Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
This section gives the bylaw’s name: Lushoto District Council Environmental Sanitation Bylaw, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the bylaw’s name: Lushoto District Council Environmental Sanitation Bylaw, 2024. This by-law applies throughout the whole area under the authority of Lushoto District Council. This section defines several terms used in the by-law, including officer, food, water source, director, refuse bin, resident, wastewater, waste, and solid waste. Property owners must keep their premises clean, dispose of waste as directed by the council, provide a properly built latrine, and prevent breeding places for mosquitoes, rats, and other harmful insects. Wamiliki wa nyumba, viwanda au maeneo ya biashara lazima wawe na karo la kuhifadhi maji taka, wanyonye maji taka karo linapojaa, na wasimwage maji taka barabarani au sehemu nyingine zisizoruhusiwa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
Showing 32 of 32
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This section gives the bylaw’s name: Lushoto District Council Environmental Sanitation Bylaw, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This by-law applies throughout the whole area under the authority of Lushoto District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines several terms used in the by-law, including officer, food, water source, director, refuse bin, resident, wastewater, waste, and solid waste.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama Sura ya 331 muktadha utahitaji vinginevyo- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chakula” maana yake ni kitu chochote kinacholiwa au kunywewa na binadamu isipokuwa dawa; “chanzo cha maji” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa chini ya Sheria ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji; lengo “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “kizimba cha taka” maana yake ni kizimba cha taka au chombo maalumu kilichowekwa na Halmashauri kwa ajili ya jamii kuhifadhia taka ngumu kabla ya kusafirishwa hadi kwenye jalala kuu lililoidhinishwa; 1 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.505 (Linaendelea.) “mkazi” maana yake ni mtu yeyote ambaye kwa kawaida anaishi kwenye eneo lililoko chini ya mamlaka ya Halmashauri na ambaye ana kaya au anaishi katika kaya au taasisi iliyopo katika eneo la Halmashauri; “maji taka” maana yake ni mchanganyiko wa kinyesi, mkojo na suluji na taka zenye asili ya kimiminika kutoka majumbani, katika shughuli za taasisi, biashara na viwanda; au gesi yabisi “taka” maana yake ni kitu chochote katika hali ya kimiminika, ambacho kinatiririshwa, kinatolewa au kuwekwa katika mazingira kwa kiwango au namna ambayo inaweza kusababisha mazingira kubadilika; “taka ngumu” maana yake ni kitu kisicho katika hali ya kimiminika, ambacho kinatokana na shughuli za nyumbani, mtaani, biashara, viwanda au kilimo. Wajibu wa kufanya usafi wa mazingira - 4 Verify source ↗
(1) Kila mkazi anayemiliki eneo la nyumba,
AI-assisted research summary: Property owners must keep their premises clean, dispose of waste as directed by the council, provide a properly built latrine, and prevent breeding places for mosquitoes, rats, and other harmful insects.
4.-(1) Kila mkazi anayemiliki eneo la nyumba, kiwanja au biashara atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwa- (a) mazingira yanayozunguka eneo lake yanakuwa safi wakati wote; (b) taka zote zinakusanywa na kufukiwa au kuondolewa kwa njia itakayoelekezwa na Halmashauri; (c) anachimba shimo la kutupa taka litakalokuwa na urefu usiopungua kimo cha futi tatu na upana usiopungua futi mbili; (d) ana choo imara cha kudumu kilichojengwa kwa matofali na kuezekwa kwa bati, tembe, majani au vigae, chenye mlango unaofunga na kufunguka na kuhakikisha kwamba choo kinatumika wakati wote na kuwe na chombo cha maji tiririka na sabuni ya kunawa mikono; na (e) eneo lake halina mazalia ya mbu, panya na wadudu wengine hatarishi. (2) Mtu yeyote anayekiuka masharti ya kanuni ndogo ya (1) anatenda kosa. 2 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.505 (Linaendelea.) Uhifadhi wa maji taka - 5 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki wa nyumba, kiwanda au eneo
AI-assisted research summary: Wamiliki wa nyumba, viwanda au maeneo ya biashara lazima wawe na karo la kuhifadhi maji taka, wanyonye maji taka karo linapojaa, na wasimwage maji taka barabarani au sehemu nyingine zisizoruhusiwa.
5.-(1) Kila mmiliki wa nyumba, kiwanda au eneo la biashara anatakiwa- (a) kuhakikisha kuwa ana karo la kuhifadhi maji taka; (b) kunyonya maji taka pale karo linapojaa; na (c) kutotiririsha au kutoelekeza maji kutoka chooni, bafuni, karoni au kiwandani kwenda barabarani, uchochoroni, mtoni, kwenye vyanzo vya maji, maeneo ya wazi, kwenye mfereji wa maji ya mvua au sehemu yoyote isiyotengwa kuhifadhia maji taka. (2) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kanuni ndogo ya (1) anatenda kosa. Utengenezaji na uuzaji wa vyakula - 6 Verify source ↗
Mtu yeyote anayetengeneza, kuchoma, kupika,
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayeshughulika na chakula katika eneo la Halmashauri lazima azingatie masharti ya afya na awe na kibali kutoka kwa afisa afya wa Halmashauri.
6. Mtu yeyote anayetengeneza, kuchoma, kupika, kuchemsha au kuuza chakula cha aina yoyote katika eneo la Halmashauri atatakiwa- (a) kuzingatia masharti na kanuni za afya; na (b) kuwa na kibali kutoka kwa afisa afya wa Halamshauri. Upimaji wa afya Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa - 7 Verify source ↗
Mhudumu wa hoteli, mgahawa, baa, nyumba
AI-assisted research summary: Hoteli, migahawa, baa, nyumba za kulala wageni, butcheri, waokaji, na wauzaji wa vyakula vilivyopikwa lazima wahakikishe wanapima afya zao kila baada ya miezi sita.
7. Mhudumu wa hoteli, mgahawa, baa, nyumba ya kulala wageni, bucha, muoka mikate au mtu anayeshughulika na kuuza vyakula vilivyopikwa atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kwamba anapima afya yake kila baada ya miezi sita. - 8 Verify source ↗
(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa ana mamlaka ya kuingia katika eneo lolote la Halmashauri wakati wa muda wa kazi na kutoa ushauri au maelekezo dhidi ya kuishi katika jengo hatarishi.
8.-(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya kuingia katika eneo lolote la Halmashauri wakati wa muda wa kazi kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. (2) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya kushauri au kuelekeza watu au mtu kutokuishi katika jengo ambalo linahatarisha afya au maisha ya watu na viumbe hai. Vifaa vya kuhifadhi taka ngumu - 9 Verify source ↗
(1) Kila mmliki wa jengo la makazi au
AI-assisted research summary: Some residential owners/tenants and business operators must have a covered waste container and collect waste to the designated collection pit; owners/tenants in green-belt, unmeasured areas must have a large solid-waste pit on their premises.
9.-(1) Kila mmliki wa jengo la makazi au mpangaji wa jengo la makazi au mtu yeyote anayefanya 3 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.505 (Linaendelea.) biashara katika eneo lolote la Halmashauri atatakiwa kuwa na chombo cha kuhifadhia taka chenye mfuniko na atawajibika kukusanya taka hizo kwenye kizimba cha kuzolea taka katika maeneo yaliyoainishwa. (2) Kila mmiliki wa jengo au mpangaji wa nyumba iliyo katika ukanda wa kijani, katika maeneo ambayo hayajapimwa atalazimika kuwa na shimo kubwa la kukusanyia taka ngumu katika eneo lake. Ada ya uzoaji taka Ukusanyaji taka ngumu - 10 Verify source ↗
Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ikusanye taka ngumu kutoka kwenye vizimba vya taka vilivyoainishwa katika kila kata, na wazalishaji wa taka lazima walipe ada au ushuru wa ukusanyaji wa taka kwa viwango vya Jedwali la Kwanza.
10. Halmashauri itawajibika kukusanya taka ngumu kutoka katika vizimba vya taka vilivyoainishwa katika kila kata, na wazalishaji taka watalipia ada au ushuru wa ukusanyaji wa taka kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. - 11 Verify source ↗
(1) Mtu hataruhusiwa kuweka uchafu wenye
AI-assisted research summary: Watu hawaruhusiwi kuweka taka zenye majimaji kwenye pipa la taka au kitu kinachoweza kulipuka na kusababisha madhara, na hawaruhusiwi kuchoma au kufukia taka ngumu bila kibali cha Halmashauri.
11.-(1) Mtu hataruhusiwa kuweka uchafu wenye asili ya majimaji kwenye pipa la taka au kitu chochote kinachoweza kulipuka na kusababisha madhara. (2) Taka ngumu zote zitakazokusanywa kwenye mapipa ya taka zitabaki kuwa katika milki ya mkazi au mmliki wa eneo hadi taka zitakapokuwa zimefikishwa kwenye kizimba cha taka au zitakapokuwa zimetolewa na Wakala kutoka katika eneo lake. (3) Mtu hataruhusiwa kuchoma au kufukia taka ngumu bila kibali cha Halmashauri. Eneo la kutupa taka - 12 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Halmashauri must set aside a dumping area, place waste containers in its areas, and provide waste collection services for a fee from waste producers to the dump.
12. Halmashauri itakuwa na wajibu wa- (a) kutenga eneo maalumu kwa ajili ya kutupa taka; (b) kuweka vyombo maalumu vya kutunzia taka katika maeneo ya Halmashauri; na (c) kutoa huduma ya uzoaji taka kwa malipo kutoka kwa wazalishaji wa taka hadi kwenye dampo. Siku ya usafi - 13 Verify source ↗
(1) Kila Alhamisi ya wiki na Jumamosi ya
AI-assisted research summary: Kila Alhamisi na Jumamosi ya mwisho wa mwezi ni siku za usafi wa mazingira; wakazi wa Halmashauri wanapaswa kushiriki, na kila mtu lazima aweke safi makazi yake, biashara yake, eneo la wazi jirani, na eneo la mita 10 kuzunguka.
13.-(1) Kila Alhamisi ya wiki na Jumamosi ya mwisho wa mwezi itakuwa ni siku maalamu ya kufanya usafi wa mazingira katika maeneo ya makazi na umma. 4 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.505 (Linaendelea.) (2) Kila mkazi wa Halmashauri atakuwa na wajibu wa kushiriki usafi wa mazingira kwa siku iliyopangwa na Halmashauri katika eneo lake na maeneo ya umma. (3) Kila mtu atahakikisha eneo la makazi yake, eneo analofanyia biashara, eneo la wazi lililo karibu naye na eneo linalomzunguka kwa umbali wa mita kumi ni safi. - 14 Verify source ↗
Halmashauri itahamasisha uundaji wa vikundi
AI-assisted research summary: Halmashauri must encourage and recognize community groups so they can carry out solid waste control and environmental cleanliness activities in streets, after entering a contract with Halmashauri.
14. Halmashauri itahamasisha uundaji wa vikundi jamii na kuvitambua ili kuviwezesha kufanya shughuli za udhibiti wa taka ngumu pamoja na usafi wa mazingira katika mitaa baada ya kuingia mkataba na Halmashauri. - 15 Verify source ↗
Mtu anatenda kosa ikiwa
AI-assisted research summary: Mtu anatenda kosa akifanya mojawapo ya vitendo vilivyokatazwa kuhusu taka, maji, vyoo, mifugo, biashara, na matumizi ya maeneo.
15. Mtu anatenda kosa ikiwa- (a) anaendesha biashara ya upulizaji dawa au biashara ya kuua wadudu au wanyama waharibifu katika nyumba yoyote au mahali taaluma popote cheti kinachotambuliwa na Serikali na leseni kutoka Halmashauri; bila cha (b) anafanyabiashara yeyote au kupanga bidhaa nje ya jengo lake la biashara, barabarani, vichochoroni au katika eneo lolote ambalo halikuidhinishwa kwa ajili ya shughuli hiyo; (c) anaruhusu mifugo kuzurura ovyo mitaani au barabarani; (d) anatupa taka za aina yoyote barabarani au eneo lolote la wazi, kwenye vichochoro au kwenye chanzo chochote cha maji au katika eneo lolote ambalo halikutengwa kwa ajili ya shughuli hiyo; (e) anadondosha taka ngumu nje ya gari likiwa ndani au nje ya kituo cha magari na sehemu yoyote ambapo gari hilo linapita; (f) anaanzisha shughuli za kiwanda au mradi wowote unaoweza kuathiri mazingira bila kufanya tathmini ya athari kwa mazingira kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; 5 Vikundi vya usafi Makosa Sura ya 191 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.505 (Linaendelea.) (g) anazuia maji kupita njia yake ya asili kwa kujenga, kulima au kuweka kitu chochote kwenye maji kitakachoingilia mtiririko wa asili wa maji katika chanzo cha maji; (h) anaweka kitu chochote kwenye maji taka ambacho kinaweza kuathiri mtu yeyote au kuharibu mfumo wa tiba ya maji taka; (i) analima kilimo cha matuta yanayosababisha maji kutuama ndani ya eneo la katikati ya mji, (j) anajenga choo chini ya umbali wa mita sitini kutoka kisimani, bwawani, mtoni, au chanzo kingine cha maji yanayotumika, kwa matumizi ya binadamu; (k) anatoa kinyesi au kusababisha kinyesi, mkojo, maji machafu, yenye kinyesi kutoka kwenye choo, bafu au karo la kuoshea vyombo au nguo au kutoka kwenye bomba linalochukua maji machafu na lolote kuyatitirisha kwenye barabara, mitaa, au kwenye mifereji ya maji ya mvua, au mfereji wowote ulio wazi; (l) anatupa taka au kuelekeza mtu mwingine atupe taka mahali popote pasiporuhusiwa na Halmashauri; (m) anauza chakula katika eneo ambalo halijasajiliwa kwa ajili ya shughuli hiyo; (n) anazika maiti eneo halikuainishwa kwa shughuli hiyo; katika ambalo (o) kwa makusudi, anashindwa kulipa ada ya taka kwa miezi miwili mfululizo; (p) anatembeza vyakula mitaani bila kibali cha Halmashauri; (q) anachezesha michezo au kuonesha michezo au burudani katika maeneo yasiyoruhusiwa na Halmashauri; (r) anaegesha gari bovu na kuliacha kando ya barabara, kichochoro au eneo la wazi ambalo halijaidhinishwa kwa shughuli za gereji kwa zaidi ya siku moja; 6 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.505 (Linaendelea.) (s) analima ndani ya chanzo cha maji; (t) hana pipa la taka lenye mfuniko katika eneo la biashara; (u) hana choo au ana choo kibovu au kilichojaa; au (v) hana chombo maalumu cha kukusanyia taka ndani ya gari la abiria. Adhabu Kufifilisha kosa - 16 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayepatikana na hatia kwa
AI-assisted research summary: A person convicted of an offence under this by-law faces a penalty of at least 50,000 shillings, a prison term of up to 12 months, or both.
16. Mtu yeyote atakayepatikana na hatia kwa kutenda kosa kinyume cha Sheria Ndogo hii atawajibika isiyopungua shilingi elfu hamsini na kulipa faini tatu au kutumikia kifungo laki isiyozidi shilingi kisichozidi miezi kumi na miwili jela au vyote. - 17 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kutoza faini ya shilingi 50,000 kwa mtu aliyevunja Sheria Ndogo hii, ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari na fomu maalumu ya Jedwali la Pili ipo.
17. Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kinyume cha Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi elfu hamsini iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa fomu maalumu tayari kujaza iliyoambatishwa kwenye Jedwali la Pili. 7 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.505 (Linaendelea.) ________ JEDWALI LA KWANZA _________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 10) ADA YA UZOAJI TAKA NA AINA YA BIASHARA/MAENEO YA UZALISHAJI TAKA MIJI YA KIBIASHARA
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The section lists family homes, guest houses, public and private offices, financial institutions, commercial banks, currency exchange bureaux, and food and drinks.
6. Makazi ya Familia Nyumba ya kulala wageni Ofisi ya umma na binafsi Taasisi ya kifedha Benki za kibiashara Duka la kubadilisha Fedha VYAKULA NA VINYWAJI - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: The provision lists different types of hospitality and beverage businesses, including hotels, restaurants, grocery and drink shops, bars, and guest houses.
9. Hotel Mgahawa mgahawa (vitafunwa na vinywaji baridi) Duka la vyakula na vinywaji Baa (pombe, vinywaji baridi na vikali) Baa na mgahawa Baa na nyumba ya kulala wageni - 14 Verify source ↗
Baa, nyumba ya kulala
AI-assisted research summary: This section lists bars, guest houses, entertainment halls, night clubs, and butcher shops for fresh meat and fish.
14. Baa, nyumba ya kulala wageni na ukumbi wa starehe Baa na ukumbi wa starehe Baa na klabu ya usiku Bucha la nyama na samaki wabichi - 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: This section lists monthly fees in shillings for different categories under Lushoto District Council.
15. (ENEO LOTE LA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO) 1,000 10,000 2,000 10,000 10,000 10,000 10,000 5,000 8,000 8,000 10,000 10,000 10,000 10,000 5,000 10,000 10,000 8 MAKAO MAKUU YA KATA TOFAUTI NA MIJI YA KIBIASHARA ADA KWA MWEZI (SHILINGI) MAKAO MAKUU YA VIJIJI TOFAUTI NA MAKAO MAKUU YA KATA, ADA KWA MWEZI (SHILINGI) 800 8,000 1,000 5,000 5,000 5,000 5,000 1,000 3,000 3,000 4,000 5,000 5,000 5,000 3,000 5,000 5,000 500 5,000 500 3,000 3,000 3,000 2,000 500 1,500 1,500 2,000 2,000 2,000 2,000 2,000 1,000 3,000 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.505 (Linaendelea.) - 22 Verify source ↗
Section 22
AI-assisted research summary: This section lists categories of goods and workshop/industry activities.
22. Vifaa ya umeme Vifaa vya ujenzi Vitabu, shajara na zawadi Sonara na vipodozi Vinywaji na pombe kali Vipuri vifaa KARAKANA NA VIWANDA Fundi selemala na mashine ya mbao Karakana ya chuma Karakana ya magari Sonara na uhunzi wa vito Shughuli za vioo - 33 Verify source ↗
Section 33
AI-assisted research summary: The text is fragmentary and appears to list categories for large and small industries, measured per one tonne of waste, plus small businesses, but it does not state a clear rule.
33. Viwanda vikubwa (kwa tani moja ya taka) Viwanda vidogo (kwa tani moja ya taka) BIASHARA NDOGO NDOGO - 37 Verify source ↗
Section 37
AI-assisted research summary: Section 37 lists: carpentry/repairs, shoe-making, hair salons for women and men, laundry, and petty trade/table business.
37. Fundi chereheni Fundi viatu Saluni ya nywele (kike na kiume Dobi Genge/meza ya biashara - 45 Verify source ↗
Wauza mitumba ndani
AI-assisted research summary: The text is a short section titled “Wauza mitumba ndani ya soko” and lists several amounts, but it does not clearly state a rule.
45. Wauza mitumba ndani ya soko 8,000 8,000 5,000 8,000 8,000 8,000 8,000 8,000 8,000 10,000 10,000 10,000 10,000 - 10 Verify source ↗
000
AI-assisted research summary: 10.000 10,000 20,000 10,000 10,000 500 2,000 2,000 - 1,000 5,000 2,000 5,000 1,000 500
10.000 10,000 20,000 10,000 10,000 500 2,000 2,000 - 1,000 5,000 2,000 5,000 1,000 500 - 47 Verify source ↗
Mama/Baba lishe
AI-assisted research summary: This excerpt appears to list numeric amounts for “Mama/Baba lishe,” but it does not clearly state the rule or obligation in the text provided.
47. Mama/Baba lishe 2,000 9 3,000 3,000 2,000 3,000 3,000 3,000 3,000 3,000 3,000 5,000 5,000 5,000 5,000 5,000 5,000 10,000 5,000 5,000 - 1,000 1,000 - 500 3,000 1,000 3,000 500 - 2,000 1,000 1,000 1,000 500 1,000 1,000 1,000 1,000 1,000 1,000 2,000 2,000 2,000 2,000 2,000 2,000 5,000 3,000 2,000 - 5,00 500 - - 2,000 500 2,000 - - 1,000 500 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.505 (Linaendelea.) HUDUMA ZA AFYA - 49 Verify source ↗
Maabara binafsi ya
AI-assisted research summary: This section lists private testing laboratories, private dispensaries, private hospitals, and private health centers.
49. Maabara binafsi ya vipimo Zahanati binafsi Hospitali binafsi Kituo cha afya binafsi - 55 Verify source ↗
Section 55
AI-assisted research summary: Section 55 mentions private schools, private colleges, and fuel stations.
55. Shule binafsi Chuo binafsi VITUO VYA MAFUTA - 58 Verify source ↗
Section 58
AI-assisted research summary: This provision lists different kinds of stations and retail outlets: large station, small station, kerosene station, gas sales station, and charcoal sales kiosk.
58. Kituo kikubwa Kituo kidogo Kituo cha mafuta ya Taa Kituo cha Kuuzia Gesi Kibanda cha kuuzia mkaa - 60 Verify source ↗
Section 60
AI-assisted research summary: The text is a list of numbers and does not clearly state a legal rule.
60. 10,000 10,000 10,000 20,000 15,000 10,000 20,000 30,000 50,000 30,000 10,000 10,000 10,000 5,000 5,000 5,000 10,000 8,000 5,000 10,000 15,000 30,000 15,000 5,000 5,000 5,000 3,000 3,000 3,000 5,000 5,000 3,000 5,000 8,000 15,000 8,000 3,000 3,000 3,000 MENGINEYO - 62 Verify source ↗
Section 62
AI-assisted research summary: The text includes a fine/waiver form for a person admitting an offence under the Lushoto District environmental sanitation bylaw, and it is signed before the District Executive Director.
62. Duka la simu, kampuni ya simu na manara wa simu Taka za uvunjaji wa nyumba kwa tani 10,000 5,000 3,000 20,000 10,000 5,000 10 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.505 (Linaendelea.) ____________ JEDWALI LA PILI ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 17) HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi;……………………………………nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya………………………………………..…….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, kwamba mnamo tarehe;…… ya Mwezi;….…. Mwaka;…….… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya….. ya Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, niko tayari kulipa kiasi cha ada au ushuru ninaodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU: Leo tarehe;…....... ya Mwezi;………… Mwaka;………….. Jina;…………………………………..……………………. Saini;…………………………..…………………………… MBELE YANGU : Jina;…………………………….………..…………………… Cheo;…………………………………………………..……. Saini;………………………………………………………… Tarehe;………………………………………………………. 11 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.505 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto imebandikwa katika hizi Sheria Ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kufuatia Azimio la kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kilichofanyika tarehe 12/5/2023 na kushuhudiwa, Lakiri imebandikwa mbele ya:- IKUPA H. MWASYOGE, Mkurungenzi mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, Lushoto MATHEW MBARUKU, Mwenyekiti, Halmashauri ya wilaya, Lushoto L.S NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB.), 25 Machi, 2024 Waziri wa Nchi -OR-Tamisemi, 12
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in