KANUNI ZA UDHIBITI WA MAZINGIRA YA MAJARIBIO YA TEKNOLOJIA YA FEDHA ZA 2024
This section lists topics on qualifications, application procedure, financial solution conditions, application assessment, reapplying, trials, and related matters.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- KANUNI ZA UDHIBITI WA MAZINGIRA YA MAJARIBIO YA TEKNOLOJIA YA FEDHA ZA 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section lists topics on qualifications, application procedure, financial solution conditions, application assessment, reapplying, trials, and related matters. This section lists topics including progress reports, withdrawal of approval, effects of withdrawal, final reports, completion of trials, transparency, data protection, and copyright. This section is headed “Administrative penalties” and “Monitoring.” These regulations are named the Financial Technology Experimental Environment Regulations, 2024. Kanuni hizi zinatumika kwa baadhi ya watoa huduma za fedha na kampuni za teknolojia ya fedha zilizoainishwa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of KANUNI ZA UDHIBITI WA MAZINGIRA YA MAJARIBIO YA TEKNOLOJIA YA FEDHA ZA 2024
Showing 39 of 39
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This section lists topics on qualifications, application procedure, financial solution conditions, application assessment, reapplying, trials, and related matters.
8. Jina. Matumizi. Tafsiri. SEHEMU YA PILI SIFA NA UTARATIBU WA MAOMBI Sifa. Utaratibu wa maombi. Masharti ya suluhisho la fedha. Tathmini ya maombi. Kurudia kuomba. SEHEMU YA TATU MAJARIBIO NA MASUALA MENGINE YAHUSIKANAYO Kuanza kwa majaribio. Kipindi cha majaribio.
Part
SEHEMU YA TATU
- 16 Verify source ↗
Section 16
AI-assisted research summary: This section lists topics including progress reports, withdrawal of approval, effects of withdrawal, final reports, completion of trials, transparency, data protection, and copyright.
16. Taarifa ya maendeleo. Kuondolewa idhini. Athari za kuondolewa idhini. Taarifa ya mwisho. Kukamilika kwa majaribio. Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) SEHEMU YA NNE MASHARTI YA JUMLA Uwazi. Ulinzi wa taarifa. Hakimiliki. - 9 Verify source ↗
(1) Mshiriki ataanza majaribio ndani ya miezi miwili
AI-assisted research summary: Mshiriki lazima aanze majaribio ndani ya miezi miwili baada ya kupata idhini kutoka Benki, na akishindwa aanzishe kutoa sababu za maandishi. Wakati wa majaribio lazima pia afuate masharti ya idhini, sheria husika, taarifa za maendeleo, ulinzi wa wateja, usimamizi wa malalamiko, ulinzi wa taarifa, na kuomba idhini ya Benki kabla ya mabadiliko.
9.-(1) Mshiriki ataanza majaribio ndani ya miezi miwili 7 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) kutokea tarehe ya kupokelewa kwa idhini kutoka katika Benki. (2) Endapondani ya muda uliotajwa chini ya kanuni ndogo ya (1), mshiriki anashindwa kuanza majaribio atatkiwa kuwasilisha kwa Benki sababu za maandishi za kushindwa kutekeleza kwa ajili ya kuzingatiwa. (3) Wakati wa majaribio, mshiriki - (a) atakusanya taarifa juu ya jaribio linalofanywa; (b) atatekeleza masharti yaliyotolewa kwenye idhini; (c) atakeleza sheria husika; (d) atawasilisha ripoti za maendeleo zilizoainishwa katika Kanuni hizi; (e) atapata na kutunza idhini ya awali ya mlaji ya kushiriki katika jaribio; (f) atazingatia vigezo ya mteja yaliyoidhinishwa kwa ajili ya majaribio ya suluhisho la fedha; na masharti (g) atahakikisha wateja wanalindwa hususani iwapo kutokutekelezeka kunatokea; (h) atashughulikia malalamiko ya walaji wa huduma za fedha na kulinda taarifa binafsi na za fedha; (i) ataomba idhini kutoka Benki iwapo kuna mabadiliko katika vigezo au masharti; na (j) atajibu maswali yote kutoka kwa Benki. Kipindi cha majaribio - 10 Verify source ↗
(1) Mshiriki atakamilisha majaribio ya suluhisho la
AI-assisted research summary: The participant must finish the financial solution testing in the controlled fintech sandbox within 12 months after approval. The bank may extend the testing period if needed to deal with specific issues or identified risks.
10.-(1) Mshiriki atakamilisha majaribio ya suluhisho la fedha katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa ndani ya kipindi cha miezi kumi na mbili kutokea ya kupokelewa kwa idhini. (2) Benki inaweza kuongeza muda wa majaribio kadri ili kushughulikia masuala mahususi au itakavyohitajika vihatarishi vilivyobainika wakati wa kipindi cha majaribio. Mazingira ya majaribio - 11 Verify source ↗
Mshiriki atafanya majaribio ya suluhisho la fedha
AI-assisted research summary: Mshiriki lazima afanye majaribio ya suluhisho la fedha lililopendekezwa katika mazingira ya majaribio yanayolingana na masharti ya idhini; Benki inaweza kuweka masharti mengine inapoona inafaa.
11. Mshiriki atafanya majaribio ya suluhisho la fedha linalopendekezwa katika mazingira ya majaribio yanayoendana na masharti yaliyobainishwa katika idhini isipokuwa kwamba, Benki inaweza kutoa masharti mengine kadiri itakavyoona inafaa. Taarifa za maendeleo ya majaribio - 12 Verify source ↗
Wakati wa majaribio, mshiriki atawasilisha kwa
AI-assisted research summary: During the trial, the participant must send the Bank a progress report every 3 months.
12. Wakati wa majaribio, mshiriki atawasilisha kwa Benki taarifa ya maendeleo ya majaribio kila baada ya miezi 8 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) mitatu, isipokuwa kwamba, taarifa hiyo itajumuisha- (a) mafanikio makuu yaliyofikiwa wakati wa kipindi kinachotolewa taarifa; (b) vihatarishi vilivyobainishwa wakati wa majaribio ikijumuisha hatua za kudhibiti vihatarishi hivyo; ambavyo malalamiko ya wateja (c) namna yalishughulikiwa; (d) changamoto za uendeshaji zilizojitokeza na hatua zilizochukuliwa wakati wa kipindi cha majaribio; (e) ulinzi wa taarifa binafsi na za fedha; (f) taarifa za mabadiliko ya umiliki wa kampuni; (g) orodha ya wateja wanaoshirikikatika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa; na (h) taarifa nyingine yoyote ya muhimu. Kuondolewa kwa idhini - 13 Verify source ↗
(1) Benki inaweza kuondoa idhini ya kushiriki
AI-assisted research summary: Benki inaweza kuondoa idhini ya mshiriki wa mazingira ya majaribio kabla ya kipindi kuisha, na mshiriki anaweza kujitoa kwa ridhaa ya Benki.
13.-(1) Benki inaweza kuondoa idhini ya kushiriki katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Iliyodhibitiwa wakati wowote kabla ya kuisha kwa kipindi cha majaribio iwapo mshiriki- (a) atashindwa kukidhi masharti ya idhini; (b) aliwasilisha taarifa za uongo, zinazopotosha, alificha au kushindwa kuweka wazi maelezo muhimu katika maombi; (c) anakiuka sheria yoyote Jamhuri ya Muungano; inayotumika ndani ya (d) anafilisika; (e) anaendesha biashara katika namna iliyona athari kwa wateja; au (f) anashindwa kushughulikia ipasavyo kasoro zozote za kiufundi, dosari au udhaifu katika suluhisho la fedha. (2) Benki itamtaka mshiriki kuonesha sababu ya msingi ndani ya siku kumi na nne kwanini idhini isiondolewe. (3) Benki inaweza, iwapo itaona kuwa uwepo wa idhini utaatiri maslahi ya wateja, iwapo masharti ya kanuni ndogo ya (2) yatapaswa kutekelezwa, kuondoa idhini hiyo mara moja. (4) Benki itawaarifu wateja kuhusu kuondolewa kwa idhini ya mshiriki katika mazingira ya majaribio kupitia vyombo vya habari vilivyosambaa katika eneo kubwa. 9 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) Athari za kuondolewa kwa idhini (5) Mshiriki anaweza, kwa ridhaa ya Benki, kujitoa kushiriki katikaMazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha iliyodhibitiwa muda wowote kwa kutoa notisi iiyona sababu za kujitoa. (6) Kujitoa kwa mshiriki kunaweza kuidhinishwa iwapo Benki imeridhika kuwa hakuna kosa au viashiria vyovyote kinyume na sheria au muamala uliotendwa na mshiriki katika kipindi cha majaribio. - 14 Verify source ↗
Baada ya kuondolewa kwa
AI-assisted research summary: Baada ya kuondolewa kwa idhini, mshiriki lazima mara moja asitishe utoaji wa suluhisho la fedha kwa wateja waliopo, awaeleze kuhusu usitishwaji na haki zao za fidia na wajibu wa kulipa madeni ambayo hayajalipwa, na amfidie mteja yeyote aliyepata hasara ya kifedha kutokana na majaribio hayo.
14.- Baada ya kuondolewa kwa idhini, mshiriki atatakiwa mara moja- (a) atasitisha utoaji wa suluhisho la fedha kwa wateja waliopo; (b) atawajulisha wateja kuhusu usitishwaji kwa suluhisho la fedha, haki zao za fidia itakapohitajika na wajibu wao kulipa madeni ambayo hayajalipwa; na (c) atamfidia kwa mteja yeyote ambaye amepata hasara ya kifedha kutokana na majaribio hayo. Taarifa ya mwisho - 15 Verify source ↗
(1) Mshiriki atatakiwa, baada ya kukamilika kwa
AI-assisted research summary: Mshiriki lazima awasilishe taarifa ya mwisho kwa Benki baada ya majaribio kukamilika, na afanye hivyo ndani ya siku 30 baada ya muda wa majaribio.
15.-(1) Mshiriki atatakiwa, baada ya kukamilika kwa majaribio, kuwasilisha taarifa ya mwisho inayoonesha- Kukamilika kwa kipindi cha majaribio (a) matokeo ya majaribio; (b) vihatarishi vilivyobainishwa wakati wa majaribio na hatua za kudhibiti vihatarishi hivyo; na (c) utayari wa kupeleka sokoni suluhisho la fedha lililojaribiwa. (2) Taarifa iliyorejewa chini ya kanuni ndogo ya (1) itawasilishwa kwa Benki ndani ya siku thelathini baada ya muda wa majaribio. - 16 Verify source ↗
(1) Baada ya kukamilika kwa kipindi cha majaribio,
AI-assisted research summary: Baada ya kipindi cha majaribio kuisha, Benki inaweza kupendekeza suluhisho la fedha liende sokoni, au kuzuia litumike sokoni.
16.-(1) Baada ya kukamilika kwa kipindi cha majaribio, Benki inaweza kupendekeza suluhisho la fedha kutumika sokoni. (2) Benki inaweza kuzuia kutumika kwa suluhisho la fedha sokoni baada ya kukamilika kwa majaribio kutokana na- (a) jaribio lililoshindikana kutokana na vigezo vilivyokubaliwa; (b) athari hasi yasiyokusudiwa kwa umma; au (c) tishio linaloweza kuharibu uhimilivu wa sekta ya 10 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) fedha. Uwazi Ulinzi wa taarifa Sura ya 44 SEHEMU YA NNE MASHARTI YA JUMLA
Part
SEHEMU YA NNE
- 23 Verify source ↗
Section 23
AI-assisted research summary: This section is headed “Administrative penalties” and “Monitoring.”
23. Adhabu za kiutawala. Ufuatiliaji. _________ JEDWALI _________ 2 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) SHERIA YA BENKI KUU YA TANZANIA, (SURA YA 197) ________ KANUNI _________ (Zimetengenezwa chini ya kifungu cha 70(1)) KANUNI ZA UDHIBITI WA MAZINGIRA YA MAJARIBIO YA TEKNOLOJIA YA FEDHA ZA MWAKA 2024 SEHEMU YA KWANZA MASHARTI YA UTANGULIZI Jina Matumizi - 17 Verify source ↗
Kwa madhumuni ya kuhakikisha uwazi, mshiriki
AI-assisted research summary: Mshiriki lazima ahifadhi taarifa sahihi za suluhisho la fedha ili kuhakikisha uwazi.
17. Kwa madhumuni ya kuhakikisha uwazi, mshiriki atahifadhi taarifa sahihi za suluhisho la fedha zinazojumuisha- (a) masuala yaliyobainika; (b) udhibiti wa vihatarishi; (c) ushiriki wa wateja; na (d) taarifa nyingine yoyote muhimu kadri ambavyo Benki itahitaji. - 18 Verify source ↗
Mshiriki
AI-assisted research summary: Mshiriki must handle trial-related data under the Personal Data Protection Act, protect confidential and customer personal information before it leaves the controlled FinTech sandbox, and destroy such information if consent is withdrawn.
18.- Mshiriki atahakikisha kuwa zote zilizokusanywa wakati wa majaribio na, au baada ya kukamilika kwa majaribio ya suluhisho la fedha zinafanyiwa kazi kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na kwamba- taarifa (a) taarifa zote za siri ikijumuisha taarifa binafsi za mteja zilizokusanywa wakati wa kipindi cha majaribio zinalindwa kabla ya kutoka kwenye Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha iliyodhibitiwa; na (b) taarifa zote za siri ikijumuisha taarifa binafsi za zilizokusanywa wakati wa majaribio mteja zinaharibiwa endapo idhini imeondolewa. Hakimiliki - 19 Verify source ↗
(1) Mwombaji atakuwa na jukumu la kusajili
AI-assisted research summary: Mwombaji lazima asajili hakimiliki yake katika mamlaka husika; Benki haitawajibika kwa madai ya hakimiliki ya mtu mwingine dhidi ya mwombaji au mshiriki, kwa kuzingatia kifungu kidogo cha (1).
19.-(1) Mwombaji atakuwa na jukumu la kusajili hakimiliki yake katika mamlaka husika kwa mujibu wa sheria zinazosimamia na hakimiliki. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), Benki haitawajibika kwa madai ya hakimiliki yaliyowasilishwa na mhusika mwingine dhidi ya mwombaji au mshiriki katika ya Fedha Mazingira yaliyodhibitiwa. ya Teknolojia ya Majaribio Malalamiko ya wateja - 20 Verify source ↗
Malalamiko ya wateja yanayotokanayo na awamu
AI-assisted research summary: Customer complaints arising from the trial phase must be handled in accordance with consumer protection laws.
20.- Malalamiko ya wateja yanayotokanayo na awamu ya majaribio yatashughulikiwa kwa mujibu wa sheria zinazomlinda mlaji. 11 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) Ufuatiliaji Mamlaka ya jumla ya Benki Adhabu za kiutawala - 21 Verify source ↗
Benki
AI-assisted research summary: Benki lazima ifuatilie utekelezaji wa washiriki katika Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa na kufanya ukaguzi wa maeneo kwa ajili ya ufuatiliaji na uhakiki.
21. Benki - (a) itafuatilia utekelezaji wa washiriki katika Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa; na (b) itafanya kaguzi za maeneo kwa madhumuni ya ufuatiliaji na uhakiki. - 22 Verify source ↗
Benki inaweza, kwa vigezo na masharti kama
AI-assisted research summary: Benki inaweza kuondoa wajibu wa kutekeleza masharti ya vifungu vya Kanuni hizi, ikiwa itaona inafaa na chini ya vigezo na masharti yake.
22. Benki inaweza, kwa vigezo na masharti kama inafaa kumuondolea yatakayoainsihwa, kadri wajibu wa kutekeleza masharti ya vifungu vya Kanuni hizi. itakavyoona - 23 Verify source ↗
(1) Mshiriki atakayevunja masharti yoyote chini ya
AI-assisted research summary: A participant who breaks any condition under these Regulations commits an offence, and the Bank may issue a warning or suspend the participant for one year after confirming the breach.
23.-(1) Mshiriki atakayevunja masharti yoyote chini ya Kanuni hizi anatenda kosa. (2) Benki inaweza kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), baada ya kujiridhisha kuhusiana na ukiukwaji wa Kanuni hizi uliofanywa na mshiriki, kutoa amri zifuatazo: (a) onyo; au (b) kumsimamisha kushiriki katika mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa kutokea kipindi kwa tareheukiukwaji huo cha mwaka mmoja 12 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) _________ JEDWALI ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 5(2) na (3)) Sehemu A FOMU YA MAOMBI Maelezo ya Mwombaji Taarifa Maelezo Jina la mwombaji (kampuni) Namba ya Usajili wa kampuni Tovuti (kama ipo) Jina la mtu wa mawasiliano Barua pepe Namba ya simu Sanduku la Posta Anuani ya eneo la ofisi Maelezo ya Wanahisa N.A Jina Utaifa Nambari za Simu & Barua pepe Kazi Asilimia ya hisa Maelezo ya Wakurugenzi N.A Jina Utaifa Cheo Kiwango cha elimu 13 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) Maelezo ya suluhisho la fedha linalopendekezwa
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Udhibiti wa
AI-assisted research summary: These regulations are named the Financial Technology Experimental Environment Regulations, 2024.
1. Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha za mwaka 2024. - 2 Verify source ↗
(1) Kanuni hizi zitatumika kwa
AI-assisted research summary: Kanuni hizi zinatumika kwa baadhi ya watoa huduma za fedha na kampuni za teknolojia ya fedha zilizoainishwa.
2.-(1) Kanuni hizi zitatumika kwa- (a) mtoa huduma za fedha aliyesajiliwa na Benki; (b) kampuni ya teknolojia ya fedha inayoshirikiana na mtoa huduma za fedha aliyepewa leseni na Benki; na (c) kampuni ya teknolojia ya fedha inayokusudia kutoa fedha na huduma la bidhaa za suluhisho zinazosimamiwa na Benki. (2) Shughuli watu walioorodheshwachini ya kanuni ndogo ya (1), zitakuwa ni zile ambazo haziangukii chini ya mfumo wa sheria uliyopo.. zitakazoendeshwa na Tafsiri Sura ya 197 - 3 Verify source ↗
Katika Kanuni hizi, isipokuwa kama muktadha
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the Regulations, including applicant, customer, financial service provider, financial solution, fintech company, participant, and the regulated testing environment.
3. Katika Kanuni hizi, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Sheria” maana yake ni Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania; “mwombaji” maana yake ni kampuni inayokusudia kufanya majaribio ya teknolojia ya huduma za fedha ndani ya mazingira ya majaribio ya fedha yaliyodhibitiwa; teknolojia ya “Benki” itakuwa na maana kama iliyotolewa kwake chini ya 3 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) Sheria; “mteja” maana yake ni mtu anayetumia bidhaa yoyote yafedha huduma zinazotolewa na Mshiriki; “mtoa huduma za fedha” maana yake ni taasisi iliyona leseni ya kutoa huduma za fedha, inayodhibitiwa na kusimamiwa na Benki; “suluhisho la fedha” maana yake ni bidhaa yoyote, huduma, njia ya uwasilishaji, teknolojia au muundo wa biashara na inajumuisha, malipo ya kidijitali, mikopo ya kidijitali, uhamisho wa fedha na huduma za utumaji fedha, kumjua mteja wako kidijitali, jukwaa la kidijitali, huduma za utambuzi kidijitali, huduma za usalama wa mtandao na bidhaa, uendelevu wa sekta ya fedha, huduma za fedha kwa njia ya simu, uchambuzi na matumizi ya taarifa tofauti, matumizi ya teknolojia ya daftari iliyosambazwa, akili bandia na matumizi ya mashine ya kujifunza na aina nyingine ya bidhaa, huduma, njia ya uwasilishaji, teknolojia au muundo wa biashara kama itakavyoidhinishwa na Benki; la hesabu “teknolojia ya huduma ya fedha” maana yake ni uvumbuzi wa kiteknolojia utakaotumika katika utoaji wa bidhaa za fedha na huduma; “Mazingira ya Majaribio “kampuni ya teknolojia ya fedha” maana yake ni taasisi iliyosajiliwa ndani ya Jamhuri ya Muungano kwa ajili ya utoaji wa suluhisho la fedha iliyobuniwa katika soko; ya Fedha Yaliyodhibitiwa” maana yake ni utaratibu rasmi uliowekwa na Benki, ambao ndani yake, chini ya mazingira yaliyodhibitiwa, kampuni inafanya majaribio ya bidhaa mpya za uvumbuzi, huduma, njia za uwasilishaji au muundo wa biashara katika mazingira yaliyothibitiwa ; na ya Teknolojia “soko” maana yake ni mazingira ambayo ndani yake suluhisho la fedha linatolewa kwa ajili ya matumizi; “Waziri” itakuwa na maana sawa na maana iliyotolewa kwake chini ya Sheria; “mshiriki” maana yake ni taasisi iliyoidhinishwa kushiriki katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Huduma za Fedha Yaliyodhibitiwa; 4 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) “mazingira ya kufanya majaribio” maana yake ni mazingira ya soko halisi ya ambapo mshiriki anaonesha matumizi ya teknolojia ya huduma ya fedha. Sifa Utaratibu wa maombi SEHEMU YA PILI SIFA NA UTARATIBU WA MAOMBI
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Watu waliyotajwa katika kanuni ya 2(1) watakuwa na
AI-assisted research summary: People named in regulation 2(1) are eligible to apply to participate in the regulated fintech sandbox.
4. Watu waliyotajwa katika kanuni ya 2(1) watakuwa na sifa za kuomba kushiriki katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa . - 5 Verify source ↗
(1) Dirisha
AI-assisted research summary: Maombi ya kushiriki katika mazingira ya majaribio ya teknolojia ya fedha yatafunguliwa kila robo mwaka, Benki itawaalika waombaji, na mwombaji lazima ajaze fomu na kuambatisha nyaraka zilizoainishwa.
5.-(1) Dirisha la maombi ya kushiriki katika Mmazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa litafunguliwa kwa robo mwaka ambapo Benki itawakaribisha waombaji kupitia tovuti yake rasmi na vyombo vingine vya habari vilivyosambaa katika eneo kubwa. (2) Kwa kuzingatia kanuni ya 4, mtu anayekusudia kuomba kushiriki katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa atatakiwa kujaza fomu ya maombi kama ilivyoainishwa katika sehemu A ya Jedwali la Kanuni hizi. (3) Fomu ya maombi iliyorejewa katika kanuni ndogo ya (2) itaambatana na- (a) barua ya maombi kama ilivyoainishwa katika sehemu B ya Jedwali ya Kanuni hizi; (b) nakala zilizothibitishwa ya katiba za kampuni; (c) nakala iliyothibitishwa ya cheti cha usajili; (d) barua halisi kutoka kwa Msajili wa Kampuni inayobainisha taarifa za kampuni; (e) ushahidi wa vyanzo vya fedha kwa ajili ya kuwezesha majaribio; (f) wasifu wa watendaji wakuu wa mwombaji ulioambatishwa na picha moja ya pasipoti ya hivi karibuni, nakala zilizothibitishwa za kitambulisho cha taifa au hati ya kusafiria; (g) mkataba uliosainiwa kati ya kampuni ya teknolojia ya fedha na mmiliki wa mazingira ya majaribio endapo mwombaji ni aliyerejewa katika kanuni ya 2(1)(b) na (c); (h) muundo wa mfumo; 5 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) (i) sera ya udhibiti wa utakatishaji fedha haramu na udhibiti wa ufadhili wa ugaidi; (j) sera ya kumlinda mlaji wa huduma za fedha; (k) uamuzi wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni kuridhia ushiriki wa kampuni katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya fedha Yaliyodhibitiwa; (l) mpango halisi wa kibiashara unaoonesha jinsi litakavyotumika baada ya suluhisho kutoka katika Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Yaliyodhibitiwa; (m) andiko la suluhisho la fedha linalojumuisha- la fedha (i) maelezo ya suluhisho la fedha na changamoto linalotatua; rasilimali (ii) maelezo ya fedha na watu zinazohitajika kwa ajili ya majaribio; (iii) manufaa kwa wateja; (iv) muda na mpango wa utekelezaji wa suluhisho la fedha unaopendekezwa; ya mazingira (v) maelezo ya majaribio jinsi majaribio yaliyopendekezwa yatakavyofanyika; na (vi) matokeo muhimu yaliyokusudiwa kutoka kwenye majaribio; na (vii) mkakati wa majaribio unaopendekezwa pamoja na namna ya kutoka kwenye mazingira ya majaribio ya teknolojia ya fedha yaliyodhibitiwa; (n) taratibu zilizoandikwa zinazopendekezwa kwa ajili ya kudhibiti vihatarishi vinavyohusiana na- (i) amana; (ii) usalama mtandaoni; (iii) uhimilivu wa kifedha; (iv) ukuaji na unyumbulishwaji na uendelevu wa fedha suluhisho wa la biashara linalopendekezwa; na (v) kusomana kwa mifumo. Maharti ya suluhisho la fedha
Part
Jedwali ya Kanuni hizi;
- 6 Verify source ↗
Suluhisho la fedha linalopendekezwa na mwombaji
AI-assisted research summary: The applicant’s proposed financial solution must use new or emerging technology, or an innovative use of existing technology, and should help fill market gaps or create new opportunities while improving financial service access, use, efficiency, security, and quality.
6. Suluhisho la fedha linalopendekezwa na mwombaji litatakiwa - (a) matumizi ya teknolojia mpya au inayoibuka au matumiziya teknolojia iliyopo kwa njia ya ubunifu; 6 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) (b) kuondoa mapungufu yaliyopo katika soko au kufungua fursa mpya; na (c) kuboresha upatikanaji, matumizi, ufanisi, usalama na ubora wa huduma za fedha. Tathmini ya Maombi Kurudia kuomba - 7 Verify source ↗
(1) Benki baada ya kupokea maombi katika kanuni 5
AI-assisted research summary: Benki lazima ichunguze maombi, kumjulisha mwombaji kwa maandishi ndani ya siku 45 kuhusu matokeo, na ikikataa ombi itoe sababu kwa maandishi.
7.-(1) Benki baada ya kupokea maombi katika kanuni 5 itafanya tathmini na kumtaarifu mwombaji kwa maandishi ndani ya siku arobaini na tano kuhusu matokeo ya tathmini na iwapo yameridhiwa au au kukataliwa kushiriki katika Mazingira ya Fedha Yaliyodhibitiwa. ya Teknolojia ya Majaribio (2) Endapo ambapo maombi yamekataliwa na Benki, itampatia, mwombaji sababu za kwa maandishi, za kukataliwa huko. imebainikayobainika iwapo dosari Isipokuwa kwamba, inayoweza kusababisha kukataliwa, mwombaji atapatiwa nafasi ya kuirekebisha ndani ya kipindi kilichoainishwa katika notisi ya kukataliwa. (3) Idhini iliyotolewa chini ya kanuni ndogo ya (1) itahusika tu kumruhusu mwombaji kuendelea na majaribio ya suluhisho la fedha katika mazingira ya soko na haitachukuliwa kuwa ni idhini kamili ya kutoa suluhisho la fedha kwa umma. - 8 Verify source ↗
(1) Mwombaji ambaye maombi yake yamekataliwa
AI-assisted research summary: A rejected applicant may reapply within six months if the defect that led to the original rejection has been fixed; the bank must assess the resubmitted application and may approve or reject it.
8.-(1) Mwombaji ambaye maombi yake yamekataliwa anaweza kurudia kufanya maombi ndani ya kipindi cha miezi sita iwapo dosari iliyosababisha msingi wa kukataliwa kwa maombi ya awali imerekebishwa. (2) Benki itatathmini maombi yaliyorudiwa na inaweza ama kuyaidhinisha au kuyakataa. (3) Kwa madhumuni ya kanuni hii, masharti ya kanuni ya 5(1) na (2) hayatatumika katika mchakato wa maombi yaliyorudiwa isipokuwa iwapo msingi wa kukataliwa ulitokana na kutokutekelezwa kwa masharti ya kanuni hiyo. SEHEMU YA TATU MAJARIBIO NA MASUALA MENGINE YAHUSIKANAYO Kuanza majaribio
Part
Sehemu A
- 1 Verify source ↗
Eleza asili na ukubwa wa uendeshaji wa
AI-assisted research summary: Describe the nature and size of your operations.
1. Eleza asili na ukubwa wa uendeshaji wa shughuli zako - 2 Verify source ↗
Eleza kwa ufupi suluhisho la fedha
AI-assisted research summary: Inasema ueleze kwa ufupi suluhisho la fedha linalopendekezwa.
2. Eleza kwa ufupi suluhisho la fedha linalopendekezwa - 3 Verify source ↗
Onesha kwa ufupi chanzo cha
AI-assisted research summary: Instructs the reader to state the source briefly so that the proposed financial solution can be tested and brought to market.
3. Onesha kwa ufupi chanzo cha ili kuwezesha majaribio na upelekaji wa suluhisho la fedha linalopendekezwa sokoni. fedha - 4 Verify source ↗
Eleza kwa ufupi muda wa majaribio na utumiaji
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaomba maelezo mafupi kuhusu muda wa majaribio na matumizi ya suluhisho la fedha linalopendekezwa.
4. Eleza kwa ufupi muda wa majaribio na utumiaji wa suluhisho la fedha unaopendekezwa. - 5 Verify source ↗
Eleza kwa ufupi teknolojia za msingi na
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaomba maelezo mafupi kuhusu teknolojia za msingi na suluhisho la fedha kwa miundombinu inayopendekezwa sokoni.
5. Eleza kwa ufupi teknolojia za msingi na fedha suluhisho ya la miundombinu inayopendekezwa sokoni. - 6 Verify source ↗
Eleza kwa ufupi mahitaji ya fedha na rasilimali
AI-assisted research summary: Inaomba maelezo mafupi ya mahitaji ya fedha na rasilimali watu kwa ajili ya majaribio na usambazaji wa suluhisho la fedha linalopendekezwa.
6. Eleza kwa ufupi mahitaji ya fedha na rasilimali watu kwa ajili ya majaribio na usambazaji wa suluhisho la fedha linalopendekezwa sokoni. - 7 Verify source ↗
Toa maelezo ya kina ya tatizo la kutatuliwa
AI-assisted research summary: Toa maelezo ya kina ya tatizo linalotatuliwa katika mfumo wa fedha na jinsi suluhisho la fedha linalopendekezwa litakavyolitatua na kuleta manufaa kwa watumiaji na/au sekta ya fedha.
7. Toa maelezo ya kina ya tatizo la kutatuliwa katika mfumo wa fedha na jinsi suluhisho la fedha linalopendekezwa litakavyotatua tatizo na kutoa manufaa kwa watumiaji na/au sekta ya fedha. - 8 Verify source ↗
Elezea na ambatisha mpango wa biashara
AI-assisted research summary: Provide and attach a business plan that explains how a large-scale financial solution will be used after leaving the regulated fintech trial environment.
8. Elezea na ambatisha mpango wa biashara ukijumuisha namna ya kutumia suluhisho la fedha kwa kiwango kikubwa baada ya kuondoka kwenye mazingira ya majaribio ya teknolojia ya fedha yaliyodhibitiwa. - 9 Verify source ↗
Eleza mkakati wako wa kuondoka katika
AI-assisted research summary: The text asks for an exit strategy from the testing environment if you are removed at any time or if you successfully move into the live market after testing.
9. Eleza mkakati wako wa kuondoka katika mazingira ya majaribio endapo utaondolewa wakati wowote au utafaulu kuingia katika soko halisi baada ya majaribio. yanakwamisha - 10 Verify source ↗
Ainisha matakwa ya kisheria au ya kiusimamizi
AI-assisted research summary: The provision requires identifying the legal or regulatory requirements for implementing funding for service delivery and related modifications for the proposed technology trial.
10. Ainisha matakwa ya kisheria au ya kiusimamizi utekelezaji wa fedha ya kufanya huduma na marekebisho ambayo teknolojia ya inayopendekezwa kiusimamizi majaribio. yanayohitajika ya ili - 11 Verify source ↗
Eleza kwa ufupi mazingira ya majaribio
AI-assisted research summary: Inaomba maelezo mafupi kuhusu mazingira ya majaribio na jinsi mpango unaopendekezwa utakavyofanyika.
11. Eleza kwa ufupi mazingira ya majaribio jaribio jinsi na yanayopendekezwa litakavyofanyika - 12 Verify source ↗
Eleza matokeo muhimu yanayokusudiwa katika
AI-assisted research summary: This provision says to explain the key intended results in the test.
12. Eleza matokeo muhimu yanayokusudiwa katika jaribio. - 13 Verify source ↗
Ainisha vihatarishi ikijumuisha udanganyifu,
AI-assisted research summary: Sehemu hii ina tamko la wanahisa na mfano wa barua ya maombi; tamko linasema taarifa zilizotolewa ni za kweli na kwamba mtia saini hajawahi kufilisiwa au kutiwa hatiani kwa ulaghai au kukosa uaminifu.
13. Ainisha vihatarishi ikijumuisha udanganyifu, 14 Tafadhali ufafanuzi usizidi maneno 100 na endapo kuna taarifa za ziada zinaweza kuambatishwa kama nyongeza Tafadhali ufafanuzi usizidi maneno 100 na endapo kuna taarifa za ziada zinaweza kuambatishwa kama nyongeza Tafadhali ufafanuzi usizidi maneno 100 na endapo kuna taarifa za ziada zinaweza kuambatishwa kama nyongeza Tafadhali ufafanuzi usizidi maneno 50 na endapo kuna taarifa za ziada zinaweza kama nyongeza. Tafadhali ufafanuzi usizidi maneno 200 na endapo kuna taarifa za ziada zinaweza kuambatishwa kama nyongeza kuambatishwa "" "" "" "" "" "" "" "" Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) utakatishaji fedha, ufadhili wa ugaidi na silaha za maangamizi na kutokua thabiti kwa sekta ya fedha na hatua za kudhibiti vihatarishi hivyo. Tamko la Wanahisa Mimi, niliyetia saini hapa chini, natamka kwamba: a) maelezo niliyoyaainisha humu ni ya kweli na sahihi kwa kadiri ya ufahamu na imani yangu; b) sijawahi kufilisiwa au kutiwa hatiani kwa ulaghai au kukosa uaminifu; Jina: Saini: Cheo: Jina: Saini: Cheo: 15 Kanuni za Udhibiti wa Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha Tangazo La Serikali Na. 552 (Linaendelea) MBELE YANGU: Jina: …………………………………………………… Saini: ………………………………………………… .. Tarehe:………………………………………………… Anuani:………………………………………………… Sifa: …………………………………………………… Sehemu “B” Mfano wa Barua [Tarehe] [Anuani ya mwombaji] Gavana, Benki Kuu ya Tanzania, Barabara ya Jakaya Kikwete, SLP 2303, 40184 Dodoma Tanzania. Barua pepe: botcommunications@bot.go.tz : info@bot.go.tz Ndugu […………………], RE: [Maelezo ya kukusudia kushiriki katika Mazingira ya Majaribio chini ya Benki ya Tanzania] [Toa maelezo mafupi ya Kampuni na huduma ya fedha inayopendekezwa.] [Toa taarifa nyingine muhimu kama vile viambatisho na namba za mawasiliano] Wako mtiifu, [Saini] [Jina [Nafasi] [Kampuni] Dodoma, 21 Juni, 2024 MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU Waziri wa Fedha 16
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
KANUNI ZA UDHIBITI WA MAZINGIRA YA MAJARIBIO YA TEKNOLOJIA YA FEDHA ZA 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in