Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maziwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
This section gives the short title of the by-law: the Lushoto District Council Milk Tax By-Law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maziwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the by-law: the Lushoto District Council Milk Tax By-Law, 2024. This by-law applies throughout the entire area of Lushoto District Council. This section defines key terms used in the By-Law, including authorized officer, Council, milk, farmer, Director, buyer, milk tax, and agent. Halmashauri inatoza mnunuzi ushuru wa maziwa wa asilimia 3 ya bei ya kununulia maziwa katika vituo vya kukusanyia maziwa. Mnunuzi wa maziwa lazima aombe Halmashauri kibali cha kusafirisha maziwa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maziwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
Showing 13 of 13
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the by-law: the Lushoto District Council Milk Tax By-Law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maziwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo
AI-assisted research summary: This by-law applies throughout the entire area of Lushoto District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the By-Law, including authorized officer, Council, milk, farmer, Director, buyer, milk tax, and agent.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa madhumuni ya kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto; “maziwa” maana yake ni- (a) inapotumika kuhusiana na mfugaji, mfugaji yeyote ambaye anajihusisha na shughuli ya kuuza maziwa kama atakavyoyatoa kuyapeleka vituo vya kukusanyia maziwa; nyumbani (b) inapotumika kuhusiana na mnunuzi, mtu yeyote anayejihusisha na shughuli ya kununua maziwa kama atakavyoyanunua kutoka kwa mfugaji au mtu yeyote kutoka katika eneo la Halmashauri; 1 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maziwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.503 (Linaendelea.) (c) inapotumika kuhusiana na mmiliki wa vituo vya kukusanyia maziwa ina maana ya mmiliki huyo kutumia maziwa hayo kama malighafi katika kiwanda cha mmiliki husika; na (d) inapotumika kuhusiana na taasisi ya umma au serikali au ya mtu binafsi au taasisi au kampuni, maana yake ni kampuni hiyo inayojihusisha na biashara ya maziwa; “mfugaji” maana yake ni mtu yeyote ambaye anajishughulisha na shughuli za ufugaji katika eneo la Halmashauri na ambaye anauza maziwa katika vituo vya kupokelea maziwa; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza kazi za Mkurugenzi chini ya Sheria Ndogo hii; “mnunuzi” maana yake ni mtu yeyote anayenunua maziwa na inajumuisha ushirika, kampuni, taasisi au mtu binafsi anayenunua maziwa ghafi kwa ajili ya usindikaji; “ushuru” maana yake ni ushuru wa maziwa utakaotozwa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; “Wakala” maana yake ni mtu binafsi au kikundi cha watu, kampuni au shirika ambalo limeteuliwa na Halmashauri kufanya kazi yoyote chini ya Sheria Ndogo hii kwa niaba ya Halmashauri. - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza mnunuzi ushuru wa maziwa wa asilimia 3 ya bei ya kununulia maziwa katika vituo vya kukusanyia maziwa.
4.-(1) Halmashauri itatoza kwa mnunuzi ushuru wa maziwa kwa kiwango cha asilimia tatu ya bei ya kununulia maziwa katika vituo vya kukusanyia maziwa. (2) Ushuru utalipwa kwa Halmashauri au wakala aliyeteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri. Wajibu wa Halmashauri Kibali - 5 Verify source ↗
(1) Mnunuzi wa maziwa atapaswa kuomba
AI-assisted research summary: Mnunuzi wa maziwa lazima aombe Halmashauri kibali cha kusafirisha maziwa.
5.-(1) Mnunuzi wa maziwa atapaswa kuomba kwa Halmashauri kibali cha kusafirisha maziwa. 2 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maziwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.503 (Linaendelea.) (2) Kila mnunuzi wa maziwa atawajibika kuingia mkataba maalumu na Halmashauri wenye masharti na taratibu za ununuzi wa maziwa. (3) Endapo Halmashuri itaona inafaa, itakipa kijiji mamlaka ya kutoa vibali vya ununuzi wa maziwa ili kurahisisha zoezi la ukusanyaji wa maziwa. (4) Kibali cha kusafirisha maziwa kitakuwa kama kilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. - 6 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kuteua wakala
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala wa kukusanya ushuru, na wakala huyo lazima akusanye na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri.
6.-(1) Halmashauri inaweza kuteua wakala kwa ajili ya kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Wakala atakayeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; na Uteuzi wa Wakala kielektroniki (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. na Rejesta ya mnunuzi wa Maziwa Wajibu wa mfugaji Kutolipa ushuru wa maziwa - 7 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na rejesta ya mnunuzi wa
AI-assisted research summary: Every milk collection center must have a buyer register.
7.-(1) Kutakuwa na rejesta ya mnunuzi wa maziwa katika kila kituo cha kukusanyia maziwa. (2) Kila kituo au kijiji cha kukusanyia maziwa kitatunza rejesta kwa ajili ya kuweka kumbukumbu za wanunuzi wa maziwa. - 8 Verify source ↗
Mfugaji ambaye chini ya Sheria Ndogo hii
AI-assisted research summary: A farmer who is a milk seller under this by-law must deliver milk to the milk collection center.
8. Mfugaji ambaye chini ya Sheria Ndogo hii ni muuzaji wa maziwa, atakuwa na wajibu wa kupeleka maziwa katika kituo cha kukusanyia maziwa. - 9 Verify source ↗
(1) Endapo mnunuzi atashindwa kulipa
AI-assisted research summary: If the buyer fails to pay the levy, the milk may be seized, held for 12 hours, and then sold by auction if not redeemed.
9.-(1) Endapo mnunuzi atashindwa kulipa ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, maziwa yatakamatwa na kuhifadhiwa kwa saa kumi na mbili na baada ya muda huo kupita bila ya mnunuzi kuyakomboa maziwa hayo yatauzwa kwa njia ya 3 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maziwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.503 (Linaendelea.) mnada. (2) Masharti katika kanuni ndogo ya (1) yatatekelezwa baada ya Halmashauri kupata idhini ya mahakama. (3) Halmashauri itachukua ushuru katika fedha zitakazopatikana kutokana na mauzo ya maziwa yaliyokamatwa na kunadiwa chini ya kanuni ndogo ya (1), gharama za utunzaji wa maziwa kwa wakati wote maziwa yalipokuwa chini ya uangalizi wa Halmashauri pamoja na gharama za mnada, na kiasi kitakachobaki kitarudishwa kwa mnunuzi. - 10 Verify source ↗
Endapo maziwa yaliyokamatwa chini ya
AI-assisted research summary: Kama maziwa yaliyokamatwa chini ya kanuni ya 9(1) yatapoteza thamani, Halmashauri haitawajibika kwa upotevu huo isipokuwa kama ndio ilisababisha au ilisababishwa na wakala.
10. Endapo maziwa yaliyokamatwa chini ya kanuni ya 9(1) yatapoteza thamani, Halmashauri haitahusika na upotevu wa thamani katika maziwa hayo yaliyo chini ya uangalizi wake, isipokuwa kama kupoteza thamani kumesababishwa na Halmashauri au wakala. - 11 Verify source ↗
Mtu anatenda kosa ikiwa
AI-assisted research summary: Mtu anatenda kosa ikiwa anashindwa kulipa ushuru, anahimiza watu kukwepa au kukataa kulipa ushuru, anashindwa kuhifadhi kumbukumbu zinazohitajika, au anamzuia Mkurugenzi, Afisa au Wakala kutekeleza majukumu yake.
11. Mtu anatenda kosa ikiwa- (a) anashindwa kulipa ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) anamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ushuru; (c) anashindwa kumbukumbu kuhifadhi ikiwa ni pamoja na rejesta ya maziwa na hesabu zinazohitajika chini ya Sheria Ndogo hii; au (d) anamzuia Mkurugenzi, Afisa au Wakala kutekeleza Mwidhiniwa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. . - 12 Verify source ↗
Mtu atakayepatikana na hatia kwa
AI-assisted research summary: A person convicted of an offence against these by-laws must pay a fine, serve imprisonment, or both.
12. Mtu atakayepatikana na hatia kwa kutenda kosa kinyume cha Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini ya isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. 4 Maziwa kupoteza thamani Makosa Adhabu Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maziwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.503 (Linaendelea.) Kufifilisha kosa - 13 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji shilingi laki mbili, ikiwa mkosaji anakiri kosa, anakubali kujaza fomu ya Jedwali la Pili, na kulipa ushuru unaodaiwa.
13. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ushuru anaodaiwa 5 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maziwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.503 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA KWANZA ______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 5(4)) KIBALI CHA KUSAFIRISHA MAZIWA Jina la mwombaji ………….…..…………….…………………..… Anwani ya mwombaji ………..……………………………………. Tarehe ya maombi …………..………………………………….….. Kibali kinatolewa kwa ajili ya kufanya shughuli kama ulivyoomba kwa mujibu wa Sheria. Kibali hiki ni kwa ajili ya kusafirisha maziwa nje ya Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto. MAELEZO YA MAZIWA YANAYOSAFIRISHWA NJE YA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO Jina la mwenye gari ………………………………………………..……………. Jina la Dereva ……………………………………………………………..……… Saini ya Dereva ………………………………………………………………… Kiasi cha Maziwa yanayosafirishwa (tani/lita) …………………………………… Sehemu/kampuni/mfugaji/ushirika/mmiliki wa maziwa ………………..……… Hali ya Maziwa (hayajachakatwa, yamechakatwa, nyingine taja) …………..……… Yanakopelekwa/kusanywa ………………………………………………………… Jina la Mnunuzi ………………………………………………………………….… Aina ya usafiri (taja pamoja na namba za usajili) ……………………………….… MAONI YA AFISA MWIDHINIWA Kibali kimetolewa kwa …………………………………… Ushuru wa maziwa umelipwa/ haujalipwa ………………………………………… Stakabadhi namba .………………………………………………………………… Jina la Afisa Mwidhiniwa …….…………………………………………………… Cheo/Wadhifa ……………………………………………..……………………… Tarehe …………………………………………………………………………….. (N.B) kibali kijazwe nakala mbili. Nakala moja kwa ajili ya msafirishaji na nyingine iwasilishwe kwa Mkurugenzi Mtendaji (W). 6 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maziwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.503 (Linaendelea.) ____________ JEDWALI LA PILI __________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 13) HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …… ya Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maziwa za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka, 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, Niko tayari kulipa kiasi cha ushuru na faini ninayodaiwa badala ya kupelekwa mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya Mwezi…………..… Mwaka …………….…………. Jina……………………………….. Saini……………………………………. MBELE YANGU : Jina: ……………………………………..…………………… Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe……………………………………………………………. 7 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maziwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.503 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto imebandikwa katika hizi Sheria Ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kufuatia Azimio la kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kilichofanyika tarehe 12/5/2023 na kushuhudiwa, Lakiri imebandikwa mbele ya:- IKUPA H. MWASYOGE, Mkurungenzi mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, Lushoto MATHEW MBARUKU, Mwenyekiti, Halmashauri ya wilaya, Lushoto L.S NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB.), 25 Machi, 2024 Waziri wa Nchi -OR-Tamisemi, 8
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ushuru wa Maziwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in