SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA YA MWAKA 2024
This section states the short title of the bylaw.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA YA MWAKA 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the short title of the bylaw. This provision says the by-law applies throughout the whole area of Chunya District Council. Sehemu hii inaeleza maana ya maneno muhimu yanayotumiwa katika Sheria Ndogo hii, ikiwemo ada, gulio, Halmashauri, kibali, leseni ya biashara, ushuru na wakala. Halmashauri lazima itoe ada na ushuru kwa baadhi ya vibali, leseni na huduma; malipo hufanywa kabla au wakati wa kupokea huduma. Anayepaswa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA YA MWAKA 2024
Showing 94 of 94
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section states the short title of the bylaw.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This provision says the by-law applies throughout the whole area of Chunya District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmshauri ya Wilaya la Chunya. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza maana ya maneno muhimu yanayotumiwa katika Sheria Ndogo hii, ikiwemo ada, gulio, Halmashauri, kibali, leseni ya biashara, ushuru na wakala.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “gulio” maana yake ni eneo lililotengwa kwa ajili ya shughuli za kuuza bidhaa mbalimbali isipokuwa mifugo au wanyama wa aina yoyote; “Halmashauri” maana yake ni Halmshauri ya Wilaya la Chunya ; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “leseni ya biashara” maana yake ni kibali cha maandishi kinachotolewa kwa mtu binafsi, kampuni au taasisi kinachoruhusu kufanya biashara au shughuli 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) yoyote katika eneo la Halmashauri; jengo “machinjio” maana yake ni la machinjio linalomilikiwa na Halmashauri au mtu binafsi au sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinja wanyama na kuanika ngozi; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mnada’’ maana yake ni eneo maalum lililotengwa na ajili ya kumilikiwa na Halmashauri kwa wafanyabiashara kununua au kuuza mifugo, mazao ya chakula, biashara na bidhaa za viwandani; “stendi” maana yake ni eneo maalum lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo hii itajumuisha pia kituo cha kupaki malori na vituo vingine vidogo vidogo vya kupakia na kushusha abiria vya Halmashauri; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; na “wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi, taasisi au kampuni iliyoteuliwa kukusanya ada na ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii.
Part
sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoe ada na ushuru kwa baadhi ya vibali, leseni na huduma; malipo hufanywa kabla au wakati wa kupokea huduma.
4. (1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama la Kwanza. ilivyoainishwa katika Jedwali (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru au ada inayotozwa chini ya Sheria Ndogo hii italipwa kwa Halmashauri au wakala wa Halmashauri kwa 2 Utozaji wa ada na ushuru Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma. Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu anayetakiwa kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: Anayepaswa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
5. Mtu anayetakiwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Muda wa kukusanya ada na ushuru - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Halmashauri au wakala wanaweza kukusanya ada au ushuru kati ya saa 12 asubuhi na saa 12 jioni; nje ya muda huo, wanahitaji kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi mpaka saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri au wakala kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru nje ya muda ulioainishwa. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kwa siku, mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. Utoaji wa stakabadhi za malipo - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri au Wakala anayepokea ada au
AI-assisted research summary: Halmashauri au wakala anayepokea ada au ushuru lazima atoe stakabadhi ya kielektroniki, na mlipa ada au ushuru lazima aombe na ahakiki stakabadhi hiyo kulingana na kiasi alicholipa.
7.-(1) Halmashauri au Wakala anayepokea ada au ushuru atatoa stakabadhi ya kielektroniki kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (2) Utakuwa ni wajibu wa kila mlipa ada au ushuru kudai na kuhakiki stakabadhi ya malipo kulingana na kiasi cha fedha alicholipa. Kibali au leseni - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoa kibali au leseni kwa mtu
AI-assisted research summary: The Council issues permits or licences to suitable persons for intended purposes, and a person who wants to do business or any activity that needs a permit or licence must apply to the Council according to the procedure.
8.-(1) Halmashauri itatoa kibali au leseni kwa mtu inafaa kwa madhumuni yeyote kadri yaliyokusudiwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. itakavyoona (2) Mtu anayetaka kufanya biashara au jambo lolote linalohitaji kibali au leseni atahakikisha anaomba kibali au leseni kutoka Halmashauri kwa mujibu wa utaratibu. 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) Ukusanyaji wa madeni - 9 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kukusanya madeni kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kwenda Mahakamani kukusanya madeni ikiwa mtu, kikundi, taasisi, au kampuni haijalipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa.
9. Halmashauri inaweza kukusanya madeni kwa njia ya Mahakama endapo mtu, kikundi, taasisi au kampuni itakuwa imeshindwa kulipa ada au ushuru kwa muda uliokubaliwa. Ushuru wa nyumba za kulala wageni Kibali cha mabango na matangazo Kibali cha kununua mazao - 10 Verify source ↗
(1) Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni
AI-assisted research summary: Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni lazima alipie asilimia 10 ya mapato yanayolipwa na kila mgeni aliyesajiliwa, na apeleke ushuru wa nyumba ya kulala wageni kwa Halmashauri kila mwezi ndani ya siku 7 baada ya mwezi wa malipo kuisha.
10.-(1) Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni atalipa asilimia kumi ya mapato yaliyolipwa na kila mgeni aliyesajiliwa. (2) Mmiliki wa nyumba ya kulala wageni atawajibika kuwasilisha ushuru wa nyumba ya kulala wageni kila mwezi kwa Halmashauri ndani ya siku saba tangu kumalizika kwa mwezi wa malipo. - 11 Verify source ↗
(1) Mtu anayetaka kuweka au kurekebisha
AI-assisted research summary: A person who wants to put up or modify an advertisement sign or billboard must complete the special application form in the Second Schedule.
11.-(1) Mtu anayetaka kuweka au kurekebisha bango la tangazo au ubao wa tangazo atajaza fomu kama ya maombi maalum ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili. kutoka Halmashauri (2) Baada ya kupitia maombi na kujiridhisha kuwa mwombaji anakidhi vigezo, Halmashauri itatoa kibali cha kuweka au kurekebisha bango la tangazo au ubao wa tangazo kama kilivyoainishwa kwenye Jedwali la Tatu. - 12 Verify source ↗
(1) Mtu anayetaka kununua mazao katika eneo
AI-assisted research summary: An applicant who wants to buy produce in the council area must complete the special application form in Schedule Four.
12.-(1) Mtu anayetaka kununua mazao katika eneo la Halmashauri atajaza fomu maalum ya maombi kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Nne. (2) Baada ya kupitia maombi na kujiridhisha kuwa mwombaji anakidhi vigezo, Halmashauri itatoa kibali cha kununua mazao kama kilivyoainishwa kwenye Jedwali la Tano. Uteuzi wa wakala - 13 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kumteua wakala wa kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake; wakala huyo lazima akusanye kwa viwango vilivyoidhinishwa, atumie mfumo wa kielektroniki, na awasilishe makusanyo yote.
13.-(1) Halmashauri itakuwa na Mamlaka ya kumteua wakala kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru kwa niaba yake. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) ndogo ya (1), atakuwa na wajibu wa- Mamlaka ya afisa wa Halmashauri Ulipaji wa gharama za kuhifadhi mzigo au chombo kilichokamatwa (a) kukusanya na kupokea ada au ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa mujibu wa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. - 14 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: Afisa wa Halmashauri anaweza kuingia kwenye eneo, jengo au chombo cha usafiri wakati wa mchana kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia masuala yanayohusu ada, ushuru, leseni au kibali.
14. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, afisa wa Halmashauri anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. - 15 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza kiasi cha asilimia tano
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutoza asilimia 5 kwa siku kwa mzigo uliokamatwa na kuuzwa mali iliyokamatwa kwa masharti fulani baada ya idhini ya Mahakama.
15.-(1) Halmashauri itatoza kiasi cha asilimia tano thamani ya mzigo uliokamatwa kwa kila siku ya ulioshikiliwa baada ya kukamatwa ukisafirishwa bila ya kulipa ada au ushuru. (2) Halmashauri inaweza kuuza bidhaa au mali iliyokamatwa baada ya kupata idhini ya Mahakama endapo mmiliki atashindwa kukomboa ndani ya siku saba (7) baada ya kukamatwa na fedha zitakazopatikana zitawekwa kwenye akaunti ya Halmashauri. (3) Endapo mali au bidhaa zilizokamatwa zinaweza kuharibika ndani ya muda mfupi, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza muda wowote kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama. (4) Halmashauri kabla ya kuuza mali au bidhaa iliyokamatwa, itatoa taarifa ya maandishi kwa umma na kwa mmiliki wa mali zilizokamatwa juu ya kusudio la kuuza bidhaa au mali zilizokamatwa, sababu ya 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) Fidia ya gharama za ukamataji Makosa na adhabu kukamatwa kwa mali hizo, na kosa lililofanywa na mmiliki wa mali zilizokamatwa. (5) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea wakati wa ile na kwa namna yoyote kukamata au kushikilia mali iliyokamatwa isipokuwa kwa uzembe wa watumishi. - 16 Verify source ↗
Endapo mtu anayetakiwa kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: A person who must pay a fee or tax must not evade payment, and if they do, they must pay all costs the Council incurred in arresting them.
16. Endapo mtu anayetakiwa kulipa ada au ushuru atakwepa kulipa, gharama zote ambazo zitagharamiwa na Halmashauri wakati wa kumkamata, mkosaji atawajibika kuzilipa. - 17 Verify source ↗
(1) Mtu atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: A person commits an offence if they do any of the listed acts against fee or tax payment, council records, council officers, false documents, or permit conditions; conviction can lead to a fine, imprisonment, or both.
17.-(1) Mtu atakuwa ametenda kosa endapo- (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, afisa wa Halmashauri au wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ada au ushuru; (e) atashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu, au maelezo yoyote yatakayohitajika na Halmashauri; (f) atashindwa, atadharau, atakaidi au kukataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii; (g) atatengeneza, ataidhinisha kutengenezwa au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; chombo cha usafiri, (h) atatumia chochote 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada; (i) atapangisha eneo la biashara kwa mtu mwingine bila kibali cha Halmashauri; au (j) atakiuka masharti ya kibali cha Halmashauri. (2) Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti ya kanuni ndogo ya (1), atatakiwa kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote kwa pamoja. - 19 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya
AI-assisted research summary: This section repeals the Chunya District Council fees and charges bylaw of 2019.
19. Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya ya Mwaka 2019 inafutwa. Kufutwa TS. Na 986 la 2019 . 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) _____________ JEDWALI LA KWANZA _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1)) SEHEMU A ADA YA KUKODISHA MALI ZA HALMASHAURI Na. Aina ya Huduma
Part
SEHEMU A
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada na ushuru wa kukodi ukumbi, viti, magari na vibanda mbalimbali vya biashara.
8. Kukodi ukumbi wa Halmashauri kwa ajili ya mikutano au vikao au sherehe kwa siku. Kukodi viti vya Halmashauri kwa ajili ya matukio mbalimbali. Kukodi magari ya Halmashauri Vibanda vya biashara mzunguko wa Stendi kwa mwezi Vibanda vya biashara soko la uhindini kwa mwezi. Vibanda vipya vilivyopo stendi mpya. Vibanda vilivyopo Mji Mdogo wa Makongorosi Vibanda vilivyomo soko la madini kwa mwezi Kiwango cha ada (Shilingi) 600,000/= 500/= kila kimoja Kwa mujibu wa mkataba 40,000/= 15,000/= 50,000/= 25,000/=kwa mwezi 120,000/= ADA NA USHURU WA STENDI NA MAEGESHO SEHEMU B Na. Aina ya chombo cha usafiri Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU B
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The provision shows a fee table for different vehicle types and a crop section heading.
6. Gari ya mizigo zaidi ya tani 5 Gari la mizigo chini ya tani 5 Pick-up au station wagon Lori lenye trela zaidi ya tani 3 Lori lenye trela chini ya tani tatu Kwa saa Kwa siku 1000/= 3000/= Kulaza gari kwa siku 5000/= 500/= 2,000/= 3000/= 500/= 2000/= 2000/= 1,000/= 3000/= 4000/= 500/= 1500/= 3000/= 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) SEHEMU C USHURU WA MAZAO Namba Aina ya mazao 1
Part
SEHEMU C
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha jedwali la bidhaa/huduma na viwango vya ushuru au ada vinavyohusiana nazo.
3. 4 5 6 Mazao ya biashara Mazao ya chakula Mazao ya misitu Pumba Kilo 100 Mashudu Kibali cha kununua mazao Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 3% ya bei ya soko. 3% ya bei ya soko 5% ya bei ya soko 1000/= 500/= kwa gunia 300,000/= kwa Mwaka SEHEMU D USHURU WA UKAGUZI WA NYAMA NA USAFI MACHINJIONI cha Ushuru Na. Aina ya Huduma
Part
SEHEMU D
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section concerns meat inspection and slaughterhouse hygiene for cattle, goats, sheep, pigs, and other animals.
1. Ukaguzi wa nyama na usafi wa machinjio. a. Ngo’mbe b. Mbuzi, kondoo na nguruwe c. Na Wanyama wengine ambao hawajatajwa - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This provision appears to list shilling amounts for exporting hides and for livestock sales tax at markets and other places.
2. kusafirisha Ngozi: Ng’ombe (a) (b) Mbuzi au Kondoo Kiwango (Shilingi) 5000/= 3,000/= 2,000/= 100/= 50/= USHURU WA MAUZO YA MIFUGO MNADANI NA SEHEMU NYINGINE SEHEMU E Na.
Part
SEHEMU E
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The provision lists animal tax amounts by type, including cattle, goats, sheep, chickens, pigs, and other animals.
6. Aina ya mnyama Ng’ombe Mbuzi Kondoo Kuku Nguruwe Wanyama wengine Kiwango cha ushuru (Shilingi) 4000/= kwa kila mmoja 1000/= kwa kila mmoja 1000/= kwa kila mmoja 500/= kwa kila mmoja 1000/= kwa kila mmoja 1,500/= kila mnyama mmoja ADA YA KUENDESHA SHUGHULI ZA UTAMADUNI, BURUDANI NA MICHEZO SEHEMU F Na.
Part
SEHEMU F
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision sets a fee of Shilingi 40,000 for an art group permit.
1. Aina ya Shughuli Kibali cha Kikundi cha sanaa kwa mtu mmoja au vikundi vya watu zaidi ya mmoja. Kiwango cha Ada (Shilingi) 40,000/= 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This item mentions a permit for sports clubs and a fee of 30,000/=.
2. kibali kwa vilabu vya michezo. 30,000/=. - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: A permit for film kiosks costs 50,000/=.
3. kibali kwa vibanda vya filamu 50,000/=. - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Kibali kwa ajili ya maonyesho ya filamu kinaonekana kuwa na gharama ya 50,000/=.
4. kibali kwa ajili ya maonyesho ya filamu 50,000/= - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The text lists several types of permits: for disco shows, band performances, stage arts and similar performances, gambling games using machines, and pool table games.
7. Kibali cha kuchezesha disco au onyesho la bendi au Sanaa ya onyesho (Sinema, video, maigizo, sarakasi na shughuli nyingine za aina hiyo) Kibali cha kuchezesha mchezo wa Kubahatisha kwa kutumia mashine. Kibali cha mchezo wa pool table - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada za kibali cha matangazo ya biashara, harusi, kicheni pati, sendoff, sanaa na maonyesho mbalimbali, pamoja na viwango tofauti vya malipo kwa mashine, meza, mwezi, na siku.
9. Kibali cha matangazo ya biashara, harusi, kicheni pati, sendoff, sanaa na maonyesho mbalimbali 50,000/= Kwa tukio 300,000/= mashine moja kwa mwaka. 50,000/=kwa kila meza moja kwa mwaka 50,000/= kwa mwezi. 50,000/= kwa siku moja. - 10 Verify source ↗
Kibali cha wauzaji wa dawa za asili
AI-assisted research summary: Wauzaji wa dawa za asili wanaonekana kuwa na kibali cha 300,000/= kwa mwaka.
10. Kibali cha wauzaji wa dawa za asili 300,000/= kwa mwaka. Na. - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Inaweka viwango vya ushuru wa stendi kwa aina mbalimbali za magari na kwa mtu asiye msafiri anayeingia stendi.
9. Na. SEHEMU G USHURU WA STENDI Aina ya Chombo cha Usafiri Basi la dogo la abiria wasiozidi 20 Basi kubwa la abiria kuanzia 21 hadi 40 Basi kubwa la abiria zaidi ya 40 na Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 1,500/= kwa siku 2,000 /= kwa siku 2,500/= kwa siku kuendelea Teksi Gari Dogo (Binafsi) Magari ya Mizigo (Pick-up) Pikipiki ya magurudumu mawili au matatu 1,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku 1,500/= kwa siku 200/= kwa siku Magari mengine ambayo hayakutajwa Ushuru wa kuingia Stendi kwa mtu 1,000/= kwa siku 200/= kila anapoingia asiyekuwa msafiri. Aina ya Chombo cha Usafiri SEHEMU H GHARAMA ZA KUVUTA NA KUHIFADHI CHOMBO CHA USAFIRI Kiwango cha Ushuru (Shilingi) wa kuhifadhi kwa siku Kiwango cha ushuru (Shilingi) wa kuvuta
Part
SEHEMU H
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The text lists fees for passenger buses in Chunya District by bus-size category.
2. Basi kubwa la abiria kati ya 20 hadi 28 Basi kubwa la abiria 28 na zaidi 150,000/= 20,000/= 200,000/= 20,000/= 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Inaonyesha kiwango cha ushuru wa usajili wa mwaka kwa aina mbalimbali za vyombo vya usafiri.
10. Basi Dogo la abiria kati ya 1 hadi 20 Teksi Gari Dogo (Binafsi) Lori na trela lenye uzito chini ya tani 3 Lori na trela lenye uzito wa tani 3 na zaidi Magari ya Mizigo (Pick-up) Magari mengine ambayo hayajatajwa Pikipiki za magurudumu mawili au matatu 100,000/= 20,000/= 80,000/= 80,000/= 200,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 300,000/= 20,000/= 80,000/= 150,000/= 20,000/= 20,000/= 20,000/= 10,000/= SEHEMU I GHARAMA ZA UTAMBUZI WA VYOMBO VYA USAFIRI Na. Aina ya Chombo cha Usafiri Kiwango cha Ushuru wa usajili kwa mwaka
Part
SEHEMU I
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha mchango wa maendeleo ya jamii kwa kampuni za madini, tumbaku na kampuni nyingine zilizowekeza Chunya, pamoja na viwango vya kiasi kwa aina mbalimbali za magari.
8. Teksi Pikipiki Bajaji Magari ya mizigo Mitambo Guta Aina nyingine za magari ambayo hayakutajwa 10,000/= 3,000/= 10,000/= 50,000/=. 100,000/= 10,000/= 50,000/= SEHEMU J ADA YA MCHANGO WA MAENDELEO KWA JAMII KUTOKA KWA MAKAMPUNI YANAYOJISHUGHULISHA NA MADINI, TUMBAKU NA MAKAMPUNI MENGINE YALIYOWEKEZA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA Tumbaku kilo 1@ Na. Aina ya bidhaa/ kampuni 1 Dhahabu kg 1@
Part
SEHEMU J
- 3 Verify source ↗
Makampuni mengine yoyote
AI-assisted research summary: Makampuni mengine yanayojishughulisha na biashara ya uwekezaji yanaonekana kutozwa ushuru wa mradi, kwa kiwango kilichoandikwa kama 100/= na 10/= kwa mujibu wa makubaliano na Halmashauri.
3. Makampuni mengine yoyote ambayo yanajishughulisha na biashara ya uwekezaji. Kiwango cha Ushuru/mradi 100/= 10/= Kwa mujibu wa makubaliano na Halmashauri SEHEMU K USHURU WA MAZAO YA MISITU Na.
Part
SEHEMU K
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The table lists tax amounts/rates for several wood products, including planted softwood timber, natural timber, and 5cm poles.
3. Aina ya zao Mbao za miti laini ya kupandwa Mbao za miti ya asili Nguzo za 5cm Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 5% 5% 1650/= 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) - 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: This section lists fees and charges for certain forest products and construction-related permits.
15. “ zisizozidi 10cm “ kuanzia 10 hadi 20 Nguzo za miti ya laini na ngumu (softwood & hardwood) zenye kipenyo kati ya 10cm. Nguzo za miti ya laini na ngumu (softwood & hardwood) zenye ukubwa zaidi ya CM 30 Mkaa kwa gunia moja Asali kwa lita 20 Nta Mazao mengine ya misitu 2400/= 4000/= kwa nguzo 5% 5% 2,000/= 5000/= 5,000/= kwa kilo moja 3% SEHEMU L ADA YA UPIMAJI WA ARDHI NA VIBALI VYA UJENZI Aina ya kibali cha Ujenzi Kibali Pamoja na upimaji Mnara wa simu Kibali cha ujenzi wa gorofa Kibali cha kujenga nyumba ya biashara Kibali ya kujenga nyumba ya makazi Kibali cha kujenga Kituo cha mafuta Kibali cha kujenga jengo la taasisi Kibali cha kujenga Ghala au bohari Kibali cha kujenga Uzio Kibali cha kujenga jengo la ibada Kibali cha kujenga Kituo cha utalii au mapumziko Kibali cha ukarabati wa nyumba Aina ya ujenzi ambao haujatajwa Kwa kila kibali 2,500,000/= 250,000/= 250,000/= 70,000/= 250,000/= 250,000/= 250,000/= 250,000/= 150,000/= 250,000/= 70,000/= 200,000/= SEHEMU M USHURU WA MADINI YA CHUMA Aina ya madini Madini ya Chuma Na.
Part
SEHEMU M
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The text appears to refer to a section about building-related fees, land rent tax, and land service charges, but the wording is unclear.
2. Kwa kila tani 1,000/= Kwa kila tani SEHEMU N ADA YA MAJENGO, KODI YA PANGO LA ARDHI NA HUDUMA YA ARDHI Na.
Part
SEHEMU N
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The section lists annual fees for different building types: a regular building is TSh 12,000 per year, and a flat is TSh 90,000 per floor per year.
2. Aina ya Jengo au Shughuli Jengo la kawaida Gorofa Kiwango cha Ada (Shilingi) 12,000/= kwa mwaka 90,000/= Kwa kila sakafu kwa mwaka - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text states a fee of 50,000/= per area or plot for identifying an area or plot.
3. Kutambua eneo au kiwanja (Plot 50,000/= kwa kila eneo au 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: A fee of 20,000/= per stone is stated for beacon replacement and boundary marking of a plot.
4. identification) Kurudishia mawe na kuonesha mipaka (Beacon replacement) kiwanja 20,000/= kwa kila jiwe - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Ada ya kukagua ramani ni 20,000/=. Nyumba ya kulala wageni inalipa ushuru wa 10% ya mauzo kwa kila chumba kwa siku.
5. kukagua ramani 20,000/= kwa ramani SEHEMU O USHURU WA NYUMBA ZA KULALA WAGENI Na. 1 Aina ya Bidhaa Nyumba ya kulala wageni Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 10% ya mauzo kila chumba kwa siku SEHEMU P ADA NA USHURU WA HUDUMA NYINGINE
Part
SEHEMU P
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section lists various business/service fees and licence charges, mostly in Tanzanian shillings, for activities such as health checks for food-service workers, land rent, customer registers in lodgings, fish business licences, traditional medicine permits, processing permits, entertainment venues, and water-well business fees.
9. Na. Aina ya huduma kupima afya ya mhudumu wa Baa au Hoteli au machinjioni au mgahawa au maeneo mengine ya kutoa huduma za vyakula au vinywaji pango la ardhi kwa mmiliki wa eneo lililopangishwa Mnara wa Simu au radio kufanya biashara katika eneo (eneo la wazi la Halmashauri, kata na Kijiji) Vitabu vya kusajili wateja katika nyumba za kulala wageni Leseni ya Biashara ya kuvua na kuuza Samaki cha Ushuru Kiwango (Shilingi) 10,000/= kwa mhudumu kila baada ya miezi sita 5% ya thamani ya mkataba 2,000/= kwa siku kwa kitabu 12,000/= kimoja 30,000/= Kibali cha kufanya Biashara ya Tiba asili Kibali cha kuchakata bidhaa au mazao (processing fee) 350,000/= kwa mwaka 200,000/= kwa mwaka. leseni za kumbi za starehe Ada ya biashara ya visima vya maji 100,000/= kwa mwaka. 300,000/= kwa mwaka SEHEMU Q ADA YA MAOMBI YA ZABUNI Na.
Part
SEHEMU Q
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: A fee of 50,000/= applies per application for the listed tender applications.
2. Ombi Zabuni ya kukusanya ushuru wa Minada au masoko au mazao Zabuni ya kutoa huduma (na kazi mbalimbali) Kiwango 50,000/= kwa kila ombi 50,000/= kwa kila ombi 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text refers to a 100,000/= amount linked to construction work and ordinary craftsmen outside the nest (Local Fund) system, and it mentions construction mineral tax categories.
3. Zabuni ya kazi ya ujenzi kwa mafundi wa kawaida wasiopitia mfumo wa nest (Local Fund) 100,000/= kwa kazi SEHEMU R USHURU WA MADINI YA UJENZI Na. Aina ya madini Tani
Part
SEHEMU R
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision lists ushuru amounts in shillings for sand, gravel, stones, rubble, and similar unspecified materials, with different amounts tied to trip categories.
1. Mchanga, Kokoto, mawe, kifusi na mengine ambayo hayajatajwa. a. 1-7 b. 8 na Kwango cha Ushuru (Shilingi) 5000/= (kwa kila safari (trip) kuendelea 10,000/= SEHEMU S ADA YA KIPIMO CHA MADINI Na.
Part
SEHEMU S
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The provision sets annual mineral measurement fees: 100,000 shillings for a small measure and 300,000 shillings for a large measure.
1. Aina ya kifaa Kipimo cha madini kwa mwaka a. kipimo kidogo b. kipimo kikubwa Kiwango cha ada (Shilingi) 100,000/= 300,000/= ADA ITOKANAYO NA MADINI YA DHAHABU SEHEMU T Na.
Part
SEHEMU T
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Section hii inaorodhesha ada za kila mwaka kwa baadhi ya aina za vibali/huduma, ikiwemo elution, karasha, evolution, na kibali cha kuchimba dhahabu.
4. 5 Aina ya huduma Plant ya Kuchenjua Karasha Kibali cha Elution(elusheni) Kiwango cha Ada 1,000,000/= kila plant kwa mwaka. 100,000 kila karasha kwa mwaka 1,000,000/= kila evolution kwa mwaka. Kibali cha kuchimba dhahabu 200,000 kwa mwaka. USHURU WA KUFANYA BIASHARA KATIKA MAGULIO AU MINADA AU MASOKONI SEHEMU U Na. Aina ya bidhaa
Part
SEHEMU U
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists a daily charge of Shilingi 500 for mitumba, household items, and shop clothes.
3. Mitumba Vyombo vya nyumbani Nguo za dukani Ushuru cha Kiwango (Shilingi) 500/= kwa siku 500/= kwa siku 500/= kwa siku 14 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The provision shows a fee of 500/= per day in a municipal cargo loading/unloading fee table.
7. Samaki Urembo Viatu Biashara nyinginezo ambazo hazijatajwa 500/= kwa siku 500/=kwa siku 500/= kwa siku 500/= kwa siku USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO NDANI YA HALMASHAURI SEHEMU V Na. Aina ya chombo cha usafiri.
Part
SEHEMU V
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists ushuru amounts by tonnage: 10,000 shillings for three to seven tons, and 15,000 shillings for seven tons and above.
3. Kuanzia tani tatu hadi saba Tani saba na kuendelea Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 10,000/= 15,000/= 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) ________ JEDWALI LA PILI ________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 11(1)) FOMU YA MAOMBI YA KIBALI Fomu Na…………. Sehemu “A” Taarifa za Mwombaji
Part
JEDWALI LA PILI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This line labels a field for the applicant’s name.
1. Jina la Mwombaji: ……………………………………………………… - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Inaonyesha sehemu ya kujaza jina la biashara.
2. Jina la biashara: ………………………………………………………… - 3 Verify source ↗
Anuani ya Mwombaji: …………………………………………………
AI-assisted research summary: This section is the applicant’s address field.
3. Anuani ya Mwombaji: …………………………………………………. - 4 Verify source ↗
Namba ya simu ya Mwombaji:……………………………………………
AI-assisted research summary: This field asks for the applicant’s phone number.
4. Namba ya simu ya Mwombaji:…………………………………………… - 5 Verify source ↗
Eneo analokusudia kuweka Bango au Tangazo: ……………………………
AI-assisted research summary: Hiki ni kipengele cha kujaza eneo analokusudia kuweka bango au tangazo.
5. Eneo analokusudia kuweka Bango au Tangazo: ……………………………. - 6 Verify source ↗
Namba ya kiwanja na kitalu anapokusudia kuweka bango au tangazo: …
AI-assisted research summary: This section concerns the plot and block number when a person intends to put up a sign or advertisement.
6. Namba ya kiwanja na kitalu anapokusudia kuweka bango au tangazo: ….. - 7 Verify source ↗
Aina ya bango au tangazo linalokusudiwa kuwekwa au kutolewa: …………
AI-assisted research summary: Section title about the type of sign or advertisement intended to be displayed or issued.
7. Aina ya bango au tangazo linalokusudiwa kuwekwa au kutolewa: ………… - 8 Verify source ↗
Muda wa bango au tangazo: ………………………………………………
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kina kichwa cha mada kuhusu muda wa bango au tangazo.
8. Muda wa bango au tangazo: ………………………………………………. - 9 Verify source ↗
Ukubwa wa bango au tangazo: ……………………………………………
AI-assisted research summary: Section heading about the size of a sign or advertisement.
9. Ukubwa wa bango au tangazo: ……………………………………………. - 10 Verify source ↗
Bango ling’aalo au kubadilisha tangazo/lisilong’aa au kubadilisha tangazo
AI-assisted research summary: Section 10 concerns illuminated signs and changing a sign or advertisement.
10. Bango ling’aalo au kubadilisha tangazo/lisilong’aa au kubadilisha tangazo... - 11 Verify source ↗
Namba ya leseni ya biashara: ………………………………………………
AI-assisted research summary: This section shows a business licence number field and says Part B is for office use only.
11. Namba ya leseni ya biashara: ……………………………………………… Sehemu “B” (Kwa Matumizi ya Ofisi tu) - 2 Verify source ↗
Ada ya Kibali: (Shilingi) ……………………………………
AI-assisted research summary: This section is a heading for a permit fee amount in shillings.
2. Ada ya Kibali: (Shilingi) …………………………………….. - 3 Verify source ↗
Na. ya stakabadhi ya malipo: …………………………………
AI-assisted research summary: This section is labeled “Receipt number.”
3. Na. ya stakabadhi ya malipo: ………………………………… - 4 Verify source ↗
Tarehe: ………………………………………………………
AI-assisted research summary: This section is a form for a billboard/advertisement permit, with spaces for the applicant’s name and the authorized officer’s decision, reasons, signature, and date.
4. Tarehe: ……………………………………………………….. Maoni ya Afisa Mwidhiniwa: Nakubali/Sikubali Sababu:……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………… Jina: ………………………………………………………………………….. Saini: ………………………………………………………………………… Tarehe: ………………………………………………………………………. 16 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) _________ JEDWALI LA TATU ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 11(2)) KIBALI CHA MABANGO AU TANGAZO Jina kamili la Mwombaji: …………………………………………………
Part
JEDWALI LA TATU
- 2 Verify source ↗
Anuani ya Mwombaji:………………………………………………………
AI-assisted research summary: This section is labeled “Applicant’s address.”
2. Anuani ya Mwombaji:………………………………………………………. - 3 Verify source ↗
Nambari ya kiwanja na Kitalu:………………………………………………
AI-assisted research summary: Hii ni kichwa cha kifungu kuhusu nambari ya kiwanja na kitalu.
3. Nambari ya kiwanja na Kitalu:……………………………………………… - 5 Verify source ↗
Barabara/Mtaa: ……………………………………………………………
AI-assisted research summary: Section title for “Barabara/Mtaa” with no rule text provided.
5. Barabara/Mtaa: …………………………………………………………….... - 6 Verify source ↗
Aina ya Bango/Tangazo: ……………………………………………………
AI-assisted research summary: This section only gives the heading for the type of sign/advertisement.
6. Aina ya Bango/Tangazo: ……………………………………………………. - 7 Verify source ↗
Ukubwa wa Bango/Tangazo: ……………………………………………
AI-assisted research summary: Section 7 concerns the size of a poster/advertisement.
7. Ukubwa wa Bango/Tangazo: ……………………………………………... - 8 Verify source ↗
Masharti ya Kibali
AI-assisted research summary: Section 8 lists permit conditions, but the text shown is left blank.
8. Masharti ya Kibali:- (a) ………………………………………………………………………………………… ………..…………………………………………………… (b) ………………………………………………………………………………………… ………...…………………………………………………… (c) ………………………………………………………………………………………… ………...…………………………………………………… (d) ………………………………………………………………………………………… ………..…………………………………………………… - 9 Verify source ↗
Kibali hiki kitatumika kuanzia tarehe ………….. Mwezi ………… Mwaka 20…………
AI-assisted research summary: Kibali hiki kinaanza kutumika kwenye tarehe iliyoandikwa na kinaisha kwenye tarehe ya ukomo iliyoandikwa.
9. Kibali hiki kitatumika kuanzia tarehe ………….. Mwezi ………… Mwaka 20………….. na ukomo wake wa kutumika ni tarehe ………. Mwezi …………….. Mwaka 20……………… Kibali hiki kimetolewa leo tarehe ………….. Mwezi …………. Mwaka 20………………… Na:- Jina kamili: ...………………………………………………………………. Cheo: …………………………………………………………………….. Saini: ……………………………………………………………………….. 17 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) ___________________ JEDWALI LA NNE ___________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 12(1)) HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA FOMU YA KIBALI CHA KUNUNUA MAZAO YA CHAKULA/ BIASHARA (Ijazwe na mwombaji) FOMU NA. …………... Tarehe………………….
Part
JEDWALI LA NNE
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This is a form field for the applicant’s name.
1. Jina la Mwombaji ………………….…............................................…………….……… - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Section heading for the company or organization name.
2. Jina la Kampuni au Shirika………………………..………………………....…..………. - 3 Verify source ↗
Anuani yake S.L. P……………Simu…………..….…………. Wilaya………….………
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha anuani, simu na wilaya.
3. Anuani yake S.L. P……………Simu…………..….…………. Wilaya………….……… - 4 Verify source ↗
Mahali Ofisi yake ilipo: Mtaa……………Kata……………...Wilaya…………...………
AI-assisted research summary: This section is for stating where the office is located.
4. Mahali Ofisi yake ilipo: Mtaa……………Kata……………...Wilaya…………...……… - 5 Verify source ↗
Mahali anapoishi: Mji……………………………..…...Mtaa……………………………
AI-assisted research summary: Fomu hii inaomba taarifa za mahali anapoishi, ikijumuisha mji na mtaa.
5. Mahali anapoishi: Mji……………………………..…...Mtaa…………………………… - 6 Verify source ↗
Mahali biashara ilipo……………………………...Mtaa…………………………………
AI-assisted research summary: The form asks for the business’s location and street.
6. Mahali biashara ilipo……………………………...Mtaa………………………………… - 7 Verify source ↗
Namba ya leseni ya Biashara……………………………...………………………………
AI-assisted research summary: Hiki ni kichwa cha kifungu kinachohusu namba ya leseni ya biashara.
7. Namba ya leseni ya Biashara……………………………...……………………………… - 8 Verify source ↗
Namba ya kuandikishwa Shirika au Kampuni ……………………………………………
AI-assisted research summary: This section is titled “Namba ya kuandikishwa” for a company or corporation.
8. Namba ya kuandikishwa Shirika au Kampuni …………………………………………… - 9 Verify source ↗
Maeneo ambayo mnunuzi atanunua mazao ya chakula
AI-assisted research summary: This section is about the places where a buyer will purchase food crops or for business.
9. Maeneo ambayo mnunuzi atanunua mazao ya chakula au biashara…………………………………….……………………………………………… - 10 Verify source ↗
Mazao anayotaka kununua………………...………………………………………………
AI-assisted research summary: 10. Mazao anayotaka kununua………………...………………………………………………
10. Mazao anayotaka kununua………………...……………………………………………… - 11 Verify source ↗
Kiasi anachotaka kununua (Kgs)………..………………………………………………
AI-assisted research summary: Section heading about the quantity to be bought, measured in kilograms.
11. Kiasi anachotaka kununua (Kgs)………..………………………………………………... - 12 Verify source ↗
Masoko/kijiji atakaponunua……………………………………………………………
AI-assisted research summary: Kichwa tu kinataja masoko au kijiji katika muktadha wa kununua.
12. Masoko/kijiji atakaponunua…………………………………………………………… - 13 Verify source ↗
Maghala yake yalipo: Mji………………………. Mtaa…………………………
AI-assisted research summary: This section is a form field for stating where the warehouses are located.
13. Maghala yake yalipo: Mji………………………. Mtaa………………………… Kitalu Na…………………………………………………………………………………………. 18 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) - 14 Verify source ↗
Jina la Ghala/Maghala……………………………………..……………………………
AI-assisted research summary: The applicant must certify that the information given above is correct and true, and the form asks for the applicant’s name, signature, stamp, and date.
14. Jina la Ghala/Maghala……………………………………..……………………………... NATHIBITISHA kwamba maelezo yote niliyoyatoa hapo juu ni sahihi na kweli. i. Jina la Mwombaji…………………………………………….…………………………... ii. Sahihi ya Mwombaji……………………………………….……………………………... iii. Muhuri……………………………………………………………………………………. iv. Tarehe…………………………………………….………………………………………... 19 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) _______ JEDWALI LA TANO _________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 12(2)) KIBALI CHA KUNUNUA MAZAO Jina kamili la Mwombaji: …………………………………………………
Part
JEDWALI LA TANO
- 2 Verify source ↗
Anuani ya Mwombaji:………………………………………………………
AI-assisted research summary: This section is labeled for the applicant’s address.
2. Anuani ya Mwombaji:………………………………………………………. - 3 Verify source ↗
Mwombaji aliyetajwa hapo juu amepewa/hakupewa kibali cha kununua mazao kwa
AI-assisted research summary: Records whether the named applicant was granted or not granted a permit to buy produce, and the reasons for that decision.
3. Mwombaji aliyetajwa hapo juu amepewa/hakupewa kibali cha kununua mazao kwa sababu ……………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………… - 4 Verify source ↗
Mwombaji amelipa/atalipa ushuru wa Shilingi…………………………………kwa kiasi
AI-assisted research summary: The applicant must pay a fee in shillings based on the amount of produce bought for the requested purchase season.
4. Mwombaji amelipa/atalipa ushuru wa Shilingi…………………………………kwa kiasi cha mazao atakayonunua kama alivyoomba, yaani Kilo………………………………………………………………………. kwa msimu wa ununuzi wa Mwaka……………………………………………….………………………. - 5 Verify source ↗
Kibali hiki kitatumika kuanzia tarehe ………….. Mwezi ………… Mwaka 20…………
AI-assisted research summary: Kibali hiki kinaanza kutumika kutoka tarehe iliyoachwa wazi na kina ukomo wa matumizi tarehe nyingine iliyoachwa wazi.
5. Kibali hiki kitatumika kuanzia tarehe ………….. Mwezi ………… Mwaka 20………….. na ukomo wake wa kutumika ni tarehe ………. Mwezi …………….. Mwaka 20……………… - 6 Verify source ↗
Nakala ya kibali itunzwe kwa ajili ya ukaguzi wakati wowote
AI-assisted research summary: Nakala ya kibali lazima ihifadhiwe kwa ajili ya ukaguzi wakati wowote.
6. Nakala ya kibali itunzwe kwa ajili ya ukaguzi wakati wowote. - 7 Verify source ↗
Kibali hiki kimetolewa leo tarehe ………….. Mwezi …………. Mwaka
AI-assisted research summary: This section records that the certificate was issued today and leaves blanks for the date, authorized officer’s name, signature, title, and seal.
7. Kibali hiki kimetolewa leo tarehe ………….. Mwezi …………. Mwaka 20………………… Na:- Jina la Afisa Mwidhiniwa…..…..………………………………………………… Saini……………………..……………………………………………………... Wadhifa………………………………………………………………………... Muhuri………………………..………………………………………………... - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Kibali hiki kinaeleza kuwa nakala ya kibali itabaki kwa maafisa na ofisi zilizoorodheshwa.
8. Nakala ya kibali hiki itabaki kwa: wa Mkuu ……………………………………………………………… Mkrugenzi Mtendaji(w)……………………………………………………… Afisa Mtendaji kata ya ………………………………………………………… Afisa Mtendaji wa kijiji cha …………………………………………………… Wilaya ya _______________________ Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Chunya 20 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tangazo la Serikali Na.667 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Chunya uliofanyika tarehe 14/2/2024 na kushuhudiwa rakili hiyo ikigongwa mbele ya:- TAMIM HAMID KAMBONA, Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya CHUNYA BOSCO SAID MWANGINDE, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya CHUNYA L.S Dodoma, 20 Juni, 2024 NAKUBALI, MOHAMED OMARY MCHENGERWA, Waziri wa Nchi-OR-TAMISEMI 21
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA YA MWAKA 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in