Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024
This section states the short title of the bylaw.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the short title of the bylaw. This provision says the by-law applies throughout the Kondoa District Council area. This section defines key terms used in the bylaw, including fees, permits, the council, authorised officers, construction minerals, attendants, the director, levy, and agents. Halmashauri inaweza kutoza ada au ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake kwa viwango vilivyo kwenye Jedwali la Kwanza, na malipo hufanywa kabla au wakati wa kupokea huduma. A person who is liable to pay a fee or tax under this subsidiary legislation must pay it at the rates set out in the legislation.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024
Showing 23 of 23
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section states the short title of the bylaw.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This provision says the by-law applies throughout the Kondoa District Council area.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the bylaw, including fees, permits, the council, authorised officers, construction minerals, attendants, the director, levy, and agents.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri leseni mbalimbali kwa ajili ya vibali au zinazotolewa na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya lengo Kondoa; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa au madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “mhudumu” maana yake ni mtu yeyote anayehudumia wateja katika eneo la biashara; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.489 (Linaendelea.) Utozaji wa ada na ushuru “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “wakala” maana yake ni mtu binafsi, kampuni, kikundi cha watu au shirika lililoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutoza ada au ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake kwa viwango vilivyo kwenye Jedwali la Kwanza, na malipo hufanywa kabla au wakati wa kupokea huduma.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: A person who is liable to pay a fee or tax under this subsidiary legislation must pay it at the rates set out in the legislation.
5. Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Ushuru wa madini ya ujenzi - 6 Verify source ↗
Mtu hataruhusiwa kuchimba madini ya ujenzi
AI-assisted research summary: Mtu haruhusiwi kuchimba madini ya ujenzi katika maeneo yasiyoruhusiwa, isipokuwa akipata kibali, kutoa taarifa kwa mamlaka ya kijiji husika, au kama hana deni analostahili kulipa Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii.
6. Mtu hataruhusiwa kuchimba madini ya ujenzi katika maeneo ambayo hayaruhusiwi machimbo ya madini ya ujenzi isipokuwa kama mtu huyo- (a) amepata kibali cha kufanya hivyo, ambacho kitatolewa na Halmashauri baada ya kulipa ada kama ilivyoainishwa katika Sehemu A ya Jedwali la Kwanza; (b) ametoa taarifa ya kuchimba madini ya ujenzi katika Mamlaka ya Kijiji husika; au (c) hadaiwi fedha yoyote ambayo inastahili kulipwa kwa Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.489 (Linaendelea.) Ada za kukodi mali za Halmashauri
Part
Jedwali la Kwanza;
- 7 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kukodisha mali zake
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukodisha mali zake, ikiwemo ukumbi, majengo na samani mbalimbali.
7. Halmashauri inaweza kukodisha mali zake ikiwemo ukumbi, majengo pamoja na samani mbalimbali kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sehemu B. Ada ya ukaguzi wa afya Ada ya vibali vya ujenzi Muda na namna ya kulipa ada na ushuru - 8 Verify source ↗
(1) Mtu hataendesha biashara au kutoa huduma
AI-assisted research summary: A person may not run certain guesthouse, hotel, restaurant, butcher, club, or bar businesses unless employees have been health-checked.
8.-(1) Mtu hataendesha biashara au kutoa huduma ya nyumba ya kulala wageni, hoteli, mgahawa, bucha la kuuza nyama, kilabu cha pombe au baa, bila ya wahudumu wake kupimwa afya. (2) Huduma za kupimwa afya zitatolewa na Halmashauri kupitia maafisa wake wa afya na kila mhudumu atapaswa kupimwa kila baada ya kipindi cha miezi sita. (3) Ada itakayotozwa kwa kila mhudumu kupimwa itakuwa katika kiwango kilichoainishwa katika afya Sehemu C ya Jedwali la Kwanza.
Part
Sehemu C ya Jedwali la Kwanza.
- 9 Verify source ↗
(1) Mtu hataruhusiwa kujenga, kukarabati au
AI-assisted research summary: A person may not build, repair, or develop a plot in a surveyed or town-planning area without a building permit from the Halmashauri.
9.-(1) Mtu hataruhusiwa kujenga, kukarabati au kuendeleza kwa namna yoyote kiwanja katika eneo lililopimwa au lililotangazwa kuwa eneo la mipangomiji bila kupata kibali cha ujenzi kilichotolewa na Halmashauri. (2) Maombi ya kibali cha ujenzi yataambatana na michoro au ramani ya jengo iliyoidhinishwa na kwa mujibu wa taratibu ambazo zitaelekezwa na Afisa Mwidhiniwa. (3) Ada ya kibali cha ujenzi itatozwa kwa kuzingatia utaratibu na viwango vilivyoainishwa katika Sehemu D ya Jedwali la Kwanza.
Part
Jedwali la Kwanza.
- 10 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Ada au ushuru hukusanywa kati ya saa 12 asubuhi na saa 12 jioni, isipokuwa Halmashauri au wakala akiwa na kibali maalumu cha Mkurugenzi anaweza kukusanya nje ya muda huo.
10.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri au wakala, kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda ulioainishwa katika kanuni ndogo ya (1). (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.489 (Linaendelea.) (4) Malipo kwa Afisa Mwidhiniwa, benki au wakala aliyeteuliwa na Halmashauri kwa ajili hiyo. yatafanywa yote Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa Uteuzi wa Wakala Ukusanyaji wa madeni (5) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatatolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. - 11 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti mengine ya Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa madhumuni ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii.
11. Bila kuathiri masharti mengine ya Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia muda wa saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. - 12 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kumteua mtu, kikundi
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kumteua mtu, kikundi cha watu, kampuni au taasisi kukusanya ada na ushuru kwa niaba yake.
12.-(1) Halmashauri inaweza kumteua mtu, kikundi cha watu, kampuni au taasisi kukusanya ada na ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa chini ya kanuni ndogo ya (1) atawajibika kukusanya ada na ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (3) Wakala aliyeteuliwa atawajibika kuzingatia masharti na maelekezo katika Sheria Ndogo hii pamoja na sheria nyingine yoyote husika. - 13 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuchukua hatua za kisheria kukusanya ada au ushuru usiolipwa, ikiwemo kukamata au kushikilia mali na kuuza kwa idhini ya Mahakama baada ya siku 30, huku Mkurugenzi akitoa taarifa ya siku 7 kabla ya mauzo.
13.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya Mahakama. 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.489 (Linaendelea.) (4) Endapo mali zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama. zilizokamatwa (5) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (3) na (4), kabla ya Halmashauri kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma kuhusu kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri au Wakala. - 14 Verify source ↗
Mtu anatenda kosa ikiwa
AI-assisted research summary: Mtu anatenda kosa akikaa kukataa kutii agizo la Afisa Mwidhiniwa, kukataa kulipa ada au ushuru unaopaswa kulipwa, kushawishi wengine wasilipe ushuru, au kumzuia Afisa Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake.
14. Mtu anatenda kosa ikiwa- (a) anakataa au anashindwa kutii agizo lolote atakalopewa na Afisa Mwidhiniwa; (b) anakataa au anajaribu kukataa kulipa ada na ushuru anaopaswa kulipa; (c) anamshawishi mtu yeyote, taasisi au kundi la watu kutolipa ushuru; au (d) anamzuia Afisa Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake. - 15 Verify source ↗
Mtu atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote chini
AI-assisted research summary: Mtu anayehukumiwa kwa kosa lolote chini ya Sheria Ndogo hii anaweza kulipa faini, kufungwa, au vyote viwili.
15. Mtu atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. - 16 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu aliyekosa shilingi 200,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa, anakubali kujaza fomu maalumu ya Jedwali la Pili, na kulipa ada au ushuru anaodaiwa.
16. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kinyume cha Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Makosa Adhabu. Kufifilisha kosa Kufutwa - 17 Verify source ↗
Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) ya
AI-assisted research summary: Sheria ndogo zilizotajwa hapa zinafutwa.
17. Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa za Mwaka, 2013 na 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.489 (Linaendelea.) TS Na.178 la 2013 na 174 la 2013 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru wa Huduma za Ardhi) ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa za Mwaka, 2013 zinafutwa. 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.489 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA KWANZA _________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4) SEHEMU A USHURU WA MADINI YA UJENZI Na. AINA YA MADINI YA UJENZI Mchanga
Part
SEHEMU A
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section lists vehicle charges for different weight categories, with amounts shown per trip.
4. Udongo 5 Kokoto UZITO WA GARI KIASI CHA USHURU Chini ya Tani 7 Tani 7 hadi 10 Zaidi ya Tani 10 hadi15 Zaidi ya Tani 15 hadi 20 Zaidi ya Tani 20 Chini ya Tani 7 Tani 7 hadi 10 Zaidi ya Tani 10 hadi 15 Zaidi ya Tani 15 hadi 20 Zaidi ya Tani 20 Chini ya Tani 7 Tani 7 hadi 10 Zaidi ya Tani 10 hadi 15 Zaidi ya Tani 15 hadi 20 Zaidi ya Tani 20 Chini ya Tani 7 Tani 7 hadi 10 Zaidi ya Tani 10 hadi 15 Zaidi ya Tani 15 hadi 20 Zaidi ya Tani 20 Kwa kila mita ya ujazo (meter cubic) Tshs. 3,000/= kwa tripu Tshs. 4,000/= kwa tripu Tshs. 5,000/= kwa tripu Tshs.10,000/= kwa tripu Tshs.20,000/= kwa tripu Tshs. 4,000/= kwa tripu Tshs. 5,000/= kwa tripu Tshs. 6,000/= kwa tripu Tshs. 15,000/= kwa tripu Tshs. 25,000/= kwa tripu Tshs. 2,000/= kwa tripu Tshs. 3,000/= kwa tripu Tshs. 4,000/= kwa tripu Tshs. 6,000/= kwa tripu Tshs. 10,000/= kwa tripu Tshs. 1,000/= kwa tripu Tshs. 2,000/= kwa tripu Tshs. 3,000/= kwa tripu Tshs. 5,000/= kwa tripu Tshs. 10,000/= kwa tripu Tshs. 5,000/= SEHEMU B ADA YA KUKODI MALI ZA HALMASHAURI NA MATUMIZI
Part
SEHEMU B
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The provision refers to rent tax for council buildings used for offices.
2. Kukodi Ukumbi wa Halmashauri Kodi ya Pango katika majengo ya Halmashauri kwa ajili ya Ofisi - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section lists several charge amounts in Tanzanian shillings, including daily and monthly rates.
4. Kukodi viti Kukodi Meza KIWANGO CHA USHURU) Tshs. 200,000/= kwa siku Tshs. 4,000/= kwa kila Mita Moja ya Mraba kwa Mwezi Tshs. 300/= kwa siku Tshs. 500/= kwa siku SEHEMU C ADA YA UPIMAJI WA AFYA NA. AINA YA SHUGHULI
Part
SEHEMU C
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Wahudumu wa nyumba za kulala wageni, hoteli, migahawa, na wauzaji wa bucha za nyama wanatozwa ushuru wa Tshs. 5,000 kwa kila mmoja kila baada ya miezi sita.
1. Kupimwa Afya kwa Wahudumu wa Nyumba za Kulala Wageni, Hoteli, Migahawa, wauzaji wa Bucha za Nyama KIWANGO CHA USHURU Tshs.5,000/=kwa kila mmoja kila baada ya Miezi Sita 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.489 (Linaendelea.) - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section lists fees and charges for health coverage for bar and club workers and for different types of buildings and construction-related permits.
2. Kupimwa Afya kwa Wahudumu wa Baa na Vilabu vya Pombe Tshs.5,000/= kwa kila mmoja kila baada ya Miezi Sita SEHEMU D ADA YA VIBALI VYA UJENZI NA. AINA YA UJENZI KIASI CHA ADA NA USHURU Tshs.500,000/= Mnara wa Mawasiliano Tshs.250,000/= Kituo cha Mafuta Tshs.100,000/= Majengo ya Biashara (Masoko, Hoteli, Baa) Tshs.100,000/= Jengo la Ghorofa 1-2 Jengo la Ghorofa 3 na kuendelea Tshs.200,000/= Majengo ya Huduma (Shule, Zahanati, Kituo cha Afya) Tshs.80,000/= Majengo ya kutolea huduma za Dini (Msikiti au Kanisa) Tshs.20,000/= Tshs.50,000/= Nyumba za makazi na biashara Tshs.40,000/= Nyumba za makazi Tshs.2,000/= Ada ya Uzio wa muda (@M2) Tshs.50,000/= Maghala ya kuhifadhia (godauni)
Part
SEHEMU D
- 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: This section provides a form for a person to admit committing an offence and to agree to pay the fee or tax owed plus a fine instead of being taken to court.
11. 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.489 (Linaendelea.) ____________ JEDWALI LA PILI ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 16) HATI YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri kwa hiari yangu mwenyewe mbele ya ………………………………………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Kondoa, kwamba mnamo tarehe ….......… ya mwezi …....…. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …................… ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe……..............……. ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU : Jina:……………………………………..……………………..... Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe……………………………………………………………. 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.489 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa imegongwa kwenye Sheria Ndogo hii kufuatia Azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa uliofanyika tarehe 28/4/2022 na kushuhudiwa Lakiri hiyo ikigongwa mbele ya:- SHABANI KAPALA MILLAO, Mkurugenzi Mtendaji (w), Halmashauri ya Wilaya Kondoa ABDALLAH SALUM MAGUO, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya Kondoa L.S /NAKUBALI, Dodoma, 25 Machi, 2024 MOHAMED OMARY MCHENGERWA, Waziri wa Nchi-OR-Tamisemi 10
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in