Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko, Magulio na Minada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024
This section gives the short title of the by-law.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko, Magulio na Minada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the by-law. This provision says the by-law applies throughout the Kondoa District Council Authority area. This section defines key terms used in the by-law, including market places, traders, buyers, sellers, the Council, the Director, and appointed officers. Halmashauri ina wajibu wa kusimamia na kuendesha masoko, magulio na minada, ikiwemo usafi, usalama, huduma za kijamii, upangaji wa nafasi, kutenga maeneo, na kusajili wafanyabiashara wote. The responsible officer must maintain security in the market, fair, or auction area and may enter those areas to inspect compliance with the by-law.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko, Magulio na Minada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024
Showing 15 of 15
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the by-law.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko, Magulio na Minada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This provision says the by-law applies throughout the Kondoa District Council Authority area.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including market places, traders, buyers, sellers, the Council, the Director, and appointed officers.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chumba” maana yake ni chumba au lolote linalotumika kuuzia bidhaa ndani au nje ya soko pasipo kuhusisha meza, kizimba au nafasi wazi; “chombo cha moto” maana yeke ni gari la abiria au gari la mizigo, na inajumuisha na lori, basi, bajaji na pikipiki; jengo “gulio” maana yake ni eneo maalumu au sehemu yoyote ya wazi iliyotengwa na Halmashauri au serikali ya kijiji kwa ajili ya shughuli za kuuza au kununua mazao ya nafaka, misitu, uvuvi au mifugo au bidhaa za viwandani kwa siku maalumu; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa; 1 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko, Magulio Na Minada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.488 (Linaendelea.) “mfanyabiashara” maana yake ni mtu binafsi, taasisi, kampuni au kikundi cha watu wanaojishuhulisha na shughuli za kuuza na kununua bidhaa au mazao kwa lengo la kupata faida; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa pamoja na afisa yeyote ya atakayeteuliwa Mkurugenzi; majukumu kutekeleza “mnada” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa na kumilikiwa na Halmashauri au serikali ya kijiji kwa ajili ya wafanyabiashara kununua au kuuza mazao au mifugo au bidhaa za viwandani; “mnunuzi” maana yake ni mtu au kikundi cha watu, kampuni au shirika lolote linalonunua bidhaa au mazao au mifugo katika eneo la mamlaka ya Halmashauri; “muuzaji” maana yake ni mtu yeyote anayeuza bidhaa au mazao au mifugo katika eneo lililoidhinishwa na Halmashauri; “soko” maana yake ni eneo lililoidhinishwa na Halmashauri kwa ajili ya kutolea huduma na biashara za mazao na bidhaa mbalimbali; “Wakala” maana yake ni mtu binafsi au kikundi cha watu, kampuni au limeteuliwa na Halmashauri kufanya kazi yoyote chini ya Sheria Ndogo hii kwa niaba ya Halmashauri; - 4 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Halmashauri ina wajibu wa kusimamia na kuendesha masoko, magulio na minada, ikiwemo usafi, usalama, huduma za kijamii, upangaji wa nafasi, kutenga maeneo, na kusajili wafanyabiashara wote.
4. Halmashauri itakuwa na wajibu wa- shirika ambalo (a) kuanzisha, kusimamia na kuendesha masoko kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) kuendeleza masoko, magulio na minada; (c) kusimamia usafi na usalama wa masoko, magulio na minada; (d) kusimamia ufikishaji wa huduma za kijamii katika masoko, magulio na minada; (e) kugawa na kupangisha soko kwa vyumba, meza au vizimba; (f) kutenga maeneo kwa ajili ya magulio na minada; na (g) kusajili wafanyabiashara wote katika masoko 2 Wajibu wa Halmashauri Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko, Magulio Na Minada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.488 (Linaendelea.) yote ya Halmashauri. Wajibu wa Afisa Mwidhiniwa - 5 Verify source ↗
(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: The responsible officer must maintain security in the market, fair, or auction area and may enter those areas to inspect compliance with the by-law.
5. -(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na wajibu wa kuhakikisha usalama unadumishwa kwenye eneo la gulio, soko au mnada kwa kuweka utaratibu mzuri wa ulinzi wa askari mgambo. (2) Afisa Mwidhiniwa ataingia kwenye maeneo ya gulio, soko au mnada kwa madhumuni ya kufanya ukaguzi na kuhakikisha kuwa Sheria Ndogo hii inazingatiwa. Wajibu wa kulipa ada au ushuru - 6 Verify source ↗
Mtu anayeingia katika gulio, soko au mnada kwa
AI-assisted research summary: A person entering a market, fair, or auction to trade, or bringing a motor vehicle there, must pay the fee or tax set out in the First Schedule.
6. Mtu anayeingia katika gulio, soko au mnada kwa lengo la kufanya biashara au anayeingiza chombo cha moto katika gulio, soko au mnada atalipa ada au ushuru kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. Muda wa kufanya biashara - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Markets, auctions, and market places must open at 12:00 a.m. and close at 12:30 p.m.; no one may trade there outside those hours.
7. -(1) Magulio, masoko na minada yote yatafunguliwa saa kumi na mbili asubuhi na kufungwa saa kumi na mbili na nusu jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), mtu hataruhusiwa kufanya biashara katika gulio, soko au mnada kabla ya muda wa kufungua au baada ya muda wa kufunga. Wajibu wa kufanya usafi gulioni, sokoni au mnadani - 8 Verify source ↗
Kila mfanyabiashara katika gulio, soko au mnada
AI-assisted research summary: Wafanyabiashara wa gulio, soko au mnada lazima waweke eneo lao la biashara katika usafi, wahifadhi taka kwa chombo kinachofaa, na wazitupe katika eneo lililotengwa na Halmashauri.
8. Kila mfanyabiashara katika gulio, soko au mnada atapaswa kuhakikisha kwamba- (a) anaweka eneo lake la biashara katika hali ya usafi wakati wote; (b) anahifadhi taka kwenye ndoo au chombo maalumu chenye mshikio na mfuniko; na taka kwenye eneo (c) anatupa lililotengwa na Halmashauri. Uteuzi wa Wakala - 9 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua mtu
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua Wakala ambaye atakusanya ushuru na kusaidia kusimamia gulio, soko au mnada.
9. Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua mtu binafsi, kikundi cha watu, taasisi, au kampuni iliyosajiliwa kuwa Wakala kwa madhumuni ya Sheria Ndogo hii, ambaye atakuwa na jukumu la- (a) kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri; (b) kutoa maelekezo na maagizo juu ya usafi, 3 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko, Magulio Na Minada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.488 (Linaendelea.) hifadhi ya mazingira na namna bora ya kuendesha shughuli za gulio, soko au mnada kulingana na maagizo au maelekezo ya Halmashauri; (c) kuendesha na kudhibiti gulio, soko au mnada kulingana na Sheria Ndogo hii pamoja na maagizo atakayopewa na Halmashauri. Makosa - 10 Verify source ↗
Mtu anatenda kosa ikiwa
AI-assisted research summary: Mtu anatenda kosa akihamasisha wengine wasilipe ushuru, akikataa au kukwepa kulipa ushuru, akizuia Afisa Mwidhiniwa, au akifanya biashara nje ya masharti ya soko/gulio/mnada au kinyume na usafi na muda wa kufungua/kufunga.
10. Mtu anatenda kosa ikiwa- (a) anamshawishi mtu au kikundi cha watu wasilipe ushuru; (b) anakataa au kukwepa kulipa ushuru; (c) anamzuia Afisa Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake; au Wakala (d) anauza au kununua bidhaa nje ya eneo la gulio, soko au mnada; (e) anauza au kununua bidhaa kabla ya muda wa kufungua au baada ya muda wa kufunga; (f) anashindwa kuzingatia kanuni za usafi; (g) anafanya biashara nyingine zaidi ya ile iliyoruhusiwa; (h) anakataa au kukwepa kulipa ushuru; au (i) anamzuia Afisa Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake. au Wakala Adhabu Kufifilisha kosa - 11 Verify source ↗
Mtu atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote chini ya
AI-assisted research summary: A person convicted of any offence under this bylaw must pay a fine, be imprisoned, or both.
11. Mtu atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. - 12 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji shilingi 200,000 ikiwa anakiri kosa, yuko tayari kujaza fomu maalumu ya Jedwali la Pili, na kulipa ada au ushuru anaodaiwa.
12. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kinyume cha Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. 4 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko, Magulio Na Minada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.488 (Linaendelea.) Kufutwa T.S Na.175 la 2013 - 13 Verify source ↗
Sheria Ndogo za (Ushuru wa Magulio, Masoko
AI-assisted research summary: This provision repeals the 2013 Kondoa District Council by-laws on market, livestock market, and auction fees.
13. Sheria Ndogo za (Ushuru wa Magulio, Masoko na Minada) za Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa za Mwaka, 2013 zinafutwa. _________ JEDWALI LA KWANZA _________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 6) SEHEMU YA KWANZA VIWANGO VYA ADA YA KUUZA MIFUGO NA.
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Fees are set for each type of livestock sold, with different Tshs amounts for cattle, pigs, donkeys, goats, sheep, and other livestock.
6. AINA YA MIFUGO Ng’ombe Nguruwe Punda Mbuzi Kondoo Kuku/ bata/kwale/kanga na jamii yote ya ndege KIWANGO CHA ADA Tshs. 3,000/= kwa kila Ng’ombe aliyeuzwa Tshs. 2,500/= kwa kila Nguruwe aliyeuzwa Tshs. 3,000/= kwa kila Punda aliyeuzwa Tshs. 2,000/=kwa kila Mbuzi aliyeuzwa Tshs. 2,000/= kwa kila Kondoo aliyeuzwa Tshs. 200/= kwa kila Mfugo uliouzwa SEHEMU YA PILI ADA YA MACHINJIO NA UKAGUZI WA NYAMA NA
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Jedwali linaweka viwango vya ushuru kwa mifugo na kwa kuingiza chombo cha moto katika gulio, soko au mnada, kulingana na aina au uzito wa tani.
4. AINA YA MNYAMA/MFUGO Ng’ombe Mbuzi/Kondoo Nguruwe Kuku KIWANGO CHA USHURU 2,500/= 1,500/= 1,500/= 500/= SEHEMU YA TATU USHURU WA KUINGIZA CHOMBO CHA MOTO KATIKA ENEO LA GULIO, SOKO AU MNADA NA 1 2 3 CHOMBO CHA MOTO KIASI CHA USHURU KWA SIKU Tani 0-3 Zaidi ya tani 3-10 Zaidi ya tani 10 Tshs. 1,000/= Tshs. 3,000/= Tshs. 5,000/= ________ 5 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko, Magulio Na Minada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.488 (Linaendelea.) JEDWALI LA PILI _______ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 12) HATI YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri kwa hiari yangu mwenyewe mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Kondoa, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …........… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …............… ya Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko, Magulio na Minada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, niko tayari kulipa kiasi cha ada au ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU : Jina:……………………………………..……………………..... Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………… 6 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko, Magulio Na Minada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.488 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa imegongwa kwenye Sheria Ndogo hii kufuatia Azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa uliofanyika tarehe 28/4/2022 na kushuhudiwa Lakiri hiyo ikigongwa mbele ya:- SHABANI KAPALA MILLAO, Mkurugenzi Mtendaji (w), Halmashauri ya Wilaya Kondoa ABDALLAH SALUM MAGUO, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya Kondoa L.S NAKUBALI, Dodoma, 25 Machi, 2024 MOHAMED OMARY MCHENGERWA, Waziri wa Nchi-OR-Tamisemi 7
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko, Magulio na Minada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in