalo mali au vitu mbalimbali vinauzwa kwa ushindani wa bei kwa kauli na kwa kibali maalumu cha Halmashauri; “mnunuzi wa mazao” maana yake ni mtu, taasisi, kikundi cha watu, kampuni, kiwanda shirika linalonunua mazao kwa ajili ya biashara au matumizi mengine katika eneo la Halmashauri; au “muuzaji” maana yake ni mtu, taasisi, kikundi cha watu, linalouza au kampuni, kiwanda au kusafirisha mazao kutoka kata moja kwenda kata nyingine au nje ya eneo la Halmashauri lenye mazao yenye uzito wa zaidi ya tani moja; shirika “soko” maana yake ni eneo lililotengwa na linalomikiwa na Halmashauri kama soko; Sura ya 167 “hifadhi ya barabara” ina maana kama ilivyoainishwa katika Sheria ya Barabara; shughuli “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa huduma mbalimbali au zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “ushuru wa huduma” maana yake ni ushuru unaotozwa au unaokusanywa na Halmashauri kutoka kwa kampuni, tawi la kampuni, taasisi ya biashara au mfanyabiashara kwa huduma anazopata kutokana 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo la Serikali Na.486 (Linaendelea.) kutumia umma miundombinu na inayomuwezesha kufanya biashara katika eneo la Halmashauri; ya “ukokotoaji” maana yake ni namna ya kuandaa kiasi cha ushuru wa huduma kitakacholipwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; “ushuru wa madini ya ujenzi” maana yake ni ushuru unaotozwa kwa kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi, na inajumuisha tozo kwa mtu yeyote atakayesafirisha madini ya ujenzi kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine; “utamaduni” maana yake ni sanaa za maonyesho, sanaa za ufundi, muziki wa asili, ususi, michezo, muziki wa dansi, video, muziki wa taarabu, maonyesho ya sinema, mazingaombwe, tiba za jadi na matumizi ya viwanja vya michezo; “wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa kukusanya ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii.
Part
sehemu moja kwenda sehemu nyingine isipokuwa
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: The council must charge fees and levies for permits, licenses, and services listed in the Schedule, and payment is due before or when the service is received.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na la Halmashauri kama Kwanza. ilivyoainishwa katika Jedwali (2) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au wakala kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo ya (1), ada inayotozwa chini ya Sheria Ndogo hii italipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Utozaji wa ada na ushuru Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: A person liable to pay a fee or tax under this bylaw must pay the applicable amount using the rates set out in the bylaw.
5. Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atalipa ada au ushuru husika kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo la Serikali Na.486 (Linaendelea.) Muda wa kukusanya ada na ushuru Ushuru wa huduma - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Ada na ushuru hukusanywa kati ya saa 12 asubuhi na saa 12 jioni, isipokuwa kwa kibali maalumu cha Mkurugenzi; malipo yanaweza kuwa ya kila siku, ya kila mwezi, au kwa mpangilio mwingine uliokubaliwa, na mlipaji anapaswa kupewa stakabadhi ya kielektroniki.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri au wakala kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru nje ya muda ulioainishwa. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku, kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kwa kuzingatia makubaliano kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au wakala na mlipa ada au ushuru atapaswa kupewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa viwango vilivyoelezwa, na walipa ushuru wanatakiwa kulipa ndani ya siku 14 baada ya kuwasilisha taarifa za mauzo ya kila mwezi.
7.-(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa kiwango cha asilimia sifuri nukta tatu (0.3%) ya mauzo baada ya kutoa kodi ya ongezeko la thamani na ushuru wa bidhaa kutoka kwa kampuni, tawi la kampuni au mfanyabiashara yeyote mwenye leseni ya biashara anayewasilisha hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa kiwango kilichoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii kutoka kwa wafanyabiashara wenye leseni za biashara ambao hawawasilishi hesabu za mauzo Mamlaka ya Mapato Tanzania. (3) Kila mfanyabiashara mwenye leseni ya biashara ambaye anawajibika kulipa ushuru wa huduma taarifa za atalazimika kuwasilisha kwa Mkurugenzi hesabu za mwaka kwa ajili ya kukokotoa kiwango cha ushuru wa huduma. (4) Halmashauri itakokotoa ushuru wa huduma kwa walipa ushuru wa huduma wanaowasilisha taarifa za mauzo Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kuzingatia taarifa zinazowasilishwa na walipa ushuru wa huduma katika kipindi maalumu cha hesabu. 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo la Serikali Na.486 (Linaendelea.) Ukusanyaji wa madeni (5) Mlipa ushuru wa huduma atatakiwa kulipa ushuru wa huduma si zaidi ya siku kumi na nne tangu tarehe ya kuwasilisha taarifa za mauzo ya kila mwezi. - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutumia Mahakama, kukamata mali zinazohamishika, na kuuza kwa mnada ili kukusanya madeni ya ushuru, ikiwa malipo hayakufanywa kwa wakati.
8.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itashindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za wadaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kupata idhini ya Mahakama, Halmashauri inaweza kuuza mali za mdaiwa njia ya mnada baada ya siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa au ndani ya kipindi kifupi zaidi kabla mali hazijaharibika, ikiwa mali zilizokamatwa zinaweza kuharibika kwa haraka. (4) Bila kuathiri masharti mengine katika aya hii, kabla ya kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Halmashauri itatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma kuhusu kusudio la kuuza mali hizo. (5) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea wakati wa kukusanya madeni au kwa mali na Halmashauri, itakayokamatwa isipokuwa kama hasara itakuwa imesababishwa kwa uzembe wa watumishi wa Halmashauri au wakala. kushikiliwa na Uteuzi wa wakala - 9 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake.
9.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa aya ndogo ya (1) atakuwa na wajibu ufuatao: (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo la Serikali Na.486 (Linaendelea.) yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa - 10 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri wakati wa mchana kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia masuala ya ada, ushuru, leseni au kibali.
10. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Kamati ya Mapato - 11 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na Kamati ya kufatilia mapato
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anapaswa kuunda Kamati ya kufuatilia mapato ya Halmashauri, na kamati hiyo lazima itekeleze majukumu ya kuratibu kikosi kazi cha mapato, kuishauri Halmashauri, kufanya tathmini ya makusanyo, na kutoa taarifa ya kila mwezi.
11.-(1) Kutakuwa na Kamati ya kufatilia mapato ya Halmashauri itakayoundwa na Mkurugenzi ambayo itakuwa na majukumu yafuatayo: (a) kuratibu utendaji kazi wa kikosi kazi cha kukusanya mapato; (b) kuishauri Halmashauri kuhusu namna ya kuongeza mapato na kubuni vyanzo vipya vya mapato; na (c) kufanya tathmini ya makusanyo katika kila chanzo kwa mwaka ili kuweka maoteo ya mwaka unaofuata. (2) Kamati ya mapato itawajibika kutoa taarifa ya utendaji kazi kwa menejimenti ya Halmashauri kila mwezi kuonyesha namna ilivyofanya kazi katika kipindi husika. Kikosi kazi cha kudhibiti mapato Makosa - 12 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na kikosi kazi cha kufuatilia na
AI-assisted research summary: Mkurugenzi lazima aunde kikosi kazi cha kufuatilia na kudhibiti utoroshaji wa mapato, na kikosi hicho kitawajibika kwa Kamati ya Mapato.
12.-(1) Kutakuwa na kikosi kazi cha kufuatilia na kudhibiti utoroshaji wa mapato ambacho kitaundwa na Mkurugenzi sekta mbalimbali za Halmashauri. kikihusisha wataalamu kutoka (2) Kikosi kazi kitakachoundwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kitawajibika kwa Kamati ya Mapato. - 13 Verify source ↗
Mtu atakuwa anatenda kosa endapo
AI-assisted research summary: A person commits an offence if they avoid or refuse to pay fees or taxes, disobey a Council order, encourage others to evade payment, block officials, use forged documents, give false information, or transport goods on which fees or taxes have not been paid.
13. Mtu atakuwa anatenda kosa endapo- (a) atashindwa, atadharau, atakwepa au atakataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo la Serikali Na.486 (Linaendelea.) (c) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatumia nyaraka za kughushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; (e) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ushuru na zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri; au (f) atatumia chombo chochote kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada. Adhabu Kufifilisha kosa - 14 Verify source ↗
Mtu atakayepatikana na hatia kwa kutenda
AI-assisted research summary: Mtu akipatikana na hatia kwa kosa chini ya Sheria Ndogo hii anaweza kutozwa faini au kifungo, au vyote viwili.
14. Mtu atakayepatikana na hatia kwa kutenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. - 15 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji kiasi kisichozidi shilingi laki mbili, ikiwa mkosaji anakiri kosa, anajaza fomu maalumu ya Jedwali la Pili, na analipa ada au ushuru anaodaiwa.
15. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Kufutwa kwa TS Na. 674 la 2020 - 16 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya
AI-assisted research summary: This section repeals the Rungwe District Council Fees and Charges Bylaws, 2020, and lists monthly fees for housing and business stalls and other council services.
16. Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ya mwaka 2020 inafutwa. 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo la Serikali Na.486 (Linaendelea.) ______ JEDWALI LA KWANZA _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA KODI ZA NYUMBA NA VIBANDA VYA HALMASHAURI A: ADA ZA NYUMBA ZA MAKAZI Eneo Kiwango cha Ada (Shilingi) Daraja la Kwanza Daraja la pili Daraja la tatu 80,000/= kwa mwezi 50,000/= kwa mwezi 25,000/= kwa mwezi B: VIBANDA VYA BIASHARA Eneo Kiwango cha Ada (Shilingi) Soko Kuu Tukuyu Stendi Kuu Tandale Katumba Tukuyu mjini Soko la Mpuguso Soko la Kiwira Ukumbi wa Halmashauri Huduma ya vyoo Majengo mengine ya Halmashauri 50,000/= kwa mwezi 50,000/= hadi 70,000/= 30,000/= kwa mwezi 10,000 hadi 20,000/= kwa mwezi 20,000/= kwa mwezi 15,000/= hadi 40,000/= kwa mwezi 30,000/= hadi 50,000/= kwa mwezi 200,000/= kwa mwezi 200/= kwa mtu mmoja 20,000/= hadi 70,000/= kwa mwezi Namba 1 2 3 Namba 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 SEHEMU YA PILI USHURU WA MASOKO NA MAENEO MENGINEYO NDANI YA HALMASHAURI Namba 1 2 3 4
Part
SEHEMU YA PILI
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section sets local tax and fee rates for listed market traders, livestock transport, slaughterhouse/animal inspection services, and construction materials.
6. 7 8 9 10 11 12 Aina ya Bidhaa Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Nyanya, Vitunguu, karoti, mbogamboga na viungo vingine mbalimbali/ Mbogamboga na matunda Wauza mitumba Kuku/bata Bidhaa za viwandani Samaki Jamii ya mikunde Nafaka zote Aina zote za viazi Ndizi aina zote Mazao ya nafaka na mbegu Kuuza na kuchoma nyama mnadani 200 kwa siku 200 kwa siku 200/= kwa siku 200/= kwa siku 200/= kwa siku 200/= kwa siku 200/= kwa siku 200/= kwa siku 200/= kwa siku 200/= kwa siku 200/= kwa siku 1,500/= kwa siku 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo la Serikali Na.486 (Linaendelea.) SEHEMU YA TATU ADA ZA HUDUMA ZA MACHINJIO NA UKAGUZI WA WANYAMA Namba Mnyama Ng’ombe 1 Mbuzi 2 Nguruwe 3 Kondoo 4 Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Kwa bei ya kilo moja ya nyama Kwa bei ya kilo moja ya nyama Kwa bei ya kilo moja ya nyama Kwa bei ya kilo moja ya nyama SEHEMU YA NNE USHURU WA MADINI YA UJENZI Namba 1 2 3 4 5 6 Aina ya Madini Ushuru wa mchanga Ushuru wa mawe Ushuru wa tofali za kuchoma Ushuru wa chokaa Ushuru wa kokoto Ushuru wa chuma chakavu Kiwango cha Ushuru(Shilingi) 2,000 kwa tani moja 2,000 kwa tani moja 2/= kwa tofari moja 2,000/= kwa tani moja 2,000 kwa tani moja 20,000/= kwa tani moja SEHEMU YA TANO USHURU WA NGOZI Namba 1 2 3 4 Aina ya Mifugo Kiwango cha Ushuru(Shilingi) Ng’ombe Mbuzi Kondoo Wanyama wengine 200/= kwa kila Ngozi moja 200/= kwa kila Ngozi moja 200/= kwa kila Ngozi moja 200/= kwa kila ngozi SEHEMU YA SITA USHURU WA MAGULIO Namba Aina ya Wafanyabiashara 1 2 3 4 5 Wauza bia na Soda, wauza vyombo vya nyumbani, wauza vipuli vya baiskeli au vipuli vya magari, vipuli vipuri vya pikipiki, wauza madawa ya mifugo na binadamu Wauza nguo mpya za dukani, wauza mitumba, viatu, wauza pombe za kienyeji, wauza vyakula na wenye vyerehani Watengeneza baskeli na wauza madawa ya asili. Wauza samaki, nyama, chumvi, miwa, matunda, karoti na viungo vyote vya mboga Bidhaa nyingine ambazo hazijatajwa SEHEMU YA SABA USHURU WA KUSAFIRISHA MIFUGO NA SAMAKI Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 500/= kwa siku Namba 1 Ng’ombe: Aina ya Mifugo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Ndani ya Wilaya (a) (b) Nje ya Wilaya 1,000 kwa ng’ombe 5,000 kwa ng’ombe 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo la Serikali Na.486 (Linaendelea.) 2 3 Mbuzi: (a) (b) Nje ya Wilaya Ndani ya Wilaya Kondoo: (a) Ndani ya Wilaya (b) Nje ya Wilaya
Part
SEHEMU YA SABA
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada za baadhi ya wanyama na bidhaa za samaki, zikiwemo nguruwe, kuku/bata, na ndoo ya lita 20 ya samaki.
4. Nguruwe (a) Ndani ya Wilaya (b) Nje ya Wilaya Kuku/Bata (a) Ndani ya Wilaya (b) Nje ya Wilaya Samaki 5 6 1,000/= kwa mbuzi 1,500/= kwa mbuzi 1,000/= kwa kondoo 1,500/= kwa kondoo 1,000/= kwa nguruwe 4,000/= kwa nguruwe 300/= kwa kuku/bata 400/= kwa kuku/bata 2,000/=@ndoo ya lita 20 SEHEMU YA NANE ADA YA VIKUNDI NA UTAMADUNI Namba Aina ya Ada
Part
SEHEMU YA NANE
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: The text lists fees for several arts/event registrations and permits, with amounts shown in shillings and some annual or daily charges.
9. Ada ya usajili wa kikundi cha sanaa Usajili wa kumbi za starehe na mikutano Ada ya usajili wa vibanda vya kuonyeshea mpira (vibanda umiza) Kibali kwa tukio (Kumbi za starehe na mikutano) Usajili wa vikundi vya Sanaa/mtu binafsi Shughuli za sanaa kwa tukio Usajili wa Washereheshaji Ada ya Matangazo ya nje Kibali kwa tukio (Mshereheshaji, mpiga picha, mpambaji na Mtengeneza midundo-DJ) Kiwango cha Ada (Shilingi) 30,000/= 300,000-1,000,000/= kwa mwaka 24,000/= kwa mwaka 50,000/= 21,250/= 30,000/= kwa siku 100,000/= 30,000/= kwa siku 50,000/= kwa Siku SEHEMU YA TISA USHURU WA MAZAO YA BAHARI, MITO, MAZIWA NA MABWAWA Namba Aina ya Zao
Part
SEHEMU YA TISA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The section lists a 3% charge based on the produce price and mentions a service levy/license fee for traders who do not keep accounts.
2. Samaki Mazao Mengine Kiwango cha Ushuru (Shilingi) asilimia 3 ya bei ya zao asilimia 3 ya bei ya zao SEHEMU YA KUMI USHURU WA HUDUMA KWA WAFANYABIASHARA WASIOFUNGA HESABU Namba. Ada ya Leseni Kiwango cha malipo ya ushuru wa huduma (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Leseni zilipangwa kwa ada ya mwaka kulingana na kiwango cha leseni.
3. Leseni kuanzia shilingi 5,000 hadi 20,000 5,000/= kwa mwaka Leseni kuanzia shilingi 21,000 hadi 50,000 Leseni kuanzia shilingi 51,000 hadi 99,000 10,000/= kwa mwaka 20,000/= kwa mwaka 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo la Serikali Na.486 (Linaendelea.) - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha viwango vya ushuru na ada kwa baadhi ya mazao ya misitu, mazao ya kilimo, na mabango ya biashara.
4. Leseni kuanzia 100,000 na kuendelea 30,000/= kwa mwaka Namba 1 2 Kuni Mkaa (i) (ii) SEHEMU YA KUMI NA MOJA USHURU WA MAZAO YA MISITU Aina ya Zao Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 5,000 kwa tani moja Gunia moja la kg 35 Uuzaji wa mkaa rejareja 2,000/= kwa gunia 300/= kwa siku 3 4 5 6 7 8 9 10 11 Mbao bila kujali unene Nguzo bila kujali unene na aina ya mti Fito bila kujali unene na aina ya mti Ushuru wa banzi moja Magogo bila kujali unene na aina ya miti Nguzo za umeme Asali 200/= kwa ubao mmoja 300/= kwa nguzo 300/= kwa fito moja 100/= kwa banzi moja 1,000/= kwa gogo 1,500/= kwa kila nguzo i. ii. Nyuki wakubwa Nyuki wadogo 500/= kwa lita moja 800/= kwa lita moja Magogo “mete” yanayotumika viwandani kwa ajili a nishati ya moto Ushuru wa nyungo 35,000/= kwa tani 50/= kwa ungo SEHEMU YA KUMI NA MBILI USHURU WA MAZAO Namba Aina ya Zao 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 Ndizi Viazi Nanasi Embe Parachichi za kienyeji Parachichi yanayosafirishwa nje ya nchi Mahindi makavu Mahindi mabichi Maharage na aina yote ya kunde Vitunguu Magimbi Machungwa Mihogo Mafyulisi Aina nyingine zote za matunda ambazo hazijaainishwa Mazao mengine ambayo hayajaainishwa mfano Tangawizi, hiriki pareto n.k. Ushuru wa miwa Mchele Mbosa zilizobanguliwa 11 Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 400/= kwa mkungu mmoja 1,000 kwa gunia moja lenye uzito wa kilogram 100 15,000 kwa tani moja 2,000/= kwa gunia moja Shilingi 2,000 kwa gunia moja 3% ya thamani ya mzigo 2,000 kwa gunia moja 15,000/= kwa tani moja 2,000/= kwa gunia moja 2,000/= kwa gunia moja 2,000 kwa gunia moja 2,000/= kwa gunia moja 2,000/= kwa gunia moja 1,000/= kwa gunia moja 2,000/= gunia moja 2,000 kwa gunia moja 15,000/= kwa tani moja 2000/= kwa gunia moja 3000/= kwa gunia Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo la Serikali Na.486 (Linaendelea.) 20 20 Mbosa zisizobanguliwa Mafuta ya mawese 10,000/=kwa Tani 500/= kwa ujazo wa lita 20 SEHEMU YA KUMI NA TATU ADA NA USHURU WA MABANGO YA BIASHARA Namba 1 Bango lisilo la Mng’ao (Non-Illuminated Sign) Aina ya Bango 2 3 4 5 6 7 8 Bango Mng’ao (Illuminated Sign) Mabango ya Biashara yaliandikwa na kuchora kwenye kuta za Majengo (Wall Sign) Mabango ya Kietroniki (Electronic Sign) Bango kwenye Gari (Vehicular advertisement) Bango kwenye gari kwa mmiliki wa gari anayetangaza biashara yake mwenyewe (Vehicular Advertisement branding own products) Bango kwenye eneo la Biashara: (a) Bango lisilo la Mng’ao (b) Bango Mng’ao (a) Mabango ya kukuza Biashara kwa mabango 100 ya awali kwa kila bango. Kiwango (Shilingi) 7,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba 10,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba 10,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba. 10,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba. 10,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba. 4,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba. 7,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba. 10,000/= Kwa Kila Futi Moja ya Mraba. 50,000/= (b) Mabango ya kukuza Biashara kwa 50,000/= mabango 100 ya kundi lingine kwa kila bango. 9 Matangazo ya muda mfupi kwa siku. 50,000/= 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo la Serikali Na.486 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA PILI ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 15) HATI YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Rungwe, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya …… ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, niko tayari kulipa kiasi cha Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU: Jina:……………………………………..……………………..... Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………… 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmshauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo la Serikali Na.486 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Babati imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia Azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ulioitishwa na kufanyika tarehe 20/12/2022 na kushuhudiwa na:- ANNA PHILLIP MBOGO, Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, Babati JOHN SILVIN NOYA, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya, Babati NAKUBALI, L.S Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA, 30 Januari, 2024 Waziri wa Nchi-OR-Tamisemi 14
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in