Sheria Ndogo ya Kuzuia na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024
Kifungu hiki kinaipa sheria ndogo jina lake rasmi.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Kuzuia na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Kifungu hiki kinaipa sheria ndogo jina lake rasmi. This provision says the bylaw applies throughout the whole area of the Kondoa District Council authority. Sehemu hii inaeleza maana ya maneno na istilahi mbalimbali zinazotumika kwenye Sheria Ndogo hii. Halmashauri ina mamlaka ya kuratibu na kusimamia shughuli za kilimo, na kufanya ukaguzi katika maeneo na vyombo vilivyoelezwa, ili kuzuia na kudhibiti sumukuvu na kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. Mtu anayepanga kulima ndani ya eneo la Halmashauri lazima azingatie njia sahihi za kuandaa shamba, alitayarishe kwa wakati, na asichome moto.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Kuzuia na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024
Showing 19 of 19
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaipa sheria ndogo jina lake rasmi.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Kuzuia na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This provision says the bylaw applies throughout the whole area of the Kondoa District Council authority.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa kama
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza maana ya maneno na istilahi mbalimbali zinazotumika kwenye Sheria Ndogo hii.
3. Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa na Mkurugenzi Halmashauri aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa; “kanuni bora za kilimo” maana yake ni uandaaji wa shamba kwa usahihi, upandaji mbegu bora kwa wakati na kwa nafasi sahihi, upaliliaji, utumiaji mbolea kwa usahihi, udhibiti wa wadudu na wanyama waharibifu, uvunaji na hifadhi sahihi ya mazao; “kilimo” maana yake ni shughuli ya uzalishaji wa mazao; “mkulima” maana yake ni mtu, taasisi, kampuni au kikundi cha watu anayejihusisha na shughuli za kilimo; “mfanyabiashara” maana yake ni taasisi, kampuni, 1 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.491 (Linaendelea.) kikundi cha watu au mtu binafsi anayejihusisha na shughuli za kuuza au kununua mazao ya kilimo; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mazao” maana yake ni punje zinazotokana na mmea wa mhindi, mpunga, uwele, mtama, karanga, ngano, ufuta, alizeti, shayiri, ulezi au mazao ya mizizi; “kuvu” maana yake ni ukungu unaoota katika mazao; “sumukuvu” maana yake ni sumu inayozalishwa na kuvu zinazoota katika mazao; “uhifadhi” maana yake ni utaratibu wa kutunza mazao katika sehemu ambayo haisababishi mazingira ya uotaji wa kuvu; “ukaushaji” maana yake ni taratibu sahihi za kupunguza unyevu katika mazao kwa ajili ya matumizi au uhifadhi; “usindikaji” maana yake ni hatua ya uchakataji wa zao kwa lengo la kuongeza thamani; “uvunaji” maana yake ni uondoaji wa mazao kutoka kwenye mmea baada ya kukomaa au kukauka; “viashiria vya sumukuvu” maana yake ni dalili zinazoonesha uwepo wa sumukuvu katika mazao ambayo hayajakauka vizuri; na “viuatilifu” maana yake ni sumu ya kuua au kuzuia wadudu waharibifu wa mazao. Uratibu na usimamizi wa shughuli za kilimo na udhibiti wa sumukuvu - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya
AI-assisted research summary: Halmashauri ina mamlaka ya kuratibu na kusimamia shughuli za kilimo, na kufanya ukaguzi katika maeneo na vyombo vilivyoelezwa, ili kuzuia na kudhibiti sumukuvu na kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii.
4.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuratibu na kusimamia shughuli za kilimo ndani ya eneo la Halmashauri kwa lengo la kuzuia na kudhibiti sumukuvu. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kufanya ukaguzi katika mashamba au vyombo vya usafirishaji wa mazao, maghala, viwanda au eneo la usindikaji kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. 2 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.491 (Linaendelea.) Uandaaji wa shamba Upandaji wa mazao. - 5 Verify source ↗
Mtu anayekusudia kulima ndani ya eneo la
AI-assisted research summary: Mtu anayepanga kulima ndani ya eneo la Halmashauri lazima azingatie njia sahihi za kuandaa shamba, alitayarishe kwa wakati, na asichome moto.
5. Mtu anayekusudia kulima ndani ya eneo la Halmashauri atapaswa kuzingatia masuala yafuatayo: (a) kufuata njia sahihi za uandaaji wa shamba; (b) kutayarisha shamba kwa wakati; na (c) kutochoma moto. - 6 Verify source ↗
Mtu anayepanda mazao ndani ya eneo la
AI-assisted research summary: Mtu anayepanda mazao ndani ya eneo la Halmashauri lazima azingatie njia sahihi za upandaji, ikiwemo kutumia mbegu bora, kupanda mvua za kupandia zinapoanza, na kupanda kwa nafasi sahihi.
6. Mtu anayepanda mazao ndani ya eneo la Halmashauri anapaswa kuzingatia njia sahihi za upandaji ikiwa ni pamoja na- (a) kutumia mbegu bora; (b) kupanda mara mvua za kupandia zinapoanza kunyesha; na (c) kupanda kwa nafasi sahihi. Utunzaji wa mazao shambani - 7 Verify source ↗
Mtu anayepanda mazao ndani ya eneo la
AI-assisted research summary: Mtu anayepanda mazao ndani ya eneo la Halmashauri lazima ayatunze kwa kutumia njia sahihi za utunzaji wa mazao.
7. Mtu anayepanda mazao ndani ya eneo la Halmashauri anapaswa kuyatunza kwa kuzingatia njia sahihi za utunzaji wa mazao ikiwa ni pamoja na- (a) kutumia mbolea; (b) kupalilia kwa wakati; na (c) kudhibiti magonjwa, wadudu na wanyama waharibifu. Uvunaji wa mazao - 8 Verify source ↗
Mtu anayevuna mazao anapaswa kuvuna kwa
AI-assisted research summary: Mtu anayevuna mazao lazima avune kwa kufuata kanuni bora za uvunaji, ikiwemo kuvuna baada ya mazao kukomaa au kukauka, kuyasafirisha na kuyahifadhi vizuri, na kusafisha shamba baada ya kuvuna.
8. Mtu anayevuna mazao anapaswa kuvuna kwa kuzingatia kanuni bora za uvunaji ikiwa ni pamoja na- (a) kuvuna mara baada ya mazao kukomaa au kukauka; (b) kusafirisha na kuhifadhi mazao vizuri; na (c) kusafisha shamba baada ya kuvuna. Ukaushaji wa mazao - 9 Verify source ↗
Mtu
AI-assisted research summary: Mtu anayevuna mazao anapaswa kuyakausha mara tu baada ya kuvuna kwa njia sahihi.
9. Mtu anapaswa kuyakausha kwa kutumia njia sahihi mara tu baada ya kuvuna ikiwa ni pamoja na- atakayevuna mazao (a) njia za asili zisizoruhusu kuvu kuota; (b) kutumia maturubai, mikeka na vichanja vinavyozuia uchafuzi wa mazao; na (c) kukausha kwa njia nyingine yoyote sahihi itakayoelekezwa na mtaalamu. Uhifadhi wa - 10 Verify source ↗
(1) Mtu atapaswa kuhifadhi mazao kwa
AI-assisted research summary: A person must store crops using proper traditional or modern methods that prevent fungal growth.
10.-(1) Mtu atapaswa kuhifadhi mazao kwa 3 Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed ... [1] Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.491 (Linaendelea.) mazao kutumia njia sahihi za kiasili au za kisasa ambazo zitazuia kuota kwa kuvu. (2) Njia sahihi zitakazotumika kuhifadhi mazao ni pamoja na- (a) mifuko isiyopitisha hewa; (b) magunia ya kawaida kwa ajili ya mazao yaliyowekwa viuatilifu; (c) kihenge na kichanja bora cha asili; (d) silo au pipa maalumu; (e) ghala bora lililo safi; (f) kutumia viuatilifu kwenye mazao kwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu; au (g) njia nyingine kadri itakavyoshauriwa na wataalamu. Wajibu wa Halmashauri - 11 Verify source ↗
(1) Katika utekelezaji wa Sheria Ndogo hii
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itekeleze na kusaidia hatua kadhaa za usimamizi wa mazao, ikiwemo elimu, uhifadhi salama, kumbukumbu, mafunzo, na vituo vya mauzo; inaweza pia kumteua Afisa Mwidhiniwa kusimamia utekelezaji.
11.-(1) Katika utekelezaji wa Sheria Ndogo hii Halmashauri itakuwa na wajibu wa- (a) kuhamasisha na kutoa elimu ya uzalishaji na usimamizi wa mazao; (b) kuhamasisha uhifadhi wa mazao katika eneo au mahala salama ili kuepuka uchafuzi wa sumukuvu; (c) kuweka mazingira wezeshi ya upatikanaji wa pembejeo za kilimo; (d) kutunza kumbukumbu za mashamba yote ya mazao ya kilimo katika Kata na Vijiji ili kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; (e) kuanzisha na kuendeleza mashamba darasa na vituo maalumu kwa ajili ya kutolea mafunzo ya udhibiti wa sumukuvu; (f) kuanzisha na kuhamasisha wakulima na za sehemu wadau wengine kujenga kuhifadhia mazao; (g) kuandaa uwepo wa vituo maalumu vya kuuza na kununua mazao. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kumteua Afisa Mwidhiniwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. Wajibu wa - 12 Verify source ↗
Mkulima atakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Mkulima lazima afanye kilimo kwa kanuni bora, aripoti dalili za kuvu kwa Halmashauri, na ahudhurie mafunzo ya kudhibiti sumukuvu yanayoandaliwa na Halmashauri.
12. Mkulima atakuwa na wajibu wa- 4 Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.491 (Linaendelea.) mkulima (a) kufanya shughuli za kilimo kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo na usimamizi wa mazao kabla na baada ya kuvuna; (b) kutoa taarifa kwa Halmashauri kuhusu uwepo wa dalili za kuvu katika mazao; na (c) kushiriki mafunzo yaliyoandaliwa na Halmashauri ya kudhibiti sumukuvu na kutekeleza kwenye mafunzo hayo. uliopatikana ujuzi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Wajibu wa msafirishaji - 13 Verify source ↗
Mtu anayesafirisha mazao anapaswa
AI-assisted research summary: Mtu anayesafirisha mazao lazima ahakikishe vifungashio na vifaa vya kusafirishia mazao ni vikavu au vinazuia maji, unyevu na vumbi kuingia ndani.
13. Mtu anayesafirisha mazao anapaswa kuhakikisha vifungashio na vifaa anavyotumia kusafirisha mazao ni vikavu au visivyoruhusu maji au unyevu na vumbi kuingia ndani ili kuepusha kuvu kuota kwenye mazao. Wajibu wa mfanyabiashar a kuhakikisha - 14 Verify source ↗
Kila mfanyabiashara wa mazao atakuwa na
AI-assisted research summary: Mfanyabiashara wa mazao lazima ahifadhi, asafirishe au auze tu mazao yasiyo na viashiria vya sumukuvu kama ilivyo kwenye Jedwali la Kwanza.
14. Kila mfanyabiashara wa mazao atakuwa na wajibu wa anahifadhi, anasafirisha au kuuza mazao ambayo hayana viashiria vya uwepo wa sumukuvu kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. ananunua, Wajibu wa msindikaji
Part
Jedwali la Kwanza.
- 15 Verify source ↗
Kila msindikaji atakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Every processor must process produce that does not show signs of aflatoxin, as specified in the First Schedule.
15. Kila msindikaji atakuwa na wajibu wa kusindika mazao ambayo hayana viashiria vya uwepo wa sumukuvu kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. Makosa na adhabu - 16 Verify source ↗
Mtu ambaye
AI-assisted research summary: Mtu anayefanya vitendo vilivyoorodheshwa kuhusu mazao na sumukuvu anatenda kosa na anaweza kupewa faini, kifungo, au vyote.
16. Mtu ambaye- (a) hataandaa, kupanda, kutunza shamba na mazao kwa usahihi; (b) hatavuna kwa wakati mara baada ya mazao kukomaa; (c) anachelewa kuondoa mazao shambani baada ya kuvuna; (d) anaanika kwenye udongo, vumbi au mchanga; (e) anakausha mazao katika mazingira yanayoweza kusababisha sumukuvu; 5 Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.491 (Linaendelea.) (f) anatumia viuatilifu vilivyozuiliwa kutumika yenye viashiria vya kwenye mazao; (g) anauza mazao sumukuvu; (h) anasafirisha njia mazao zitakazosababisha mazingira ya kuvu kuota; (i) anatumia mazao yenye viashiria vya kwa sumukuvu wakati wa usindikaji; au (j) anatenda jambo Sheria Ndogo hii, lolote lililokatazwa na anatenda kosa na akitiwa hatihani atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi elfu hamsini na isiyozidi shilingi laki tatu au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili jela au vyote. Kufifilisha kosa - 17 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote aliyekiuka Sheria Ndogo hii faini ya shilingi 50,000, ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari na kujaza fomu maalumu ya Jedwali la Pili.
17. Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kinyume cha Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi elfu hamsini iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa fomu maalumu tayari kujaza iliyoainishwa katika Jedwali la Pili. 6 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.491 (Linaendelea.) JEDWALI LA KWANZA (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 14 na 15) VIASHIRIA VYA SUMUKUVU Namba AINA YA MAZAO
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: 1. Mahindi HALI YA UNYEVU AU KUVU Punje kuwa na unyevu
1. Mahindi HALI YA UNYEVU AU KUVU Punje kuwa na unyevu - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section describes grain with moisture, mold, discoloration, and a bad smell, and includes a form for admitting an offence under the by-law.
2. Karanga Punje kuwa na unyevu MWONEKANO WA PUNJE Punje kuwa na ukungu au kuvu - rangi kahawia au nyeusi au kijani au njano kuwa na harufu ya uvundo. Punje kuwa na ukungu au kuvu - rangi kahawia au nyeusi au kijani au njano kuwa na harufu ya uvundo. Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: 1, 2, 3, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 0 pi + Indent at: 1.5 pi Forma&ed: Numbered + Level: 1 + Numbering Style: 1, 2, 3, … + Start at: 1 + Alignment: Le: + Aligned at: 0 pi + Indent at: 1.5 pi 7 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.491 (Linaendelea.) JEDWALI LA PILI _______ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 17) _______ FOMU YA KUFIFILISHA KOSA Mimi.......................…………………………..............................……. Nakiri kwa hiari yangu mwenyewe mbele ya …………………………………….…ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kwamba mnamo tarehe…………ya Mwezi….......... Mwaka ……………. nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …............……. ya Sheria Ndogo ya Kuzuia na kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Niko tayari kulipa kiasi cha Shilingi…………… kwa ajili ya kufifilisha kosa nililotenda chini ya Sheria Ndogo ya Kuzuia na kudhibiti Sumukuvu ya Mwaka 2024. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe………..ya mwezi……………………mwaka………………….. Jina………………………………..…………….Saini………………………. MBELE YA: Jina……………………………………………….….. Wadhifa………………………..…………………….….. Saini…………………………………………………… Tarehe…………………………………………………. 8 Sheria Ndogo ya Kuzuia Na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Tangazo la Serikali Na.491 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa imegongwa kwenye Sheria Ndogo hii kufuatia Azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa uliofanyika tarehe 28/4/2022 na kushuhudiwa Lakiri hiyo ikigongwa mbele ya:- SHABAN KAPALA MILLAO, Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya wilaya, Kondoa ABDALLAH SALUM MAGUO, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya, Kondoa L.S NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB.), 25 Machi, 2024 Waziri wa Nchi -OR-Tamisemi, 9 Page 3: [1] Formatted Numbered + Level: 1 + Numbering Style: a, b, c, … + Start at: 1 + Alignment: Left + Aligned at: 3 pi + Indent at: 4.5 pi 11/06/2024 11:31:00 User
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Kuzuia na Kudhibiti Sumukuvu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in