SHERIA NDOGO YA MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA YA MWAKA 2024
This section gives the bylaw’s short title and says it must be read together with the 2019 Mwanga District Council Fees and Charges bylaw.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO YA MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA YA MWAKA 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the bylaw’s short title and says it must be read together with the 2019 Mwanga District Council Fees and Charges bylaw. This section amends rule 2 to add a definition of “madini ya ujenzi” (construction minerals). Mtu yeyote au kampuni anayehitaji kusafirisha mazao fulani au madini ya ujenzi baada ya muda uliotajwa lazima awe na kibali maalumu cha maandishi kutoka kwa Mkurugenzi au afisa mwidhiniwa. This section amends regulation 12(1) to prohibit transporting certain local produce/products or construction minerals outside the allowed time unless there is a written special permit from the Director or an authorized officer. The first schedule section is amended and rewritten to set slaughterhouse service charges for cattle, pigs, and goats/sheep.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO YA MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA YA MWAKA 2024
Showing 19 of 19
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya
AI-assisted research summary: This section gives the bylaw’s short title and says it must be read together with the 2019 Mwanga District Council Fees and Charges bylaw.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga ya Mwaka 2024, na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga ya Mwaka 2019, ambayo katika marekebisho haya itarejewa kama Sheria Ndogo Kuu. - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo Kuu inafanyiwa marekebisho katika
AI-assisted research summary: This section amends rule 2 to add a definition of “madini ya ujenzi” (construction minerals).
2. Sheria Ndogo Kuu inafanyiwa marekebisho katika kanuni ya 2 kwa kuongeza katika mpangalio wake wa kialufabeti tafsiri ya msamiati- “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi;”. - 3 Verify source ↗
Sheria Ndogo Kuu inafanyiwa marekebisho katika
AI-assisted research summary: Mtu yeyote au kampuni anayehitaji kusafirisha mazao fulani au madini ya ujenzi baada ya muda uliotajwa lazima awe na kibali maalumu cha maandishi kutoka kwa Mkurugenzi au afisa mwidhiniwa.
3. Sheria Ndogo Kuu inafanyiwa marekebisho katika kanuni ya 7, kwa- (a) kuunda maudhui ya kanuni ya 7 kama maudhui kanuni ndogo ya 7 (1); na (b) kuongeza mara baada ya kanuni ndogo ya (1) kama ilivyoundwa hapo juu yafuatayo: “(2) Mtu yeyote au kampuni itakayohitaji kusafirisha- (a) mazao au bidhaa zitokanazo na mazao 1 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo la Serikali Na.581 (Linaendelea.) yanayozalishwa ndani ya Halmashauri; au (b) madini ya ujenzi, (c) baada ya muda uliotajwa katika kanuni ndogo ya 7(1) ya Sheria Ndogo hii atatakiwa kuwa na kibali maalumu cha maandishi kutoka kwa Mkurugenzi au afisa mwidhiniwa.”. Mareke bisho ya kanuni ya 12 - 4 Verify source ↗
Sheria Ndogo Kuu inafanyiwa marekebisho katika
AI-assisted research summary: This section amends regulation 12(1) to prohibit transporting certain local produce/products or construction minerals outside the allowed time unless there is a written special permit from the Director or an authorized officer.
4. Sheria Ndogo Kuu inafanyiwa marekebisho katika kanuni ya 12 (1), kwa kufuta aya (c) na kuiandika upya kama ifuatavyo: “(c) atasafirisha mazao au bidhaa itokanayo na mazao yanayozalishwa ndani ya Halmashauri au madini ya ujenzi nje ya muda unaoruhusiwa chini ya Sheria Ndogo hii bila kibali maalumu cha maandishi kutoka kwa Mkurugenzi au afisa mwidhiniwa.”. Mareke bisho ya Jedwali la Kwanza
Part
Jedwali
- 5 Verify source ↗
Sheria Ndogo Kuu inafanyiwa marekebisho katika
AI-assisted research summary: The first schedule section is amended and rewritten to set slaughterhouse service charges for cattle, pigs, and goats/sheep.
5. Sheria Ndogo Kuu inafanyiwa marekebisho katika Jedwali la kwanza kwa- (a) kufuta Sehumu ya Kwanza ya Jedwali hilo na kuiandika upya kama ifuatavyo: SEHEMU YA KWANZA USHURU WA HUDUMA YA MACHINJIO idadi kiasi kwa siku mnyama ng’ombe nguruwe mbuzi/kondoo 3,000 2,000 1,500 1 1 1 Namb a
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The amendment rewrites Part Three of the table on stall fees, setting monthly charges of 20,000 for the listed markets.
1. 2 3 (b) kufuta Sehumu ya Tatu ya Jedwali hilo na kuiandika upya kama ifuatavyo: Namba Kibanda SEHEMU YA TATU USHURU WA VIBANDA Kiasi Ushuru cha Muda 1 2 Soko kuu Mwanga, TANESCO na Uwanja wa CD Muya 20,000 kwa mwezi Soko la Old Mwanga 20,000 kwa mwezi 2 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo la Serikali Na.581 (Linaendelea.) 3 4 Namb a
Part
SEHEMU YA TATU
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii ni marekebisho ya jedwali la ushuru wa maegesho ndani ya halmashauri, likibadili viwango vya ada kwa baadhi ya aina za magari na maeneo yaliyoorodheshwa.
3. Stendi Kuu ya Mabasi 20,000 kwa mwezi Soko la Mgagao 10,000 kwa mwezi (c) kufuta Sehumu ya Saba ya Jedwali hilo na kuiandika upya kama ifuatavyo: SEHEMU YA SABA USHURU WA MAEGESHO NDANI YA HALMASHAURI Aina ya chombo cha usafiri Kiasi Muda Malori Magari madogo ya watu binafsi yasiyo ya biashara Mabasi na costa za kusafirisha abiria na magari mengine madogo ya biashara 3,000 500 kwa siku kwa siku 1,000 kwa siku (d) kufuta Sehumu ya Kumi na Tatu ya Jedwali hilo na kuiandika upya kama ifuatavyo: 3 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo la Serikali Na.581 (Linaendelea.) Nam ba
Part
SEHEMU YA SABA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The provision lists a tax on construction minerals and shows fee amounts for different items.
1. SEHEMU YA KUMI NA TATU A: USHURU WA MADINI YA UJENZI Aina ya Madini Kiasi cha Ushuru Kwa kila Mita moja ya ujazo (i) mchanga (ii) mawe (iii) Jipsum 2 Tofari za sementi za (i) (ii) (iii) inchi sita inchi tano tofari za kuchoma B: MADINI MENGINEYO 3,000/= kwa kila safari 2,500/= kwa kila safari 2,000/= kwa kila safari 50 50 10 Nam ba
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha orodha ya madini na kiwango cha ushuru kinachotajwa kama asilimia 3 na pia 1.5%, pamoja na kuongeza sehemu mpya ya ushuru wa mazao ya mali asili.
1. Aina ya Madini Madini yasiyokuwa madini ujenzi, kutengeneza mapambo mbalimbali mengineyo ya ya na vifaa madini vito na Kiasi Ushuru cha Asilimia tatu ya soko ya bei (1.5%) (e) kuongeza Sehemu zifuatazo mara baada ya Sehumu ya Kumi na Nane ya Jedwali hilo: SEHEMU YA KUMI NA TISA ADA YA MAZAO YA MALI ASILI Namba Aina ya Mazao Kiasi cha Mzao kisi cha Ushuru 1
Part
SEHEMU YA KUMI NA TISA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section shows a fee/tariff entry for Mkaa mbao (gunia moja) at 1,000/=.
2. Mkaa mbao Gunia moja 1,000/= 2x2 2x4 2x6 2x8 4 200/= 300/= Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo la Serikali Na.581 (Linaendelea.) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists fees and charges for timber/log-related items and sizes.
7. Mirunda Nguzo Ukindu Fito Magogo Kipande Kipande Bello kipande 300/= 1,000/= 1,000/= 50/= (i) (ii) (iii) (iv) (v) (vi) ya wa kwa Ada Magogo Viwandani kwa kila mita moja ya mraba wa ushuru magogo kwa toyo ushuru magogo Pick up ushuru magogo canter ushuru magogo fuso Ada ya Gogo moja wa kwa wa kwa 15,000/= 15,000/= 50,000/= 120,000/= 180,000/= 1,000/= - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This section lists fees, including 100,000/= per year for a permit to show football in kiosks, and 500/= per liter for honey.
8. Asali kila lita moja 500/= SEHEMU YA ISHIRINI ADA YA KIBALI CHA KUONYESHA MPIRA, GYM NA SHUGHULI ZA UTALII Namb a 1 Aina kiasi muda Kibali cha kuonyesha mpira kwenye vibanda 100,000/= kwa mwaka 5 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo la Serikali Na.581 (Linaendelea.)
Part
SEHEMU YA ISHIRINI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text lists permit fees for several activities, including gym operations, tourism activities, site visits, vehicle access to tourist areas, and events.
3. Kibali ch akuendesha shughuli za GYM Kibali cha shughuli za Utalii Kibali cha kutembelea eneo la kitalii kwa mtu mmoja Kibali cha gari kufika katika eneo la Kitalii Kibali kwa mtu binafsi au Kampuni kuendesha shughuli za Kitalii 100,000/= Watoto chini ya miaka 18 Tsh. 2,00 kwa mwaka Kwa siku Raia wa kigeni Tsh. 20,000 Kwa siku Watanzania Tsh. 5,000 Kwa siku 20,000/= kwa siku. 20,000/= Kwa siku 100,000/= kwa mwaka Kibali cha sherehe 30,000/= Kwa siku SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA USHURU WA SOKO NA MAGULIO SIKU YA MAGULIO muda sehemu ushuru Nam ba
Part
SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text lists waste collection/tariff amounts for certain markets, hotels, and residences, with some charges set per market day and others per month.
1. Soko kuu Mwanga 2 Masoko/magulio yaliyopo nje ya mamlaka ya mji mdogo Mwanga 500 500 Kwa siku ya soko/gulio Kwa siku ya soko/gulio SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI ADA YA UZOAJI TAKA NA TAKA NGUMU Aina ya Jengo/ Biashara Ushuru Muda Hoteli Makazi 10,000 2,000 Mwezi Mwezi Na mba
Part
SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Hii ni kichwa cha marekebisho ya sheria ndogo kuhusu ada na ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga.
1. 2 6 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo la Serikali Na.581 (Linaendelea.) 3 4 5 6 - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: The text lists monthly fee amounts for several business types, including bars, shops, guest houses, restaurants, garages/welding, salons, and grinding machines.
8. 9 Baa Maduka Nyumba za kulala wageni Mghahawa Gereji na uchomeleaji Saluni Mashine ya kusaga 5,000 3,000 5,000 5,000 3,000 3,000 3,000 Mwezi Mwezi Mwezi Mwezi Mwezi Mwezi Mwezi SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU ADA YA LESENI YA UVUVI Namba
Part
SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada ya leseni ya mwaka ya 23,000/= na orodha ya aina za leseni zinazohusiana na samaki na uvuvi.
1. 2 3 Ada ya leseni kwa mwaka 23,000/= Aina ya leseni Leseni ya Biashara ya Samaki Leseni ya Uvuvi 23,000/= 23,000/= Leseni ya chombo cha uvuvi SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE ADA YA USHURU WA MAZAO YA SAMAKI Namba kipimo aina samaki
Part
SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaweka kiwango cha ushuru kwa ndoo ya lita 20 ya perege/kambale na orodha ya ada za ukaguzi na vibali vya ujenzi kwa aina mbalimbali za majengo.
4. Ndoo ya Lita 20 (Wakavu au wabichi) Perege, Kambale kiwango cha ushuru 2,000 kwa ndoo SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO ADA YA UKAGUZI NA VIBALI VYA UJENZI Ada ya ukaguzi Ada Namba Aina ya jengo ya kibali 1 2 Ghorofa 1 50,000 100, 000/= Ghorofa 2 Na 50,000 150, 000/= Kuendelea 7 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo la Serikali Na.581 (Linaendelea.) 3 4 5 6 7 8 9 10 11 Nyumba Za Biashara 30,000 100,000/ Ghala Au Bohari 50,000 100, 000/= Kituo cha Mafuta 50,000 200, 000/= Nyumba Za Makazi 20,000 30, 000/= Nyumba Za Makazi 30,000 50, 000/= Na Biashara MAJENGO MENGINE i. Jengo Kubwa ii. Jengo Dogo 100,00 20,000 200,000 30,000 Uzio Wa Seng’enge 10,000 25,000/= Uzio Wa Ukuta 20,000 40,000/= Minara ya 200,000 300,000 Mawasiliano 12 Marekesho Yeyote 10,000 30,000/= Ya Jengo
Part
SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
- 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha kwamba muhuri wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga uliwekwa kwenye sheria ndogo hizi baada ya azimio la baraza la wilaya, na inaorodhesha waliohusika katika uthibitisho huo.
13. Majengo ya 50,000 200,000 shule/taasisi 8 Sheria Ndogo ya Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Tangazo la Serikali Na.581 (Linaendelea.) Muhuri wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga ulibandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia Azimio la Mkutano wa Baraza la Halmashauri ya Wilaya ulioitishwa na kufanyika tarehe 1/3/2023 na muhuri wa Halmashauri ilibandikwa mbele ya:- MWAJUMA A. NASOMBE, Mkurugenzi mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, Mwanga MHE. Dr. SALEHE R. MKWIZU, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya, Mwanga L.S NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA, 30 Januari, 2024 WAZIRI wa NCHI OR-TAMISEMI, 9
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO YA MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA YA MWAKA 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in