Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
This section gives the short title of the by-law: the Lushoto District Council Parking and Transport Facilities Management By-law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the by-law: the Lushoto District Council Parking and Transport Facilities Management By-law, 2024. This by-law applies throughout the whole area of the Lushoto District Council. This section defines key terms used in the by-law. Halmashauri inatoza ushuru wa maegesho kwa vyombo vyote vya usafiri, lakini baadhi ya vyombo havitozwi. Certain bus stations, truck parking stations, and council-designated parking areas are treated as parking stations. The council may mark parking spaces with lines or signs, and missing markings does not cancel parking fee claims.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
Showing 30 of 30
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the by-law: the Lushoto District Council Parking and Transport Facilities Management By-law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This by-law applies throughout the whole area of the Lushoto District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirishia bidhaa, abiria au mizigo; lengo “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto; “karakana” maana yake ni eneo la Halmashauri lililotengwa kwa ajili ya shughuli za ufundi na kuhifadhi vyombo vya usafiri; “kituo” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa na Halmashauri kwa ajili ya maegesho au kwa ajili ya huduma za usafiri ambapo vyombo vya usafiri vitapakia au kushusha abiria au mizigo; 1 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho Na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.501 (Linaendelea.) “maegesho” maana yake ni sehemu maalumu iliyotengwa kwa ajili ya kuegesha vyombo vya usafiri; “maegesho maalumu” maana yake ni maeneo maalumu yaliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha magari chini ya uangalizi maalumu wa Halmashauri, na inajumuisha eneo la Nyerere square, taasisi yanayoombewa kibali; na maeneo pamoja ya “stendi” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “ushuru wa stendi” maana yake ni malipo ya fedha taslimu kwa Halmashauri yanayolipwa na mmiliki au mfanyakazi wake kutokana na chombo abiria kutumika kinapoingia stendi; kubeba chake Ushuru wa maegesho “vituo vya njiani” maana yake ni vituo vyote vilivyopo pembeni ya barabara vinavyotumika kupakia na kushusha abiria ambavyo siyo stendi; na “Wakala” maana yake ni mtu binafsi au kikundi cha watu, shirika, taasisi au kampuni ambayo imeteuliwa na Halmashauri kufanya kazi yoyote chini ya Sheria Ndogo hii kwa niaba ya Halmashauri.
Part
sehemu maalumu
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ushuru wa maegesho
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza ushuru wa maegesho kwa vyombo vyote vya usafiri, lakini baadhi ya vyombo havitozwi.
4.-(1) Halmashauri itatoza ushuru wa maegesho kwa vyombo vyote vya usafiri kwa mujibu wa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Mtu mwenye chombo cha usafiri kinachoingia katika eneo lolote la maegesho atatakiwa kulipa ushuru wa maegesho kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (3) Bila kujali masharti ya kanuni ndogo ya (1) na (2), vyombo vya usafiri vinavyomilikiwa na Serikali, wanadiplomasia, majeshi na magari ya kubeba wagonjwa 2 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho Na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.501 (Linaendelea.) Sehemu ya maegesho Uanzishaji wa vituo vya vyombo vya usafiri Utaratibu wa kutumia vituo vya vyombo vya usafiri havitatozwa ushuru wa maegesho.
Part
Sehemu ya
- 5 Verify source ↗
(1) Kituo Kikuu cha mabasi, kituo cha
AI-assisted research summary: Certain bus stations, truck parking stations, and council-designated parking areas are treated as parking stations. The council may mark parking spaces with lines or signs, and missing markings does not cancel parking fee claims.
5.-(1) Kituo Kikuu cha mabasi, kituo cha kuegesha magari ya mizigo na maeneo mengine yaliyotengwa na Halmashauri kama maeneo ya maegesho yatakuwa ni vituo vya maegesho. (2) Halmashauri inaweza kugawa maeneo ya maegesho kwa mistari au kwa kutumia alama yoyote itakayoonesha idadi na sehemu ambayo chombo cha usafiri kinatakiwa kuegeshwa. (3) Bila kujali masharti ya kanuni ndogo ya (2), kukosekana kwa mistari au alama za maegesho hakutabatilisha madai ya ada ya maegesho ya chombo cha usafiri kilichoegeshwa ndani ya maeneo hayo. - 6 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuanzisha
AI-assisted research summary: Halmashauri ina mamlaka ya kuanzisha vituo vya vyombo vya usafiri kwa huduma ndani ya Halmashauri na kwa safari zinazoingia au kutoka nje ya Halmashauri, kwa ajili ya kubeba abiria na mizigo.
6. Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuanzisha vituo vya vyombo vya usafiri vinavyotoa huduma zake ndani ya Halmashauri, vinavyotoka nje ya Halmashauri na vinavyoingia ndani ya Halmashauri kwa ajili ya kubeba abiria na mizigo. - 7 Verify source ↗
(1) Mtu anayeendesha chombo cha usafiri
AI-assisted research summary: Holders of vehicles, bus services, and station users must follow station-based operating rules, including where loading, journeys, stopping, maintenance, washing, and speech occur.
7.-(1) Mtu anayeendesha chombo cha usafiri hatapakia au kushusha abiria au mizigo nje ya kituo. (2) Safari zote za mabasi zitaanza na kumalizika kwenye vituo vya mabasi isipokuwa kwa mabasi yanayopita kutoka maeneo mengine ya nje ya Halmashauri. (3) Magari ya abiria hayataruhusiwa kusimama kwa zaidi ya dakika tano katika vituo vya njiani. (4) Mtu ambaye hatafanya matengenezo au kuosha chombo cha usafiri katika kituo isipokuwa kwa idhini ya Halmashauri. (5) Watumiaji wa Kituo hawataruhusiwa kuzungumza lugha yenye kuleta uchochezi na bughudha au inayohatarisha usalama na amani ndani ya kituo. lugha ya matusi, Utaratibu wa - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kutenga eneo la
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutenga eneo kuwa maegesho maalumu baada ya kupokea maombi; ikikataa ombi lazima iandikie mwombaji na kutoa sababu, na ikikubali baada ya ushuru kulipwa hutoa kibali cha kutumia eneo.
8.-(1) Halmashauri inaweza kutenga eneo la 3 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho Na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.501 (Linaendelea.) kutenga maegesho maalumu maegesho kuwa ni maegesho maalumu baada ya kupokea maombi kutoka kwa mtu yeyote anayetaka kutengewa eneo la kuegesha chombo cha usafiri. (2) Katika kushughulikia maombi chini ya kanuni hii, Halmashauri itazingatia yafuatayo: (a) athari kwa biashara au shughuli katika eneo husika endapo kibali hicho kitatolewa; (b) uwepo wa maegesho katika eneo hilo; (c) uwepo wa eneo mbadala la maegesho; (d) idadi ya maeneo au nafasi zinazoombwa kuhifadhiwa; (e) iwapo muda uliopendekezwa kwa ajili ya eneo hilo kuhifadhiwa unafaa. (3) Endapo maombi ya kutengewa eneo la kuegesha chombo cha usafiri yatakataliwa, Halmashauri itamtaarifu mwombaji kwa maandishi na kutoa sababu za kukataa maombi hayo. (4) Endapo maombi yatakubaliwa na mwombaji kulipa ushuru wa maegesho, Halmashauri itatoa kibali kwa ajili ya kumruhusu kutumia eneo lililotengwa bila kuingiliwa na mtu mwingine yeyote. (5) Fomu ya maombi na kibali cha maegesho itakuwa kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. - 9 Verify source ↗
(1) Mtu hataegesha chombo chochote cha
AI-assisted research summary: Mtu hapaswi kuegesha chombo cha usafiri eneo lisilotengwa au kwa njia isiyoruhusiwa.
9.-(1) Mtu hataegesha chombo chochote cha usafiri katika maeneo ambayo hayajatengwa kwa ajili ya maegesho au kuegesha kwa namna isiyoruhusiwa. (2) Halmashauri itazuia kwa kufunga vifaa maalumu kwenye chombo cha usafiri kilichoegeshwa vibaya au kilichoegeshwa katika eneo lisiloruhusiwa na kumtaka mmiliki au mtumiaji kulipa faini kwa mujibu wa viwango vilivyowekwa na Sheria Ndogo hii. (3) Chombo cha usafiri ambacho kitakuwa kimefungwa mnyororo au kifaa maalumu zaidi ya saa mbili bila ya kulipiwa, kitavutwa na kupelekwa kwenye karakana iliyoidhinishwa na Halmashauri kwa gharama za mwenye chombo cha usafiri, na Halmashauri haitahusika kwa namna yoyote na uharibifu utakaotokea wakati wa uvutwaji huo. 4 Maegesho yasiyo rasmi Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho Na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.501 (Linaendelea.) Chombo cha usafiri kilichoteleke zwa Maegesho kwa muda maalumu Usajili wa teksi, bajaji na pikipiki Uteuzi wa Wakala - 10 Verify source ↗
(1)
AI-assisted research summary: A vehicle left in a garage for 30 days without being redeemed is treated as abandoned, and the council must seek a court order before it can be sold by public auction.
10.-(1) Chombo ambacho kitahifadhiwa katika karakana kwa muda wa siku thelathini bila kukombolewa, kitahesabika kuwa ni chombo kilichotelekezwa. usafiri cha (2) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita, Halmashauri itawasilisha maombi mahakamani ili iweze kutamkwa kuwa chombo hicho kimetelekezwa na kutoa kibali chombo hicho kiuzwe kwa njia ya mnada wa hadhara. (3) Kabla ya kuuzwa kwa mali yoyote iliyokamatwa chini ya kanuni ndogo ya (2), Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma kuhusu kusudio la kuuza mali hizo. (4) Fedha itakazopatikana kutokana na mauzo ya chombo cha usafiri itatumika kulipia ushuru unaodaiwa na gharama za kukamata, na itakayobaki itarejeshwa kwa mmiliki au mwakilishi wake. fedha - 11 Verify source ↗
Magari makubwa ya mizigo yenye zaidi ya
AI-assisted research summary: Heavy cargo vehicles over five tons may not be parked in the district center unless a special permit is obtained and paid for.
11. Magari makubwa ya mizigo yenye zaidi ya tani tano hayataruhusiwa kuegeshwa katikati ya wilaya isipokuwa kwa kibali maalumu ambacho kitalipiwa shilingi elfu ishirini kwa siku. - 12 Verify source ↗
(1) Mmiliki wa teksi, bajaji au pikipiki
AI-assisted research summary: Wamiliki wa teksi, bajaji au pikipiki wanaofanya kazi ndani ya Halmashauri lazima wasajili chombo na walipe ada ya usajili, kisha wabandike stika ya usajili wanayopewa na Halmashauri pembeni mwa chombo.
12.-(1) Mmiliki wa teksi, bajaji au pikipiki inayofanya kazi ndani ya Halmashauri atapaswa kusajili na kulipia ada ya usajili ya chombo hicho cha usafiri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Halmashauri itatoa stika za usajili wa teksi, bajaji au pikipiki kwa kila mmiliki, na itakuwa ni wajibu wa kila mmiliki kubandika stika atakayopewa na Halmashauri pembeni mwa chombo chake cha usafiri. - 13 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala wa kukusanya ushuru wa stendi kwa niaba yake; wakala huyo lazima akusanye ushuru kwa kutumia mashine ya kielekroniki.
13.-(1) Halmashauri inaweza kumteua mtu, kikundi cha watu, shirika, taasisi au kampuni kuwa Wakala wa kukusanya ushuru wa stendi kwa niaba ya Halmashauri. (2) Wakala aliyeteuliwa chini ya kanuni ndogo ya (1) atakusanya ushuru kwa kutumia mashine ya kielekroniki. 5 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho Na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.501 (Linaendelea.) Biashara ndogo ndogo - 14 Verify source ↗
Mtu anayefanya biashara ndogo ndogo
AI-assisted research summary: Mtu anayefanya biashara ndogo ndogo haruhusiwi kufanya biashara ndani ya eneo la maegesho bila masharti, isipokuwa anaweza kukubaliana na uongozi kuhusu ulinzi na usalama.
14. Mtu anayefanya biashara ndogo ndogo hataruhusiwa kufanya biashara ndani ya eneo la maegesho bila masharti, isipokuwa anaweza kukubaliana na uongozi kuhusu utaratibu wa ulinzi na usalama wa mfanyabiashara na mali na zake. Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa - 15 Verify source ↗
Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa ana mamlaka ya kukamata na kuondoa chombo cha usafiri kilichoegeshwa mahali pasipoidhinishwa kwa maegesho.
15. Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya kukamata na kuondoa chombo cha usafiri ambacho kimeegeshwa katika maeneo ambayo hayajatengwa kwa ajili ya maegesho au kuegesha kwa namna isiyoruhusiwa. Makosa - 16 Verify source ↗
Mtu ambaye
AI-assisted research summary: Mtu anayefanya vitendo mbalimbali vya ukiukaji wa maegesho anatenda kosa na akipatikana na hatia anaweza kupewa adhabu ya kulipa kiasi cha fedha, faini, au kifungo, au vyote.
16. Mtu ambaye- (a) anakataa au anashindwa kulipa ushuru wa maegesho; (b) anamshawishi mtu yeyote au kundi la watu kukataa kulipa ushuru wa maegesho; (c) anapakia au anashusha abiria au mizigo katika eneo ambalo halikutengwa kwa ajili hiyo; (d) anafanya matengenezo au kuosha gari katika iliyotengwa kwa ajili ya katika sehemu maegesho; (e) anaegesha chombo cha usafiri katika eneo ambalo haliruhusiwi; (f) anakataa kutoa taarifa au anatoa taarifa ya uongo kwa Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au wakala pale itakapohitajika; (g) anaanzisha eneo la maegesho maalumu bila idhini ya Halmashauri; au (h) anaegesha chombo cha usafiri nje ya mstari la kuegeshea uliochorwa kuainisha eneo chombo cha usafiri, anatenda kosa na akipatikana na hatia atawajibika kulipa laki mbili na faini ya kiasi kisichopungua shilingi kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. kufifilisha kosa - 17 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na mamlaka ya kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji shilingi 200,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa, anajaza fomu maalumu, na analipa ada au ushuru unaodaiwa.
17. Mkurugenzi atakuwa na mamlaka ya kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kinyume cha Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo 6 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho Na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.501 (Linaendelea.) mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. _____________ JEDWALI LA KWANZA ______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA USHURU WA MAEGESHO MAENEO MAALUMU KWA SAA Na. PEMBEZONI MWA NJIA KUU GARI KUBWA 500/=
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Kifungu kinaorodhesha ada na ushuru wa maegesho kwa aina tofauti za vyombo vya usafiri, pamoja na gharama za kufunga na kuhifadhi chombo.
1. GARI DOGO 200/= CHOMBO KINGINE 200/= ENEO MAALUM/NYERERE SQUARE GARI KUBWA 500/= GARI DOGO 500/= CHOMBO KINGINE 200/= SEHEMU YA PILI USHURU WA MAEGESHO MAENEO MAALUMU KWA MUDA MAALUMU (saa 12 asubuhi- 2 usiku au saa 2 usiku-saa 12 asubuhi) ENEO MAALUMU/NYERERESQUARE GARI KUBWA BASI/LORI) 5000/= GARI DOGO 3000/= CHOMBO KINGINE 3000/= BAJAJI/PIKIPIKI 1000/= SEHEMU YA TATU Na. GHARAMA YA KUFUNGA CHOMBO 1 Gari kubwa (Basi/Lori) 15,000/= Gari Ndogo 10,000/= Bajaji/Pikipiki 5,000/= YA GHARAMA CHOMBO 10,000/= kwa siku 5,000/= kwa siku 2,000/= kwa siku KUHIFADHI 7 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho Na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.501 (Linaendelea.) ____________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 8(5)) (a) Fomu ya maombi ya maegesho maalumu: Fomu Na:…….… MAOMBI YA MAEGESHO MAALUMU
Part
JEDWALI LA PILI
- 3 Verify source ↗
Namba ya simu ya mwombaji: ……………..…………
AI-assisted research summary: The provision is a label for the applicant’s phone number field.
3. Namba ya simu ya mwombaji: ……………..………… - 4 Verify source ↗
Ukubwa wa eneo la maegesho linaloombwa (mita za mraba) :……………
AI-assisted research summary: This item asks for the requested parking area in square meters.
4. Ukubwa wa eneo la maegesho linaloombwa (mita za mraba) :…………… - 5 Verify source ↗
Eneo analoomba kwa ajili ya maegesho
AI-assisted research summary: Fomu hii inaomba maelezo ya eneo la maegesho, ikiwemo mtaa, barabara na namba ya jengo.
5. Eneo analoomba kwa ajili ya maegesho: Mtaa: ..……………………barabara:……………………..Jengo Namba: ……….. - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The form says the applicant must sign, acknowledge the parking permit terms, and return the form with the 20,000 shilling application fee receipt; the fee is non-refundable.
7. :……………………………………………………………………………. mengine Maelezo (kama yapo) Ninakiri kusoma, kuyaelewa na kukubali masharti ya kibali cha maegesho maalumu. Jina: ………………………………………………………… Wadhifa:…………………………………………………… Saini: ………………………………………………………… Tarehe:.……………………………………………………… *Fomu hii itarudishwa katika Ofisi ya Mkurugenzi/Wakala ikiambatishwa na Stakabadhi ya ada ya maombi ya shilingi elfu ishirini (20,000) ambayo haitarejeshwa. (b) Kibali cha maegesho maalumu KIBALI CHA MAEGESHO MAALUMU KIBALI Na………. - 3 Verify source ↗
Namba ya simu:…………… …………….…………………………
AI-assisted research summary: Kipengele hiki kinaonyesha sehemu ya kujaza namba ya simu.
3. Namba ya simu:…………… …………….…………………………. - 4 Verify source ↗
Namba ya stakabadhi:………………………………………………
AI-assisted research summary: Hii ni kichwa/uwanja wa “Namba ya stakabadhi” (receipt number).
4. Namba ya stakabadhi:……………………………………………… - 5 Verify source ↗
Ofisi iliyotoa kibali:…………………………………………………
AI-assisted research summary: This section is labeled “Ofisi iliyotoa kibali” (the office that issued the permit).
5. Ofisi iliyotoa kibali:…………………………………………………. - 6 Verify source ↗
Eneo lilipo
AI-assisted research summary: This section requests location details: street, road, and building.
6. Eneo lilipo: Mtaa:..……………barabara:………….………..Jengo:……………… - 7 Verify source ↗
Ukubwa wa eneo la maegesho (mita za mraba):………………
AI-assisted research summary: This section refers to the size of the parking area in square meters.
7. Ukubwa wa eneo la maegesho (mita za mraba):………………. - 8 Verify source ↗
Kiasi kilicholipwa kwa miezi ……… Jumla ya sh………………
AI-assisted research summary: Hii inaonekana kuwa sehemu ya kujaza kiasi kilicholipwa kwa miezi na jumla ya shilingi.
8. Kiasi kilicholipwa kwa miezi ……… Jumla ya sh………………. - 9 Verify source ↗
Muda wa kibali………….kuanzia…….…….…hadi……………
AI-assisted research summary: This section is about the permit period, shown as running from a starting point to an ending point.
9. Muda wa kibali………….kuanzia…….…….…hadi…………….. - 10 Verify source ↗
Maelezo mengine yatakayohitajika (kama yapo):…………………….………………
AI-assisted research summary: Hii ni fomu ya kukiri kosa inayotumiwa mbele ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, na inataja pia kuwa mtu aliyeikiri anaweza kuwa tayari kulipa ushuru unaodaiwa pamoja na faini.
10. Maelezo mengine yatakayohitajika (kama yapo):…………………….……………….. Kimetolewa tarehe…………....……mwezi……….…………….mwaka……………, 2024 Kimetolewa na:- Jina:……………………….……………………………………………………… Cheo:……………………………………………………………………….……. 8 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho Na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.501 (Linaendelea.) Saini:………………………………..………… Muhuri wa Ofisi:.…………… _____________ JEDWALI LA TATU ______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 17) FOMU YA KUFIFILISHA KOSA Mimi.....................................................................nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya .....................................................................ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya tarehe..........ya mwezi.......................Mwaka...........................nilitenda kosa kwa kukiuka masharti ya kanuni ya...............ya Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024. Lushoto, kwamba mnamo ya Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, niko tayari kulipa kiasi cha ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU NA KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe.....................ya Mwezi.........................Mwaka...................................... Jina.................................................... Saini............................................................. MBELE YANGU: Jina:....................................................... Wadhifa:.................................................... Saini.......................................................... Tarehe........................................................ 9 Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho Na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.501 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto imebandikwa katika hizi Sheria Ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kufuatia Azimio la kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kilichofanyika tarehe 12/5/2023 na kushuhudiwa, Lakiri imebandikwa mbele ya:- IKUPA H. MWASYOGE, Mkurungenzi mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, Lushoto MATHEW MBARUKU, Mwenyekiti, Halmashauri ya wilaya, Lushoto L.S NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB.), 25 Machi, 2024 Waziri wa Nchi -OR-Tamisemi, 10
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Maegesho na Vituo vya Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in