SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA ZA MWAKA 2024
This provision states the name of the by-laws: Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga za Mwaka 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA ZA MWAKA 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision states the name of the by-laws: Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga za Mwaka 2024. These bylaws apply throughout the entire area of Mbinga District Council. This section defines key terms used in the by-laws, including fees, permits, the council, the director, an authorized officer, markets, bus/lorry stands, levy, and agents. Halmashauri must charge fees and levies for permits, licenses, and other services according to the First Schedule. A person who must pay a fee or tax under these by-laws must pay it according to the rates set out in the by-laws.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA ZA MWAKA 2024
Showing 29 of 29
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This provision states the name of the by-laws: Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga za Mwaka 2024.
1. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga za Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: These bylaws apply throughout the entire area of Mbinga District Council.
2. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-laws, including fees, permits, the council, the director, an authorized officer, markets, bus/lorry stands, levy, and agents.
3. Katika Sheria Ndogo hizi, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; “Halmashauri” maana yake ni Halmshauri ya Wilaya ya Mbinga; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi lengo inayotolewa na Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokotomawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mhudumu’”maana yake ni mtu anayehudumia wateja katika baa, hoteli na mgahawa; 1 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.585 (Linaendelea.) “soko” maana yake ni eneo lililotengwa na linalomilikiwa na Halmashauri kwa ajili ya watu kuuza na kununua bidhaa; “stendi” maana yake ni eneo maalum lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo hii itajumuisha pia kituo cha kupaki malori na vituo vingine vidogo vidogo vya kupakia na kushusha abiria vya Halmashauri; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “Wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ada na ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri must charge fees and levies for permits, licenses, and other services according to the First Schedule.
4.- (1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ada na ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi. - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: A person who must pay a fee or tax under these by-laws must pay it according to the rates set out in the by-laws.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hizi. - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Ada na ushuru hukusanywa kati ya saa 12 asubuhi na saa 12 jioni; nje ya muda huo, Halmashauri au Wakala wanaweza kukusanya kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri au Wakala kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au itakayokubalika kwa mwezi au kwa namna yeyote 2 Utozaji wa ada na ushuru Wajibu wa kulipa ada na ushuru Muda wa kukusany a ada na ushuru Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.585 (Linaendelea.) Utoaji wa stakaba dhi za malipo Ukusanya ji wa madeni kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. - 7 Verify source ↗
(1) Ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa
AI-assisted research summary: Ada au ushuru uliochukuliwa chini ya Sheria Ndogo hii lazima ulipwe kwa Halmashauri au Wakala, na mlipa ada au ushuru lazima aombe na akague stakabadhi ya malipo.
7.-(1) Ada au ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, utalipwa kwa Halmashauri au kwa Wakala ambaye atatoa stakabadhi ya kielektroniki kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (2) Utakuwa ni wajibu wa kila mlipa ada au ushuru kudai na kuhakiki stakabadhi ya malipo kulingana na kiasi cha fedha alicholipa. (3) Utakuwa sio utetezi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi, mtu kudai kuwa amelipa ada au ushuru lakini hakupewa stakabadhi ya kielektroniki. - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukusanya ada au ushuru usiolipwa kwa kutumia Mahakama au kwa kukamata na kushikilia mali zinazohamishika, na inaweza kuuza mali hizo kwa masharti fulani.
8.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo ya (1) hapo juu, Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za wadaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya Mahakama. (4) Endapo mali zilizokamatwa zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama. (5) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika kanuni ndogo ya (3) na (4), Halmashauri kabla ya kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote ile itakayotokea ama wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri au Wakala. 3 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.585 (Linaendelea.) Ushuru wa nyumba za kulala wageni - 9 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki wa nyumba ya kulala wageni
AI-assisted research summary: Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni lazima alipe asilimia 10 ya mapato ya mgeni aliyesajiliwa na kuwasilisha ushuru wa nyumba ya kulala wageni kwa Halmashauri kila mwezi ndani ya siku 7 baada ya mwisho wa mwezi wa malipo.
9.-(1) Kila mmiliki wa nyumba ya kulala wageni anapaswa kulipa asilimia kumi ya mapato yaliyolipwa na mgeni aliyesajiliwa. (2) Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni atawajibika kuwasilisha ushuru wa nyumba ya kulala wageni kila mwezi kwa Halmashauri ndani ya siku saba tangu kumalizika kwa mwezi wa malipo. Uteuzi wa Wakala - 10 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua Wakala wa kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake, na Wakala huyo lazima akusanye na kuwasilisha makusanyo kulingana na masharti yaliyowekwa.
10.-(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya kuteua Wakala kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hizi; (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. - 11 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia kwenye eneo, jengo au chombo cha usafiri wakati wa mchana uliotajwa ili kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia masuala ya ada, ushuru, leseni au kibali chini ya Sheria Ndogo hizi.
11. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hizi, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. - 12 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza kiasi cha asilimia tano
AI-assisted research summary: The council may charge 5% of the value of the vehicle carrying the cargo for each day the cargo is detained if the cargo is transported without paying the required fee or tax, and may sell the cargo or vehicle by auction after 7 days unpaid.
12.-(1) Halmashauri itatoza kiasi cha asilimia tano ya thamani ya chombo kilichobeba mzigo kwa kila siku kukamatwa kwa mzigo ukisafirishwa bila ya kulipa ada au ushuru. ulioshikiliwa baada ya (2) Chombo au mzigo husika usipokuwa umelipiwa kwa muda wa siku saba Halmashauri itauza mzigo au chombo hicho kwa njia ya mnada ili kufidia gharama zake. - 13 Verify source ↗
Endapo anayetakiwa kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru akiepuka kulipa, mkosaji atalazimika kulipa gharama za Halmashauri zilizotumika wakati wa kumkamata.
13. Endapo anayetakiwa kulipa ada au ushuru atakwepa kulipa, gharama zitakuwa zimetumika na Halmashauri wakati wa kumkamata, ambazo zote 4 Mamlaka ya Afisa Mwidhini wa Ulipaji wa gharama za kuhifadhi mzigo au chombo kilichoka matwa Fidia ya gharama za uendesha Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.585 (Linaendelea.) ji wa zoezi. Makosa na adhabu mkosaji atawajibika kuzilipa. - 14 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Anyone commits an offence if they evade, refuse, obstruct, mislead, or falsify matters connected to payment or collection of fees or levies under these bylaws. A convicted person faces a fine, imprisonment, or both.
14.-(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ada au ushuru; (e) atashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu, na yatakayohitajika yoyote au maelezo Halmashauri; (f) atashindwa, atadharau, atakaidi au kukataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi; (g) atatengeneza, atatayarisha, ataidhinisha kutengeneza au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; au (h) atatumia chombo chochote cha usafiri, kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada. (2) Mtu atakayetiwa hatiani kwa kutenda kosa chini ya Sheria Ndogo hizi atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja. Kufifilish a kosa - 15 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji shilingi 200,000 ikiwa anakiri kosa, anakubali kujaza fomu maalum, na analipa ada au ushuru anaodaiwa.
15. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. 5 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.585 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA KWANZA ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1)) I. Ada ya kukodisha Mali za Halmashauri Namba 1 2 3 4 5 6 7 Aina ya Mali Ukumbi wa Halmashauri Mitambo Chumba cha biashara Nyumba ya kuishi (ambayo siyo ya watumishi) Soko: (i) Kizimba Turubai Vibanda vya Gereji Kiwango cha Ada (Shilingi) Kwa mujibu wa mkataba Kwa mujibu wa mkataba Kwa mujibu wa mkataba Kwa mujibu wa mkataba 5,000/= kwa mwezi 50,000/= kwa siku Kwa Mujibu wa mkataba II. Ushuru wa Choo na Bafu Namba
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Section 2 lists local charges, permit fees, and license fees for several services and crop-trading activities, with some rates set by item and period.
2. Aina ya huduma Choo Bafu Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 200 kwa huduma 300 kwa huduma III. Ada ya Kupima Afya ya Wahudumu Namba Aina ya Huduma 1 2 3 4 5 Kinyozi Mhudumu wa baa Mhudumu wa nyumba ya kulala wageni Msusi Muuzaji wa vyakula vilivyopikwa au kukaangwa Kiwango cha Ada (Shilingi) 10,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= Muda Kwa miezi 6 Kwa miezi 6 Kwa miezi 6 Kwa miezi 6 Kwa miezi 6 IV. Ushuru wa Machijio na Ukaguzi wa Nyama Namba Aina ya Huduma Kiwango cha ushuru kwa Shilingi 1 Ushuru wa machinjioni: (i) Ng’ombe (ii) Mbuzi (iii) Kondoo (iv) Nguruwe (v) Mfugo mwingine ambae hajatajwa 1,000/= 500/= 500/= 1,000/= 500/= 6 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.585 (Linaendelea.) 2 Ushuru wa ukaguzi wa nyama: 3 (i) Ng’ombe (ii) Mbuzi (iii) Kondoo (iv) Nguruwe (v) Mfugo mwingine ambae hajatajwa Ushuru wa mnada (i)Ng’ombe (ii) Mbuzi (iii)Kondoo (iv)Nguruwe (v) Mfugo mwingine ambae hajatajwa 1000 800 800 1000 500/= 6500/= 2,500/= 2,500/= 2,500/= 500/= V. Kibali cha Kununua Mazao Namba Aina ya Zao 1 Kahawa Kiwango cha Ada kwa shilingi 1,000,000/= kwa msimu VI. Leseni ya Kununua na kuuza Mazao Namba Aina ya zao Kiasi kwa shilingi 1 2 Kahawa Mazao mchanganyiko 300,000/= 200,000/= Muda kwa mwaka kwa Mwaka Namba Aina ya Zao Kiwango cha Ushuru VII. Ushuru wa Mazao - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: The listed crops are subject to a 3% charge based on the purchase price.
9. Mahindi Mchele au mpunga Maharage Karanga Alizeti Miwa Korosho Tumbaku Kahawa 3% 3% 3% 3% ya bei ya kununua ya bei ya kununua ya bei ya kununua ya bei ya kununua 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% Mazao ya biashara ya bei ya kununua 3% Mazao ya biashara ya bei ya kununua 3% Mazao ya biashara ya bei ya kununua - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Bidhaa nyingine za chakula na biashara ambazo hazikutajwa zinatozwa ushuru wa asilimia 3 ya bei ya kununulia.
10. Mazao mengine ya chakula na biashara ambayo hayakutajwa 3% ya bei ya kununulia 7 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.585 (Linaendelea.) Namba Aina ya bidhaa Ushuru kwa shilingi VIII. Ushuru wa Gulio - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: Wauza wa bidhaa zilizoorodheshwa hulipa ada ya 500/= kwa siku, na ada nyingine za usajili/ushuru zimeorodheshwa kwa mitambo, mwalo na makarasha.
13. Nguo za mitumba Nafaka rejareja Madawa asili Migahawa ndani ya soko Samaki rejareja Mboga za majani Dagaa rejareja Wauza vyungu Miwa rejareja Matunda/ nyanya/ vitunguu Viatu rejareja Bidhaa nyinginezo Bidhaa nyinginepamoja na mazao ya kilimo ambayo hayajatajwa 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= Muda Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku ya gulio tu IX. Ada ya Usajili na Ushuru Wa Mitambo, Mwalo Na Makarasha Namba Aina ya Mtambo Kiasi kwa shilingi Muda 1 2 3 MWALO (i) Usajili 40,000/= Mara moja wakati wa usajili 200,000/= Mara moja kwa Mwaka (ii) Ushuru KARASHA (i) Usajili 20,000/= Mara moja wakati wa usajili (ii) Ada 100,000/= Mara moja kwa mwaka Mawe ya Duara 1,000/= Mfuko kwa Mwaka X. Ushuru wa Malori ya Makaa ya Mawe Namba Aina ya Gari/ inapokwenda Ushuru kwa shilingi Idadi - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaweka ushuru/ada kwa lori zinazobeba makaa ya mawe na ushuru wa nyumba za kulala wageni.
2. Lori linalosafirisha makaa ya mawe kwenda nje ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga. 1,000 Kwa Tani moja Lori linalosafirisha Makaa ya Mawe kutoka 200/= Kwa Tani moja 8 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.585 (Linaendelea.) machimboni kwenda Bandari Kavu (kituo cha Mauzo) XI. Ushuru wa Nyumba za Kulala Wageni Namba Aina ya Ushuru Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 1 Ushuru wa Nyumba ya Kulala Wageni Asilimia 10% ya mauzo ya chumba kwa siku XII. Ada ya vibali vya ujenzi Namba. - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Jedwali linaweka ada za aina mbalimbali za ujenzi na uthamini wa jengo, zikiwemo ada za nyumba moja, ghorofa zinazoongezeka, kituo cha mafuta, na 10% ya thamani ya jengo kwa uthamini.
1. Aina ya ujenzi kiwanja cha makazi Makazi na Biashara Taasisi Mbalimbali Kiwanda kikubwa Kiwanda kidogo Kituo cha mafuta Ghorofa 1 Ghorofa 2 na kuendelea Kusimika mnara wa mawasiliano ya Simu Kusimika mnara wa Redio Ghala au bohari Sehemu ya kuoshea magari Ujenzi wa Hoteli Kiwango cha Ada (Shilingi) 20,000/= kwa ujenzi wa nyumba moja na inayoongezeka italipiwa 30,000/= 150,000/= 150,000/= 50,000/= 500,000/= 120,000/= 30,000/= kwa kila ghorofa inayoongezeka 1,500,000/= 1,500,000/= 200,000/= 30,000/= 250,000/= Kibali cha ukarabati wa jengo 20,000/= Majengo mengine yote ambayo hayakutajwa Uthamini wa jengo 20,000/= 10% ya thamani ya jengo
Part
Sehemu ya kuoshea magari
- 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada za maombi ya kubadilisha matumizi ya ardhi, kugawa viwanja, mashamba, au kuboresha mchoro, kulingana na aina ya matumizi ya awali na yanayoombwa.
14. 15 XIII. Ada ya Kubadilisha Matumizi ya Ardhi, Kugawa Viwanja, Mashamba au Kuboresha Mchoro Namba Matumizi ya Awali Matumizi Yanayoombwa Kiasi kwa shilingi 1 2 Makazi pekee Makazi pekee Makazi na biashara Makazi zaidi ya moja 50,000/= 50,000/= 9 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.585 (Linaendelea.) 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 Makazi pekee Shule au Hosteli au Zahanati au huduma zingine za jamii Makazi pekee Hoteli Makazi na biashara Kituo cha mafuta Makazi na biashara Makazi pekee Maduka makubwa (Super Market au Shopping Mall) Viwanda au huduma (Service Trade au Industrial) Makazi pekee Ghala (Yard au Godown) Biashara Shamba Makazi Makazi Kugawa kiwanja cha Makazi Makazi Kiwanja cha matumizi ya hoteli Biashara 50,000/= 150,000/= 500,000/= 200,000/= 200,000/= 100,000/= 20,000/= 50,000/= 50,000/= 200,000/= XIV. Ada ya Kuchangia huduma za Ardhi Namba Aina ya Ada Kiwango cha Ada kwa shilingi - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada ya maombi ya kiwanja, ada ya usajili wa shamba la mbegu kwa mwaka, na ushuru wa 2% kwa mauzo ya mbegu kwa kilo.
2. Upimaji wa Ardhi Ada ya maombi ya kiwanja 50,000/= 5,000/= XV. Ada na Ushuru wa Mashamba ya Mbegu Namba Aina ya Huduma Shamba la Mbegu Kiwango cha Ada ya Usajili (Shilingi) 50,000/= kwa mwaka Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 2% ya bei ya kuuzia mbegu kwa kilo XVI. Ushuru wa Kuegesha Magari Yanayoingia Katika Magulio, Masoko na Minada. Namba Aina ya Chombo cha Usafiri Kiwango cha ushuru (Shilingi) kwa Siku - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: The provision lists set fee amounts for different vehicle types.
9. Gari au basi kubwa Magari madogo (hiace) Teksi Pikipiki Bajaji au guta Gari binafsi lisilo la biashara Gari ya mzigo aina ya Fusso Gari la mizigo aina ya Semi Trela Gari ya mzigo aina ya kenta 2,000/= 1,000/= 500/= 500/= 1,000/= 1,000/= 2,000/= 2,000/= 2,000/= XVII. Ada za Vibali vya Burudani Namba Aina ya kibali Kiwango kwa shilingi Idadi 10 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.585 (Linaendelea.) - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists permit fees for sports leagues, ceremonies, and a traditional dance festival, plus a bus stand tax heading.
3. Kibali cha Ligi cha Michezo mbalimbali Kibali cha sherehe 20,000/= Kwa Ligi (i) sherehe kubwa 10,000/= Kwa sherehe (ii) sherehe ndogo 5,000/= Kibali cha tamasha la Ngoma za Asili 20,000/= Kwa siku mbili XVIII. Ushuru wa Stendi ya basi Namba Aina ya Gari Kiwango cha Ushuru kwa shilingi - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists the shilingi amounts charged for different vehicle types and for a person entering the stand.
7. Basi au lori Hiace Teksi Bajaji Bodaboda Noah Mtu anaeingia stendi 2,000/= 1,000/= 500/= 500/= 200/= 1,000/= 300/= XIX. Ushuru wa Huduma Namba Aina ya ushuru Kiasi kwa Shilingi - 0 Verify source ↗
3 %
AI-assisted research summary: This provision states a 0.3% rate for the forest produce tax.
0.3 % XX. Ushuru wa Mazao ya Misitu Idadi Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Namba. - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: This section lists charges for different forest produce, wood items, and related transport or business activities.
11. Aina ya Mazao Aina zote za mazao ya misitu isipokuwa mitiki. Mbao laini (saiplas au misindano) Mbao laini (mwembe, mnazi, Sederela) Mkaa gunia mbao za miti ya asili kusafirisha mabanzi ya mitiki Kusajili au kuchakata au kusafirisha biashara ya mazao ya misitu Kusafirisha kuni Nta Banzi Vifaa vilivyotengenezwa kwa mbao Kiwango cha Ushuru (Shilingi) Asilimia tano (5%) ya bei ya kununulia 200/= kwa kila ubao 200/= kwa kila ubao 1,000/= kwa kila gunia 5% ya bei ya kununulia (a)chini ya tani moja 1,000/= (b)Tani 1 hadi 3 = 3,000/= (c)Tani 4 hadi 7= 5,000/= (d) Zaidi ya Tani 7=10,000/= 50,000/= kwa Mwaka 200/= kwa kubic mita moja 300/= kwa kilo 300/= kwa banzi (a) shata za milango mmoja 6,000/= (b) fremu za milango mmoja 5,000/= 11 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.585 (Linaendelea.) (c) viti au stuli mmoja 1,000/= (d) kitanda kimoja 6,000/= (e) seti ya makochi 15,000/= (f) kikapu au mkeka 200/= - 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: Provision sets fees for certain business advertising permits, music/video-related permits and annual inspection charges.
14. XXI. Mashine ya kuchakata mbao Tiba asili au dawa za asili Asali 50,000/= 10,000/= 300/= kwa lita moja Usajili, Kibali na Ushuru wa Matangazo ya Biashara kwa njia ya Vipaza Sauti, Wapiga Mziki, Waonesha Video Au Sinema Namba Aina ya Kibali Kiasi kwa shilingi Idadi 1 2 2 3 4 5 Kibali cha matangazo ya biashara binafsi 20,000/= Kila tangazo Kibali cha matangazo ya biashara kampuni au taasisi 50,000/= Kila tangazo Usajili wa waonyesha video au sinema 5,000/= Kwa mwaka Usajili wa wapiga muziki Kibali cha kupiga mziki kwa wenye vyombo vya muziki Kibali cha kupiga mziki kwa wenye vyombo vya muziki kutoka nje ya Halmashauri 5,000/= 10,000/= Kwa mwaka Kwa kila tukio 20,000/= Kwa kila tukio XXII. Ada ya Ukaguzi Namba 1 2 3 4 Aina ya Ukaguzi Baa Mgahawa Nyumba ya kulala wageni Gereji Kiwango cha Ada (Shilingi) 15,000/= kwa Mwaka 5,000/= kwa Mwaka 15,000/= kwa Mwaka 15,000/= kwa Mwaka 12 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.585 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA PILI ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 15) HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi ...........................................................................nakiri KWA HIARI YANGU MIMI MWENYEWE mbele ya........................................................... ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kwamba Tarehe .................. Mwaka................ nilitenda kosa kwa kukiuka masharti ya kanuni ya …….. ya Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga za Mwaka 2024. ..........ya Mwezi Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri niko tayari kulipa kiasi cha shilingi ………………………………………………………………………. badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo Tarehe ......................ya Mwezi ................................Mwaka …… Jina: ..................................................... Saini: .................................................... MBELE YA: Jina……............................................... Wadhifa: .................................................. Saini: .................................................. Tarehe: ............................................... 13 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Tangazo la Serikali Na.585 (Linaendelea.) Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imegongwa kwenye kanuni hizi kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya mbinga JOSEPH KASHUSHURA RWIZA, Mkurungenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, MBINGA DESDERIUS HAULE, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya, MBINGA L.S NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARY MCHENGERWA, 20 Juni, 2024 Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI 14
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA ZA MWAKA 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in