Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
This section states the short title of the by-law: the Lushoto District Council Fees and Taxes By-law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the short title of the by-law: the Lushoto District Council Fees and Taxes By-law, 2024. This bylaw applies throughout the area of the Lushoto District Council. This section defines key terms used in the by-law, including fees, permits, markets, parking areas, and officials. Halmashauri must charge fees or levies for permits, licenses, and its services based on the First Schedule. A person who must pay a fee or tax under these by-laws must pay it at the rates set in the by-laws.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
Showing 32 of 32
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section states the short title of the by-law: the Lushoto District Council Fees and Taxes By-law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the area of the Lushoto District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including fees, permits, markets, parking areas, and officials.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “bidhaa” maana yake ni kitu chochote chenye thamani sokoni kwa madhumuni ya lengo kinachopelekwa kuuzwa; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha abiria na mizigo kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine isipokuwa baiskeli, mkokoteni au mnyama anayetumika kusafirisha watu au mizigo; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.511 (Linaendelea.) inayotolewa na Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa au madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “maegesho” maana yake ni sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha chombo cha usafiri kwa muda; “maegesho maalumu” maana yake ni eneo maalumu lililotengwa na Halmashauri na kubainishwa kutumika kwa ajili ya kuegesha magari chini ya uangalizi maalumu wa Halmashauri, na inajumuisha eneo la Nyerere square, pamoja na maeneo ya taasisi yaliyoombewa kibali; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mnada” maana yake ni soko la wazi ambalo mali au vitu mbalimbali vinauzwa kwa ushindani wa bei kwa kauli na kwa kibali maalumu cha Halmashauri; “masoko” maana yake ni sehemu maalumu iliyotengwa na kumilikiwa na Halmashauri kwa ajili ya biashara ya kuuza na kununua bidhaa au huduma kwa kuzingatia utaratibu uliowekwa na Halmashauri; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; la kampuni, “ushuru wa huduma” maana yake ni ushuru unaotozwa au kukusanywa na Halmashauri kutoka kwa kampuni, tawi au mfanyabiashara kwa huduma anazopata kutokana na umma miundombinu inayomuwezesha kufanya biashara katika eneo la Halmashauri; taasisi ya biashara kutumia ya “utamaduni” maana yake ni sanaa za maonesho, sanaa za ufundi, muziki wa asili, ususi, michezo, muziki wa dansi, video, muziki wa taarabu, maonesho ya sinema, mazingaombwe, tiba za jadi na matumizi ya viwanja vya michezo; “Wakala” maana yake ni mtu, taasisi, kikundi cha watu, shirika au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.511 (Linaendelea.) Utozaji wa ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii.
Part
sehemu moja kwenda sehemu nyingine isipokuwa
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri must charge fees or levies for permits, licenses, and its services based on the First Schedule.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili ya vibali au leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Wajibu wa kulipa ada au ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayepaswa kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: A person who must pay a fee or tax under these by-laws must pay it at the rates set in the by-laws.
5. Mtu yeyote anayepaswa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Muda wa kukusanya ada au ushuru - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Fees or taxes may be collected only during the stated daytime hours, unless the Director gives special permission. Payments are made daily, monthly, or by another agreed method, and must be paid to the Council or Agent with an electronic receipt issued.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa katika kanuni ndogo ya (1). (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku, kwa mwezi au kwa namna yoyote itakayokubalika kwza kuzingatia makubaliano ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. yatakayowekwa kati (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. Ushuru wa huduma - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ikusanye ushuru wa huduma kwa kiwango cha 0.3% ya mauzo kwa baadhi ya walipa ushuru, na mlipa ushuru wa huduma lazima alipe ndani ya siku 14 baada ya kuwasilisha taarifa za mauzo ya kila mwezi.
7.-(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.511 (Linaendelea.) huduma kwa kiwango cha asilimia sifuri nukta tatu ya mauzo baada ya kutoa kodi ya ongezeko la thamani na ushuru wa bidhaa kutoka kwa kampuni, tawi la kampuni au mfanyabiashara yeyote mwenye leseni ya biashara anayewasilisha hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania. (2) Bila kujali masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa kiwango kilichoainishwa katika Sheria Ndogo hii kutoka kwa mfanyabiashara mwenye leseni ya biashara ambaye hawasilishi hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania. (3) Mfanyabiashara mwenye leseni ya biashara ambaye anawajibika kulipa ushuru wa huduma atapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi taarifa za hesabu za mwaka kwa ajili ya kukokotoa kiwango. (4) Halmashauri itakokotoa ushuru wa huduma kwa walipa ushuru wa huduma wanaowasilisha taarifa za mauzo Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kuzingatia taarifa zinazowasilishwa na walipa ushuru wa huduma katika kipindi maalumu cha hesabu. (5) Mlipa ushuru wa huduma atatakiwa kulipa ushuru wa huduma si zaidi ya siku kumi na nne tangu tarehe ya kuwasilisha taarifa za mauzo ya kila mwezi. - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukusanya ushuru na kuuza mali zilizokamatwa kufidia deni, lakini kwa kawaida lazima ipate idhini ya mahakama na Mkurugenzi atoe taarifa ya siku saba kabla ya mauzo.
8.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za mdaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya mahakama. Ukusanyaji wa madeni (4) Endapo mali zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa zilizokamatwa 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.511 (Linaendelea.) kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya mahakama. (5) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo za (3) na (4), kabla ya Halmashauri kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma kuhusu kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea ama wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa kwa uzembe wa watumishi wa Halmashauri au Wakala. Uteuzi wa Wakala - 9 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua kampuni iliyosajiliwa kuwa Wakala wa kukusanya ushuru, na Wakala huyo lazima akusanye na kuwasilisha ushuru kulingana na masharti yaliyowekwa.
9.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria kuwa Wakala kwa madhumuni ya kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri; na (c) kutouza au kufanya jambo lolote kwa mali au bidhaa iliyokamatwa bila kupata idhini ya Mkurugenzi. Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa - 10 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri wakati wa saa maalum ili kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kufanya jambo linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali chini ya Sheria Ndogo hii.
10. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Kamati ya Mapato - 11 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na Kamati ya kufatilia mapato ya
AI-assisted research summary: A revenue monitoring committee is to be established, and the revenue committee must report its performance to management every month.
11.-(1) Kutakuwa na Kamati ya kufatilia mapato ya 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.511 (Linaendelea.) Halmashauri itakuwa na majukumu yafuatayo: itakayoundwa na Mkurugenzi ambayo (a) kuratibu utendaji kazi wa kikosi kazi cha kukusanya mapato; (b) kuishauri Halmashauri kuhusu namna ya kuongeza mapato na kubuni vyanzo vipya vya mapato; na (c) kufanya tathmini ya makusanyo katika kila chanzo kwa mwaka ili kuweka maoteo ya mwaka unaofuata. (2) Kamati ya mapato itawajibika kutoa taarifa ya utendaji kazi kwa Menejimenti kila mwezi kuonesha namna ilivyofanya kazi katika kipindi husika. Kikosi kazi cha kudhibiti Mapato Makosa - 12 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na kikosi kazi cha kufuatilia na
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anatakiwa kuunda kikosi kazi cha kufuatilia na kudhibiti utoroshaji wa mapato, na kikosi hicho kitawajibika kwa Kamati ya Mapato.
12.-(1) Kutakuwa na kikosi kazi cha kufuatilia na kudhibiti utoroshaji wa mapato ambacho kitaundwa na Mkurugenzi sekta mbalimbali za Halmashauri. kikihusisha wataalamu kutoka (2) Kikosi kazi kitakachoundwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kitawajibika kwa Kamati ya Mapato. - 13 Verify source ↗
Mtu anatenda kosa ikiwa
AI-assisted research summary: Mtu anatenda kosa ikiwa anashindwa au anakataa kulipa ada au ushuru, anazuia kazi za viongozi wa Halmashauri, anatumia nyaraka za kughushi, anatoa taarifa za uongo, au anasafirisha bidhaa ambazo hazijalipiwa ushuru au ada.
13. Mtu anatenda kosa ikiwa - (a) anashindwa, anadharau, anakwepa au anakataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) anamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) anamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) anatumia nyaraka za kughushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; (e) anatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ushuru na zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri; au (f) anatumia chombo chochote kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada. 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.511 (Linaendelea.) Adhabu Kufifilisha kosa - 14 Verify source ↗
Mtu atakayepatikana na hatia kwa kutenda kosa
AI-assisted research summary: A person convicted of an offence under this bylaw is liable to a fine, imprisonment, or both.
14. Mtu atakayepatikana na hatia kwa kutenda kosa kinyume cha Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. - 15 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji shilingi laki mbili ikiwa mkosaji anakiri kosa, kujaza fomu maalumu ya Jedwali la Pili, na kulipa ada au ushuru anaodaiwa.
15. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii, kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Kufutwa kwa Sheria Ndogo TS.Na. 674 la 2020 - 16 Verify source ↗
Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za
AI-assisted research summary: Section 16 says the Lushoto District Council fees and charges by-laws for 2020 have been repealed.
16. Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto za Mwaka 2020 zimefutwa. 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.511 (Linaendelea.) ____________ JEDWALI LA KWANZA _______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1)) SEHEMU YA KWANZA Ada ya ukaguzi wa Ramani za Majengo na Utoaji Vibali vya Ujenzi. Namba
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section lists fee amounts for different types of plots, buildings, and communication towers, and it begins a new part on transport vehicle charges for entry into markets and auctions.
1. 2 3 4 5 6 Ukubwa wa kiwanja Nyumba za makazi kwenye Kiwanja kikubwa Nyumba za makazi kwenye Kiwanja cha kati Nyumba za makazi kwenye kiwanja kidogo Viwanda, mahoteli na nyumba za kulala wageni bila kujali ukubwa wa kiwanja Jengo la ghorofa kwa kila sakafu bila kujali ukubwa wa kiwanja Majengo mengine (mfano maduka, maeneo ambayo hayajapimwa) Kiasi cha ada (Shilingi) 50,000/= 40,000/= 30,000/= 100,000/= 100,000/= 50,000/= Makao Makuu Wilaya ya Kwa shughuli za makazi 0-400 mita za mraba Kila mita mraba 1360/= ya Zaidi ya 4000 mita za mraba Kila mita ya mraba 4240/= Kila mita mraba 720/= ya Kila mita ya mraba 1,920/= 400,000/=Kila mnara nje Maeneo ya Makao Makuu ya Wilaya Minara simu ya Kwa shughuli za viwanda na biashara Kila mita ya mraba 2,800/= Kila mita ya mraba 1,920/= Kwa huduma za kijamii Kila mita ya mraba 720/= Kila mita ya mraba 400/= SEHEMU YA PILI Ushuru wa Vyombo vya Usafiri vinavyoingia katika Magulio, masoko na minada ya Halmashauri. Ushuru Na. Aina na uwezo wa gari
Part
SEHEMU YA PILI
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This provision lists daily fees for different vehicle types.
9. Gari la zaidi ya abiria 39. Gari la abiria 20-39 Gari dogo la abiria chini ya abiria 20 Teksi Magari binafsi yasiyo ya biashara Gari dogo la mizigo [pikapu au lori chini ya tani 7] Gari kubwa zaidi ya tani 7 Piki piki (boda boda) Mikokoteni ya aina yote cha Kiasi (Shilingi) 2,000 kwa siku 1,500/= kwa siku 1,000/= kwa siku 500/= kwa siku 500/= kwa siku 2,000/= kwa siku 2,500/= kwa siku 500/= kwa siku. 300/= kwa siku. 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.511 (Linaendelea.) SEHEMU YA TATU Ada ya Ukaguzi wa mifugo na nyama Na.
Part
SEHEMU YA TATU
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section lists ushuru amounts for different livestock and begins a heading for a forest produce business permit fee.
4. Aina ya mfugo Ng’ombe Mbuzi Kondoo Nguruwe Kiasi cha Ushuru (Shilingi) 3,500/= kwa ng’ombe mmoja 2,000/= kwa mbuzi mmoja 2,000/= kwa kondoo mmoja 3,500/= kwa nguruwe mmoja SEHEMU YA NNE Ada ya kibali cha kufanya biashara ya mazao ya misitu Namba. Aina ya zao
Part
SEHEMU YA NNE
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The text lists levy amounts for forest products and related activities.
6. Mkaa Mbao Kuni Nguzo Fito Kukata au kuvuna mti Kiasi cha Ushuru (Shilingi) 300,000 kwa mwaka 1,000,000/= kwa mwaka 100,000/= kwa mwaka 100,000/= kwa mwaka 100,000/= kwa mwaka 1,000/= kwa mti mmoja Namba Aina ya bidhaa Ujazo SEHEMU TANO Ushuru wa Mazao ya Misitu
Part
SEHEMU TANO
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Orodha inaonyesha mbao za miti laini kwa vipimo mbalimbali.
1. Mbao za miti laini 2*2 2*3 2*4 2*5 na zaidi 1*8 na zaidi - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Orodha ya mbao ngumu za miti kwa vipimo 2×2, 2×3, 2×4, 2×5 na kuendelea, pamoja na 1×10 na zaidi.
2. Mbao migumu za miti 2*2 2*3 2*4 2*5 na kuendelea 1*10 na zaidi - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: The text lists several wood and related items, including logs, electric poles, charcoal, and seedlings, with a price range of DHB 20–30.
10. ya miti Magogo migumu Magogo ya miti laini kila gogo moja kila gogo moja Nguzo za umeme Mapau Fito Reject Mkaa Miche ya niti ya mche mmoja DHB 20-30 - 10 Verify source ↗
15 cm
AI-assisted research summary: This provision appears to list fee or tax amounts in shillings for a specific load/category.
10 – 15 cm mzigo (fito 50) - kila gunia 9 cha Ushuru Kiasi (Shilingi) 200 200 200 300 300 400 400 400 500 500 3000 2000 3000 500 50 200 2000 30 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.511 (Linaendelea.) - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: This text appears to list fees or charges for items, but it does not clearly state a rule.
13. mapambo Miche ya kawaida Slabs na mabanzi Milunda/mapuu mche mmoja 25 100 300 SEHEMU YA SITA ADA YA KUKODI MALI ZA HALMASHAURI, UKAGUZI WA AFYA NA USAJILI WA VIKUNDI Namba.
Part
SEHEMU YA SITA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section lists fees for hiring halls, chairs, vehicles, and machines, plus health inspection charges and some market-related charges.
1. ` (i) ADA YA KUKODI UKUMBI Ukodishaji ukumbi kwa ajili ya shughuli za mashirika na miradi. Kukodisha viti Tahadhari (inayorejeshwa kama hakuna uharibifu wa ukumbi au upotevu wa mali za halmashari ukumbini) Kiasi cha Ushuru (Shilingi) 100,000 ukumbi kwa mdogo na 200,000 kwa ukumbi mkubwa 500/= kwa kiti 100,000/= (ii) ADA YA KUKODI MAGARI NA MITAMBO Ada ya kukodi gari Ada ya mashine/mtambo kukodi Kama itakavyoamuliwa na Halmashauri kutegemeana na gharama za umbali, gharama za mafuta na matumizi ya mkodishaji na muda wa gari kukodishwa. Kama itakavyoamuliwa na Halmashauri kutegemeana na gharamana na aina ya mashine na muda wa mkodishaji kutumia. (iii) ADA YA UKAGUZI WA AFYA Eneo Nyumba za starehe, baa na vilabu vya pombe za kienyeji Nyumba za kulala wageni Maduka ya bidhaa Nyumba za kutengeneza na kuuzia vyakula na nyama choma Ukaguzi wa maombi ya kufungua biashara Ukaguzi wa viwanda vikubwa Ukaguzi wa viwanda vya kati na karakana Ukaguzi wa viwanda vidogo Mama ntilie na magenge ya aina yote Masuala ambayo hayajatajwa na yanahitaji ukaguzi kiasi cha ushuru 10,000/= kila baada ya miezi 6 10,000/= kila baada ya miezi 6 10,000/= kila baada ya miezi 6 10,000/= kila baada ya miezi 6 10,000/= kila baada ya miezi 6 100,000/= kila baada ya miezi 6 50,000/= kila baada ya miezi 6 20,000/= kila baada ya miezi 6 5,000/= kila baada ya miezi 6. 3,000/= kila baada ya miezi 6 KIASI TSHS 500 SEHEMU YA SABA Ada ya Ushuru wa soko MUDA KWA SIKU SEHEMU YA NANE Ushuru wa Madini ya Ujenzi. Namba
Part
SEHEMU YA NANE
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Kwa gari lenye uzito wa tani 1 hadi 3 kwa trip, ushuru unaonekana kuwa Shilingi 4,500.
1. Uzito wa gari Tani 1 hadi 3 kwa trip Kiasi cha Ushuru (Shilingi) 4,500/= 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.511 (Linaendelea.) - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Inaonyesha viwango vya malipo kwa kila trip kulingana na uzito wa tani.
5. Tani 4 hadi 7 kwa Trip Tani 8 hadi 10 kwa Trip Tani 11 na 12 kwa Trip Tani 12 nakuendelea 10,000/= 15,000/= 20,000/= 25,000/= Namba. - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section lists fees, rent, and taxes for specified cultural activities, business premises, and transport-related items.
5. SEHEMU YA TISA Ada ya shughuli za utamaduni; Aina ya shughuli Disko siku za sikukuu au siku yoyote ya mapumziko. Michezo na sanaa za maonyesho, ngoma, sarakasi, michezo ya kuigiza. Shughulizasanaazaufundi /uchoraji, picha za rangi na vinyago. Kucheza meza za pool. Kuendesha promotion katika baa au hotel au eneo la wazi. Shughuli za harusi na sherehe nyinginezo. Video au sinema kwa siku Waganga wa Jadi Wauzaji wa dawa za kienyeji Shughuli yoyote katika eneo itakayohitaji kufunga matumizi ya kijamii Shughuli yoyote isiyotajwa hapo juu. la Kijamii Kiasi cha Ushuru (Shilingi) 20,000/= kwa mwaka 10,000/= kwa mwaka 10,000/= kwa mwaka 20,000/= kwa mwaka 25,000/= kwa mwaka 15,000/= kwa mwaka 2,000/= kwa mwaka 10,000/= kwa mwaka 15, 000/= kwa mwaka 30,000/= kwa siku 10,000/= kwa mwaka SEHEMU YA KUMI A: Kodi ya nyumba za biashara za Halmashauri. AINA YA KODI KODI YA PANGO KODI YA PANGO KODI YA PANGO KODI YA PANGO KODI YA PANGO KIASI 250,000 KWA MWEZI 200,000 KWA MWEZI 150,000 KWA MWEZI 100,000 KWA MWEZI 50,000 KWA MWEZI DARAJA A B C D E B: Kodi ya Nyumba Zilizojengwa Kwenye Ardhi Ya Halmashauri MAHALI Lushoto mjini Nje ya mji KIASI 50,000 kwa mwezi 30,000 kwa mwezi SEHEMU YA KUMI NA MOJA Vituo vya vyombo vya usafiri Jina la kituo Stendi Kuu Stendi Kuu Stendi Kuu Stendi Kuu Stendi Kuu Kata Lushoto Mnazi Mlalo Mlola Mtae SEHEMU YA KUMI NA MBILI Ushuru wa chombo cha usafiri 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.511 (Linaendelea.) Namba. AINA YA CHOMBO
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada ya kutumia kwa aina mbalimbali za magari, zikiwemo mabasi, teksi, pikapu, bajaji/guta na pikipiki.
9. 10 11 Basi kubwa Basi la kati Basi dogo Mabasi mengine/Jamii ya daladala Teksi Tipa kenta Pikapu Magari mengine Bajaji/Guta (Pikipiki za miguu 3) Pikipiki kila GHARAMA YA KUTUMIA (inatozwa kinapoingia/kutoka) 3,000/= 2,500/= 2,000/= 1,500/= 1,000/= 2,500/= 2,000/= 1,500/= 3,000/= 500/= 300/= chombo SEHEMU YA KUMI NA TATU Ada ya kutoa huduma za kutembeza wageni pamoja na kutembelea vivutio vya asili Namba Aina ya shughuli
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This provision refers to a permit fee for guiding tourists and a charge for visiting natural attractions for a Tanzanian tourist.
2. Ada ya kibali cha kuongoza watalii Tozo ya kutembelea vivutio vya asili kwa mtalii mtanzania - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Ushuru wa kutembelea vivutio vya asili umewekwa kwa mtalii asiye Mtanzania, na viwango tofauti vinaonyeshwa kwa watu wazima, wanafunzi, na watoto chini ya miaka 5.
3. Tozo ya kutembelea vivutio vya asili kwa mtalii asiye Mtanzania Kiasi cha Ushuru (Shilingi) 50,000/= kwa mwaka kwa kila eneo la kivutio; 2000/= (mtu mzima) 500/= (wanafunzi) Bure kwa watoto chini ya miaka 5 kwa kila eneo la kivutio; 5000/= Bure kwa watoto chini ya miaka 5 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.511 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA PILI ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 15) HATI YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Lushoto, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …… ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, niko tayari kulipa kiasi cha Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO YA HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU: Jina:……………………………………..……………………..... Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………… 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Tangazo la Serikali Na.511 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto imebandikwa katika hizi Sheria Ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kufuatia Azimio la kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kilichofanyika tarehe 12/5/2023 na kushuhudiwa, Lakiri imebandikwa mbele ya:- IKUPA H. MWASYOGE, Mkurungenzi mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, Lushoto MATHEW MBARUKU, Mwenyekiti, Halmashauri ya wilaya, Lushoto L.S NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA (MB.), 25 Machi, 2024 Waziri wa Nchi -OR-Tamisemi, 14
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in